Mbarikiwe sana huu wimbo umenigusa sana haujawahi kuchuja kuusikiliza natamani muda wowote ni usikize na kuutafakari ujumbe mzito ulioko ndani yake 🙏🙏🙏🙏
@LucianaKitongaАй бұрын
Neno la MUNGU ni Hakika ni AMINAA na Kweli🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@catiehpapaa1452 жыл бұрын
Ni kitu gani kikutenge na upendo wa Mungu?? Hakuna🙏
@clintonjohn436922 күн бұрын
Mgogo kwenye hii nyimbo ameonesha ukubwa ❤
@adamfifi95842 жыл бұрын
Hakika Mungu kawatuma, taranta ambayo Mungu awapa hakika mnaitumia vizuri, Mungu awabariki sana sana.
@gracemoraa92742 жыл бұрын
Just from TikTok have been searching for it finally nimepata message nothing can separate us from God's love be blessed
@zara.smithwick2 жыл бұрын
What a powerful song? Can't stop playing...Hakika neno lake Mungu ni Kweli na Amina. Nimemuona Hakika amenishangaza Kweli! 😭🙏😭🙏💝...more grace in your ministry 🙏🙏🙏
@abelmkuvasa40442 жыл бұрын
Chaguo lilikuwa sawa sawa bwana Alex$mgogo👍🙏
@DanielSelasini3 ай бұрын
Mungu awabariki Sana kwa huu wimbo unanibariki Sana Kaka zangu
@annicetnzisabira24522 ай бұрын
Big up sana guys
@clareamakoe45163 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana mungu akutie nguvu 🙏 kwa kila jambo🙏🔥🔥🔥🔥🔥
@emmanuelmganda1036 Жыл бұрын
Hongerasana mtumishi wa Mungu Kwa mwimbo mzuri na wa Baraka Sana, Mungu azidi kukuinua juu Zaidi .
@sarahwawuda51642 жыл бұрын
Asante Mungu leo nimeupatia huu wimbo nimeutafuta sana kila nikiuona tiktok....Mungu awabariki watumishi wa Mungu
@mariammwito44473 жыл бұрын
Ameen Kaz nzuri
@MerryJastin-u7u9 ай бұрын
Amina kubwaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌👍
@LeahMaloi3 ай бұрын
😭😭😭🙏🙏hakuna jambo gumu lakumshinda
@jaclinefocas46563 жыл бұрын
mbarikuwe sana nyote muwe juu tena juu zaidi
@emmyjoseph4154 Жыл бұрын
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙏🏿 who’s with me 05/8/2023
@FelisterKyalo-y6h10 ай бұрын
Ameahidi hawezi kukuacha wewe.... Kwa kupigwa kwake yesu tumepona tumepona... Akisema imekwisha msalabani tumepona... Wow🎉🎉🎉, wimbo wenye baraka...Amen🙏
@kwizeradavid1696 Жыл бұрын
Nyimbo nzuli saana
@ruthhorombe3441 Жыл бұрын
Nyimbo zako zote nzuli kaka
@lucykiza81563 жыл бұрын
Amina barikiwa sana
@LobatyyRuckas Жыл бұрын
Mungu azidi kuku tumia mtu wa mungu arex aron
@amjedimecod76543 жыл бұрын
Powa kaka
@salesiamtweve16203 жыл бұрын
Amina mbarikiwe Kwa ujumbe mzuri
@bayubahelevis80063 жыл бұрын
Mbalikiwe saana Mungu awazidishiye nguvu
@bellimarwa54543 жыл бұрын
Amina barikiwa kwa ujumbe
@jimmymayunga90702 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi kazi yako ni njema Mungu wa mbinguni akuinie utukufu hadi utukufu
@alinekwizeraofficial76953 жыл бұрын
Hakika MUNGU wetu nimwaminifu nimependa huu ujumbe kaka jikaz pia mungu akutie ngumvu
@ndandafilms37173 жыл бұрын
Injili lazima isonge mbele
@catherineeric79303 жыл бұрын
Pole
@LobatyyRuckas Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mteure wa bwana yesu
@thomasdimme78993 жыл бұрын
Neno la MUngu ni hakika very amazing and healing song
@Priscakihiyo43523 жыл бұрын
Ameeeeeeen ameeeen kubwaaa Mungu awabariki sanaaaaaaaa kazi nzuri sanaaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@salahsadi3908 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana imanuely
@trophywilson72113 жыл бұрын
Sichoki kuangalia kwa kweli ni hakika
@michaelmnyeke95642 жыл бұрын
Ipo good sana nyimbo ubarikiwe sana
@bellimarwa5454 Жыл бұрын
Aminaaaa sana Mungu awabariki sana
@charlskimani58002 жыл бұрын
Nice song it's a blessing,Knew this song from TikTok.
@JeanineCome5 ай бұрын
Balikiwa baba
@zawadimasweto84602 жыл бұрын
Ubarikiwe wimbo ni nzuri Sana unatubariki
@VenanceBiraza3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Mtumishi wa Mungu
@dukeobare75822 жыл бұрын
Amina barikiwa sana watumishi wa mungu nyi ni baraka kwangu tu sana
@jescahwebo2 жыл бұрын
Mungu n mwaminifu akika
@mikinayokenya86732 жыл бұрын
Neno la Mungu ni kweli Amina 🙏🙏🙏
@sijaliusnyalanga74093 жыл бұрын
Amina hakuna cha kututenga na mngu
@michaellpeterpeter82523 жыл бұрын
YAANI HUU WIMBO NI MZURI SANA KUPITA KIASI UZURI WA HUU WIMBO HATA UKUSANYE NYIMBO ZOTE ZA CHRISTOPHER MWAHANGILA HAZIWEZI UFIKIA UFIKIA TU
@jamesmuneni3722 жыл бұрын
Really nice,I really love the song ,mungu akupe hekima na ujasiri umtukuze milele
@stellananyama5724 Жыл бұрын
My favorite song, barikiwa
@schemnishobora38893 жыл бұрын
Amina kubwa ujumbu mzuri sana
@monicasisya67793 жыл бұрын
Oh,keep on going watu wa Mungu big up nice 👏 🙌
@LeahMaloi6 ай бұрын
🙏🙏💪💪💪 am totally blessed
@bendettorndinda869310 ай бұрын
Thanks Emmanuel God bless you with more blessings songs
@raymonadsaliboko30683 жыл бұрын
Mungu awape nguvu,
@evamakula28502 жыл бұрын
Aminaaa Aminaaa Aminaaa 🙏🙏🙏
@charlzkithuku33826 ай бұрын
So emotional one.. more Grace to you
@samuelelim Жыл бұрын
Mungu akubarik saaan
@rachelkaaya55392 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu Mungu azidi kukuinuwa katika viwango vikubwa mno
@philemonmwamsidu32443 жыл бұрын
Mungu nipulizie pumzi yako tena😭
@danielngogotz80413 жыл бұрын
Nihakika Ni Amina nakweli Wimbo Mzur Sana barikiwa mtumishi
@hamisihemedi3 жыл бұрын
Nice songes🎶🔥
@nijabyamungu37632 жыл бұрын
Ubarikiwe kijana kwa wimbo huu ninakutakia mafanyikio
@SaviBoyi-u6c5 ай бұрын
emeni
@jenifanostress19603 жыл бұрын
Mubarikiwe sna kwel kwa wimbo🙏🙏🙏♥️
@joyjoan6209 Жыл бұрын
Uou😮 us j😅😮😅
@ericgacheru81362 жыл бұрын
So blessing aki
@rahemasulubu70323 жыл бұрын
Amen amen amen ubarikiwe Sana watoto wazuri wa mungu kazi nzuri sana
@johnmwongela77613 жыл бұрын
Amina Amina,barikiweni sana Watumishi wa Mungu
@patrickmasangw20992 жыл бұрын
powerfull song be blessed Ema and Alex
@jumanashon37742 жыл бұрын
Mubarikiwe,wandugu
@fridaernestmkedege9002 жыл бұрын
Je ni kitu gani Emmanuel hujawahi shindwa! Be blessed kaka!
@sibomanaemille787 Жыл бұрын
My brother this wonderful song 🎵 may God bless your heart and soul and protect you AMEN 🙏. 😊
Ni kwel hakuna lakumshinda mungu wetu it's true big up alex
@keraro_sbj2 жыл бұрын
Tik tok brought me here.. the is so sweet!! I love it!!!
@mhojamsafiri22732 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nimebarikiwa sana
@closettenduwimana89903 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Bado nasikiliza tuuu
@gns4383 жыл бұрын
Wimbo huu umenitia nguvu na hata kunifariji sana
@joelkisembo44352 жыл бұрын
Neno langu tu ni Hakika na amina. Tuna imani kwa neno lako.
@jacintaitumo5571 Жыл бұрын
Wimbo wa sifa kweli. Mungu wetu ni mwaminifu. Asante mungu kwa kuonyesha uwepo wako kwa maisha yangu. Huu mwaka mungu nimeuona mkono wangu. Sifa zote ni zako.
@arakazafiesta43792 жыл бұрын
Good song 🎵 👌
@monikamadahamasanja28682 жыл бұрын
Mungu Awabariki Sana mnoo nimebarikiwa na nyimbo hiiiiiiiiiiiii ❤️❤️
@clintonmutisya40703 жыл бұрын
love this song it touches my heart alot....may God uplift you
@safisimkoko19323 жыл бұрын
SAFI mwenyezi MUNGU azidi kuwatumia hakika napata falaja nakuniweka jilani na MUNGU barikiwa sana Amen
@bedigeneyingu16922 жыл бұрын
Psalm 48:14 For this God is our God forever and ever:He will be our guide even unto death (KJV)
@kimombokikoti3463 жыл бұрын
Ameen song kali Sana ukiongezeana sauti nzr ya mtumishi mgogo ni balaaaaa👍👍
@eliviakokumanya74203 жыл бұрын
Barikiwa sana kaz yako njema watumishi
@BGMSINGERS3 жыл бұрын
Amen amen 🙏 Hongera kwa wimbo muzuri na ufunuo🔥🔥🔥
@godelieveniyokwizigirwa25282 жыл бұрын
Courage frère 👍🏼👍🏼
@rosekevin77923 жыл бұрын
Zuri
@gladyscherono23922 жыл бұрын
From tik tok😍😍😍
@jaclinefocas46563 жыл бұрын
jamani mgogo ni zaid ya waimbaji daaa
@bellimarwa54542 жыл бұрын
Amina kubwa
@safalimited3374 Жыл бұрын
love this song...that SA vibe is very smooth
@gidamayshoarajick53992 жыл бұрын
Amen amen..powerful blessing song
@ephraim.stevenmpogazi73713 жыл бұрын
Song imetulia Sana kaka kaza buti Mungu akujaze nguvu kaka wimbo huu umenijaza
@vennyanduko52512 жыл бұрын
Wimbo tamu unikumbuza mbali amen
@winniejeruto82102 жыл бұрын
Mwimbo iko in another level man keep fire 🔥🔥🔥
@viviannemibei49232 жыл бұрын
God bless you. I listen to this song everyday. Love it. “ Nothing is too hard for the Lord indeed.” Amen
@gladysnyachae88162 жыл бұрын
Amen the way i found this song i can't beleafing Alleluya akuna kitu kitatutenga kutoka kwake mungu🙏🙏🙏🙏