ANISET BUTATI___NIOMBEE (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 42,170

Aniset Butati

Aniset Butati

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@alamusictz
@alamusictz 3 ай бұрын
Nimekuwa wakwanza ku views hii video, like zangu plz
@edmoh_kenya
@edmoh_kenya 3 ай бұрын
What a blessing? Any Kenyans here? 🇰🇪
@gracelinda1460
@gracelinda1460 3 ай бұрын
Me always here support my brother Aniset butati
@aviosilona316
@aviosilona316 2 ай бұрын
Here we are 🎉🎉🎉🎉❤
@LucyNjoki-x7s
@LucyNjoki-x7s 2 ай бұрын
This song has come at my right time God bless you bro
@anneodeke3640
@anneodeke3640 2 ай бұрын
Amen
@egbertcharles
@egbertcharles 2 ай бұрын
Tuliokuwa tuna subilia video ya huu wimbo gonga like. Kaka Aniset Butati naomba uwe unaweka English Subtitles kwenye nyimbo zako baadhi ya wafuasi wako tunakufatilia kutoka nchi nyingine tulionao wanatamani kuelewa unacho kiimba. Nakufatilia kutokea China Mungu akubariki Kaka Aniset Butati.
@WambaliEliphaz
@WambaliEliphaz 2 ай бұрын
Niko Burundi ,napenda nyimbo zako asilimia kubwa !!!nyimbo zako zinanisaidia kabisa,que la grâce de Dieu soit avec vous
@dorrisnduki4237
@dorrisnduki4237 2 ай бұрын
Nimejua kwamba kucheleweshwa sio kunyimwa
@ShedrackEstomih-ol9sr
@ShedrackEstomih-ol9sr 3 ай бұрын
Nitainuka tena kwa kishindo 😢😢😢😢😢😢
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 2 ай бұрын
Amen mtumishi keep it up 🇰🇪
@agnessjonas9357
@agnessjonas9357 2 ай бұрын
Nimebarikiwa na hu wimbo barikiwa sana my brother 🥰🥰
@aviosilona316
@aviosilona316 2 ай бұрын
From your status here I am blessings sister ❤
@evahedsonofficial1062
@evahedsonofficial1062 3 ай бұрын
Nitainuka tena
@kaitasicoster-jl6hi
@kaitasicoster-jl6hi Ай бұрын
Huyu mtumishi yuko na Mungu na Mungu ambariki sana kwa kazi zake na amzidishie ukuu na unyenyekevu. The song has blessed me so much
@aviosilona316
@aviosilona316 2 ай бұрын
Wimbo wakutia mtu matumaini, yeyote anasoma hii comment, jitie nguvu ukijua shida hazina mizizi, unaehitaji ndoa, mwenye ndoa ina shida, wale wanahitaji karo, wale wanahitaji kodi Mungu awafungulie milango za mbinguni maombi yote mmeomba kwa siri Mungu awajibu kwa wazi... Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 pia sisi Mungu akumbuke nchi yetu tunahitaji amani na watoto wetu wapate ajira🎉🎉🎉❤
@EDITHACHINGUILE
@EDITHACHINGUILE 2 ай бұрын
Amen
@DuwayezuAgness
@DuwayezuAgness 2 ай бұрын
Halelua mugu we nimuzuri san❤❤❤❤❤❤❤❤ Saudia Arabia mutoto wamburudi nagupeda san nyimbo zako zinanifurahisha sana
@GIBSONESTON527-v1g
@GIBSONESTON527-v1g 3 ай бұрын
Daaah!!! Mpaka nakosa chakuandika Mungu akubariki Sana kaka yaani nabarikiwa/nimebalikiwa Sana na huu wimbo 🎉🎉🎉🎉
@Johnson_9k
@Johnson_9k 3 ай бұрын
You are my favorite my brother, my God bless you richly 🙏🙏
@JohnNgayeOfficial
@JohnNgayeOfficial 2 ай бұрын
Amen balikiwa Sana Mtumishi🎉🎉🎉🎉🎉
@NoahNyirenda-p5q
@NoahNyirenda-p5q 2 ай бұрын
Nyimbo hii Yani Jenga sana mbalikiwe mtumishi wa MUNGU
@isaya.m.mwakapesa9808
@isaya.m.mwakapesa9808 3 ай бұрын
Kaka Aniset safi kabisa MUNGU Akuinue viwango vingine tena
@cheddyphannison5084
@cheddyphannison5084 3 ай бұрын
What an awesome song?Glory be to God.God bless you bro.##kenyan boy
@tausimwinuka
@tausimwinuka 3 ай бұрын
🎉🎉Don't give up😢
@rebeccatoo
@rebeccatoo 3 ай бұрын
Source of encouragement God bless you as you continue reaching souls for Christ, I love your songs 100%
@kellybonface4039
@kellybonface4039 3 ай бұрын
Ahsante sana Ndugu Aniseti Butati, Mungu azidi kukuneemesha kwa kazi nzuri. #KweliNitainukaTenaHuuSioMwisho❤🙏
@princessmercy7372
@princessmercy7372 3 ай бұрын
So powerful💪 may God bless you man of God... Keep the fire 🔥burning
@BIJAEZEKIELIshara
@BIJAEZEKIELIshara 3 ай бұрын
Wimbo ni muzuri Sana ubarikiwe mutumishi 🕺💃💪🙏 wewe ni kiboko kweli 🤗
@danielngome8
@danielngome8 3 ай бұрын
Wow that's awesome nitainuka Tena am blessed
@judithmwakilasa4290
@judithmwakilasa4290 2 ай бұрын
Huu sio mwisho nitainuka tena Barikiwa mtumishi wa Mungu
@evangelistaimenk4573
@evangelistaimenk4573 2 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana!!! Like zangu hapa za watu wa Rwanda.
@revbramwel9573
@revbramwel9573 3 ай бұрын
Amen mtu wa mungu barikiwa sana kasa kabisa kiongozi
@komanyadotto5617
@komanyadotto5617 2 ай бұрын
Hongeraa sana mtu wa Mungu. Kwa kaz njema ya Baraka sana🎉🎉🎉
@JacklineKamonya-s1c
@JacklineKamonya-s1c 3 ай бұрын
Huu wimbo ni wangu nitainuka tena kwa sasa hakuna msaidizi ila mungu tu,,,naaamini🙏🙏
@witnesshamisi728
@witnesshamisi728 2 ай бұрын
Amen wimbo wakutia moyo barikiwa Sana 😭😭🙏🙏🙏🏾
@josephngara4275
@josephngara4275 3 ай бұрын
Hii nyimbo imenilenga kwa situation napitia sasa😭😭ila najua mungu ataniwezesha nienuke tena🙏🙏
@anneodeke3640
@anneodeke3640 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@MamanEstherEsther
@MamanEstherEsther 2 ай бұрын
Nabarikiwa sana naizi nyimbo kwa kweli kama vile uli niimbia mimi🙏🙏
@metrinemetilda8564
@metrinemetilda8564 2 ай бұрын
Amen wimbo wakutia moyo,barikiwa sana
@AokoObwanda
@AokoObwanda 3 ай бұрын
Nice song indeed keep it up we love you and may god bless you,
@raphaelymsilu6691
@raphaelymsilu6691 2 ай бұрын
Amen nyimbo ina ujumbe mzuri mtumishi wa mungu 🙏
@TumepewaFungo-wx9rw
@TumepewaFungo-wx9rw 3 ай бұрын
My favorite songs ❤❤, kaka Mungu akuinue zaidi 🙌
@JustusKimeli
@JustusKimeli 3 ай бұрын
Napenda Sana nyimbo zako butati toka kenya
@EzéchielMughenderwa
@EzéchielMughenderwa 17 күн бұрын
Ubarikiwe mtumichi wa mungu, mungu akupe nguvu
@emanherman9658
@emanherman9658 3 ай бұрын
Hongera sana Aniseti ,,wimbo mzuri sana wa faraja hakika nitainuka tena mungu akubariki sana 🎉🎉🎉🎉❤
@MlongechaBaraka-ow7kw
@MlongechaBaraka-ow7kw 7 күн бұрын
Amina mbarikiwe na Bwana na kama unamini popote ulipo gonga like God you bless always🙏👭🤝❤️🤝👬🙏
@paulinanduku2748
@paulinanduku2748 3 ай бұрын
Nice song,much love from Kenya
@joelymhega9969
@joelymhega9969 3 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana
@chanilasumbuko
@chanilasumbuko 2 ай бұрын
Nice 🎉 good work 👏 be blessed more 🙌
@josphatmogaka8668
@josphatmogaka8668 3 ай бұрын
This song has hit me harder with my current situation 😢😢. Kweli sio mwisho wangu🙏
@Lucyiminza
@Lucyiminza 3 ай бұрын
Wow 👌 thank you for the words of encouragement 🙏 nitainuka tena ,be blessed sana.
@BOIZAHMGAYA
@BOIZAHMGAYA 3 ай бұрын
Duuuuuuh barikiwe saaana mtumish Mungu akutangulie katika kazi zingine
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka nenda zaidi kimataifaa❤❤
@hollinessmasanju6518
@hollinessmasanju6518 3 ай бұрын
Hongera sana yani kiukweli inabariki....❤
@raphaeljohn4544
@raphaeljohn4544 2 ай бұрын
Mungu akubariki Sana kaka kazi yako njema sana
@methodichristiani615
@methodichristiani615 3 ай бұрын
Hongera kazi ni nzuri kaka
@hellenchepkemoi7730
@hellenchepkemoi7730 3 ай бұрын
Waow!! powerful one 👏👏👏🙏
@Charlesezekielimaganga
@Charlesezekielimaganga 3 ай бұрын
Hongera Sana kaka Kazi nzuri
@musaliaeugene7975
@musaliaeugene7975 2 ай бұрын
Kaka nyimbo zako zinatubariki sana huku Kenya 🇰🇪
@MosesNtegeye
@MosesNtegeye 3 күн бұрын
Mungu akubalik ndug aniseti
@Chrismasongs-z7n
@Chrismasongs-z7n 3 ай бұрын
Ameeni
@BlessahSaloon
@BlessahSaloon 3 ай бұрын
Nakubali ❤❤kazi juu ya kazi
@AssumpterMshamaAssumpterM
@AssumpterMshamaAssumpterM 3 ай бұрын
Ubarikiwe Butati, Mungu aendelee kukufunulia
@freddybarakasolo
@freddybarakasolo 2 ай бұрын
Mtu wa MUNGU songa mbele
@davidmugisa
@davidmugisa 2 ай бұрын
Aksante sana. MUNGU akubariki.
@stellahchessi4171
@stellahchessi4171 3 ай бұрын
Ni kweli huu sio mwisho ,nitainuka tena
@Bongonew
@Bongonew Ай бұрын
Mtumishi hongera kwa huduma ila jaribu kabadili ujumbe itfakali hyo kwa jicho la tatu
@Hosianaamosi
@Hosianaamosi 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana ubarikiwe mtumishi
@joelymhega9969
@joelymhega9969 3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana kamanda ubarikiwe sana asanteee Desau Mwaweza kupitia ww Kwa njia ya Linki Wimbo umenibariki sana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@eliud_sanya
@eliud_sanya 3 ай бұрын
Safi sana Mtumishi
@ObbyAlpha
@ObbyAlpha 3 ай бұрын
Niombee 🧎🏾‍➡️
@victoirebatechi113
@victoirebatechi113 3 ай бұрын
asante kwa wimbo mtumishi🙏 Mungu aku inuwe
@thentuzumusic
@thentuzumusic 3 ай бұрын
Kweli
@sephaniaadamu728
@sephaniaadamu728 2 ай бұрын
Pamoja sana kaka nakubali kazi zako
@jonathanvyaranse2668
@jonathanvyaranse2668 3 ай бұрын
Balikiwa sana kaka Kaz nzuli mno inainua Iman
@g.moselnamaswa3858
@g.moselnamaswa3858 3 ай бұрын
Kazi nzuri,ujumbe na matendo ya baraka.
@josephsaid6958
@josephsaid6958 20 күн бұрын
Hakika maombi ni SILAHA kwakila mtu ❤
@moto-junior
@moto-junior 3 ай бұрын
Wow Beauryfu
@kbdmsafi_tz8094
@kbdmsafi_tz8094 3 ай бұрын
Wimbo Mkali Mzuriii
@gumimosile2389
@gumimosile2389 3 ай бұрын
Hongera sana kaka mkubwa❤❤❤
@gumimosile2389
@gumimosile2389 3 ай бұрын
Kaka natamani sana tufanye collabo mtumishi
@oswardnombo8062
@oswardnombo8062 2 ай бұрын
Kaz nzuri,barikiwa
@hellenkemunto5357
@hellenkemunto5357 2 ай бұрын
Amen Amen Amen In JESUS NAME nitainuka tena
@emanuelsinkonde
@emanuelsinkonde 3 ай бұрын
Nimeguswa sana mtumishi barikiwa sana
@Moiibrahim
@Moiibrahim 3 ай бұрын
🙏🙏
@AssumpterMshamaAssumpterM
@AssumpterMshamaAssumpterM 3 ай бұрын
Nitainuka tena kwa kishindo, Mungu wangu anatenda
@ventusriobaofficial
@ventusriobaofficial 2 ай бұрын
Kaka MUNGU akushangaze 🙏🙏🔥🔥🔥
@MukasineBetty-k5g
@MukasineBetty-k5g Ай бұрын
Mungu si yo mwanadumukwel na mimi nirisha wona uwema wake
@DanielNkulu-x8h
@DanielNkulu-x8h 2 ай бұрын
Naipenda iiinimbo sana❤❤❤❤
@Barick2
@Barick2 3 ай бұрын
Amen barikiwa sana
@paulinjohn1819
@paulinjohn1819 3 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi
@raelmaobe3579
@raelmaobe3579 2 ай бұрын
Wimbo unanitia imani❤❤❤❤❤
@ruthmwasomola655
@ruthmwasomola655 3 ай бұрын
Amen. Haki nita inuka tena
@DivineKwizera-le8or
@DivineKwizera-le8or 28 күн бұрын
Mungu akupe chochote uliemuomba
@UsamboDesire
@UsamboDesire 2 ай бұрын
Amen Amen Amen mungu akubariki
@erastolucas3210
@erastolucas3210 3 ай бұрын
Barikiwa sana kaka
@janesdarabe8495
@janesdarabe8495 2 ай бұрын
Mungu akubarik❤❤❤😊
@AbokooMagella
@AbokooMagella Ай бұрын
umbarikiwe sana ❤
@kelvinaudax8287
@kelvinaudax8287 3 ай бұрын
Kazi nzuri kaka
@bugramsafi9873
@bugramsafi9873 3 ай бұрын
Barikiwa sana butati
@MupenziVedaste7
@MupenziVedaste7 Ай бұрын
Niwuhakika mugu anateda à santé anateda
@mr.davisstz-vs9ze
@mr.davisstz-vs9ze 2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@JosephineNthambi
@JosephineNthambi 22 сағат бұрын
Nyimbo .siko na message
@JoyceJulius-r6g
@JoyceJulius-r6g 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 wimbo mzur
@DOUGLASPaipai
@DOUGLASPaipai 3 ай бұрын
Mungu azidi kuinuwa kipaji chako
@marie-noellemunengela4783
@marie-noellemunengela4783 Ай бұрын
Nakupenda Anicet
@isakashega6056
@isakashega6056 3 ай бұрын
Ubalikiwe sana kaka
The Best of Aniset Butati Song 2024
1:18:14
Aniset Butati
Рет қаралды 130 М.
Aniset Butati   Naiona Neema (Official Video)
6:02
Aniset Butati
Рет қаралды 161 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 130 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,4 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Aniset Butati-Fanya njia (Video lyrics) booking +255675197388
5:33
Aniset Butati
Рет қаралды 152 М.
Bony Mwaitege - MWALIMU (Official Music Video)
6:34
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 288 М.
Aniset Butati-NENDA  [ Official video ]
5:24
Aniset Butati
Рет қаралды 387 М.
JAPHET ZABRON - NAWAKUMBUKA (official video)
5:09
Japhet Zabron
Рет қаралды 985 М.
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,7 МЛН
Aniset butati  - sina stress (official video)
4:55
Aniset Butati
Рет қаралды 1,4 МЛН
Aniset Butati ___SIRI (official audio)
6:05
Aniset Butati
Рет қаралды 27 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 130 МЛН