Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar

  Рет қаралды 8,304

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

“Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki itendeke waliofanya hivi wachunguzwe, ni kweli kifo kipo lakini sio cha namna hii…”
Hii ni kauli ya Saada Ramadhan Mwendwa mama mzazi wa Ramadhan Idd Shaaban (48) akianza kusimulia jinsi mwanaye alivyochukuliwa na watu waliojitambulisha ni askari wakidai wanakwenda kufanya mahojiano naye lakini aliokotwa akiwa amefariki dunia eneo la Mbuzini Kijichi Unguja.
Kwa kipindi cha hivi karibuni matukio ya watu kutekwa, kupigwa, kuumizwa na kuuawa yameshika kasi kwa upande wa Tanzania Bara, hata hivyo kwa Zanzibar hayajawahi kusikika.
Akizungumza na Mwananchi kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Richard Mchomvu bila kufafanua zaidi amesema wanaendelea na upelelezi wa tukio hilo na ukikamilika zitatolewa taarifa zaidi.
Soma zaidi katika tovuti ya Mwananchi
Video na Hamis Mniha

Пікірлер: 93
@Nassib-h5k
@Nassib-h5k 10 сағат бұрын
Alafu tunafuraia ya Palestine Israel na Lebanon hatujui na huku kwetu yamefika
@PendoMatemba
@PendoMatemba 10 сағат бұрын
Mama pole sana, hata ukilipwa mwanao umemkosa, wameshaidhulumu nafsi yake,, soma albadiri
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 3 сағат бұрын
Pole haisadii tuchukue hatua
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 10 сағат бұрын
Usiombe yakukute sikia tu kwa wengine polisi polisi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 11 сағат бұрын
Allahu akibarr. Nzanzibar nao wasiyojulikana wapo😭😭😭Allahu akibarr hu mtihani Allah atustiliwajawake🤲
@AGM19697
@AGM19697 2 сағат бұрын
Wenzetu wa ZNZ walikuwa wanatubeza kwa yanayotokea kwetu huku wamesahau wao nao ni sehemu ya kwetu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 11 сағат бұрын
Pole mama Allah akupe subra inauma 😭😭😭
@salyali7807
@salyali7807 10 сағат бұрын
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun .. police si walisema yupo nae baadae ataachiwa? Hii inaonyesha dhahir kama ni polisi na serikali 100% inamkono wake hapo
@keithapeter7854
@keithapeter7854 11 сағат бұрын
Jamani maisha haya tunakoenda nayo Tz ni hatari Sana
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 11 сағат бұрын
Inna lilah waina ilah rajiuun
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 9 сағат бұрын
HIVI WASOMA ABADIL HAWAPO SIKU HIZI .KWANINI HIVI
@flm1530
@flm1530 2 сағат бұрын
Shetan hawez muua shetan mwenzake
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 сағат бұрын
Wote wapigaji tu hadi albadil za mchongo
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 10 минут бұрын
Mashehe wengi ccm
@salyali7807
@salyali7807 10 сағат бұрын
Jamani mukiitwa na police musikubali kwenda peke yenu ... chukua wakili usiwafuate hakikisha unakwenda na wakili wako... Hasbiyallah waneemal wakeel ndio neema tulizoambiwa zinakuja hizo
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 3 сағат бұрын
Inategemea kama huyu marehemu,hakuondoka peke yake bali alienda na rafiki yake lakini ndio alishushwa garini,nadhani tubadilike kitabia na matendo. Ila tukumbuke nafsi hii haitoenda bure dhambi yake.
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 10 сағат бұрын
This is too much..
@PendoMatemba
@PendoMatemba 10 сағат бұрын
Someni albadiri
@PendoMatemba
@PendoMatemba 10 сағат бұрын
Someni albadiri
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 10 сағат бұрын
Allah Akbar 😢😢
@festohaule9716
@festohaule9716 3 сағат бұрын
Mimi Watoto watakuwa wakulima tu...Kazi ni nyingi ila kazi ya polisi ni laana kabisa!!!!!
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro Сағат бұрын
Una uhakika Gani waliomchukua ni askari polisi?
@festohaule9716
@festohaule9716 Сағат бұрын
@@suleimanjokoro Ni wapi nimesema hivo!!! Nimesema kazi ya polisi ni laana ....Unamatatizo gani!!!
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 10 сағат бұрын
Mungu awalaani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 сағат бұрын
Jamani kila kona watu wanauwawa eti maasksri ninini hiki
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 10 сағат бұрын
Thuluma zina mwisho wake..
@dianaleo6067
@dianaleo6067 27 минут бұрын
Haya sasa yamehamia Zanzibar. Walioandamana kupinga haya mauaji na utekaji mkawaona wachochezi na wavunja amani. Leo kwangu kesho kwako. Hii nchi hatuko salama 😢
@ZainaRashid-t3m
@ZainaRashid-t3m Сағат бұрын
Tu nakwenda wapi jamani nyie polisi kwa nini mnatuambia tusichukue sheria mkononi lkn kumbe nyie ndio mnaoongoza kuuwa? Mungu atawaadhibu hapa duniani mama pole Allah atakulipia
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 11 сағат бұрын
Pole saaana.
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 9 сағат бұрын
Sasa mama hujui jeshi letu la polisi? Yan wamchukue wamuue wamtupe alafu uwape kazi wachunguze najua ina uma ila hakuna uchunguz apo mana kina sok mzee med na wengne bado uchunguz wauaji wanajichunguxa dereva boda unampa kz yakutunga sheria ya usalam barabarn mh
@RukiaSalum-n4m
@RukiaSalum-n4m 6 сағат бұрын
Pole sana mama huko yamefika kweli hatuna jisi mungu aingilie kati
@RonaldoJr-h1o
@RonaldoJr-h1o 40 минут бұрын
Chadema wakiandamana kupinga vitenda vya ukatili vinavyofanywa na police na wasiojulimana kuteka raia na kuwauwa ati serekali mnawakamata na kuzuia maandamano yao kwaivo tunaenda wapi
@VisentJohn-r3r
@VisentJohn-r3r 10 сағат бұрын
zanziba,bara nuwalewale to
@Khadiga-qz6qv
@Khadiga-qz6qv Сағат бұрын
Mtihani wallah kama ndo maisha yanakwenda ivi asaivi kitu kidogo unakufa ukipotea unakutwa waiting ukipotea unaokotwa maiti
@PendoMatemba
@PendoMatemba 10 сағат бұрын
Poleni
@wilsonyeza8202
@wilsonyeza8202 5 сағат бұрын
Aya maisha police police mungu yupo
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 6 сағат бұрын
Mutatumaliza jamani😢😢😢
@dignakanje4508
@dignakanje4508 7 сағат бұрын
Tunawakati magumu sana jmn.Hii Dunia inamengi hkuna anaeamini mungu ypo.Yaan binadamu wamekuwa watu wakatili sana.
@lazaroletion
@lazaroletion 2 сағат бұрын
Hii ndo habari ya ukweli lakini limesababisha mfungiwe 😢😢😢
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Сағат бұрын
Peole sana mama m.mungu atalipa lakini kwa Serikali hiyo haitafanya chochote
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 сағат бұрын
Hayo kila siku watu wanakufa ktk vituo vya polisi znz hakuna polisi znz polisi kwa ajili kuwalinda viongozi hapo hakuna uchunguzi kumtoa lkn Allah yupo waliouwa pamoja na Rais mwinyi atajibu huko kwenye haki yy ni masool ya raia wake
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi Сағат бұрын
Hii nchi tumefka maali pabaya ndugu zangu mnaweza kuona kama adithi kwa sababu mnayaskia kwa mtu mwingne hii atali sana
@AbdallahEji
@AbdallahEji 9 сағат бұрын
polis hao
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 10 сағат бұрын
Hivi pole zinatibu hili tatizo ..au ndo ule usemi imeshakuwa jama RIP poleni sana ndo suluhu
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 9 сағат бұрын
Poleni😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮 speechless
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 15 минут бұрын
Hilo ni jambo baya sana. Hata kama iweje lkn sio kutoa Nafsi ambayo haijauwa au kusababisha kifo.
@hammyboyjr4693
@hammyboyjr4693 11 сағат бұрын
Tumeshavuka maji sio ila mama akiambiwa ukweli anasema drama sio
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 28 минут бұрын
Kumbe na huko mambo yameanza tulijua bara tuu ndio hufa sisimizi 😂😂
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 сағат бұрын
Katekwa na polisi na bado u na repot polisi nani atamchunguza mwenzie sasa
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 16 минут бұрын
Cheka sana kama unajiskia lkn simulia sana Ila usiombe yakukute yan inauma mfano hamna😢😢😢😢😢dah
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 9 сағат бұрын
Tunakosa lift kwa Bara Bara kwa Upuuzi wao
@muzneali4747
@muzneali4747 8 сағат бұрын
Ninachoshangaa KWANINI WATU hawarekodi visa kama HIVI WAKATI MTU anachukuliwa KWANINI WATU hawachukui namba za GARI?? INGEKUWA NI mambo ya Ufuska KESHO yake INGEKUWA kwenye mitandao
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 9 сағат бұрын
Dah !
@hajimaftaha3272
@hajimaftaha3272 2 сағат бұрын
Maskini nchi yangu! Mimi nashauri turudishe mifumo ya zamani magari yote ya umma yawekewe maandishi na askari wavae sare wakati wa ukamataji kama ilivyo kwa trafc. Siyo busana askari aliyevaa kiraia kupita mitaani na silaha, maana inaweza kutoa mwanya kwa watu wasio wema kujifanya askari na kulichafua jeshi letu.
@winifridakigingachacha3412
@winifridakigingachacha3412 Сағат бұрын
Duuh....😭😭😭😭🙆‍♂️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♂️
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Сағат бұрын
Poliso wa wauwaji watoka wapi na alabi wanatokea wap mungu tulehem Ii ndo vita vya chini Kwa chini
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 9 сағат бұрын
Innalillah wainan lillah rajoun
@MakameMufadhil
@MakameMufadhil 32 минут бұрын
Pole mm
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 15 минут бұрын
Akina mbowe mliwaona wachochezi Na mauaji kuyaita poropaganda Haya sasa em tuone tunakoelekea
@HassanHassan-sn5cj
@HassanHassan-sn5cj 6 сағат бұрын
Serikali inapenda haki itaratilia msijali wa tz.!!!!!!!???!!!!
@Azikiwe-qi6jd
@Azikiwe-qi6jd 10 сағат бұрын
Afro cinema continue shortly hoooh
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 27 минут бұрын
Hao ni wasijulikana bhana wa medy kibao hawajapatikana na wengineo ivyo cku izi kawaida tuu msijali ndio maisha
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 11 минут бұрын
Mitano tena kwa mwinyi na samia
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr Сағат бұрын
Viumbe kwa nini jamani😢
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 сағат бұрын
Mauaji yanaendelea afu wanasema eti hata nchi nyingine mauaji yapo et😢
@chidampiri1012
@chidampiri1012 Сағат бұрын
Hadi sasa wananchi hatujapewa majibu
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 22 минут бұрын
Jamani mkiitwa Napoli's kwanini mnaenda tu kama wajinga pigen hata kelele watu wajae
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 3 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Innalilahi wainna ilayhi Rajiun
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 10 сағат бұрын
Haya bhana
@ElinahStephano
@ElinahStephano 11 сағат бұрын
Duu 😢
@AllyhHassani
@AllyhHassani 6 сағат бұрын
Jamani hivi ni kitu gani hichi
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Сағат бұрын
Wameua tena wayekaji wauliwe hazarani,
@MussaBakar-p2p
@MussaBakar-p2p 10 сағат бұрын
Duuu jamani
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 4 сағат бұрын
Nahisi kuna kikundi cha watu kina tumia kivuli cha jeshi la polisi kufanya mauaji halafu lawama ziangukie polisi na wao wawe salama wakifurahia mauaji yao, ni mawazo yangu tu
@AGM19697
@AGM19697 2 сағат бұрын
Inawezekana, na kama ni kweli mbona muda unaenda hawatafutwi? Maana naamini nawawezi kukosekana
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 2 сағат бұрын
@@AGM19697 hapo ndipo kwenye kitendawili, hapo jeshi la polisi na usalama wa taifa wangeungana kuuchimbua huu mtandao maana Kila tukiamka habari ndiyo hizi hizi, nahisi kuna kitu kipo si bure
@lazaroletion
@lazaroletion 2 сағат бұрын
Jiulize icho kikundi kina nguvu kuliko jeshi la polisi ama jeshi, mbona hawakamatwi??? Majibu ni
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 2 сағат бұрын
@@lazaroletion inawezekana na ndiyo maana nikauhisi ni mtandao mkubwa, maana mtandao huundwa na watu wa taasisi nyingi, usikute taarifa zinawafika walengwa kabla ya kutekelezwa, hii inahitaji umakini mkubwa kuujua mtandao huu, Ila ni mtihani mkubwa uliotukumba
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 сағат бұрын
Swali ni je?? Wana nguvu gani hadi washindwe kukamatwa?? Bado shida ipo polisi mpk suluhu ipatikane
@AmedeusMbanda-gh4rj
@AmedeusMbanda-gh4rj 11 сағат бұрын
🙆🙆🙆😭😭
@magallahramadhani8762
@magallahramadhani8762 11 сағат бұрын
KIFO NI KIFO TU
@bahatielias6443
@bahatielias6443 10 сағат бұрын
Sauti ya kiongozi mmoja halafu mkuu kuliko mhimili mwingine
@evamlay8997
@evamlay8997 10 сағат бұрын
Mtalipa kwa riba
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 18 минут бұрын
.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 сағат бұрын
Huyo ameuawawa ni wenyewe kw wenyewe Chadema
@bahatielias6443
@bahatielias6443 10 сағат бұрын
Aiseee
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 10 сағат бұрын
Kwaiyo chadema imeenda kumhoji na kumuua duu, wewe ni punguani wa AKILI utakuwa unashida kichwani
@Azikiwe-qi6jd
@Azikiwe-qi6jd 10 сағат бұрын
Ujinga kama unleta kichuchefu
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 10 сағат бұрын
Wewe ni mpumbavu kabisaaa
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 10 сағат бұрын
​@@boniphacesululu5428Ww nawe mimi sio shabiki wa siasa lkn kwa hili hapana kwahiyo chadema walienda kumhoji police??. Police ndiyo waliomuua.
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 24 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 21 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Baadhi ya waandamananyi wafanikiwa kupenya na kufika mpaka Ikulu.
3:28
AJINYONGA KISA KAMARI YA 'AVIATOR', MAJIRANI WAFUNGUKA
2:27
Mwananchi Digital
Рет қаралды 455
GREEN CARD LOTTERY KUANZA RASMI LEO | UPO TAYARI?
1:02:07
EBM SWAHILI
Рет қаралды 1,7 М.
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 24 МЛН