Kazi nzur saaana ndugu yangu nawapenda saaana natamani siku moja niwaone jicho kwa jicho nimegunduwa ndio Maana tz mna Amani sabab mnamtumikia MUNGU Zaid oooh MUNGU wa tz kumbuka inchi yet Dr Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@komandowayesu36422 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi. Kazi nzuri sana 🔥
@YoumanKarenzo-mq2if Жыл бұрын
Guhanzura vyanse nisuka Ubu ningorane gusa.pambana hapo hapo Imana izohezagira
@philipomgovano Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka Aniseti, wimbo unanitia nguvu sana
@samsonwilson45512 жыл бұрын
Ww ni mmoja kati ya wanamuziki wa injili ninaowakubali huwa unaimba hasa Yale yanayowasibu vijana
@EvelyneMpawenimana-t8f2 ай бұрын
Balikiwa sana muiimbaji butati sisi warundi tunafurahishwa nakusikia nyimbo zako❤❤❤❤❤
@ezluckvoice11102 жыл бұрын
Good song Mtumishi wa Mungu Butati BWANA akunongoze katika njia hiyo hiyo
@j.amtotowanyuki19702 жыл бұрын
Saf Sana mwalimu wangu ..lazima twend viwango vya juu
@japhethdauson98162 жыл бұрын
Amia Amina saana Mwenyezi Mungu azidi kukustawisha. Na pia niombi kwako nakuomba nikushilikishe wimbo wangu naweza kukupataje! Mm Ni Mjolo wa Bwana Japheth Dauson, Ni Lindi mjini Ila Ni mzawa wa Kigoma, mkowa wa Uvinza
@evaristamwinuka64942 жыл бұрын
Mungu aliyezifanya mbingu na nchi na kukupa hiyo huduma ya uimbaji, akubariki, akutunze na kukuinua kwa viwango vya juu kwa utukufu wa Jina lake, Amen.
@juliealex72142 жыл бұрын
Nitaenda viwango vya juu kwa jina la Yesu Ameen🙏🙏❤
@butatimusicproduction21292 жыл бұрын
Amen amen
@pastoremmanuel1232 жыл бұрын
In the name of Jesus Christ
@shakilarobati98542 жыл бұрын
Take over naisbir kwa hamu, lkn mpka mtumishi BOAZ GWANKO atamke neno
@Boaz-Gwanko2 жыл бұрын
Sawa mtumishi natamka neno juu yako,Mwaka huu ukawe mwaka wa baraka namafanikio tele juu yako,Mungu akabariki kila mahali uingiapo na utakapo,kila safari yako na iwe safari ya mafanikio,naya nena haya chini ya kibali cha cha jina la Yesu christo aliye hai Amen. #Pokea.
@tumaininaboth31022 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi! I will take over in Jesus name
@heriethinnocent32832 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaaaa mtumishi wa Mungu
@zakariakayanda87322 жыл бұрын
Hatimae Jambo limekua Jambo kilicho Baki ni Ku TAKE OVER tu 🔥🔥🔥🔥🔥
@butatimusicproduction21292 жыл бұрын
Kayanda🙌
@agnessmayagila81192 жыл бұрын
Waaao kazi nzuri Sana wimbo wa kutia moyo MUNGU AKUBARIKI SANA KWAAJILI YAKE
@AnnaYotham.2 жыл бұрын
Uinuliwe zaidi ya hapa🔥🔥🔥🔥
@millicentakinyi55042 жыл бұрын
Mungu niwajabu sana🙏
@alfredtarakwa37402 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu utaenda mbali umekua wa Msaada kwetu nyimbo n njia moja y wokovu🙏🙏
@kiondojuma5798 Жыл бұрын
Take over napenda sana jamaniiii❤❤❤❤ gonga like hp kama naww unaipenda take over🧐🧐🧐🥰🥰🥰
@lovenessrichard9969 Жыл бұрын
I will take over this year#2023...nitakwenda viwango vya juu kwa jina lipitalo majina Yesuuuu
@erickmeshac31352 жыл бұрын
💕💕🥰🥰❤️ wimbo una mguso sana
@eneafelix38312 жыл бұрын
KAZI nzuri sana MUNGU amuinue viwango vya juu zaidi🙏🙏🙏
@butatv56352 жыл бұрын
Now no time to waste . Wimbo uko tayari 🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@jameskazyoba50492 жыл бұрын
Nimependaaa sanaaa!!! Iko njemaaaaa
@michaelramadhan94662 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥👏🏾👏🏾👏🏾 nitaenda viwango vya juu
@yvonnejoyce2 жыл бұрын
Amen this year am taking over in the name of Jesus please God give me strength and guide me 🙏 what a lovely song nimeipenda and may God bless you 🙏
@butatimusicproduction21292 жыл бұрын
Amen amen
@jonasimwanzi36322 жыл бұрын
Yani aya ulio yaimba ndio napitia wananiambia niludi nyumbani mh namwamini mungu nitaenda viwango vya juu 🙏🙏🙏🧎🧎🧎
@sarahwamukoya3033 Жыл бұрын
Wooow!wimbo wako unanitia nguvu ninapoona nimefika mwisho,I know I Will take over in Jesus name amen 🙏
@MarthaChetambe Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu azidi kukuinua amen,
@ObbyAlpha2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana bro
@eglajebichii4543 Жыл бұрын
For the sake of my parents, family, siblings,my boyfriend, my village and my self please God take me to the next level. From the bondage of poverty iam talking my family to cannan in Jesus name 🙏🙏.
@aronmvembezi43752 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi,inatuhusu wote hiii.
@telesiamwalongo89882 жыл бұрын
Nikweli nitaenda viwango vigine aminaa🙏🙏🥰🙏
@nevasonwiston5494 Жыл бұрын
Vyukuhanzura vyakutane, nugaruke umuhila ufate nshuka......So touching and blessing song❤
@gjghhjukfh80942 жыл бұрын
God blessing you mutumishi wamungu kirasiku nikitizama nyimbozako lazma nikue imani
@bettykageha932311 ай бұрын
I know God will take over in this year 2024......with a good job,good husband,, He will wipe away my tears,,, i declare and decree Gods blessings over my life..........sitalia tena,sitateseka tena in Jesus name AMENN.............
@oscarzeze64522 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana Unanibariki mno
@pastormussa5792 жыл бұрын
Nitaenda viwango vya juu barikiwa sana
@Eddobarber2 жыл бұрын
Mwanangu sana hongera sana ngoja nitakucheki
@niyomwungerebonnide28212 жыл бұрын
Wimbo huu ume nibaliki saaaaana Umenigusa saana
@dixminderjngao10562 жыл бұрын
Yesu nipe maisha kwa ajiri ya wadogo zangu
@rechelabisay28732 жыл бұрын
Hatimae Take over 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@samuelmwanaaaningu2 жыл бұрын
Amina, Amina na Amina, nzuri sana, barikiwa sana ndugu
@sarahmutheu23642 жыл бұрын
Wow my church's theme this year is revival and overtaking... Hallelujah we are taking over in JESUS MIGHTY NAME AMEN 🙏 Love from 🇰🇪🇰🇪
@janethmwihumbo12892 жыл бұрын
Muimbaji usiye na waa mungu akubariki wimbo wafaraja kubwa
@jonathanvyaranse26682 жыл бұрын
Balikiwa Sana mtumishi kazi yako ina tupa nguvu
@thomasasongo94042 жыл бұрын
Nabalikiwa sana na nyimbo zako mtumishi butati
@butatv69612 жыл бұрын
Hatimae mambo yameiva kesho mapema sanaaaaaaaaaaaaa
@AnnaYotham.2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana, wimbo unatia Moyo sana 🙏🙏🔥🔥
@rachelmulunda37442 жыл бұрын
Amen,nitaenda viwango vya juu in Jesus name
@merygadie76302 жыл бұрын
Mungu akukumbuke na akusaidie ajibu haja ya moyo eako
@yusuphmshamu6962 жыл бұрын
Top! top! top! Be blessed man of God.
@Anna-vc3it2 жыл бұрын
Naipenda sana hii Nyimbo Ameeni safiii Ameni
@johnsonmsigwa33292 жыл бұрын
Balikia sana song nzuri sana 👍
@herveasimani-gv3kj Жыл бұрын
Wimbo tamu sana,pamoja n'a mungu tuta faulu
@ericsuccessor4702 жыл бұрын
May God lifty you up maneno kama hama niambiwa Sana. Naamini MUNGU anatupeleka viwango vya juu
@selinakenes33612 жыл бұрын
Safi Kazi nzuri sana nime pokea
@kenblaqofficial14892 жыл бұрын
Ninaimani I will takeover na kuenda viwango vya juu sana
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amen
@willydodo48252 жыл бұрын
❤❤❤ nugaruke ufate isuka 👏🏼👏🏼👏🏼😅😅😅😅
@benedictsakali254 Жыл бұрын
Mungu akupeleke kwa viwango vya Juu
@rechelabisay28732 жыл бұрын
Take over Nitaenda Viwango Vya juu
@felistamwashibanda7764 Жыл бұрын
Butati umenitia moyo sana Mungu akubariki
@felixbagorikunda57742 жыл бұрын
Ndagushimiye kuri iy'indirimbo nziza wongeye kuturirimbira.Hezagigwa butati
@johnmizunguofficial2 жыл бұрын
KAZI ni motoooooo nimebariwa Sana kaka butat
@DerickNdonge2 жыл бұрын
Barikiwe sana kaka.kazi nzuri
@juhudimaheka74462 жыл бұрын
Huu wimbo unafundisha sana ahsante kwa ujumbe huu @anisetbutat
@danfordmahumi2322 жыл бұрын
I will take over. I believe on you Jesus.
@chocolatevivian8302 жыл бұрын
I will take over in Jesus mighty name 🙏 🙏
@chrispinmuhuna62052 жыл бұрын
Kweli baba 🙌 🙏 ❤ ♥ 💖
@fabianmainchanyangachika50172 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mtumishi wa Mungu.
@lukasmwashiuya96462 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi kwa ujumbe mzuli
@t.a.ggirigalinzihiiringa15302 жыл бұрын
Leo mtumishi tuko hapa kwa mtaa twàsubiri
@sds78312 жыл бұрын
I prophesy to my life and my family according this song that He will take over and i will keep going high level in Jesus name
@butatimusicproduction21292 жыл бұрын
Amen amen
@manyeselajrpeter6639 Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka hakika ume take over
@patriciamuthui80812 жыл бұрын
Be blessed good song bro
@isaacpsalm45842 жыл бұрын
ubalikiwe Kaka massegi nzuri
@zakayokilumile2 жыл бұрын
Nyimbo ni nzr
@evodiusjohntz60322 жыл бұрын
Nitaenda viwango vya juu
@samuellameke64102 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@evaristefwan2 жыл бұрын
Mutumishi mungu akutchunge ,tena ubarikiwe sana 🇨🇩
@ArletteEspérance4 ай бұрын
Ubarikiwe Saaaaaaaaana mtumishi wa mungu 1:39
@joelysaison81482 жыл бұрын
naenda viwango vya juu 👐
@rechelabisay28732 жыл бұрын
Take over 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fredymethode82512 жыл бұрын
Amen I'll taking over in Jesus name🙏🙏🙏💯💯💯God bless you My favorite
@rashtanzania2 жыл бұрын
Viwango vya juu
@butatv69612 жыл бұрын
Nitakuwa wa kwanza bila shaka
@EliakimuCharles12 жыл бұрын
Na iwe hivyo, Mungu akubariki sana Mtumishi
@enockkabika93812 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka
@ronaldmwashumbe30712 жыл бұрын
I'll take over,nitaenda viwango vya juu.nice song 🎶🙌🙌bro Butati. mob love from Kenya 🇰🇪