Sheikh Othman Maalim akitoa somo zito la namna ya kumuomba Allah
Пікірлер: 217
@JumaAbdi-eb4gr9 ай бұрын
Allah hakuifadhi na hakupe umri mlefu
@ShaniAbdala10 ай бұрын
Allah akuhifadhi maalim akupe nuru katk dunia na akhera tukutane chini ya kivuli chake na mtumewetu kipenzi inshaallah…. yarabb zikumbushe nafsi zetu kukuabudu kwa upweke nautukufu ulionao inshaallah
@SaudahSau10 ай бұрын
Amin yarabbi
@stasta864010 ай бұрын
Love your lectures
@rehemamohammed563510 ай бұрын
Amiin
@nasreenmohammed930410 ай бұрын
Allah akulipe kheir sheikh wangu Na cc Allah atuelekeze ktk kuongoka kuelekea kwa Allah
@FatimaJuma-i1q10 ай бұрын
Masha Allah, shukran ustadh
@NeemaMzur29 күн бұрын
Shekhe wetu. Allah akuhifadhi na kuhifadhi elimu unayotupatia. Rabbi takabar🙏
@NeemaMzur29 күн бұрын
Sacnaty sakina lyoka. Ya rabbi takabar mina tafadhali🙏
@aishamohamed-sn2bx10 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah napenda sana darsa zko Othman maalim...Allah atuhifadhi in sha Allah
@bakarimwakabebe9649Ай бұрын
Alhamdulillah mawaidha mazuri Masha Allah Mola akulinde maalim uzidi kutupa elmu ilio bora
@rizikishahari69486 күн бұрын
Dua zote kwa Sheikh wetu, twaitikia Amin Amin Amin!
@NeemaMzur29 күн бұрын
Kwa baraka na rabana inshaallah. Mora atutie na lmani thabiti. Tuwe na imani timilifu tukiwa mbere ya Allah.❤❤
@aminaabood289811 күн бұрын
Shukrain.kwamawaidha.allah akuhifadhi Kwa maradhi akupe sia njema daima akupe umri mrefu.nakupenda kwa ajili ya Allah.akupe mwisho mwema yaraab ❤
@thamratalib681710 ай бұрын
Yarabi tupe mwisho mwema yakubali maombi yetu na toba zetu na ibada zetu sisi tunakutegemea wewe tu yarabby
@MovitaKhmis10 ай бұрын
Amin kwasote
@MbarackYusuph10 ай бұрын
Allahumma aamin
@SaumuAli-pk8xp6 ай бұрын
Amiin
@theknightking53457 күн бұрын
Amiin Yarab
@ashamwanganzi64004 ай бұрын
Ya Allah tujalie mwisho mwema ya Allah na tusamehe dhambi zetu tukubalie dua zetu Ya Allah🤲🤲🤲
@UmmiGanja10 ай бұрын
ALLAH akuifadhi shekhe Othman maalum ALlah akujaalie kila la kheri Insha'allah na akuepushia kila la shari insha'allah Allah akupe Afya na akujaalie umri mrefu wenye baraka ndani yake akujaalie uwe miongoni mwa waja wema wa peponi insha'allah Allah akuzidishie umri na ulimi wenye ladha kwa kila mwenye kukusikiliza YAA RABBI muengezee umri huyu shekhe wetu azidi jutuelimisha yaa Rabbi 😭😭😭🤲🤲
@FatumaFeso27 күн бұрын
Amiin thuma amiin
@LeilahRashid-fg3pt10 ай бұрын
ALLAH AKBAR ❤️ SHKRAN JAZAKA'AALLA KHER ALLAH AKUJAALIE MWISHO MWEMA SHEKH INSHAALLAH
@AishafuzAbdou4 ай бұрын
Mashaallah !! Allah atujaanlie imani ya dini inshaallah
@JamilaYussuf-pc6em4 ай бұрын
Allhamdullh Allaha akupe kila la kheri fiduniaa wali akheraa mashalllh mungu akupe nguvu zaidi
Asante shekhe hothuman tunajua meng kupitia ww mungu atujaalie mwema
@Kondoa80510 ай бұрын
Jàzakallah kheri shekhe wetu tunakupenda
@BintyKeah10 ай бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema inshaa Allah...jazakaallah kher
@asyaali6529 ай бұрын
Kwa REHMA Zake Allah akukutanishe na kipenzi Chake KHAYRA KHALKIHII MUHAMMAD RASUULU LLAH.
@neshamuks746910 ай бұрын
Love from Kenya 🇰🇪
@zeit635910 ай бұрын
Allah atujalie mwisho mwema ameen🤲
@SabahZainab-uk1fm10 ай бұрын
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu, shukran sana sheikh mungu kupe jannatul firdaus na azzidi kupa affya na umri upate kutusomesha. Allahuma ameen.
@fatimahirakoze73119 ай бұрын
Cheikh wetu manshallah unasuti Safi kusoma quoran
@bakarimrabu512710 ай бұрын
Kungekua na uwezekano tungebadilishana vichwa I love you shekh OTHUMAN MALLIM
@FatumaShabani-xk1fv9 ай бұрын
Thank you Shekhar Othman mungu akuzidishie miaka Mingo ya kuishi uje ufundishe wajao😊
@BiubwaBeauty-henna10 ай бұрын
Mashallah tabarakallah shekhe huyu namkumbuka tngu mvulana amepiga suty yake smart anatowa daawa mpaka leo maskin Allahu Akuhifadhi
@FatimaAmisseCaisseCaisse10 ай бұрын
Masha Alhah, mungo akulipe duniani mpaka ahera inshaalhah.
@AsyaOmar-ec1uk10 ай бұрын
Allah akuhifadhi naakujaliye afya njema na umri mrefu wenyewe nyingi kher nabarka uzidi kutuelimisha
@soilihimadiali52909 ай бұрын
Cheikh outman maalim inchallah mgu ahupe maecha maturité yakuzidiche imani hali yaju
@FariidullahDilo10 ай бұрын
Baaraka-Llaahu Fyiiķa Wa Jazaaka Llaahu Khayiran Fiid-Dunya Wal Akhira!
@hadiyajuma397410 ай бұрын
MashaAllah mawaiza mazuri mungu akubariki
@MalikHemed10 ай бұрын
Mashaallaah mungu mkubwa sana AlHamdulilahi
@RUKIAGALGALO-l4e7 ай бұрын
Allah akuhifadhi Akupe maisha marefu Kwa darsa iliyo na elimu .
@NuruAli-b8d7 ай бұрын
Allah akujalie maisha marefu
@NuruAli-b8d7 ай бұрын
Allah akujalie maisha marefu 11:32
@saft948210 ай бұрын
Allah akupe kilama shahada siku ya umauti wako
@AsiaAdinan-fj5yi10 ай бұрын
Allah akulinde na akuhifadh na akujaalie hatma njema
@BoraAlamri23 күн бұрын
Amina kwa sote
@samiaruhwanya173710 ай бұрын
Shukrani shekhe wetu mungu akubari inshallah akuondoshe na dhambi zako
@zenamurekatete27979 ай бұрын
Allah Akbar Allah akupe mwisho mwema
@aliathuman873610 ай бұрын
Allah akupe Afwa na Afya InshaaAll uzdi kutuedhea
@oman1oman17910 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤allaah akulipe kila la kheri
@MwanaJumaali-q8n10 ай бұрын
Shukrani, Allah akujalie kila la kheri
@SomoeAli-dm1qo10 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@ngila_og8 ай бұрын
Allah akupe afya njema inshaallah
@agmail6209 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema Amin
@ArdoAbdi-m3qАй бұрын
Mungu atupeumri mffu amiin
@timamahendo417210 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema yaraby
@HarunaChanongo-f5j6 ай бұрын
Mugu akuifadhi malim azidi kukupa afya jema
@sadawanpy770510 ай бұрын
Mwenyezi akubariki sana kwa kazi hii nzuri.You are humble and to the point mashaallah
@latifamsangi-vm8ov10 ай бұрын
MashaAllah mawaodha mazuri
@AsyaAdam-jl7qn10 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu inshallah
@MwanaidiMbuguni8 ай бұрын
Allah akulipe Kwa datasa lako zuri
@gonew-b5b9 ай бұрын
Shukran Jazaakum Allahu kheir Shekh from Belgium
@kibibiabdalla145110 ай бұрын
MashaAllah..shukran kwa mawaidha yakuelimisha
@hassansayyid766210 ай бұрын
ameen mungu akuhifadhi atupe mwishi mwema in shavallha
@AminaSimkole10 ай бұрын
Shukran Kwa ukumbusho Allah akulipe kheli shekh wetu
@hadyaAlii9 ай бұрын
Allah akujaaliye mwisho mwema ❤
@NiyonkuruAmichou10 ай бұрын
Shukran sheikh kwa ukumbusho wako
@rehemaali268710 ай бұрын
Allah akupe afya njema na akuzudishie elimu ifaayo ili uzidi kutuelimisha.BaarakAllahu fiik, Sheikh Maalim Othman
@HawaZuberi-gc9iv10 ай бұрын
Alhamdulillah Allah akuhifadhi sheikh wetu
@zenathMohammed-md1oy10 ай бұрын
Shekhe asante kwa kutujuza mema inshallah Mungu akuhifahd
@sikujuahassan900310 ай бұрын
Alla akujaalie inshallah
@mmangammanga-dw2qn10 ай бұрын
Allah Allah mashaallah maneno mazuri sana Allah akuweke