Swali haliko sawa . Kukaa mbele kivipi , wakati anaendesha nani ? Ikiwa ninadrive mimi , basi mke wangu anatakiwa kukaa mbele . Ikiwa ninadereva katubeba , basi mm nitakaa nyuma na mke wangu. Swala la heshima kwenye hiyo pia linausika lkn inategemea na uwamuzi .
@rhodasamuel83343 ай бұрын
Very good answer
@israeluronu99583 ай бұрын
Safiiii hii ndio comment nilokua natafuta.
@emmadora78483 ай бұрын
Waooooo
@kamarhelo3 ай бұрын
Mnampa kichwa Bure kwakua swali liko wazi Katia mama na mke yani hapo kumbuka hapo hakuna dereva
@ElísioMadimba3 ай бұрын
Watu wa 3 mama, mke na mume dereva from where brow?
@Mingler_Skimmer3 ай бұрын
napenda sana hii timu tatu Millard, Vido na Frida 💯💯💯
@kekiplus1andonly3 ай бұрын
Hili swali huwa halina jibu sahihi,mwanaume hatakiwi kuingilia bali kuacha wao wenyewe watajipanga bila kuleta big deal out of it. ila mimi ningeacha wote wakae nyuma wawe passenger princesses 👸 ♥ Lakini point kubwa kama mzazi wako na mke wako wanagombania kukaa mbele bado hujafanikiwa kimaisha,safari bado ndefu sana na utafika umechoka sana..sababu it means hao watu wa msingi wana utambuzi mdogo sana.
@arafatmbaruku89273 ай бұрын
Mama mbele
@josefumtendamema3 ай бұрын
Milard uko sahihi kabisa,hiyo ni heshima kubwa kwa mtu mwenye umri mkubwa
@wisdomfolks3 ай бұрын
Kaa popote ishu ni safari ifike msitengeneze utofauti hapo
@economistsarafina80853 ай бұрын
Nachoweza kusema ni kwamba mama na mke kila mtu atambue mipaka yake, kwa lugha rahisi ni kuwa mama mwenye hekima anafaham mipaka yake, akiwa kwa mume wake ni haki yake kukaa mbele ila akiwa kwa mtoto wake wa kiume ni muhimu akakaa nyuma kuheshimu ndoa ya kijana wake, hii mada jibu lake inategemea mnahoji katika grounds zipi
@niwaelally15793 ай бұрын
Asante sana milady
@saumukileo98053 ай бұрын
Napenda sana siti ya nyuma....nakuwa more comfortable sijui kwann
@beatricejoseph27843 ай бұрын
😂😂😂
@MaulidiNchasi3 ай бұрын
Millard ayo uko sawa kabisa hongera kwa walezi❤
@johnsemuna36703 ай бұрын
Jamani freda yupo sawa mke wangu ana nafasi ya mbele kwa kila jambo. Kwenye gari lazima mke wangu atakaa mbele tu na awe mama baba babu au bibi watakaa nyuma
@kirkiADVOCATE3 ай бұрын
au siyo..yana muda basi
@echosoundchannel6773 ай бұрын
Nafikiri pia kina mama mkwe tunapaswa kujua nafasi zetu tu.kama mama mkwe ukiwa kwako unakaa mbele kwenye siti ya mume wako basi ukienda kwa watoto unapaswa umuache mwano na mke wake wakae kwenye siti za mbele.hata waki kwambia ukae mbele unapaswa ukatae ukae nyuma coz haibadilishi chochote😂
@emmadora78483 ай бұрын
Safiiiiiii🎉
@Ashoora23 ай бұрын
Millard uko sahihi ❤
@SeekersTv6713 ай бұрын
Kama mume anaendesha gari for privacy and respect mke atakaa mbele Kama baba na mama wapo na mtoto wao ndo anaendesha basi baba na mtoto anayeendesha watakaa mbele na mke na mama watakaa nyumba. Huo ndo utaratibu mzuri and the vice versa
@mussatete26183 ай бұрын
Frida uko sahivi sana. Millard, Vido, Frida Mungu awabariki
@ilhamally83083 ай бұрын
I love Frida, you’re open mind.❤
@MwanamkuluMohamedi2 ай бұрын
Millard hiyo haiko sawa coz mama kashakaa sana mbele kwenye gari ya mume wake
@SelemaniOmary-q2y3 ай бұрын
Gari yangu naendesha mm nitakaa na mke wangu mbele wengine watakaanyuma
@mossyfimbo35773 ай бұрын
Wazazi wako wamekuwa wengine maana wanaongelea wazazi
@emmadora78483 ай бұрын
@@mossyfimbo3577mama ana mme wake anbaye ni baba ,wapiwa kwenye gari Yao wao atakaa mbele na mmewe ,ukishaoa nafasi ya 1 ni mke wako coz ndiye anayeendesha maisha yako Kwa wakati huo na sio mama
@marceljohnkimaty49863 ай бұрын
Dont worship your wife's ...
@FatmaHamad-g6s3 ай бұрын
Mi nikae hata kwenye buti haina shida ila jua usiku pia uende ukaekwe mbele hukohuko😂😂😂
@mossyfimbo35773 ай бұрын
Nawe utabarikiwa siku mmoja uitwe mkwe si maneno mema
@EmmanuelMosha-n3n3 ай бұрын
Mwanamke mwenyewe anatakiwa kuachia siti wakati huo kwa kujiongeza mama n mtu mkubwa sana❤️
@StellaSulle3 ай бұрын
Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri Duniani.. hii ni amri y Mungu Tena yenye ahadi ya Mungu.
@davidkabyemela81403 ай бұрын
Mama ni Mungu wa pili ...unakufa mke anapata mume mwingine au akifa unaweza pata mke mwingine ila mama huwezi pata mwingine🚶
@LeonidasStephano3 ай бұрын
wachache watakuerewa
@shanibaniyas63083 ай бұрын
Ni mama❤❤
@janepherjamson41663 ай бұрын
Hivi siti ya mbele ina Nini .
@mwanaikaomar86283 ай бұрын
Milad uko sahihi kabisa.na hivyo ndo ilivyo haswaaa
@joycekisamo48963 ай бұрын
Hiyo ya sahani kila mtu na yako ni mambo ta 1980s asilete huo mfano leo 😅
@kassimshaka27223 ай бұрын
Wote mpo sahihi but Frida Amani you're so bravo!
@marygregory75663 ай бұрын
Na yule mzazi anayebadilisha chanell nyumbani kwangu wakati mimi nafatilia series je😃
@TEDY-MTEMY243 ай бұрын
Zima TV mjadala uishe haraka 😅😂😂
@Amanikizota3 ай бұрын
Daah ila milady
@jikonikwamamaSwaumu3 ай бұрын
Mm kwa sasa ni mke na nina kijana wa kiume nitakapokuwa mkwe kwa kweli kijana wangu akae tu na mkewe mbele mm nitakuwa nyuma.
@surusuru19943 ай бұрын
😂😂😂😂farida nakuuga 🤝kwza mam zetu band vijana nivima akakaa yuma
@salummkicha66363 ай бұрын
Mm nikiwa na mkewangu na watoto kwenye seat ya mbele anakaa mtoto wangu mkubwa mama anakaa na watoto wake wadogo kwa ulinzi zaidi.
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Siku nikiwa mkwe nitakaa nyuma tu ,sipend siti ya mbele
@mohammedkombo97983 ай бұрын
Thanks
@Miss_Kaaya3 ай бұрын
Milard yupo vzur❤
@DullahIweni3 ай бұрын
Nampenda sana mama yangu nampenda mno,hata wife anajua hilo lakin kwenye hili kit cha mbele atakaa mke wangu,maana kwenye ndoa mnakuwa mwili mmoja na mama anabaki kuwa mzaz wa nyie wote anabaki kuwa kiongozi.
@NoellaFungo3 ай бұрын
Hekima tuu well said Milad
@PrincessHellen-pg1oy3 ай бұрын
Niko sambamba na Frida 😊😂🎉
@hellendaniel38093 ай бұрын
Akae na mama yake tena mm waniache nyumbani ili wanisengenye kwa uhuru huko😂😂😂😂😂😂
@PrincessHellen-pg1oy3 ай бұрын
😂 ila Millard usitufanyie hivyo 😅😅😅😅😅 mimi nipo upande wa Frida na vido kwenye gari
@abdullahmapesa3 ай бұрын
Hata Masjid na kwenye sherehe wakubwa ndo wanakaa mbele yani sehem zote na ukiwa na umri mdogo utatoka mbele ndo adabu iyo ⭐
@StephenMpallange3 ай бұрын
Kimsingi sio Mama Wala sio Make wote hawapaswi kukaa mbele,Hawa ni watu muhimu wanapaswa kukaa kwenye Seats za nyuma ili wawe Comfortably and Safe.Watu wengi hamuelewi hili.
@emmadora78483 ай бұрын
Kihalali kabisa siti ya mbele ni ya mke ,mtu ukishaoa kila kitu ni wewe na mkeo kwanza ndio maana hata iweje kuna vitu mama hawezi kukufanyia zaidi ya mke wako huo ndio ukweli na utabaki hivyo ,ulimwacha huyo mama yako ukaambatana na mkeo huyi ndio kipaumbele chako no 1 ,sisemi mama hana nafasi ,mama naye anayo yake tena kubwa ila watu hawajui kutofautisha
@teddyndungurusabnu47923 ай бұрын
jamani hii ilinikuta nilikua natoka na mubaba nipo na sister kwa heshima nikamuambia sister kaa mbele akanambia huyo ni mumeo kaa nae mabele,, na ilibidi tumchukue shangazi kituo kinachofuata ,, tulipofika pale tukamsubiri alivyokua anakuja nikasema wacha nikae nyuma na wewe sister hapa nimpishe shangazi lakini bado sister akaniambia kaa hapo huyo ni mumeo tena kwa ukali aliniambia ,,,, huwezi amini pale mbele nilikosa amani nilihisi kama shangazi kanimind vilee😅 ,,, but to me naona ukitoka na mume hata awe nani lazima ukae na mumeo mbele bana😜😜🙊
@RashidRamadhani-b5o3 ай бұрын
Kwa nilivyomuelewa Vido kwenye ile sentensi yake aliyoigeuza baadae jibu lake la mwanzo lilikuwa "Huwezi fananisha Mama na vitu vingine vya ajabu" sema kaifanyia marekebisho kidogo 😂😂😂
Gari lenyewe sina bora nyie labda tukitoka dukani usiku mimi na tochi kulika tu😂😂😂
@Brunn-mh2bq3 ай бұрын
😂😂😂
@WinfridaNdege3 ай бұрын
Mm Niko na Frida baana 😂😂😂 kila mtu atambe kwa mume wake 😂😂😂😂
@greysonkisinda73903 ай бұрын
Itafika zamu yako ya kuwa mkwe afu tuone 😂
@WinfridaNdege3 ай бұрын
@@greysonkisinda7390 wala sitajali maana najua mwanagu sio mume wangu🤣🤣
@greysonkisinda73903 ай бұрын
@@WinfridaNdege mnachachukaga nyie hata ukiona tu mwanao anavomjali mkamwana unaaza kusema hata kwamba bila ww huyo mwanamke asingefaidi hayo anayofaidi,ni wamama wachache sana huchukulia kawaida hilo jambo,tena mkamwana aje ajichanganye siku kubishana na mama mkwe ataambiwa yote🤣
@vocalizertz68683 ай бұрын
Mke wangu .wewe na mama mkwe kaeni nyuma mkipiga stori za maisha siti ya mbele ikae wazi.fulstop hyo haitazua mjadala wala chuki
@castoriarogatus36753 ай бұрын
jaman jman mwanaume au mwanamke anapooa TU yule aliyemuona ananafasi kubwa ndo maana hata Vitabu vinasema utamuacha baba na mama yako utaambatana na MKE au mume wako wazazi ulishakaa nao sana tu ukioa kipaumbele ni mke wengine baadae sio adabu Wala nidhamu ila ndo Iko ivo
@Officialjidaa-sn9cs3 ай бұрын
Mama angu ni muhimu kuliko mke wangu .. Alaf kukaa mbele kama mama ataingia wa kwanz atakaa yeye au kama ni mke ni sawa au mm nikae nyuma mama na mke wangu kama mmoja anajua kuendesha ataendesh
@HamadBashir-bs5wo3 ай бұрын
Bila mama mke asingekuona Ayo respect sanaaa 🎉
@Malaikakisseto3 ай бұрын
Millad utaendeshaje gari alafu mama mkwe wewe afrika wengi wetu sio utamaduni
@asteriashios18523 ай бұрын
Nitampisha mama akae hata bb nitampisha akae mbele
@joycekisamo48963 ай бұрын
Frida is so beautiful 😍
@RossaRutasha3 ай бұрын
Ni kweli miradi Ulaya mkubwa hawezi kusimama na mdogo kukaa
@godfreymasele88533 ай бұрын
VIP. Hukaa nyuma. Mama atakaa nyuma mimi na Mke.wangu tutakaa mbele. Sababu zipo nyingi. tu.
@MahahaMndibya3 ай бұрын
Kiuhalisia wote mko tofauti kabisa. Kama dreva ni mm itabidi mama na mke wangu wakae siti za nyuma wote. Kama ni baba na ninaeendesha ni mm mke wangu atakaa nyuma baba atakaa mbele. Na kama mke wangu ndo dreva mm na mzazi wangu tutakaa nyuma wote. Hata kwa wakwe ni hivo hivo.
@LennoxBugeraha3 ай бұрын
Mara nyingi anayekaa mbele ni co-Driver, kama mke ni dereva lazima akae mbele kwasababu anaweza kuona baadhi ya vitu barabarani and vice-versa..
@tumainichanya32683 ай бұрын
Mr and Mrs wakiwa garini na mama mkwe amekuja basi mrs na mama mkwe watakaa nyuma ikiwa wanaelewana vzr na qakaendelea na story za kifamily vzr huku mr anaendesha vzr tu hiyo ni hekima na heshima pia
@sky-wz5zi3 ай бұрын
Frida huwa ananifurahisha sana😅 always!
@TembaLeonce3 ай бұрын
wakanza mimi leo naombeni like zangu😊
@harsondickson96283 ай бұрын
Zinakusaidia nini hizo likes nyumbu wewe
@MichaelCosmasiАй бұрын
Watangazaji hakuna kitu Leo ndo sijawaelewa
@domymerinyo81653 ай бұрын
Labda mama awe mgonjwa ndio atakaa mbele tofauti na hilo atakaa nyuma. Chamsingi tufike salama. Gari ni 1 hakuna kugombania siti nikiwa naendesha nahitaji kitu mke wangu ananipa kwa urahisi karanga,korosho
@Maryammadafa3 ай бұрын
Bahati mbaya sana hujazingatia adabu ulizofunzwa na wazazi wako huna nidham binti pole sana
@jeremiahevodius9253 ай бұрын
Mimi niliwahi kupewa lifti na kaka yangu mmoja iv si tumbo moja ila kimtaa tunafamiana akanikuta akanipa lift me nikafumgua mlango nikaa nyuma we akanifokea akasema unakaje nyuma we niboss wangu we nitajiri nakuendesha ebu njo ukae mbele
@LeonidasStephano3 ай бұрын
Huyo Farida hajitambui na kama huu ndio uharisia wake basi atakaye angukia hapa ajiandae for sure
@rhodasamuel83343 ай бұрын
Jamani hapana mimi naona bora mke akae mbele maana mama hata akiona nimekaa vibaya hawezi kuniweka vizuri, lkn mke wangu atanitengeneza
@jacklinezebedayo29233 ай бұрын
Mi niko na Frida kwa kweli
@fredyndenga3 ай бұрын
Kawaida kwa usalama zaidi ni kiti cha nyuma. Mama akija anakaa kiti cha nyuma kwa usalama wa mama yangu.
@Kenifamily-Music3 ай бұрын
Kaka Millard Ayo Mi naomba mawasiliano yako natamani ku Share kazi na Nyinyi. Kazi yenyewe ni Kuleta Muzik Wangu kwa Millard Ayo TV.
@AmorRoeser3 ай бұрын
Naunga mkono point za Millard ni za kiheshima za kiafrika na Kitanzania kwa ujumla. Nadhani Frida anachukulia simple things lakini siyo heshima na adabu za Kitanzania
@StellaSimon-u7q3 ай бұрын
Kwaani mbele kuna nini??
@tumainichanya32683 ай бұрын
Napenda sauti ya frida
@Masokabya083 ай бұрын
naona ,Frida kitakacho kusaidiya uwe unaweka toto bele hiyo nipendekezo yangu.
@gildopitapita13833 ай бұрын
Mama juma kewagu bele tu
@albinajoseph20103 ай бұрын
Kumbe kukaa mbele ni heshima??? Nilikua sijui
@LatifaRajabu-l3n3 ай бұрын
Niko pamoja na millad ayo
@hadijasufiani61673 ай бұрын
Millard upo vizuri nikweli mkubwa yoyote anatakiwa akae mbele
@joycekisamo48963 ай бұрын
Wakae nyuma, ndio watakua salama. Kukaa mbele sio salama.
@joycekisamo48963 ай бұрын
Kwenye gari ni heshima kukaa nyuma comfortably, hata mabalozi na Marais wanakaa nyuma. Ni salama na ustaarabu
@giliadisumary94923 ай бұрын
Mbele ni mume na mke muhimu ilo
@mohdkhalifa88283 ай бұрын
MKEWANGU akae mbele mna ni sehem hatar Ikitokea tatzo la ajali
@niwaelmburuja20563 ай бұрын
Nafasi ya malezi inaonekana dhahiri hapo. Mtoto umleavyo ndivyo atakavyokuwa.
@josephvenus32593 ай бұрын
HUYU DADA INAONEKANA HANA ADABU KWA WATU WAZIMA KABISA, NA NI MSHINDANI SANA
@agricolaotto82473 ай бұрын
Nyie guys hampo serious ata kwa mbali😮😮
@AminaMfinanga-nu6jl3 ай бұрын
Mama Akae mbele Mimi sio mama Tu hata shemeji Akae mbele Tu nadhan inakuwa poa zaid
Kwa ufupi kwaajili ya usalama mimi sipendi kukaambele mimi mama yangu pia hapendi kukaa mbele
@aminatanzanya74753 ай бұрын
Mim naona mkubwa ndio anafaa akae mbele
@MohamedGaddafi-b5l3 ай бұрын
Kama mke wangu ndo ataendesha ilo gari basi mm na mamangu tutakaa nyuma
@msanikaalmaskabirigi60973 ай бұрын
Tunatakiwa tufuate kanuni ya Ashrafi Hakimi. Mke mwenye busara atampa mama mkwe respect inayostahiki. Lakini wadada wa kisasa ambao wao wanajifanya kuishi katika ulimwengu wa tarakimu hawawezi.
@salummkicha66363 ай бұрын
Kwenye matumizi ya seat za gari iko tofaut kutegemea na hiyo gari iko kwenye shughul gani.