UCHAMBUZI: FAHAMU KILICHOJIFICHA VITA YA ISRAEL VS IRAN, JE ISRAEL ITAJIBU MASHAMBULIZI?

  Рет қаралды 13,195

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
VIDEO NA AMMARI MASIMBA
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Пікірлер: 38
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Hao maahoga wa israel wanauwa wasio na hatia watoto na wanawake lakin iran yy anapiga maeneo ya kijeshi
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Ай бұрын
Hujui unachokifahamu
@BonifasiMichaer
@BonifasiMichaer Ай бұрын
Kweli tatizo October 7
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
TATIZO NI PALE TAIFA TEULE LILIPOANZISHWA 1948 ok😢😢😢😢😢😢😢
@jumaciza461
@jumaciza461 Ай бұрын
Mlikimbilia ku sema bila kusubiri wachambuzi wakubwa wengi kuichambua
@bashakhamis5563
@bashakhamis5563 Ай бұрын
Mchambuzi wa hovyoo licha ya kuwa Israel anauwa civilians lakin na yy Ana chawa vizur tu naona Acha uongo mbuzi kipara weee
@Jaguar-jg5sp
@Jaguar-jg5sp Ай бұрын
Hakuna mnachojuwa yani hamjuwi chochote wasengelema,,
@Mku-wa-waku1
@Mku-wa-waku1 Ай бұрын
ongeeni na siyasa za tanzania piya
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Ай бұрын
Hujui kuandika?
@RojaRojas-o7g
@RojaRojas-o7g Ай бұрын
WWE SIKUELEWI SABABU WWE TIM ISRAEL ONGEA KITU KIMEONEKANA
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Iran anangu zaidi ya israel,marekani anamjua vizur wajemi.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Ай бұрын
@@jumamussantuiche shule ni muhimu Dana I see
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Ай бұрын
Mmedanganywa na bbc alaf mnaleta uchambuz wa kifala ham jui kuchambua
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu Ай бұрын
Basi wape matembele wachambue.
@MuhammadShariff-ji9ye
@MuhammadShariff-ji9ye Ай бұрын
Sasa wewe unatuletea picha za makombora zinavo shuka kama mvua Kisha unatwambia kwamba mengi yamezuiliwa wewe kweli nimchambuzi nakama hajaumia kwanini anasema atalipiza kisasi semeni ukweli wacheni kupotosha watu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Uzuri work done=0 Makombora Israel kayazuia
@ReyzDon
@ReyzDon Ай бұрын
Haya yote yalikuwa yalisha pangwa Israel alikuwa anatafuta sababu tu ya kuishambulia vinu Vya nuclear Vya Iran ndio kitu kilichokuwa kinasubiriwa
@andrewsifuna5673
@andrewsifuna5673 Ай бұрын
Iran Haina Vinu via nuclear
@ReyzDon
@ReyzDon Ай бұрын
@@andrewsifuna5673 sio kweli kuwa Iran haina vinu Vya nuclear fatilia ndio Nn chanzo Hiyo vita
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp Ай бұрын
Na nafasi hii Israel hawezi kukubali kuipoteza sababu Iran imekuwa ikitumiia Hamas na Hizboullah kuihujumu Israel na sasa imejitokeza yenyewe na kuanza mashambulizi, Jana Marekani imeonya Israel kutoshambulia nuclear reactors za Iran ili kuepusha maafa makubwa Ila Kwa Israel hizo ndio zitakuwa target pamoja na sehemu za uzalishaji mafuta na tusubiri.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Hamna jipya inaonekana hamjui kincho endelea mnaegemea upande mmoja tunawaacha mubaki wenyewe
@onesmomathew1821
@onesmomathew1821 Ай бұрын
Wa
@abuubekaabeid9870
@abuubekaabeid9870 Ай бұрын
Mbona SNS wametuma Taarifa mumefungia kwa Siku 30😅😅😅
@johnmwaisunga2339
@johnmwaisunga2339 Ай бұрын
Tafuteni watu Sahihi Kwa mda kubwa kama hii, hii Ni Mada yaulimwengu hivyo tunahitahi watu wenye taarifa nyingi ambazo zinatoa majibu kwenye maswali yaliyokosa majibu
@ferouzhamis6282
@ferouzhamis6282 Ай бұрын
Mmarekani mjanja sana ila, huwa awezi kupigana kutokea nchini kwake kwa kuhofia usalma wa raia wake na miundo mbinu yake ila israel kayakanyaga hata kama atashambulia Iran lkn bado ataharibiwa miundo mbinu yake hata km ni kwa asilimia gani. Lkn niseme tu mchambuzi wetu huyu hana data ni shabiki kama shabiki wa yanga tu.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Picha zimezagaa zikimuonyesha neta nyahu akikimbia kwenye nyumba alioko kujiokoa na mashambuli ya iran
@anjelinawiliam5415
@anjelinawiliam5415 Ай бұрын
Umechambua vyema
@bashakhamis5563
@bashakhamis5563 Ай бұрын
Huyu sio mchambuzi mjinga tu maana Ana interest na Israel ndege 20 za kisasa za Israel ziliaangamizwa Acha uongo kichogo
@gleadchitela4334
@gleadchitela4334 Ай бұрын
Chambua wewe bac
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Nyie mnajidangnya kwamba israel wamezuia hiyo mifumo yenyewe imeshambuliwa mpaka sasa nyie mnachambua hapo hamjui kinacho endelea
@pastorjameswatersoflifechu1227
@pastorjameswatersoflifechu1227 Ай бұрын
Master , ukweli unabaki palepale, Israel nitaifa lenye nguvu kivita. Hawa watu nivichwa.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Pastor naweza kukubaliana na wewe lakin tusisahau kwamba hizo taarifa za kwamba israel wana nguvu ya kivita hao hao ndio waliotuaminisha kwamba wana nguvu lakin kuna maswali mm najiuliza kama kweli uhalisia uko kama wanavyotuambia mbona hawa wanaotuambia wana nguvu kuliko yyte hapa chini ya jua mbona hawajawahi kushinda vita yoyote na haya makundi t na mpaka sasa wameshindwa kutimiza malengo ya kuingia vitani moja likiwa ni kuwakomboa mateka na kuimaliza hamas na wananchi wamekimbia israel na leo hii picha zinamuonyesha neta nyahu akikimbia kutoka kwenye nyumba yake wakati iran akishambulia
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Haya mambo kusema nchi ina uwezo kuliko nyingine anayo marekani lakin kwenye uhalisia wa uwanja wa vita hawako kama wanavyojitangaza urusi huyu hapa marekani kashamshindwa na marekani huyu anatuambia yeye hakuna wa kumtisha chini ya jua na huku alishindwa vita na vietinam kiukweli wanavyituaminisha na walivyo ni vitu viwili tofauti tena hata sisi watanzania tuna uwezo wa kivita pengine kwazidi wao na huo ndio ukweli tqnzania ni namba moja duniani kwenye upande fulani hv wa kivita kuliko hata marekani
@DuuSaid
@DuuSaid Ай бұрын
Kwa mujibu wa roket zilizo rushwa zimepitiliza na kuonekana kwamba hawawezi kujilinda Mana wangetaka kupiga majengo waliyo yapitia kuyawacha wangeuwa watu wengi Sana ila ilikua sio lengo lao kuuwa raiya .ivi Kama ulinzi mkali kweli wasingeweza kupita hata kwenye Yale majengo waliyo yapitia .lazima wachambuzi mutafakari😂😂😂
@anjelinawiliam5415
@anjelinawiliam5415 Ай бұрын
Wewe kichwa kizito kuelea mabomu yalifika lakini hayajafanya kazi kama bomu yalishuka kama mzigo
@DuuSaid
@DuuSaid Ай бұрын
@@anjelinawiliam5415 .Kama hayajafika unalipa kisasi kipi au unataka kushusha tu Kama yeye😎
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 7 МЛН
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,2 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 68 МЛН
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 65 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 10 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
PATER BEEK, FREEMASON, CIA DAN KUDETA 65
11:57
Indonesia Insider
Рет қаралды 19 М.
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН