laiti masheikh wote wnagekuwa kama wewe tungekuwa mbali sana Wallah. Allah Akupe umri mrefu uzidi kutunufaisha
@amisiiddy69592 жыл бұрын
Aliekuita dokta hajakesea kamwe, qasm mafuta na wenzake salafi jadida wanaleta taassubi ktk dini, Alla akuhifadhi ya dktooor.
@inspirationalclips14228 ай бұрын
Nmekuja usiku wa leo kupata jawabu , nimemaliza kula daku muda si mrefu na kutia nia, Alhamdulillah
@khamiskhamis20908 ай бұрын
Maashallah shekh umenena jambo Allah akubarik umeonesha njia ya kuondosha mtafaruk
@hamadatahir93073 жыл бұрын
Ahmed Aweis alishatuambia sisi tusiofahamu tena kwa maandiko vizuuuri. Kauli italeta Waislamu pamoja ni ile ya kuutazama Mwezi huu Mbinguni na sio kauli ya Kalenda. Hapo ndipo sawa kabisa na hakuna jengine in shaa Allah.
@MuhammadiMbwana8 ай бұрын
maashaallaah shekh unafraid kuwa mufti
@jasminmohamed61453 жыл бұрын
Masha Allah Subhanallah AllahuAkbar Lailaha Ilallahu Wahdahu Lasharikalah Lahulmulku Wala Hulhamdu Wahuwa Alakulisheiin Qadir wa Anna Mohammadan Rasulullahi Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi. Shukran Jazakallahu kheir
@jumawaziri85013 жыл бұрын
MASHALLAH wallahi huy sheikh ana hikima saana sana wallahi
@fatmasuleiman27103 жыл бұрын
JazakaaAllah kheiraan ,Allah akuhifadh.
@shamsuddin45822 жыл бұрын
Jazakallah sheikh ila hapa naomba kuuliza na ikiwa utaliona swali hili naomba unijibu nipate kuelewa zaidi...vipi ule mwezi wa dunia nzima bima'ana ikiwa wote duniani tukafunga siku moja je, hiyoo sio jama'a bima'ana huo si umoja pia aau vipi naomba maelezo biidhnillah sheikh
@ABUUALLY-tv8rl7 ай бұрын
Unajua lazima watu waelewe kwamba kufunga siku Moja Dunia nzima hilo jambo haliwezekani Kwa sababu Kila nchi inamtazamo wake na kunabaadhi ya nchi wao hufuata hesabu za kalendaa wao hawaangalii mwezi Bali hufuata kalenda Kwa namna hii waislamu hawaweze kufunga pamojaa kilichobakia Kila mmoja aheshimu Rai ya mwenzake tu bilaa ya kukejeliana
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!!! Nimefurahi kwa maamuzi yako Sheikh wetu kipenzi. Upole katika kuamua na kujua unacho zungumza. Allah Akulipe Jannah firdaus ya Rabb.
@nassirmohd2851 Жыл бұрын
Umejitahid lkn bado hujaongea kifiqhi Shek Allah akubarik
@saababdulrahman85762 жыл бұрын
This is pure intellectual. Allah akuhifadhi
@khalidaliyan20923 жыл бұрын
Masha Allaah Tabaraka Allah. Good Conclusion. Kaul ya Pili ambayo pia ni SAHIH ni ya Majority hapa east Africa. Sababu only Uganda inafuata Matangazo ya Saudia. Zanzibar Dareslamaam Na Kenya wengi Miskiti Mingi yanafuata Matla3 ya east Africa kwa pamoja. Utakuta pia Oman siku zote iko sawa Na Muandamo wa hapa kwetu. Shukran
@suleimanalawy85123 жыл бұрын
Mbona Tz mwaka jana hawakufuata kenya wakat chief kadhi wa kenya alitangaza kuandama mwez wa ramadhan?pia mwaka huu Oman wametangaza kuandama mwez lkn tz na kenya walitangaza wanakamilisha 30?tuache siasa a.mashariki bado tunayumba
@arqamibnarqam.71852 жыл бұрын
@@suleimanalawy8512 Akhil kariimu wewe ni muongo Mimi Niko Oman mufti wetu hakutangaza kuonekana kwa mwezi.
@salmabintuthman32433 жыл бұрын
Shukran. Wala sisubutu kufungua mdomo wangu kama vile wafanyavyo wenye Elimu chache na ushindani tu. Gud evening parents
@saadaabdallah74733 жыл бұрын
Shukran sheikh mashallah
@yaziduhamisi40963 жыл бұрын
Maashaallah yani hapa ndo nimekuelewa kufafanua misimamo yote miwili sio Kama baadhi ya vijishekh vikisimama vinasimamia upande wake ndo kauli yenye nguvu upande mwingine zaifu sekta hiyo umesoma kweli mpaka umejua Kuna ikhitilafu jitahidi usome ujue na maulid ina ikhitilafu na jitihada za wanachuoni wenye kutegemewa barakallah fika
@shaabansheehabdallah87703 жыл бұрын
SubhannAllah Yaani huyu sheikh unataka asome ili ajue maulid ina hitilafu, hivi unamjua vizuri lkn? Haya msomeshe sasa kama una dalili juu ya hitilafu ya maulid?
@yaziduhamisi40963 жыл бұрын
@@shaabansheehabdallah8770 sijakwambia wew unadakia muislam mzuri niyule ambae anakaa kimya mambo amboyo hayamhusu
@shaabansheehabdallah87703 жыл бұрын
@@yaziduhamisi4096 Ni public comment ndio maana nikajihusu, lkn ungemfata yeye moja kwa moja wala nisingejua hayo. Ila kimtazamo wangu huyo sheikh humjui vizuri wewe
@yaziduhamisi40963 жыл бұрын
@@shaabansheehabdallah8770 kwafikra yako ndogo unadhani nimekosea wapi
@shaabansheehabdallah87703 жыл бұрын
@@yaziduhamisi4096 Kosa lako nikumwambia sheikh asome huenda ataelewa maulid!!!! Ungefanya uadilifu ukamkosoa kwa dalili iliowazi kama alivyoweka wazi yeye, sio kuegemea mrengo wako tu bila dalili za kisharia, Dini haiendi hivyo
@adijaamur9623 жыл бұрын
Naam kabisa sheikh wangu
@osamahamad57563 жыл бұрын
Haya shekh Asante
@AshrafAKhan-ql1tb3 жыл бұрын
Shukran sheikh. Wengine hutetea itikadi zao kama siasa/ushabiki. Sheikh umesema kauli zipo zaidi ya mbili, kama sijakosea kauli ya tatu ni kufuata Astronomical Calculation.
@hellohalidi76273 жыл бұрын
Hapana ndugu, suala la muandamo mwa mwezi lina jumla ya kauli 8, kauli 2 ndizo zilizoenea katika jamii, ama hiyo uliyotaja ni kauli iliyogombeshwa na wanazuoni, dalili zilizopokelewa kuhusu kuonekana kwa mwezi zahitajia mwezi uonekane kwa njia za asili ~ macho ya kawaida "uono wa kawaida" na si kwa kutumia vifaa saidizi: ASTRONOMICAL CALCULATIONS, TELESCOPES, SATELLITE na vifaa vinginevyo, NB: LA TATAKALAM BI DEEN BIGHAYR ILM, soma - huu ni uislamu, unapousemea ni sawa na kumsemea ALLAH, hivyo chunga ulimi na maandiko yako, hukupaswa kukisia
@maryamtemba17603 жыл бұрын
Shukran sheikh
@maseledotto84903 жыл бұрын
Swadaktaa sheikh uko sahihi kabisa
@selesseha11 Жыл бұрын
Mashaallah
@hakambashe84213 жыл бұрын
A,alykum hvi tunawezadje kuzipata.Darsa zote za tafseer ya Quran
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Yani umeongea mda muafaka barraka lllah
@binndevu55882 жыл бұрын
Haya Ni Mambo Yasiowezekana kwasababu Wengi wetu teyari Tumebebeshwa Misimamo Ndani ya Mioyo yetu.
@topn6852 Жыл бұрын
hakuna jambo lisilowezekana, sema lina ugumu ndani yake
@khalfanikimanta66632 жыл бұрын
Sijui tumekuelewa vizuri hapa yaah sheikh?
@sssp12303 жыл бұрын
Allaah Akupe Jannatul Firdaws!
@yahyahamad95283 жыл бұрын
Asante sana shekh wetu
@Mohamed-vv8fc Жыл бұрын
Ungetupa tu hadithi ya Ibn Abbas msomi mkubwa kama alivyo ombewa dua na Mtume صل الله عليه وسلم هكذا علمنا رسول الله! صلى الله عليه وسلم
@hamadatahir93073 жыл бұрын
Sheikhe sema kweli usisite site. Kauli sahihi ni kua kila Mji una mwandamo wake maana hata Jua linachomoza kwa masaa tofauti. Jua linachomoza Asubuhi lakini Mwezi unachomoza Usiku.
@Yu-jr9uf2 жыл бұрын
Maswala ya khilafu baina ya wanazuoni wakubwa tusokua na elimu ya kutosha hatupaswi kuingiza ushabiki na wala hatupaswi kutengana katika hilo bali tuendelee kushikamana kwa pamoja huku tukiwa tumekubaliana na khilafu hizo!! Khilafu zisitufanye tukawagawanyika ndg zangu waislam tutapata madhambi makubwa makubwa!!!
@Zuwenamachela Жыл бұрын
Nlidhani ni Dr kielim kumbe uchwara Bado wasumbuliwa na masiala madogo San hvo mie sikuit Tena Dr watetea msimamo
@Ismailomar-o1x8 ай бұрын
Kwani wewe ndio unapeana huo uduktuur
@Ismailomar-o1x8 ай бұрын
Kua na heshima kwa masheikh
@hamadatahir93073 жыл бұрын
Ooooooo...leo munakubali!!? Hongereni zenu
@shaabansheehabdallah87703 жыл бұрын
Hivi unamuelewa sheikh au umebebwa na hisia za mrengo wako?
@abdulmalickupete90153 жыл бұрын
Hongera sana
@abasijuma6989 Жыл бұрын
Kauli yenye nguvu ni ya kwanza na ndo yenye dalili kupitia aya na hadithi hiyo ndo nayofaa kufuatwa ukifuata kauli ya pili ambayo ni ikhtilaful matwaalii (itakua unafuata ikhtilafu za wanazuoni mahala palipo na aya na hadithi itakua kama isthzai hivi (hivi kwa mwenyezi mungu na aya zake ninyi mnafanya istihzai
@allymahaba3425 Жыл бұрын
Wanazuoni sio mitume. Tunatakiwa tufuate Mtume (SAW) sio ikhtilaf za wanazuoni. Wakati wa Mtume watu walifunga maeneo tofauti siku tofauti. Hata wakati wa masahaba pia. Waislam hatuwezi kuwa na umoja kwa kutumia mwezi mwandamo mmoja ambao haupo. Mbona kwenye swala tano hatuswali wakati mmoja dunia nzima Kwa kutumia jua ili tuwe na umoja? Au hatuwezi kuwa wamoja Kwa kutumia jua ila mwezi mwandamo wa Ramadhani tu? Masheikh mwogopeni Allah. Mtaulizwa Siku ya Kiama. Huo ni msimamo wako, na ndio msimamo wa Mawahhabi wote. Lakini je, nani ana mamlaka ya kuwatangazia dunia nzima wafunge siku moja wakati mnajua wazi taarifa za kufuata mwezi mmoja haziwezi kumfikia kila mtu dunia nzima? Ni nani kadhi mwenye mamlaka ya kutoa hiyo amri kwa Waislam wote duniani? Wewe Shekh unajua tumeambiwa tumtii Allah, Mtume na wenye mamlaka juu yeti. Haya tuambie nani ana mamlaka ya kutuandamishia mwezi ili tufunge au tufungue pamoja Ramadhani? Ogopa kuingiza Kwa ujanja fikra zako vichwani mwa watu. Utajibu siku ya Kiama.
@mustayoo3 жыл бұрын
Twaeza kufunga pamoja ila kuna baadhi yetu wanapenda ubishi
@shaabansheehabdallah87703 жыл бұрын
Tatizo sugu hilo brother na wengine kuchezewa na siasa za inchi flani
@khadiakhamis39563 жыл бұрын
Assalamu alaikum warahmatullah ...Sheikh analinganiya umoja nyinyi mpo upande upi??..au hamja sikiliza alichokisema sheikh vizuri hakuna kauli ambayo si sahihi kwa mujibu wa wanazuoni ila kinacho tafutwa ni kuwa wamoja kwa sababu sijambo lakusematu likachukuliwa ni watu kukaa chini na kulifanyia kazi ikhtilaf ni za mda mrefu ..ushauri wangu kwenu ni chukueni elimu kwa mazingatio
@hamadatahir93073 жыл бұрын
Kauli ni hiyo ya kwanza hapo saaaaaaafi kabisa kabisa
@mudighurayra2 жыл бұрын
Basi kwa mujibu wa maelezo yako kama ni sote tuwe tunafunga pamoja tufate ya mwezi ni mmoja duniani kote apo tutakua sote tunafunga pamoja na tunafungua pamoja
@MuhammadiMbwana8 ай бұрын
masufi wanaumia saaaaaana shkh eliminate unafraid kuwa mufti
@shadyaaboud24052 жыл бұрын
Wewe ndio hujui kabsaa
@Mohamed-vv8fc Жыл бұрын
Usiambie waislamu watumie akili Nyinyi mwagawanya waislamu Mwawacha kweli mwakimbilia mabwana wenu Saudia na hesabu zao za calendar
@Zuwenamachela Жыл бұрын
Maulamaa wote wa hijaaz fatawa zao nikuw kila mji unakuuona kwao ikisha wey wababaisha watu
@yusufulukamata71527 ай бұрын
Huyu shekh ana hekma
@mohagurey22143 жыл бұрын
Na mwenye kusema tufuate Jamaica, America na Israel anafikiria kuleta waislamu pamoja kweli
@hellohalidi76273 жыл бұрын
Jamaica na hizo nchi ulizotaja hamna waislamu?
@maseledotto84903 жыл бұрын
Wapo mbona
@hellohalidi76273 жыл бұрын
@@maseledotto8490 Vema, hoja hapo ni kwamba, anayefuata kauli ya jumhuri "wengi katika wanazuoni" ya kwamba "mwezi unapoandama popote ulimwenguni watu wafunge au wafungue" ni anatamania kuleta umoja wa waislamu ulimwenguni pasina kujali wapi mwezi umeandama, iwe ni JAMAICA, ISRAEL, TANZANIA, MAREKANI, RUSSIA, CHINA, AUSTRALIA au wapi, yaani kauli ya ITTIHAD AL MATALE ipo katika kuufanya umma wa waislamu kuwa mmoja (waislamu wote ulimwenguni watafunga na kufungua pamoja) - "hili ni jawabu la MOHA GUREY", ama hoja ya pili ya IKHTILAF AL MATALE (kila mji na mwezi wake ~ kila mji unakuona kwake mwezi) - hii ni hoja yenye kugawa waislamu kwa kuzingatia mipaka ya miji (kitaifa/jimbo/mkoa/wilaya) - mipaka ambayo ilikuwa ni zao la matokeo ya mkutano wa BERLIN - 1884, yaani mfano: mwezi ukionekana NAMANGA KENYA - watafunga WAKENYA peke yao wakiwemo wakazi wa NAMANGA KENYA na siyo wakazi wa NAMANGA TANZANIA, wakazi wa NAMANGA TANZANIA watafunga mwezi utakapaonekana TANZANIA (mji ni mmoja ila umetenganishwa na mipaka ya kitaifa), hii kwa upeo wangu ni hoja shaz ijapokuwa hoja zote zina dalili, ikhtilaf ipo kwenye ufahamu - uelewa wa dalili husika, hapo ndo palipo na utata
@salmabintuthman32433 жыл бұрын
Yaani nimeskiza kabisa na bado nikabaki sijuwi nifate nani. Duh!🤔
@ibrahimamey39902 жыл бұрын
fata mtazamo unaouhisi unanguvu
@binali38713 жыл бұрын
mijadala imefanyika mingi haikuletawatu pamoja wwe unaona tufate muandamo kwa paletulipo wakati mwezi unaonekana haukubaliwi kwasababu tutafunga na saudia pemba mwezi waliuona haukutangazwa kenya waliuona haukutangazwa na siomaramoja imetokeahivyo hata unguja mtaa wa uvivini uwanja wa kigumi tumbatu zanzibar ulionekana haukutangazwa miaka ya 90 wanafunzi mbeni zanzibar waliuona mwezi ukakataliwa mwezi wa shawal ukaonekana 28 ktka halikamahii ya kuamini mwezi mpaka utofautiane na mataifa fulani ndio utangazwe utanishawishivipi nikuungemkono kufuwata msimamo wa pili nikaacha msimamo wa kwanza Ambao hata wwe usieufuata unasema nisahihi
@binali38713 жыл бұрын
Tunataka umoja wakweli sio umoja wa mudahana
@bigmanfish63463 жыл бұрын
Laiti mashekh wote wangefanya Tabligh ya kutoka makundi makundi kufuata watu nje mawaidha
@rashidabdul-aziz33992 жыл бұрын
Haiwezekani kwanza umoja ustadh Hilo ktk dini na kusali pamoja haiwezekani na sisi tunamfata mtume na maswahaba na tabiina na tabi tabiina na swahaba wa mtume ibni abasi ndio kauli sahihi tu na hakuna kauli nyingine unataka kusema swahaba wa mtume na wanazuoni bora Nani?????? Nahitaji jibu
@muhammadal-bimani81205 ай бұрын
Shekhe hiyo haiwi ya mwexi mmoja. Tumia logic tu itakwambia kuwa kauli ya mwezi ni mmoja haiwezekani kabisa. Shekhe kulikuwa hakuna mzozo wowote mpaka hivi juzi tu Wahabi kuleta mwezi ni mmoja tu. Ya mwezi mmoja duniani kote suo kauli sahihi kabisa
@hamadatahir93073 жыл бұрын
Yaani hawa kila siku umojaaa umojaa na wala wao hawautaki huo umoja na wakiutaka umoja basi ni umoja wa kufuata Saudia,khaaaaaaaa!!!??
@shaabansheehabdallah87703 жыл бұрын
SubhannAllah Jaribu kumuelewa sheikh tafadhali, ameelezea kisomi kisha akaweka wazi jinsi na njia ya kuwa kitu kimoja. Tukiacha ushabiki tutarudi kwenye njia sahihi, hata Saudia isipoona mwezi lkn Tanzania uonekane basi kwa kutaka umoja, waislamu woote wafunge au wafungue kwa pamoja na ndio Dini yetu inavyotaka
@hamadatahir93073 жыл бұрын
NIMEKUFAHAMU vizuuri Sheikh wangu lakini nataka nikuhakikishie,huo umoja unaozungumzwa na hao Mashekhe zetu labda wa kufunga pamoja hauwezekani. Sababu,wewe unamtazamo wa mwandamo wa mwezi wa kimataifa na mimi ninamtazamo wa mwezi wa kitaifa, niambie ivi ni kweli tutawafikiana mimi na wewe? Wakati wewe unanitaka mimi nifate mtazamo wako nami nataka wewe ufate mtazamo wangu! Kuna wahda hapo? Na huyo anayefunga kwa mtazamo wa mwandamo wa kimataifa tuwe wawazi na tusiingize unaafiki hapa,huyo anayefata au anayefunga kwa mtazamo wa mwandamo wa kimataifa hafungi kwa nchi yoyote isiyokua ya Saudi Arabia. Mimi sijawahi kusikia kwamba mara hii watu wanaofunga kwa mtazamo wa kimataifa wamefunga kwa mwandamo wa Yemen au China au India,na tayari nchi kama hizo mwezi mwandamo kuonekanwa mwanzo kuliko Saudia,halafu museme tunataka wahda? Sasa kwanini wasigunge kwa mwandamo wa China? Au India? Au Yemen? Wakati nao ni mwandamo wa Kimataifa? Au neno"Kimataifa" ni kwa Saudia Arabaia tu?
@hamadatahir93073 жыл бұрын
Mimi Sheikh nimemuelewa vizuri,lakini Swali namuuliza Sheikh au wewe nisaidie. Ni mwezi mwandamo wa Kimataifa wa wapi Waislamu wafunge? Ikiwa hadithi tunazozitumia zipo wazi kwa mafhuum tunayoyafahamu sisi ya kwamba mwezi utakapoonekanwa popote Duniani Waislamu wafunge,kwanini miaka mingi mnoo,mwezi hutokea kuonekanwa mwanzo China,India,Yemen na nchi nyenginezo na taarifa kuzipata kupitia vyombo vya Khabari lakini humuoni huyo anayesema kwamba yeye anafunga kwa mwandamo wa kimataifa kunga?? Kama si uongo na unafiki mkubwa? Maana tunavyotafsiriwa hadithi ya Rasuul ni kua 'fungeni kwa kuonekanwa mwezi na funguweni kwa kuonekanwa mwezi'.. no sawa kabisa. Lakini jee ni wapi ? Yaani kwa kuonekanwa wapi? Huambiwa popote Duniani,kwanini hatufungi pale mwezi unapoonekanwa popote Duniani ispokua mpaka uonekanwe Saudi Arabia? Ndio tunafunga au kufunguaaaa?? Waislamu sisi ni wanaafiki mjombaaa. Na mimi nathubutu kusema kua hao wanaofunga kwa mwandamo wa Kisaudia ndio wanaafiki wakubwa!!?. Maana kauli ya Mtume Muhammad(SAW) haikuja kwa fungeni kwa kuonekanwa Saudia na funguweni kwa kuonekanwa Saudia...
@hamadatahir93073 жыл бұрын
Na nataka nikjfahamishe kitu kimoja akhii yangu. Kwanza suala la Waislamu woote kufunga kwa pamoja na kufungua kwa pamoja ni jambo haliwezekani labda uniambie ni Waislamu wa wapi hao. Pili,wapo watu hata kama huo mwezi utaonekanwa hapa Tanzania mwanzo iwe wa kufunga basi hawatofunga au uwe wa kufungua hawatofungua. Kama vile unavyoona kua huo mwezi Komataifa hata ukitangazwa kwenye midia wapo watu hawafungi na wala hawafunguwi sawa kaka?? Unanifahaamuu? Lakini mimi nataka nikuambie tena ukiamini au usiamini ni wewe huyo. Allah aujaalie mwezi mwandamo siku moja uonekanwe hapa kwetu Tanzania kabla ya Saudia Arabia kisha Waislamu au Wanavyuoni au Serikali ipeleke khabari haraka sana Saudia kwamba mwezi umeonekana Tanzania bila ya wao kuuona katika Nchi yao,halafu tuone jee watafunga au watafungua? Kwa mwandamo wa Tanzania? Baadae in shaa Allah.
@shaabansheehabdallah87703 жыл бұрын
@@hamadatahir9307 Usijiekee makataa ya kutowezekana la tukiamua yawezekana tu, muhimu tusikubali makafir kuingilia kati Dini yetu tukufu, tukubali kuacha misimamo tuliozowea na kushikamana na Qur'an na Sunnah Tiba ya matatizo duniani