ANYANG’ANYWA mwanae SWEDEN, asimulia UBAGUZI wa RANGI anaopitia, alia kwa UCHUNGU, Wazungu hawajali

  Рет қаралды 36,818

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 788
@winfridapiusmalisa6712
@winfridapiusmalisa6712 Жыл бұрын
Maryam maumivu yako mimi nayaelewa sana Inshallah Allah akufanyie wepesi natamani tukutane mimi pia naishi sweden
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 11 ай бұрын
Mimi Pia Niko Sweden have Been through the same kuishi kvinnojouren but watoto wangu siku wa loose Niko nao hadi Leo. Huyu mi naona kwanza ni Nuksi yuko nazo Cox kila analo fanya ana pata mikosi. Aende kuombewa kwanza. Anyway Mwenyezi Mungu ata msimamia. Mariam huja pata mtu anaye Jua system Na Kumps njia za kudeal Na watu wa social.
@chai_r
@chai_r Жыл бұрын
Start a gofundme or something. We will support you and your daughter.
@issazalala4907
@issazalala4907 Жыл бұрын
Maisha mazuri ni ndani ya taifa lako ugenini ni shida Tu aisee
@user-lk1rp4mx3y
@user-lk1rp4mx3y 11 ай бұрын
P
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 11 ай бұрын
Sana2 jmn
@allahisone6386
@allahisone6386 11 ай бұрын
UPO SAHH
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 11 ай бұрын
Sahihi
@allahisone6386
@allahisone6386 11 ай бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 🤝%💯
@belyseirankunda7277
@belyseirankunda7277 Жыл бұрын
Naishi Sweden naomba dada tukutane Na pole sana❤
@upendogreutert199
@upendogreutert199 11 ай бұрын
Afadhali msaidie kwa kweli mana ukiwa ughaibuni ukakutana na hekaheka ya hivi is very Sad jamani
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 10 ай бұрын
Ohhh Mtoto unamacho mazuri MASHALLAH 👌msaidie mwenzako mwaya
@Star50046
@Star50046 3 ай бұрын
Why dramatic music?
@Tza001
@Tza001 Жыл бұрын
Daah kuishi nchi za watu ni changamoto
@nemasalum6739
@nemasalum6739 Жыл бұрын
pole Sana Maryam, it's not easy as a mom to live without seeing ur child, and all the abuse u have gone through gooosh! it's very tough. But honey God is watching, try to be closer to God, fast n pray and believe one day everything gonna workout. To my other sisters : pls mnapokuja ulaya kuishi do ur best kujua lugha, jua rights zako and be urself(don't act like ur someone else whom ur not) never ever show them ur weakness, they will always take advantage on u, na mwisho follow the rules.
@OmariTube
@OmariTube Жыл бұрын
Nikiwa Mwafrika, naendelea kuzilaumu nchi zetu za Kiafrika na viongozi wetu. Ikiwa tumedhamiria kwenda nje kutafuta maisha, ni kwa sababu hatuna fursa katika nchi zetu.
@lildraco_k8977
@lildraco_k8977 Жыл бұрын
Kusema Anyanganywe wa Toto huyo siyo mtu mzuri hajuwi kuchunga mtoto kabisa
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
​@@lildraco_k8977point kabisa...
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
@@lildraco_k8977unanijua mpaka useme mie sio mtu mzuri kisa anae kukoloni ndio mwizi wa mtoto wangu. Watu weusi bhana utumwa wa kifikra ndio tatizo.
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
@@modekaijamesfafanua ujinga kwanza? au mjinga wewe unae ishi kimasikini nchi inafaidisha wazungu, waarabu na wachina? tunatoka kufuata benefits za rasilimali zinazoibwa kuendeleza nchi zao. upeo wako wa ufikiri unahitaji msasa
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Waambie hawa swahili waoropokwa humu, nchi fursa zote wana control wageni na wachache waliojipa madaraka, si kila mtu anaradhika na umasikini ndio mana tunatoka nje. japo na huku tunakandamizwa
@emmanuelngesi5429
@emmanuelngesi5429 11 ай бұрын
Pole sana ndg Mungu akufanyie wepesi kwa jambo lako umpate mwanao & sie wengine tutaishi kwetu tz na changamoto zetu tutakabiliana nazo kwa kuwa maisha ni hapa hapa kwetu .👍
@kari_7008
@kari_7008 11 ай бұрын
These Interview has touched me so deeply to c my sister suffer like these in a foreign country? Kwanini Sisi's waafrika tusiwawekee Hawaii Wazungu Masharti magumu hawa wazungu huku kwetu Aafrika!!!!
@alisaid5392
@alisaid5392 Жыл бұрын
Pole sana vipi ubalozi wa Tanzania huko umeshajaribu kutaka msaada wao.
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Ubalozi unaitambua kesi yangu na hawajajibiwa mpaka leo na upande wa serikali ya sweden
@anniafredrick8925
@anniafredrick8925 3 ай бұрын
Pole sana maryamu , Mungu akusaidie ufanikiwe kupata mtoto wako.
@mariamjama80
@mariamjama80 9 ай бұрын
Pole sana maryam! Viatu vyako nashindwa kuvivaa vinanipwaya havinitoshi mimi naishi Sweden Muda sana nilikuja huku nikiwa na miaka 14 kuna baadhi ya familia nazijua wamepitia shida kama yako lkn kwa kesi nyingine ya watoto sio kazinrahisi, ila usikate tamaa shika loya ila naamini mungu atakusaidia unampata mtoto wako! 🙏🙏🙏
@alakibutanga4021
@alakibutanga4021 Жыл бұрын
Pole sana dada
@celinamachundoInspires
@celinamachundoInspires Жыл бұрын
Pole sana. Sweden, Norge na Dk ni shida sana. Ukipoteza custody ni shidaa.
@celinamachundoInspires
@celinamachundoInspires Жыл бұрын
Niko DK na ni social worker, ila hapo Sweden ni kiboko.
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
@celinanielsen7971 umesahau kutaja na Finland, hizi nchi 4 kama mabinamu tu, mulemule yaani ni noma
@celinamachundoInspires
@celinamachundoInspires Жыл бұрын
@@homeandaway2811 ni kweli nilisahau. Ila najua sheria zao, najaribu sana kuwaelewesha ndugu zangu kupitia KZbin . Hii mentality Pia ya kuwa mzungu ni bora inatuua. 😭
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
​@@celinamachundoInspireskabisa ni mentality ya kishamba na kimaskini sana
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 Жыл бұрын
@@celinamachundoInspires dada ungeongea sahh ukisoma koment utaelewa tu ss watu weus Ni shida sana
@MrSamaki
@MrSamaki Жыл бұрын
Kuna movie inaitwa "Mrs Chatterjee Vs Norway" it based on true story, ipo sawa na uyu case na uyu dada
@bhokerotente3822
@bhokerotente3822 Жыл бұрын
Niliangalia hii...ila Ulaya bwana😊
@didah4really93
@didah4really93 Жыл бұрын
Subhanallah 😢 Maskiin 😔Allah akupe subra na uvumilivu. Nchi huru ni nchi yako tu basi.
@NeemaSteven328
@NeemaSteven328 11 ай бұрын
Pole sana dada! Ila nimefurahi SnS wanakusaidia kupaza sauti . Nina Imani serikali ya Tz siku moja watakusaidia pia . ❤
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Pole sana kipenzi
@SelinaPaschal-vq2iy
@SelinaPaschal-vq2iy Жыл бұрын
Wanao tamani wazungu mjifunze MUNGU akufanyie wepesi
@Nyota_Nyota
@Nyota_Nyota Жыл бұрын
Sio wazungu ata sisi wakono ambao tumezaa na wakongo wenzetu tunanyanganywa 😫
@SwissShorts
@SwissShorts Жыл бұрын
Mama Sema Ukweli ulifanya Nini.... Mama anahaki kubwa sana Na mwanae
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
Hata nami nahisi kuna jambo alifanya na halisemi tu,bali tukisikiliza upande wapili ndo tutaelewa poa...
@chuichui-ht6wq
@chuichui-ht6wq 11 ай бұрын
@@hopechidera. yote aliyoongea hapo japo 5, yaaani haujaelewa hata kama uongo ni asilimia 90?
@bensonchege8623
@bensonchege8623 Жыл бұрын
Dada zetu tuacheni kazaa na beberu..wanana dada wetu wanatamani hawa beberu hata kuwazalia !!! Beberu ni hatari sana popote walipo !!! Pole sana maryam
@hemedtawah4130
@hemedtawah4130 Жыл бұрын
Huyu mwanamke yuko right, japo anaweza kuwa stressed kwa kumpoteza mwanae, hii kitu ya kuiba watoto hata norway ipo. Ina jina inaitwa bernevenet. Na sio kwa watu weusi tu. Wanafanya kwa asilimia kubwa watu wanaotoka nje ya either norway au sweeden. Actually mm naita hii ni children human trafficking. Nimeshuhudia hadi wazazi wa kimarekan ambao wako norway yamewakuta haya na wameloose mahakaman. Ukiwa na muda ingia youtube ujifunze kuhusu hii children's walfare inaitwa bernevenet. Mungu atawarejeshea furaha zenu wote mlionyang'anywa watoto.
@FatumaMuya
@FatumaMuya Жыл бұрын
Amiin
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
Kabisa hata Finland nihivio 😢😢😢wanafaidika kwakutunyanganya wa toto😢😢😢😢😞😞😞🥺🥺
@hemedtawah4130
@hemedtawah4130 Жыл бұрын
@michelinemapendo6652 I think hawapend race zao ziwe disturbed na foreigners ndio maana wakaja na huu mkakati wa kuwapunguza kwa kuwaiba watoto, hata leo na kesho mtu mwengine akiona hiki hawezi kwenda.
@celinamachundoInspires
@celinamachundoInspires Жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Hiyo documentary ilikuwa mojawapo ya topics nikiwa Uni. Inaonyesha no mercy kwa wazazi. Mbaya zaidi wakiwachukua wanapo turn 18 wanatupwa cause their now adults wajijue wenyewe😭 sad. Dawa ni ku prevent badala ya hayo wanayofanya. Ndiyo maana najaribu kuwaelewesha wenzangu hii kitu ni serious😭😭
@hemedtawah4130
@hemedtawah4130 Жыл бұрын
@@celinamachundoInspires asee huku tutafute tu kisha turudi makwetu. Ila kwa malezi ya watoto. Ni jambo la kubahatisha. Mitihan kila kukicha
@ndabarinzesamuel9333
@ndabarinzesamuel9333 11 ай бұрын
Pole sana dada, tatizo la kuolewa na hiyo rangi ya kizungu ujuwe kama utanyanyasika tu, huku ulaya mzungu akiuwa mtu anafungwa miaka minne au mitano lakini muafrika ni kkifungo cha maisha.
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 Жыл бұрын
Mi Nipo USA 🇺🇸. Nchi hii ni nusu paradizo uhuru upo wakutosha ukiwa mtu mtulivu na mwenye kujielewa. Narudi Bongo Twice every Year. Sijaona baya sana ubaguzi hata wa bongo tunabaguana .
@katejolly6752
@katejolly6752 Жыл бұрын
Mmi nakubali USA is best ata mmi naipenda America naishi Tanzania nikipata nafasi yakuenda America nitafurahi
@claramboya2018
@claramboya2018 Жыл бұрын
Acha kutudanganya bana,mbona kila sk wanauwa waafrika hk,uhuru upo ila kunaubagozi mkubwa tuu
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 Жыл бұрын
Sasa kama huyo mwanaume alikuwa mlevi, mbona hawajakupa wewe mtoto😂😂😂😂pls give me a break. Mimi nafanya kazi kwenye idara ya child protection, trust me, hata mimi ningemchua huyo mtoto, huyu mwanamke muongo na ni careless.
@lildraco_k8977
@lildraco_k8977 Жыл бұрын
Yeah inawezekana ni mama mubaya kwa mtoto
@niite_cousin1362
@niite_cousin1362 Жыл бұрын
We hujaelewa alivyo sema kuhusu ubaguzi?? na kwa kuwa ni mweusi hasikilizwi ?? Child protection wanyo !!!😏😏, unajua ubaguzi ulivyo nchi za scandinavia wewe zidi ya watu weusi ?? Watu walio Ruhusu kuchoma vitabu vya dini bado wataka kuwasemea ?? Bata waed
@romainswedy940
@romainswedy940 Жыл бұрын
Nilisema ivyo na mimi ila majibu yake ilikuwa makali
@nussah3158
@nussah3158 Жыл бұрын
Unafanya wapi wewe. Tanzania ama Sweden?
@romainswedy940
@romainswedy940 Жыл бұрын
@nussah3158 if I'm not mistaken, unauliza na kaa wapi?if so naishi USA but I'm from DRC
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Kwanza Pole sana Dadaangu kwa yaliyo kukuta, kwa mimi ninavyoona kama mtu aliacha huduma tu na mtoto ulikuwa nae, nafikiri usingeenda kumripot kisa hakusaidii, mpaka Leo ungeishi kwa Amani na mtoto wako ayo ni Maoni yangu tu.
@kristallipuotikivetkauppa448
@kristallipuotikivetkauppa448 Жыл бұрын
Kabisa, something is missing.Alimtafuta wanini baba wa huyo mtoto na huku akijuwa mwanaume ameathirika na madawa ya kulevya? Angevumilia akalea mwanae peke yake haya yote yasingetokea.
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Umesikiliza vizuri mahojiano? nilikwenda kurepoti hanisaidii au nilikwenda kufungua kesi ya kupewa full custody?
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
⁠@@kristallipuotikivetkauppa448koma wewe dada na mihemuko ya kutetea mzungu, unaifahamu system ama una experience na hawa watu weupe huku sweden? Kuna sehemu kwenye mahojiano nilisema mlnimemfuata, ama nilikwenda kudai full custody. Unaropokwa tu kwenye kila koment
@chuichui-ht6wq
@chuichui-ht6wq 11 ай бұрын
​@@marry2386​. Punguza hasira dada piga goti, funga huku ukimuomba Bwana Yesu kwa kuwa ndio Bwana wa Mabwana
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Жыл бұрын
Pole sana mariam kwa hayo masaibu njoo nikuoe tuish kwa upendo hao wazungu wanaonea sana mtu mweusi tangia zamani
@mariamali1887
@mariamali1887 Жыл бұрын
Pole sana yatakwisha tu utampata tu mwanao .Niko Sweden miaka 23 tabu nilopitia kuhusu watoto 🙆‍♂️ Wacha tu nakuelewa uchungu Wako Nakuonea huruma sana. Illa Kuna sharia za hapa unatakiwa uzifanye utampata tu mtoto . Na Kuna maneno unayoongea unaonekana uimethirika na maumivu ya mtoto .Kuna Vitu unaongea unaona Kama Uko sawa Lkn hauko Sawa.
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Mukiambiwa wazungu hawaamini hao ukienda kwao waliowengi wanateseka kuliko wanaopata raha Pole sana dada mungu akutie nguvu 😢
@slimshadjr
@slimshadjr Жыл бұрын
Huyo muongo
@scholamwasi2782
@scholamwasi2782 Жыл бұрын
​@@slimshadjrkwanini aseme uongo mtoto anauma au na ww ni walewale
@kgbagent9321
@kgbagent9321 Жыл бұрын
Hakuna mtu atapata almasi aichezee, ukiona unanyanyasika ni dalili kuwa una matatizo makubwa hasa nyie wanawake weusi, accept responsibilities then work to improve yourselves
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
@@kgbagent9321nonsense
@user-sr1mz4ob5q
@user-sr1mz4ob5q Жыл бұрын
mmh! ukiw kweny nafasi yake ndo utaelewaa... mim nnarafiki yangu yupo huko anakwambai ubaguzi wao ni hatar.. si sehem nzuri ya makuzi kwa watoto haswa kwa watu weusi @@slimshadjr
@najmaalabri8835
@najmaalabri8835 Жыл бұрын
Sky pole kwa mchoko nawapenda ww na mkeo sana dada anaongea hayaeleweki
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Hayaeleweki kivipi fafanua as wengine humu wame elewa
@gatotojeanalain4877
@gatotojeanalain4877 Жыл бұрын
Mbna kawayida uyo mkasa mdogo nj ugerumani utawaona sisi tuko ugerumani tatizo wanawake wengi wa ki afrika wana kimbilia wazungu sasa munapo kimbilia ku zaa na wazungu kwa sababu ya document muwe munafikiri two times
@muhitiraamissy7198
@muhitiraamissy7198 Жыл бұрын
Pole sana dada amos kutoka burundii wazunguu ndio ma adui wa watu weusii
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Asante sana kaka, waelimishe watanzania, wengi wao bado ni watumwa wa kifikra na huu ukoloni mambo leo
@hadijaskitchen9705
@hadijaskitchen9705 Жыл бұрын
Pole Maryam! Naishi Sweden huu mwaka wa 15, mkoa unaoishi nimeishi miaka 6. Natamani ningekujua kipindi hiko NINGEKUSAIDIA na kote huku usingefika. Ulipokosea ni sehemu 2 tu 1: Kutaka kushindana na watu wa socialtjänsten, walimu wa dagis vile vile kutaka kusibitisha ughalifu wa baba mtoto. 2: Kutokujua haki zako, lugha, sheria za nchi na vile vile kuonyesha hisia zako. Naujua mchaka mchaka wa socialtjänsten + Shule📌 Bado unanafasi ya kukutana na mwanao but this time unatawakua kuwa makini sana. Naweza kukusaidia kama utapenda📌
@ChristinaMsangi-fd6mc
@ChristinaMsangi-fd6mc Жыл бұрын
na mimi pia hichi nimekiona kwa huyu dada.. Lakini Mungu atamsaidia kikubwa awe mpole asilete ubabe wa aina yoyote na asipaniki kwenye vitu ambavyo hao wanamfanyiakwasababu hapo pia naona wanampima kuona analichukuliaje jambo
@rubenprince8990
@rubenprince8990 Жыл бұрын
​@@ChristinaMsangi-fd6mcnchi za huku ni ngumu hata wenyewe kwa wenyewe hawawezani sheria zao ngumu kwa sababu haziitwi sheria tena huku sheria zinaitwa mifumo huku ni kugumu kwa kila mtu mpaka kwa wenyewe kitu kingine huku huwezi kutafuta kitu chochote kile kwa haraka wenyewe washazowea mpaka sisi tushazowea tunapiga hela tu mpaka siku mungu akipenda atanipa mke wa kuowa karibu kwetu Christina mimi naishi BRISBANE QUEENSLAND AUSTRALIA 🇦🇺 🇦🇺 🇦🇺 🇦🇺
@edgarbebwa6112
@edgarbebwa6112 Жыл бұрын
Toka huko dada yangu utakufa na presha, njoo nyumbani hapa Tanzania uenjoy maisha yako kwa uhuru maana maisha ni mafupi
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
Wazungu wana faidika kwakutunyanga nwa watoto 😢😢😢yaaani Europ niatari😢😢😢😢😢
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
​@@michelinemapendo6652ni wakwao sio wakwenu lazma mnyanganywe
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
Mwenzangu😢
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 Жыл бұрын
❤❤❤
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Poleni sana ndugu zetu na mitihani hao jamaa siku zao zinahesabika iko siku litakuja kuwapata na wao .
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
Niatari 😢😢😢unanyanganwa mutoto Nakisha haunaruhusa yakumuona😢😢😢
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Mukiwa kwenu tz mnaona kama mnanyanyaswa sn.mnawekea sana mifano et kwawenzetu kuko hivi mara ooh nchi zilizoendelea kuko hivi mara hivi.mkome
@ramadhanitwahili6837
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
pole dada angu mungu atakusimamia mungu yupo nawe.
@AllyDetty83
@AllyDetty83 Жыл бұрын
The reasons behind kunyanganywa watoto huku inchi za ulaya ni kuwaharibu watoto kisaikolojia na kuwa opowa baadhi ya viungo vyamwili like figo ili wauze kwamatajiri. Na.lakuskitisha hawawezi kuyafanya kwa watu wao . Ila wanayafanya kwawaafrica na baadhi ya wahindi na waarabu
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 Жыл бұрын
www ndio Muafrica arisi umeongea ukweli wengi wanamuona huyu dada .muongo jaman wazungu wanaroho mbaya Sana Zaid ya Sana na wanapenda wao kwa wao mi ata wakija ofisn kwangu nawaoana wanatisha tu
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Tell them, most of Tanzanian’s are absurdist and sleeping, jumping with emotions for exposing their colonial masters dirty deeds.
@chuichui-ht6wq
@chuichui-ht6wq 11 ай бұрын
Duuuuuu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
I once gave an advice through witness Vlog. as a result later Witness Vlog humiliated me.calling me a negative person during a live talk simply because I gave an advice.This is because Iam an expert in this issue through my profession since I studied in the very continent for years. The problem is that one doesnt know the system because of the language barrier.Learn the language so as to avoid such problems
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
You don’t need to say anything 😢😢chit
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
Dear Grace . I am conviced to say you came with the fake account called Kabwela suti viraka. Why did you hide under fake name😮? You are an expert yes but you came with negative energy. Actually i liked the way you commented here it is very respectful. Although we may have different opinion but you can make a contrictive criticism.
@salhaothman8278
@salhaothman8278 11 ай бұрын
Baada ya wiki moja kuangalia hii interview Nimerudi tena leo baada ya kuangalia movie ya kihindia "Mr Chatterjee vs Norway " - Netflix the movie is totally your story maryam🥹 and now i can feel you much more. May the Tanzanian gvnt gets in through your matter ili nawewe upate furaha yako ❤❤wishing you all the best
@dnx_Gr
@dnx_Gr Жыл бұрын
Ngozi nyeupe na nyeusi ilishaotesha mizizi ya kibaguzi miaka mingi hatuwez zing'oa siku moja LET CONTINUE TO TRY
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 Жыл бұрын
Sote tunaeshi ulaya, huwa mwanamke ndiye mulezi wa watoto, ukiona wamemunyanganya mtoto mwanamke ujuwe kuna sababu kubwa. Uyo mama aace kusema uongo, wa singo mama weusi ni wengi wameeza. Na wazungu wengine na weusi wa kwao. Azungumze ukweli.
@uwimana6533
@uwimana6533 Жыл бұрын
Kabisa muongo huyu asiwachafue wazungu bure wadogo zangu wanalea watoto pekeyao wala hawana tatizo lolote huyu nikicha ambae hawezi kulea mwanae hatakama mwanaume alikua anakula Madawa ya kulevya
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
eti ulaya mama ndio mlezi wa watoto 😂😂 system gani hiyo utoe facts hapa, na kiswahili chako cha kikongo, unaushahidi mie nasema uongo? jikomboe na utumwa wa kifikra, si kila mwafrika anasema uongo na mzungu sababu unaishi kwa nchi zao ndio wanasema ukweli, na kama uko Europe na watoto wako ni pure blacks mungu afanye huyo mzungu awachukue uje hapa useme watu ni waongo. Watu weusi bhana sana sana east Africa sio ajabu sio ajabu na utumwa ulivyo wajaa
@minjesha
@minjesha 11 ай бұрын
​@@uwimana6533kwani wazungu wakichafuliwa we inakuhusu nini wakati wewe sio mzungu??wazungu wenye roho mbaya ni wengi sana..wapo..using'ang'anie matatizo ya mtu kusema ni uongo.chunga sana mdomo wako..hakuna mtu anapenda matatizo yamfike..yanaweza kukufika hata wewe muda wowote ule..mpe hata pole ya kinafki..kupoteza mtoto mikononi mwako ni pigo moja linauma kupita kitu chochote..Mungu mpe nguvu mariam Inshaalah Ameen.
@chapter2719
@chapter2719 Жыл бұрын
Hii case sijaielewa kabisa mtoto anahaki ya kuona mamma ake so kunakosa huyu dada kafanya hajatueleza
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
Nami naona hivo kabisa,yaan n mjanja sana hata kwenye maongezi yake...
@sarahkanyana5099
@sarahkanyana5099 Жыл бұрын
You are right
@mrshilken9654
@mrshilken9654 Жыл бұрын
Pole sana dada, usikate tamaa Kwa mlio sema hii issue aiwezekani nendeni Netflix mkaangalie move inaitwa Mrs Chatterjee Vs Norway. Nchi za Scandinavia wanazo hii tabia. Hiyo Move true story.
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Жыл бұрын
Tatizo wa East Afrika , wanapenda sana rangi nyeupe. Awajiamini pia awajikubali upande rangi yao nyeusi. Iyo ni pigo kutoka kwa Mungu mjikubali rangi yenu Mungu anasababu kuwaumba weusi. Mukubali matokeo..
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
So wa east Afrika sema mtu mweusi kwa ujumla kwani we unajua east afrika tu ndio jamii yako ? Kwanza watanzania hacha wapate funzo kwakua wao ni wabaguzi sana kwa watu waluokimbilia mnchini kwao na back nyote weusi kutengana kwa mipaka ilio wekwa na wazungu wakiwa ujerumani kwenye kongamano lao sisi twa shikilia kubaguana utaifa na kuasahau Kua sote ni Bantu au nilotic na.....weusi inchi yetu moja Afrika .pata mtanzania anavyo mbeza wakimbizi wa kongo na Burundi sasa, utafikiri kua mtanzania ni tiketi ya kuingia peponi
@massejobbs4284
@massejobbs4284 Жыл бұрын
@@abeidkhamis6130 onaongea kweli. Pia na mimi naishi Sweden. Nafaaamu mambo mengi sana. Nishida sana.
@gracehelgesen9844
@gracehelgesen9844 11 ай бұрын
Jamani fanyeni tumchangie mwenzetu ili apate Mwanasheria wa kumsaidia .. naishi Norway namuelewa saana.. tumepitia hiyo kitu na mtoto wangu.. ila tulitumia Mwanasheria ….
@katalamohamed4305
@katalamohamed4305 11 ай бұрын
Haya sema basi tunamchangia vipi niko France
@katalamohamed4305
@katalamohamed4305 11 ай бұрын
Anzisha hiyo michango MARYAM hayuko sawa
@user-xm3oi7ut3c
@user-xm3oi7ut3c 11 ай бұрын
I feel your pain girl. Mungu atakupigania
@romainswedy940
@romainswedy940 Жыл бұрын
Unasema kweli kabisa, I live in USA but niko na friends wangu wengi sana wako uko Sweden na Finland na Norway banasema ivyo ivyo
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
Dada tupo wengi tunaishi izi inchi za wazungu jaman,kuwa mkweli hawawezi kunyanganya mama mtoto wake pasipo kosa lolote...
@misschagga8042
@misschagga8042 Жыл бұрын
Mpendwa hawa masocial unatakiwa ujifanye mjinga uwanyenye kee uwabembeleze na kuwasifia sanaa ili mambo yako yaende lakini ukijifanya mjuaji maswali mengi eti unawaona wao wajinga na kuwakosoa kosoa chamoto utakiona utanyanganywa watoto kila siku.
@celifpower4993
@celifpower4993 Жыл бұрын
Mi nadhani anga la Sweden lipo wazi na ndege zinafanya kazi sasa km unaonewa zinga virago vyako rudi kwenu. Ukiona mtu anaongea na kigugumizi haliyakua Hana kigugumizi usiamini anacho sema hata km atakua yupo sahihi kwa anacho sema, Alafu ubaguzi upo sehemu yoote duniani wazungu ubaguzi wao ni warangi ila sasa nyumbani tuna ubaguzi wetu wa mwenye hana hela hana haki na hali kazalika
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 11 ай бұрын
Sasa anarudi vipi bila mtoto. Akirudi mtoto hawezi kumuona tena
@ibrahimnadir4490
@ibrahimnadir4490 4 ай бұрын
Ukiona mtu analalamikia kila mtu alokutana nae katika sehemu tofauti mtilie mashaka sana
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
poleni wazungu mhmmm
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Pole saaana dada
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 Жыл бұрын
😢😢yaan Hawa watu mara nyingi huwa na roho mbaya sana pole dada
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
Uku unazaaa mutoto kisha unanyanwa😢😢😢
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
😂😂😂bora lkn
@kgbagent9321
@kgbagent9321 Жыл бұрын
Hakuna mtu atapata almasi aichezee, ukiona unanyanyasika ni dalili kuwa una matatizo makubwa hasa nyie wanawake weusi, accept responsibilities then work to improve yourselves
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
@@kgbagent9321alokwambia namtegemea mtu kula nani? uliambiwa sifanyi kazi? acheni mihemuko
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc Жыл бұрын
Wanawake wa kenya popote wanapoishi basi ni wabaya tena hasa akimuona Mtz anaishi kwa amani yy anaishi na ukimbizi
@kadeejakadeeja1929
@kadeejakadeeja1929 Жыл бұрын
Zidisha kumliliya mungu ata kusadiya na akuna mtoto anaye sahau Mama kaza roho mungu yupo
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Жыл бұрын
Nasio sweden pekee bt ni xote NCH za EUROPE,so mulioko Europe kuweni.maakin na neighbours wenu coz ndio maadui zenu
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 Жыл бұрын
Amen
@ashaally6993
@ashaally6993 11 ай бұрын
Mimi mwenyewe nipo Sweden zaidi ya miaka 25 na na nina watoto watatu...ila ninavyojua mimi sheria za huku kama umehisiwa unatumia madawa ya kulevya au unakunywa pombe sana ukiwa kama mzazi na una mtoto chini ya miaka 18 ndiyo wanaanza kukufuatilia kwasababu hairuhusiwi mtoto mdogo kulelewa na mtu ambaye anatumia vilevi Ndiyo sheria ya hapa ...kwa hiyo kuna sababu eidha mtu kakuripoti au wameona tabia isiyo ya kawaida
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 11 ай бұрын
Umepotea sana
@kilalakaila9762
@kilalakaila9762 11 ай бұрын
Kweli ni kwamba watu wengi ambao wanapinga hiki kitu, uenda wanaishi class ya juu ndo maana miaka 23-30 awajakutana na vitu kama hv ila hipo siku dunia itajua whites wanatuchukuliaje sisi kama Waafrika. God bless you for this🙏🏿
@anniemapendo6103
@anniemapendo6103 11 ай бұрын
Hakuna atakaye kusemea kuhusu unyanyasaji. Wamama Tuamke tuvundje ukimya . Ugenini kuna mambo mengi mabaya wa immigrant wanatendewa hasa wa immigrant weusi kutoka Africa. Tukibaki kimya watoto wetu watapotea huku. Wataharibika. Tuvundje ukimya wamama. Pole sana dada kwa kupambana. Pambana hadi mwisho ya mafanyikio. Pamoja na Mungu utashinda kesi tu.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Maryam we muislam umewezaje kuzaa na mtu kiolela unaacha utamaduni wako lazima upate shida .
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Жыл бұрын
Kwahiyo shida anapata kwasababu ye mwislamu lkn Kazaa na imani tofauti. Ila ndugu zetu🤣🤣,sasa ndo kashazaa hayo unayomwambia yatamsaidia vipi?. Alafu wewe hujawahi pitia changamoto sababu umezaa na mtu wa imani yako sio?Hebu punguzeni hizi mambo jamani.
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 Жыл бұрын
,😃🤣😂😄😅
@kidoesther
@kidoesther Жыл бұрын
Huu ni Udini ndugu,hizi siyo kauli nzuri hata kidogo
@sundaymsuya1433
@sundaymsuya1433 Жыл бұрын
Kwahiyo utamaduni wa mwafrica ulikuwa niuslam sio mpumbavu sn ww tamaduni za waarabu unasema tamaduni yake sio
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Dada mwenyewe hajavaa kwa mujibu nidhamu ya dini masikitiko makubwa
@Gasaro-jt1yk
@Gasaro-jt1yk Жыл бұрын
Hio ni kweli kbx
@bobstar2737
@bobstar2737 Жыл бұрын
Tatizo dada zetu wakibongo wanajisahau kama walienda nnje kutafuta baada yake wana babaika na mabwana wa kizungu😂😂
@thequeenawifeofking8518
@thequeenawifeofking8518 Жыл бұрын
Mariam pole sana Allah akupe subira inshaallah lakini acha kuzubaa wewe ni muafrica Roga mbuzi hizo piga simu moja tuu nyumbani roga mimbwa hy ikupe mwanao
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Asante kwa ushauri 😂😂😂
@user-zj1yv1ug5v
@user-zj1yv1ug5v Жыл бұрын
Pole sasn dada
@barutierikkaganza2748
@barutierikkaganza2748 11 ай бұрын
Pole sana 😂 shetani anahukumu hapa
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 Жыл бұрын
Pole sana,ila kama walichukua mtoto ni lazima kuna sababu.Halafu ningekuomba acha kujivictimise kwa kusema sababu ni "Mweusi"First of all ondoa kabisa hii notion.Simama imara ,na rangi yako usidhani ni sababu ya wewe kunyang'anywa mtoto.I wish tupate interview ya upande wa pili.
@uwimana6533
@uwimana6533 Жыл бұрын
Kabisa hata wazungu wanawanyanganya watoto sio kwa mwafrika tu muongo huyu dada kunasabu kubwa na mumeo walikua wanatumia vinywaji vya dawa vyakulevya anajitetea tu mzungu siomjinga kuchukua mtoto pasipokua sababu 😂😂😂 mtoto walimpiga vibaya wasizingishie
@chai_r
@chai_r Жыл бұрын
And if its true?
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Жыл бұрын
Maneno mingi nenda straight tothebpoint
@TheGlobalPulse93
@TheGlobalPulse93 5 ай бұрын
ni point ipi ambayo huelewi...
@sadaalsheibani7106
@sadaalsheibani7106 Жыл бұрын
Mungu akusaidie upate mtoto wako umlee mwenyewe wazungu niwabaguzi hata kwahao warabu kwasababu ni wailsamu na wazungu wapemda wao tu wanapendwe inji za watu lakini wao hawana utu
@barutierikkaganza2748
@barutierikkaganza2748 11 ай бұрын
Mama pole sana Mimi hapa Norge wamenipeka watoto wa kiume
@titosimon4360
@titosimon4360 11 ай бұрын
Pole Sana dada ukipata mtoto wako Rudi nyumbani Tanzania unacho sema ni kweli Kuna mtoto wa shemeji yangu nae kafanyiwa hivio lakini watoto wake walivio kuwa wakubwa waliomba mahakama waishi na mama Yao na hilikuwa hivio karibu nyumbani ni kuzuri sana
@africano98.
@africano98. Жыл бұрын
Nimeishi swedi nchi yajabuu sn 🤮 swede ppl they smile on face but they hate u inside bullshi** nchi
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 11 ай бұрын
Wanyanyasaji sana kwa kweli. Huyu dada hajajui ku deal Na system ya huku. Angefanya test plus aombe Mwenyezi Mungu kwa sababu uadui ni mkubwa alio kuwa nao both Na system Na uhalisia wa maisha
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 Жыл бұрын
Sky ! Wewe unawajuwa watu wengi wanakaa Sweden jaribu kumtafuta tena Nuru the light! maana yule anajua mambo mengi sana
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Mmh
@miriamneemavaagen4632
@miriamneemavaagen4632 11 ай бұрын
Dada haufahamu kama wanasema kukusaidia SiO hip ni kukuchunguza wapate namna ya kukunyanganya mtoto uer macho enderekkehus kwa kesi utashinda❤❤
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
Nilisikiliza interview ya huyu dada amewaomba watu wamsaidie wakina salim kikeke hao wakina mange lkn hawakuwa tayari kuandika kisa chake yanj wapo tayari kuandika mabaya yanayitokea Africa lkn hawakotayari kuzungumzia mabaya ya huko ulaya wanazalilisha watu wa barani kwao lkn huko ulaya hawasemi
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Umeona eeeee
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
​@veniciacharles8851hata kama aliyakoroga naye ni BINADAMU hakuna mkamilifu, mtoto anaumaaa jamani, tumuombee dua afanikiwe
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
@veniciacharles8851dada unazungumzia mie ama nani? kama nj mie nimekoroga nini? Ushawahi kuwa kwenye system ya uswidi kupigania haki kama mtu mweusi, ama ni rahisi tu kuzungumza?
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Asante dada, ni wachache wenye uwelewa kama wako. Yani mtu mweusi hawezi si mama kusaidia haki ya mtu mweusi kisa ni mzungu ndie mdhalilishaji na mkandamizaji.
@Mzawadi
@Mzawadi 10 ай бұрын
l understand because am in Europe to😑🙌🏾
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Huyu dada anaitaji msaada haraka iwezekanavyo namsikiliza anavyo ongea na kulia inaumiza sanaa!!!! Pole sana dada
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Tabu kweli
@emeraudemusato1127
@emeraudemusato1127 Жыл бұрын
pole sana kwa uyu dada jamani
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 11 ай бұрын
Pole sana dada ila mimi na hishi sweden , najua kweli kuna mambo mengi ila dada , usiongee mengi sana, kuna watu wana weza kuku sahidiya hapa sweden.
@sakinamo3109
@sakinamo3109 Жыл бұрын
Pole dada Mungu atakurejesheya mtoto wako
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Mtoto ni wa mama, pole sana dada, piga goti chini dada sali sana na kufunga, MUNGU ata kujibu vizuri tuu dada , pole pole dada, is not easy dada naelewa .inasikitisha sana sana
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 Жыл бұрын
Sasa lakufanya nikuwenda kuchukua mwanayo coz ushajielexa kwa SOCIAL MEDIA na ushahidi.wote unao,so hata wakikwambia kidnapper haitaadhiri coz ukweli.ushawajulisha watutu
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Sante, balozi Grace na msaidizi wake nilishawaambia wakiendelea kunizungusha nakwenda mchukua mtoto, wanapenda kunyanyasa na kusambaratisha familia kisa mtu mweusi. Hawa watu wanachuki mbaya sana
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 Жыл бұрын
Huyu dada sio mzima wa akili sweden hapako hivyo kuna kitu hapa sns usikaribishe kila mtu kwenye kipindi chako nitatafisiri hii interview kwa kiswishi niposti hata kwenye magazeti
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Huyu dada hayuko sawa anajitaji psychotherapy sana.Aache kulichafua taifa la Wasweedish.Siyo kweli.
@maulidi8479
@maulidi8479 Жыл бұрын
We ni mwehuu
@MrSamaki
@MrSamaki Жыл бұрын
Yakikukuta ndio utajua ujui ubaguzi upo acha kukaza kichwa
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
Wewe Rose acha kuwa hivyo, hayajakukuta, Sweden hapako hivyo? Nani kakudanganya kesi hizo nyingi sana Sweden. Ubaguzi upo utake usitake. Nakubali kaathirika kisaikolojia sababu ya matatizo lakini usimhukumu hujui aliyopitia, watanzania kwanini hatupeani moyo kutwa ni kuumizana tu.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
We nae si mtumwa tu wa wazungu ilo jina lako tu linaonyesha. Subiri zamu yako wakikugeuka kama jambo halijakupata funga mdomo wako endelea kutumikia kizungu chako kizee uko we vipi wewe
@markmangaya4947
@markmangaya4947 11 ай бұрын
Pole sana umetembea na wrong number,waspanish ni wa baya mnoo,Wana nyanyasa sana na hawana class, Msitembeee na waspanish,hawajali,wanazaa watoto wengi,wanatumia sana Madawa ya kulevya,Wana penda Wanamake wengi...kulewa na wahongo.
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 Жыл бұрын
Mnaopenda kuoa na kuolewa na wazungu wachache sana kuna familia mara nyingi ni matatizo
@aimerancenyamahoro6784
@aimerancenyamahoro6784 Жыл бұрын
Inauma sana kaka yangu mukubwa walimuchukuwaka watoto 5 adi aliezaliwa alichukuliwa hospitalini ...tuliumiya family nzima adi leo kaka hakili aziko sawa
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 Жыл бұрын
Aunt angu alishtuka mapema akakimbia na mwanae wapo zao Arusha maisha Mazur yanaendelea huyo baba ndio anakujaga
@anniafredrick8925
@anniafredrick8925 3 ай бұрын
Aisee nimetokea kuwachukia hao wazungu wa sweden jaman , sijui kwann nchini kwetu tunakumbatia hao wazungu ilihali wao wanatuchukia sana.
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
Dah pole maskini na mitihani
@sadiqmwafrica6759
@sadiqmwafrica6759 11 ай бұрын
Assalam Alaykum, mimi si mtu wa kutoa maoni, lkn hiki kisa kimenigusa sana. 1.Kutokufuatwa maadili ya dini ni kosa moja kubwa sana hasa ktk kumpata mwenzako awe mke au mume. 2.Lugha na sheria za nchi za Ulaya na Magharib kwa ujumla lazima kuzifahamu vinginevyo hutojua utaanza wapi ukidhulumiwa
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 Жыл бұрын
umekaa sweden hujue tofautisha kati ya mchile na mswedish siyo kila mtu mwenye rangi ni mswidish angesema mchile mwenye uraiya wa Sweden ni wakimbizi walimkimbia wakati wa pinoshet dickteta,ninachoshindwa kuelewa baba mteja akabithiwe mtoto,kisheria angechukuliwa na ustawi wa jamii kwa ufahamu wangu mimi,sijue kuhusu kesi ya huyu dada,afu kusema mtu mweusi ni wadaraja la chini siyo kweli,wageni wote levo moja tu foleni ile ile hata uwe na rangi afu wanawake wananguvu sana Sweden hata kama ni mweusi
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 11 ай бұрын
Kumbe umeelewa bro. Na mimi nliwazaivoivyo
@user-mg6hn6os6y
@user-mg6hn6os6y 18 күн бұрын
Maelezo ya mwanao aliposema authorities "baba na mama wanapigana,damu zinatoka puani". Kwa maelezo hayo wazungu wameona mtoto ataathirika psychologically.
@KasminaCreation
@KasminaCreation Жыл бұрын
The first ❤
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Innali wainailah rajeuna niwajinga wesisilam waije Q hakunakitu wauwaje wanaweza kukuwa wakachkuwa fingo najifuza ila ❤ulijetea
@dasproz50
@dasproz50 Жыл бұрын
Ukiona mtoto kanyanganywa chunguza wazazi japo hawa tunaoishinao sio wenzetu.
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
Kafanya jambo huyu dada halisemi tu...
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
@@hopechiderajambo gani nimefanya, sema wewe sasa, utumwa tu wa kifikra ndio unakusumbua, ubalozi wa Tanzania huujui ukaenda uliza? au wewe mkenya nini? ndio wasujudiaji wakubwa wa ngozi nyeupe
@marry2386
@marry2386 Жыл бұрын
Wamenichunguza wameona nini? Umejiuliza kwanini hawajajibu ubalozi mpaka leo? 😏
@user-ri9kk8uv1l
@user-ri9kk8uv1l Жыл бұрын
Pole sana hata mdogo wangu yuko Sweden amenyanganywa mwaka wa pili sasa
@ndabarinzesamuel9333
@ndabarinzesamuel9333 11 ай бұрын
Ndugu Omari uko sahihi kabisaa, Mimi nakaa Australia lakini viongozi wa inchi zetu ndio wanatuletea dharau kwa hawa wazungu kwami wengi wao wanakumbatia Mataranka kama bedroom zao, wakimbizi katika inchi mbalimbali wanalilia kwenda ulaya wakifika huko wanakuta mazingira ni tofauti na ya kwetu Africa, hii kunyanganya watoto ni kila mahali huku ulaya, huku kumuazibu mtoto ni marufuku mtoto akiwa chini ya miaka 18 mzazi hana neno kwake, huyu dada yetu yatupasa tumuombee kwani kupata watoto wake haiwezekani labda African Community walio huko anapokaa wakimsaidiya labda itawezekana wamrudishie watoto wake ila itachukuwa muda kuwapata, huku ulaya wazazi wameishiwa bora Africa yetu ndugu zangu.
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Жыл бұрын
Very sad story yani ubebe mimba miezi9 harafu unyimwe mwanao for that i can feel your pain, number 2 wanawake tue makini na wanaume wakuzaa nao namimi nikiwemo,pia kuhusu wanawake wa kenya i agree with you yani wanaweza kukutoa riho kisa muzungu yani wanaroho mbaya,ulaya nzima wanahiyo tabia ya rangi pia kunyanganya watoto wanakaa nao lakini kibaya zaidi mbona mtoto wakamuachia Baba yake,nina mengi yakuongea ila nimeumia sana huyu mama anamaumivu makali hamuoni mwanae nasijui kwa machungu anayapitia kama atawai zaa mtoto mwingine,yani huyu mama ana stress sanaaaaa masikini jamani tumusahidieje,dada balozi hawana musahada hapo because mtoto ni muswideni hawawezi kufanya chochote ubalozi wasamehe,kama nimtanzania ubalozi utakusahidie ila tu wakusahidie upewe mwanao japo umuone mwanao, sending love from Germany
@rayaali7551
@rayaali7551 Жыл бұрын
Ila umemsikiliza hapo mwanzoo alikwenda kulalamika kuwa baba alee mtoto wake na kumhudumia. Vipi baba ma drugs ukamkabidhi alee mtoto. Wakati maryam alipo fukuzwa na kutolewa nje. Si ndio alishapata kutoka kwa mateso na mwanawee sasa ilikuwaje akaenda kulalamika aatii baba amsaidie kulea mtotoo ?
@rayaali7551
@rayaali7551 Жыл бұрын
Mtoto wa Europe yoyotee ako na benefits zaoo na wako na support zao zoote. Sasa vipi MARYAM alishindwa kulea mwanawe hadi akaende kudai kuwa baba amsaidie kulea mtotoo ? So alimtowa mwenyewe
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
​@@rayaali7551me too my dear, I think so, ilikuwa hivyo asidai matunzo.
@FatumaMuya
@FatumaMuya Жыл бұрын
Mimi mwenyewe mtoto wangu amechukuliwa ni mwaka wa pili sasa . Haha ndugu zake hawamjui na yeye pia Hawajui ndugu zake nawaonyesha tu picha zake hakuwahi kufika nyumbani Tangu azaliwe .na kesi ipi mahakamani.
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Жыл бұрын
Eeee Niatari ulaya hata Nina rafiki yang kachukuliwa watoto 9 Niatari alilomba wamupe wa tot basi arudi Africa wakamukataaaa😢😢😢😢
@uwimana6533
@uwimana6533 Жыл бұрын
Huyu dada anaitaji msada kichwa kimeathirika na stress za bwana mladawa naza mtoto kuchukuliwa malezo yamekua magumu kunyosha ulimi wake maskini huruma
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Kweli kabisa hata mimi nimegunduwa hilo na pia namna Ya mawasiliano pia kati yake na sky ipo katika kiwango kibaya. Ila dada huyu kapatwa maumivu makali.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 33 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
TABIA ZA WASWEDISH, NA UGUMU WA 50/50 KWENYE MAISHA YA NDOA
31:29
Official Dating Assistance
Рет қаралды 6 М.
🔴#LIVE :VERONICA FRANK SIMULIZI RIPOTI YA LEO - SEPT 20, 2023
53:00
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН