Mashallah tabaraka Allah kwa elimu hiyo jaza yako iko kwa Allah
@ABDULAZIZ-h8j3e19 күн бұрын
Takbiirrr Allah Akbar❤
@Sofi99-u6o19 күн бұрын
Shukulani nakupenda kwaajir ya Allah na hayo mawaidha hakika napata furaha sana achilia mbaya kujifunza mungu ndy mjuzi wa yoteeee❤❤❤bahadhi ya mashek wakotofauti saaaanaa na mafundisho yamtume wetu na dini yetu pendwa...mola wetu mlezi Atuongoe njia iliyo sahihi..
@SoilhatAbdallah19 күн бұрын
Mungu atuepushiye na mabaya atupe Khatma ndjema Amiin