Safi sana huu ndio ujumbe na injili kamili inaaza kutoka kwenye muonekano wako mwenyewe alafu unacho ongea no comment naimani ukijishusha na kunyenyekea zaidi utakua mwimbaji mzuri tanzania nzima maana wengine wamesha jikongorosha tub😂
@MastakiLuka98-m6b6 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@MercyKavere-t8f6 күн бұрын
Amen mtumishi wa mungu asifiwe mwokozi 🙏🙏🙏🙏 l really like your songs 🎵 👏 🙌 may God uplift you abundantly
AMEN akuna MUNGU milimani asante YESU umegeuza mabaya kuwa baraka kwangu.
@jeniferkabigumila16535 күн бұрын
Unaendeleaje mtumishi naweza kupata mawasiliano yako Kaka yangu ,hongera pia Kwa KAZI nzuri mungu akubariki
@RichardMalau-sh3os6 күн бұрын
Halleluya mtumishi wa bwana yesu asifiwe mwokozi wetu napenda sana huduma yako nimependezwa nayo
@StacyCheruto5 күн бұрын
Wimbo mtamu sana anoint mungu azidi kukupa nguvu yakuendelesha injili,,
@Sashaloyceug2566 күн бұрын
Glory and honour back to God hallelujah 🙌🙌🙌, more blessings to u brother for praising nd worshiping God always 🙏🙏🙏, I like ur voice 😊😊😊😊😊
@MargaretAtieno-xx7ys4 күн бұрын
Tunapiganiwa na Mungu kabisa bila yeye hatuwezi vita🥲
@ebenezerdaniely26864 күн бұрын
Kazi nzuri saana mr, kwa nyakati hizi yahitajika kutambua na kujua ukuu wa Mungu wetu maana bila hivyo tutamzoea saana na hatimayake tutajaishia motoni badala ya patakatifu nakutwa machozi ya taabu zetu za duniani
@NjokiSteve3 күн бұрын
Asifiwe bwana mwokozi🙏🙏🙏🙏🙏 I really love your songs
@MariethaSumaye3 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi azidi kukupigania nyimbo zako zinanibariki sanaa.
@samwelibenson18023 күн бұрын
Hongera kwa hudumu hallelujah hallelujah ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@winfredwavinya40142 күн бұрын
Mungu asahau waja wake anatupenda sana
@nicholasmutua2126 күн бұрын
Kongore Sana mtumishi wa mungu Apostle Nicholas Kenya Nairobi KAZI nzuri sana
@MrNitsondaudiTz6 күн бұрын
Asifiwe sana ❤❤❤
@salumsalumrobert6 күн бұрын
Hakika mungu wetu anasitaili sifa zote ubarikiwe mtumishi wa mungu
@JothanEmmanuel-gp6xo5 күн бұрын
Waoooh barikiwa kaka wimbo mzuri
@linetkemunto89645 күн бұрын
Wow ni yeye mfalme 🎉
@CosmasMaweu-vl4qk6 күн бұрын
Mtumishi wa annoit amani mungu akubariki sana 🙏 kwa ujube huu🎉 wimbo huu humenifuza mengi sana😊🎉❤
@beatricemoraa56435 күн бұрын
Asifiwe bwana mtumishi wa mungu barikiwa sana milele na milele Amina
@MoosaMd-h6b6 күн бұрын
Asifiwe Bwana Mungu wa majeshi. Heshima kwa Bwana amen.
@RehemaGodfrey8 сағат бұрын
🙏🙏🤝🤝🤝🖐️🖐️🖐️🖐️hakika hayupo ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@meshackmuoki82174 күн бұрын
Umebarikiwa ndugu.
@JemutaiMaggie2 күн бұрын
Congratulations 🎉🎉❤❤ broo keep it up. may God blessed u has you served God.
@abemandia5 күн бұрын
heshima kwa Bwana
@miltonmulolryambundunene50443 күн бұрын
Aksante ♥️♥️♥️
@mary-cm5je6 күн бұрын
Asifiwe bwana ameen 🙏🙏🙏🇰🇪
@Wamana-g8d6 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤thanks a lot for this beautiful song my dear brother I love you so much I hope you’re doing well
@jeanmjimmy5 күн бұрын
Nani ameona vazi la Amani.
@JanetkalamaJanetkalama6 күн бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu huu wimbo umnguza aki tunakupenda from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@dorcahnyabo47136 күн бұрын
hakika mu ngu ni wa mapendo glory to God and honour ❤❤ much love from Kenya 🇰🇪
@Elishaponde6 күн бұрын
Ubarikiwe sana kka
@athanaslangat10146 күн бұрын
Hakika Mungu ni pendo
@Chebaibaiever5 күн бұрын
Blessed 🙏🙏🙏 from Kenya 🇰🇪🇰🇪 my dream to meet you one day
@Nani-ww8yg6 күн бұрын
Amen him Alone we worship our Lord Almighty No one is like him .