Mwenye haki atasitawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni. Zaburi 92:12 booking no +255675197388
Пікірлер: 420
@anisetbutati Жыл бұрын
Nawakaribisha kwa Mara nyingine Tena🙏🙏🙏
@RichardMuteke Жыл бұрын
Nawe tuna kupenda sana💪💪🇨🇩 hapa Congo yaani dah umekuwa maarufu kweli kweli tunakusubiri hapa kwetu naomba watu yote kama tuko pamoja tulete link
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
@@RichardMuteke Butati na Tim yako tayar tumekaribishwa Kongo 😁 tunaenda lini tunaenda staff wote wa BUTATI MUSIC PRODUCTION habaki mtu tunataka kupepea na as😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
@@RichardMuteke Kongo boss tumeitwa usituache @anisetbutati
@butatv6961 Жыл бұрын
Kaka tunakutazama kutokea nyumbani hapa 😁😁😁😁
@butatv6961 Жыл бұрын
Tumesha karibia Kaka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@devphone2964 Жыл бұрын
Kama unamkubali aniseti butati gonga like tako
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Tayar like tumezimwaga hapo
@favouredpriscah4362 Жыл бұрын
Wenye Mungu amewakumbuka kujeni hapa leteni likes
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Amen amen
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Tuko hapa kabisa
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Amen amen
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
@@zakariakayanda8732tuko hapa
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
@@zakariakayanda8732tumekumbukwa na Mungu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🎻🎻🎻🪕🪕🪕🪕🪕🪕
@mercymusee5261 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mm hapa kutoka Kenya wajir
@butatv6961 Жыл бұрын
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@RichardMuteke Жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kama uko pamoja na Sisi kwakumsikiliza butati leta bendera Yako hama yangu ndohii🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@harrietajiambo229 Жыл бұрын
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 hapo ndio kwetu
@RichardMuteke Жыл бұрын
@@harrietajiambo229 nashkulu sana💪💪 nimeamni tuko pamoja
@shangweremiofficial4124 Жыл бұрын
Barikiwa Sana ndugu kwa kuwa nasi
@mahambagislain9618 Жыл бұрын
✍️✍️✍️🇨🇩🇨🇩🪘🎻🎺🙏🇨🇩
@kellybonface4039 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉❤❤❤ Ahsante Mtumishi Butati Kwa kipya kibao tumebarikiwa Mombasa Kenya ❤❤🙏🙏🙏
@gladinessbakari653 Жыл бұрын
Aiseeee mbarikiwee sana Kaz nzuri sana 🎉 wap kak zakaria mbarikiwe san
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Zakaria amesimama vilivyo kwenye verce ya pili hakika Mungu amejibu maombi ya watu wake🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@butatv6961 Жыл бұрын
Hakika kazi ni nzur mno
@butatv6961 Жыл бұрын
@@JosseeNaftari-zg4nf 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@ezrakayagambe5926 Жыл бұрын
Nikwene ndibhuswe ni mana 🙏🙏🙏🙏 Waha gonga like hapa🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🔥🔥🔥🔥
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Shalom shalom wapendwa muda wa kupepea ni saa10
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Ndio tuko hapa tunapepea kwa uweza wa Mungu hakika mmefanya kazi Kubwa hongeren sanaaaaaaaaaaaaaa
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Zakaria vers ya pili umesimama vilivyo hongera sanaaaaaaaaaaaaaa kazi Kubwa kwa Mara nyingine ukiwa na Butati
@butatv6961 Жыл бұрын
Ndio tunapepa hapa kutokea kazuramimba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😅😅😅
@butatv6961 Жыл бұрын
Hongera verc ya pil umeitendea haki sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@ShauristarThomasi-vk3vo Жыл бұрын
Binamu yangu mungu azidi kuwainua juu mpaka watu washangae
@egbertcharles Жыл бұрын
Mungu akubariki Kaka Aniset Butati, Nyimbo zako zinabariki wengi, Nasi tunakuombea kuwa huyu Mungu hunaye Muimbia akakubariki, akajibu sala zako Katika Jina La Yesu. Amina
@PascalJustine-kf9iw Жыл бұрын
Mungu aendelee kukupigania 🎉🎉❤
@emilyjoanmusic8661 Жыл бұрын
Huu wimbo inanibariki Sana, mbingu zinene mema juu ya huduma yako kaka.
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Tunashukuru Sana sana
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@RaymondMadomado Жыл бұрын
Hongera Kaka nimekesha nayo😂
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
😅😅😅😅kama mimi
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Kumbe tupo wengi
@AlexNzioka-Sir Жыл бұрын
Mungu anajibu maombi. Kazi safi sana ANISETI na Zakalia. Mungu azidi kuwapandisha viwango vya Juu zaidi. The song is its just of another level
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Amen amen asante Sana mtu wa Mungu
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Tunashukuru Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AlexNzioka-Sir Жыл бұрын
@@zakariakayanda8732 Amen na karibu sana
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Kabisa na Mungu akijibu maombi kinacho baki ni kupepea tu hakika Wimbo huuu ni baraka nimesikiliza siku mbili mfululizo bila kuweka wimbo mwingine hata Yale ambayo hajajibu Mungu naaamini anaenda kuyajibu na itakua zam yangu ya kupepea kwa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@ViateurGirukwishaka2 күн бұрын
Mheshimiwa aniset ubarikiw san wimbo huu unanifurahish sana parepar eti nangyar kama sababu
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Wangap mnasubir Kama Mimi hapa napepeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@dicksonkorir6882Ай бұрын
I got US Visa and have been playing this song since. Thank you God!
@shangweremiofficial4124 Жыл бұрын
BARIKIWA SANA RAFIKI YANGU NIKIKUMBUKA MAISHA TULIVYOKUWA WOTE SHULE SIO RAHISI HAKIKA MUNGU ANAJIBU KWA KISHINDO THEN TUNAPEPE
@emilyjoanmusic8661 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya tupo , natutaendelea nyimbo zako Butati, Naona nikipepea Kama tai.
@judithmwakilasa42909 ай бұрын
Barikiwa mtumishi ❤💯
@godfreymatikoo Жыл бұрын
Waoo Mungu ajibuye maombi yetu, tunamshukuru saana yeye ametutendea hata ambayo hatukuyaomba 🙏🙏🙏
@kellybonface4039 Жыл бұрын
🎉🎉🎉Karibu Mombasa kenya tucheze PEPEA pamoja mwezi Disemba mwaka huu tafadhali Mtumishi wa Mungu Bwana Aniset Butati 🎉🎉❤❤❤ #Tumebarikiwa sana leo🙏🙏🙏🙏
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
BUTATI MUSIC PRODUCTION wote lazima tufike Mombasa pia naamini Boss hautatuacha @anisetbutati😁😅😅😅
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Tunakuja Mombasa team mzima ya BUTATI MUSIC PRODUCTION kutoka manzese daresalam Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
@@butatimusicproduction2129 😆😆😆😆😆😆adm wa Leo nimesha mjua anapenda safar Sana😆😆😆🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@kellybonface4039 Жыл бұрын
@@zakariakayanda8732 Safari ipo Kwa wote karibuni Mombasa tupepee ndani ya Baraka teletele za Mtumishi Butati mwezi Disemba mwaka huu tafadhali 🙏💖🎊🥳🥰🥰🥰
@kellybonface4039 Жыл бұрын
@@butatimusicproduction2129 karibuni Mombasa tupepee pamoja watu wangu 🙏🙏🙏🙏
@rebeccaseth8779 Жыл бұрын
Kenyans let's gather here for this minister🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@patrickkatana8823 Жыл бұрын
🇰🇪 kenya kenya
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Asanten sana wakenya kwa kutuunga mko watanzania hakika tunashukuru
Tulioisikia wapo radio tukakimbilia hapa like pale👉
@jeffulix Жыл бұрын
Ukweli husemwa huu wimbo ni mzuri hila kuna sehemu hao wadada wamevaa vibaya sanaaa😭😭 nguo za mipasuko km wakristo sio poa wakati mwengine msifanye hivyo na Mungu awabariki 🙏🏽🙏🏽 #injiliYaKristo
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Wangap twangojea hapa
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Tuko wengi tu hapa
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Wengiiii tu
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
@@zakariakayanda8732 😅😅😅😅😅 mzee wa napepea Kama tai
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
@@zakariakayanda8732 mhhhhh sawa😁😅
@ezluckvoice1110 Жыл бұрын
Hii kazi yaani Niraha tupu maana MUNGU Akijibu Nibasi hakuna wakuzuia Nikupepea Tu 🎉🎉🎉🎉🎉
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆kabisa ndugu Mungu akijibu ni kupepea tu ndani ya YESU
Hongera sana ...ma Brothers mmefanya vizuri sanaaaa by MTOTO WA NYUKI🎉
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Amen amen mtoto wa nyuki 🙏🙏🙏🙏
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Tuko pamoja sanaaaaaaaaaaa
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Mtoto wa nyuki
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Kabisa kazi n nzur no jaaman
@j.amtotowanyuki1970 Жыл бұрын
Yes madam
@aimecesaire7197 Жыл бұрын
❤❤from Burundi🇧🇮
@butatv6961 Жыл бұрын
Waooooo karibu tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@aimecesaire7197 Жыл бұрын
Asanteni jama yangu🙏
@butatv6961 Жыл бұрын
@@aimecesaire7197 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@amitielukogo.2508 Жыл бұрын
Wow, iyi Moya ni 🔥 be blessed
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
Mnipe asilimia zangu kabisa 😆😆😆😆😆😆😆😆
@WilbertyJoely-fb3sw Жыл бұрын
Ww unabalaa sana kaka
@chunyanorbert1765 Жыл бұрын
Umesimama vzur mtumishi
@priscamakwetta740 Жыл бұрын
Waaaaaaaao so fire🥰🥰nyimbo nzuri Sana bro mbarikiwe
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Kabisa Kaz n nzur
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Mungu azid kuwabariki Zaid na zaidi
@butatv6961 Жыл бұрын
@@ruthinesspeter132 waoooo Ruth kumbe uko hapa tulikumisss
@butatv6961 Жыл бұрын
Kabisa Kaz ni nzur
@beatricemwakiposa4011 Жыл бұрын
Maombi maombi Mungu amejibu maombi..Mungu amenikumbuka🎶 so powerful song 🔥..keep it up man of GOD real love your songs God bless you.
@MBODINAJEANLUCBAHATI17 күн бұрын
Kaka yangu, Mungu akubariki sana n'a hii nyimbo
@atugonzahappiness6379 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana ❤ Niko Kampala Uganda
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Kampara kampara tumewapokea vilivyo hapa Tanzania na tunawakaribisha sanaaaa mje mfanye collaboration na watanzania🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@princessvimala1424 Жыл бұрын
Ombi la moyo wangu nikufanya collabo na wewe mtumishi butati🎉🎉,nice song,acha mungu akuinue zaidi katika huduma hii.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@victordeekenya3539 Жыл бұрын
PONGEZI SANA, NYIMBO YABARAKA.... MUNGU AKUBARIKI PAMOJA NA UDUMA YAKO 🇰🇪🇰🇪🍒
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Kabisa pongezi nying kwao kazi Kubwa
@ruthinesspeter132 Жыл бұрын
Mungu azid kuwabariki sana
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
@@ruthinesspeter132 kabisa
@zakariakayanda8732 Жыл бұрын
@@ruthinesspeter132 amen amen tumezipokea na asanten kwa saport Kubwa Mungu awabarik sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@IsharakananeDavid-qu9uv Жыл бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu tu nakupenda sana uku Congo 🇨🇩 Bukavu
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Lazima tuje Kongo huko
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Watu wa Kongo mubarikiwe sanaaaaaaaa tumeona mlivyo pokea nyimbo za mtumish Butati hakika najua siku moja tutamuona ndani ya viwanja vya mji wa Kongo amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Masaaaa ndio haya ya kupepea
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Masaa yamewadia kabisa
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Bado dadika chache tupepeeeeeeeeeeeeeeeeee
@santanabii5374 Жыл бұрын
Ameeeeeeeen........wimbo huu umenibariki sanaaaa bro watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@magdalinejuma2028 Жыл бұрын
Wimbo huu wanitia moyo licha ya changamoto nayo pita najua mungu yu pamoja nami
@evansmahate Жыл бұрын
nasonga mbele mabaya yenyu ndie baraka zangu
@PatriciaHangi-y7d Жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩 tuko pamoja wapendwa wa Mungu nawependa❤👏
@rosemafubo8966 Жыл бұрын
Very powerful message for sure God answers our prayers napepeaaa❤❤❤
@JaneJaneakinyiodongo Жыл бұрын
Mungu axidi kubariki nyimbo xako xanitia moyo Sana.
@leticiatatara Жыл бұрын
Kuna katoto hako kameitendea nyimbo hii kazi kamelembua sana jmn 🔥🔥🔥🔥
@JosseeNaftari-zg4nf Жыл бұрын
Tupo hapa tunangoja napepea
@frereezechielsong5282 Жыл бұрын
Mungu akuinuwe mimi ni Ezéchiel toka congo
@Dorothy-pp6cd Жыл бұрын
MUNGU Akikuinua Hakuna Wa Kukushusha Amen 🎉🎉
@daxmtiwandege5063 Жыл бұрын
Upako huu ni Bora sana hakika nimebarikiwa mno , barikiwa sana na Mungu
@SaulosKimbila Жыл бұрын
Waimbaj wanao mtukuz YEHOVA kuwen makin na vt mnatumia kwajil ya kupendezesh man xhetan anamitego ming ya kuwanas watu wa MUNGU nikiaz na hicho kit umekalia,
@janethmollel406 Жыл бұрын
Acha Mungu akupe kupepea kila kuitwapo leo. Kazi yako ni njema Sanaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@butatimusicproduction2129 Жыл бұрын
Kabisa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@harrisonlukwesa13658 ай бұрын
FOR SURE ITS PRAYERS THATS MAKES US TO BE WERE WE ARE BECAUSE HE LISTEN TO OUR PRAYERS LISTENING FRM ZAMBIA
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Ameeni.haleluyaa
@Sylvia-gx4gj Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪 barikiwe sana butati mungu akuinue ungae kama nyota👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@methodmeshack5164 Жыл бұрын
Ameeen hakika MUNGU amejibu na ataendelea kujibu
@DanielGongeOfficial Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Amejibu Maombi
@daudichilenga34 Жыл бұрын
Mungu akubari kweli Mungu amejibu maombi yangu
@FrankMmbando-g9b Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu uko vyema sana na mm ni mmoja wa washabiki wako-kwa nyimbo zako,zinabariki sana! 'ila naomba,teremsha nyimbo moja ya kuabudu-nina Imani uko vizuri katika Hilo pia' mm ni mpenzi sana pia kwenye kuabudu!!!!!