Thanks a lot (you and the whole team behind) for sharing your knowledge with us. I hope more Tanzanians can wake up and start learning. God bless you all!
@johwilly87232 жыл бұрын
kweli wewe ni mchumi, nimeelewa sana leo, kumbe Tanzania tuna wasomi aisee.
@mikaayo10 Жыл бұрын
Tunaenda ngazi nyingine saaa ❤ asante sana
@Thonythomas Жыл бұрын
Information ni kitu cha muhimu sana mkuu
@privanuskatinhila1473Ай бұрын
Asante sana kwa Elimu hii muhimu kwa zama hizi za uwekezaji. Imenifungulia fursa pana kuelimisha na kuwekeza
@onesmomwakaje27173 жыл бұрын
Ubarikiwe Mkuu, Elimu nzuri sana na imefafanunuliwa kitaalamu sana Be blessed
@imaniseba2 жыл бұрын
God bless you...Very insightful knowledge
@bonifaceidindil792 Жыл бұрын
Ahsante sana kwa Elimu hii.
@jacquelineshoo78593 жыл бұрын
Asante sana mwalimu...somo zuri sana
@gessanabuu99 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mkufunz mzur sana. Mim nauliza ukinunua bond Kwa 101% , bid anapataje faida?
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
Asante sana nimehamsika Inshaallah namie nitenda kuwekeza huko❤❤❤
@creykulumula102 жыл бұрын
Very insightful and great session.
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Nice
@Thatscene2024 Жыл бұрын
Sasa apo unapo mfananisha UTT na BONDS haipo sawa kumbuka UTT anampokea mteja mwenye Tsh 10000 Nyie bonds ni 1M nakurndelea..kubgekuwa na option ya chini hata kama ya kufanania na treasure bills watu wangevutika. MAIN POINT WAAMBIE WATU WAJAZE MZIGO UTT WAKIWA NA MITAJI YA KUTOSHA WAJE DIRECT INTO BOND..
@komboratz Жыл бұрын
UTT mfuko gani
@athumanirugami42303 жыл бұрын
Ahsante brother
@moseskizondo58882 жыл бұрын
Mwalimu nilikuwa na swali moja umesema kwamba unapokuwa umenunua bond kwa bei ya punguza kwa maana ya chini ya 100% na baada ya mataokeo ya huo mnada ikawa waliopata ni wale wa at per na premium peke je ile pesa yako iliyoweka itarudshwa au ndo itakuwa imepotea?
@ZachariaMbonge5 ай бұрын
Tusaidie
@idrisaramadhan82743 жыл бұрын
Tunaomba Mawasiliano yako. 🤗
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Lawrence Mlaki anapatikana kwa namba 0763600556
@sherianabdul13542 жыл бұрын
Mi ninayo.sasa nataka kukopa .nifanyaje?
@MariaMathew-l7z4 ай бұрын
Nafatilia video zako kuna kitu najifunza
@johwilly87232 жыл бұрын
naomba kuuliza, kwa mfano nimewekeza mwaka huu million 2, mwakan naweza kuongeza tena pesa kwenye ile million 2 ya mwanzo au mpaka niBID tena kwenye mnada mwingine?
@sajuckdabrother41197 ай бұрын
That is the problems when it comes iterms of terminalogies
@royalmirage20052 жыл бұрын
Office zako zipo wapi
@nataliamhina95833 жыл бұрын
Asante kwa elimu🙏🙏
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Karibu Natalia, Usisahau ku like, comment, subscribe na kushare na wengine.
@edwardpeter85692 жыл бұрын
Ed naomba namba yako kaka
@EdmundMunyagi2 жыл бұрын
0755518289
@angelmsafiri3306 Жыл бұрын
@@EdmundMunyaginaomba maelezo zaidi
@EdmundMunyagi Жыл бұрын
@@angelmsafiri3306 nitafute kwa 0755518289
@catherinemzurikwao32652 жыл бұрын
Elimu nzuri kwa watanzania wenye nia ya kujua uwekezaji. Naomba kujua tafuatayo (1) kwa hiyo hizo bonds, nikitaka kununua at primary level ( mnada ukitangazwa) siruhusiwi kwenda ku- bid personally? Ni lazima nimtumie dalali? (Broker)? (2)Halafu pia, je kama nikimtumia dalali ni lazima nilipe hizo hela ninazo bid kwake kabla ya mnada, (as premium, at par au discount rate) kwa broker au ni mimi ndio naenda nazo mikononi, au inakuaje hapo? Na huyo dalali, ananicharge kiasi gani ili anihudumie? (Kuanzia process ya kubid mpaka kufunguliwa sijui account!!? ambayo ulisema hata bank yangu wanaweza kunisaidia?
@amenmushi42402 жыл бұрын
Ziko kila wakati
@ramadhanshiganza49263 жыл бұрын
Mkuu bado Sijaelewa.
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Ni vyema ukauliza swali ili uelezewe zaidi.
@godfrey2793 жыл бұрын
Je serikali ikisitisha Mambo ya bond itakuwaje?
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Then utawekeza kwenye fursa zingine. Lakini sio rahisi kwa Serikali kufanya hivyo maana inahitaji hizo pesa kuendesha miradi mbali mbali kwenye nchi.
@kelvinmsokwa6365 Жыл бұрын
Kwenye Bonds unaweza uka compound interest ? Usi withdraw au interest ni lazima uichukue? So far Great content and very informative . Bingo!
@ramadhanshiganza49263 жыл бұрын
Mkuu NAWEZA PATA VITABU VYAKE?
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Hana vitabu kwa sasa. Lakini ni kuangalia kwenye bookshops kama kuna vitabu vya Hati Fungani.
@godfrey2793 жыл бұрын
Ukiuza bond yako, utarudishiwa pesa yako yote?
@EdmundMunyagi3 жыл бұрын
Ndio unapata pesa yako uliyoweka. Kama una Bond ya 100m na kipindi chako kikiisha unapata pesa yako kama ilivyo.
@imtiazvisram88003 жыл бұрын
Amekuuliza uki uza bond. May be after 3 years. Labda una hitaji hela je utapata principal amount ?
@BIDIIKATUMAINI6 ай бұрын
Ndyo@@imtiazvisram8800
@ussiussi3413Ай бұрын
@@imtiazvisram8800; Yeah, kwa kawaida hela itarudi zaidi ya milioni 100, kwa maana kwenye secondary market bid yoyote ya bond huwa na price at premium tendency(yaani zaidi ya bei uliyonuunulia mwanzoni).