NYUMBA YA KIKOGWE (80) YAUZWA NA WAJUKUU WADAI ANA MATATIZO YA AKILI, WAZIRI SILAA ATOA MAAGIZO

  Рет қаралды 38,778

Millard Ayo

Millard Ayo

19 күн бұрын

Пікірлер: 135
@user-pf2mb2ri2d
@user-pf2mb2ri2d 17 күн бұрын
Jamani wito wangu tupambane tupate vyetu huo wote ni uvivu wa kujituma Waziri pongezi kwako Allah akupe umri wenye kheri
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 17 күн бұрын
VIVA MH. WAZIRI WA ARDHI....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUBARIKI.
@SalmaMakolo
@SalmaMakolo 17 күн бұрын
Allah akufanyie wepes bibiangu upate haki yako
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 17 күн бұрын
Huyu mama akili yake safi sana.Wajukuu hao ni machizi😮.Matapeli wakubwa😢
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 16 күн бұрын
lakini pia mzurii
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 17 күн бұрын
Vijana wa hovyo baada yakutafuta vya kwao kazi yao ni kukimbilia kuuza mirathi
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 18 күн бұрын
Sasa hiv watu wa Yakima kununua nyumba au ardhi kiholela. Good job mh waziri
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 18 күн бұрын
Nakupenda waziri kwaajili ya ALLAH mungu akulinde Sana
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 18 күн бұрын
Naungana ww kwa asilimia 100 Nampenda sana huyu wazir kwakaz anayoifanya
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 18 күн бұрын
Wajukuu wasiopenda kujituma na kufanya kazi,mkalaaniwe kabisa
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 6 күн бұрын
Mtegemea cha ndugu hufa angali masikini. Bora yangu sina chakurithi zaidi ya jina la ukoo
@masoromashauri1256
@masoromashauri1256 17 күн бұрын
Ila silaa anapiga job balaaaa
@marypeter7209
@marypeter7209 18 күн бұрын
Waziri upo vizuri sana mungu akulinde jamani maana wanyonge wanapata haki yao
@cmantz8837
@cmantz8837 17 күн бұрын
Dah! Wanaweza hata kumuua hao
@saladuma6469
@saladuma6469 18 күн бұрын
Mungu akulinde waziri akuongezee siku za kuishi
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 17 күн бұрын
Jembe la Kaz mungu awe nawe
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 18 күн бұрын
Pole sana bibi yang Allah yupo atakurejeshea haki yako
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 18 күн бұрын
Bora mimi sina hata cha kurithi kutoka kwa wazazi wangu
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 18 күн бұрын
Haya kama lipo usimtumie maanani kupambania Chako
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 17 күн бұрын
Bora sana kwa kweli
@yusuphalinani5432
@yusuphalinani5432 17 күн бұрын
Ameni Asante mh wazili
@vascombembela3632
@vascombembela3632 18 күн бұрын
Bibi anahitaji pia ulinzi kwani hao Vijana walichofanya wanaweza kuorganise crime nyingine kwa bibi yao, ikiwezekana serikali iwashughulikie kikamilifu ili wapate funzo kubwa
@OmariNgozoma-xg8tb
@OmariNgozoma-xg8tb 17 күн бұрын
😅
@queensalema5262
@queensalema5262 15 күн бұрын
Upo sahih
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 14 күн бұрын
Hongera waziri kwa kutetea wanyonge mungu azidi kukulinda ❤🙏
@richarddavidmk
@richarddavidmk 13 күн бұрын
Mungu wa Bwana yetu Yesu ,akufanye Uwe Raisi wa JMT .Pia waziri uwe na kipindi cha tv kutoa elimu kwa watanzania wote ,wengi wanaonewa na mahakhama
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 18 күн бұрын
Safari hiii chiii matepeli wa ardhi na myumba waitaisoma namba
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 17 күн бұрын
Waziri wetu mungu akutunzee naomba sana hutatue mgogoro WA aridhi WA wanamchi WA mbezi GOBA
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 18 күн бұрын
Pole Sanna,jambo hli sikia tu kwa jran
@mamapeace6730
@mamapeace6730 13 күн бұрын
Mama mungu akusaidie izo tabia hata huku kwetu wapo wanapenda kuvamia vitu vya ulisi
@barakamanga5502
@barakamanga5502 18 күн бұрын
Alooh aloooh alooooooooooooooh heeeeee basi bwana ninyamazetu
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 18 күн бұрын
BIBI HUYO HAJACHANGANYIKIWA ILA WATOTO HAWAJAMTENDEA HAKI.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 17 күн бұрын
Hao wajukuu wachukuliwe hatua kali sana😢
@elphacelucas572
@elphacelucas572 18 күн бұрын
Duh wajukuu Wana laana kabxa
@israeluronu9958
@israeluronu9958 18 күн бұрын
Mnooo yani wanakata mkono unaowalisha. Wanalaana sana tuu
@user-ky7mz7qh1o
@user-ky7mz7qh1o 18 күн бұрын
Waziri shujaa kabisa kuwai kutokoea mungu akutunzee kabisaa
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 18 күн бұрын
Ameen ya rabb Kama kuna m2 nampenda serekalini bas huyu wazir nimoja wapo Anaitendea haki kaz yake
@user-nf3dc9fb6v
@user-nf3dc9fb6v 14 күн бұрын
Kazi nzuri wazili
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 17 күн бұрын
ukovizurimwishimiwa asantesana
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 17 күн бұрын
J.Silaa jembe kazini💪💪💪
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs 14 күн бұрын
Bibi kaona isiwe shida navaa na nguo za ccm kabisaaaa
@rasnchimbi
@rasnchimbi 18 күн бұрын
Kwa kumwandikia kuwa eti anaumwa akili,pekee hilo ni kosa tayari,mamlipe fidia.
@nassorochangogo4935
@nassorochangogo4935 18 күн бұрын
Pole sana bibi
@user-ow7pl6tz2c
@user-ow7pl6tz2c 18 күн бұрын
Pole bibi
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t 14 күн бұрын
Ubarikiwe
@AbbasOmarAbbas
@AbbasOmarAbbas 18 күн бұрын
Bibi Pole sana...
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o 18 күн бұрын
Duuuu kweerii duniaa yamwishoooo
@user-rl3yh6ls7b
@user-rl3yh6ls7b 18 күн бұрын
Hao wajukuuuu wapuuziii kabisa Yani wamewapindua Hadi Baba zao, hawa watakuwa wajukuu wa 2000
@MashaMbwana
@MashaMbwana 18 күн бұрын
😂😂😂wa 2000 wakoje
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 18 күн бұрын
Kweli kabisa vitoto vya mwaka 2000 vina tamaa sana
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 18 күн бұрын
Baba zao nao washenzi sanasana, ningekuwa karibu,nawaroga kabisa😂😂
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 17 күн бұрын
Pole sana mama
@rerisamba
@rerisamba 14 күн бұрын
Majudge Mungu anawaona jamani yani mna kiti chenu jehanam
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 17 күн бұрын
Mambo ya urithi hayo.,.,yanagombanisha sana familia
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 18 күн бұрын
Halafu eti huzai unalalamika Wakati Mwingine unamshukuru Mungu.Hii sasa hivi imekuwa Tatizo kwa mitoto ya sku hizi.
@user-zl3we4si9q
@user-zl3we4si9q 17 күн бұрын
KWELI VYOO
@user-zl3we4si9q
@user-zl3we4si9q 17 күн бұрын
Kuzaa mtihani usisazae mtihani tu ila M/Mungu austerity kwa kweli🙏🙏
@ZuhuraMwanafuno
@ZuhuraMwanafuno 14 күн бұрын
Daah
@swahilifashion2206
@swahilifashion2206 11 күн бұрын
Mahakama ilithibitishaje umento wa bibi, hii nchi na hawa watu MUNGU ndie atajua atuhukumuje..
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 18 күн бұрын
Hapo wajukuu hawnaa lakwao mazal mwenye mali bado yupohai ikitokeya mazee wamefariki basi watoto wamarehem watarithi malihiyo .Ivi nyinyi wajukuu munawashwaeeeeeh
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 17 күн бұрын
Yani watu wavivu huwa wabafikiria ujinga tu pole sana bibi
@israeluronu9958
@israeluronu9958 18 күн бұрын
Hatakama hanaakili mjukuu unapata wapi mamlaka ya kuuza mali isiyokuwa yako jmn
@nancychesang9567
@nancychesang9567 13 күн бұрын
Mm ninacho ridhi ni majina ya wazazi wangu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 17 күн бұрын
Hiyo makama kama imetoa mamuzi hayo wame zingua sana hapa waziri wa aridhi anahusika hapa
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 17 күн бұрын
safisana nimefurah kumuwona. Wazirisilah
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 15 күн бұрын
Mama hio ni haki yako.nenda BAKWATA au hata SERIKALINI.vipi itauzwa nenda Mahakamani..Serikali ingemwita Mmiliki..
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 18 күн бұрын
Polesana bibi
@benardboaz6347
@benardboaz6347 15 күн бұрын
Mnao subili watu wafe mpate mali mna shida fanyeni kazi muache uvivu.
@bakarially253
@bakarially253 17 күн бұрын
Jerry Slaa tafadhari Ingilia hilo kati
@clemensiadaniel8479
@clemensiadaniel8479 13 күн бұрын
Sasa huyo aliyenunua haoni kinachoendelea jaman .bibi wa watu apewe haki yake
@afandechanel1507
@afandechanel1507 17 күн бұрын
Waziri wa Ardhi Slaa
@rerisamba
@rerisamba 14 күн бұрын
Yani watu wanapenda pesa hata hawaogopi laana kabisa
@neemapaul3257
@neemapaul3257 18 күн бұрын
wajukuu tuna nini lkini,, tutafeni vya kwetu
@user-to6dh2un9i
@user-to6dh2un9i 11 күн бұрын
Nawao Wamo
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp 18 күн бұрын
Chungeni watamuua uyo bibi ili kesi iwe nyepec
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 17 күн бұрын
Msiba huu dah 😢
@MwajumaFundi-ex5tj
@MwajumaFundi-ex5tj 17 күн бұрын
Urithi wangu jina la ukoo sina kingine cha kurith
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 15 күн бұрын
Kosa ni kwamba hawakumshirikisha. Maana walitakiwa. Wagawane.pesa
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 16 күн бұрын
Kaka uko sawa tetea mali ya mama yako
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 18 күн бұрын
Jina linaumba jmn
@janifajani8875
@janifajani8875 15 күн бұрын
Daaaaaaa maisha magumu haya😂😂😂
@naimatemba8061
@naimatemba8061 14 күн бұрын
Nimetoa machozi
@AnuCobra
@AnuCobra 17 күн бұрын
Assalam alykum bro milad nakuomba apoitmenti ya kuonana na wewe naitwa anwary naishi kariakoo ninahabari nyeti
@Khadija-ne8ul
@Khadija-ne8ul 14 күн бұрын
nenda DM huko au piga simu, huku nani atasoma comment yako?
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 17 күн бұрын
Wajukuu hatari hao muwe makini jamani hasa wenye tamaa yakuwa hawajui babu au bibi hawajui njisi alivyo pata hiyo mali
@Chimgege
@Chimgege 18 күн бұрын
Bibi anajua mpaka mental 😅😅 Allah akusimamie
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 18 күн бұрын
Bibi anaonekana ni msomi mzur sema umri2 unamrejesha m2 utotoni kiakili
@user-dy8yc5ml1p
@user-dy8yc5ml1p 14 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 18 күн бұрын
Maswala ya mirathi yanaumiza sana kichwa daaah pole sana bibi
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 17 күн бұрын
Kwa watoto wa 2000 huyu bibi akimaliza mwaka ana bahati watamuua huyo 😂😂😂😂
@user-wm4nd3dk1t
@user-wm4nd3dk1t 14 күн бұрын
Wakamatwe wawekwendani ukumu chap happy 15 miaka na uyo mm aludishiwe makazi yakee
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 18 күн бұрын
😢
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 17 күн бұрын
Majina yanaumba bibi tabu
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 17 күн бұрын
Kweli
@naigeorge7765
@naigeorge7765 18 күн бұрын
MUNGU akutunze Waziri
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 17 күн бұрын
😢😢😢
@toor8984
@toor8984 18 күн бұрын
Mmmh wamefimia hapo wanaweza hata ku. muua ulinzi muhimu kwa bibi huyo
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 17 күн бұрын
Yaani wanalaana kabisa
@sund2553
@sund2553 18 күн бұрын
Mitoto ya sikuhiz mivivu kujishughulisha inawaza urithi tu
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 17 күн бұрын
yanihatahuyo hakim alikubalivipi bilauthibitisho
@RodahKabehe-nu2uo
@RodahKabehe-nu2uo 13 күн бұрын
Nikwenu apo
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 17 күн бұрын
lazima afikishiwewaxiri silaha huyokijananimtenda hakihanamchezo
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 14 күн бұрын
hao wajukuu wote wakamatwe wafungwe kabisa
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 18 күн бұрын
Mahakama gani hiyo isiyojiridhisha na huo umento?
@festohaule9716
@festohaule9716 18 күн бұрын
Wanaopaswa kukusaidia wanskuibia tena!!! Maisha bhanaa!!!
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 18 күн бұрын
Tena wajukuu,ndo maana mimi mali zangu hata mtoto hapati,labda Mungu anichujuwe ghafla,mpaka nyumba nitapiga bei watafute za kwao,pumbavu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 18 күн бұрын
Na wewe mtoto wa bibi pumbavu,mpaka watoto wenu wanauzaa umekaa tu kama zuzu,ukubwa wote huo,shame on you
@festohaule9716
@festohaule9716 17 күн бұрын
@@israelkisaila8401 Nimekukosea Nini!!! Kitu Gani kibaya nimekiandika au hujaelewa nasema nini... Upumbavu wangu ni kusema wanaopaswa kumsadia Bibi wanamuibia...
@festohaule9716
@festohaule9716 17 күн бұрын
@@israelkisaila8401 kwani wewe unavita na Mimi____??? Mimi nasemea wanaopaswa kumsaidia Bibi Yao wanageuka na kumuibia ni kosa langu kwako____??Duuh Binadamu bhana!!!!
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 17 күн бұрын
@@festohaule9716 jamani soma vizuri jumbe zangu Mimi nakuunga mkono comments zako,soma vizuri uielewi kaka festo haule,mapembelo 😂😂😂😂
@valenakomba7686
@valenakomba7686 18 күн бұрын
MAHAKAMA YA AARIDHII , AU YA JINAI?.😊
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 17 күн бұрын
Mahakama nao wezi kwani mbona wakitaka lao wanajua kuchunguza mbona wasiwambie wajukuu naenda malate huyo bibi yenu mleteni mfayeni salala wa waaridhi
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 17 күн бұрын
Bibi apatiwe ulinzi wanaweza kumdhuru
@ahmedburhan5104
@ahmedburhan5104 18 күн бұрын
Huyu wazir anafaa awe kwenye maswala ya wafanyakaz. Kiukwel wafanyakaz tunateseka sana pamoja na kunyanyaswa
@user-gj7dn7vv5s
@user-gj7dn7vv5s 18 күн бұрын
hv ww unajua matatizo ya nyumba.mirathi na ardhi????????
@ziggertv3185
@ziggertv3185 18 күн бұрын
Hajui etii
@namisgiggah1571
@namisgiggah1571 18 күн бұрын
Yani kuna mitoto ya ajabu kabisa, unauzaje Mali ambayo sio yako lol
@jamillahaidha8184
@jamillahaidha8184 18 күн бұрын
Mbona huelezi vizuri wajukuu kivipi na unasema watoto WA kaka yake au watoto wa watoto WA kaka yake ? Na yeye hana mtoto au watoto
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 18 күн бұрын
Anao watoto lakini hawakuhusika kuuza nyumba
@magdalenamapalala5145
@magdalenamapalala5145 15 күн бұрын
P P
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 18 күн бұрын
.
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 18 күн бұрын
Ana uzee gan huyu bibi? kwanin lakin daah
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 17 күн бұрын
Kwhyo anaoneka Binti au mzee!!!!,nidhamu ni msingi bora maishani
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 18 күн бұрын
Bibi kwani huna uchawi? Wachukuwe misukele wote
@joyce55727
@joyce55727 18 күн бұрын
😁😁😁
@TimbersonFabian
@TimbersonFabian 18 күн бұрын
Huyo alienunua pia ni non sense
@momylaviel
@momylaviel 14 күн бұрын
Wajukuu wa hovyo kabisa hayo machozi ya bibi hawaachi salama punda nyieee
@edvinaselestine712
@edvinaselestine712 14 күн бұрын
Niko mento
ISSEI funny story😂😂😂Strange World | Magic Lips💋
00:36
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 145 МЛН
когда одна дома // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 12 МЛН
Don't eat centipede 🪱😂
00:19
Nadir Sailov
Рет қаралды 21 МЛН
НЕОБЫЧНЫЙ ЛЕДЕНЕЦ
00:49
Sveta Sollar
Рет қаралды 8 МЛН
ISSEI funny story😂😂😂Strange World | Magic Lips💋
00:36
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 145 МЛН