APOSTLE NGANGA ACHA SARAKASI KANISANI

  Рет қаралды 4,421

Munishi TV

Munishi TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@MariamKarembo
@MariamKarembo 2 ай бұрын
Ukweli mtupu amina hongera sana🙏
@producergoodman
@producergoodman 3 ай бұрын
Amina, Ukweli mtupu hiyo
@Chr196
@Chr196 3 ай бұрын
Amina barikiwa mtumishi ongeza sauti!!
@dennisoyoo8560
@dennisoyoo8560 2 ай бұрын
Hongera munishi ukweli mtupu.
@ronaldmokaya1952
@ronaldmokaya1952 3 ай бұрын
Sema kieleweke
@prof.josephmaithia7503
@prof.josephmaithia7503 2 ай бұрын
Waiting for Aposle Ng'ang'as comeback
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
MTUMISHI WALE MAPALOKO MBONA WANAMALIZA MAALBINO NA NYIE MKO KIMYA WANASIASA WAKITEKANA WAGALATIA MNA BWEKA HII IKO VIPI ASANTE 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@NgaviNthikwa-gm5bc
@NgaviNthikwa-gm5bc 3 ай бұрын
Sisemi kitu hii Kali Sana inaitwa Kenya
@AngelineJembe-g3f
@AngelineJembe-g3f 2 ай бұрын
MPE ukweli munish
@ChristopherSharanda-qy2ol
@ChristopherSharanda-qy2ol 3 ай бұрын
Amina bwana
@linkenkenya9174
@linkenkenya9174 2 ай бұрын
Unaaongea ukweli mtumishi
@simonmacharia5275
@simonmacharia5275 2 ай бұрын
Wachindwe kabisa... amen
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 2 ай бұрын
😂😂😂kweli
@faithmasese6732
@faithmasese6732 3 ай бұрын
Waambie ukweli,wakitaka wameze au wateme.
@joshuaomaya2262
@joshuaomaya2262 2 ай бұрын
HAPO MUNISHI UMESEMA KWELI NGANGA ASHAAKUA MKORA MPAKA ANAMWAGA SADAKA CHINI YAKWAMBA NI KIDOGO.
@zeynabtwaha4260
@zeynabtwaha4260 3 ай бұрын
kwanza toa boriti Lililo ndani ya jicho lako we mwenyewe huduma ilikushinda kama uko na shida na pastor ng'ang'a itakukao mkazungumze we kati yako na box at heri box kusema TU kweli
@ozilraven8442
@ozilraven8442 3 ай бұрын
Watu wa sikuhizi ujinga umewajaa wanaamini kufanikiwa katika miujiza kuliko kujituma
@jeremiahmbaluka2289
@jeremiahmbaluka2289 3 ай бұрын
Na ata wewe mnishi ulianguka kutoka Kwa imani ya kweli, zile nyimbo ulikuwa unaimba na huko 2000 zenye zimejawa na Roho mtakatifu kama ya, 'malebo', wanamwabudu nani, na injili haichanganywi,...uliacha kuimba hizo, saa hii unaimba nyimbo za kuwatumbuiza watu, nyimbo za siasa na nyimbo zimejawa na udunia. Ulimwengu umekuingia kabisaa Hadi umekufa kiroho, Hadi nafsi Yako haiwezi sense unyakuzi uko karibu kufanyika! Wewe umelala tu kiroho.
@CHARLESMKOFFICIAL
@CHARLESMKOFFICIAL 3 ай бұрын
Shindwe wewe wewe ndie baya zaidi wachana na MTU mishi wa Mungu hautoshi boga kwake
@hamidmussa838
@hamidmussa838 3 ай бұрын
Huyu anaonekana ni mlrvi tu! Niwale wale.
@drmahwa8166
@drmahwa8166 3 ай бұрын
Unafanana na nguruwe
@livingstoneelijah195
@livingstoneelijah195 3 ай бұрын
Nani kasema wewe ndo unajuwa ukweli,,,macho ya mungu si kama ya binadamu
@Niika870
@Niika870 3 ай бұрын
Wewe nawe ushakuwa Kenge TU kama mijusi wengine Pumbavu achana na Watumishi wa Mungu, Kila MTU kaitwa kivyake ,mind your own business
@johnmutua3040
@johnmutua3040 3 ай бұрын
Akina Peter nyanga wa kwenu TZ Bona hauwarekebishi dio ulete kiherehere Kenya??? Mwingne kiboko ya wachawi. Kabla utoe mchanga kwa jicho la Kenya kwanza toa mawe kwa macho ya tz
@njugunawattah5621
@njugunawattah5621 3 ай бұрын
Makosa ni ya nani?!
@StevePastor-g2e
@StevePastor-g2e 3 ай бұрын
Aliyewaroga ni Nani?
@apostlesam9663
@apostlesam9663 3 ай бұрын
Nini baya na wewe minisi wewe uko na shida na nganga eda police useme
@snazzyfranz1874
@snazzyfranz1874 3 ай бұрын
waambie ukweli...
@martinkenga2966
@martinkenga2966 3 ай бұрын
MUNISHI ULIANGUKA KITAMBO SANA
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 3 ай бұрын
Alianguka Baba yko n mama yko
APOSTLE NGANGA NI MAPEMA KUSHEHEREKEA UPEPO BADO TULIA
6:02
Munishi TV
Рет қаралды 4,5 М.
Syria: Inside Captagon drug factory which funded Assad’s brutal regime
13:24
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 17 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,6 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 10 МЛН
В Москве убит начальник войск химзащиты РФ
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 5 М.
Путин: "Доводят нас до красной черты"
1:11
Euronews по-русски
Рет қаралды 60 М.
THE UNTOLD STORY OF APOSTLE JAMES MAINA NGANGA  COMMANDER-HUMBLE BEGINNINGS PART 1
1:00:30
Wanamwabudu Nani? By Pastor Faustin Munishi
6:25
Munishi TV
Рет қаралды 6 МЛН
Mwampisa Lusekelo Mzee Kulola anawaita
5:07
Munishi TV
Рет қаралды 1,1 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 17 МЛН