Kaka nakuelewa Sanaa rafudhi Yako ya uelezeaji ni ipo kitaalamu mno
@Abdulrahmanhassan184 ай бұрын
Sasa hiyo ndio asili ya uungu au ( nguvu ya asili ) ( uumbaji ) hatuoni visabanishi lakini tunaona matokeo kama ilivyo mbegu inapopandwa ardhini alafu inaota kuwa mti mkulima hana uwezo wa kuifanya mbegu izae bali unafanya kisanabishi kuweka mbolea na kumwagilia maji alafu nguvu ya asili ( uungu ) inafanya kazi. Kwahivyo tunapaswa kuchukua hatua ya kufanya jambo fulani huku tukiamini kwamba ipo nguvu ya asili itasabisha jambo hilo kutimia.
@sirizavitabu3 ай бұрын
Kweli kabisa kaka. Umeiweka vizur. Ni mambo madogo sana kuyatambua lakin mtu akiyajua anaweza kubadili maisha yake kabisa