Al khaaliq ,Al qaahar,Al jabaar,Al aaaziz Al waahid yeye ni mmoja tuu hana mshirik muwez juu ya kila kitu vengine vyote pasi na yeye mmoja ni viumbe tumuogope xan Muumba na tumuabudu xan ucku na mchan asante sheikh kwa tafsir na kuelimish kuhusu tawheed maan iyo ndio elimu kubwa kuliko zote inatutaarifu kumjuw muumba
@Hashim-p4d25 күн бұрын
Malik muluk ❤
@SuleimanShaban-gf1dy2 ай бұрын
Asante sheikh Allah akuhifadhi na kila balaa la dunia na akhera na ss pia Kwa huruma yake
@ronhersi71778 күн бұрын
Masha Allah mwenyezi mungu akuhifadhi sheikh
@MadinaAli202228 күн бұрын
Nakukuubali Sana shehe wangu upo vizuri unajua Sana kuitafsiri qur ani. Mashaallah . Hatuna chakukulipa Mungu atulipa heri kubwa
@omarihamisi45172 ай бұрын
Mwalim ALLAH akupe maisha marefu kwa rehma zake
@bonimandela8448Ай бұрын
Anja 1:42
@abdallahsudi304722 күн бұрын
Aamiin Yaa rabbi
@KassimMwamtunda2 күн бұрын
Subhanallah, lailallah, alhamdulillah, Barak Allah fik
@babuumaeda7671Ай бұрын
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH ulivokuwa gerezan niliumia sana 😢 na rakaatein kwa ajili yako leo ALIHAMDULILAH umetoka 🎉🎉❤❤❤❤❤
@Ali-ui7qh2 ай бұрын
Jazaka allahu alkher Allah akulinde na kila balaa akupe mazuri Leo na kesho jamia
@AdalaDadeDade7 сағат бұрын
YA MUTAKABBIR 😢
@khamisamour1935Ай бұрын
Mweyezi Mungu akuongoze ktk njia iliyonyooka INSHAALLAH
@SuleimanMohammed-m9m2 ай бұрын
Mashaa Allah, Allah mkubwa na mbora ametakasika na kila jambo.
@alisaleh58632 ай бұрын
ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA WW PAMOJA NA CC
@HamiduMtandika-lc2tp2 ай бұрын
Jazaka Allah khaira
@JamalKishangu-p7wАй бұрын
Nabii Musa a.s Allah alimfadhiri kwa fadhira kubwa.
@samoocoolingsystem934 күн бұрын
Wewe ni mwandishi mzuri mashaa Allah.
@ShengaAhmedMwihija3 күн бұрын
Allah akuhifadhi Insha'Allah
@Khamis-n8p15 күн бұрын
Hakika Nakupenda xana sheikh kwa ajili ya Allah
@yusufyusuf-br5qkАй бұрын
Allah atuhifadhi yarabb...
@aminaabdulghanim8256Ай бұрын
❤ Jazakallahu kheri
@RamlaMohamedy-sr1pe2 ай бұрын
Alla.akupe.siha njema she'khe.wangu
@haidarijuma902329 күн бұрын
Allah akuzidishie shekh muselem
@faidamuhamed3011Ай бұрын
bismillah Mashallah takabbala llah
@MomadSalmoSalmo20 күн бұрын
Asalam alaikum
@MwambaAlly-f2jАй бұрын
Allah akulinde na kila Shari za duniani na akhera
@FarajiSalimu21 күн бұрын
maashaallah allah akupe umri mrefu tuzid kunufaika na elimu yako
@SeiffShabanАй бұрын
Shukran shkh
@SalimHemed-q7e16 күн бұрын
Shekh wetuu maaalim shekh mselem
@khalfanmakoyo6 күн бұрын
ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR
@RashidMgoboАй бұрын
Shehe nakupenda sana, mimi Rashidi mgobo ulipokuwa Gerezani nilikujua kwa kupitia Radio Imani, ila kwa sasa sikusikii tena Shehe kulikoni, nilikuwa nakufaidi sana inapofika saa Nne Usiku, Nakuomba Urudi tena Radio Imani
@MussaMuhandeni23 күн бұрын
Allah atakulipa kwa hayo ulioyafanya ni Makubwa na akulipe ndg yng
@YusuphMwichandeАй бұрын
Allah akupe heri pamoja na sisi
@Hashim-p4d25 күн бұрын
Allahu Malikul haki mubin ❤
@HabibaBb-d3s2 ай бұрын
Subhan llah Allah akuripe kheri shekhe wetu Amiiin thum Amiiin
@SallhaHanifa-i6e5 күн бұрын
💪mh
@BiashaAli-w6o10 күн бұрын
Alhamdulillah
@SalimHemed-q7e16 күн бұрын
Inshalllah
@SalimHemed-q7e16 күн бұрын
Safiii sanaa naweww piaa
@MubaRamadhani-t1vАй бұрын
Marshall
@NasriNasrii-vm2jr16 күн бұрын
Mashaalha
@IBRAHIMUHALIMAHYАй бұрын
Allah akbar
@mapishiyetumazuri23122 ай бұрын
Subahanallah
@AbdallahMaulid-oc7gxАй бұрын
Jallah wa allaa
@SalimHemed-q7e16 күн бұрын
Inshalllah jitahidiii na wewee
@SalimHemed-q7e16 күн бұрын
Sawaaa
@BastaCholaАй бұрын
Mawaiza mazuri
@kuchimillionaire6683Ай бұрын
Mungu wa Israel nfiyo Mungu mkuu na hskuna kama Yeye
@hassanisaidi5422Ай бұрын
Vp na Mungu wako wewe?maana unamtaja wa Israel tu,
@Khamis-n8p15 күн бұрын
ALLAH akuongoze kwenye heri ln Shaa Allah
@ChamalaodancersАй бұрын
❤❤❤
@MussaMuhandeni23 күн бұрын
Dah hizi Aya zipo sura Gani sijui nilikuwa nahitaji kuzijua !!!
@HhhTt-vl9ct13 күн бұрын
Surat araf
@MkallydatchMkally13 күн бұрын
Surat Al-A'raf. Verse 143 Quran.
@AzizaRamdhaniАй бұрын
Allah akuzidishie kheri dunian na akhera
@SalimHemed-q7e16 күн бұрын
Tumuombe duwaaa
@AllyMwazoa25 күн бұрын
Mungu hajulikani kwa dhati yake bali kwa ishara zake.Na kwa vile Alivyoviumba.Musa (as) hakuomba kumuona mungu yeye Mwenyewe binafsi.Bali Aliwaombea kaumu yake walipomuambia hatutokuamini mpaka tumuone Mungu waziwazi.Na ndio maana Walipoanguka wakafa.musa Akazimia baada ya jabali kuchanguka.Alisema unatuadhibu kwa yale waliyoyataka wajinga Miongoni mwetu! Nimetubu kwako nami ndie wa kwanza kuamini kua Allah haonekani katu kwa dhati.
@BabSalehАй бұрын
🙏
@muhammadal-bimani81202 ай бұрын
Nabii Musa alikuwa anajuwa kuwa Allah haonekani bali aliomba kutokana na wafuasi wake kushikilia kuwa hawatomuamini Allah mpaka wamuone kwa macho yao. Ndio baada ya kushikilia nabii Musa akaomba. Sio kuwa Nabii Musa alikuwa hajui kama haonekani. Na hatoonrkana kabisa Duniani na Akhera. Kinyume na madhehebu mengine.
@Ahmedmshauri14942 ай бұрын
🙏🏾
@YusuphMwichandeАй бұрын
Allah mkubwa
@ziadamashallahissa8549Ай бұрын
Mungu mkubwa
@abdillahmsouth27845 күн бұрын
❤😂❤😂❤😂
@ziadamashallahissa8549Ай бұрын
Mungu mkubwa 9:55
@nanyangahustler4305Ай бұрын
😂😂😂eti mlima ukalipuka😂😂😂 Ukawa kama tambarareeee😅😅😅😅😅 Daaaah 😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sautiiii
@sahilrahil561Ай бұрын
Wanna ucheke
@sahilrahil561Ай бұрын
Kwann ucheke wapi panachekesha??
@nanyangahustler4305Ай бұрын
@@sahilrahil561 nimecheka maana hizo ni story za kitoto wanaambiwa wakubwa😃😃
@Sheba4651Ай бұрын
@@nanyangahustler4305Hata na wewe ukiambiwa ulitokana na manii huwezi kuamini, utacheka tu, kwa sababu una mdomo na meno sasa hivi, ilivyokua katoto kachanga hauna jino hata moja hukumbuki. Sasa hizo habari zilipota zama hizo, hutaki kuamini ni basi tu, wewe majuzi miaka 25 hukua na jino ulipozaliwa, mbona unaamini kama ulikua huna meno.
@mawilahamisikatoto7922Ай бұрын
mungu hana mfano wake kwa alivyo viumba hata akikutokea leo huwezi kumuadithia mtu kwani ili umuadithie lazima awe na sifa unazozijua,mfano mfupi,mrefu,mnene au mwembamba,kwa kifupi huwezi kusema yupoje.ndio maana hana mfano
@muhudhariomari9238Ай бұрын
Hayo kama hataonekana akhera nikupinga maneno ya Mtume tanabahi
@AbulnasirSalum6 күн бұрын
M2 hapingi bila ya dalili lazma uwe na dalili na dalili iwe sahihi co unapinga2
@ukwelinauwazi2713Ай бұрын
Shekhe kama huwezi kutumia vizuri akili yako basi kaa kimya usimkebehi Nabii Mussa as, Nabii Mussa si mjinga kwamba arudie kosa la wale waliotaka kumuona Allah jahra wakapigwa na sauti ya Radi, hizo unazosoma ni porojo tu za kiarabu. Hapa Allah anasema Mussa aliomba ajidhihirishe kwake kama atakavyojidhihirisha kwa Mtume Muhammad saw kama tunavyojuwa Mtume saw alisema kwamba Nabii Mussa as aliomba awe Mtume katika umma wa Muhammad saw au awe mfuasi wake lakini Allah akasema hapana na hii ndio maana yake. Habari hii pia imerejewa katika Quran(59:21) Lau kama tungeiteremsha Quran hii juu ya Jabali basi ungeuona ukinyenyekea na kuvunjikavunjika na ni mifano tunayoieleza ili mpate kutafakari. Basi msimkufurishe Nabii Mussa as, jee wewe unaweza kuomba hivyo? Kama wewe huwezi kwa nini unamzulia Nabii au humuamini kama Mussa ni Nabii wa Allah?
@arafatmosha78Ай бұрын
Sasa hapo kamkebehi wap?
@arafatmosha78Ай бұрын
Usiitumie akili nyingi Sana
@AbulnasirSalum6 күн бұрын
Eti kiarabu porojo vp utatafsuri aya km hujui kiarabu