Sheikh Izudin Allah akuhifadhi wape ukweli masheikh na viongozi wa Saudia ni laana kubwa wanayofanya
@hassanboru10 ай бұрын
Allahu Akbar ☝️ HasbunAllah wa nemal wakil ☝️ mola awape ma ndugu wetu Palestine amani ya Allah 🤲 JaskAllah kheiran ndugu yangu Bora tufate kwingne Saudi sai his against Islam FREE FREE PALESTINE ☝️ Mimi mungu akinijalia In shaa Allah nitafaa iskafi ya Palestine wanishiki
@swahilitherapytv384610 ай бұрын
Acheni uwongo na mcheni Allah kwa maneno yenu kuhusu SAUDIA ARABIA
@ndarochibingu10 ай бұрын
Wanafnya sna Aya yte ww unawlamba sna
@husseinhassan26310 ай бұрын
hayo maneno yote ni kweli kabisa
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
Huo ni ujahil uliopitiliza ndugu yangu nenda kaatilie kws umakini yanayoendelea saudia kisha urudi ufute comment yako. Uislam sio ubishi😢
@AhmadSalim-dm4uk10 ай бұрын
Shekhe suudia uijuayo ww sio hii ya Leo . ni juz tuyh hapa limefunguliwa Duka lakuuza tembo shekhe msiba mzito
@alvinsafi273310 ай бұрын
King wa Saudia si muislam yule ni zionist ana support Israel bali ya hapo anapiga na kuua nduguze Yemen..Sasa uislam unasemaje kuhusu hilo...Yule kijana pale saudia haamini kabisa kwenye Uislam na pia si Muislam asiwapumbaze na vazi lile..
@Khalidniya38010 ай бұрын
Nakuelewa Sheikh kwa hayo unayoyasema Saudia wamekua na muenendo mbaya ila Mwezi ukionekana ni kufunga tu ALLAH ndie mjuzi mimi leo nimefunga na Allah ndie atakaenilipa kwa swaum sio hao wasaudi
@AbdallaMwagora-sm1rj10 ай бұрын
Kweli ndugu yangu ktk Imani kufunga ni Imani ya mtu lkn mtume ameweka utaratibu na suna juu ya kufunga.mtume amesema atakae funga siku inayo tiliwashaka ni sawa mtu huyo amekufuru yalioteremshwa Kwa Abu kasim ambae ni yy mtume.hadithi hiyo ni murtafaq.ni hadithi imepokelewa na imamu wawili.kisha mtume amesema Tena fanya usilo na shaka nalo ulilo na shaka nalo liache.
@mohamedabdallah221210 ай бұрын
Hao ni maneno %100 on point Sheaikh 😮
@zeitunMohammed10 ай бұрын
Yani unafunga mwezi haujaonekana popote Kisha wataka kulipwa na mungu?alafu ajabu jumamosi alfajiri kila moja aliona mwezi haukupotea alafu jumq pili Tena ikaandama Ajabu ya dunia
@bagalucha10 ай бұрын
Allah anakuona na uchochezi wako na upotoshaji.
@athmanchimerah337910 ай бұрын
Kama waabudu waarabu utapinga
@ndarochibingu10 ай бұрын
@@athmanchimerah3379 Ushasema uyu hawajui mm nko uku
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
Amechochea au anaongea ukweli? Fuatilia yanayoendelea hivi sasa huko saudia ndugu yangu
@salimdzuya548010 ай бұрын
Anaongea ukweli sana tena,ingia KZbin msome mfalme wa saudia anaitwa Mohammed bin salman,alafu urudi tena hapa.SPIKA ZA MISKITINI ZINATAKA KUEKWA ZILE ZA SOUND PROOF ETI ADHAN ZINAKELELE,ALIKATAZA WAISLAMU KUFTURU MISIKITINI RAMADAN HII,WASNII WAKINA SHAKIRA WANAPIGA SHOW KAMA KAWA,BOXING MATCHES ZOTE SIKU IZI ZINAFANYIKA SAUDIA NA WATU WANAVAA NUSU UCHI.
@Aziz-p6s10 ай бұрын
Tembea ujue
@BinSwaleh9 ай бұрын
فقال مخاطباً مكة: (واللَّه إنَّك لخيرُ أرض اللَّه، وأحبُّ أرض اللَّه إلى اللَّه، ولولا أنِّي أُخرجت منك ما خرجتُ)
@lalijimmylalijimmy185710 ай бұрын
Wewe peke yako Sheikh Ezudeen unaozumgumza uwazi na ukweli...Allah atuhifaidhie akupe umri wa baraka..Shukran
@BinSwaleh9 ай бұрын
عن زيد بن ثابت رضي الله عنهما قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: "إنها -أي المدينة- طيبة تنفي الذنوب، كما تنفي النار خبث الفضة".
@shamzone38810 ай бұрын
Sisi wa oman ni karibu sana na suudia kwa ndege na gari lakini hatufuati suudiatwaangalia mwezi kama tulivyo amrishwa na allah
@selemankishema578010 ай бұрын
Huo ni upumbavu wenu wa ushabiki wa madhehebu yaani baina ya inchi zenu mbili mwezi ukiandama kati yenu hamfuati mwingine?
@broumaiyyah801810 ай бұрын
@@selemankishema5780we ndo mpuuz soma dini we acha mihemuko
@johnlobuin421210 ай бұрын
Matusi nayo unatoa wapi?
@sabihaibrahim14310 ай бұрын
@@selemankishema5780upuuzi wako
@sabihaibrahim14310 ай бұрын
@@johnlobuin4212mjingaa kuna la kutukana hapa
@mohamedjackson559310 ай бұрын
Tatizo siasa imeingia kwenye Dini..nchi za kiislamu zina uadui kiasi cha kwamba hawawezi kubal kufuata mwezi wa mwingine
@Fatuma-t9m9 ай бұрын
Sheikh pia zungumzia mazuri ya Saudia. Masha'Allah
@alihirbo387510 ай бұрын
Poleni kwa siyasa duni wacheni siyasa na dini ya Allah
@bakaribakari644410 ай бұрын
Sasa kati ya huyu na saudia wakina nani wamechanganya siasa na dini?
@Aziz-p6s10 ай бұрын
Fuatilia ujue
@hassanovajunior69729 ай бұрын
Asa ukweli pia hutaki khaa😅😅
@LuqmanAndrew-nu9rx10 ай бұрын
Mashallah Allah akupe umry mrefu wenye manufaa Sheikh wetu, na atujaalie sote mwisho mwema Inshallah ❤❤🙏
@ibrahimmusa951810 ай бұрын
Sheikh huu ni mpotovu kabisa
@MadiAweso10 ай бұрын
MashaAllah kama Sheikh Yussuf Ali swabu masjid nurein❤❤
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
@@ibrahimmusa9518 sheikh kaongea kwa hoja imekuuma unaanza kumkosea heshima we kama unaona kakosea weka point yako usiongee pumba kwenye comment za watu kwa nukuu zako sheikh kannena😂
@shabanramadhan763210 ай бұрын
Bora sheikh uwazindue Hawa wanaowafuata suudia
@AmirMbuyu10 ай бұрын
Wafuata mwezi unaoandama popote si lazima Suudia tu
jielewe Mwezi Unafuatwa popote Utaandama Sio Suudia tu
@halimaali115710 ай бұрын
Allah ikrimuka ya Ustadh
@rama_kajenza.10 ай бұрын
Messenger of Allah, (ﷺ), said, "The worst person is someone who is two-faced. He is the person who comes to one group of people with one face and another group of people with another face."
@SwalehAli-c7m10 ай бұрын
Mungu akubariki inshallah ukweli mtupa
@lukmanabdi201510 ай бұрын
Hata kenya kuna mashoga na watu hutembea uchi kila leo mpk unaona tabu kutoka ukiwa una swaum sasa kemeeni ya hapa kwetu kwanza hata nyinyi mashekh munaendeshwa na makafiri tu...
@athmanchimerah337910 ай бұрын
Utukufu wa Saudi n sawa n Kenya? Kitovu Cha Muhammad s.a.w kipo Saudi n mahali pakufananisha n Kenya?
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
@@athmanchimerah3379 yan huyu jamaa na wenzake woote point zao ni pumba hizi hizi na wala hutawaweza hawa😅
@Aziz-p6s10 ай бұрын
Sio wote
@Fatuma-t9m9 ай бұрын
Masha'Allah
@adilmansur417710 ай бұрын
Mtaichukia sana saudia... Kinachowauma zaidi nyinyi watu wa bida'ah ni kuwa hamuezi ata siku moja kufanya upuuzi wenu ndani ya haramain... Ingekuwa huo upuzi mnaoufanya ni ibada kweli basi Allah angewafungulia kuzifanya ndani ya ardhi tukufu.. lakini kwa kuwa ni bida'ah na shirki tupu ndio maana Allah akajaalia kuzihifadhi haramain kupitia ulamaa na viongozi wa sunnah... Alhamdulillah
@khaalidcheo538310 ай бұрын
Nikweri
@abiabi935310 ай бұрын
Kweli sisi hatuwezi kufanya lolote lakini mabwana zenu makafiri wakimarekani hufanya watakalo.Hapo ndo utathibitisha ujahili wa mawahabi
@adilmansur417710 ай бұрын
@@abiabi9353 hao wazungu ndio mnaowaangalia kwenye tv zenu nyumbani usiku na mchana.. mwavaa kama wao mwaongea kama wao mwanyoa kama wao.. mnafanya maulidi kama wao.. mnazusha katika uislamu kama wao walivyozusha katika dini yao... Lakini kwenu ni halali kufanya hivyo.. tujirekebishe mm na wewe kabla ya kuwaangalia watu wengine... Heri hizi pombe waislamu wote walosoma na ambao hawajasoma wajua ni haraam.. ata anaelewa ukimuuliza atakubali ni haraam... Lakini mambo mnayoyafanya nyinyi ni mbaya zaidi kwani mpaka mtu awe na ilmu ndio ajue kuwa ni makosa makubwa.. mnawapoteza wengi ambao hawana ilmu.. Hauezi kumdanganya mtu yeyote kuwa pombe ni dini lakini waeza kuwadanganya wengi kuwa maulidi ni dini
@abdulhalim595010 ай бұрын
Bora makafiri kuliko waabudu makaburi nyny masufi
@abiabi935310 ай бұрын
@@abdulhalim5950 makafiri wapi wakati nyinyi pia ni makafiri.kwa hadith sahihi ya mtume mpenzi yeyote wa mnafiki ibn taymiyah na yeye pia ni mnafiki na kafiri
Kwaiyo kumbe kuna siasa kwny uislam? Pinga hoja za sheikh kwa hoja zako unazoziamini kama wewe ni kidume kweli😅
@Aziz-p6s10 ай бұрын
Ukweli unauma pole
@mustayoo10 ай бұрын
Hayo yao hayatuhusu.Allah atawahukumu kwa yao ila sisi mwezi ukionekana tutafunga
@kazuhan_thobes10 ай бұрын
ukionekana wapi sasa unafunga
@hussehussein108110 ай бұрын
mfano ukionekana kenya tunafunga.
@ReginaWolfram-q3y10 ай бұрын
Pamoja sana mbona tu naenda kuhiji huko
@HemedSerious10 ай бұрын
Wew mwehu kweli ndugu mm nimekuita mwehu km hujui kwann njoo nitakuelewesha
@abubakarbwika839710 ай бұрын
@@ReginaWolfram-q3y sasa wataka watu wakahiji wapi ??!! 😂😂😂
@MaryamAhmed-qt5ey10 ай бұрын
Kikubwa ni kuombeana khairat Anaejua ni Allah peke ake Yaa Rabby tuongeze ktk njia ilionyoooka na uctujaalie tukawa miongoni mwa watakaotufarakanika😢
@amisafaraji579610 ай бұрын
Allahumma aamin 🤲
@bagalucha9 ай бұрын
Tatizo propaganda za maadui wa Uislamu kuichukia Saudia,na kuzidisha mambo,zaidi ya namna ukweli ulivyo,takribani asilimia 90 yanayozushwa kuhusu saudia ni uwongo,uhalisia unapokwenda huko,ni tofauti na ukweli wenyewe,tunawaambia hawa wazabizabina,ambao hutumia dini ndio maslahi yao ya maisha katika huu ulimwengu,kwa kuchafua dini ya Allah Subhana wataala,na wengine wanaochangia kwa kuchochea wasiyoyajua,basi wajuwe,Jalla Jallalu yupo,mwenye kuyajua tusiyoyajua,na kila mmoja atabeba alilolichangia kulipotosha,ushabiki wa kuropokwa na wamelishwa ya uchochezi ya wapotoshaji na maadui wa Allah,alama zao za unafiki,Allah Atazihukumu, tahadhari mengi yanayosemwa hayana ukweli.
@bigmanfish63462 ай бұрын
Vp maryam
@BinSwaleh9 ай бұрын
إن الله تعالى قيّض لها ملائكة يحرسونها، فلا يستطيع الدجال إليها سبيلا؛ بل يلقي إليها بإخوانه من الكفار، والمنافقين، كما أن من لوازم دعاء النبي صلى الله عليه وسلم بالصحة ورفع الوباء ألا ينزل بها الطاعون، كما أخبر بذلك المعصوم صلى الله عليه وسلم. (البر، 1997، ص 158
@Allybinamour10 ай бұрын
mashallah,umeeleweka sheika. kwa hio hata hija ni bora watu tufuate jamaica tusende tena saudia.
@Mummy-ri5fk10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mtihan huu
@Alhajikatundu10 ай бұрын
Sawa
@Alhajikatundu10 ай бұрын
Sawa
@ahz690710 ай бұрын
Hujamwelewa sheikh!😅
@wadantz12310 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AmzakBalooz10 ай бұрын
Sheikh kaongea kweli kabisa
@zuberihamza-pd3cm10 ай бұрын
SUALA LA KUWA NA ELIMU HALIFANANI NA SUALA LA KUWA NA UFAHAMU, ALLAH TUNAMUOMBA ATUHIFADHI TUWE WENYE KUKATAZA MABAYA NA KUAMRISHA MEMA NA SI KUTANGAZA MABAYA YA WATU PASI NA KUANGALIA MEMA YAO.
@broumaiyyah801810 ай бұрын
Naam afadhar umesema sheikh barakallahu fiikiii .Serikari ya saudia n mtihan mzito san
@almarwazyahaythamy490510 ай бұрын
Iyo serikali ya kwenu ndo inamtihan nwrpes au
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
@@almarwazyahaythamy4905 usifananishe Kenya au Tanzania na alipozaliwa mtume muhammad(s.a.w).sehem ambayo kuna chimbuko lake hata serikali ilikua ikifata nyayo zake kwa kipindi hicho😢. Anayoyasema sheikh ni ukwel unaouma ila haupingiki
@SunnaHamisi10 ай бұрын
Sheikh mche Allah ! Kila suidia ilivo mbaya lakn kufadhilisha Jamaica kuliko suudia sio sawa shekh.ebu yarudi maneno yako.
@leilamsafiri832010 ай бұрын
Kwani Jamaica imeumbwa na nani?
@ismyhugo863910 ай бұрын
@@leilamsafiri8320lakini sio nchi ya kislam
@leilamsafiri832010 ай бұрын
@@ismyhugo8639 Uislamu si nchi ni mtu au watu na Imani zao kama sisi hivi.
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
Ndugu yangu saudia imezid kufru yaaan wanayoaanya sasa ni kuudhalilisha uislam,upotoshaji na hata kumdhalilisha mtume wetu(s.a.w) kwaiyo sheikh ameongea ukwel bora ufate unaowajua wahuni kuliko wale wanaojificha ficha ila ni dhshir zaid ya wahuni
@leilamsafiri832010 ай бұрын
@@ismyhugo8639 UISLAMU ni watu si nchi
@muhammadnassibu770610 ай бұрын
Hayo maneno unayozungumza sheikh izudin ujue utaulizwa mbele ya Allah nakukumbusha tuh
@hemedjackson226110 ай бұрын
Ataulizw wkt anazungumz ukweli, saudia Arabia kil kit wanaamua wanasiasa sio viongoz w dini, n hiy clip y hiy sheikh ipo ifuatilia mm niliiona kavaa scaf sheikh kawekwa ndan yaani ni narufuku kuzungumz masuala y Palestinia sharia kali utachukuliwa, itafute clip y sheikh mkuu wa makkah Sheikh Sudais anavoongea juu y Palestina nd utajua, saudia Arabia ni hovyo saiv sio kwamb hmn viongoz w dini ila wamebanw mnoo
@alishally619710 ай бұрын
Cc bos tuko suudya twayaona sio yuwazua
@KhamisOmar-kt4kz10 ай бұрын
Kwan Kuna la uongo Kaseya hapo ww ndio uzinduke
@broumaiyyah801810 ай бұрын
Hamtak kuambiwa ukwl saudia so nchi inayoendeshwa na sheria za kiislam nizakikafir
@mohamedrashid786410 ай бұрын
Kaongea ukweli shekh izuddin ila mawahabi hawapendi kusikia haya
@faimstech10 ай бұрын
Very True
@BinSwaleh9 ай бұрын
فعن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: "إن الإيمان ليأرز إلى المدينة كما تأرز الحية إلى جحرها". وقال صلى الله عليه وسلم: "… والذي نفسي بيده! لا يخرج منها أحد رغبة عنها إلا أخلف الله فيها خيرا منه، ألا إن المدينة كالكير، تخرج الخبث، لا تقوم الساعة حتى تنفي المدينة شرارها، كما ينفي الكير خبث الحديد".
@adilsaleh386710 ай бұрын
Kenya pia kadhi apangiwa cha kusema. Dini si team kushabikia kama mpira. اللهم أرنا الحق حقا وارزقنا اتباعه
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
Kwaiyo kenya na saudia ni sawa?😅😂😂😂
@lukmanabdi201510 ай бұрын
Mashekh ya saiv kila shekh anajua yeye kuliko mwenzake wakati sote waislamu mtume wet mmoja na muongozo wetu quran
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
Weweee nenda katafte ilm acha kuongea pumba mtoto wa kiislam
@bakarhamadhassan448410 ай бұрын
SHEIKH Umesema kweli . Kwa wale ambao wameshakwenda hijja wanavyoteswa kuingia mckitini na maaskar . Chini nafasi zipo wanalazimisha waumini wapande ngazi wakaswali juu na maaskari hao wanaweza kuondosha mswala au kukusukuma ukiwa tayari umesha hirimia swala. Kwakweli uislam wa saudia mtihani tayari wanafungua kumbi za starehe . Kwa 7bu SHEIKH amesema ukweli endelea.kumtukan nakumdharau
@hafidhwajina671810 ай бұрын
Na ukiwa na irizi askari nimeskia wanakutimua,hilo ujaskia?
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
@@hafidhwajina6718kwaito unapitisha hoja iyo kuhalalisha maovu yao? Yale masanamu wanayotaka kuyajenga saivi je? Si kama hiyo hirizi tu
@hafidhwajina671810 ай бұрын
@@ringsnflashestv8067 sisi hatuchukui dini kwa viongozi wa dora ya saudia,wanavyuoni wa soudia si viongozi wa nchi,
@abdullahmasakata17010 ай бұрын
Mimi Niliwambia hao Wasaudia Arabia walisha tekwa na mayahudi na marekani, Alafu hao viongozi Wa nchi hio ni Mawahabi. Alafu huku kwetu ndio waislam wanao ongoza kuradi waislam wengine, Kwanini hawawaradi mawahabi wenzao wa Saudia?
@DawoudMohamed38610 ай бұрын
Naomba Nikuulize Swali ndugu yangu. (1) Saudia imekukosea Nini? (2) wewe Nchi Yako uliyopo Kiongozi ni Muislamu? (3) Saudia ni Nchi kama Nchi nyengine, na Ni Nchi ya Kiislamu, na kupatikana Makosa ndani yake Lazima Kwa Sababu wanaoiendesha ni Wanadamu sio Malaika...Mbona Lawama zote mnazipeleka Saudia?
@abdullahmasakata17010 ай бұрын
@@DawoudMohamed386 Kuhusu swali lako la kwanza Saudi Arabia wamenikosea nini, Kwanza elewa mimi similiki nchi, Pili elewa nchi ya Saudia ili ionekane kunikosea kwanza Umesema mwenyewe ni nchi ya kiislam sasa makosa yanaanzia hapo nchi ya kiislam kutofuata misingi na sheria za kiislam, Saivi viongozi Wa dini wa Saudia hawana mamlaka yoyote zaidi ya kutii sheria na amri za kifalme na sio Quran. Hapo ndipo makosa yao yalipo na kwakitendo hicho hata Allah hapendi na hivyo mimi ninani niungane nao? Siwezi.
@abdullahmasakata17010 ай бұрын
@@DawoudMohamed386 Kuhusu swali lako la pili, Jee nchi Niliyopo kiongozi ni mwislam? Jibu ndio ni mwislam tena anaitwa Samia Suluhu Hassan, Au ulimanisha kiongozi wa dini? Kama ni kiongozi wa dini yupo anaitwa shekh ABBAKAR ZUBERY. Kama hukuwa na maana hii rudia kuuliza swali vizuri.
@abdullahmasakata17010 ай бұрын
@@DawoudMohamed386 Swali lako la tatu unasema kwanini lawama zote tunazipeleka Saudia? Wakati na yenyewe ni nchi Kama nchi zingine na unaongozwa na wanadamu Sio malaika. Majibu ni kwamba ili nchi iwe ya kiislam Shariti kwanza itimize hukumu zote za kiislam na ifuate misingi yote Quran na uislam sahihi kwa ujumla wake.
@thuweinmassoud906210 ай бұрын
@@DawoudMohamed386 Hhh kama imekuuma mfuate dm lakini ukweli umesha semwa
@Aziz-p6s10 ай бұрын
Shekhe upo sawa saudia dini imeyumba sana. Wamebaki na ufalme wao tu
@watchenyoyyourday266910 ай бұрын
Kesho Ramadan
@LatifaMwandu10 ай бұрын
Mashaallah bora ufungue watu masikio.ni sawa na kujipendekeza na mtu asie kuja kufata ya kwako ht iweje
@iddimohamed25410 ай бұрын
Mbona hijja mnaenda acheni ubishoo tunawajua watu wa twarika kwa kupoteza watu..
@Rolemodel_wa_taifa10 ай бұрын
Kama Mwenyezi Mungu angetuwekea Hijja sehemu mbili basi tungeenda sehemu nyingine kuliko kwenda Saudia@@iddimohamed254
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
@@iddimohamed254sasa tuende america ndipo ilipokua alkaaba au?. Pointless wallah
@iddimohamed25410 ай бұрын
@@ringsnflashestv8067 we fuata vile unataka ,,laa ikraa fi ddin....
@ismailmohamed4110 ай бұрын
MZUSHI MSANII CHIZIDINI UMEFEDHEHEKA NA URONGO NA UCHIZI WAKO. ALLAH NDIYE ATAKAE KULIPA KWA UOVU NA UPUMBAVU.
@BalkissMuhammad-c5o10 ай бұрын
Bismillah subhanallah
@prettynayally217710 ай бұрын
Ingekuwa makkah inawez Hamsha tugeihamisha Africa 😊
@azizayassin362310 ай бұрын
😢😢😢😢kwa kwali
@mohammedsiga720210 ай бұрын
Wa makka waliukataa uislamu.. waa Africa ndio tuliukubali mwanzo .. Alhamdulillah ❤️
@ismaelmwinyi92110 ай бұрын
Africa yenyewe inaendeshwa na wazungu,viongozi wa nchi za Africa wanafuata matakwa ya wazungu,nchi hazijitegemei zenyewe,we unafikiri Raisi wa nchi yeyote ya kiafrica akienda kinyume na wao atabaki madarakani?
@WaridiTambi10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mrok28410 ай бұрын
Masha Allah
@kimeajuma326710 ай бұрын
Mimi nimekuelewa Sana, Mmarekani ndio anaongoza Saudia
@imamumohamedmalina699510 ай бұрын
Jazaak LLAHU khairan 🙏
@sultan101-e2s10 ай бұрын
nchi yangu hiyo saudia 😎🤓✌🏻
@DanstanMushobozi10 ай бұрын
Kumbe we msaudia? Ebu tuone pass yako.
@sultan101-e2s10 ай бұрын
ni nchi ya kila muislamu @@DanstanMushobozi
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
😂😂😂😂
@mohamedalawy617210 ай бұрын
Tatizo hapa Kenya , mwezi unakubalika ukionekana sehemu fulani , lakini ukionekana maeneo mengine haukubaliki .
@fatmaahmed863710 ай бұрын
BASI HIVYO WAFUNGE WAO KATIKA MAJUMBA YAO..KUIKOSEA DINI NI KUMKOSEA ALLAH
@hassanovajunior69729 ай бұрын
Naam sheikh wangu yani umeongea facts Saudia imepoteza mwelekeo kabisa hata mm sipo pamoja nao hata robo
@saddamzy10 ай бұрын
Saudia ardhi ya TAWHEED .Ndo uislamu umezaliwa pale.sasa wazungumzaji kama hawa wakuhamasisha ndo suluhisho? Anavomaanisha chemchemi yetu ya dini iwe Jamaica.Subhanallah
@mohammadswaleh690010 ай бұрын
Mufti kwenu lamu Mashkhe wenu wakubwa wanajulikana kwa uchafu Mbona mwayanyamazia?Au kwasababu ni Family zenu munawastiri Kuweni na inswaf na dini. Shida mwasubiri pesa za KZbin za hao hao makafiri SubhanaAllah
@KassimEdrisa-dd7zh6 ай бұрын
Wewe ni shekh hamnazo
@LuluLillies-vv2rl10 ай бұрын
Saudia is the holy place that why we follow as sunnis
@alwyjahdhamy809410 ай бұрын
He its holy but the leaders are making us to question their Islamic movements. Especially on moon sighting
@abdalla00310 ай бұрын
Huyu shekhe anatumia hekma kuhalalisha yasiyofaa,ni km hajui kuna tofauti ya UISLAM na MUISLAM 1)Wanayoyafanya saudia km makosa isiwe sababu ya kukosa kufata Quran na Sunah maana hata ww unafata sheria za Kenya ambazo nyingi ni za kikafiri 2) Mwezi hata ukionekana sehemu zingine huwa hamufati ila lawama linasukumwa kua 'mwezi ni wa saudia' 3) Anasema Saudia ilikua kitambo kwa maana ilikua katika mwelekeo wa sawa Je hiyo zamani mlikua mnafata wakiwaambia kuhusu mwandamo wa mwezi??? Ni bora uendelee na mawaidha yako ya zinaa hiyo sekta ndio uko active sana huku kwengine mmmh ata siamini na iyo elimu unaeza bwabwaja hivo...
@Nuruyasunnah.official_tv10 ай бұрын
piga kelele lakin saudia itabaki kua dola ya kiislam na dola ya tawhiid...
@hassanboru10 ай бұрын
Dola ya kiislamu na Kila kitu Iko against Islam awasaidie ndugu wetu Palestine tuwe na Taqwa zamani lakini sio sai
@Nuruyasunnah.official_tv10 ай бұрын
@@hassanboru iko against na kipi? we hufikirii kama saudia ikianza kuingia vitani nini kitawatokea? au unadhan kukurupuk ndo soln? acheni kuituhumu saudia na ni makosa kusema saidia na jamaica bora Jamaica!! huko ni kukosa kujua thaman ya uislam lkn nendeni huko jamaica mkale mirungi
@batwalasiraji172910 ай бұрын
Shekh pole sana rudi shuleni labda kuna kitu ulisahau kusoma
@shabanramadhan763210 ай бұрын
Kuna umuhimu wa kuikomboa Tena makka
@joycelinelyimo-fenske874510 ай бұрын
Huyu kapikwa na Wazungu. Saudi Arabia amemfungia mafuta Mmarekani. Sasa Mmarekani aliyekuwa rafiki yake hapo zamani za kale ndio anamfunua Uchida na kumsingizia ili Waislamu wote Duniani wawachukie haswa kwa mfalme na mabinfalme. Huyu ni kibaraka pia...! Ushindwe katika jina la YESU.
@DanstanMushobozi10 ай бұрын
Pambana kujikomboa kama mwafrika, wasaudia sio nduguzenu Wala hawakukubali hata kidogo.
@husseinally669910 ай бұрын
Kweli kabisa saudi asaiv imeharibika sanaaa tena sana ikiwemo na zanzibar yetu , ila hapo kwenye kufunga mimi nafunga mwezi ukithibiti kuandama popote hata ukiandama mabwe pande
@musasaid791710 ай бұрын
Karibuni sasa utaskia wanafuata Saudia ni dhambi kufuturi mskitini, kuwaombea wapalestina kwenye qunuti na pia kuswali kwa speaker. Hayo hayako mbali.
@mamuomar574910 ай бұрын
Sai hata hairusiwi kutowa sadaka msikitini ukishikwa watowa sadaka msikitini watiwa ndani SubhanAllah
@TurushiAbdillah10 ай бұрын
Ww shekh muogope mung ww sisi sote tuna muomba mungu tuu acha kuwakejer waisilaam wezako
@omarsakawa207010 ай бұрын
Kwani lipi limekukera?
@gamarmahsan825410 ай бұрын
Allahu Akbaar jambo la kuskitisha
@jumaazuberi931710 ай бұрын
MIMI NASUBIRI SIKU MOJA MTUAMBIE WAKENYA AU WA AFRIKA MASHARIKI MNAKWENDA HIJA KWA KUTUMIA MIANDAMO YA HUKU AFRIKA MASHARIKI. MANA NYINYI MNAENDA HIJA MKIFIKA HIJA MNAHIJI KWA MWEZI WA HIYO SUUDIA.SASA LABDA MTUAMBIE HIJA ZENU HAZISWIHI.
@alimehboobabbas642010 ай бұрын
Ndugu katika Islam, elewa maneno vizuri. Ukienda Saudia utafuata mwezi wa huko, kwanini? Mas'ala ni mtu hufuata mwezi wa nchi aliyoko! Unaanza kufunga ukiona mwezi / ukipata habari ya mwezi huko ulioko, Si kila mtu afuate mwezi wa saudia! Huwezi kuwa Kenya au nchi yeyote ya mbali unafuata mwezi wa Saudia!
@jumaazuberi931710 ай бұрын
@@alimehboobabbas6420 Kwahiyo ukitoka Tanzania au kenya kama ni tarehe tano na wale wakule saudia wako tarehe sita mtakula sikukuu sawa au wewe utakua uko nyuma siku moja.sasa ndiyo nikapigia mfano hapo hapo dhul hija ikiingia inahesabika kwa muandamo wa kule hawa wahuku wanaenda kule ikiwa tayari mwezi ushaandama sasa wanahiji vipi pamoja na wale na wakati wao wako nyuma siku moja. Kuhusu umbali hauna mashiko kama wa tz wanafuata mwezi wa uganda na kenya basi inatakiwa ukitoka pengine pia wafuate mana hayo pia nimataifa.
@zuberinalumanga59839 ай бұрын
Hoja Yako dhaifu sana ukienda hija tayari unakuwa uko Saudi Arabia hivyo muandamo wa pale unakuhusu Moja kwa moja tayri uko ndani ya Saudi Arabia
@jumaazuberi93179 ай бұрын
@@zuberinalumanga5983 inanguvu sababu siongei jambo ambalo sijalishuhudia naishatokea mimi binafsi kuwapokea mahaji wa tz nikiwa makkah na pia kumbuka kuna hija watanzania walikosa ndege mpaka mfunguo tatu ushaandama wakaja kuletewa ndege ya saudia wakachukuliwa. Sasa hilo la kua eneo nalijua lakini hilo pia nilishalishuhudia binafs. Haya hilo ukiliacha muft asema anafungua au kufunga na mwezi wa uganda au kenya au znz hilo kalipata wapi na wakati uganda ni nchi nyingine na kenye ninch nyingine hilo limethibiti kwenye kitabu gani
@abdinoormohameddido495010 ай бұрын
Si sawa sheikh unavyosema ila ni kupotosha,,,bado hajj na umrah utaenda huko saudia
@abdab846610 ай бұрын
Hajasema makosa saudia kulikua na Halloween,hata Kenya nchi ya kikristo pia hatujasherehekea halloween
@abdab846610 ай бұрын
Mambo yanayofanyika saudia hayapendezi kama kiigizo chema kwa waislamu
@ShirazOmmy-nx2kk9 ай бұрын
We kasome Kwanzaa
@bagalucha10 ай бұрын
Tatizo wengi ya hawa washihiri/wayemen wanaochikia saudia,ujuaji na ushindani Ndo khalaka zao,ndio maana ujuaji wao haweshi kupigana vita wenyewe kwa wenyewe,nchi wameitia ufukara kwa ujuaji wao,mashia/houthi nia wao,masufiya waabudu mawalii Ndo wao,almradi hawa watu mtihani mtupu wa ujuaji,wasiokuwa nao,ama kwa kusema huwawezi na utoaji makosa,Allah keshaijalia Kaaba ipo Makka Saudia,sasa mnataka hilo Kaaba liondoshwe liende wapi,kazi asubuhi na jioni kupotosha tu,elimu hamna,ama ujuaji mnao
@iddimasero656710 ай бұрын
Tufuate maneno mwenyezi mungu na mtume
@gasperjohnson338810 ай бұрын
Mungu haongei kilaza wewe😂
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
@@gasperjohnson3388kwa fikra na imani yako lakini kwa imani yetu maneno yake ni Qur-an😊
@ChiringaLwambi-mi7bz10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ndio anae jua ushindi wa wapalestine wakati dakika na sekunde Insha Allah
@najimnagy602010 ай бұрын
Safi sana ustadh.
@fatmaahmed863710 ай бұрын
Mwezi utafatwa katika nchi Zenu.Saudia huko ni Kuhiji tu..FUNGENI NA FUNGUENI KUONA MWEZI
@MakameMufadhil-n8d10 ай бұрын
Subhanallah
@HassanNyembo-b5w10 ай бұрын
Anachozungumza Sheikh Ni sahihi...na kiukweli Saudia imeharibiwa Sanaa na Utawala wa kifalme ...Lakin hoja ya Mwezi sio kweli hua unaandama Saudia tu...Nchi nyingi tu huonekana
@BinSwaleh9 ай бұрын
فعن ابن عمر رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: "من استطاع أن يموت بالمدينة؛ فليمت بها، فإني أشفع لمن يموت بها"، وكان عمر بن الخطاب رضي الله عنه يدعو بهذا الدعاء: "اللهم ارزقني شهادة في سبيلك، واجعل موتي في بلد رسولك صلى الله عليه وسلم".
@mastermacheni93210 ай бұрын
Kumbe wajuwa hatufati soudia tunafunga mwezi ukionekana duniani kote
@husseinazizi127510 ай бұрын
قال ابن تيمية رحمه الله تعالى. أهل البدع لجهلهم قدموا العقل على النقل. فضلوا وأضلوا. فظنوا أن الشرع إنما ثبت بالعقل. فكيف يعارض الفرع أصله الذي ثبت به
@husseinazizi127510 ай бұрын
قال الحافظ ابن رجب رحمه الله تعالى. الناس في زمن الفتن يتبعون أهواهم ولا يرجعون إلى دين. فيكون حالهم ثبيها بحال الجاهلية
@thuweinmassoud906210 ай бұрын
Hhh hio radi yako haihusiani na alicho kiongea huna elimu kama alio kuwa nayo izzudin
@AbdallahKifundo-t5e10 ай бұрын
Yan bora ya bangi kuliko tende ! Mema mangapi hawo wasaudi wanayokufanyieni ktk hijja na umra ,wana wachuoni wangapi , leo watamka hayo bora jamaica kuliko kufuata saudia,wajamaica wenyew wakikusikia watakukataa kwa hayo maneno ya kifedhuli ,maneno hayana udhu hayo fanya taraajui sheh shukukuruni kwa wale machache ambayo hao saudia wanakufanyieni nyinyi waislaam, nchi ni yao je wakisema hatutaki muje kwetu ntaenda kuhiji irani au turkiye ? fanyeni uadilifu chuki zisiwafikishe hapo jamani, hayo jamaica wengi ni makafiri na bangi na hao saudia ni waislam hata kama kuna madhaifu na maaswi bado wao ni bora kuliko hao jamaica.
@ppandenassoro666610 ай бұрын
Ukowapi uwiano wa Saudia na Jamaica .Allah akuongoze ni hasadi ya watu waovu kuwasemea masheikh wa Saudia wakati wenyewe wapo .Ulamaa wanafanya duruusu na wanatoa Fatawa mbalimbali
@IsmailJumaAli-wi1xh9 ай бұрын
Assalam alaykum. Naomba namba ya Sheikh Izudin
@mwanakombokalamu700910 ай бұрын
Ni kweli kabsaa sheikh hata sai marufuku kula iftar misikitini huu mwezi wa Ramadhan
@mwawekomiuda977910 ай бұрын
Yaanni saudia ina kiongozi anaipeleka atakavyo. Masheikh hawana la kusema. Mtihani. Ni kweli ni bora kufuata jamaika hawana lao jambo.
@DawoudMohamed38610 ай бұрын
Ukosefu Wa Elimu ni Maafa Kweli...Kwani Jamani Dini ya Kiislamu Imekulazimisha Ufuate saudia? Na mbona lawama kila Kukicha saudia...imewakosea nini nchi ya watu...cha ajabu wanaoizungumzia saudia ni watu ambao hata hawaishi huko, sio kwao
@rayisadesigns264610 ай бұрын
Huyu sheikh kila wakati anaenda Saudi Arabia, kwa hiyo anaijua vizuri. Utawala wa Saudi Arabia umepindua utawala halali ulifata sheria za kiislam na kuibadilisha jina nchi hiyo kutoka jina la Hijaz na kuiita kwa jina la ukoo uliopindua, sasa ushenzi wote unafanyika Saudi Arabia kana kwamba ardhi tukufu pale.
@adilmansur417710 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 kama haifuati sheria ya kiislamu hebu nenda tu uonekane umebeba chupa ya pombe ndio utajua haujui... Ww mwenyewe ndani ya nyumba yako unaifuata sheria ya uislamu? Usimnyoshee kidole mwenzako kwa kuwa nguo yake imepasuka ilhali ww uko uchi tumia mkono wako kujistiri ww mwanzo
@DawoudMohamed38610 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 Hata Mimi nishaenda Sana Saudia ndugu yangu...Naomba kukuuliza, huo utawala Wa Saudia yeye unamhusu Nini na Hata Yeye ni mbajuni??? Na Mbona Asifuate Kenya yake amelazimishwa Afuate Saudia?? Dini haijamfunga Mtu Eti ni Lazima Ufuate Saudia...Kitu kinachofuatwa Cha Kule ni ARAFAH Kwa Sababu kisimamo Cha Arafah Kipo Kule...
@DawoudMohamed38610 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 Kwaiyo Ndugu Yangu, Utawala Si Dini, na Kiongozi Wao sio Mwanachuoni, ni Mtu Wa Kawaida...Sasa Kama Utawala Umebadilishwa Ndio Wataka Kufanyaje?? Kuenda kuuweka sawa Au?
@ReginaWolfram-q3y10 ай бұрын
Kuhiji mbona tunaenda.
@S.SWarfa10 ай бұрын
Sheikh mche Mola wako. Saudi huangalia mwezi na kufunga kwa kuona mwezi. Tatizo lenu hamjui jiografia. Watafute wataalam wa jiografia wakuelimishe. Hakuna nchi duniani inapisha masaa 25 hivyo siku hazipishani. Hatuwezi kuona mwezi siku tofauti. Bali tutapishana masaa tu
@yunus-or3ny10 ай бұрын
Swali langu kwasheekh Arafa huifata yawapi
@UstaadhIssaAJuma10 ай бұрын
Muwe munaelewa arafa hua ni tarehe 9 kutokana na muandamo wako sio kufuata saudia watu someni jamani
@abdalla00310 ай бұрын
@@UstaadhIssaAJumaacha kujizima data tarehe 9 Huwa mnakataa kuwa Saudia haiko sawa ila mkipata nafasi mnaenda siku hiyo hiyo km hao mnaowapinga
Shekhe naomba niulize suali kukopa Salio kwenye cm
@nassirzamzam931210 ай бұрын
Sehemu kama kuna tawheed hakuna mtu ataiharibu dini ya mwenyezimgu mohd bin seleman ata akafanya mbinu gani kuiharibu dini ya mwenyezimgu dini itakua palepale lakini ikiwa bidaa dini itaenda maji.
@zanzibar-hf7vh10 ай бұрын
takbiir
@ubamwamkoba305410 ай бұрын
Allahu Akbar
@irtshisekedikhamis564810 ай бұрын
Allahu Akbarullahu Akbar
@hamadiomari683910 ай бұрын
Allah Akbar
@studentofknowledge209910 ай бұрын
May Allah guide you stop mixing issues
@khadijaabdalla865210 ай бұрын
❤❤
@johnkilimo952010 ай бұрын
Waabuduo halisi wataabudu katika roho na kweli
@makendemakende10 ай бұрын
Safari hii HAJJ na UMRAH tutaangalia JAMAICA 🇯🇲 , tusisahau kupitia mskiti wa bob Marley
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
Kwa hilo jina lako hata comment section haikuhusu . Hivi kumbe wewe ukienda hijja unstakiwa uifate saudia na sio alkaaba kwa sharia za Allah? 😅
@sheikhhassanahmad846510 ай бұрын
Hiyo Zamani simulikua mukiupinga huo uislamu Saudia,sasa mwatambia afadhali Zamani ilikua ikiendeshwa kislamu
@shmohd1110 ай бұрын
Sheikh na Nchi ya Misri, Tunisia, Algeria, Palestina, na kwingineko je? Ukiandama tusifuate?
@MegaSneaker110 ай бұрын
Swali litarudi, je saudia itafwata?
@abdulykahera427310 ай бұрын
Hawa masufi kazi yao kubwa nikuiponda saudia sisi wengine tushajua nijuhudi zamashia kuidondosha suna
@ilyashamidi381110 ай бұрын
Kale biriani ya bure 😢😢hujaongea chochote
@simakhsimai357910 ай бұрын
😢 allahu akbar
@SalumMzee-mu7zt10 ай бұрын
Dalili za kiama hizi allah atajaliye khatima njema dalili zote zomeshafika Mtume muhammadi s a watazuka wazuoni waongo miongo mwao jeshi la masih dajaal sasa wamefika hao waliotawala dunia kupotoza dunia
@KassimEdrisa-dd7zh6 ай бұрын
Hatuwezi kuiacha haki na kuwafuata Masufi wa dini mseto
@IbrahimAlijuma10 ай бұрын
We shehe mnafiki
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th10 ай бұрын
Haraamu kumuita muislamu mwenzio mnafiki c vizuri
@ringsnflashestv806710 ай бұрын
Tena Sio muislam wa kawaida tu yaan ameita mnaafik aalim sheikh mkubwa tu east Africa 😢 dah @@MOHAMEDYUSUPH-oq1th