TUKIO ALILOFANYA SH; WALID LAKUIZUIA MVUA ISINYESHE KWA ISHARA YA KIDOLE JUU | ALLAH ANAWATU WAKE

  Рет қаралды 20,940

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz Жыл бұрын
Mashaallah shekh Allah akujalie kila laheri akuepushie kilala shari
@AliAli-dc9zl
@AliAli-dc9zl Жыл бұрын
Twakupenda sanna Kwa wale msio mjua huyu shekhe anahistoria kubwa tangu akiwa mchanga alikua kabla hajanyonyeshwa mama yake anatia udhu halafu ananyonyeshwa . Shekhe mkubwa huyu tumpende tutafaidika na mengi Maashaallah wachamungu wetu hao ndio maana akazuia mvua kwa kidole Mashaallah.
@AminiAbasi
@AminiAbasi Жыл бұрын
Masha allah... Allah akubariki sheikh walidi bin sheikh omari kawambwa.
@mwinyihijajumaa3773
@mwinyihijajumaa3773 Жыл бұрын
Mashallah shekh walidi Mungu akulinde
@allymzee-m2s
@allymzee-m2s Жыл бұрын
Allah amuhifadhi sheikh langu na amzidishie karama
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n Жыл бұрын
Makafiri wamefanikiwa kuwagawa waislamu, yaani mnatukanana nyinyi kwa nyinyi ,
@abubakarjuma8477
@abubakarjuma8477 Жыл бұрын
Ingawa Mimi sikatka masufi Ila linalozungumzwa kuhusu sheykh walidi kumuomba Allah aisitishe mvua ili hilojambo au dharula itekelezeke Hilo linawezekana,,zidisha uchamungu
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 Жыл бұрын
Asante unaujua huo ndio uchamungu
@ramadhankheir4793
@ramadhankheir4793 Жыл бұрын
Usufi kazi kweli kweli
@abakibibi9917
@abakibibi9917 Жыл бұрын
UISLAM UMEKAMILKA HAUKUACHA MVUA MTUME ( S A W) AMEFUNDISHA KUNAPOKUWA NA WINGU LA MVUA DUA GANI USOME NA INAPONYESHA MVUA KALI USOME DUA GANI MAMBO YOTE YAPO WAZI HAKUPEWA MTU MAALUM DUA HIZO .
@amrykhamis4482
@amrykhamis4482 Жыл бұрын
Tumsalieni mtume Muhammad kwa wingi ndo muhm mengine 2muachie Allaah mwenyewe
@kassimhassan8426
@kassimhassan8426 Жыл бұрын
Hakuna mtu yeyeto aweza kuzuia mvua kutoka Allah.Jamani tusiendeni sana tutatokq nje ya dira .
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Sasa huyu ndio kishaweza na aliweza skuile na wewe ulikuwa haupo . Je tuseme vipi?. Kama hupendwi na Allah sw ni weye tu, wengine wana bahati zao wakifanya tu basi Allah sw huwaridhia huwapa watakavyo.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Hapo shekh alifanya utani kusema kaionesha mvuwa kidole sasa nyiye mnopiga jitafakarini msichukuliye kila kitu sirias
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Жыл бұрын
MashaAllah
@makameally1962
@makameally1962 Жыл бұрын
Mawahaby inavyo onekana mtu akiomba dua kwa mungu ajaalie mvua isinyeshe bac mvua ikiwa haijanyesha nyinyi mtasema ni uchawi
@ShomiKalunde-zb8gx
@ShomiKalunde-zb8gx Жыл бұрын
Allah akbar
@SaidChande-yl3wq
@SaidChande-yl3wq Жыл бұрын
Mash Allah
@khalifanassor471
@khalifanassor471 Жыл бұрын
Hahaha make apo kwanza ncheke
@shuaibsaid515
@shuaibsaid515 Жыл бұрын
Kama Ana karama afanye jua liwake usiku, masufi mumezidi😂😂😂
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
عربي - نصوص الآيات عثماني : قُلْ يَٰٓأَهْلَ ٱلْكِتَٰبِ لَا تَغْلُواْ فِى دِينِكُمْ غَيْرَ ٱلْحَقِّ وَلَا تَتَّبِعُوٓاْ أَهْوَآءَ قَوْمٍۢ قَدْ ضَلُّواْ مِن قَبْلُ وَأَضَلُّواْ كَثِيرًا وَضَلُّواْ عَن سَوَآءِ ٱلسَّبِيلِ soma iyo aya apo muna lete ukristo kweny uislamu muna kuwa na ghuluwi kwa kusifiya mashekh wanu kama ma naswara muna fanya ujinga kisha muna sema elimuh
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
من قال في القرآن بغير علم فليتبوأ مقعده من النار. ورواه الترمذي في جامعه و قال عنه: هذا حديث حسن صحيح.
@IssahWanga
@IssahWanga Жыл бұрын
Alicho kosea baba ni ni kunyosha kidole bila kumtaja alie kua muweza wa yote Allah.Japo hamna balaa kwa hilo.Ata wewe waeza jiombea matatizo yako na ukatarajia matatizo yaishe
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@IssahWanga muweza wa yote kasema, anataka anachokitaka walii wake. Kwahio hio sio hoja. Lakini unajuaje kuna jina la Allah sw alilitaja kimoyo moyo au alisoma kitu kimoyo moyo?. Nafkiri Allah sw pekeake ndio anayajua ya moyoni. Penda kufanya dhana nzuri kabla hujahukumiwa juu ya dhana zako.
@yussufsule4793
@yussufsule4793 Жыл бұрын
allah atunusuru
@MaadamAisha-qx5pu
@MaadamAisha-qx5pu Жыл бұрын
Shaitwani rajiim
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Unapoongeya ukaeka utani na maneno mazuri waskilizaji hukuelewa zaidi kuliko ukawa series
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Sufiii
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Tujifunze tusikimbiliye kukoment bila kujuwa maana ama lengo la mtu Kwa hakika hakuna awezae kuzuiya mvuwa ila mola
@abdullarajab7132
@abdullarajab7132 Жыл бұрын
Waislam wengi hawajitambuwi baada ya kuungana kujenga uislamu wao wananyooshea vidole huu ni msiba
@idrisamhunga
@idrisamhunga Жыл бұрын
Ukiwa na elim ndogo huwezi jua Hilo kasome Ila usi some ubishi usome elm
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
Kwan nyinyi mnaotaja neno ELIMU mnakuw mnakusudia nn, na je mnajua kwmb elimu ipo ya sawa na nyingine elimu mbovu?, Sasa watu wkikosoa mnasema elimu hamna, mar elimu ndogo, MNAPIMAJE ELIMU KWA WATU WENU MKAWAONA WANA ELIMU SAHIHI NA WENGINE MNAWAITA MAWAHABI HAWANA ELIMU? Acheni maneno y dhulma ndugu zngu
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
Yani kauli yko hiyo inaonesha hujui kutetea hoja zako, unalalamika elimu, elimu, elimu, wkat we mwnyew nd mvivu wa kusoma nd mana kila mkikatazwa jambo mnalalamika
@asiabaruani280
@asiabaruani280 Жыл бұрын
Mawahabi wanabisha kitendo cha mvua kutokuendelea kunyesha tatizo leni mawahabi hamna imani hakuna Sheikh wa Kiwahabi anae weza kuomba dua na majibu yakatokea hapo hapo hayupo mana hawana Imani,na mjue mawahabi ni wapinzani wa Uislam
@shazyahya4121
@shazyahya4121 Жыл бұрын
Miungoni mwa watu ambao wanaongoza kwa kutokua na imani na wanaongoza kwa kusaliti waislam wenzao kwasababu ya maokoto na wali ni watu wa bidaa harakati nyingi za maendeleo yana kwama kwa waislam sababu kubwa ni watu wa bidaa wanapenda pesa kuliko maslahi ya dini yake mifano ni mingi tu fanya uchunguzi Tanzania kenya na uganda wanaotumika kurudisha nyuma maendeleo ya kiislam ni watu wa aina gan utapa jibu
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😂😂😂Anyooshe na ghaza azuie vita😂
@aymanbuka2319
@aymanbuka2319 Жыл бұрын
Haswaa maana sasa amemshinda mtume huyu eeh😂😂😂
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
😅😅😅😅😅 eti shee ka nyosh kidole
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@aymanbuka2319 MTUME SAW HAKUSHINDWA NA JAMBO, BALI MAKAFIRI WANGEMTAKA MTUME SAW AZUIE MVUA ILI WAMUAMINI BASI ANGEZUIA ILA UARABUNI NI JANGWA NA HAWAKUMTAKA AFANYE HIVYO. NA SUALA LA VITA HATA MTUME SAW HAKUSHINDA VITA VYOTE NA KUPIGANA NI AMRI YA UTII NA NI IBADA KWA ALLAH SW. VIPI ANYOSHE KIDOLE ILI IBADA YA JIHADI ISIFANYIKE AU?
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Maskini kuna baadhi ya watu ambao hawakusoma ndo wataingia mtegoni kwa kutapeliwa na hzi karama za urongo.....ewe mungu bwana mola waokoe waja wako wasiingie katika hili janga.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@Khalid-mf3iu LETE KARAMA ZAKO ZA KWELI TUZIONE. NA KAMA HUNA BASI MUONGO NI WEWE.
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
ivi nyinyi kuna kiumbe ana weza kuzua nvuwa kweli usufi na ughu rafi una kusumbuweni ujinga wenu mpka muna andika vitu ambavio aha abuu lahabi akusema mpka ibilisi aja wai ongeya ujinga kama uu eti she walidi kaziwia nvua nyinyi kweli ni wa jinga hakuna anae weza kuzuwia nvua zaid ya allah mume skia nyinyi wa jinga....
@abuumrisho204
@abuumrisho204 Жыл бұрын
Hujielewi ww, akili zako zinakutosha mwenyewe, ushaambiwa dua yake ndio imesabibisha hilo, dua yake ndio Allah kaijibu. Au dua nayo bii'da. Maana nyinyi ndio mnajikuta watu wa peponi wenzenu wote makafiri
@HussainMaula-mw8vz
@HussainMaula-mw8vz Жыл бұрын
Sasa mashekhe mnawazarau mtasoma wapi lazima muwe wakaidi mimi nishawahi kuona ustazi wangu maalim abdan mwinyi pembe akiomba dua ya kuzuia mvua kondoa mwaka 2011 sio ilo shekhe ramia wa bagamyo kashafanya karama nyingi kwa uwezo wa Allha sasa kama huamini kua shekhe walidi kafanza dua ya kuzuia mvua utaamini miujiza ya mtume muhamad swa someni sio kubisha bisha tu.
@AmiriMtali-f3s
@AmiriMtali-f3s Жыл бұрын
Ww ndio mjinga usie juwa nvuwa inazuilika nahakun kisichozuilika inla kifot haw ni maulamaa wa annlha ,,kukusomesha ,nakupa ,,hii ,kam nvuw ikianza kunyesha Tia uzu halafu tiy niya som aam yot ile surat kwa ihilaswi ,,uon maajabu ya aannlha mbon din yet nyepesit
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
nyinyi sio wazima ilo sio elimu ni ujinga unasubutu kusema mtu flani kaziwiya nvuwa ivi ufalme wa nani? ni allah mweny uwezo wa jambo ilo sio uyo shekh wako uo ujizi sio elimu kufru kutakid mtu ana katanga sema ka muomba allah akakata nvua sio ujinga mulio andika apo juuu ata ibilisi aja wai kusema ivi
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Ubishi kusonga mbele
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
ACHENI KIDANGANYA WATU! MASUFI KAZI KUDANFANYA WATU TU!! HWANA MUDA WA KIUFUNDISHA DINI YA SAWA SAWA KWA WATU!!
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Ww njoo madrasa ziko watu wasoma ww wahabi ndio hutaki kusoma ni ushabiki
@justinhabonimana3890
@justinhabonimana3890 Жыл бұрын
Acheni kudanganya watu
@khamisiabdallah8737
@khamisiabdallah8737 Жыл бұрын
Kabis jitu linaandika eti sheikh amezuia mvua ujing myup
@tawheedmotivationalspeech2023.
@tawheedmotivationalspeech2023. Жыл бұрын
Usufu huu😂
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
Upumbavu tu huu
@jumamwarabu9307
@jumamwarabu9307 Жыл бұрын
MAULIDI TWA SOMA SISI;;MADUFU TWA PIGA SISI::KASDA TWA IMBA SISI;;MAULIDI TWA IMBA SISI;;;HAYA NYINYI ANSWAR MWA UMIA NINI???MWA KEREKWA NINI???: NYINYI ANSWAR MSI PIGE TUACHENI SISI:::POVU LANINI
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Hata Mimi nawashangaa waumia Nini pilipili ipo shamb yawawasha wao hahahahahahahag
@jumamwarabu9307
@jumamwarabu9307 Жыл бұрын
@@taurehassan7399 sijui :Wana umwa NINI::MAULIDI YATAZIDI NA NYUMA HAYATA RUDI::;,WAUMIE ANSWA NA NYINGI ZAO KELELE:::;:NIME KUMBUKA KESHO NI MAULIDI YA NYUMBANI KWANGU KARIBUNI SANA::;ENDELEENI KU UMIA MAWAHABI SISI HATU ACHI MAULID
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 Жыл бұрын
Ni muhimu tu sana kwa wailsamu kubaki kwenye umoja wao wa kidini.... na ibada kama hii isipokuwa na ushahidi wa wazi kwenye sheria bila shaka inawagawa waislamu...kama unavyoona. Na haya ni maafa makubwa sana kama ungejua....kwahivyo shida sikupiga dufu na hayo uyasemayo.... shida ni kwamba jambo hilo limesababisha waislamu kutokuwa kitu kimoja.... na hilo ni maangamivu makubwa sana...
@rashidsuleimano
@rashidsuleimano Жыл бұрын
Masufi tuwaombee dua
@saidpolish1988
@saidpolish1988 Жыл бұрын
Mimi pia nishamuona shekhe ivoivo alisoma dua ikasimama
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
sasa shekh ndio ka simamisha?? au kamuomba allah ndio uyo allah akasimamisha nvua kwani mutapungukiwa nini mukisema allah ndio mpangiliaji wa kila jambo ivi uoni atari kusema mtu flani kasimamisha mvua ? kwanin usiseme allah kasimamisha nvua baada ya kuombwa ivi iyo nvua nani kasimamisha? ki uwakika ?
@SalmaMsangi-n2m
@SalmaMsangi-n2m Жыл бұрын
Allah katufundisha kukumbusha na kupitiwa ni kawaida mbona ww umesema (huyo Allah)kikawaida si sa hii Allah huwez msemea neno huyo maana yy si mtu (najua hukumaanisha vibaya Ila ulipitiwa kama mwenzio
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 Жыл бұрын
Neno la muandikaji si neno la she he achaaa ufalaaa huyó alieandika kichwa cha habar kaandika kibiasharaaa kuaa utazamee kukujua lililopo
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@ABUUDARDAAI SIO HATARI KUSEMA WALID KASIMAMISHA MVUA IKIWA KAFANYA NA IMEONEKANA. KWANI TUKISEMA NABIY ISSA AS KAFUFUA NI HATARI?. JAWABU SIO HATARI MTU KUFANYA NA KUSEMWA KWA ALILOBARIKIWA. USHAMBA NI WENU MAWAHABI HAMJABARIKIWA ILA MATUSI. MTUME SAW KAUAMRISHA MWEZI UKAPASUKA PANDE TATU. MTUME SAW NDIO ALIOUPASUA MWEZI KWA AMRI YAKE. MWENYEZI MUNGU SW AMESHAMPENDELEA MTUME WAKE AWE HIVYO. HATA WEWE UKILA PIA TUTASEMA UMEKULA. KWASABABU ALLAH SW NDIO ALIOUBARIKI WEWE UWE NA UWEZO WA KULA. LAKIN KATIKA IMANI YA UISLAMU VYOTE BILA KUTAKA ALLAH SW HAIFANYIKI ILA SI LAZIMA UNAKULA KASEMA ALLAH SW ANANITIA TONGE YA KUA MDOMONI BALI UNAJIBU NAKULA. NYIE MAWAHABI ACHENI UBABAISHAJI NA CHOYO ZENU. ALIEPEWA KAPEWA TUU
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi Жыл бұрын
​@@ABUUDARDAAI Wewe unashangaa mvua kuondolewa na Sheikh Walid hata wewe waweza kuokoa watu wako na moto
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 Жыл бұрын
Mwenye channel Sasa mbona unatuletea new history Wacha urongouwwe mche allah ,hwa ndio sufiya ni warongo
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 Жыл бұрын
Makafiri wamewanunuwa wafuasi wa Muhammad binul Wahhabi ndio sababu
@TwahaKaoneka
@TwahaKaoneka Жыл бұрын
Hamna.tauhidi.masikini.masufi.hatari.Allah.awaongozi
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Ww tawhed yako ulitoa wapi tawhed tatu hata mtume s a w hajui hio tawhed tatu wala maswahaba hawazijui tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji
@FatuNahimana
@FatuNahimana Жыл бұрын
Asalam alaikum watanzania acheni kometi za kuza lilishana mtume wa allah hakuwa na maneno ya kutukanana nyiye mna nini
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Жыл бұрын
Muumini hajisifii kamwe eti kesha faulu wakati hio pepo yenyewe bado hajaipata ila kwa kudra zake Allah, Usimdharau usiejua nafasi yake kwa ALLAH kwakujiona Wewe ni bora kuliko wengine.
@Bigbossman-e1h
@Bigbossman-e1h Жыл бұрын
Swali langu ni moja tu Nabii Muhammad Rehma na Amani zimshukie alisema "musinisifu kama walivyo msifu nabii Issa (AS). Sasa kwa kufanya maulid na kumsifu sanaaa hamuoni hii nihatari mwamtafutia? Kwanini musimswalie tu vishe lazima madufu mara hoo ati alinena na wanyama....sawa tunaamini lkn musimtukuze kihivo kwani alikua mtu tu kama nyinyi
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Ww Huna akili mtume s a w alisema musimsifu mukazidisha mukafanya kama manaswara kusema yesu ni mwana wa mungu ila sisi waisilamu twamsifu mtume s a w kwa sifa zake na Allah amemsifu katika quran na kumswalia na malaika ww wahabi soma
@Bigbossman-e1h
@Bigbossman-e1h Жыл бұрын
@@saba-gv3mj sikia rafiki....kama saudia wenye nasaba na DNA ya moja kwa moja na mtume Muhammad s.a hawafanyi maulidi na hao niwasomi zaidi nyinyi wasambaa na wazaramo ambao babu zenu walikua hawana dini mwasoma maulidi hii si upungufu wa elmu na ulemavu wa imani..... you people need to learn more about Islam
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Leo ndo nimejuwa kuwa masufi wachawi
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 Жыл бұрын
Wewe mwehu uwalii pia hujui? Wasema uchawi balaa sana
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Жыл бұрын
Kasome utaelewa kwanini kuna karama na kwanini mashekh au muumini yoyote mwenye ikhilasw dua yake hujibiwa haraka na Allah Utaacha ubishi na kuwasingizia mashekh mambo ambayo hawajayafanya.
@mohamedijmazige
@mohamedijmazige Жыл бұрын
kumbe anaweza kuzuia mvua, mbona tunapoihitaji wakati nchi inapita wakati wa ukame haishi? Masufi akili zenu zimeingia virusi gani?
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Ww wahabi tulia marangapi ukame umekuja na watu wakusanya mpaka wanyama na wakaomba na Allah akaleta mvua soma ww wahabi wacha porojo
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Жыл бұрын
Shida yenu ni wagumu kuelewa na kujifunza uislam sahihi,Badala yake mnabaki kufuata mkumbo na kubisha au kupinga bila hoja na kutukana matusi kwakuambiwa ukweli, Kwani uislam umeruhusu matusi kwa mwislam mwenzako au mtu yoyote? Jadilianeni na wale wenye mlengo tofauti na ninyi kwa hekima na busara sio kutukana mashekh, Kinyume cha hivyo huo utakuwa sio uislam na makusudio yake kwetu.
@babuumohd4290
@babuumohd4290 Жыл бұрын
Kama hawa ndiyo mashekhe uislamu hautatawala hata siku moja. Ndiyo maana mkasherehekea mazazi ya mtume baada kufa kwake . hivi nani ashawahi sherehekea mazazi ya babake baada ya kufa badala kua na huzuni na mkawa wakali kwa makafiri mpaka uislamu urudi katika utawala kazi nikusherehekea tu kila mwaka
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi Жыл бұрын
Wewe mkali umefanya nini?
@naufalfarouk-ts5jo
@naufalfarouk-ts5jo Жыл бұрын
Wamfananisha Mtume na babako 😢
@HasaniPazia
@HasaniPazia Жыл бұрын
Watcha kuzaliwa mbona mnaadhimisha kifo cha baba yenu?
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu Жыл бұрын
Mwambieni anyooshe kidole asimamishe vita GAZZA kma kweli ana karama 😂....huu ni utapeli wa kuwatia wajinga ambao hawakusoma mtegoni
@asiabaruani280
@asiabaruani280 Жыл бұрын
Wewe umepambana na Kafiri yupi?Na unapambana nae kakufanya nini soma Dini yako uifahamu vilivyo sio kuburuzwa
@KhamisiOmar-v3h
@KhamisiOmar-v3h Жыл бұрын
Tatizo la nyie mawahabi munao abudu misalaba mungu utatu ufahamu wenu finyu sana.ndio mtu anaeza zuiya mvua kupitia uwezo wa allah.mbona humshangai nabbii issah alifufua maiti kwa uwezo wa allah na mengi tu aliyafanya.leo mawahabi munajifanya mamwehu wa kumdarau allah kwamba hawwzi fanya kitu kupitia waja wake kweli nashukuru allah kwa kuniepusha na mawahabi nyie mayahudi kweli hisuda zenu zinatisha..
@Izikiel55
@Izikiel55 Жыл бұрын
Issa ndio kinyago gan chief😂😂😂 hatukijui hicho kinyago sisi😅 em tutolee watu wa hovyo na kuwafananisha na Yesu wetu mpumav we
@KhamisiOmar-v3h
@KhamisiOmar-v3h Жыл бұрын
@@Izikiel55 pole sikujua kama wewe ni kafiri umevamia hapa haya basi baki na yesu wako.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Maneno tele porojo hamna kitu
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Masufi acheni polojo na ujinga na uongo
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Porojo ni ww uwache ww kipofu si mvua imenyesha ameinua kidole imeacha huyu ni mja mwema wacha uhasidi ww wahabi
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Porojo ni ww uwache ww kipofu si mvua imenyesha ameinua kidole imeacha huyu ni mja mwema wacha uhasidi ww wahabi
@moneymaker461
@moneymaker461 Жыл бұрын
Hahahha Hahahha huwo ni uongo Hahahha acheni usufi ati amezuia mvua Hahahha wajinga nyinyi Hahahha 😂😂😂😂😂😂😂😂
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
tukio kafanya shekh lakukata nvua au ni allah ndio alio kata nvua nyinyi wa jinga kasomeni aqida sio kuongeya maneno ya ukafiri allah ndio mpangiliaji wa mambo yote sio uyo shekh wenu sema ivi sheikh kamuomba duwa allah akakata nvua sio shekh kakata nvua nyie wajinga
@abdularuffin9308
@abdularuffin9308 Жыл бұрын
Usiwatukane waeleweshe tu hupungukiwi kitu maneno mzuri ni swadaqha
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
@@abdularuffin9308 ujinga sio tusi ujinga ni ukosefu wa elimu afu ni hali ya kila kiumbe uzaliwa na ujinga kisha akisomeshuwa ujuwa kwaio sja tusi mtu
@hamisijob5647
@hamisijob5647 Жыл бұрын
Nami nasisitiza wajinga haswaaaa
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 Жыл бұрын
Kua muelewa usiwee MJINGA ww unotoa coment hii Sasa ulitegemeaa hio Dua ya kuzuia NVUA aisome baba Yako au mwalm wako ?
@aymanbuka2319
@aymanbuka2319 Жыл бұрын
Alie andika sheik akatisha mvua kwa ishara ya kidole ni nani 😂😂 sasa mjinga ni nani hapa??
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 Жыл бұрын
Ndio masalafi wakiwaaambia hawa watu hawafai, nyinyi mnaonaaa mnasumbuliwaa,, hivi nyinyi wafuasi wa hawa wazushi mnajielewa kweli?!!!
@omaraliomar1671
@omaraliomar1671 Жыл бұрын
Usalafi ni ukafiri kwa mujibu wa Quran Zukhrufa 55-56
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
Hamujielewi nyinyi mawahabi yani migombe ww hukuona mvua na amenyosha kidole na akasema haiyendelei na kanyamaza huyu ni wali wa Allah na aya ziko katika quran waja wake Allah wale wema waombacho Allah yuwawakubalia
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Жыл бұрын
​@@omaraliomar1671soma hio aya na utafsiri usije ukawa ww kafiri tu
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 Жыл бұрын
الشيطان سول لهم وأملالهم
@jumamwarabu9307
@jumamwarabu9307 Жыл бұрын
KWANI WEWE ANSWAR UME LAZIMISHWA USOME MAULIDI???? UME LAZIMISHWA UENDE KWENYE MAULIDI???¿?UME LAZIMISHWA USIKILIZE MAULIDI?????UME LAZIMISHWA UCHANGIE ELA ZA MADUFU?????:::MWAKEREKWA NA NINI???PILI PILI USIO ILA YA KU WASHIA NINI???? MAULIDI YATAZIDI NA NYUMA HAYATA RUDI WA UMIE MAWAHABI NA HUKU WA KI LALAMA;;;;;WEWE BAKI NYUMBANI MAULIDI YA SI KU UMIZE KICHWA
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Kisa cha vijana waliomdharau mzee - Sheikh Walid Alhad
25:26
Kalamutz
Рет қаралды 43 М.
TAFSIR SURAT YASSIN (PART 1)
54:51
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 9 М.
Sh Xassan Al Waajidi Maxa Lagu Heystey Marku Laha Qabilta Sh Xassaan Abu Salmaan
22:08
imam shafici media قناة الإمام الشافعي
Рет қаралды 59 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
1:54:07