#APONYWA

  Рет қаралды 11,996

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

Пікірлер: 26
@josephakure6743
@josephakure6743 Жыл бұрын
Nabii mkuu,ngurumo ya upako tamuko ya upako napokea uponyaji na pia kufunguliwa baraka katika jina ya Yesu Kristo.Amen....................................
@suavisndayizeye5732
@suavisndayizeye5732 Жыл бұрын
Mungu Akubariki Sana Amen Mtu wa Mungu Nabii Mkuu GeorDavie
@nasrahsalim7870
@nasrahsalim7870 3 жыл бұрын
Natamani nije uko Yan me naangalia u tube tu jaman Ila nataka nijipange nije uko Mana maisha yangu hata sielewi nabii mungu aendelee kukutia nguvu uendelee kutufungua I like it
@mangapineema7652
@mangapineema7652 4 жыл бұрын
God bless
@sanaaalrweeley7053
@sanaaalrweeley7053 4 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu kwa kazi yako Akuna kama wewe you are so powerful ninapokea hata mimi uponyaji Amen
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 4 жыл бұрын
Asante mungu wa nabii
@devotasilivya5096
@devotasilivya5096 3 жыл бұрын
Mbona usemi kwa jina la yesu😦
@magrethlwaga955
@magrethlwaga955 4 жыл бұрын
Balikiwa BABA asante
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Kweli hilo ni deki LA Kristo.
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 4 жыл бұрын
Asnt baba mungu
@tonnyjames5050
@tonnyjames5050 3 жыл бұрын
Kuweni na macho guys
@alanimoshi1528
@alanimoshi1528 4 жыл бұрын
Ameeen
@didilove1054
@didilove1054 4 жыл бұрын
Baba niombee
@josephurupia4653
@josephurupia4653 3 жыл бұрын
Wewe hujuwi kuomba?
@didilove1054
@didilove1054 3 жыл бұрын
@@josephurupia4653 mpuzi ww koma
@yanickwamaana3181
@yanickwamaana3181 3 жыл бұрын
Baba please
@saramwankemwa5574
@saramwankemwa5574 3 жыл бұрын
baba nisaidie baba nifunguliwe
@peacekatembo6944
@peacekatembo6944 3 жыл бұрын
jaman Mungu atusaidiee kuwa na macho ya roho!....wengi tunaangamia kwa kukosa maarifa ,,,,,,,,,me cwez kuingia kanisa kama hlooo n kama nko kwa mganga wa kienyej
@berthaiupex9337
@berthaiupex9337 4 жыл бұрын
Niko dar wiki hii yuko wapi jamani
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
😚😂😂😂😂eti na nyie leo mnatoa shoo mapepo yanasemeshwa kama binadam
@missmalindikenya6204
@missmalindikenya6204 4 жыл бұрын
natamani nifike TZ
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
@@missmalindikenya6204 Karibu sana ukuje ufanyiwe na maombi kwa nabii
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 WAAFRICA TUACHE UTAPELI AISEE MARA YA KWANZA NILIFIKIRI NI THT KUMBE NI KANISA
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
NAKUSHAURI TOA COMMENT SECTION MAANA BRO TUTACOMMENT SANA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 жыл бұрын
MNYAMWEZI ANATAKA KUPIGA DEKI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SAFISHA SAFISHA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣BRO WAJINGA NDIO WALIWAO KUMBE MTU UKIWA BORED UNAWEZA KUINGIA KWENYE HILI KANISA KUANGALIA COMEDY STUNT
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 4 жыл бұрын
Ila nabii jamani mengine uongee kwa code nimechekaa mnoo eti HALAFU WEWE UACHE KULALA NA WANAUME UTAKUFA🤣🤣🤣🤣🤣 na sarah Naye anao 20 dah pole baba na kazi maana c ndogo kondoo watukutu
#WAKENYA WAPONGEZWA KWA IMANI WALIYONAYO - GeorDavie TV
15:30
GeorDavie TV
Рет қаралды 15 М.
Yunan & Nosa Amazing Wedding
30:00
COTIM Media
Рет қаралды 54
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 122 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 47 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 34 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
MKUTANO WA 20 WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA EAC.  AICC - ARUSHA
1:48:24
Twenty percent  - HODI KISONGO
3:08
Uamsho Injili Ya Kinabii Music Collection {UIKMC}
Рет қаралды 4,2 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 122 МЛН