Annoint Amani - UNAJITOA AKILI ( official music video )

  Рет қаралды 237,255

Annoint Amani

Annoint Amani

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 10 ай бұрын
Brother umeimba ujumbe mzito sana asante sana Mungu akubariki ndugu yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@annointamani3285
@annointamani3285 10 ай бұрын
AMEEN KAKA ANGU 🙏 APEWE SIFA NA UTUKUFU BWANA WETU YESU🙏
@nancycheby125
@nancycheby125 10 ай бұрын
Hii ni injili tosha God bless you 🙏🙏
@annesikangei7427
@annesikangei7427 10 ай бұрын
Ukweli kabisa,waambie Mwanangu
@AdonisSifa
@AdonisSifa 10 ай бұрын
This is the real Gospel. 💪🏿💪🏿Mungu akutie nguvu mtumishi
@AnordiMichael
@AnordiMichael 9 ай бұрын
😢😢😢 God save u
@Moses-Modekai
@Moses-Modekai 9 ай бұрын
Nikweli mtumishi wa mungu
@ruthmwende3897
@ruthmwende3897 10 ай бұрын
Wow....nice song
@paulmaneno-o4n
@paulmaneno-o4n 9 ай бұрын
A good song indeed.
@Shantelkaunda
@Shantelkaunda 10 ай бұрын
Indeed and indeed be blessed man of God image tunna kusikiliza from Uganda be blessed indeed.
@joycemisocho6005
@joycemisocho6005 10 ай бұрын
my brother god bless you songs sako siko mbrle nasiprnda sana am Joyce from kenya god bless you every time and every day
@remmymwanziagospelsongs5896
@remmymwanziagospelsongs5896 10 ай бұрын
Wakenya nipitieni na LIKES HAPA PLEASE WEKA TUKISONGA KAMA UNAPENDA ANOINT AMANI
@douglasmugondi
@douglasmugondi 10 ай бұрын
Done
@discoverytvkenya
@discoverytvkenya 10 ай бұрын
We're are together brother
@sheilahnyongesa9425
@sheilahnyongesa9425 10 ай бұрын
@mercymushindi2225
@mercymushindi2225 10 ай бұрын
From Kakamega ❤❤
@SergeKambale-mz5tn
@SergeKambale-mz5tn 10 ай бұрын
Vraiment ce trè belle chanson nimeipenda sana
@stephentarus
@stephentarus 10 ай бұрын
God bless annoint iam Kenyan like annoint he is gifted God talent🇹🇿🇰🇪
@CheerfulHighway-op8tf
@CheerfulHighway-op8tf 10 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 ni nyakati za mwisho.mungu atusaidie sana.
@Moses-Modekai
@Moses-Modekai 9 ай бұрын
Am Moses be blessed
@FanisNyamboke
@FanisNyamboke 10 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi wa mungu❤❤❤
@rechoagrey3364
@rechoagrey3364 10 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki Annoint
@magrete483
@magrete483 10 ай бұрын
Ujumbe mukubwa mtumishi Mungu akubariki sana
@brianuniquecop943
@brianuniquecop943 10 ай бұрын
Wimbo tamu sana..wakenya twapenda kazi yako . Zidi kubarikiwa
@isaacapus5815
@isaacapus5815 10 ай бұрын
Really bro thanks for teaching us May u keep that spirit on u following u from Uganda
@nellynyawara
@nellynyawara 10 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏 woooow wooow 👏👏👏👏👏this is the gospel Annoit mungu akuinue zaidi na ukupeleke viwango vingine whueee 👏👏👏👏
@thekipandes
@thekipandes 10 ай бұрын
Safi sana mtumishi
@benedict6810
@benedict6810 10 ай бұрын
Napenda jinsi unapo nibariki na nyimbo zako the real man
@HermatonHenry
@HermatonHenry 10 ай бұрын
Asante mtumish najifunza mengi kutoka kwako mungu awe ktkt yako
@Moses-Modekai
@Moses-Modekai 9 ай бұрын
Kweli sana
@JoyceAmaingu
@JoyceAmaingu 10 ай бұрын
God bless you Anoint, message well delivered ❤❤
@judithmwende5696
@judithmwende5696 10 ай бұрын
A very nice Song. Ubarikiwe kaka Annoint
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 10 ай бұрын
Wimbo Mukubwa Sana Kabisa
@EunnyNicks
@EunnyNicks 10 ай бұрын
U Always bless me man of God
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 10 ай бұрын
Mwanangu unaimba nyimbo zenye ujumbe wa kweli, Mungu atusaidie tuyaache mabaya. Tunakupenda ❤
@BettyChebet-h1v
@BettyChebet-h1v 10 ай бұрын
I love songs
@NancySarange
@NancySarange 10 ай бұрын
Perfect ❤❤❤ keep it up 🎉🎉🎉
@maryemanuel5263
@maryemanuel5263 10 ай бұрын
Wimbo mzuri sana una maonyo, mwenye sikio na asikie neno Roho awaambia makanisa na watu wote.
@Mansamusa59
@Mansamusa59 10 ай бұрын
Great gospel. Natamani sana ningeweza kuimba kama wewe. Blessed are you... Much love and support from Kenya
@anastaciachepkoech8780
@anastaciachepkoech8780 10 ай бұрын
Thank you. Mchungaji continue rebuking sin and never depart from the gospel of the cross.love your songs all the way from kenya . 🇰🇪
@Joshuasontheeassignmentmin755
@Joshuasontheeassignmentmin755 10 ай бұрын
Be blessed sir
@ibrahimmaroa1894
@ibrahimmaroa1894 10 ай бұрын
ukweli kabisa brother binadam wa siku hizi awaoni Kaka 🙏🙏
@ericksimon202
@ericksimon202 10 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi anoint amani
@EmilyKemunto-mr1wl
@EmilyKemunto-mr1wl 10 ай бұрын
Hongera mtumishi,napenda kusikilisa nyimbo zako sana,much love from 🇰🇪 🇰🇪
@FADHILICHIKOLO-pb8iy
@FADHILICHIKOLO-pb8iy 10 ай бұрын
Hongera nyimbo mzuri sana 🎉🎉🎉🎉
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 10 ай бұрын
Mungu nisaidie mwisho wangu uwe mwema...nisikose paradiso.hongera mtumishi wa Mungu kenya tunakupenda
@JanetNafula.Barasa
@JanetNafula.Barasa 10 ай бұрын
Wooow nice song may God bless you hii ni ujumbe mzuri sana kwa wanadamu
@Joy-c2q8y
@Joy-c2q8y 10 ай бұрын
Really gospel ❤,,,,,am proud of you,may the grace of God be with you forever
@bambuguyasamuel3107
@bambuguyasamuel3107 10 ай бұрын
Amen 🙏 😭😭😭😭 Ujumbe mzito sana Kwa Ulimwengu
@robertmuriungi4029
@robertmuriungi4029 10 ай бұрын
Nizidi kubarikiwa na nyimbo zako mtumishi..Mola akuongezee neema zaidi
@marthamuseeofficial3254
@marthamuseeofficial3254 10 ай бұрын
Congratulations mtumishi wimbo mzuri
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 10 ай бұрын
Hongereni sana Watumishi kwakuyaona haya
@assumptah8105
@assumptah8105 10 ай бұрын
Nyakati za mwisho,tubaki tu kwa maombi
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 10 ай бұрын
Eeh Mungu nipe kumaliza kwa roho Yesu
@bethsebakhanali6539
@bethsebakhanali6539 10 ай бұрын
I'll always be strong in the name of Jesus Christ amen 🙏🙏 be blessed bro
@annegraceatwork8616
@annegraceatwork8616 10 ай бұрын
PERFECT MESSAGE WORTH IT 🎉👍💯
@Jymo141
@Jymo141 10 ай бұрын
I love this man of God
@shadrackosabil6354
@shadrackosabil6354 10 ай бұрын
Kazi nzuri mtumishi annoint.am a gospel singer from Kenya 🇰🇪
@dorcahnyabo4713
@dorcahnyabo4713 10 ай бұрын
mungu azidikuku inua kwe vigwango vingine mtumishi wa mungu
@lediciacheilax4831
@lediciacheilax4831 10 ай бұрын
❤❤❤❤ My favorite 🎉 wonderful shoot content🔥
@janetakoth1832
@janetakoth1832 10 ай бұрын
POWERFUL GOSPEL MR ANNOINT, DUNIA IMEISHA MUNGU NJOO TU USITUME YESU😢😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏😭
@CARENBULUMA-we9xz
@CARENBULUMA-we9xz 10 ай бұрын
Our God protect us 🙏 from evil 😈 doing 🙏
@gghh9218
@gghh9218 10 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@SpenserKemunto
@SpenserKemunto 10 ай бұрын
Very sweet voice melody congrats bro
@gggghhhbh5755
@gggghhhbh5755 10 ай бұрын
Ukweli kabisa tuko Kwa nyakati za mwisho vitendo vyaonekana
@princessvimala1424
@princessvimala1424 10 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙌 this Gospel is 🔥.Be blessed 🙏 mtumishi
@JoshuaMlay-mw8zi
@JoshuaMlay-mw8zi 10 ай бұрын
Brother annoint wewe bwana mungu anakutumiaga xana kwa mfano huu wimbo na final ni kesho huon bwana mungu anakutumia xana kaka usichoke na bwana akubarik
@doreenotwori4636
@doreenotwori4636 10 ай бұрын
Aky wimbo tamu wakutupeleka kwa yesu lkn atushikii
@KokundekaYesu
@KokundekaYesu 10 ай бұрын
🎉❤This man knows how to sing❤
@ruth-lb4qf
@ruth-lb4qf 10 ай бұрын
Nice song
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH 10 ай бұрын
Annoint amani 🎉🎉🎉
@gedionmbuvi7128
@gedionmbuvi7128 10 ай бұрын
Good song
@TeresaKubende
@TeresaKubende 10 ай бұрын
Love your music God bless you
@benedict6810
@benedict6810 10 ай бұрын
Hii wimbo nimeirudia mara saba
@Moses-Modekai
@Moses-Modekai 9 ай бұрын
Am from Kenya voi Taita imenibless sana
@douglasmugondi
@douglasmugondi 10 ай бұрын
Kip going brother your blessed
@yvetteirankunda520
@yvetteirankunda520 10 ай бұрын
Mamfunzo mazito katika wimbo huyu. Mungu zidi kuinuliwa, pia utusahidiye
@KuvunaGonda-l4f
@KuvunaGonda-l4f 10 ай бұрын
Hongera KK 🙏🙏🙏
@bagazakind
@bagazakind 10 ай бұрын
Natamani nikuone siku moja mtu wa Mungu
@RuthNgatha
@RuthNgatha 10 ай бұрын
Congrate🎉❤ I love it may God bless you . continue with same spirit.soma Romans 8:31
@bonaways1114
@bonaways1114 9 ай бұрын
Wimbo huu umefanyiwa utafiti wa kutosha. Ndugu Mungu azidi kukuinua kila kukuchao. Barikiwa sana
@kilonzojonah2718
@kilonzojonah2718 10 ай бұрын
Naiona kazi zuri,,,,Kenya ooooyaah
@monicawarimi1421
@monicawarimi1421 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@SilasMukanya-ig2vi
@SilasMukanya-ig2vi 6 ай бұрын
Mungu ABARIKI kabisa Napenda nyimbo zako ziko n'a upako
@AgnessNyaboke
@AgnessNyaboke 10 ай бұрын
Amaizing Gospel, May God bless you🙏🙏🙏
@mary-cm5je
@mary-cm5je 10 ай бұрын
AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@Isaack-ey5kk
@Isaack-ey5kk 9 ай бұрын
Ndugu anoint mungu na abariki KAZI ya uimbaji wako kwakweli ujumbe wako wa kilawakati kupitia kwenyenyimbo zako ni wakubariki Sana, naomba mungu azidi kukubariki unapozidi kutubarikipia Eeeeemen
@AnacletNduwayezu-yn9ec
@AnacletNduwayezu-yn9ec 2 күн бұрын
Ubarikiwe namungu unaimba vizuru sana tunakupenda sana.
@JoshuaYeremia
@JoshuaYeremia Ай бұрын
Nimeipenda hiyo imenibariki najifunza mengi mazuri🎉🎉
@MarryMasonga
@MarryMasonga 4 ай бұрын
Mungu akutangulie kwenye kazi zako mwanangu kwakutoa ujumbe mzuri❤❤❤❤❤❤❤❤
@RehemaJuma-m8o
@RehemaJuma-m8o 3 ай бұрын
Mungu azidi kukupandisha katika viwango vyajuu mtumishi kz ni nzr sana
@eliamanirakiza5127
@eliamanirakiza5127 10 ай бұрын
Amen,Mungu yuko serious kabisa.Ubarikiwe sana mtumishi
@RogerKabuyaya-gu1em
@RogerKabuyaya-gu1em 8 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu, Mungu akuongezeye miaka zaidi, umefanyika baraka kwetu
@simpassagrace6907
@simpassagrace6907 6 ай бұрын
Amen. Injili nzuri. Ubarikiwe sana mtumishi
@LetionLengima-br8gh
@LetionLengima-br8gh 9 ай бұрын
Be blessed so much nyimbo zako zinanibariki Sana songa mbele zaidi
@Elishaponde
@Elishaponde 10 ай бұрын
ubarikiwe kaka
@masterking534
@masterking534 10 ай бұрын
😢😢❤
@Alan-g2t
@Alan-g2t 8 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana, Mungu atusaidie kwakweli, tunaleta mzaha sana.
@dorinekavira8913
@dorinekavira8913 4 ай бұрын
Una tu bariki sana kaka, Mungu aku bariki kwa huo uduma
@MartinNiyukuri-n2t
@MartinNiyukuri-n2t 8 ай бұрын
Mungu nisaidie mwisho wangu uwe mwema nisikose paradiso ubarikiwe muimbaji
@annaniyinkunda7770
@annaniyinkunda7770 9 ай бұрын
Mungu akubari endelea kuhubiri kaka yangu wakusikia watasikia ❤
@irenedis5537
@irenedis5537 8 ай бұрын
Sauti unayo na ujumbe pia Mungu atusaidie na atuhurumie kukaa kwa njia zake
@MarryMasonga
@MarryMasonga 4 ай бұрын
Ni kweli Kuna manabii wa uongo na manabii wa kweli❤
@newsonmogire2443
@newsonmogire2443 Ай бұрын
This man is blessed ooh,...2024😅
@PaslayPascalmbula
@PaslayPascalmbula 10 ай бұрын
Amina kwakutuongea imani yambinguni mtumishi wa Mungu nimefunguliwa kwakweli
@princessjudith75
@princessjudith75 10 ай бұрын
barikiwa kaka.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 2,5 МЛН
Annoint Amani - Chumba cha siri ( Official music Video )
11:52
Annoint Amani
Рет қаралды 390 М.
BEST OF ANNOINT AMANI TZ MIXED BY DJ COLLITER
48:30
DJ COLLITER TV
Рет қаралды 110 М.
HAKUNA KAMA WEWE, BABA TUNASONGEA AND UNAWEZA BABA by Minister Danybless worship
19:25
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1 МЛН
PAULO SIRIA - MAONO YANGU ( OFFICIAL VIDEO )4K
6:48
Siria tv online
Рет қаралды 23 М.
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 474 М.
Annoint Amani = Yesu Naomba Miguu ( official music video )
6:14
Annoint Amani
Рет қаралды 1 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН