Aniset Butati, tunakupenda na tutakusupport. Much love from Kenya✨✨👏🏽
@debilindasalamaofficial15733 жыл бұрын
Sina strss naomba like yakoo Basi Kama umeupenda wimbo huu
@edithahenerico31743 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@nowadianizigiyimana47893 жыл бұрын
shut it
@sharonillynabiroyo19492 жыл бұрын
Amen
@JackisonPite Жыл бұрын
😢😮bj;vbiiviuvhuhh😅hgi😢!ybyyyyb ya😢😢😢😢😢😢😢
@JustineImboya-cr5vu10 ай бұрын
❤
@danwanjala2 жыл бұрын
It's a nice song actually but I like yours tesmonies true this song
@DavidMpyongoАй бұрын
Pole sana kwa wimbo umenifariji kweli kabisa
@neemalwitiko43063 жыл бұрын
Mwanangu ni heri uvae shati lililo chakaa kuliko ukavaa suti ukakosea kufunga vifungo Walahi tena sina stress🙏🙏🙏🙏
@gosbertmuta542125 күн бұрын
😅😅😅😅
@perisbeib21263 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏Bado nakumbuka maneno ya mamangu wakati natoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Nakuja 🇸🇦🇸🇦🇸🇦Na sahii natimiza ndoto ya mamangu 😍😍😍😍Kaka Mungu akubariki sana nyimbo zako zanibariki
@johneuticustine71162 жыл бұрын
Amen! Mungu amzidie, I'm fully touched
@nancyshimeremende88503 жыл бұрын
Sina streeesssy kabisa Nina imani na mungu wangu kile kibanda ambacho mamangu anaishi humo ndani niba Plani WA kumjengea Jumba nzuri I believe ntafaulu🙏🙏wasio na stress kwa chochote kile tukimtumainia mungu npeeni like zenyu am from kenya😘😘
@ekaiamoja3155 Жыл бұрын
Sina stress, Nina Imani na uyu Mungu 🙌. Ata kama Leo sijapata Kesho nitapata, sina stress 🥰🥰☺️🤗 🇸🇦🇰🇪🇰🇪 Like ya team Strong please
@gracieykariuki3112 жыл бұрын
no stress kwa mungu namwaminia
@janethisaka39142 жыл бұрын
sina strees kwake bwana ninaimani naye Amen! Wimbo mzri sana unanipa nguvu ya kupambana na maisha na ninaiman pia na mungu wa mbinguni yote yatatimia kwangu aliyonipangia!! Mungu wa mbinguni akubariki zaidi!!!
@puritykarimi_3 жыл бұрын
😭😭😭I love this song. Your songs are super inspiring. #sinastress ❤wapi likes from 🇰🇪
@unique1brand9843 жыл бұрын
Kaka umeandika sanaa
@harrisonmumbe68633 жыл бұрын
No stress when in Christ. When you have him you have everything.
@sharonajode17812 жыл бұрын
Cna stress, nikomungu, na badO nakumbuka shauri la mama
@simonlupogo3407 Жыл бұрын
E 392 Ep 3039
@keegankinyanjui42792 жыл бұрын
Kweli mvumili ula mbifu ,blessing song
@dorcasfred30863 жыл бұрын
Butati barikiwa Sana I used to hear your songs on radio milele nashindwa uyu kijana anaimba vzri Ivo n nani baadaye nikaomoka nikabuy simu na nikakusearch na nikakupata umekuwa wa baraka kwangu kupitia kwa nymbo zko Mungu azdi kukuinua
@mireillekawulo4223 жыл бұрын
Aksanti mungu akubaki
@joelmolo61173 жыл бұрын
Wimbo wa kumbukumb
@carolweche89063 жыл бұрын
Aniset, naomba uje Kenya hakuna stress neema tele
@amoskirui72902 жыл бұрын
Asante,,sana mtumishi,,nimeukuzwa sana na hii nyimbo,,,"Sina Stress"lakini mungu atanipaa tu...
@bikolimananyambele1587 Жыл бұрын
Mungu akuinue home boy unaiburudisha na kuifundisha nafsi yangu!!, na kigoma mungu anatuinua kwa viwango vya kimbingu kwenye gospel unatuwakilisha vyema kaka
@bikolimananyambele1587 Жыл бұрын
Unaweza sana
@juniormussa48353 жыл бұрын
Sina stresses love this song alafu the message and the beat ni fire
@ShauristarThomasi-vk3vo Жыл бұрын
Mungu akubariki
@sarahwamukoya3033 Жыл бұрын
Maisha n magumu ndio lakini Nina Imani na Mungu,such a powerful song kuanzia Leo sina stress chochote kilicho kua kinanipa stress nimeachia Mungu ampiganie🙏
@LucyChugu3 ай бұрын
Butati huwa unakosha xana nakunipa ujasiri mkubwa ktk maisha yng pia kumtumainia mungu
@djbambone17113 жыл бұрын
Good song my big brother tunakupenda uku nchi ya burundi
@marylumumba21233 жыл бұрын
Uinuliwa sana bro, sina stress
@muchinahnicholas3 жыл бұрын
Sina stress pia hapa kenya
@JackySt-c9h13 сағат бұрын
Sina stress...Namwamin Mungu wa mbinguni..
@beyondcookery80643 жыл бұрын
Wimbo huu unanifaa sahi..sante Butati kutukumbusha,sasa sina stress God will take care of my situation
@salomewekesa72093 жыл бұрын
Barikiwa Sana kakangu, hata mimi Sina stress na maisha yangu sababu niko na Yesu
@muhererose30712 жыл бұрын
Amen kwakweli wimbo umenigusa Sana ....amen inuliwa Zaid ndugu na Bwana Mungu
@BrendaChepkirui-k3n4 ай бұрын
Nasipenda sana nyimbo zako kwanza hii Sina stress,may God blessed you
@neemamalecela15633 жыл бұрын
Nyimbo imenitia sana Nguvu....Bro keep going,...Jina la Bwana libarikiwe, 🙏🙏 Hakika kwa Mungu ni no Stress
@Maria-rz1zf26 күн бұрын
Hallelujah Hallelujah yan mpk nmelia iyi nyimbo ...God bro u pastor
@michaelkamtupe19703 жыл бұрын
SINA STRESS NAPAMBANA HUKU MJINI NAJUWA KILE KIBANDA TUTAKIBOMOWA NA TUTAJENGA GOLOFA . UJUMBE HUU SIYO WAKAWAIDA MUNGU AKUTUNZE ZAIDI BUTATI
@JoiceKikunga2 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana, ubarikiwe Sana Aniset, Nami pia Sina stress
@amosnyongesa91602 жыл бұрын
Umeninuwa kiyimani, kazi zuri kwamungu ubarikiwe
@bienfaithangikastindu60433 жыл бұрын
Aniseti Butati kwakeli nakupenda sana , mungu aendeleye kuku weke pumzi kwasabatu unanifanya kujuwa mungu . Niko jiyani kwenda tanzani kukuona. 2025 lazima tuonane, from Congo
@Banjoro2543 жыл бұрын
Mungu akubariki Kaka mkubwa
@neemamwanja98763 жыл бұрын
Hongera Sana kwa huduma napenda Sana kazi yako Mungu aendelee kukuinua
@bettyewoi85863 жыл бұрын
Hakika kwa Yesu Sina stress. how inspiring it is❤️❤️
@karugipeter35273 жыл бұрын
Sijaona mwenye haki ameachwa haki
@lydiaumali7173 Жыл бұрын
It's 2023 and this remains my favourite song...#sinaStress❤
Kaka ujumbe nmzur sana vidio kwartiyake iko vizur lakini kila vidio unashuti paspoti Dah!
@mwambietv76143 жыл бұрын
Leo hapa Kapunga imba ile ya wataulizana mtumishi itanibariki sanaaaa
@isaacsunguman.76353 жыл бұрын
Ameeen,,maisha ni magumu ndio lakini Nina Imani na mungu# amesema kwanza utafute ufalme wake na hayo mengine yote atayazidisha,, from Kenya,, tunakuombea mungu akiinue kipaji,🙏🙏
@OFFICIALDASSAYSONMUSIC3 жыл бұрын
Nabarikiwa na wimbo huu kaka mung akutunzeee na akufikisheee mbaliiii
@saromemaneno3553 жыл бұрын
Hakika mungu aendelee kukuinua kiimani hakika umenibariki kwake bwana mie sina stress
@kelvinmpinga57033 жыл бұрын
Nakuamini, kabla ya kusikiliza najua kuna jambo la Baraka humu.
@dennismwendwa1143 жыл бұрын
Listened to this song for over 10x.....i love it its so inspiring, may God keep lifting you to higher levels
@RichardJonathan-rc6df Жыл бұрын
Barikiwa sana myumish wa mungu nyimbo nzuri sana❤❤❤
@meshacknyaundi4432 Жыл бұрын
2023,..Am I the only visitor I Jerusalem? I join the bandwagon of FAITH..Sina STRESS! Naaminj huyu Munguu
@barakalucas Жыл бұрын
hongera butat kila nikiuckia huu wimbo unanifanya nikaze but bila kukata tamaa
@jackidi2743 жыл бұрын
Najuwa na mimi utanipa mungu wangu🙏🙌🙌🙌
@fidelkisoi93883 жыл бұрын
Kwake bwana sina stress kazi nitapata
@godwincharles51952 жыл бұрын
Sina stress najua Mungu atanifungulia milango.
@annebarasa88292 жыл бұрын
Thanks 👍 kurepresent youths kimjua mungu tunakusupport
@MaryMutunga-r3u6 ай бұрын
Kwake bwana sina stress..naamini atatenda..be blessed ❤
@ekiliangoliga644 Жыл бұрын
Sina stress ipo siku Mungu wangu atanibariki
@fistonlevi98303 жыл бұрын
Asante sana ndugu aniset wimbo wako unatiya moyo sana Mungu akuzidishiye ujizi
@christopherbyabusha7572 жыл бұрын
Mungu akuinuwe viwango vingine Kaka yangu Aniseti Butati
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Mama Asante Sanaa kwausia wako bora nivae shat lililochakaa kuriko kuvaa suti niliyokosea kufunga vifungo♥️♥️♥️♥️sina stress 🙏
@MercyTurgut2 ай бұрын
Sina stress .I know one day nitajengea mamangu.....God quide me to the right direction
@mwanduelizabeth22822 жыл бұрын
Kwakee, kwake Bwana sina stress, amen, amen hakika nimebalikiwa sana🙏
@laprophetesseeliebibi6273 жыл бұрын
Ubarikiwe na mungu eko 💯🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳💯Jesus
@officialjamhurizachariagos27973 жыл бұрын
Sawa kijaana Hongera Sana Mungu akubariki sana
@izaknanyaro14113 жыл бұрын
Umenikumbusha kuendelea kumpenda mamaangu zaidi
@dismasmushi87992 жыл бұрын
Mama cha kwanza umshike Sana Mungu Mengine yote atakutendea Kama nimajumba nami nitajenga tu Mungu akubaliki mtumishi
@sabinalucy24742 жыл бұрын
Kwake bwana hakuna stress....much love from kenya
@sporahdaniel4970 Жыл бұрын
Sina stress kwa yesu.AMINA🙏🙏
@neemachomo91013 жыл бұрын
It's very inspirational song,of course sina stress in Jesus name,ubarikiwe servant
@kokombwana58653 жыл бұрын
Sina stress Mangoli (Mama) ,acha nitafute ufalme wa mbinguni kwanza
@ceciliabahati99783 жыл бұрын
Sina stress in Jesus name namuamini Mungu wa mbinguni
@samwelipaulo4783 жыл бұрын
Niheri kuvaa shati iliyochakaa kuliko kuvaa suti ukakosea kufunga vifungo
@TusekelegeKibona-i5b4 күн бұрын
Nakupenda kaka yang unanigusa
@puttenyanthony92843 жыл бұрын
Hit from home boy God bless you kaka aniset Butati mm napenda ulivoanza kuimba apo mama anapiga cm🔥🔥🔥🔥
@emilylukwiri61603 жыл бұрын
Hakika kwa mungu no stress ubarikiwe sana from Kenya
@gracegasper88332 жыл бұрын
Sina tress mana Mungu yuko upande wang
@titusomondi6993 Жыл бұрын
Kama ni majumba nami nitajenga tu. Amen
@daudimhoha8943 жыл бұрын
Ubalikiwe.sana.kwa.wimbo.huu.mtumishi.wa.mungu
@AnswersfortheEndTimes3 жыл бұрын
God 🙏 you good messages.mr& Mrs Margaret Alston Nakuru kenya
@abrahammunywoki52133 жыл бұрын
AMEN - SINA STRESS niko naye MUNGU WA MBINGUNI kwa Imani.
@kornelbaraka44062 жыл бұрын
Naipenda sana hii inanipa ngungu ya kupambana
@jamesonungaofficial7433 жыл бұрын
That song inanigusa Sana Mungu akulinde
@agneskarisa42223 жыл бұрын
nimeipenda saana mama,mama bado napambana
@andreamndeme15393 жыл бұрын
WOWWW GONJA LIKE AMBAO HATUNA STRESS
@tununehemia5623 жыл бұрын
Barikiwa sana mpendwa wangu Mungu akuinue viwango vya juu zaidi
@nyalinyali34093 жыл бұрын
Hii kubwa zaidi Sina stress Yeye ni mkuuu
@WinifridaWilliam-t4r Жыл бұрын
Mtumish Wa mungu ubarikiwe kwa kazi nzur
@meggymuthoni58623 жыл бұрын
Sina stress mie.. Ubarikiwe sana kaka
@janethkilonzi42603 жыл бұрын
Mmmh jaman mama uliko nisikie uliko napambana kuna sku hicho kibanda tutabomoa tujenga nyumba nzur!! Sina stres..l love my mother!!..
@eunicemoraa83583 жыл бұрын
Amen🙏🙏Hadi nimekumbka wosia wa mama 😭😭😢😢mungu azidi kukuinua zaidi
@fatumarajabu11143 жыл бұрын
Ni wimbo ninao upenda ukiimbwa nakumbuka mbali
@levinamakokha63582 жыл бұрын
Hata mm Sina stress, watoto nazaa huu mwaka, najenga huu mwaka, mama bado na pambana
@MercyLihavi27 күн бұрын
Sina stress nashukuru mtumishi
@denisisilukala26283 жыл бұрын
Ata mimi nakukubali sana kaka kalibu na kwetu sumbawanga Laela mkoa wa lukwa mungu yupo najua utafika tu
@kaumbuisolo61193 жыл бұрын
Wow kaka u r touching me so much wah mama my love 💕💕 forever...from Kenya