No video

KABLA YA KUNUNUA HISA ZINGATIA MAMBO HAYA, FAHAMU JINSI YA KUWEKEZA KWENYE MASOKO YA MITAJI

  Рет қаралды 14,659

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Zipo mbinu nyingi ambazo Watu huzitumia kupata pesa na kujikwamua kiuchumi lakini pia zipo mbinu nyingi za ushindi ambazo Watu huzichangamkia na kutoboa kimaisha.
Miongoni mwa njia zilizowafanya wengi wakatoboa ni mbinu ya kununua hisa kwenye Kampuni mbalimbali na kuchangamkia gawio lakini wengi hawajui jinsi ya kununua hisa au kupata ushauri kuhusu ununuaji wa hisa.
@AyoTV_ leo itembelea kampuni ya Wakala wa soko la hisa ya Zan Securities LTD (@zansecurities) ili kupata majibu kuhusu jinsi ya kuwekeza kwenye masoko ya mitaji, kununua hisa na kuhusu hati fungani.
Kwa maelezo zaidi unaweza kufika katika ofisini zetu zilizopo jengo la VIVA Tower (1st Floor) jijini Dar es Salaam, tupigie kwa simu namba +255 755 898 425/+255222103433 au tembelea website yetu www.zansec.co.tz

Пікірлер: 20
@rogath_silayo
@rogath_silayo 5 ай бұрын
Excellent, but Kama mtu hajui kusoma income statement, balance sheet na the statement of cash flow itakuwa ngumu Sana kuingia kwenye stock market.
@ManMediaTz
@ManMediaTz 5 ай бұрын
swali zuri sana
@pharmacistantykamaleki5642
@pharmacistantykamaleki5642 3 ай бұрын
Mawasiliano yapo hapo dear kwenye screen
@mohdkidarasa
@mohdkidarasa 14 минут бұрын
Tunaomba no za simu
@amourmtungo623
@amourmtungo623 5 ай бұрын
Mimi nafkiri Tanzania mbali ya hii Zan security hakuna elimu ya fedha ya kutosha kwenye vyombo vya habari na mabenki. Watu wanahitaji kujua faida, hasara, vigezo na kima cha kuanza kuweka fedha kwenye soko, benki au kampuni. Jambo muhimu zaidi ya yote wateja wapewe elimu ya wazi bila kificho mapato na matumizi au tuseme faida au hasara ya kupanda na kushuka sarafu kimasoko. Asante kwa kushea
@raymondmgeni9953
@raymondmgeni9953 Ай бұрын
Kwa sasa elimu imeendelea kukua na kuna majukwaa mengi ya madalali wa soko wanatoa elimu kupitia makundi sogozi/Whatsapp groups. Pia BOT kwa kushirikiana na CMG wamezindua kampeni ya kufikia jamii kuhusu masuala ya kifedha kwa kampeni ya UJANJA NI PESA. Lingine BOT imeendelea kuwaandaa wakufunzi mbalimbali wa masuala ya kifedha kama "CFE"- Certified Financial Educators". Uelekeo sio mbaya huko tuendako
@ElizabethManko-t9u
@ElizabethManko-t9u Ай бұрын
Asante kwa somo nzuri je mnawasaidiaje watu waliopo nje ya mkoa wa Dar es salaam
@raymondmgeni9953
@raymondmgeni9953 Ай бұрын
Njia rahisi unaweza kuwasiliana nao moja kwa moja kwa njia ya barua pepe na uzuri Zan Securities wana kundi sogozi lipo ambapo wawekezaji wanapata elimu na msaada mbalimbali wa masuala ya uwekezaji katika soko la hisa
@AnnaMkenga-iu9db
@AnnaMkenga-iu9db 3 ай бұрын
Asante mno
@MichaelElias-gb5wk
@MichaelElias-gb5wk 23 күн бұрын
Hisa unaweza kuanzia shingp
@HidayaElias
@HidayaElias 20 күн бұрын
Fungueni ofisi dodoma ili tupate huduma kwa ukaribu zaidi
@aliabdallaali
@aliabdallaali 24 күн бұрын
Mimi naitwa Ali hiyo Afisi ya Zansec iko wapi hapa Zanzibar
@abbumwaipopo2940
@abbumwaipopo2940 5 ай бұрын
Mawasiliano please
@edsonalphonce
@edsonalphonce 5 ай бұрын
🎓🎓
@rogath_silayo
@rogath_silayo 5 ай бұрын
SoMo zuri Sana...ngoja NI save hii video nitakuja kuatafuta hawa.
@raymondmgeni9953
@raymondmgeni9953 Ай бұрын
Ni nzuri sana
@NTEMI4GGENERALSUPPLIER
@NTEMI4GGENERALSUPPLIER Ай бұрын
😅😅😅
@user-is2pj2vq3r
@user-is2pj2vq3r 2 ай бұрын
Vijan tunawekeza kwa mhindi betting
UWEKEZAJI NA MANUFAA YAKE: UTT AMIS WANATOA UFAFANUZI ZAIDI
22:47
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 12 МЛН
Fahamu Kuhusu Soko La Hisa Dar-es-Salaam (DSE)
17:49
DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE T.V
Рет қаралды 1,3 М.
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 55 М.
SHAJARA || Uwekezaji katika soko la Hisa
19:29
Azam TV
Рет қаралды 2,4 М.
Namna ya Kupata Uhuru wa Kifedha: Hatua 10 Unazopaswa Kufuata
35:13
Elimika Mtandaoni
Рет қаралды 2,4 М.
JINSI YA KUWEKEZA NA UTT By Pauline Kasilati
14:57
Edmund Munyagi
Рет қаралды 13 М.
BUILDING WEALTH WITH REAL ESTATE by Larry Lyayuka
33:03
Edmund Munyagi
Рет қаралды 6 М.
Uwekezaji wa Hisa | Elimu ya Awali | Ezekiel Kuhoga | Mindsetting Initiative
21:12
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 12 МЛН