Mchungaji Hananja nimekupenda kwa ukweli huu uliotufafanulia Barikiwa xana🙏🙏🙏
@erickclaudio29785 күн бұрын
Kwa kigezo cha utendaji kazi mchungaji hananja umeeleweka Mungu ni mmoja haswa .Mungu akubariki sana kwa fundisho lako pia la siku,siku zote ni siku za ibada
@TheMakala215 күн бұрын
Asante sana MASTER Hananja! kama hajakuelewa hapa hato elewa tena!
@EvordThomas-uz8fwКүн бұрын
Kusoma Biblia na vyuo vyake sio tiketi ya kumjua Mungu, ila unapata wigo wa kutafakari kwa kina juu ya habari za Mungu. Tafakari vizuri kabla hujasema acha kuleta mapokeo.HEKIMA ni muhimu zaidi Big up sana Mch. Hananja Mungu aendelee kukulinda
@isayasimwinga285418 сағат бұрын
Hajajibu zaidi ya story tu. Utatu hananja hajui😢😢😢
@DaudaBilikesi16 сағат бұрын
Kitu cha kutunga hakiwezi kuwa na mfanano kwa watu wote.Trinity is not biblical !
@naftalimutahi55915 күн бұрын
Hanaja mkuluma,hanaja mume wa...hanaja daktari,hanaja mwalimu . Kweli ni yule yule hanaja. Kweli turundi katika bibilia. Basi jina la baba mwana roho mtakatifu ni bwana yesu kristo. Hiyo ndiyo sababu bibilia imebatiza katika Hilo jina.acts 2:36-40.acts.10 acts19. Colossians 3:7 And whatsoever ye do in word or deed, do all in the name of the Lord Jesus, giving thanks to God and the Father by him
@loishiyesamwel13743 күн бұрын
Mchungaji wangu Mungu aendelee kukupa hekima ili wengi wapate Elimu hii.
@isackchilewa12322 күн бұрын
Mungu akubariki umesaidia wengi sana juu ya nafsi tatu Mungu mmoja. Asante mtangazaji kwa kuuliza swali kwa ajili ya maelfu
@andrewkaswagula33676 күн бұрын
Hananja is the best.. kila leo nisikilizapo maelezo yako hasa kuhusu tafsiri ya Biblia inanifanya niendelee kujivunia kuwa mkristo...
@jabirkasunzu68416 күн бұрын
Ndugu yangu, naomba uelewe kuwa siku ya hukumu hatokuwepo mkalimani, mwanasaikolojia, mwanafalsafa, roho mtakatifu wala Hananja katikati ni wewe pekee na Mungu wako. Hivyo ni vyema ukawa unasikiliza pande zote mbili na kurejelea maandiko na kuyachambua kwa akili yako ndio msingi wa hoja zako kwa Mungu na si kushabikia fulani kwasababu ni binadamu anaweza kuteleza. Nimefuatilia clips zote mbili, Hananja anapotosha, hana hoja za kimaandiko, ni mapokeo ya waleta dini, wazungu. Mzee wa Upako yuko sahihi maana ana hoja kutoka kwenye biblia. Na wewe, ungejitahidi kufuatilia clips zote mbili. Asante.
@AllDesigningTZ6 күн бұрын
Kweli mzee wa upako yuko sahihi
@Carolina-sm5ztКүн бұрын
Kwani Mzee wa upako yeye anaabudu siku gani
@wisemanfromzerotohero9705 күн бұрын
Muze uyu ni mutumishi wa Mungu na Kweli kumuelewa inahitaji utulivu saana
@richardstephano64412 күн бұрын
Tubuni na kuamini injili
@elishampoki87516 күн бұрын
Lusekelo Roho mtakatifu Alimwacha, sass hivi yupo yeye kama yeye tofauti kabisa alivyokuwa anaanza uduma mwanzo lusekelo alikuwa vizuri mno sijui amelogwa nani, Lusekelo ni mtumishi wa Mungu,kanisa tuombe kwajili ya lusekelo aludi kama mwanzo, jamani hii inatisha,
@mossesmichaelnzowa33785 күн бұрын
Kweli kabisa huyu Mzee ameiacha njia ya kweli.
@neemamdami74664 күн бұрын
Upo sahihi
@maclaudismail66062 күн бұрын
Wewe ndiyo umepotoka
@IssacNtacho5 күн бұрын
Hananja simsifii kwakuwa amesoma namsifia kwa kuwa amefunulia neema hyo yakuijua kweli,,
@vinhaule86172 күн бұрын
Mungu ni mwema sana
@shariduidrisa19935 күн бұрын
Hameniiii islam is the best❤
@Oldskulgemini99913 күн бұрын
Fanya kazi lisha familia Yako hizi dini zililetwa na watu huku Africa hakuna na dini yeyote, jiulize kwanini sisi Bado maskini na ndo tunaongoza kushika dini alafu wao matajiri japo kuwa wanafanya uovu mwingi kuliko sisi?
@venanceJohnbosko2 күн бұрын
Utajiri wa mwili au utajiri wa roho.....
@LIBERATUSNSEKELA2 күн бұрын
@@Oldskulgemini9991 Siyo dini tu zililetwa na watu. Hata hizo kazi zenyewe unazofanya ili kulisha familia yako zililetwa na watu hao hao. Kwahiyo ukipuuzia hizo dini walizoleta, puzia na hizo kazi pia. Hata hizo nguo unazovaa, zipuzie.
@godfreylushiku30815 күн бұрын
Kwa anayetaka kujua Yesu ni nani kwa mujibu wa Ukristo na biblia. Soma Injili ya Yohana sura ya 1 yote na Waraka kwa webrania sura ya 1. Maamuzi yanabaki kwako. Roho wa Mungu akuongoze kumtambua na kuelewa maandiko. Amina
@Chrisblaze-beats4 күн бұрын
Na nyongeza kidogo hii apa nakuongezea 👇👇👇 Jitahidi sana kuelewa na kutenga hisia juu ya unachosoma.👇👇 1. Mwanzo 1:26: “Mungu akasema, ‘Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; nao watauwa samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama wa mwituni, na nchi yote pia, na kila kitambaacho kitambaacho juu ya nchi.’” 2. Mathayo 28:19: “Basi, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.” 3. 2 Wakorintho 13:14: “Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu, ukae nanyi nyote.” 4. Yohana 14:26: “Lakini Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote na kuwakumbusha yote niliyowaambia.” 5. Mathayo 3:16-17: “Naye Yesu alipokwisha kubatizwa, mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake; na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, ‘Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.’” 6. Yohana 1:1-2: “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.” 7. Yohana 10:30: “Mimi na Baba tu umoja.” 8. Yohana 14:9-10: “Yesu akamwambia, ‘Ee Filipo, nimekuwako pamoja nanyi muda wote huu, nawe hujanijua? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Huamini ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Maneno ninenayo mimi siyasemi kwa shauri langu mwenyewe, bali Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.’” 9. 1 Yohana 5:7: “Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, Baba, Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.” 10. Waefeso 4:4-6: “Mwili mmoja, na Roho mmoja, kama na mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu; Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote.”
@mohamedhaji22009 сағат бұрын
Nyie hangaikeni tu, Mungu mmoja tu, hakuzaa wala kuzaliwa
@andrewkaswagula33676 күн бұрын
Anayejiita sijui mzee wa Upako akajifunze upya Biblia.. Asikilize wenzake kama hawa wanavyo elezea tafsiri ya Biblia
@MartinLaban4 күн бұрын
Huyo alipigwa kitu kizito akaambiwa aanze kupotosha watu, ukiskiza hananja utafurahi hajifagilii na anajibu kifasaha sana.
@kiatu4 күн бұрын
Elimu yake ndogo (theology)
@nicholausmeela33544 күн бұрын
Asante sana Mch. Hananja kwa kalenda ya siku hizi Yesu ni kweli alifufuka siku moja na nusu
@sandejacob623Күн бұрын
Safi sana, Yesu hakuja duniani kuwaambia watu wasali Jumamosi bali tuaache uovu
@Mahershalalhashbazi-kf6xi6 күн бұрын
Hananja leo nimegundua ana Mungu;na anamjuwa Mungu
@jabirkasunzu68416 күн бұрын
Hananja anajibu kwa kurejelea mapokeo ya Wazungu na Mzee wa Upako ana hoja kwa kurejelea maandiko ya Waisrael wenyewe. Mf. Ishu ya siku, biblia inaeleza mwanzo 2:2 Amri kumi za Musa, moja, Mungu anakataa asifananishwe na chochote majini ardhini na mbinguni na Yesu anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma. Viongozi wajuu waongo na Wakristu wengi hawaijui biblia na wakisoma wanaathiriwa na mapokeo kutoka kwa wazungu. Na kwa akili ya kuzaliwa yenye afya, Mungu aliyesimamisha ardhi na mbingu bila nguzo, anaweza kuwa binadamu (Yesu)? Yesu katahiriwa, kusujudu, alivaa kanzu, alilia, alilala na alikuwa fundi seremala. Mungu wa Alpha na Omega hawezi kuwa wa namna hiyo. Mungu gang dhaifu.
@Mahershalalhashbazi-kf6xi6 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841 Mr Jabir hebu nifafanulie hii hadhith sahihi imeandikwa vitabu vifuatavyo vya Kiisilamu; Muslim,Imani,302;Bukhari 97/24,10/29;Hanbal III/1 One day of Judgement,Allah will open his leg and show his thigh to the prophet (S.A.W) to prove his Identity. Allah atafunua nguo yake amuonyeshe Muhammad paja lake,kumhakikishia kwa alama iliyo ktk paja lake; Allah hakuzaa,Wala hakuzaliwa,Wala Hana wa kufanana naye: .Kumbe anavaa nguo, na ana mguu na una alama? Vipi ni Mungu Allah? Ni jibu then nitakujibu kuhusu mashaka uliyonayo kwa Maandiko
@ASALABOY6 күн бұрын
SIKU ZOTE NAKUWA NADIFUNZA KITU HAPA KWA MZEE HANANJA SABU YEYE ANARUDI KWENYE NENO TU 👏👏
@jabirkasunzu68416 күн бұрын
Soma biblia Mwanzo 2:2. Masuala ya siku yapo. Usishabikie mtu, soma maandiko. Siku ya hukumu, hatokuwepo mkalimani, mwanasaikolojia, mwanafalsafa, roho mtakatifu wala Hananja katikati ni wewe na Mungu wako.
@user-ft2uv9tv3i3 күн бұрын
Hananja yuko vizuri anakuelimisha na anakupa na mafundisho ya kueleweka
@Apostlevincent2542 күн бұрын
Sahili Mchungaji. Naamini walimu wa uongo .Tutubu tuiniamini injili tuokolewe. Mambo ya sirini ni ya Mungu. Mzee wa upako uongozwe na Roho Mtakatifu kuliko hekima za Dunia hii.
@GIBSONMWABILI-po3wf2 күн бұрын
Nakupenda bure mchungaji,Kenya tunakifuatillia kwa utendeti
@elishampoki87516 күн бұрын
Mungu ni mmoja kstika utatu, Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu Mbinguni vinashudia mambo matatu Mungu Baba na Neno na Roho mtakatifu Duniani vinashudia mambo matatu Damu maji na Neno
@JamesMoses-jd1yq4 күн бұрын
Hivi unamanisha kusema ATI yesu ni mungu na roho mtakatifu ni mungu
@mrafm7285Күн бұрын
Mungu ni mmoja tu Hana mshirika yoyote Wala Hana mtoto isipokua ameumba malaika Kwa ajili ya kufanya kazi zake
Hananja anajua hajakariri hata anavojibu maswali n mtu mwenye ufaham wa biblia Mungu aendelee kukutumia
@DelphinaFidelis5 күн бұрын
Unaachaje kusali!!!! hatuabudu binadamu,tunamwabudu Mungu wetu aliye hai.
@ephraimkabeya96485 күн бұрын
Lusekelo asemee kanisa lake, na siku wakijua Biblia watarudi kwa watumishi wa kweli wa Mungu. Wewe SALI jumamosi au siku yoyote uliyoelekezwa na chama chako kuwa haina makali ya utukufu, Rangi zake zimeanza kuonekana kama Kibwetele tu.Kanisa Lisilo kuwa na Sunday school, kipaimara ili kujifunza Biblia.Kanisa ambalo limejaa porojo kibao,kiki, kujipashia umaarufu na ukubwa, stori za mitandaoni na kuaminisha watu vitu ambavyo sio vya kibiblia ni kweli watu wale wa kanisa lake hawajui Biblia.
@bonifacewanyonyi35557 күн бұрын
❤❤❤ umesema kweli kapisa papa
@wanguwangu346 күн бұрын
Mzee wa upako inawezekana kabisa hajui Biblia na hakwenda Bible School maana angejua hayo matatu asingesema habari ya siku ya kusali, Lkn Dr. Hananja kajibu vizuri sana.be blessed Dr.Hananja.
@JacksonSimbeye-qz1zp5 күн бұрын
Ebrania 4:9soma mungu akusaidie kuelewa
@herimornchriston60834 күн бұрын
Jamani hivi amri za Mungu !!! Mnazipitia zote?? Kumbuka n amri , hazijabadilishwa na hazitabadilishwa
@besttrendingcovers18386 күн бұрын
Mi nlikuwa nasali sana lakini nlipoona viongozi wa dini hawa wanapingana kila siku ikabidi niache kabsa kusali. Ninachojua Mungu alikuwepo kabla ya hizi dini na dini haiwezi fanya ukamjua Mungu ata siku moja. Zaidi dini zimejaa sheria kibao za kumbana muumini asiwe huru kufikiri zaidi
@GeorgeChitemo-kt8sw6 күн бұрын
Yesu akirudi huuingii mbinguni
@besttrendingcovers18386 күн бұрын
@@GeorgeChitemo-kt8sw mbingu ipo ila suala la yesu kurudi si la kweli ni stori tuu za wazungu, mbingu utaiona kwa sabab unaish pow na watu na huwafanyi ubaya. Ni mamb ya ajab yaan inahtaji mahubir kujua kuwa kuua sio kit kizur. In short dini ililetwa kufunga akili za waafrika wasifikir zaid. Ndio maana mchawi anaroga hadi awo wachungaj
@sylvestercameo62636 күн бұрын
@@besttrendingcovers1838Busara inayohitajika ni utashi wako kuamini au kuacha. Hulazimiki wala kushurutishwa kuwa mfuasi wa imani fulani. Haya unayoyaandandika yana mapungufu mengi. Kwanza dini haipumbazi mtu, kwani elimu uliyopitia ambayo ni formal education mpaka ukajua kuandika na kusoma (universal education) ni mfumo wa dini wa Kanisa Katoliki. Mfumo wa matibabu ya hospitali ni wa Kanisa Katoliki. Chuo kikuu Cha kwanza katika mfumo tuliokuwa nao wa elimu ni Cha kikatoliki Kiko Bologna Italy. Mfumo wa kimahakana (judicial system) ni mfumo wa Kanisa Katoliki na mfumo wa utawala wa kihairakia ni wa kikanisa. Kanisa Katoliki Lina taasisi za kielimu shule na vyuo vikuu duniani kuliko serikali yoyote duniani. Kwa hiyo tuhuma kwamba akili yako imedumazwa na dini ni illogical statement. Mwisho dini ya Kikristo hakuanzishwa na wazungu Bali wazungu waliipikea kama tulivyoipokea sisi, wenyewe waliitumia wakapata maendeleo!
@zuberkasim71506 күн бұрын
ivi nyinyi nduguzetu wakristo ambacho hamuelewi ninihasa yesu amekataa sio mungu wala mtoto nimtumetu katumwa na mungu kama alivo fundisha acheni kung,ang,ania mambo yatakayo waweka jikoni
@user-cv4yi5hz9b6 күн бұрын
The big thinker 🙌🏿🔥 one love 💪🏿💪🏿🤲🏻✌🏿
@johnkmjema97276 күн бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji achana na wachumia Trumbo!!!?
@ezekielpandisha17 сағат бұрын
Barikiwa sana Pst.Hananja!
@user-qk9iz5lt8q6 күн бұрын
MCHUNGAJI AKISHA KUWA MLEVI HAFAI TENA, MAANA ATAWAPOTEZA WENGI WAIFUATE NJIA OVU
@PhilipobonifacSado21 сағат бұрын
Mzee wangu unajua sana nashangaa wanasema mungu mitatu kati wakristo wote tunajua mungu ni1t
@nasserm.nasser50875 күн бұрын
Muongo huyu bwana anajua fika jumamosi ya marekani ni jumamosi lakini anadai nao waswali kama sisi Tanzania. Hii haiwezekani maana sisi ikiwa mchana wao Marekani ni usiku Yesu ni myahudi na walitumia kalenda la mwezi kwa maana siku za kiyahudi huanza baada ya jua kuzama. Huyu mchungaji anatumia falsafa ujanjaujanja na kuchanganya na ukweli na urongo na kuwauzia waumini kama ndio ukweli lakini si mtu wa kumuamini hata kidogo
@user-cz5oy1od5d5 күн бұрын
Wewe ndio wa kuaminika?
@martintito28243 күн бұрын
Soma biblia wewe
@mbeshanaftali71068 сағат бұрын
Uko nyuma Sanaa ndngu yangu ,, kwenye kulijua neno ,,aliye panga siku ya kuabudu cyo Mungu ni wanadamu ,, hata ww ungesema mm siku yangu ya mapunziko ni juma tano ,unge kuwa sawa maana ndio siku unge kuwa una sali,, ww usipate tabu na siku ,,na sabatho cyo siku tu ,Bali ni siku ya saba au siku ambayo umeiteuwa ww kusali hyo ndio sabatho yako.
@isayasimwinga285418 сағат бұрын
Hananja amejaribu tu! Kwenye kuhesabu siku na saa umetudanganya😢
@Fundi12345Күн бұрын
Kuna watu wanatii sana shelia na wanavunja san sheria hapo panamatatizo makubwa mungu wetu anataka tuwe watakatifu kwisha habar
@Stellastella-yi5vu2 күн бұрын
Saa zote ni za bwana, ck zote ni za bwana amua wew usali jpil au alhamis
@babanatalis840110 сағат бұрын
Yesu alikua duniani akasema naenda kwa baba hii inamaana kule mbinguni yupo Baba, Kisha akasema nitamuomba baba awape msaidizi mwingine ndiye roho mtakatifu. Eti Mungu mwana baba na roho wote ni Mungu mmoja! Dah😢😢😢
@user-le1mo8ru7u6 күн бұрын
Mchg hananja wewe una akili sana na umesoma kweli kweli
@gracekasambala4712Күн бұрын
Asante sana Mchungaji Leo umeniongezea uelewa
@DavidNdaha7 күн бұрын
Kweli mida wote ni wakusali
@cecyMathias-om2tj7 күн бұрын
ananja is the best
@JeanMuzaliwa-bs6qh6 күн бұрын
@@cecyMathias-om2tj amuna kitu apo,the best one is francis-ndacha!
@jabirkasunzu68416 күн бұрын
Andiko linasemaje? Mtu anaweza kuteleza kama binadamu. Siku ya hukumu hatokuwepo mkalimani, mwanasaikolojia, mwanafalsafa, roho mtakatifu wala Hananja au Mzee wa Upako, wewe peke yako na muumba. Biblia Mwanzo 2:2 inasemaje kuhusu siku. Amri 10 za Mungu kwa Waistael anasema msinifananishe na chochote majini, ardhini na mbinguni. Yesu anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma, Yesu anakataa kuwa yeye si Mungu waziwazi. Alilia, alisujudu, alikuwa fundi seremala, aliswali katika sinagogi, alivaa kanzu, aliwasalimu wanafunzi wake amani ya Mungu iwe juu yenu kwa kiarabu Assalaam 'alaykum. Na aya nyingine nyingi zinathibitisha kuwa Yesu alikuwa muislamu na ni mtume. Na kama kuna aya zinazokinzana, sasa kitabu gani cha Mungu kina ndimi mbili? Uzushi wa wazungu na Injili aliyokuja nayo Yesu kwa waisraeli... Jiongeze, ukisubiri wajuu wakushitue wakati wanataka sadaka zenu waendeshe magari makubwa MTACHELEWA.
@abubakarmustwafa-lg8fe2 күн бұрын
😂😂😂Ufahamu mpana sana...hongera sana Mzee Hananja
@AbasiJuma-vc5vwКүн бұрын
wakristo wote hawamjui mungu wapo tu
@godintandala94910 сағат бұрын
Asante Mchungaji
@ramadhanmahongole92936 күн бұрын
Mzee wa upako ni mkurupukaji tu bendera fuata upepo hajulika ni muislamu msabato au mpentekoste anapinga kusali juma pili lakini yeye anasali jumapili zamanu aliweka bendera ya israel kanisani kwake lkn sikuizi katoa ni mtu wa ajabu sana mahubiri yake hayana msimamo yeye kila linalo mjia usiku kichwani ndo analifundisha kanisani kwake
@EmanuelStart-jd1vr6 күн бұрын
Kweli kabisa mabii wa uwongo walitabiriwa watatokea 😮
@bnsonimakle11556 күн бұрын
Kabisa, kakurupuk huy,,
@mujwasteven6 күн бұрын
Hana shule
@AllDesigningTZ6 күн бұрын
Hananja anawadanganya na nyinyi mkasome bibilia sio awasomee mchungaji
@ramadhanmahongole92935 күн бұрын
@@AllDesigningTZ sisi wakiristo tuna soma biblia na tunatembea nayo popote tuendapo ila nyie waislamu mamuma ndio mnasomewa Quran na masheikh wenu
@haidar4386 күн бұрын
Mm ni Muisilam ila HANANJA namuelewa sana! 😃
@jabirkasunzu68416 күн бұрын
Hananja anajibu kwa kurejelea mapokeo ya Wazungu na Mzee wa Upako ana hoja kwa kurejelea maandiko ya Waisrael wenyewe. Mf. Ishu ya siku, biblia inaeleza mwanzo 2:2 Amri kumi za Musa, moja, Mungu anakataa asifananishwe na chochote majini ardhini na mbinguni na Yesu anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma. Viongozi wajuu waongo na Wakristu wengi hawaijui biblia na wakisoma wanaathiriwa na mapokeo kutoka kwa wazungu. Na kwa akili ya kuzaliwa yenye afya, Mungu aliyesimamisha ardhi na mbingu bila nguzo, anaweza kuwa binadamu (Yesu)? Yesu katahiriwa, kusujudu, alivaa kanzu, alilia, alilala na alikuwa fundi seremala. Mungu wa Alpha na Omega hawezi kuwa wa namna hiyo. Mungu gang dhaifu.
@mwlpierre6 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841Yesu anasema”mimi ndio mwanzo na mwisho,mimi ndio njia kweli na uzima ebu kwanza elewa hayo maneno kwanza
@ramadhanmahongole92935 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841 mbona na nyie waislamu mashekh wanarejea mafundisho ya warabu
@cassimoa92175 күн бұрын
Wewe ni muislam unamuelewa vipi huyo kafiri mpotoshaji tu? Elewa vzr chako nayo Quraan kumuelewa huyu ina maana unakubaliana na anayoyatetea ktk dini yake. Hivyo unaweza kujikuta upo nje ya uislamu biila ya kujielewa..
@ramadhanmahongole92935 күн бұрын
@@cassimoa9217 wewe ndio kafiri na uislamu ni ukafiri
@paschalsafari97477 күн бұрын
Dunia imeisha ..manabii wa uwongo ni wengi....
@justineswai588512 сағат бұрын
Hongera hananja
@timothmatiku61152 күн бұрын
Majina ya siku chanzo chake ni miungu ya warumi na wagiriki, Saturday ni jina la miungu ya warumi na wagiriki lenye maana ya satan day yaani Mungu wa Mauaji au Mungu wa uharibifu.
@rwabuКүн бұрын
Hapo umetaja kwa kizungu... kwa kiswahili Alhamisi... sasa Alhamisi ina maana gani?
@nasserm.nasser50875 күн бұрын
Nimekuja kuwasikiliza Wakristo. Kila ukimuuliza Mkristo akuambie mungu ni nani, basi Kila mmoja atakupa jibu tofauti na la mwingine. Halafu mungu haguswi na kifo daima lakini mungu mwana aliguswa na kifo. Mungu anachoka na kumbonji na anamuomba mungu baba amuokoe wakati mungu huwa haombi bali ndio huombwa na viumbe wake
@denismugisha25 күн бұрын
Wewe ndo una mungu wa ajabu asiyejulikana alipo
@EzzyEddy-nv6ti4 күн бұрын
Watu ni wagumu Sana kuelewa umeambiwa hakuna Mungu mwana ila Kuna Mungu anatambulishwa Kwa utatu,ila Mungu ni mmoja
@petrofabian4523Күн бұрын
Ila hananja Kwa hili hauko sawa neno la Mungu sio mawazo binafsi unapoliongelea lazima utupe lejea
@Carolina-sm5ztКүн бұрын
Tukumbuke kuwa hata walio andika ni watu Kama Sisi wakiongizwa na Roho mtakatifu
@gracekagoma32316 күн бұрын
Huyo anataka uende kanisani kwake kwenda kutoa sadaka ili azidin.kutajirika😢
@jumamario-vr1mw7 күн бұрын
Kweli baba unajua
@saidissa827315 сағат бұрын
WAKRISTO KWENYE MAANDIKO MNARUKARUKA TU. HAMYAFUATI NI UJANJA UJANJA TU..
@mosesmbushi2 күн бұрын
Kama huyo Mzee asiye na Upako kasema ukweli ,Siku ya Kusali Mungu ameagiza ni siku gani atuambie,na aonyeshe ushahidi wa Maamdiko yatosha
@maruruedward57354 күн бұрын
Licha ya comedy zake ila ndy mwelimishaji wa neno la mungu
@chiefmajai93454 күн бұрын
Yesu alitamka watakuja manabii wa uongo muwaepuke ndiyo haya yana tokea
@Fundi12345Күн бұрын
Anasema ukwelinmtup safi sana
@mosesmbushi2 күн бұрын
Pamoja na hayo yote Hakuna andiko au agizo ndani ya Kitabu kitakatifu kiitwacho Biblia linaangiza watu Wasali Jumamosi..Kama lipo agizo kama hilo naomba nionyeshwe
@user-zf5lk3gq2b2 күн бұрын
Habari za asubuhi ndugu mwandishi wa PTV.TZ ninakuomba unipe namba nitowe majibu sahihi juu ya hoja hii ya siku ya sabato
@ChemmbayaAbdul2 күн бұрын
Mungu ni Mmoja. Hakuna nafsi tatu. Mungu hana mshirika na mtu hawezi kuuva Uungu. na Yesu ni mtume na Nabii siyo Mungu. wacha kuzunguka. Mzee wa Upako yupo Sahihi.. Someni Biblia msisubiri kusomewa..
@emanuelmkama13252 күн бұрын
Fuata Iman yako ya Mo,huku aikuhux
@rwabuКүн бұрын
Jiwe la macca linafuta dhambi!!!
@user-kc8sf6vg8kКүн бұрын
We ndo nakuelewa saana baba 🙏🙏
@iddykwangaya27942 күн бұрын
Kazi kweli kweli 😊
@Fm-MornStar20145 күн бұрын
Huyu mzee wa Upako amekosa elimu ya dini tu!
@elishampoki87516 күн бұрын
Kweli kabisa masaa na tarehe nimapokeo ya wanadamu
@nasserm.nasser50875 күн бұрын
Mungu ameumba masaa na majira ya masika jua baridi joto kwa madhumuni maalum na akazichagua siku maalum kuwa tukufu na akaumba viumbe na ktk hao akawachagua anaowataka kuwa juu ya wengine kama mitume. Hata ktk siku, mungu ameweka usiku ili watu walale na kupumzika. Kwahiyo mungu hakuwaachia viumbe wake mambo wagesi, kawapangia kila kitu. Ndio maana akaitwa mungu mlezi Muumba wa kila kitu. Nakukar8bisha ktk uislamu. Utakuta mitume wote na hata Yesu (rehema na amani za mungu ziwe juu yake) naye utamkuta. Na hautopoteza kitu isipokuwa utakuwa ktk njia iliyonyooka
@user-xn3kv9ir4q6 күн бұрын
Baada ya kula nakula na kusaza hajui anachohubiri
@OmaryGraysonog-d1u6 күн бұрын
Mungu yupo yeye muumba wa mbingu na ardhi na kusali ni kila siku habari ya siku sio ishu
@jabirkasunzu68415 күн бұрын
Katika zama, watu, vyakula hadi siku nk. baadhi ni tukufu, mf., soma biblia Mwanzo 2:2 Ungefuatilia clips zote mbili, na Mzee wa Upako yuko sahihi maana anarejelea biblia, Hananja anachezacheza na maneno tu. Kwa mf. Katika amri 10 za Mungu kwa Musa, Mungu anasema msinifananishe na chochote majini, ardhini na mbinguni na Yesu, baadaye, anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma. Maandiko yanathibitisha kuwa Mungu ni mmoja wa aina yake na Yesu ni mtume wake na ni binadamu. Hananja anarejelea mapokeo kutoka kwa wazungu. Mzee wa Upako anarejelea biblia ya waisraeli ambao ni waasia.
@user-pe8pp4yu1m2 күн бұрын
Hananja giniaus yule mzee
@silassaitoti76894 күн бұрын
KKKT KWELI WANA WACHUNGAJI WATULIVU🎉
@Ezeqsweya11166 күн бұрын
Hananja is the best
@othmanmaulid48675 күн бұрын
Nae haelewi Trinity
@maclaudismail66062 күн бұрын
Huyo ni comedy hananja. Lkn nyinyi mupo kama wahindi chochote unachoambiwa kiabudu kwenu poa tu ilimradi kasema mzungu
@shekimachaku233Күн бұрын
Agizo la Mungu kwa Israel lilikuwa ... waitakase sabato (sanctify the sabbath), wasifanye kazi yoyote siku hiyo, hata manna wasiende kuokota siku hiyo. Nadhani shida hapa ni tafsiri ya neno sanctify au keep it holy. Mpaka leo siku ya Jumamosi, Wayahudi hata simu hawagusi. Hawawashi moto, hawapiki, hawadeki nyumba etc. Sisi vipi? Na ndio maana hata wafilisti wanapopanga kuwashambulia, wafanya hivyo Jumamosi. Sasa Hii Sabato ya kwetu na yao ni tofauti?
@rodriguesvictorvalerio6886Сағат бұрын
Nimekuelewa mchungaji.
@bobwhite92523 күн бұрын
Hananja anajua mamae..nyie...duh..ukimwona anaongea kisela sela ila akili yake ni kubwa mno
@dibogodibogo93585 күн бұрын
Wakati wa Yesu hakukuwa na siku nyingine ya kusali isipokuwa sabato, ndo maana Yesu hakuelekeza watu wasali siku gani. Utaona ugomvi wa Yesu na wayaudi, haikuwa ni siku gani ya kusali, bali ni namna gani sabato inafaa kutunzwa.
@samsonpopat14742 күн бұрын
Ukweli upon wazi kwa hbr ya kusali jmosi katika Biblia mzee wa upako yupo sahihi acha chenga za kijanja janja Biblia ipo wazi kabisa
@shekimachaku233Күн бұрын
Kwa hiyo tunatakiwa tukasali J1 tu? So ni dhambi hata kufanya Ibada za nyumbani J3 hadi Ijumaa. Au...?
@shekimachaku233Күн бұрын
Na je nikisali siku hiyo, Yesu akija, nitaondoka naye?
@simonanthonykayombo69134 күн бұрын
Simple, funny and clear
@Carolina-sm5ztКүн бұрын
Mungu aangalii wewe unasali siku gani mana wapo wengine wanasali kila siku Mungu anangalia matendo yetu na tujiulize je tunaliishi neno lake na vp kuhusu amri zake je tunazitii kweli,
@mosesmbushi2 күн бұрын
mbona huyo mzee mchenga anatuchanganya ,maana yeye mweyewe na kanisa lake Wanasali Jumapili??.
@PhilipobonifacSado21 сағат бұрын
Jpl au jms nisku ya makutano kwanafasi ya duniani mana ni maoilunziko ila Ibada kila siku
@maclaudismail66062 күн бұрын
Wakristo ni figisu vitu vingi wametunga kwa faida za wazungu Yesu ni nabii tu. Hakujua siku ya mwisho lini, na siku ya hukumu atakuwa upande wa kulia wa kiti cha.enzi wala siyo kwenye kiti chenyewe 😂😂😂
@comsmkemwa26713 күн бұрын
Huyu mzee wa upako tuache utani sio mzima, siku zinavyokwenda anazidi kuchanyikiwa, sasa hapo anagombana na nani?
@hamisijuma3276Күн бұрын
Lkn amri kumi za Mungu zinasema kusali lini????
@benjaminmiselya26226 күн бұрын
Hahaha vitabu vya wakoloni vitawasubua Sana wenye kitahu chao wametulia Sasa nyie munahangaika🤣🤣🤣🤣
@AlfaMwahasanga-j1q2 күн бұрын
Hananja acha upotoshaji. Mzee wa upako anajua ukweli wala hakukurupuka. Ukweli haufungwi natazamo wa kibinadamu. Soma isaya 66:22,23 hata mbinguni ibada ni siku ya saba. Karagabaho.
@IssacNtacho5 күн бұрын
Hananja hakik umenibariki
@ramadhanmahongole92936 күн бұрын
Lusekelo hajui biblia
@jabirkasunzu68416 күн бұрын
Hananja anajibu kwa kurejelea mapokeo ya Wazungu na Mzee wa Upako ana hoja kwa kurejelea maandiko ya Waisrael wenyewe. Mf. Ishu ya siku, biblia inaeleza mwanzo 2:2 Amri kumi za Musa, moja, Mungu anakataa asifananishwe na chochote majini ardhini na mbinguni na Yesu anasema wakujue wewe Mungu wa pekee na mimi uliyenituma. Viongozi wajuu waongo na Wakristu wengi hawaijui biblia na wakisoma wanaathiriwa na mapokeo kutoka kwa wazungu. Na kwa akili ya kuzaliwa yenye afya, Mungu aliyesimamisha ardhi na mbingu bila nguzo, anaweza kuwa binadamu (Yesu)? Yesu katahiriwa, kusujudu, alivaa kanzu, alilia, alilala na alikuwa fundi seremala. Mungu wa Alpha na Omega hawezi kuwa wa namna hiyo. Mungu gang dhaifu.
@ramadhanmahongole92936 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841 Yesu siyo dhaifu
@ramadhanmahongole92936 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841 tangu lini muislamu akajua mambo ya rohoni muislamu hajui mambo ya rohoni na hajagizwa na mhammad kujua mambo ya rohoni mhammad aliwaagiza waislamu kuzingatia mambo ya mwilini tu kama vile usafi kuoa wake wengi nakazalika lkn mKiristo wamepewa roho mtakatifu wa kujua mambo ya rohoni ndomana siku zote muislamu anamtambua yesu kristo katika hali ya kimwili hamtambui yesu kristo katika hali ya kiroho ndo mana utakuta wanasema "yesu kristo alitahiliwa, alikula, alikuwa selemala, muislamu anaishia kujua yesu kristo katika hali hiyo tu
@martinisadru98995 күн бұрын
@@jabirkasunzu6841 na wewe utajibu kwa kupokea mapokeo kutoka kwa warabu kuhusu Quran,,, hivi wewe? Kabla warabu, hawajaleta dini yao ya uislamu,, hapa Africa karne ya 7,, je! babu zetu walikufa ktk imani gani? Acha kuona kama uslamu ndio bora kuliko ukristo, kila mtu abaki na mapokeo kutoka kwa watu awapendao,, hata elimu dunia ni mapokeo kutoka kwa wazungu,, na inatufanya tunaendesha maisha yetu vizuri. Na hakuna dini ya mzungu! Dini zote chanzo chake ni mashariki ya kati,, kuanzia, ibrahimu,musa,daudi,sulemani,yesu, paulo, muhamadi, wooote hao, wana asili ya kutoka arabuni,, tafuta ramani ya dunia ya zamani, itakuonyesha,, hata wakati yesu anazariwa,, wazungu walikuwepo, na walishaungana, kitambo, na muungano wao uliitwa rumi empire, kwa mataifa kumi, na walikua na dini zao, na dini hizo! Sio uslamu wala ukristo. Hivo,, uslamu na ukristo vyanzo vyake ni arabuni.
@solomonmugao47333 күн бұрын
Na Kwa sababu ya utapeli Ndio unaona kila MTU akisema bwana asifiwe. Lakini mchungaji hanaja ndiye ansema watu wasiwe Kwa Sala kila siku, lakini ndiye badoanasema Sala kila siku. Utakanganya watu. .pili biblia ilanza Na wayahudi Tuki kataa isemavyo Basi tuna asi sababu tunasoma biblia baada ya Wa Israeli kuikataa Kwa tabia Zhao.paulo ameandika
@UswegeJohn-ov3ym6 күн бұрын
Lusekelo ni Mchungaji mlevi wala asiwasumbue.
@Ephraim-n9qКүн бұрын
Amri mnazikumbuka lakin au mnamsifu hananja tu pitieni amri mtamwelewa lusekelo
@weiryalema80575 күн бұрын
Noted
@robertkyara68729 сағат бұрын
Unaijua biblia Mchungaji Hananja
@JoshuaMuyanjiziКүн бұрын
Hananja kwa majibu yako hata 13:29 wangemuuliza yesu angewajibu hivyo hivyo 13:29 1
@jeanmusamba84485 күн бұрын
makanisa haya ya kisasa watumishi wao hawaja soma biblia vizuri,mfano tz tuko mbele yao masaa 11 hapo sabato ikoje?Hananja is very genius,sabato ukiiangalia vizuri sio issue kabisa kwa wakati wetu,YESU ndo Bwana wa sabato.ukibeba chupa ya coca coca iko ndani,utasema nina chupa au nina coca?we kaa na yesu yaan acha dhambi na mche Mungu umemaliza
@kanyeshahigirimana56865 күн бұрын
Hii ni yenyewe
@calvinkigulu83287 күн бұрын
Ebrania 4;9
@bobwhite92523 күн бұрын
Na ile alimtoa mwanae wa pekee......vip..anyway tuseme tu hilo somo ni gumu na hakuna mtu anaelijua kiuhalisia kabisa
@maclaudismail66062 күн бұрын
Kul' hualahu,samadu,lam ya lid walam yu lad walam ya kulah kuf' an ahad. HAKUZAA WALA HAKUZALIWA MUPO
@GeorgeAmbartКүн бұрын
Yesu ni Mungu
@allythabiti81502 күн бұрын
Kumbe Mungu ni Mmoja takbiiir.
@mathiaslyamunda252622 сағат бұрын
Wewe ulidhani wangapi? Hiyo tafsiri ya miungu wengi kutokuelewa tu biblia.
@allythabiti815021 сағат бұрын
@@mathiaslyamunda2526 nyie si huwa mnasema Mungu mwana, Mungu roho na Mungu baba.. nmetoa wapi haya
@ANDREWKIMARO-by3zl17 сағат бұрын
@@allythabiti8150 ni utendaji kazi tu wa Mungu ni kama Allythabiti unavoitwa Ally, au dereva Allythabiti au mwalimu Allythabiti wakati huohuo wewe ni Allythabiti Mungu ni mmoja kumbukumbu la Torati 6:4 Biblia Takatifu imenifundisha hivo toka niko mdogo.