AMWAGA MACHOZI akisimulia "Nilikuwa NABAKWA/MADAWA ya KULEVYA/MWANAUME MUUWAJI Alinifundisha

  Рет қаралды 21,738

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@asiaisaka2898
@asiaisaka2898 Жыл бұрын
Mungu wangu kumbe mtu unaweza kuingizwa kwenye madawa hivyo😢😢😢
@blog3620
@blog3620 7 күн бұрын
pole sana kwa uliopitia sio kosa lako na Mungu atakusaidia utavuka na utakuwa imara sana. Wazazi wamekukosea sana umri wako ulikuwa mdogo wasingekurusu ukasome mbali ukiwa na umri mdogo.
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi Жыл бұрын
We would like to know more about her story so that others can learn from her more especially those going abroad for studies.
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 5 ай бұрын
Wameshaongelea sana
@Naju645
@Naju645 8 күн бұрын
Mmmh Allah atulindie vizazi vyetu
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi Жыл бұрын
She sounds interligent am sorry for what happened to her ❤
@RoseRobert-qd6ip
@RoseRobert-qd6ip 5 ай бұрын
Pole sana sana utapona tu Umetufundisha kutokumuamini mtu kirahisi
@Fatuma-p9y
@Fatuma-p9y 5 ай бұрын
Kwani amjui kuongea ruga yenu kiswaili mnapenda sana kujifanya kizungu wakati mjua kiswali mnaboo mnakela
@Deedlr4767
@Deedlr4767 5 ай бұрын
@@Fatuma-p9ypole jifunze lugha sa kigen upunguze hasira
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 5 ай бұрын
Hâta wazungu wana lugha Zao,kiingereza ulaya kinaongelewa nchi chache sana ,
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Жыл бұрын
Hoooh pole😊
@stevenmacha6682
@stevenmacha6682 18 күн бұрын
Pole sana mdogo wangu, japo najiuliza kwa kipindi chote ulichokua chuo hukuwahi kurudi likizo nyumbani? Au wazazi wako walikua hawakutembelei? Pengine wangekuona mapema na wakakuokoa na hilo janga, anyways, thats a past, ganga yajayo
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Pole sana mtoto wamwanamke mwenzetu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Mashallah kwawazee wema wamekusaidia
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Mwenyewe unaelimu.yko.mashallah
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 ай бұрын
Sasa dada ongea lugha moja tu.Kiswahili ni mhimu kwetu watz.Kiingereza ni mhimu kwa waingereza.Usifuate mfano wa Fatma Karume.😢 Ahsante sa n a
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 5 ай бұрын
Uko Sawa Ila kuna wakati kiswahili kinapelea kwenye kuleta upana wa maada yenyewe .
@OckendenMkandawire
@OckendenMkandawire 13 сағат бұрын
Acheni ujinga kiswahili aliyewaambia ni lugha ya Tanzania nani... Mnajua historia au mnaongea tuu kwanza hizo simu zinatumia kiingereza...
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Mama kaufanya mchongo mashallah
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 5 ай бұрын
Pole sana lakini sipendi lugha kwamba sijui kama unanielewa!!!! Sijui kama unanielewa?
@stellahsimon4460
@stellahsimon4460 5 ай бұрын
Maana yake tuko pamoja?!na kama ujamuelewa unauliza swali anaposema hivyo.
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr Жыл бұрын
Vijana Acheni utani na maisha
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Жыл бұрын
Hmmmm
@حميده-ر4ظ
@حميده-ر4ظ Жыл бұрын
Kwaiyo hapo umefunga kitenge ama😮 Bora ungeva dera tu😢
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Жыл бұрын
Umeniwahi na mie nikitaka kuuliza huyu mtu kajifunga kitenge au nini wanawake tutafika mbinguni tukiwa tumechoka kweli kweli mavazi ypte yaliojaa kweli
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Жыл бұрын
Wanaojichora tatoo wanapata shida ya kwenda uchi ili tatoo zionekane akivaa dira zitaonekanaje😢😢
@FlorenceMlemi
@FlorenceMlemi 5 ай бұрын
Nyie mkivaa Madera inatosha
@mc-omoro2366
@mc-omoro2366 4 ай бұрын
Sio kitenge , ni gauni linaloishia kifuani lisilo na mikono.
@ejackEdward20
@ejackEdward20 4 ай бұрын
Sijui unanielewa😂😂😂
@sophiachalamila6351
@sophiachalamila6351 Жыл бұрын
Ata Malinda czan kma yamooo😂😂😂
@FatmaIsmail-s1b
@FatmaIsmail-s1b 5 ай бұрын
Is it a laughing matter?
@claudia1500
@claudia1500 5 ай бұрын
​@@FatmaIsmail-s1bhapo sasa
@veronicacharles2427
@veronicacharles2427 5 ай бұрын
@@FatmaIsmail-s1b😢😢
@healthforaprosperousnation3269
@healthforaprosperousnation3269 4 ай бұрын
Jinga kweli wewe
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 ай бұрын
Tatoo nyingi ni dalili y a matatizo psychologically😢😢
@SunnahAmry
@SunnahAmry 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@OckendenMkandawire
@OckendenMkandawire 13 сағат бұрын
Sio kweli, Tatoo ni urembo kama kutoboa. SIKIO
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Najifunza kitu sisi tulokuwa nawatoto wetu mbali
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 5 ай бұрын
Aongee na kiswahili
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 ай бұрын
Laser inafuta ila bei kibao 😮😮
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Mama nimama jamani tuwaheshimu
@NuruChaula
@NuruChaula Жыл бұрын
Anaongea sana anaboa mpka MtangazAji anamkatisha ila Nampenda 💞
@samchris1914
@samchris1914 Жыл бұрын
Kabisa anajihoji mwenyewe
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 5 ай бұрын
​@@samchris1914anayo mengi sana ya kueleza kosa lake liko wapi
@aotv7786
@aotv7786 8 күн бұрын
Muhoji na muhojiwa ni yupi anatakiwa kuongea sana? Chuki inatibaaa lakini
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 5 ай бұрын
Km msaudhi vile😮
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Ай бұрын
Mwenyewe akili anakuelewa sana
@NuruChaula
@NuruChaula Жыл бұрын
Daaaah zambi pole yake😭😭😭😭😭madawa ayaaaa
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 5 ай бұрын
Tootouu ishirini mmmmmmh hatari kubwa
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 5 ай бұрын
Hatari yake ni Nini?
@kassimuramadhani1341
@kassimuramadhani1341 11 ай бұрын
Uongoooooo
@aishaarusha894
@aishaarusha894 5 ай бұрын
Wewe tunataka yako ya ukweli
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
BIG ANNOUNCEMENT | THE WAJESUS FAMILY
47:21
THE WAJESUS FAMILY
Рет қаралды 59 М.
MADAWA
9:09
Joti TV
Рет қаралды 499 М.
NAVUTA DAWA ZA KULEVYA NA BABA YANGU MZAZI TUOKOENI NA MATESO HAYA
25:23
KUNGWI DUME: KUJAMBA KWA UKE
29:38
Ibrah Thedon
Рет қаралды 44 М.
NURU SHORTFILM
23:18
Irene Uwoya
Рет қаралды 444 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН