William Yilima-Hii siyo ndoto yangu {Official Video HD}

  Рет қаралды 21,512,894

Muhubiri Production

Muhubiri Production

Күн бұрын

Mtumishi wa Mungu William Yilima aliyejulikana sana kupia album yake ya kwanza inayojulikana kwa jina la UKO WAPI EE MUNGU, sasa amekuja tena na album nyingine inayojulikana kwa jina la Hii siyo ndoto yangu, itapatikana katika channel hii ya #MHUBIRIPRODUCTION, usikose kutufuatilia na ku subscribe bila kusahau kubonyeza alama ya kengele ili kupata ujumbe mfupi pindi tu zinapoingia. Hairuhusiwi kwa mtu yeyote ku upload katika channel yake na atakaefanya hivyo atakutana na copyright trike na hapo haitakuwa juu yetu tena. #hiisiyondotoyangu

Пікірлер: 8 200
@PurityKadenge
@PurityKadenge 3 ай бұрын
Kila wakati nikitazama wimbo nakumbuka wakati nilikuwa ya msingi nilikuwa bright sana nilikuwa nalead kwa darasa ya wanafunzi 100 so nilikuwa nasoma kwa bidii nikijua nitakuwa daktari lakini wapendwa chakushangaza ndoto ya yangu ya kuwa daktari ilikatia katika tu hapo shule ya msingi sikujiunga na shule ya upili mpaka sasa nimeisha kuwa housegirl inauma sana lakini naamini ipo siku mungu ataniinua kwa viwango vingine sitabakia nilivyo😭😭😭ukiguzwa na huu ujumbe tafadhali like tu na utabarikiwa🙏🙏🙏
@izakiel72
@izakiel72 2 ай бұрын
Kwani .. kipi kilichojiri baada ya wewe kuhitimu shule ya msingi😢.... SAMAHANI LAKINI
@essy503
@essy503 2 ай бұрын
Mtumainie Mungu Yote yatakua sawa,make sure watoto wako wanasoma Hadi wamalize
@Janekimaro-rj5bq
@Janekimaro-rj5bq 2 ай бұрын
Mungu atakupigania mwanangu..
@chestamusic5444
@chestamusic5444 2 ай бұрын
Mungu ana sababu ya kila jambo. Amini mungu. Kuna nafasi yako maishani.
@khamisizuma
@khamisizuma 2 ай бұрын
Kwa watokea wapi madam
@ritahmalongo3902
@ritahmalongo3902 7 ай бұрын
Kuitwa house maid sio ndoto yangu ndoto yangu ni kufanya biashara yangu kubwa some one like my comment coz I will come with a testimony ❤❤
@susanonyangi-lh6yn
@susanonyangi-lh6yn 6 ай бұрын
Amen 🙏🤲
@dorcaswaithera52
@dorcaswaithera52 6 ай бұрын
Amen
@gamadoryc4893
@gamadoryc4893 5 ай бұрын
Amen
@mendezdecocavazza4537
@mendezdecocavazza4537 5 ай бұрын
Ppmmmmmpmaaaaaaaaaà​@@dorcaswaithera52
@LucyGideon-kh7hf
@LucyGideon-kh7hf 5 ай бұрын
Amen
@lennahharrison8809
@lennahharrison8809 11 ай бұрын
😭😭😭😭kuoshea matajiri manguo ndio tukule na watoto waende shule sio ndoto yangu ndoto yangu ni kua BOSS 😭😭eeeh Mungu nisaidie..........from Kenya 🙏🙏🙏
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 11 ай бұрын
Amen❤
@veronicahkara7858
@veronicahkara7858 11 ай бұрын
kuishi kwa wenyewe sitaki nataka niishi kwangu..Mungu nisaidie niende kiwango kingine
@lennahharrison8809
@lennahharrison8809 11 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
@el_breezy
@el_breezy 10 ай бұрын
Amen, Mungu amekuskia
@abedysmediaservice8389
@abedysmediaservice8389 10 ай бұрын
Kabisa
@mercymacharia3711
@mercymacharia3711 10 ай бұрын
Iam really really blessed by this song. For sure naenda viwango vingine .Hallelluyah, Hallelluyah. Rev.Mercy Macharia USA
@berrilwabuke-ly5un
@berrilwabuke-ly5un 7 ай бұрын
To anyone who is keenly listening to this song in 2024, you're going places,this song is a blessing in disguise for every believer❤
@MUTIMIRWAGrevis
@MUTIMIRWAGrevis 5 ай бұрын
❤🎉
@MercyChelangat-e2b
@MercyChelangat-e2b Ай бұрын
Amen🙏
@tyrt8790
@tyrt8790 Ай бұрын
Emen
@QuantumBiz
@QuantumBiz Жыл бұрын
This reminded me when I was in Botswana in 2003. I did shed tears. I was trained in IT in kenya but migrated to Botswana looking for a job, and ended up working in construction after walking for two hours every morning.. Money was not enough, even eating good was a problem. I knew that was not my dream . Right now, I live in America in abundance. Glory to God.
@kishmasafu3796
@kishmasafu3796 Жыл бұрын
Amen
@susanchirchir8380
@susanchirchir8380 Жыл бұрын
@ChristopherAmecha
@ChristopherAmecha Жыл бұрын
I tap the blessings
@SingorinaOkinyi-cu9xu
@SingorinaOkinyi-cu9xu Жыл бұрын
Amen,,soon am coming to testify 🙏🙏🙏
@DeboraSuday-fw5uo
@DeboraSuday-fw5uo Жыл бұрын
Glory to God
@ododowiliam1120
@ododowiliam1120 6 жыл бұрын
Kama unakubali, magumu unayopitia siyo ndoto yako. Like zenu hapa twende viwango vingne. Amen
@lazaloyesaya9130
@lazaloyesaya9130 6 жыл бұрын
Nimeupenda naenda viwango vingine amen
@alfredbandeke6458
@alfredbandeke6458 6 жыл бұрын
Namm hii ndoto yangu eeee mungu
@princesschumbaa98
@princesschumbaa98 6 жыл бұрын
Amen
@princesschumbaa98
@princesschumbaa98 6 жыл бұрын
Amen
@oscarrotich1623
@oscarrotich1623 6 жыл бұрын
Amen
@naomikageha560
@naomikageha560 10 ай бұрын
Thanks God nasema hii sio ndoto yangu mungu.naamini naenda kiwango kingine katika jina la yesu niko na amini ndani yako
@ramaahke512
@ramaahke512 3 жыл бұрын
Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏🙏❤️
@kenjamatindi1405
@kenjamatindi1405 3 жыл бұрын
Amen may god bless you
@ramaahke512
@ramaahke512 3 жыл бұрын
@@kenjamatindi1405 thanks so much
@evalineomogi6824
@evalineomogi6824 Жыл бұрын
Thanks too
@NorahAchieng-mz2cb
@NorahAchieng-mz2cb 11 ай бұрын
Amen
@PaulineBosibori-pj7jt
@PaulineBosibori-pj7jt 11 ай бұрын
Yes thank you We are moving to another level
@Nenomirii
@Nenomirii 11 ай бұрын
Sitakuwa mfanyi kazi za nyumba tu hata Mungu atanifu gulia njia ingine in Jesus name amen
@AlexMaitha703
@AlexMaitha703 Жыл бұрын
Naamini kuajiriwa kwa kazi ya stima sio ndoto yangu ndoto yangu nikumiliki kampuni yangu kwa jina la yesu... na kama unaamini gonga likes tusonge
@josephnjoroge1533
@josephnjoroge1533 11 ай бұрын
Amen
@josephnjoroge1533
@josephnjoroge1533 11 ай бұрын
Amen alex
@el_breezy
@el_breezy 10 ай бұрын
Amen, Mungu ameskia na atatenda
@Kopita-kx2fl
@Kopita-kx2fl 10 ай бұрын
0:41
@AlexMutavi-is3bv
@AlexMutavi-is3bv 10 ай бұрын
Exactly 🎉🎉
@ConfusedLemonade-fp5uw
@ConfusedLemonade-fp5uw 11 ай бұрын
Kuwa Malaya sio ndoto yangu yesu nbadilishe
@ShukuruElizabeth
@ShukuruElizabeth 9 ай бұрын
Kuitwa mpangaji siyo ndoto nikumiliki nyumba yangu mwanye 🎉🎉tuliyo rudi kwenye hii nyimbo 2024 tujuwane apa
@elyzahwambu3815
@elyzahwambu3815 8 ай бұрын
Mahali nilipo sio ndoto .ndoto yangu nikuhubiri I njili
@ElizabethNdinda-qz1fb
@ElizabethNdinda-qz1fb 7 ай бұрын
Kuabiwa sisijui io sio mambo angu only God know every person has advantages of him or her
@CharlotteNduwimana-y6e
@CharlotteNduwimana-y6e 6 ай бұрын
Amena Amena
@VailethCharles-j7d
@VailethCharles-j7d 5 ай бұрын
ndoto yangu nikufanikiwa
@Catherine-ne4zd
@Catherine-ne4zd 5 ай бұрын
Amina 😊
@mercyjepkoech9951
@mercyjepkoech9951 11 ай бұрын
Ugonjwa si ndoto yangu Naomba Mungu unipone
@lucyakoko5139
@lucyakoko5139 8 ай бұрын
Amen
@gladysajikon8241
@gladysajikon8241 8 ай бұрын
In JESUS name
@swaimessyridion6839
@swaimessyridion6839 6 ай бұрын
Pole
@StanNdosi
@StanNdosi 4 ай бұрын
Katika Jina la YESU yote yanawezeka
@margaretmwangi-jt1dq
@margaretmwangi-jt1dq Жыл бұрын
Sio ndoto kua house girl.naomba mungu anipandishe kiwango kingine in Jesus name, Amen
@ivonebikehi1584
@ivonebikehi1584 10 ай бұрын
Amen
@marywairimu7327
@marywairimu7327 8 ай бұрын
Amen
@appolloniaombima7452
@appolloniaombima7452 6 ай бұрын
Amen
@LucyGideon-kh7hf
@LucyGideon-kh7hf 5 ай бұрын
Amen, soon we will be madam boss in Jesus name 🙏
@SolomonMfugale
@SolomonMfugale 4 ай бұрын
Atakuvusha in the name of jesus
@victoriamumbua8747
@victoriamumbua8747 10 ай бұрын
Mungu mwenye kubariki hili ni ombi langu 🤲baba mtakatifu mungu sitaki kuita maid tena baba unajua nina majukumu chungu mzima baba meenye kunipanguza machozi ni panguze haya machozi baba nikawe na kazi yang 🤲
@Marry-c4u
@Marry-c4u Жыл бұрын
Kama unamuamini mungu kweli comment hapa twende kiwango chajuu tuvukee hapa tulipo mdugu yangu...amen🙏🙏
@HadijaShabani2015
@HadijaShabani2015 Жыл бұрын
Kuwa mama wa nyumbani sio ndoto yangu naimani mungu atanisaidia niwe na kazi
@elizabethkilonzo9944
@elizabethkilonzo9944 Жыл бұрын
Go 😮k
@ricohadams1728
@ricohadams1728 10 ай бұрын
Amen
@sharonauma8788
@sharonauma8788 10 ай бұрын
Naenda viwango vya juu hapa napita tu
@WanguiChege-w8v
@WanguiChege-w8v 10 ай бұрын
Hapa nlipo napita tu kiwango changu ni cha juu,,,eee Mungu wangu nikumbuke🙏
@FranciscarMusyoki
@FranciscarMusyoki 8 ай бұрын
Kuteseka nikiwa House girl sio ndoto yangu ..in Jesus name 😢😢😢😢😢
@brianfidel2664
@brianfidel2664 8 ай бұрын
Being a house girl is the toughest job and leh me promise u one thing people start from somewhere so believe and have deep faith in GOD and trust u me one day HE will show u who HE really is
@Alexin-alexin
@Alexin-alexin 8 ай бұрын
Amen 🙏
@NewtonMarucha-oe5jl
@NewtonMarucha-oe5jl 7 ай бұрын
I wish ningekuona ni lesson tu ya ta life ur learning I was there too
@CalabCharles
@CalabCharles 6 ай бұрын
Amen
@FranciscarMusyoki
@FranciscarMusyoki 6 ай бұрын
Amen🙏🙏​@@brianfidel2664
@judithmbai1014
@judithmbai1014 Жыл бұрын
I believe that I will make my parents proud before the end of this year. Remember me Lord
@olenkukuujacob
@olenkukuujacob 5 ай бұрын
From kenya Navuka kwenda ngambo nyingine ❤ , ngambo ya Ahadi zangu in jesus mighty Name🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wenzangu likes zenyu zanikumbusha kuusikiliza wimbo huu tenw
@samuelmunyoroku5374
@samuelmunyoroku5374 4 жыл бұрын
Kila mtu hapa aende kiwango kingine Katika jina la yesu 🙏🏽🙏🏽
@lilianwangechi4083
@lilianwangechi4083 4 жыл бұрын
Amen
@maureenmuhonja5099
@maureenmuhonja5099 4 жыл бұрын
Amen
@jofreymapunda540
@jofreymapunda540 4 жыл бұрын
Will
@ceciliakaari782
@ceciliakaari782 4 жыл бұрын
Amen.
@العلي-ق3ع
@العلي-ق3ع 4 жыл бұрын
Aamen
@CarolineSitawa
@CarolineSitawa Жыл бұрын
Kuitwa house girl sio ndoto yangu,,,ndoto yangu n kuandikwa kaz nzuri na niendelee vyema,,nmechoka kutumiwa
@lucyakoko5139
@lucyakoko5139 8 ай бұрын
Walahi si rahisi utumwa wa hali ya juu
@maleenkemuma6065
@maleenkemuma6065 7 күн бұрын
Napitia wakati mgumu sana, nimehusle for one month na sijapata commission na niliexpect nikipata pesa nieende hoc na pia nina mahitaji mengi, please pray for me guys hii sio ndoto yangu😢😢 pray for me to get married please 😭😭😭
@ProphetElijahLamiYuya
@ProphetElijahLamiYuya 8 ай бұрын
Kama Wewe Ni Wa Viwango Vingine Like Hapo Kwa Utukufu Wa BWANA YESU
@davidsimwa-d6m
@davidsimwa-d6m 8 ай бұрын
yes
@marybossy4727
@marybossy4727 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Marry-f5k
@Marry-f5k 2 ай бұрын
‏‪4:58‬‏
@marywangui9140
@marywangui9140 2 жыл бұрын
My first time listening to this ilikua kwa neighbour nkaeda pale youtube nkaskiza na earphones icried alot my kids walikua wamefukuziwa fees sina rent the woman my dad married he never cared for my sick mum alijigawa kila kitu thank God now watoto wanaeda shulle mum ana recover now tunaeda kiwago kingine
@maryswai3403
@maryswai3403 11 ай бұрын
Kwa kweli na mimi nimeona hii sio ndoto yangu naenda viwango vingine ktk maisha yangu na huduma ambayo MUNGU ameweka ndani yangu naenda viwango vingine kwa jina la YESU Amin
@AwadhiHemedi
@AwadhiHemedi 4 ай бұрын
Kuitwa mgumba siyo ndoto yangu ndoto yangu kuitwa mama mungu nisaidie❤
@MilleyCharles
@MilleyCharles Ай бұрын
😭😭hii sio ndoto yetu in Jesus name
@AwadhiHemedi
@AwadhiHemedi Ай бұрын
@@MilleyCharles Ameni kwa mungu yote yanawezekana mpendwa🙏🙏🧡🧡
@josephnjoroge1533
@josephnjoroge1533 11 ай бұрын
Kung'ang'ana kupata job sio ndoto yangu mungu niletee kazi mahali nlipo maana navuka niende ngambo nyingine in jesus name
@mipawasuleiman7879
@mipawasuleiman7879 4 жыл бұрын
having suffered from a smell of poverty, jobless, disgrace and unhappy marriage God is going to lift me up is Jesus name amen
@brianotieno9124
@brianotieno9124 3 жыл бұрын
Amen
@mbelamary4549
@mbelamary4549 3 жыл бұрын
Same time but na enda kiwango vingine
@sylviaachieng7299
@sylviaachieng7299 3 жыл бұрын
AMEN 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@ayentefremnimokafui5458
@ayentefremnimokafui5458 3 жыл бұрын
Hello I am happy to send you a little money because of this comment you've written. It's really touched me. How can I help you. My name is Bells
@evandubai2917
@evandubai2917 3 жыл бұрын
Hii sio ndoto yangu kutharauriwa na mwanaume
@carolwambua5250
@carolwambua5250 4 жыл бұрын
Not only singing but am declaring promotion in my life through this song.being a maid in Saudi Arabia is not my dream.naenda viwango vingine in Jesus name.saudi nikupita Napota tu
@georgengige3107
@georgengige3107 3 жыл бұрын
Amen, may God enable you move to that next level
@sakongtitus2526
@sakongtitus2526 3 жыл бұрын
Amen
@sakongtitus2526
@sakongtitus2526 3 жыл бұрын
Next you employ yourself..
@maumorajames2904
@maumorajames2904 3 жыл бұрын
May God see us through
@maureensaibala4740
@maureensaibala4740 3 жыл бұрын
Amen
@DeborahKerubookindo
@DeborahKerubookindo 25 күн бұрын
Ndoto yangu ni kuenda viwango vingine,,,Mungu nitendee huu Mwaka nmelia ya kutosha 🙏🙏
@wilyobusena8322
@wilyobusena8322 4 жыл бұрын
Amen,,, hii wimbo unanikumbusha 2009,,, nikifanya kazi ya ngombe,,, na sasa,,, niko kiwango tofauti sasa,,, mimi ni mshuhuda,,, naenda kiwango kingine Nipate likes mingi hapa
@lalakamau6441
@lalakamau6441 4 жыл бұрын
Kuwa mwana biashara mudogo hii siyo ndoto yangu naenda kiwango kingine amen amen barikiwa sana
@nicolemaiyo1261
@nicolemaiyo1261 Жыл бұрын
My dream is to restore my relationship with God.
@annkyalo8901
@annkyalo8901 8 ай бұрын
Ameeeeeeen..me too
@DorothyMakena-xy4yv
@DorothyMakena-xy4yv 7 ай бұрын
Do it girl
@ElizabethWangui-gw7rc
@ElizabethWangui-gw7rc 5 ай бұрын
Its 100%possible
@liliannyaoma935
@liliannyaoma935 13 күн бұрын
Amen
@EmmaKajuju-w6m
@EmmaKajuju-w6m 11 ай бұрын
I really believe that Almighty God will uplift me to another level as i hope to join college this year....... Have really struggled since i finished my form four up to the date . But i believe on this song my God will do wonders 🙏🙏🙏🙏
@adecals4431
@adecals4431 Ай бұрын
Naenda kiwango kingine kwa jina la yesu🎉🎉🎉🎉🎉
@mcioca
@mcioca 5 жыл бұрын
Kwa kweli vile nilivyo sio ndoto yangu,, I'm headed for another level,, Wale wa Nairobi Kenya +254 Leteni likes zetu hapa chini
@fundidani8416
@fundidani8416 5 жыл бұрын
naac
@estherndugire2379
@estherndugire2379 5 жыл бұрын
Halleluya
@jacksonmasika6795
@jacksonmasika6795 5 жыл бұрын
Wimbo huu waniguza
@asheryyephraim3556
@asheryyephraim3556 5 жыл бұрын
Na mm navuka naenda ng'ambo nyingine
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 5 жыл бұрын
Doha Qatr nawakilisha kenya
@gracemtweve2448
@gracemtweve2448 2 жыл бұрын
Nilikuwa naisikiliza hii nyimbo nikiwa Sina kazi nikamwamini Mungu kupitia nyimbo hii mpaka sasa Nina kazi nzur namshukuru Mungu. Sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@thatayangoma5200
@thatayangoma5200 6 жыл бұрын
Oooh yesss,,Hallelujah hii siyo ndoto yangu,kuitwa househelper,😢😢😭😭nafuka Viwango Vingine,,,hapa ni kupitatu Saudi Arabia 🇸🇦..,,oooh My Lord my hope is in you Jehovah 😭😭😭
@richardmngare9532
@richardmngare9532 5 жыл бұрын
Baba mungu akuongezee karama saba mara sabini ameee
@thatayangoma5200
@thatayangoma5200 5 жыл бұрын
Richard Mng'are Oooh Yesss Amen 🙏 I receive
@naomyjelagatkipsang2279
@naomyjelagatkipsang2279 5 жыл бұрын
Hii sio ndoto yangu navuka ngambo nyingne
@thatayangoma5200
@thatayangoma5200 5 жыл бұрын
Naomy jelagat Kipsang Amen 🙏
@claireesideji4750
@claireesideji4750 5 жыл бұрын
Amen
@Elizabethchepkemboi-b8g
@Elizabethchepkemboi-b8g Жыл бұрын
kweli mungu ananipeleka kiwango kingine kwaimani Kuna mazuri zaidi mbele
@felstafelsta3412
@felstafelsta3412 4 жыл бұрын
Naenda viwango vingine 🙏🙏🙏 kama bado uko hapa like amen
@wiliamamen868
@wiliamamen868 3 жыл бұрын
Amen
@wiliamamen868
@wiliamamen868 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@TumaChristine
@TumaChristine 21 күн бұрын
Amina na toka kwenye demile 2025 mungu naomba elinde
@janetkamwila1192
@janetkamwila1192 11 ай бұрын
God please bless me..I don't deserve this kind of life. I want to come back next year and like my comment with a testimony.
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 11 ай бұрын
Amen👊🙏
@victormtani7170
@victormtani7170 2 жыл бұрын
Thanks my Brother William Yilima from United Republic of Tanzanian kwa Wimbo Mzuri hakika Waimbaji wote wa Taifa la Tanzanian wanaimba Bible Fully. Ninakutabilia Kila anayeangalia Wimbo wa Kiwango kingine. Nakutabilia Uende ktk Viwango Vingine vya Juu sana kwa Jina la Yesu kristo.
@naomkerubo4050
@naomkerubo4050 Жыл бұрын
Our lord's so faithful
@sharifamohamed1326
@sharifamohamed1326 Жыл бұрын
Kweli naenda viwango vingine
@nokuthulanleya1960
@nokuthulanleya1960 5 ай бұрын
Powerful song it encourages me With what i am passing thru in a foreign land God bless you William you are a star.
@raphaelmakokha8139
@raphaelmakokha8139 5 ай бұрын
𝕘𝕠𝕚𝕟𝕘 𝕗𝕠𝕣 𝕙𝕚𝕘𝕙𝕖𝕣 𝕝𝕖𝕧𝕖𝕝​@@sharifamohamed1326
@Moren2024-l2o
@Moren2024-l2o 10 ай бұрын
😢😢 hii sio Ndoto yangu kufanyiaa wat Kapalua maomba Mungo anipelek viwango vingin
@briandukes8925
@briandukes8925 5 жыл бұрын
Kuishi kwa nyumba ndogo sio ndoto yangu am headed to my destiny give me a like if you believe
@abelbundara3635
@abelbundara3635 5 жыл бұрын
Brian Dukes utasematu
@felistargabriel1325
@felistargabriel1325 5 жыл бұрын
Amen may God fulfill that in Jesus name
@asheryyephraim3556
@asheryyephraim3556 5 жыл бұрын
Ahaahaaa
@milliekhaleha6179
@milliekhaleha6179 5 жыл бұрын
Brian Dukes Amen
@priscillarmasikamwachiru2654
@priscillarmasikamwachiru2654 5 жыл бұрын
Naenda viwango vingine kama unaamini unaenda viwango vingine gonga like hapo
@maryswai3403
@maryswai3403 11 ай бұрын
Wanaonidharau watajua ya kuwa MUNGU mwema atatenda makubwa ya kushangaza watesi wangu atakapo andaa meza pamoja na watesi wangu ndipo watajua ya kuwa MUNGU sio mwanadamu ambaye anahahidi asitimze Ila MUNGU wetu akisema amesema Amina hakuna wa kutangua
@KoneKiok
@KoneKiok 10 ай бұрын
@hannahjay9393
@hannahjay9393 2 жыл бұрын
After struggling with post traumatic stress disorder for 2 years😭😭, no work, no happiness... But now I thank jehova for healing me completely and am now a manager at a beauty parlor... I'll forever be grateful lord... Na bado Naenda viwango vingine🙏
@miriammusenya1752
@miriammusenya1752 2 жыл бұрын
Tuconnect uko pia😂😂
@isaackipngetich1277
@isaackipngetich1277 Жыл бұрын
@MercyKiplangat-f2o
@MercyKiplangat-f2o Жыл бұрын
Dealing with the problem right now feeling like loosing hope but najua God atanipigania
@Miriamwaithira-vk7jt
@Miriamwaithira-vk7jt 8 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU nisamehe makosa yangu ,MUNGU wangu kufanya kazi kwa nyumba za watu nimekataa katika jina la YESU MUNGU nifungue mahali nimefungwa and connect me with the destiny helpers i need in the mighty name of JESUS,AMEN YAHWEY
@aumadominic5591
@aumadominic5591 Жыл бұрын
Baba Mungu wetu mwenye uruma tuonee uruma utupandize viwango!ni kwa nehema Yako tumeomba na kwamini ,Ameni
@levananyami9785
@levananyami9785 4 жыл бұрын
Amina kuishi iv sio ndoto yangu naenda viwango vingine like Kama na wewe unaenda viwango vngne
@shideashidea5570
@shideashidea5570 6 жыл бұрын
Kutoka Dodoma Tanzania hadi Oman nabarikiwa sana na mahubiri mema kwa njia ya uimbaji Mungu akuinue viwango vingine nami pia nifike mahali pale Mungu amepanga viwango vyangu kwa jina la Yesu kristu.
@israeljoachimu8207
@israeljoachimu8207 6 жыл бұрын
Uko vizuri mtumishi wa bwana.
@happyjoseph823
@happyjoseph823 6 жыл бұрын
Shidea Shidea nitafutie kazi huko jmn na me nije maana maisha magumu sio ndoto yang niko tanzania
@shideashidea5570
@shideashidea5570 6 жыл бұрын
Mungu ni mwema atatenda ukifika wakat wake
@shideashidea5570
@shideashidea5570 6 жыл бұрын
@@happyjoseph823 nipe no yako
@happyjoseph823
@happyjoseph823 6 жыл бұрын
Shidea Shidea 0656594930 namba yng hyo
@MercyChelangat-e2b
@MercyChelangat-e2b Ай бұрын
Kupitia kwa huu wimbo 2025 will be my year hapa nilipo si ndoto yangu naminia mungu Amen🙏🙏
@JavanOnyango249
@JavanOnyango249 3 жыл бұрын
Kuishi bila nyumbani na kuitwa mtoto wa maskini sio ndoto yangu,siku moja I'll make mama proud.naenda ng'ambo nyingine in Jesus name.
@WegesaChacha
@WegesaChacha 7 ай бұрын
Amen
@ceciliakuza1875
@ceciliakuza1875 4 жыл бұрын
I was a cleaner, but now I have my own campany,thank you lord
@jamessabai6530
@jamessabai6530 2 жыл бұрын
Be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/pqGzepx9fc2GhZI
@rosemumbi5483
@rosemumbi5483 2 жыл бұрын
Powerful!
@lydiawafula6697
@lydiawafula6697 2 жыл бұрын
@@rosemumbi5483 9w9
@lydiawafula6697
@lydiawafula6697 2 жыл бұрын
@@rosemumbi5483 ù⅓y⁶
@lydiawafula6697
@lydiawafula6697 2 жыл бұрын
@@rosemumbi5483 9ì
@mamayaoharistar4599
@mamayaoharistar4599 6 жыл бұрын
Navuka naenda ngambo nyingine aijalishi vikwazo ni vingi haijalishi madhubao ya uko imeamua nini juu ya maisha yangu navuka kwa jina la yesu .Asante sana kwa huo ujumbe amen.
@milkakhisa1996
@milkakhisa1996 5 жыл бұрын
kuonewa kazini sio ndoto yangu, naenda viwango vingine in Jesus name Amen
@atienookuno1735
@atienookuno1735 5 жыл бұрын
Hii ni kweli ...naenda viwango vingine..u barikiewe
@jescajastine3647
@jescajastine3647 5 жыл бұрын
Nabarikiwa mnooo
@jacintawanjiru645
@jacintawanjiru645 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri
@Mercywmwaura
@Mercywmwaura 3 ай бұрын
Nilivuka kiwango kingine na bado naedelea kuvuka. Thanks Jesus
@trizahmusyoka8430
@trizahmusyoka8430 Жыл бұрын
2023 naomba Mungu unisaidie niende viwango vingine,,,,much love from 🇰🇪
@LADYWINNIEINTERCESSOR
@LADYWINNIEINTERCESSOR 2 жыл бұрын
Who's still enjoy this song day and night ? I'M Ugandan maid here in Oman suffering alot but naenda viwango vingne kwazina layesu hallelujah
@charityethan254
@charityethan254 2 жыл бұрын
It is just a matter of time and God is taking you to another higher level. Continue holding on He is soon coming to elevate you.
@leahosala7716
@leahosala7716 5 жыл бұрын
Kuitwa housegirl sio ndoto yangu,ndoto yangu ni kuandikwa kazi ingine nzuri eee mungu nisaidie from kenya
@felistargabriel1325
@felistargabriel1325 5 жыл бұрын
Wala sio Kuandikwa ila ni Kuandika watu wengine in Jesus name. .Amen
@sylviaanita3498
@sylviaanita3498 5 жыл бұрын
May the Good Lord open more doors for you
@patrickkathiga2025
@patrickkathiga2025 5 жыл бұрын
Amen Leah. Mungu naakuinue in Jesus name. Mungu anaweza nimeshuhundia mimi
@faridasalim8802
@faridasalim8802 5 жыл бұрын
K
@patriciakadenge500
@patriciakadenge500 5 жыл бұрын
Amen, lazima ndoto yetu itimie
@MlongechaBaraka-ow7kw
@MlongechaBaraka-ow7kw 6 ай бұрын
⛪⛪⛪⛪📖📖📖 Amina Bwana Yesu asifiwe sana watumishi wa Mungu kama unaamini Yesu Kristo anaweza yote gonga like mapaka nyinyi mataifa yote na Mungu wetu apewe sifa milele yote enendeni ulimwenguni na mkayafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wangu na kuwabatiza katika jina la Mungu Baba na Mungu mwana na Mungu Roho mtakatifu. Mathayo,28:18-20, ahsante sana amen⛪⛪⛪📖📖📖👈👈👈.🙏👭🤝❤️🤝👬🙏
@maggymbugua7545
@maggymbugua7545 4 жыл бұрын
Kuitwa kadama, , kupewa leftovers😥😥si ndoto yangu, , wanahammam mpo, tunaeda viwango vingne, , Eeh Mungu tusaidie🙏🙏
@maureenmwanzia3310
@maureenmwanzia3310 4 жыл бұрын
Kabisaa
@RashidRashid-tf4ze
@RashidRashid-tf4ze 4 жыл бұрын
Amen
@العلي-ق3ع
@العلي-ق3ع 4 жыл бұрын
Mbona ukakubali kula mabaki?????
@judithakoth131
@judithakoth131 4 жыл бұрын
Amen
@hellennyaga4401
@hellennyaga4401 4 жыл бұрын
Amen
@achayorosemary8289
@achayorosemary8289 4 жыл бұрын
Ndoa yangu inaenda kiwango kingine cha heshima in Jesus name,be blessed my brother.
@stellakogo1681
@stellakogo1681 4 жыл бұрын
God. Has. Plans. For. Me. Naenda.kiwango.kingine.glory.to.god
@jacintandunge6767
@jacintandunge6767 4 жыл бұрын
I pray the same
@victorsmart0013
@victorsmart0013 4 жыл бұрын
@@stellakogo1681 B
@mwirigijames2619
@mwirigijames2619 4 жыл бұрын
Fghh
@mutisomichael4206
@mutisomichael4206 4 жыл бұрын
Ndoa yangu yaenda kiwango kikingie ingawaje shetani anipanda
@josephlumbasho9065
@josephlumbasho9065 4 жыл бұрын
Having struggled to have a child for 9yrs isn't my expectations, I believe the Almighty God is moving me to the next level of being called Dad. I need ur prayers.
@janetnzisa5288
@janetnzisa5288 4 жыл бұрын
Mungu amekukumbuka kaka, unaenda kiwango kingine.
@josephlumbasho9065
@josephlumbasho9065 4 жыл бұрын
Thanks sister for your company in prayer, be blessed.
@eddyprisa291
@eddyprisa291 4 жыл бұрын
And that is ur portion to be a fathers. He is a good God it will definitely come to pass IJN.
@hellennyaga4401
@hellennyaga4401 4 жыл бұрын
May God answer your prayers 🙏🙏
@doricebaraka5015
@doricebaraka5015 4 жыл бұрын
Mungu na akukumbuke! Amen
@MiriamDaniel-b4s
@MiriamDaniel-b4s 11 ай бұрын
Ndugu zangu tujipe imani na kuwa Kira mtu anataka viwango vingine tumwamini mungu hajuwagi kumuacha Mt akiria nawapenda tuombeane t ❤❤❤️❤️🙏🙏🙏
@johnsway459
@johnsway459 5 жыл бұрын
Jaman wimbo mzur sana ..gonga like za kutosha kama unamkubali mwimbaji...♡
@veronicakavero7445
@veronicakavero7445 4 жыл бұрын
This song encourages me,as I work as a house girl, no off 😭😭no leave 😭😭😭but I know I will receive upliftment of Most High God 🙏 niende viwango vya juu . God remember me please 🙏.
@bulaloalindamtobesyaofficial
@bulaloalindamtobesyaofficial 4 жыл бұрын
Amen
@bessynturibi4128
@bessynturibi4128 4 жыл бұрын
He will,He is a faithful God
@nicholassitonik1205
@nicholassitonik1205 4 жыл бұрын
Amen sister
@priscillahayuma8427
@priscillahayuma8427 4 жыл бұрын
Amen
@bernardbett2439
@bernardbett2439 4 жыл бұрын
Receive in another level in Jesus Name
@lenahlesh8337
@lenahlesh8337 6 жыл бұрын
Kama umependa huu wimbo konga like and b blessed
@carolnyakanokenya3494
@carolnyakanokenya3494 6 жыл бұрын
naeda viwango vingine amen barikia mtumishi
@exaudmpangile2993
@exaudmpangile2993 6 жыл бұрын
Kweli naenda viwangi vingine Jina la Bwana litukuzwe
@sabrinakenya2353
@sabrinakenya2353 6 жыл бұрын
@@carolnyakanokenya3494 Amen naona kuinuliwa naenda viwango vingine kwa jina la yesu.
@elisaarobert9021
@elisaarobert9021 6 жыл бұрын
Haleluya Naenda ng'ambo nyingine
@jenipherkasaine2950
@jenipherkasaine2950 6 жыл бұрын
Amen
@RebeccaOngata-d4p
@RebeccaOngata-d4p 2 ай бұрын
Kama mm nimeyapitia mengi since i finish my 4rm four i have passed through challenges lkn hii sio ndoto yangu in jesus name william huu wimbo huwa unaniguza roho sana ubarikiwe😊🎉
@eliasoramisiofficial8395
@eliasoramisiofficial8395 9 ай бұрын
Mungu amenifikisha ng'ambo yangu MTUMISHI ULIPEWA UFUNUO WA MAISHA YANGU TOKA KWA HUU WIMBO🎻🪕🎸🎺🎷🪗🎤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@maizemahindi4090
@maizemahindi4090 5 жыл бұрын
Kuitwa watchman sio ndoto yangu in Jesus name Amen ✋✋
@nicklyanga5043
@nicklyanga5043 4 жыл бұрын
Naenda ngambo nyingine
@valentinekemunto2446
@valentinekemunto2446 4 жыл бұрын
Amen
@markykiptoo8491
@markykiptoo8491 4 жыл бұрын
May God bless you it's within my heart....God bless you with a better job ...
@ajesaivan3158
@ajesaivan3158 4 жыл бұрын
Niko uzuri Sana that's my man
@ajesaivan3158
@ajesaivan3158 4 жыл бұрын
Mungu ni saidie Sana may the lord's grace be with him amen
@johnndungunjoki
@johnndungunjoki 2 жыл бұрын
Tanzanians🇹🇿 has the most blessed and talented gospel artists in the world 🌍 Salute from Kenya 🇰🇪
@fancymercy814
@fancymercy814 2 жыл бұрын
Salute from Kenya, Tanzania to the world 🌎🌎
@nyaruaiphares5213
@nyaruaiphares5213 Жыл бұрын
And Nigeria. Also in Kenya, we have annointed people who take us places
@charityoketch9022
@charityoketch9022 Жыл бұрын
True.
@abisaimsewa1935
@abisaimsewa1935 Жыл бұрын
🇹🇿👍
@ebrahimwanjohi3902
@ebrahimwanjohi3902 Жыл бұрын
​@@nyaruaiphares5213Aa1$@£@%❤1❤qq my nĩ by E😊hbbbhhBhbbbb;bbbbbbbhhhbbbb;;bbbbbbbhbhbbbbbhbgvbbhbbbvbbh:bbbbbbbbbb6bb;b;;bbbbbbbbh6bb
@RuthWambui-zj1tk
@RuthWambui-zj1tk 5 ай бұрын
Kuteseka nikiwa maid pud sio ndoto yangu n jesus name Amen
@ekirapalinda1276
@ekirapalinda1276 5 жыл бұрын
Kutembea hospitalini Mara kwa Mara sio ndoto yangu,,naenda kwenye kiwango kingine cha uponyaji
@theresiathedi1697
@theresiathedi1697 4 жыл бұрын
Uijgy I have up h to
@annlemiso3383
@annlemiso3383 4 жыл бұрын
Divine healing in Jesus Name.
@joycezipporah7470
@joycezipporah7470 4 жыл бұрын
Amen
@estermangu2153
@estermangu2153 4 жыл бұрын
Aminaaa
@evansonmuiruri5852
@evansonmuiruri5852 4 жыл бұрын
Amen mimi pia
@awashawashjuma8846
@awashawashjuma8846 4 жыл бұрын
Kuitwa mama wa nyumbani sio ndoto yangu ndoto yangu kupambana na maisha ninayoyataka mimi insha Allah
@heavenlyheavenlyfreds4031
@heavenlyheavenlyfreds4031 5 жыл бұрын
Kuitwa house girl sio ndoto yangu naenda viwango vingine😭😭🙏🙏🙏🇿🇦 MUNGU ataijibu
@Paulchristah
@Paulchristah 5 жыл бұрын
I just like the song.
@georgevalantassis1031
@georgevalantassis1031 5 жыл бұрын
Amen Amen🙏🏾
@nancynasimiyuwanyonyi4524
@nancynasimiyuwanyonyi4524 5 жыл бұрын
Amen
@trillestgrind3850
@trillestgrind3850 5 жыл бұрын
Heavenly Heavenlyfreds powerful wards be bless
@catherineshadrack6656
@catherineshadrack6656 5 жыл бұрын
Kweli kabisa omba mungu atakusaidia
@amosouma6146
@amosouma6146 4 жыл бұрын
Being a teacher Siyo ndoto yangu!Naenda viwango vingine!I believe in my God!God if Daniel, Shadrack, Meshack and Abednego!Am a CEO in waiting! That's my dream.... Am encouraged
@harrisonombwayo4681
@harrisonombwayo4681 4 жыл бұрын
Daniel 3:24-26
@harrisonombwayo4681
@harrisonombwayo4681 4 жыл бұрын
And these three men, Shadrach, Meshach, and Abed-Nego, fell down bound into the midst of the burning fiery furnace. 24 Then King Nebuchadnezzar was astonished; and he rose in haste and spoke, saying to his [d]counselors, “Did we not cast three men bound into the midst of the fire?” They answered and said to the king, “True, O king.” 25 “Look!” he answered, “I see four men loose, walking in the midst of the fire; and they are not hurt, and the form of the fourth is like the[e] Son of God.” Nebuchadnezzar Praises God 26 Then Nebuchadnezzar went near the [f]mouth of the burning fiery furnace and spoke, saying, “Shadrach, Meshach, and Abed-Nego, servants of the Most High God, come out, and come here.” Then Shadrach, Meshach, and Abed-Nego came from the midst of the fire
@margiewanjiru3362
@margiewanjiru3362 4 жыл бұрын
Amen
@kevinbikala1852
@kevinbikala1852 4 жыл бұрын
Amen
@apostlejohnkimaniwilliam8254
@apostlejohnkimaniwilliam8254 4 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (CLINTON OLIVA MOTHERLESS FOUNDATION.) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on (+2349135995319) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit faith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
@gloriajepkoech6468
@gloriajepkoech6468 3 жыл бұрын
Being broke throughout and having heavy debts is not my portion,, low self esteem not my portion..naenda viwango vingine in Jesus name happiness is my portion
@sharonaswani8566
@sharonaswani8566 3 жыл бұрын
Enyewe hii so ndoto yangu kukua hivi nilivyo but Nina imani mungu atanisaidia niende viwango vya juu
@milkajerono54
@milkajerono54 3 жыл бұрын
Mungu akubariki
@fatmaishmael5466
@fatmaishmael5466 3 жыл бұрын
Amen
@sylviaachieng7299
@sylviaachieng7299 3 жыл бұрын
AMEN🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@chichititus913
@chichititus913 3 жыл бұрын
@@fatmaishmael5466 hey
@ShazShaz-uo5uf
@ShazShaz-uo5uf 4 ай бұрын
Wenye bado 2024 tunenda viwango vingine 2025 like tukipita to 👍
@AbigaelNdege-n2i
@AbigaelNdege-n2i 2 ай бұрын
2:34
@monicabubu5139
@monicabubu5139 2 ай бұрын
Were here ,2025 the year of the Lord , I will be blessed and I will increase in good health ,in wealth and in righteousness,peace and joy
@ZainabZooz-y7v
@ZainabZooz-y7v Ай бұрын
Amen
@winfredmatheka-dz3vq
@winfredmatheka-dz3vq Жыл бұрын
Ata Mimi hii sio ndoto yangu Eee Mungu nionee huruma nkuwe na kiwango kingine🙏🙏
@janetmwangemi4823
@janetmwangemi4823 4 жыл бұрын
Kuitwa "single mum "hii sio ndoto yangu because the community is judging us without listening to other side of the story ,am sinner lord the good news is that jesus you came for the sinners ,naenda viwango vingine
@Pst.Patricia
@Pst.Patricia 4 жыл бұрын
Jesus Christ came for sinners, He was crucified on the cross for you to be set free. Jesus loves you Janet,if you surrender your life to him, it will never be the same again.I am a living testimony.
@Pst.Patricia
@Pst.Patricia 4 жыл бұрын
I was once a single mother of 3 who was judged, critisised,rejected but once I gave my life to Jesus Christ & surrendered to Him, God made a U-turn in my life,He is able to do exceedingly, abundantly above everything you can ever see or imagine. Praying for you
@alicendonyi6262
@alicendonyi6262 4 жыл бұрын
Pamoja my sister
@achayorosemary8289
@achayorosemary8289 4 жыл бұрын
Biashara yangu inaenda kiwango kubwa kwa jina la Yesu Kristi.
@paskalwambua
@paskalwambua 4 жыл бұрын
@@Pst.Patricia Glory to God
@tausimbulumi503
@tausimbulumi503 Жыл бұрын
I am Muslim but I listen this music I feelings one day I saw to my self for other place 😢😢never give up 🙏🙏
@charlo_lee
@charlo_lee 4 жыл бұрын
I come here again and again. Naenda viwango vingine. If you believe God will answer your prayers, say Amen
@dennismusyoka2697
@dennismusyoka2697 3 жыл бұрын
Katombi mutoto
@lennywangari4050
@lennywangari4050 3 жыл бұрын
Amen
@gideontonye7128
@gideontonye7128 3 жыл бұрын
Amen
@wemakafuka1151
@wemakafuka1151 3 жыл бұрын
Gospo shanqilien
@sharlinemamakeladasha1439
@sharlinemamakeladasha1439 3 жыл бұрын
Amen🙏
@Risper-e2g
@Risper-e2g 6 ай бұрын
Magojwa sio ndoto yangu, rejection is not my dream, poverty is not my dream,msomi mdogo sio ndoto yangu,hapa nilipo sio ndoto yangu dear lord the changer of the situation change my situation in Jesus name amen
@damarischepkorir26
@damarischepkorir26 4 жыл бұрын
kuitwa house girl sio ndoto yangu naeda viwango vingine ndoto yangu nikuitwa muimbaji mkumbwa hee mungu nisaidie
@apostlejohnkimaniwilliam8254
@apostlejohnkimaniwilliam8254 4 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (CLINTON OLIVA MOTHERLESS FOUNDATION.) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on (+2349135995319) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit faith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
@vibzmish4726
@vibzmish4726 5 жыл бұрын
Oooh, yeah... Kulipa rent kila mwezi sio ndoto yangu... Kubaki m-ajiriwa sio ndoto yangu.... Naenda viwango vingine... Sitabaki jinsi nlivyo... In Jesus name... Amen
@rizikipaul284
@rizikipaul284 5 жыл бұрын
naenda viwango vya juu
@كارولينقصصي
@كارولينقصصي 6 жыл бұрын
Hii sio ndoto yangu kuitwa shagala nifunge niende kiwango kingine katika jina la Yesu Christo
@angeljoan5431
@angeljoan5431 6 жыл бұрын
كارولين قصصي aminaaa kubwaas
@shideashidea5570
@shideashidea5570 6 жыл бұрын
Kabisa hili nalo linapita kuitwa shagala tunaenda kupasua viwango vingine Mungu saidia mashagala wote Amina
@كارولينقصصي
@كارولينقصصي 6 жыл бұрын
Amen
@kwambokazaphaniah1296
@kwambokazaphaniah1296 6 жыл бұрын
Glory to God tuende kiwango kingine
@carolynenekesa9666
@carolynenekesa9666 6 жыл бұрын
You have said it dear.
@DerrickNdungu-t3e
@DerrickNdungu-t3e 10 ай бұрын
Ata mimi naenda viwango vingine..kuitwa mtapeli sio ndoto yangu katika jina lake yesu🙏
@cherotichtravels4957
@cherotichtravels4957 5 жыл бұрын
Kuwa single sio ndoto yangu naenda kiwango kingine Mshahara mdogo sio ndoto yangu naenda kiwango kingine
@harrietmshega130
@harrietmshega130 5 жыл бұрын
Kuitwa Hse yf is not my dream am going to the next level help me God
@mbaujoel4608
@mbaujoel4608 4 жыл бұрын
😰
@derricksaidi7107
@derricksaidi7107 3 жыл бұрын
Kama umebarikiwa Na wimbo... Like
@evandubai2917
@evandubai2917 3 жыл бұрын
Kulia kwa ndoa sio ndoto yangu
@gatheekamuranga830
@gatheekamuranga830 Жыл бұрын
Coming back here after a very disappointing year of 2023 ,2024 naeda viwango vingine ishalllah💙🙏
@SuzanaMathias-yv5rc
@SuzanaMathias-yv5rc 6 ай бұрын
Ndoto yangu ni kupata ajira nzuri serikalini, eee mungu nisaidie 4:26
@njemuyegela2835
@njemuyegela2835 5 жыл бұрын
Tulioanza na huu wimbo 2020 kwamba siyo ndoto zetu tulizonazo..gonga likes hapa na Mungu apate kunyoosha njia zetu.
@nyawawilliam4726
@nyawawilliam4726 4 жыл бұрын
Navuka hapa nilipo kupitia nyimbo hii
@njemuyegela2835
@njemuyegela2835 4 жыл бұрын
Amina
@sammynyambane6252
@sammynyambane6252 5 жыл бұрын
2020 nan anasema Mungu atatuonekania tufike viwange vingine ...iwe ni masomo....iwe ni magonjwa yapite mbali ...iwe ni cheo kazini ...iwe ni baraka ..
@sarahyusufu2626
@sarahyusufu2626 5 жыл бұрын
Ameni
@sammynyambane6252
@sammynyambane6252 5 жыл бұрын
@@sarahyusufu2626 asanti Sana dada ..ubarikiwe
@NamzJanie-md4zi
@NamzJanie-md4zi Жыл бұрын
The first time I heard this song I was working in a bar and it helped me keep my hope alive and here I am a nurse and I thank God for answering and I know He's still lifting me MUCH LOVE WILLIAM FROM UGANDA 😙😙😙😙😙
@roycerammadhan7208
@roycerammadhan7208 Жыл бұрын
I am proud of you and I love God for what He Has Done for you my friend. To God Be The Glory Always.
@kaburaolene3380
@kaburaolene3380 Жыл бұрын
Nabalikiw nawimbo huuu mtumishiwamungu Asante kwa massage iliomo ndaniyake
@Queenpaloma-rh9qb
@Queenpaloma-rh9qb 7 ай бұрын
Kufanya kazi Saudi Arabia 🇸🇦 sio ndoto yangu ndoto yangu ni Kufanya kazi kubwa abroad please 🙏 God answer my prayer 🙏 😢 😢😢
@bonface6594
@bonface6594 Жыл бұрын
Kuitwa soldier sio donto yangu, ndoto yangu nikuandikwa kazi ingine nzuri eeeeeh Mungu nisaidie from Nairobi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@paulinemutunga7906
@paulinemutunga7906 10 ай бұрын
Amina
@janethjoseph2374
@janethjoseph2374 6 жыл бұрын
Haijalishi vikwanzo majaribu misukosuko sitaogopa kwa kuwa Bwana yu pamoja nami tavuka Salama na nitakwenda kiwango kingine Ameni,, Barikiwa Sana Mtumish wa Mungu
@anetshayo1076
@anetshayo1076 5 жыл бұрын
Amina
@virginieshalu
@virginieshalu 6 ай бұрын
Amen navuka naenda ngambo nyingine♥️🙏🏾kwa jina la yesu
@samueljr9105
@samueljr9105 6 жыл бұрын
Amen! Hii sio ndoto yangu kuwa mhubiri asiye julikana ndoto yangu ni kuwahubiri mataifa yote navuka naenda viwango vingine KATIKA JINA LA YESU
@morryann5194
@morryann5194 6 жыл бұрын
Ameen
@numnumnumtv9574
@numnumnumtv9574 5 жыл бұрын
William my brother give it up
@esnathnyaboke3022
@esnathnyaboke3022 5 жыл бұрын
oooh yeeees,,,niliko sio ndoto yangu,,naamini Mungu hataniacha niliko ,atanivusha kwa viwango vingine
@oscarpotiani4528
@oscarpotiani4528 5 жыл бұрын
Esnath Unánime
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Christopher Mwahangila  - MUNGU NI MUNGU TU (New Music Video)
8:40
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 2,5 МЛН
Bony Mwaitege - Safari Bado (Official Music Video) ft. Bahati Bukuku
7:52
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 7 МЛН
Jonathan Nelson - I Believe (Island Medley)(Official Video)
7:34
jonathannelsontv
Рет қаралды 138 МЛН
William Yilima-Jueni Kwamba (Official Video HD) sms SKIZA 8084516 to 811
6:26
Muhubiri Production
Рет қаралды 4,3 МЛН
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 7 МЛН
Uko wapi- william Yilima  [official lyrics]
8:13
Joseph li ric
Рет қаралды 2,9 МЛН
Martha Mwaipaja- NIFUNDISHE KUNYAMAZA (Official Video)
9:46
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 6 МЛН
10 GREATEST SONGS 2023 OF SIFAELI MWABUKA- SKIZA DIAL *837*2293#
57:18
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 2 МЛН
WARAKA WA AMANI ESTER
12:55
fimtespa
Рет қаралды 457 М.
WILLIAM R YILIMA - NITAPONDA RAHA (Official video)
7:22
Muhubiri Production
Рет қаралды 2,5 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН