kama tuko pamoja kwa haya maombi,nipe like jameni,be blessed amani good music all times
@davidmohamed4329 Жыл бұрын
Baba nataka miguu.Nipe miguu mungu
@misanamatete40863 жыл бұрын
Upo vizuri annoint Mungu akuweke na unabii utufikie kupitia nyimbo zako
@Godfreylusekelo-q3t Жыл бұрын
Kak nimebarikiwa sana huu wimbo jamn had machoz yanitoka jaman 😢😢😢😢😢
@nabiibikemwayowele2 жыл бұрын
Kitaheleweka kabisa Nilazima injili ifike pale ambapo wengine wamehachiya Baba yangu Nilazima wimbo YESU naomba miguu ifike kwa 10M nakuombeya kama mtoto wa Mungu aliye ayi.
@jamilamatumla47242 жыл бұрын
Amen. Jaman huyu kaka nampenda xana maan nyimbo zake zote zinaguxa xana moyo wang na zinanifundixha xana
@eunicenic26772 жыл бұрын
Mungu akuinue sana nyimbo zako huniinua nkiwa Chini sana
@lusajosajent54873 жыл бұрын
Mzee wa Mshangao nakupongeza Kwa kazi nzuri mtumishi
@FaithNafuna-w5f Жыл бұрын
Wimbo zako zote Zina nguvu na faraja
@naomkerubo8703 жыл бұрын
Watching from Kenya... Annoint Amani nyimbo zako zanibariki..Mungu naomba miguu Ili nisonge
@estermachea33733 жыл бұрын
Dady una double to double umependeza sana wimbo mzuri sauti nzuri pia suti zako Ni juu fireeeee .by fireeee.like it.
@celestinemutesh17062 жыл бұрын
Mbn huu wimbo inaniumiza😭😭😭😭Yesu nisaidie miguu, asante sn mtumishi Wa Mungu🙏🙏🙏
@EnocklassMose-ii4zw Жыл бұрын
Good song bwana annoint plz keep it up
@bikemwayowele2 жыл бұрын
Wamechukuwa miguhu yangu Yesu naomba miguhu Sinatena musahada Yesu naomba miguhu baba yangu Nabaki najihuliza labda nimizimu ya kwetu Utajiri tuliyo naho...........................................wamezaha namaskini
@kalundemuli53103 жыл бұрын
Amen...very nyc...niombee ata mimi ni muimbaji mchanga. Nisupport kimaombi plz Mtumishi na wengine nyote niombeeni. Mi ni cecil karush kwa you tube. Natama nifikishe huduma pahali Mungu Anataka.
@vdjpeter254official4 Жыл бұрын
Yesu nipe Miguu....What a Beautiful Song? ata mimi nahitaji miguu....Annoint you are Annointed 🙏🙏🙏
@AlainMwalungwe2 ай бұрын
Mungu akutiye nguvu❤❤❤❤
@godsvoiceintheworld13623 жыл бұрын
Kazi Nzuri Sana Boss Wetu Chapa Kazi Injili ifike Kimataifa Sisi Aea Online Tuko Nyuma Yako Tunakuombea....!!!
@barakaochengo87583 жыл бұрын
Kaka waniguza saana na huduma yako wimbo huu ni kweli yaani sio utunzi.. Mie Baraka toka Kenya nakupenda
@gabriellyadam94153 жыл бұрын
well points.power prayer.good song.all well done bro big up!
@lilianlutomia40043 жыл бұрын
Wow nyimbo zako tu ndo zimejaa kwa my phone out of 100 zako no 80%
@janechegem36473 жыл бұрын
Wacha Mungu akutie nguvu na Hekima unapomtukuza mungu,unazidi kunibariki unapoimba
@ednapeaceone24173 жыл бұрын
Yaani nyimbo za annoint hunibadilisha sana nkisikiliza may god bless you dear brother 🙏🙏🙏
@lydiahbruno50383 жыл бұрын
Keep up annoint from Kenya napenda sana muziki wako endlea mungu akulinde
@nancychebichii12268 ай бұрын
Mungu naomba miguu ili nisonge mbele, maisha yangu imekuwa ya changamoto tangu nikiwa mdogo 😭😭😭😭
@esthershalommuhiza84713 жыл бұрын
Annoint mungu akubaliki 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@Tinahwawudah983 жыл бұрын
Wow more grace @Annoint Hii nyimbo ina ufunuo na ujumbe mzito🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@InnocentCornflowers-uk9zl5 ай бұрын
MUNGU WANGU ULIEMBINGUNI NIKUMBUKE NA MM KAMA ULIVYO WAKUMBUKA WATUMISHI WAKO WENGINE. ANNOINT NAKUPENDA SANA MY D,A
Keep it up mtumishi wa MUNGU, nyimbo zako ziko na uepo wa MUNGU
@nabiibikemwayowele2 жыл бұрын
image nzuri sana kabisa Apo ulipo baba yangu Atuwa mbele
@lairumbijohn5593 жыл бұрын
Ndugu,naona umerudibkwa mpigo,nngekua na number ya ya simu nngekupigia,hope u r well in Christ Jesus...keep up the song is lit.
@songoloyvesekyamba3 жыл бұрын
Asante kwa usikilivu mwema bikemwa yupo Congo kwasasa amefika vizuri
@janetnduku66283 жыл бұрын
Naomba miguu Bwana niendelee 🙏🙏🙏
@nancynyachama50582 жыл бұрын
Good message ya mbinguni amen amen
@annastaciakingooofficial12493 жыл бұрын
Mimi nabarikiwa sana na nyimbo zako
@songoloyvesekyamba3 жыл бұрын
Nabii bikemwa Alesha fika CONGO
@alooageel86743 жыл бұрын
Hii nyimbo naisikiza almost daily three to four tyme. This year lazima Mungu aturegeshee miguu in Mighty name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@aishamunga66673 жыл бұрын
I'am a Muslim but this song aki maneno yake its true
@ngui3862 жыл бұрын
Mungu akubarik
@zippykwash76973 жыл бұрын
Nyimbo zako ziko na messages poa be blessed with the blood of jesus🙏🏾🙏🏾
@jarusaakaaka5809 Жыл бұрын
Hmm I'm going I'm in Gunn gg
@sarahadonga61493 жыл бұрын
Bado nasikiza wimbo mtamu kumbe imeisha......inanibariki ndugu.....
@langatevanskitolindet86752 жыл бұрын
Mungu akuzidie neema ndugu... Nyimbo zako zatia mtu nguvu
@gladys8412 Жыл бұрын
GOD GIVE YOU EVERYTHING THAT YOU need He will answer your prayer
@nabiibikemwayowele2 жыл бұрын
Naomba miguu heeeh Yesu wangu
@ritanamutos45582 жыл бұрын
I really love ur music man of God let our sweet Father continue using u and lifting u high Mungu akubariki sana
@annmaina-tc9vw Жыл бұрын
Your songs have really blessed me
@peshedu47023 жыл бұрын
Good job amani keep the fire burning 🔥🔥🔥🔥,,, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tupo pamoja mtumishi 💪💪
@emmanuelnyongesa51282 жыл бұрын
Uko juu bradha...tayari wewe star in Jesus name,zidi kunyenyekea chini yake ili akuinue zaidi.,..umenibariki sana....Kenya twakuskiza
@modestaranotar14842 жыл бұрын
Nice song be blessed kabisa God answers prayers let's keep heart 💕💞💞💖💗
@emmanuelnyongesa51282 жыл бұрын
Amen
@JoviterMbuga-zz6qu Жыл бұрын
Mungu naomba miguu
@JoviterMbuga-zz6qu Жыл бұрын
Nice song mungu naomba hatua
@AdonisSifa3 жыл бұрын
I love this song ❤️❤️❤️
@reginafidelis35173 жыл бұрын
Ondoa hiyo denge kaka,andiko liko wazi linalozuia,
@MarryMasonga4 ай бұрын
Baba naomba mwendo maadui wamenipunguzia mwendo. Hakika annoit umenikumbusha kitu, hakika bwana akuongezee mwendo uzidi kuhubiri.😮😮😮😮😮
@hellenmoses97602 жыл бұрын
Duuuuuh mungu azidi kukupaka mafuta mabichi yasiyogoshiwa mtumishi uimbaji wako uwe juu zaidi na zaidi
@LydiahMwangi-i8o9 ай бұрын
Anoint amani mtumishi wa mungu umenibariki sana mimi ni paster kutoka kenya ningetaka naba ya simu yako niongee tu na wewe pls🙏🙏🙏
@josephinesheehama7522 жыл бұрын
Is true He is taking the gospel to a higher level. Preach the gospel up to the end of the world Annoint. Blessed you young bro. Way from Namibia every time I listen to your songs. Even feel no one to talk to
@zipporahkwamboka20902 жыл бұрын
Napenda huu wimbo sana wacha mungu akupaliki man of God
@evalynekubochi93113 жыл бұрын
Nimebarikiwa na hii wembo God bless you 🙏
@SharonKajulo-t8l9 ай бұрын
Amen barikiwa aki mungu akuzidishe nguvu 🙏🙏💪
@wilfridanafula6382 Жыл бұрын
Bado naskiza huu wimbo mara kadhaa kwa siku. Barikiwa sana
@salmamaskat17522 жыл бұрын
Mungu akubariki na azidi kukufunulia mafunuo zaidi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@muhizaesthershalom70733 жыл бұрын
Ameeen Hallelujah anoint mtumishi wang
@mercyfaith8566 Жыл бұрын
Ameeeeen yaan mm ata sichoki na hii nyimbo mngu akuzidishe zaadin🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@lizylizymoraa67982 жыл бұрын
Annoint Amani muimbaji hodari kutoka pale Tanzania 👏 pongezi motomoto kutoka kwa Lizylizy msanii entertainer ❤️❤️kazi njema msanii 🔥🔥
@mercychengetich94753 жыл бұрын
Wow amen man of God continue to be flourish in Jesus name, very powerful message 😭
@judithimlawa5787 Жыл бұрын
Hizi nyimbo zake huwaga nabarikiwa sana na kila siku lazima nizipige
@chrismuturi62053 жыл бұрын
How this man blesses Me 🙏🙏🙏🙏 may God continue uplifting you my brother
Mungu azidi kukuinua zaidi annoint Amani uzidi kuimba kimataifa na ulimwengu mzima
@falaceogeto90903 жыл бұрын
Ameen I love you and your songs too from Kenya b blessed Annoint continue spreading gospel
@lawrencewambuakithaitho32963 жыл бұрын
Ujawahi niangusha ,,,,roho mtakatifu na akupe mengi bro,,
@Thanksallvvvv Жыл бұрын
😂Mimi niko na ile inamaliza 8 mins mbona ulifuta hio kwa KZbin naipenda iyo sana
@annemakusa36482 жыл бұрын
Hata mimi Mungu nipe hatua. Nimechoka na maisha ya chini. Mungu akuine Annoint
@yobratheone98763 жыл бұрын
Nyimbo zaki zanibariki sana .barikiwa sana na mungu aedelee kukuongoza .Kenya twakupenda sana
@hidayanzowa93152 жыл бұрын
Mungu azidikuku baliki eti sikuadi sku Amina🙏🙏 ♥️♥️♥️♥️♥️♥️💐 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹
@bernarderadi44103 жыл бұрын
Mmmmm hiyo base👏👏👏👏🙏
@BettyJesca5 күн бұрын
Umenibamba Anoint hata mimi kila napopiga hatua moja mbele huwa narudi tena nyuma
@janepharawor70482 жыл бұрын
Woow nice
@yvonneachieng28443 жыл бұрын
Amen mungu akubariki
@hidayanzowa93152 жыл бұрын
Mungu nipeatuwa hinikwajili yangu Amina 🙏🙏🙏♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@carolynenjalale87942 жыл бұрын
Ameeenn😃👏👏
@INKATVONLINE3 жыл бұрын
Good message
@bettycharlesofficial92603 жыл бұрын
Ulie iruhusu ndoa yangu iishe nilejeshee ingine....unae niluhusu niitwe Msanii chini ya manji,niluhusu nikue star.🙏🙏🙏😊
@jaredmaragia17763 жыл бұрын
Bro Annoint Amani barikiwa sana wimbo mtamu sana endelea kutia moyo na nyimbo . Amazing bro Esther kutoka kisii kenya
@josephwekesa783510 ай бұрын
so touching, may God bless you for your songs. Imeniguza hadi nikahisi majonzi yanitoka.
@gracemafwenga61213 жыл бұрын
yesu naomba miguu. Ubarikiwe mtumishi
@mugusiagretrude72305 ай бұрын
Nice❤ mungu wangu nataka hatua dunia ishangae Amen🙏🙏
@songoloyvesekyamba3 жыл бұрын
Ameona akujuze kwa ujumbe youtube bikemwa amesha fika déc CONGO
@ruthmakumbi2 жыл бұрын
Thankyou God kweli ndivyo ilivyo mungu atusaindie mtu wa mungu
@winniferkerubo99563 жыл бұрын
Sitachoka kamwe kusikiliza nyimbo zako nzuri zidi kubarikiwa sana
@fatmahussein8673 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana 💕💕💕💕
@rosefamily33583 жыл бұрын
Baba naomba miguu nipige hatua mbele maishani. Wimbo mzuri mnooooo.
@nabiibikemwayowele2 жыл бұрын
Malaika baruwa ninakupa Ninakutuma nenda kamwambiye yesu Yeye ni baba tena kila kitu kwangu Wamechukuwa miguu yangu Yesu naomba miguu Barikiwa sana baba yangu
@mariamndelwa Жыл бұрын
Duuuuuu safi Sana nakukubali Sana we ndugu unegua kila eneo
@LawranceChristian-q1e Жыл бұрын
Kipaji chaos na Bwana yesu akiangalie na kukikuza, maana kwacho watu upokea kuitafakari njia sahihi, nguvu na faraja. Na uzidi kupanuka kwenda viwango na viwango