Sheikh,subhana Allah umwepesi wakueleweka Masha Allah.
@HusseinKoja-nw2vq Жыл бұрын
Mashaa Allah huyu ni mwalimu shiyo shekh
@dhadhoabdallah-zs6qz Жыл бұрын
Umefafanua vizuri Sheikh Langu Aliyeelewa Ameelewa Yule Ambaye Anafuata Mrengo Ni Wa Mrengo Tu
@sadisaidi6961 Жыл бұрын
👍ikosawa shekh haina mushkala hii darsa Allah akubark wa umri twawilu uzd kutupatia darsa
@mrishongwikwi6448 Жыл бұрын
Allahuakbar, Allah akupe umri mrefu shekh Walid kwa ufafanuzi huu sahihi, hakika nimekumbuka mafundisho yako tujiepushe na kufuata fuata wingi, maana watu wengi ni waongo.
@halimandune7317 Жыл бұрын
Sheikh wangu Allah akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha.
@mudyomarymohamedyomarymoha43932 жыл бұрын
Alhamdulilah muongozo mzuri wengi tumefahamu
@ramadhanipaulkwel2317 Жыл бұрын
Mwanzo wa uongozi wa shekh wetu kipenzi idd ilifanyika siku moja ilipendeza Mashaallah, hali ya hewa imebadilika huko ndani sijui kunanini nyuma ya pazia hua kinaendelea.
@DarsaTV. Жыл бұрын
kumbuka video hiyo inamwaka sasa jiulize wewe vizuri siyo sheikh
@mwajabuabdallah3544 Жыл бұрын
Maashallah shekhe walidy mungu akulipe ujira pamoja na ss
@diwanihosseinhosseinzuberi Жыл бұрын
Shekh walid DUNIA MZINA SIKU MOJA TU tofauti masaa
@mhandomhina5503 Жыл бұрын
Ktk kuchanganua Kuna tarehe za mzunguko wa jua na mzunguko wa mwezi anzia hapa
@saba-gv3mj5 ай бұрын
Ww wacha urongo ww siku sio moja Japan Tokyo wako mbele ww kwako kukiwa juma mosi wao washaingia jumapili kama huamini goggle uwone hapo ulipo na Tokyo wacha kuropokwa kama bachu
@zamalisaide3209 Жыл бұрын
MashaaAllah shekhe walidy
@salumhassanallymkurdistan7006 Жыл бұрын
Mashaalah Mashaalah Mashaalah Allah Akupe Umri Mrefu Wenye Kheri Na Wewe Shekh Walidi Amin 🤲 Amin 🤲 Amin 🤲
@maimunahaji-dh8mm Жыл бұрын
Maasha Allah 🥰 nmefurahii 😂 na kisa hiko cha wanawa zuoni na mlevi 🤣
@kasibalhosni8132 Жыл бұрын
ALLAH AKULIPE PEPO SHEKH
@mozzahbakary49382 жыл бұрын
MaashaAllah nimekuelewa Allah akubarik huo ndo uhakika wa mambo
@khamisathman71712 жыл бұрын
MashaAllah and Allah akuhifadhi shekhe, haya matatizo yapo kila mahali ata huku Mombasa pia tatizo ni hilo. Allah atuongoze pamoja na mashekhe wetu.
@husseinnyagongo28612 жыл бұрын
Allah Akupe Umri mrefu sheikh wangu kipenzi… Asante saaana kwa uchanganuzi
@fahmisaliim19142 жыл бұрын
Sheikh Walid Masha Allah...wew ni mwamba wakutegemewa
@omarijuma66922 жыл бұрын
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
@swahibually8349 Жыл бұрын
Duh! Mawahabi ni wagumu wa kuelewa Sanaa,hivi kwakua mwaka jana na wa Juzi watu hawakuhiji,je mlifunga saumu ya Arafa au hamkufunga?
Mashallah Skh Walidi Mmungu azidi kukubarik. Duaa hii taqabbal kwa sote. Aameen
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
Amiiin Alhamdulillah Sheikh Warid M/Mungu Akuongozee Nguvu Amiiin Alhamdulillah.
@kudramzee5769 Жыл бұрын
INSHALLAH ujumbe umefika
@dr.mukukihante76735 ай бұрын
Jazaakallahu khayran Sheikh
@mwajabuabdallah3544 Жыл бұрын
Shekhe walidi umeupiga mwingi hongera sn
@hashimkhamis68202 жыл бұрын
Asante sana sheikh wetu
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Si kweli shekh Kusoma tunasoma sana lakini kwa hapa umepotosha sanaa tena sana Arafa imefungamanisha na kusimama kwa mahujaji pale
@halifahasani6914 Жыл бұрын
Mwanzoni aliwahi kusema watu wafunge SIKU ya kisimamo Cha arafa Leo amegeuka Kweli viongozi wetu hawana msimamo.
@twahambowe4405 ай бұрын
Hiyo arafa ipo wapi? Ndo tunachanganua hivyo!!
@saba-gv3mj5 ай бұрын
Ww ndio mpotofu na ilimu huna wakati wakorona watu hawakuhiji ww ulifunga arafa na eid kuliswaliwa ndio nyinyi Allah kasema muna macho hamuoni na munao masikio hamusiki utapata shida sana sasa ww mkweli toa darsa lako
Allah akulinde sheikh Walid al hadi nakupenda kwa ajili ya Allah 🙏🙏🙏🙏
@nurhatmshindo65652 жыл бұрын
Allah Akbar mungu akufanyie wepes katika majambo yako Shegh wetu
@mirajihamza2892 Жыл бұрын
Huyu ndie shekhe wa mkoa wa dar,,,subuhaanllah huu ni msiba Amefeli
@SofiaNdundu-ty3jz5 ай бұрын
Lete hoja na ww tukuelewe msimbezeshekh akati anaongea kw kuchanganua
@ahmedbashir95945 ай бұрын
Kama amefeli leta hoja yako
@HajiKimaro-xf5qx Жыл бұрын
Allah akulinde na kila lililo la Shari juu yako na akujaaliye kila la gheri na akupe ziada ya kila kitu kwa uwezo wake
@aminashaib69562 жыл бұрын
MashaAllah Allah barik
@ArafaSuleiman-db9pw5 ай бұрын
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
@bughalib1 Жыл бұрын
بارك الله فيك ونفعنا الله بعلمك
@mohamediurembo4714 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka rakhamani shukulani
@abubakarhussein21862 жыл бұрын
Nakupenda shheikh kwa ajili ya Allah!!!🤣🤣
@YussufAly-m2j Жыл бұрын
Mungu akubarik kwa ufafanuz wko wa kielimu
@khamisikhalfan4720 Жыл бұрын
Hilo hawezi mtu kujibu bila ucha mungu
@AhmadiAhmadiaziz5 ай бұрын
Assalaamu alaykum shekh allahu akufungulie kwa darsa yako amiin
@shadyahamad3724 Жыл бұрын
Shehe mwenyezi mungu azidi kukubariki ila unafurahisha na visavyako😅
@bentybenty23432 жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah shukran sheikh...
@elnasrinasco-jo2ut Жыл бұрын
mashaalah ❤
@kitosio Жыл бұрын
Ktk Geography ndio kushafeli
@bundalahamza89022 жыл бұрын
Allah akurinde
@kitosio Жыл бұрын
Duuh kushafeliiiii. Hapo ndio umefeli. Saumu ya Arafa inaanza mda gani
@hasreeyasini Жыл бұрын
Sijakuelewa sheikh Walid Kuna kauli ulisema ni siku ya kisimamo Leo unachomoa waya mmmh hata kama sijasoma lkn hapo nooo
@halifahasani6914 Жыл бұрын
Ndiyo ujue mashekh wetu Wana nyuso mbili. Unashindwa kujua ushike lipo.
@yaab6025 Жыл бұрын
Sheikh si Malaika. Acha personal attack. Zingatia misingi. Sheikh anaposema changanua anamaanisha tumia akili yako kufafanua na sio kubeba kama unavyoelezwa. Binafsi nimemuelewa sheikh vizuri tujitahidi kusaidia na sio kubomoa Kwa matusi, kebehi, na maneno machafu. Msingi wa arafa ni kuandama Kwa Mwezi. Siku ya Tisa tangu Mwezi uandame ndio siku ya arafa. Sasa huu ndio msingi wa kuzingatiwa. Allah katuwekea alama za kuzingatiwa ili kutekeleza ibada mbalimbali, alama hizo ni Mwezi na jua. Msingi wa nyakati za ibada unaanzia hapa Kwa kuzingatia alama hizi na sio kuwategemea watu au nchi Fulani. Unapokuwa tegemezi wa nchi au watu Fulani, vikitoka hivyo vitegemezi utashidwa tekeleza ibada yako. Tujikite kwenye misingi tuache propaganda na siasa zinazotutoa kwenye misingi. Allah ni mjuzi zaidi.
@khamisali59782 жыл бұрын
Ukizngumza mambo ya dini tunahitaji maneno ya wanazuoni, ww si wa mwanzo kwnye dini hii kuzungumza jambo la arafa.
@sitikisheto8985 Жыл бұрын
Akuna mwaka watu awakusimama arafa ata kulipo kuwa na corona watu wali hijj walio kuwa ndani yasaudi ila walikua watu kidogo
@Zuwenamachela5 ай бұрын
Je hijjah ilifaradhishwa mwaka gn na kabla kufsradhishwa si watu walifunga arafa sasa walifunga arafa gn ikiwa kisimamo bado?
@mohammedmahara23395 ай бұрын
Wakati wa korona hakukuwa na hijja watu hawakufanya hijja
@saba-gv3mj5 ай бұрын
@sitikisheto8985.11 mo ago ww wacha urongo wakati wakorona hakuna aliye hijii wala ulikua huwezi ingia pale makkah ww mbona mrongo hivo humuogopi Allah kwa kusema urongo hata haya huoni
@ahmedyrutumo-wi7tr Жыл бұрын
Mashaallah😍😍😍
@abuunusaibayussuf4829 Жыл бұрын
Mche Allah eeewe Sufi usiwachanganye watu hao wote nimajaahil dini Si akili ni dalili
@gharibsomali4595 Жыл бұрын
Umeanza vizuri ila hapo tuombee viongoz mh hao hawana dini na ww unajua
@hashimuluambano48075 ай бұрын
Najiuliza ishawahi tokea katika nchi zinazotangulia kwa maka zikaanza kuuona mwezi? Au zinazofanan na maka kama tz kuanza kuona mwezi halafu maka usionekane? Tusiweke ushabiki kwenye dini ndomana tunachanganyikiwa.
@katimbaamriidd5577 Жыл бұрын
Sisi si China,,,ingekuwa vyema wa huko China wakaja na hoja hizo...muda wetu na Saudia ni mmoja tu na tarehe haziwezi tofautiana bila kupotosha,,,...
@saba-gv3mj5 ай бұрын
China sio binadamu China hakuna waisilamu basi kama ww wasema hivo ww wapinga mtume s a w na maswahaba na watu wema walio tangulia na wanazuoni ushabiki hautakusaidia kitu waeza jikuta jahanam kwa ubishi wako bila ilimu
@MajutoRajabu-r9v4 ай бұрын
Wewe mzeembe WA kuelewa
@AnnoyedPuffin-ie8lw5 ай бұрын
Shekh Walid nigekua naela ningekupeleka kikijin kwetu ukatoe elimu
@mwajabuabdallah3544 Жыл бұрын
Ila tengezeni kamera zinazowiana kuchukuwa na kwakina mama shukrani
Shekh apo umefeli kufananisha saudia na china fananisha tz na saudia tumepishana masaa mangap
@MohamedMasoud-y3k Жыл бұрын
Shekhe ushawavuruga wenzio
@suleimanhaji7057 Жыл бұрын
Huyu nampenda ila kwa hili hayupo stable
@alhamdulillahalhamdulillah75292 жыл бұрын
Muhimu kuchanganua
@saidisalum1514 Жыл бұрын
ZAMANI NILIKUA NAJUA HUYU JAMAA ANAELIMU KUMBE ZIRO KABISA ARAFA NI MWEZI TISA YA MAKA HATAKAMA HAWAJASIMAMA KWASABABU ARAFA NI MOJA ENGELIKUA KILA NCHI NA ARAFAYAO TUSINGEFUNGA WANAOFUNGA NI WALE WASIOJAALIWA KWENGA KUNAKOHUSIKA NA ARAFA CHIZI WEWE
@nurushaame77405 ай бұрын
Wewe ndo shekhe
@saedyrajabu54495 ай бұрын
Changanua sheikh wacha kutukana
@abasijuma6989 Жыл бұрын
Mchunguzeni vizur mtu wa siasa huyo sio ishala insala tu
@ashurakabura7268 Жыл бұрын
Kama kweli tukio hilo linakwenda na tarehe kwa Nini Tanzania Arafat mmefunga tarehe 10 na Eid ikawa tarehe 10?
@yusufuyusufu7098 Жыл бұрын
Elimu imetosheleza
@JumaHaji-zz8xk5 ай бұрын
Ushabugi ustadhi kilemba kikubwa lakini unabigi
@HidayaKibila11 ай бұрын
Asalam aleykum
@DarsaTV.7 ай бұрын
W.msalaam
@mashaurimvungi22322 жыл бұрын
Msikilize Dedesi wa zanzibar
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Arafah ni 1 na tunapaswa kuzingatia siku hiyo na sisi 2funge hakuna kinyume
@halifahasani6914 Жыл бұрын
Kuna SIKU alisema watu wafunge SIKU ya kisimamo Cha arafa, Leo amegeuka Kweli viongozi wetu hawana msimamo
@diwanihosseinhosseinzuberi Жыл бұрын
Nikwel
@SalimuMaganji-ts1fn Жыл бұрын
Mbona mwaka jana na juzi watu walihiji na arafa wa wakasimama? Inamlazifu atoe hadithi na vitabu vya wanachuoni kuusu hilo la maana ya arafa anayo itoa
@DarsaTV. Жыл бұрын
iyo video ya mwaka jana 2022 sheikh alikuwa anazungumzia mwaka 2020 na mwaka 202 kipindi cha corona kulikuwa hakuna hija japo mnajisaulisha
@kitosio Жыл бұрын
Rudi ktk Geophysics sasa. Tanzania Asubuhi saa moja China saa sita. China wanaanza kufunga Saudia watakuwa nyuma masaa 6 mfano. Hii nisiku moja. Ikifika saa saba kwa Saudia. Nchi iliyonyuma ni saa moja asubuhi . hiyo pia nisiku moja na Saudia tarehe moja. Hakuna mpishano wa masaa 24. Ivi nyny mmesoma wapi? Mbona masufi wakaidi
@nurushaame77405 ай бұрын
Umeona china tu mbona zipo nchi masaa mpaka 13 wanapishana au hujui Hilo
@kitosio5 ай бұрын
@@nurushaame7740 Bila Shaka NYNY muna Hija ya eneo lenu na Arafa yenu. Kwahiyo endeleeni kupoteza muda mufunge sikukuu. Illogical watu wanachinja NYNY mnadanganyana eti ndio ya ARAFA. AKILI YA MTOTO MDOGO HAIKUBALI SEUZE MTU MZIMA. KUNA TWARIKA MMOJA ASEMA ARAFA NI TATU. NAONA ANAOTA KABISAA. MTUME KAZUNGUNZIA ARAFA MOJA YEYE ASEMA NI 3. ALLAH ATUOMGOZE DUUUH.
@ttyyyyuuuuuu Жыл бұрын
*Arafah:* Ni pahali pako Maka panaitwa Arafah na hapo liko Jabali linaitwa Arafah au kwa kina jengine Jabal Arahma na mwaka mzima liko na pahala pako *Yaum Arafah:* Ni tareh tisa Dhul Hija ni siku inaitwa Arafah kwa wanao hiji wanatakiwa siku hio waweko pahala hapo ambapo panapoitwa Arafah, ni katika nguzo za Haji huko na waliokuwa hawahiji siku ya Arafah yaani tareh tisa Dul Hija ni suna kwao kufunga. Kuita tarekhe kwa kitendo au tokewo ni kawaida, kama vile Aam Al Fill (Mwaka wa tembo), yaum nahar (siku ya kuchinja,) ayam tashriq, ayam tasii, yawm tarwiya, ayam biydh, aam huzn n.k. *Vitu viwili tafauti baina pahala na tarehe na kila pahala pana tarehe yake haitangulizwi wala hairejeshwi* Haikuthibiti Kuwa Mtume (ﷺ) baada ya kuhamia Madina alikuwa akipeleka wajumbe Maka ili walete habari ya Mwandamo wa mwezi wa Maka ili na wao wafate Mwandamo wa Maka na wapate Arafat Moja, pamoja na Maka na pia haikuthibiti alipokuwepo Maka au alipohiji alikuwa akiwapeleka wajumbe wake katika Miji ya karibu kama Madina au Ttaif ili awape Waumini habari kuwa wafate mwandamo na Arafah ya Maka. Aliyekuweko katika nchi amabazo zimechelewa kuona mwandamo wa Mwezi basi si vibaya ikiwa atafunga siku ya tarehe nane ya Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya tarehe 9 ya Maka yaani ni siku ya Arafah ya Maka kisha akakamilisha kufunga siku ya Tarehe 9 ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya Arafah kwake. Lakini muhimu asifunge siku ya yarehe 10 Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo ni siku ya Idi kwao.
@meshahemed9297 Жыл бұрын
Shukran kwa ufafanuzi nawe Allh akulipe ndgu yang...je kwahadidh ya mtume wetu ulioiwakilisha hapo...kwa ambao hawakuwa madina Wala Makkah au inch za mbali walifikishiwa taarifa na Nan? Nipo kwenye kujifunza nategemea utanifafanulia inshallah.
@ahmedbobsaith9069 Жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhuhhhhhhh😮😊
@banihashim53472 жыл бұрын
Wewe ni kigeo geo, unakula matapishi yako, yoote hayo unamuogopa Abu iddi😂😂😂😂😂😂
@Allyrumhy-ji2vo5 ай бұрын
Huyu NAE anamambo mengi kunaclipu moja anasema watu wafunge siku yakisimamo Cha arafa kwakuungana na watu wasaudia leo anakuja nahoja hii,,, kweli madaraka mabayasana.
@abubakarmuhammadsaid32445 ай бұрын
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana *SIKU* Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama siku ya ‘Arafah." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: *"SIKU* ya ‘Arafah, Anateremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya *SIKU* ya Arafah Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata" [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika *SIKU* ya Arafah”. [At-Tirmidhiy] Siku ya Arafah inapatikana Saudia tu, na Hadithi zinasema tufunge *SIKU* ya Arafah. Hapana hata hadithi moja inayosema tarehe tisa muandamo.
@HabubaManeno5 ай бұрын
Akhii kwenye hizi hadithi ulizotoa uko sahihi, vipi na Hadith aloisema mjumbe wa Allah kuwa Allah huteremke ktk uwingi wa kwanza ktk kila uck na kutangaza kwa waja wake matangazo ya rahma...! Na uck ktk dunia unakwenda unatofautiana , vipi hapo ? Bado c hoja hizi hadithi kubainisha arafa inafatwa kisimamo cha mahujaji akhii
Akhii Hadith moja ushaitoa wewe mwenyewe, mtume kasema Allah mtukufu hushuku ktk SIKU ya A'rafa. Kwahiyo ikiwa tunakubaliana na maneno ya mtume wetu Arafa ni ck na cyo kile kitendo Cha mahujaji kusimama ktk viwanja vya arafati. Basi hiyo ck ya A'rafa ambayo ni ck ya 9 ktk mwezi wa dhulhijja ndo ck imesuniwa kufunga swaumu kwa ambao wahajaenda ktk mawanja ya hijja mwaka husika...
@HabubaManeno5 ай бұрын
Allah mtukufu anafahamu nia zetu basi kwa huruma zake atuongoze ktk ufahamu sahihi kwani yeye ni mjuzi wa kila kitu
@zaitunisinamenye17992 жыл бұрын
Swali langu ?Tanzania tu ndiyo inci wanasali iddy mbili, kwa nini ?na arafa ni moja
@boisalym99352 жыл бұрын
Tanzania ina Eid moja sema kuna watu hawafati viongozi wao.. Ila nchi nyengine nyingi hazili eid na saudia kwa kufata miandamo yao kama Tanzania tunafata miandamo yetu kinachotokea nchi nyengine wana watii masheikh zao ila tz watu wanajikuta wana elimu na hawana adabu na viongozi wao ila ukifatilia nchi nyingi tu hazijala eid sawa na saudia na ni kwa ajili ya miandamo na funga zao
@w40582 жыл бұрын
Wenyewe ndio mloamuwa kuwa na Eid mbili kwa ukaidi wa kutotaka kufahamu kina kishki na wenzake wametutia taabuni sikilizeni mfahamu
@w40582 жыл бұрын
Boi Saliym uko sawa sawa kabisa
@medimisi69302 жыл бұрын
Tanzania ndo tuna mashekh wa mchongo maana tulikua tumejiunga AFRIKA MASHARIKI ila wenzetu wametuona tz wababaishaji maana Kenya tu hapo waliwahi kufungua na wakawahi kula Eid zote mbili.ila hata hivyo dawa ya SUNNA imeshaingia Hadi tz sikuhizi mashekh wa mchongo hawana wafuwasi wengi.iv watuambie huu umoja wetu wa AFRIKA MASHARIKI umekufa au vp na Kama haujafa mbona tz hutufuati.
@boisalym99352 жыл бұрын
@@medimisi6930 kumbe mnashindan wafuasi.. Haya
@KissmartyDeluyz Жыл бұрын
Dhwalf makani na dhwalf zamani ni ibada mbili tafauti arafa wanasimama kuanzia saa saba hadi alfajir na funga inasimama alfajir hadi saa 12 jaman nyie mawahabi tusomeni
@khamisikhalfan4720 Жыл бұрын
Kabla ya redio Tanzania au TBC mtwara walifungaje na BUKOBA? Basi kwa hoja yako hata kumsikiliza mufti haifai itabidi japo ni Tanzania lkn bila ya teknolojia hata idi ya kibongo ingeshindikana
@husseinnyagongo28612 жыл бұрын
Sheikh nakumbusha tu subtitle ya kingereza kwa chini apo…..
@DarsaTV.2 жыл бұрын
Ni ngumu sana kuitengeneza ndugu yangu
@DarsaTV.2 жыл бұрын
Tunatamani tungekua tu aweza kupata muda maana inakula muda sanaaa
@nurdinmfamau34932 жыл бұрын
@@DarsaTV. Inabidi Mjitahidi Kwaajili Yafaida Yawatu Wengine Zaidi.
@jumasalim6126 Жыл бұрын
Mada kamahizi zinapunguza washabiki wako.
@kitosio Жыл бұрын
Saumu wanapataaaaaaa. Saumu haianzi saa saba
@hassanjuma8228 Жыл бұрын
😮 😮😂❤😮
@MohamedMussa-il3xb5 ай бұрын
We shehe unapotosha muongo mkubwa we
@FeruziIsa-nc5vo Жыл бұрын
Wee chizi
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Wapo walosimama Arafah mwaka juzi na jana ikiwa hakuna Arafah ni jangaa la dunia
@nurdinkishki kafute ile clips yako unayo mchafua shekhe wetu kuwa alafa ni kisimamo wakat uliikata ukweli ni huo hapo kuwa arafa ni mwezi 9 na sio kisimamo
@husna345622 жыл бұрын
Ukijua neno kulitamka ndio umuambie akafute
@yusufntamila5412 жыл бұрын
@@husna34562 we uliye lipatia nakuona uko firdaus na mtume
@husna345622 жыл бұрын
@@yusufntamila541 kwa sote in sha Allah
@selemankishema57802 жыл бұрын
Misikiti ya makuti ilitoa watu wasomi na wakweli katika dini leo hii misikiti ina marumaru inatoa watu wajinga hawana mfano kabisa yaani mpaka unaogopa huu ujinga lini utakwisha labda ikianza tena misiki ya makuti.
@omarally14312 жыл бұрын
Duuu
@abuahlaam Жыл бұрын
Maneno ya dhahab umeandika... Daawaat salafiyah ndio suluhisho la matatizo yetu ya kidini mengi ama hawa mashekhe wengi ni watoaji visa
@abuahlaam Жыл бұрын
Shekhe mtihan hutu naona lengo lake ni hizo hela anaxopokezwa
@gumbokalanje-iu6bh Жыл бұрын
Sis weny akili tumekuelew
@zaitunisinamenye17992 жыл бұрын
Makka na Tanzania, muda wao hawashindane, kwa nini Tanzania tu ndiyo ina sala 2 za iddy ?kwangu haipendezi,inaonesha ma sheikh hawakupata elimu moja ?mamuma tuende wapi, na tumeambiwa makka njo kuna kila kitu
@AliHassan-ss4tk2 жыл бұрын
Ma'amuma tusomeni kwasababu mtume (s.a.w) kasema tafuteni ilimu japo kuwa ni china
@AliHassan-ss4tk2 жыл бұрын
Na ni kweli kabisa Tanzania na Makkah hawaja achana na lolote ila wewe mwezi wa Ramadhan fungua na adhana ya Makkah
@hajjiyasin42552 жыл бұрын
Ni dalili ya Qiyama iko karibu sana, kwani makaa ni ngapi? Masheke wanasoma tusome na hawa wenyewe wamesoma lakini wanagawanisha waislamu arafa ni moja tu dunia yote
@nasoros.mgungo55022 жыл бұрын
Makka na Tanzania tupo saa moja Ila wao Makka wanasema hatufuati mwandamo usio wa Saudia. Yaani Makka kutofuata mwandamo wa Tz Ni Sahihi Ila Tz kutofuata mwandamo wa Makka makosa.
@medimisi69302 жыл бұрын
@@AliHassan-ss4tk hadithi zaifu iyo na raisi wa China alikua nani wakati huo na iyo China enyewe ilikuwepo
@mgazamhina8402 жыл бұрын
Mimi shekhe wangu nimekuelewa lakini mbona kuna video yako nyingine ulielezea vingine,sawa ila tuchukue ukweli upi sasa,halafu kunajambo linatumika vibaya sana,kila mtu anakuambia someni,hili neno someni asaivi linatumika vibaya sana,kwakua hata wakristo,mashia na hata wasiokuwa na dini wanakuambia someni.
@namelessnameless48682 жыл бұрын
Aliongea vile kutaka kumfurahisha tu mgeni wake Sheikh Kishki ila huyo ni mwanafunzi wa Sheikh Mohammed Ayoub hawezi kumpinga Sheikh wake aliyemsomesha
@swalehemrombo93012 жыл бұрын
@@namelessnameless4868 hakuongea kumfurahisha mgeni wake sheikh kishik Bali ile video ili editiwa na watu waliokua na Nia ovu wakatoa myiroroko mzima walivyoongoea siku ile wakachukua kile kipande kidogo tu kwa matumizi ya Nia Yao waliokuwa wakiitaka.! Lkn sheikh Wala hakuongea kumfurahisha mhuyo mgeni wake km unavyosema kwani kwenye maneno ya mungu ni wajibu kuongea haki na si kumfurahisha mtu inachotakiwa ktk maneno ya mungu ni kumfurahisha mungu na siku kumfurasha mwadam mwenzako ambae hakupi Pepo Wala riziki.!! Yale maneno ya sheikh yali haribiwa kwa Nia ovu elewa hivyooo.! Nakuhusu kuwa mwanafunzi wa sheikh Mohammed Ayoub nadhani sio hoja ya msingi sana kwa ni wangapi walikuwa wanafunzi wake na walikwenda tofauti nae kwa msimo huo.!? Nadhani yeye kaona upande huo ndio sahihi zaidi na ndio maana kausimamia lkn sio swala la kuwa mwanafunzi wa sheikh Mohammed Ayoub.!! Mfano almarhum sheikh Suleiman bin amrani kilemile alikuwa mwanafunzi wa sheikh mohamad ayuob tena mwanafunzi mkubwa tu kuliko huyu sheikh Walid mbn lkn yeye alisimamia upande tofauti na sheikh mohamad Ayoub ktk swala hiloo.!? Kuna hata yule sheikh Salim barahyan mkuu wa manswar yule pia ni mwanafunzi wa sheikh muhamad Ayoub lkn nae si ana msimamo wakeee.!!
@abuubakariamiri10372 жыл бұрын
Video hile mliyoiona sime katwa vipande vipande Na kueiditiwa sheikh alikuwa anaelezea kuwa anaelezee kuwa ," Sheikh Kishk anasema arafa ni mfungo tatu mwezi tisa na ni kisimamo na pia yeye kanukuu tu .."
@soudbaraka2432 жыл бұрын
Naona itabidi mueke hija yenu sheikh 10 yrs to come, cz as far as am concern we MST follow the pilgrims. And to them arafah is only once not twice.
@mgazamhina8402 жыл бұрын
@@swalehemrombo9301 kiongozi hiyo crip mimi nimeiona yote ndio maana nikauliza shekhe yuko upande gani,pia najua huyu na Shekhe mziwanda wanaukaribu kwa kiasi kikubwa,Shekhe Mziwanda kwenye crip yake kasema jambo hili halina hitirafu kisheria bali hitirafu zimewekwa na watu,kwa staili hili kuna vitu mashekhe wanatuchanganya sana,halafu kila mtu anatumia kigezo cha kusema someni,kiukweli naona hili neno someni linatumika vibaya sana,hata mashia,wakristo na wasiokuwa na dini wanakuambia someni,kuna mifano mingine ikitolewa na mashekhe unajiuliza hivi huu mfano unaendana kweli na hii mada.
@medimisi69302 жыл бұрын
Shekh wa mchongo na maamuma mbumbu.iv tuseme Allah aepushe,ikitokea kesho yake mahujaji wanasimama ARAFA lakini ikitokea hali ya hewa sio rafiki kusimama kwaiyo ikisogezwa mbele jee huku sisi tutafunga mwezi tisa kabla ya kisimamo cha mahujaji au vp.halafu ukiambiwa SIKU ya uchaguzi tufunge iv kuna mtu anaweza akafunga kesho yake.
@malickyhussein9032 Жыл бұрын
Kufunga ni mwezi tisa hata ikitokea hawakusimama kabisaa sio tu watasimama kesho yake
@JumaKhamis-cw8ec Жыл бұрын
Shegh wewe upo china?? Funga ya usahihi unayoishuhudia usizungushe watu
@soudbaraka2432 жыл бұрын
Kulingana na Geography sheikh dunia mzima tuko ndani ya siku moja ila min hours, some wako ahead some wako nyuma, so its a matter of calculation simple. In that case come rain come sunshine arafah lazima iwe moja. Yote Tisa kumi, Mtume katwambia tufunge siku ya arafah sio tarehe not unless kae waipinga hio hadith sheikh. Sasa changanua hio sheikh wangu, kwa nini wakristo kama krismas yao mfano ni ijumaa au jumapili vp dunia mzima wakristo wote watakula same day hawatakula mbele na nyuma na Massa wanatofautiana? Changanua hio sheikh langu. There 4 we need to reason while deep thinking. Mwaka mpya wakisherehekea kama ni jumatano basi ulimwengu mzima wataafikiwa same day, kwanini? Changanua?
@DarsaTV.2 жыл бұрын
Shekhe hivi unajua kama mwezi ndo inapanga tarekhe na mwezi huandama Sawa au muda mwengine tofauti so watu hawawezi kufunga Sawa haiusiani na kua duniani hakuna nchi iliyopishana masaa 24 ishu ni mwezi umeandama au laa mwezi tu unapoandama kwako unanza kuhesabu tarekhe yako ikifika mwezi 9 ndo arafa yako haijalishi makka wanafunga au laa China wanafunga au laa
@tamiahtaymy69592 жыл бұрын
Sheikh Walid nakuelewa Sana Tena Sana, (cape Town) tunakuelewa Sana.
@AliHassan-ss4tk2 жыл бұрын
Wewe nde changanua hadithi yako bro na pia Aya ya Quran yasema musipoiona mwezi kamilisheni siku thalathini. Na uliona siku za kiislamu zi kiambatana na zi kikristo their months ends with 28,29, and most 30,31 ilimu ni pana bro kuchanganua nde dini bro
@AliHassan-ss4tk2 жыл бұрын
Kisha unajichanganya... ukisema mtume katuambia tufunge siku ya arafa kweli kabisa na si kusimama watu sehemu ya arafa nde sheikh kauliza ipi ilikuja mbele Hajj au siku ya arafa ukipata jibu basi jua jibu lako umepata
@shabaniahadi43872 жыл бұрын
Kuna nchi zinatofautiana masaa 26 Tafuta elimu na sio kukaririshwa. Angalia baker island and line island zinatofautiana muda gani
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mie nashangaaa sanaaa Mbona siku ya wafanya kaI duniani ni.moja Mbona krismas duniani ni moja Kwa nn huku mtuletee mizoZo ya kijinga
@DarsaTV. Жыл бұрын
kipindi cha corona wewe haukufunga maana kulikuwa hakuna arafa
@MansourBasleman Жыл бұрын
Shekh hatujaambiwq muda gani tumeambiwa siku ya Arafa hatujaambia muda unapoanza Arafa
@amanisaidi9348 Жыл бұрын
Asant sheikh Walid tumekuelewa
@RamadhaniChiee Жыл бұрын
Allah amuongoze sheikh.huu msiba kwa ufahamu mbovu