SIMANZI: MTOTO (8) ANYONGWA NA DADA WA KAZI, MAMA MZAZI, BABA NA NDUGU WASIMULIA TUKIO ZIMA..

  Рет қаралды 97,378

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

SIMANZI: MTOTO (8) ANYONGWA NA DADA WA KAZI, MAMA MZAZI, BABA NA NDUGU WASIMULIA TUKIO ZIMA..
KATIKA hali ya kushangaza mtoto Erickson (8) anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi, baada ya kutoka shule, muda ambao wazazi wake wote wawili wapo kazini.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 210
@globaltv_online
@globaltv_online 2 жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:🏾 @t
@WandibaWandibajoseph
@WandibaWandibajoseph 20 күн бұрын
pore sana dada yangu mungu akutie nguvu ilo nijaribu linapita
@KiaMsangule
@KiaMsangule Ай бұрын
Pole sana
@StellaSanga-p6m
@StellaSanga-p6m 25 күн бұрын
Pole sana mama Mungu akutie nguvu kwakweli roho inauma sana
@ynyynyyny
@ynyynyyny 2 жыл бұрын
Fingerprint itatoa majibu pole sana mama, Ila muuaji hatotoboa,Mungu akutie nguvu
@AmosKioko-d3q
@AmosKioko-d3q 19 күн бұрын
Pole sana Dada mungu wa amani akufariji
@JeniferowekeNaftari
@JeniferowekeNaftari 25 күн бұрын
Pole sana mdogo wangu Mungu akutie nguvu
@josephguerino7416
@josephguerino7416 2 жыл бұрын
Uchunguzi bado unafanyika na report ya post mortem haijatoka, ninyi Global Tv mmejuaje amenyongwa!?
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
Wachochezi sana hawa na wanaboa sana
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Hizi midia za kipuuz ndo maana mm uwa si tazamagi kbs yn wnapenda kuongea biti vya ucjomgwmishi tu
@user-qo8qy8zv1f
@user-qo8qy8zv1f 2 ай бұрын
MUNGU afichue mwenyewe,hata Kama so leo
@remmybrunomombe1127
@remmybrunomombe1127 2 жыл бұрын
inauma saana dada poleni sana sana wanafamilia
@ednaabyudi8465
@ednaabyudi8465 2 ай бұрын
Lakn sina imani kama ni uyo dada angekuwq iyo dada ange kimbia ila naomba mungu mtuhumiwa apatikane😢😢
@reginachristopher8241
@reginachristopher8241 2 жыл бұрын
Pole dada mungu akutie nguvu
@NifashaYusto
@NifashaYusto Ай бұрын
Pole sana mamaa mungu akutie nguvu ktk machungu unayopitia. Rest in peace
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Pole sana Dada ni uchungu usiolezeka! Mwenyezimungu akutie nguvu! Akupe faraja! Hili jambo ni zito lisilo mfano ni kubwa zaidi yazaidi ya kubwa! Pole sana!
@halimakanik8789
@halimakanik8789 2 жыл бұрын
Lazima tushirikiane ilipesa itoshe nkuomba mungu tu maana uyo mtot hakua mchanga useme kanalia lia hakuna ajuae jibu
@veronicannko
@veronicannko 2 жыл бұрын
Polen sana mmepoteza watoto wote Mungu awatie nguvu na faraja ya kweli ni Mungu pekee polen sana
@jeremiahmasanzure9351
@jeremiahmasanzure9351 2 жыл бұрын
Pole sana chief digna.. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
poleni sanaa kwa msiba
@josephguerino7416
@josephguerino7416 2 жыл бұрын
Pole sana dadangu
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 3 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu mwenyez mungu awasimamie na awape nguvu katika kipindi hicho kigumu
@Expedito2512
@Expedito2512 2 жыл бұрын
Jamani, mie natamani wanawake wajikite kwenye malezi ya watoto wakati akina baba wanatafuta
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
wanawake tubaki majumbani tushuhulikie watoto
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 2 жыл бұрын
Wanawake hawataki
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Pesa hazitoshi vyakula vinapanda bei mama haoni wala hasikii wamama lazima wahangaike pesa zitoshe
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa maneno yenye kuonyesha unajitambua japo sababu ya ujinga wengi hawatakuelewa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 ай бұрын
Maisha ya Leo magumu, mama kukaa nyumbani sio sababu, ulinzi wa watoto/familia zetu uko mikononi mwa Mungu pekee.
@gililwise
@gililwise 2 жыл бұрын
Dada pole sana Mungu awape faraja.
@nicodemaslema9110
@nicodemaslema9110 2 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu hii familia. Awafariji sana na mimi nina watoto hii kitu inauma sana..........
@agnesmbemba8073
@agnesmbemba8073 2 жыл бұрын
Pole sana mamy...Mungu akutie nguvu,Mungu akupe faraja.
@Mbuzewaukoo
@Mbuzewaukoo Ай бұрын
Daaaaa!!!!!!! Kikubwa dua juu yamtoto huyo kiukweli nipigo kwa mama
@priscajonas1978
@priscajonas1978 2 жыл бұрын
Daaaaah 😭😭😭inauma sanaaa mungu atusaidie sana wazazi... Pole sana dada mungu akutie nguvu
@linamacha7686
@linamacha7686 2 жыл бұрын
Kwa ufahamu wangu mdogo kwa mujibu wa maelezo yao uchunguzi ufanyike kuanzia shuleni dereva wa school basi pamoja na wanafunzi alipanda nao gari kurudi nyumban na mwisho dada wa kazi pamoja na dereva tax wote hao wachunguzwe vizur na huyo wanayesema alimleta lazma atajulikana nani kahusika,poleni sana wanafamilia 😭😭😭
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 2 жыл бұрын
Msitake kumpa huyo dada wakazi hatia moja kwa moja inakuwa sio nzur sana, ikiwa hakuna kisibitisho chochote kinacho onyesha niyeye
@adamissa3443
@adamissa3443 2 жыл бұрын
Unachekesh kwel, kwahyo CCTV camera inadangany pia
@EmmyZain-ov9uz
@EmmyZain-ov9uz Ай бұрын
Mungu akufariji mama.... Ponle Sana kumpoteza mwanako.
@mariyammariym748
@mariyammariym748 2 жыл бұрын
Wandishi kwa Mungu mnamajibu uchunguzi bado
@user-uc2cm9zb2b
@user-uc2cm9zb2b 2 ай бұрын
Poleni sana wazazi mungu awatie nguvu jaman dah inauma sana halaf mtoto mzur kweli
@dorothtobias8053
@dorothtobias8053 2 жыл бұрын
Pole Sana Kaka yangu! MUNGU AKUTIE NGUVU. ILA BAADA YA UCHUNGUZI HUYO ALIEHUSIKA ACHUKULIWE HATUA STAHIKI.
@shamimidrissa8871
@shamimidrissa8871 2 жыл бұрын
Polen Sana Mungu awape subira katika kipindi hiki kigumu na muhusika apatikane ili kuondoa utata
@heriaikazuberi4875
@heriaikazuberi4875 2 жыл бұрын
Poleni sana
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 ай бұрын
Pole sana dada! Huyo binti ni ajenti wa kuzimu ndio yeye amemuua mtoto mdada wa kazi . Abanwe ataongea ukweli wte. . Tuamini Watu wa Mungu nenda kwa Nabii Luka Chuma Kibaha utamaliza yte mtt atarudishwa
@ElishaMsafiri
@ElishaMsafiri 2 ай бұрын
Pole sana kwa yalio kukuta hapo kuwa makini name wafanyakazii
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔jmn jmn mwenzenu nimeumia Sana Mungu awape moyo wa subra
@marcominja8850
@marcominja8850 2 жыл бұрын
"mdada wa kazi" kiswahili cha wapi hiko? Anyway poleni wafiwa wote, na ni vema waandishi muwe mnawapa wafiwa muda kuomboleza na kupunguza mchungu. Na sio kukimbilia haraka haraka kumhoji mtu akiwa sio Sawa. Give the family space.
@josephine-rb8nl
@josephine-rb8nl 9 ай бұрын
Wafanya kazi wa nyumba tunapitia mengi 😢 ila kazi imekushda toka tu roho safi kuliko kuuwa boss ama watoto c vizuri najua tunaptwa na hasira bt ukishdwa Toka tu 😢😢
@user-sw2fi1gu4j
@user-sw2fi1gu4j 2 ай бұрын
Pole sana,du kuna waschana wanaroho mbaya sana ,pole sana dada yangu
@eliphasitalalai887
@eliphasitalalai887 2 жыл бұрын
Poleni wazazi
@fathimazainab4706
@fathimazainab4706 2 жыл бұрын
Mbona vifo vimezidi sana mwenzi huu,
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 22 күн бұрын
Kama kweli muuaji ni huyo dada basi alisukumwa na nguvu za giza kufanya uuaji😢😢
@MathiasKadashi
@MathiasKadashi 2 ай бұрын
Maumivu yakufiwa na mtoto yasikie Kwa mwingine kwasisi yariyo tukuta tunamwachia mungu ndo hakimu pole Sana mama jipe moyo
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi 2 ай бұрын
Wasichana wa Kaz mm sitaman hta kuwaona,Kuna mmoja alinipigaga tukio cna hamu sir yngu,,kwa kifupi alikuja kumuhudumia mume Wang co Kaz zilizomleta
@StellaSanga-p6m
@StellaSanga-p6m 25 күн бұрын
Ama kweli dunia imekwisha
@fatumaibrahim8973
@fatumaibrahim8973 2 жыл бұрын
pole sana dada kwa kipindi hiki kigumu
@user-dv9vi7mh1q
@user-dv9vi7mh1q 3 ай бұрын
Mungu akuie nguvu dada pole sana
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 жыл бұрын
Pole mamy Mungu akupe moyo wa uvumilivu na subira.😭😭😭 R.l.P mtoto mzuri
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 2 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa lakini uchunguzi bado mbona mnasem dada jamani MUNGU ndio anajua nini sababu tusubiri uchunguzi ufanyike tujue
@user-jq5pq9wn9e
@user-jq5pq9wn9e 3 ай бұрын
Nyie wamama mnao ajir wafanya kazi wa ndani mna jiona sn mna shindwa kuishi na wadada wa kazi vizur ndio mana wana wapiga matukio
@glorynyarandu-ln8rc
@glorynyarandu-ln8rc 3 ай бұрын
Elewa vizuri maelekezo ya huyu dada amekwambia binti amekuja jumamosi na siku ya tukio ni Jumatatu inamaana alikua na siku tatu je hizo siku tatu binti atakua amefanyiwa nini hadi kuua?
@user-ji6cp1ng8g
@user-ji6cp1ng8g 3 ай бұрын
Una akili ww bila utoe pole unalaumu upumbavu xx km wananyanyasw umealalishwa kuuwa mpumbavu ww
@tumainlession411
@tumainlession411 3 ай бұрын
Acha tu jamani lakini pia unaweza kaa nao vizuri tu kama mwanao lakini wengine wanatumika Uwi Mungu tutumie watoto wetu inauma jmn asimwambie mtu,pole sana mama mwenzetu
@Alex_Anania
@Alex_Anania 2 жыл бұрын
Poleni Sana ndugu zangu.
@saimasaidi5850
@saimasaidi5850 2 жыл бұрын
Mtihani kwa kweli .Poleni sana family wadafa wananitisha kwa kweli maombi sana Ili kupambana na vitu Hawa wadada wavyokuja navyo kufanya kazi majumbani kwetu
@annapeter751
@annapeter751 2 жыл бұрын
Da poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
Poleni Sana wafiwa
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 2 жыл бұрын
Huyu mma mzazi wa mtoto anaumia hadi tumboni hata kulia hawezi, mtu wa namna hiyo anaweza nae kupoteza maisha, heri mtu anayelia kabisaa....Mungu msaidie huyu mama ktk kipindi hichi anachokipitia.
@samirazuberi186
@samirazuberi186 2 жыл бұрын
We acha ndugu kufiwa na mwanako
@PauloKasimu
@PauloKasimu 2 ай бұрын
Pore Sana mama yangu
@user-hs5qs5hf8o
@user-hs5qs5hf8o 2 ай бұрын
Ni uchungu poleni sana
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Poleni sana Wazazi ! R.I.P Erick!
@user-cm4fn2cl2j
@user-cm4fn2cl2j 10 ай бұрын
Duuh.poleee saaana jamani mungu akutie nguvu
@SiwaKhamis-us3fp
@SiwaKhamis-us3fp 2 ай бұрын
kweli maana shida
@cyriakusbaramba594
@cyriakusbaramba594 2 жыл бұрын
Poleni sana,shetani ni mwanadamu nyoka anasingiziwa tu
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 2 жыл бұрын
Pole sana mama jamani 😭
@DATIVAANDREW
@DATIVAANDREW 2 ай бұрын
Jaman tumuachie mungu tu ndo anayejua
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 2 жыл бұрын
Inaitwa michoro ya uovu ilianzia kwa driver tax, hadi kumtafuta Msichana wa kazi daaah pole Mumy
@JanethTimothy-xc3gh
@JanethTimothy-xc3gh 3 ай бұрын
Tusiwaamini sana watu sasa mtoto mdogo km huy anakosa gani sas jmn eeh mungu tusaidie
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 жыл бұрын
Pole mama 😭😭😭
@fathimazainab4706
@fathimazainab4706 2 жыл бұрын
Huu mwenzi ni mwenzi wa binadamu kuuwa wanadamu wenziwe,Jamani tumcheni mungu maana shetani anazidi kwenda Kwa Kasi sana,Juzi tu mwanza vifo vya mwanamke aliyeuwawa na mumewe Leo mfanyakazi kaua mtoto, ndugu zangu nawapeni pole sana,Tumuombeni sana mungu kwenye huu mwaka lasivyo tutateketea sana
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 2 жыл бұрын
KAMA WEEK ILIYOPITA ALIKUTA MLANGO WAZI HUENDA HAO WATU WALIKUWA WAMERUDI NA WALIMFANYIA MTOTO UNYAMA DADA AKIWA HAJAONA
@damasmsele2217
@damasmsele2217 2 жыл бұрын
Mungu baba awatie nguvu kwakweli huu uchungu hauelezeki 😭😭
@salhakyande3905
@salhakyande3905 2 жыл бұрын
M/mungu awape wepesi
@DATIVAANDREW
@DATIVAANDREW 2 ай бұрын
Jaman mama Pole sana 😂
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭wamaaaa,jukumu la MALEZI ya watoto ni letu,Hawa wadada wamesababisha vilio na cmanzi kubwa majumbani, Mungu tusaidie🙏🙏🙏🙏
@SophiaManase
@SophiaManase 2 ай бұрын
😂😂pole sana dunian tumeumbwa
@lilianmoyo316
@lilianmoyo316 2 жыл бұрын
Poleni jamani
@joshuamwaipaja7616
@joshuamwaipaja7616 2 жыл бұрын
Inauma kiukwel mam mungu akutie nguvu
@lindaruhinda9168
@lindaruhinda9168 2 жыл бұрын
Pole sana Dada angu , unaongea Kwa upole huruma na hekima
@sesiliabenard236
@sesiliabenard236 2 жыл бұрын
Duu pole mam yan mimi mwenyewe nimeogopa sana
@rogerduge9799
@rogerduge9799 3 ай бұрын
😂 mungu aileze roho ya marehemu mahali pema pepon
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Hapa kuna kitu wala sio dada wawatu wa kazi kama siku zanyuma mumekuta nyumba geti limefunguliwa hapo kunamtu kafanya tukio
@julianaswai7846
@julianaswai7846 2 жыл бұрын
HUYO DADA APELEKWE MAOMBI ATASEMA KILAKITU . POLE SANA DAD ANGU MUNGU AKUTIE NGUVU JAMANI. INAUMA SANASAN. R.I.P
@jackiechambale9674
@jackiechambale9674 2 жыл бұрын
Usihukumu dear yawezekana sio yeye binti, kwahy usiongee usichokuwa na uhakika
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 жыл бұрын
Aiseeee pole sana Wanafamilia,but Kwa Sasa wanawake ingependeza zaidi tujikite ktk malenzi na familia huku waume zetu wanapambana kutafuta. Lakini Sasa nanyi wanaume muache manyanyaso Kwa wake zenu na mjali familia zenu,Ivo ndivyo vitu vinavyotupelekea wanawake na sisi kupambana na maisha.
@lulukomanya
@lulukomanya 2 жыл бұрын
This is really sad just 😭 i cant help it
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 2 ай бұрын
Na yule dereva aliye mleta hachunguzwe sana, kwasababu alimleta akawa amechoka na hakula chakula na akalala hakuamka. Je alimfanyaje?
@SamsonMalisa
@SamsonMalisa 2 жыл бұрын
Msichana wa kazi angemdhuru mtoto asingekuwepo. Perhaps Dr watasema
@ednaabyudi8465
@ednaabyudi8465 2 ай бұрын
Polen wazazi😢😢 moyo una umaa jamn
@rehemayohana5301
@rehemayohana5301 2 жыл бұрын
Pole sana dada Mungu akutie nguvu pole sana mpendwa
@JofreyDamson-nm6ec
@JofreyDamson-nm6ec 4 ай бұрын
Polen sana
@user-pe8wh5bw2h
@user-pe8wh5bw2h 2 ай бұрын
Jmn kuweni making nahao wadada jmn
@renathamgeni3869
@renathamgeni3869 2 ай бұрын
Nenda kwa nabii kwa kiboko ya wachawi. Buza
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 ай бұрын
Mtu yyte asikae na mdada bila kumpeleka kwenye maombi kumtathimini. Maana wadada wanamapepo wana mashetani yakwao waliokuja nayo toka kwao. Msiumize akili kifo kime7bbishwa na dada wa kazi. Ni vichawi amemnyonga lkn mtt amekufa kichawi na sio kifo cha Mungu. Nendeni kwa Nabii Chuma au kwa Nabii Baraka mtapata majibu yte mtafurahi.
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 жыл бұрын
Nafikiri na yule aliemleta huyo dada nae pia afanyiwe uchunguzi. Rest in peace mtoto.
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
ndio wote wakamatwe
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Kabisa my dear
@jazeerajuma4746
@jazeerajuma4746 2 жыл бұрын
Kabisaaa atafutwe aliemleta
@zawadilutufyo231
@zawadilutufyo231 2 жыл бұрын
Me nna doubt na huyo driver tax !! Kuhusu kufungua kufuli n all stuffz ilikuwa kama imesetiwa hadi kuleta huyo msichana kukamilisha kazi
@rosemalle3600
@rosemalle3600 2 жыл бұрын
Rest in peace mtoto,kwa wasaidiazi kwa baadhi yao hawaminiki,kwani wanajifanya kutafuta kazi ,wakipata Wana malengo yao kuja kuua kwa Lengo la matambiko yao ya uchawi,kwani binti amefika na kukaa kwa muda wa siku mbili you na mtoto kuaga Dunia Ni ajabu,atasema uongo amekua ghafla kwa kupoteza Lengo,abanwe na Askari atasema ukweli,kwani Nami ilishanikuta kwa msaidizi wa Namba hiyo,yaanialikuja msaidizi ,tulikaa Nae kwa muda wa siku 3,nililala Nae Cha kushangaza anaamka usiku wa saa 8 anajidai anaamka na kuanza kudeki,kutosha vyombo,usku huo,tukisikia vyombo vinagonganishwa,tunaamka tinamkuta yuko macho walahaoshi vyombo za tukamsiki usiamke usku wa mana8,amka asubuhi,baada ya siku moja akaamka akaeda kwenye chumba Cha mkwe wangu na kusema anamtaka huyo mjukuu wangu wa umri wa miezi 9,tukampiha,Nae anasema naganya kazi ili amchukue mtoto kwa mazingaombwe ya kiuchawi ili amnyonge,ionekane ameaga Dunia,anasema Ni sadaka kwa kutumwa na bbyake,yaani wasaidiazi wa siku hizi hawaminiki,Lakini sii wote,Yaani no kumwomba Mungu atujalie kukuza watoto,Lakini kwa kipindi hiki Ni tete kwa wasaidiazi wa sasa
@ashasalum3292
@ashasalum3292 2 жыл бұрын
Soo sad
@rehemaabdallah3180
@rehemaabdallah3180 2 жыл бұрын
Jamani pole Sana mzazi mwenzetu,hawa madada wengine wanatoka family za kichawi,mimi niliwahi kumpata dada ambaye kwako wachawi,Ila M, MUNGU mkubwa niliwahi kumrudisha hata wiki 2 haikufika
@tumainlession411
@tumainlession411 3 ай бұрын
Kabisa hii inatokea ni Mungu tu atusaidie jmn,
@khadijayusuph984
@khadijayusuph984 2 жыл бұрын
Jamani naumia navyosikia maelezo haya kwakweli huyo Kaka alimletea pepo dada wa watu.amefika tu nakutimiza haja zake
@SeifJuma-yt1pk
@SeifJuma-yt1pk 2 ай бұрын
Wadada wa kz ni issue
@mndeyefatuma5335
@mndeyefatuma5335 2 жыл бұрын
rest in peace beb boy
@esterzakaria6777
@esterzakaria6777 2 жыл бұрын
Rest in piece mtot huyo Dad apewe adhabu kali
@sososomayh5946
@sososomayh5946 2 жыл бұрын
Uyo mudada anyogwe. Ama wamuchome moto. Yani nasikitika sana. Pôle maman mungu yupo
@madinaomar679
@madinaomar679 2 жыл бұрын
Heeh
@onkijalan268
@onkijalan268 2 жыл бұрын
Jamani msiamini kwa haraka wadada wa kaz
@user-zz1sj6sp8z
@user-zz1sj6sp8z 2 ай бұрын
Inaezekana.huyo.mdada.anaua.watt.kupitia.mazingara.yakichawi
@kebolamanyama3156
@kebolamanyama3156 2 жыл бұрын
Mtoto mzuri
@monicawilliams949
@monicawilliams949 2 жыл бұрын
😢😢
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 2 жыл бұрын
Huyu baba jamani poole watoto wawili wote marehem uwiii dunia hiii
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН
HOUSE GIRL EP 12 || SEASON 2 || Love Story💕💕
19:25
BUSATI TV
Рет қаралды 15 М.
makabidhiano ya ofisi kati ya Rais Magufuli na JK Novemba 12,2015
6:39
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН