ARUSHA: MTEJA AGONGA MGAHAWA kwa GARI LAKE BAADA ya KUHUDUMIWA - ALILEWA - WAWILI WAJERUHIWA...

  Рет қаралды 36,187

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 138
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@marthaswai1185
@marthaswai1185 3 ай бұрын
Maisha bila Yesu ni kazi bure.Mpokee Yesu kwenye maisha yako atakusaidia.
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 3 ай бұрын
Amina
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 3 ай бұрын
Amina
@judyngowi391
@judyngowi391 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@Namtumbo
@Namtumbo 3 ай бұрын
Aminaaaa
@DevothaJohn-q4s
@DevothaJohn-q4s 3 ай бұрын
Amen amen amen kweli kabisa
@lakiabalozi5633
@lakiabalozi5633 3 ай бұрын
My best restaurant in town Mungu awafanyie wepesi
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 3 ай бұрын
Ila watu ukiwaona barabarani na gari zao za kifakhari utadhani wanafuraha kumbe aaah!!
@mcback4384
@mcback4384 3 ай бұрын
Gari ipi ya kifahari hapo?
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
​@@mcback4384😂😂😂😂😂 Katoa mfano
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 3 ай бұрын
Mlevi hanywi chai asubuhi....... huo ndo ukweli....Watu wengi wanasumbuliwa na Depression siku izi.... Mwamba alikua na stress zake Sasa wadudu wamepanda.... Anyway!! Poleni...🙏
@AishFadh
@AishFadh 3 ай бұрын
Tutetee mwaya
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 3 ай бұрын
@@AishFadh ... Yaa Hali ni mbaya Sana... Depression ni hatar... Juzi uku kitaa Kuna jamaa kampasua mtu vibaya... Kisa kamuuliza ..."Asee unazeeka huna mke Wala mtoto" Hali ni mbaya! Hujui ni nn mtu anapitia...🙌
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
​@@AishFadh,😂😂😂😂😂😂
@Ehwazmoha
@Ehwazmoha 3 ай бұрын
amna sio sukari tatizo labda mental health ni tatizo maisha yana mambo mengi ndugu zangu
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 3 ай бұрын
Depression hyo Jamani wanaume wanatembea na mambo mengi kichwani Mlevi hawezi kunywa chai asubuhii
@DavidKivuyu-j5i
@DavidKivuyu-j5i 3 ай бұрын
Uyo ako na pesa aki😊
@WilliamNestory-r4x
@WilliamNestory-r4x 3 ай бұрын
Arusha mrudieni Mungu maana si kwa matukio hayo
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
Umeongea ukweli woteee Kuna haja ya kusimama na kurudi Kwa MUNGU Kwa asilimia zote Something is wrong Mambo sio mambo
@suzannemapesa
@suzannemapesa 3 ай бұрын
Muwe ma lugha ya ukarimu wahudumu wote, sio kila mteja unaimuona ni wa kumletea zarau mix nyodo,poleni sana
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 3 ай бұрын
Sasa amemkomoa nani?
@WaziriOmari-f3h
@WaziriOmari-f3h 3 ай бұрын
Land Rover cruiser ndio gari Gani peleka ushamba kule 😂😂
@youcallbbh9607
@youcallbbh9607 3 ай бұрын
😅😅 hawa jamaa wako high
@aloycemaro7537
@aloycemaro7537 3 ай бұрын
😂😂
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 3 ай бұрын
Fikiria eti hao ndio tunawategemea kutupa habari na kutuelimisha😢
@pharesdismas8876
@pharesdismas8876 3 ай бұрын
Number ya gari anasema SML 😂 badala ya CML 😂
@jasiri25
@jasiri25 3 ай бұрын
Yan sukari mnamuwekeaje mtu badala aweke mwenyewe kwa mgahawa mkubwa ivo
@judyngowi391
@judyngowi391 3 ай бұрын
Sijaona mtu anapelekewa chai kwenye gari, kwanini asishuke
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 3 ай бұрын
​@@judyngowi391basi leo umeona dada. Ni taratibu zao nawe nenda ukae kwenye baiskeli yako au usimame nje utaletewa utakachoagiza😊
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo 3 ай бұрын
Gari limeenda kula chakula😅😅
@khamisally7550
@khamisally7550 3 ай бұрын
Huyo huenda alikuwa amelewa. Weekend Arusha kunakuwa na matukio tukio. Ulevi ni upumbavu!!!!
@DainesNchimbi
@DainesNchimbi 3 ай бұрын
Duh,hii Dunia imeisha mwee
@spesiozabisansaba6424
@spesiozabisansaba6424 3 ай бұрын
Ila Arusha
@Laumwamba
@Laumwamba 3 ай бұрын
Boss mwenye njaa kali😂😂😂😂😂
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 3 ай бұрын
Katomba usiku Kucha, kaamka na nenge.
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 3 ай бұрын
@@Laumwamba 😂😂😂😂
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
​@@twalibulomy-cd4zd😂😂😂😂😂😂😂😂
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 ай бұрын
Bahanti mbaya tu ni hajari haina kinga ndio ivyo sasa,
@medaicetz
@medaicetz 3 ай бұрын
Kichwa cha habar na anachoongea shuhuda mtoa chai tofaut 😂 kdog niamin alogonga ni sababu hakuwekew sukar kumbe ni alkua anatak kutoka vchw vya habar mnatuchanganya sana
@zahraramadhan2960
@zahraramadhan2960 3 ай бұрын
Eeeh hela inaongea…… saa izi kuna watu wanahela bila kutumia nguvu yaan Hii Nch Mungu atusaidie
@judyngowi391
@judyngowi391 3 ай бұрын
Umungu mtu umerudi kwa kasi
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 ай бұрын
Mlevi Anakunywa supu...Anywi chai....sema Kapaniki kakanyaga mafuta...
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 3 ай бұрын
Huo ndo ukweli kapanic
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 3 ай бұрын
CHA ARUSHA KIMEKOLEA 😀😀😀
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 3 ай бұрын
Hahahahaha Huyu ana visa na hawa wenye hii hotel 😂😂😂
@Ehwazmoha
@Ehwazmoha 3 ай бұрын
Yes na kama sio hivyo basi ni mental health
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 ай бұрын
Poleni Sana majeruhi wapone haraka jamani..
@allywaziry6419
@allywaziry6419 3 ай бұрын
Siku watu wa arusha mtakapoacha bangi matukio yatapungua sanaaaa
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 3 ай бұрын
😂😂😂watu wamevurugwa na maisha...vitumbua vipo juu ya bonet
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 3 ай бұрын
Hahahahaa
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@freddieodia1363
@freddieodia1363 3 ай бұрын
Depression is really
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 ай бұрын
Hawa ndio wasiojulikana wenyewe wanauhakika wazazi wao ni watu wa system haiwezekani mtu anayejua maisha ni nini anaweza kufanya upuuzi kama huo
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
jeuli ya pesa iyo ata walipa2
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 ай бұрын
Unamuhudumiaje mtu vitu havitimii
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 3 ай бұрын
Vichaa wengi sana
@VivianNasari-jq6id
@VivianNasari-jq6id 3 ай бұрын
Kwanza hao wadada wa hapo wanadharau so sop sop
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 3 ай бұрын
Arusha kuna mambo jamani uwiiiii
@kashuradiocles1068
@kashuradiocles1068 3 ай бұрын
Land rover cruiser ikoje iyo
@YunisJerald
@YunisJerald 3 ай бұрын
Au alikuwa na makasiriko ya nyumbani kwake
@charlesmwakagile7294
@charlesmwakagile7294 3 ай бұрын
Jessica John😂😂😂
@IbrahimMussa-g6l
@IbrahimMussa-g6l 3 ай бұрын
Mteja anaonekana mla unga uyoo😂
@richardsamson7325
@richardsamson7325 3 ай бұрын
Shida ya watu wa arusha wanakuwaga na haraka sana barbarani hawanaga subira kabisa
@JonathanMGAIWA-ow4py
@JonathanMGAIWA-ow4py 3 ай бұрын
Arusha bangi haitawaacha salama
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 3 ай бұрын
Bangi mbaya 😂😂😂😂
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 3 ай бұрын
Ni Afya ya Akili tu.
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 3 ай бұрын
Msimlaumu sana jamaaa hii dunia ina mambo mengi sana, hatujui kipi kilimkuta jamaa humo kwenye gari.
@melkizedeckmassawe570
@melkizedeckmassawe570 3 ай бұрын
Wahudumu wengine huwa wanakera sana,
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 ай бұрын
Mirungi yenu itawavuruga 😂😂😂😂
@AnjelaMgaya-l6z
@AnjelaMgaya-l6z 3 ай бұрын
😢😢
@ShangweSylus-nf6we
@ShangweSylus-nf6we 3 ай бұрын
Bangi ya Arusha iteketezwe ikiwezekana ila ya Tarime muiache kwanza kwa vile madhara makubwa yameonekana Arusha
@oliviahill7891
@oliviahill7891 3 ай бұрын
😂
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
😂😂😂
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 3 ай бұрын
Maisha bila Mungu nimitihani
@SharifaSharifaAlliy-e1u
@SharifaSharifaAlliy-e1u 3 ай бұрын
Jaman matukio yamezidi sana tais tufungie camera kila kona tanzania matukio yatapunguo jamn watu wataogopa kufanya ualifu tanzania imezidi sana jamn matukionya ukatili watu hawana huruma na binadam wenzio wamekuwa kama wanyama jamn tunaelekea wapi na vizazi vyetu vijavyo? Mungu atusaidie
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 3 ай бұрын
Land rover cluza😂😂😂😂😂
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 3 ай бұрын
Gari imeingua ndani ya hotel
@Yana_queen1
@Yana_queen1 3 ай бұрын
Depression is real
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 3 ай бұрын
afya ya akili is really!
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 3 ай бұрын
Miaka 2 nyuma kuna dokta muhimbili alisema kila kwenye watu 10 , 4 wana kichaaa watu wakampuuzaaa
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
😅😅
@mgayamgaya
@mgayamgaya 3 ай бұрын
Landcruser sio Landrover
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Tukio la aina yake.
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 3 ай бұрын
Arusha kwa visanga
@BarackaNgasala
@BarackaNgasala 3 ай бұрын
Kitu. Kama hujui. Ukizungumze
@RanadhaniRajabu
@RanadhaniRajabu 3 ай бұрын
Kwa Arusha ukute chai ilikua na bangi
@allymanyika3502
@allymanyika3502 3 ай бұрын
Mwandishi umeshayazoea malandrover ya makonda 😅hiyo ni land cruiser bhana we vp
@judyngowi391
@judyngowi391 3 ай бұрын
Arusha kila gari ni landrover
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
​@@judyngowi391😅😅
@knight6757
@knight6757 3 ай бұрын
🍻💪
@isaackemanuel3712
@isaackemanuel3712 3 ай бұрын
Kwanza siyo land Rover hiyo ni land cruiser Amazon
@elishapoul8187
@elishapoul8187 3 ай бұрын
105
@judyngowi391
@judyngowi391 3 ай бұрын
Arusha kila gari bi landrover
@eliashagai7920
@eliashagai7920 3 ай бұрын
Nilikuwa nawaaikiaga waarusha ,Jiji Moja linahitaji akili san kuishi
@Ehwazmoha
@Ehwazmoha 3 ай бұрын
wewe bwege na slogan zako za kishamba !! nenda miji mingine usitumie akili sana kuishi afu uone mbwa wewe
@josephmolle
@josephmolle 3 ай бұрын
😢😢😢😢
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 3 ай бұрын
Afya ya akili
@gaspermatovu2899
@gaspermatovu2899 3 ай бұрын
Sasa we Morine hujaona tukio, unatoaje HADITHI ZA KUSIKIA?
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 3 ай бұрын
Iv Arusha Mkuu wa Mkoa c Makonda jamn mbona haibadiliki
@mcback4384
@mcback4384 3 ай бұрын
Kuna mahali hakuna matukio kama haya duniani?
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 ай бұрын
Au huyo ni HAMZA
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 3 ай бұрын
Safisana watu wenyepesa waheshimiwe jmn huyumudumu itakua alimkera kamua kumuonyesha sasa mudumu kanyumban au kakate makonge
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 3 ай бұрын
chuga hyooooo❤😂
@hanifamziray277
@hanifamziray277 3 ай бұрын
Hasira za mke hizo yaan arusha khaa majanga kila sk
@maswamills3161
@maswamills3161 3 ай бұрын
Kwani kwingine hakuna matukio?
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 3 ай бұрын
Ana tatizo la afya ya akili
@celinamosha9420
@celinamosha9420 3 ай бұрын
AFYA ya akili
@Ehwazmoha
@Ehwazmoha 3 ай бұрын
yes ndo nilichokisema mental health , uwezi jua mtu anapitia nini kwenye maisha na wahudumu wengi awalijui ilo kama mhudumu unatakiwa usomee ivo vitu mteja anapokuja kwako ili ujue unamsaidia vipi na angeligundua ilo mapema angemletea sukari yeye kwanza !
@ElishaMsikola
@ElishaMsikola 3 ай бұрын
Afya ya akili
@GraciuosGeofrey
@GraciuosGeofrey 3 ай бұрын
Hasira hasara analo
@McT-m1m
@McT-m1m 3 ай бұрын
Crushable acheni bangi
@stevenkiwia
@stevenkiwia 3 ай бұрын
We ripota wa mchongo io sio land rover
@drtheresiakaruhanga3543
@drtheresiakaruhanga3543 3 ай бұрын
Wateja wengine wavuta bangi
@bennylove6021
@bennylove6021 3 ай бұрын
Sema Chugga kunaPisi sopoa
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 ай бұрын
Wengi wanamawazo na wengine marena na wengine wanatumia virevi na wanaendesha magari mtihan
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 3 ай бұрын
Wewe kama hujui kitu acha kutudanganya,Land rover cruiser umeiona wapi hiyo
@donking-d4t
@donking-d4t 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@EmmanuelNdahya
@EmmanuelNdahya 3 ай бұрын
Mbna vichaaa wengi
@Badvoice707
@Badvoice707 3 ай бұрын
Kuna kitu hapo bado hajasema inawezekana walipishana maneno
@mwanas2
@mwanas2 3 ай бұрын
hatakama alipishana maneno jaamni ndio afanye ivyo kweli?.....hasara ngapi je angeua hasira hasara jamani tupunguze ujinga jmni
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser 3 ай бұрын
Itakuwa maana customer service ya kijinga sana
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser 3 ай бұрын
Depression akakutana na majibu ya hovyo labda
@christinechokunegella5023
@christinechokunegella5023 3 ай бұрын
Inawezekana akapata hasira
@FrankKaaya-n6o
@FrankKaaya-n6o 3 ай бұрын
Oya mtangazaji hiyo sio s. Ni c
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
atakuwa kasahau kuminya break badala yake kakanyaga ex letter
@LuluAquai
@LuluAquai 3 ай бұрын
X letter
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
@@LuluAquai sawa
@theemperor8229
@theemperor8229 3 ай бұрын
Accelerator*
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 3 ай бұрын
Bangi
@valentinemtei3588
@valentinemtei3588 3 ай бұрын
Changamoto za akili
@manaseezekiel8165
@manaseezekiel8165 3 ай бұрын
Mwandishi iyo ni s au c
@joramkimario
@joramkimario 3 ай бұрын
nimeangalia plate kwa makin had nikaiona kumb tupo makin sio kuburuzwa tu
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 3 ай бұрын
Mjinga,hana akili dreva
@IddyAlly-v1o
@IddyAlly-v1o 3 ай бұрын
Uyo amelewa bwana
@bigboys016
@bigboys016 3 ай бұрын
Msimuhukumu kwanza huenda lakuazima,mana magari nayo shida
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd 3 ай бұрын
Hahahaa😅😅😅😅😅
@MaryLyinga
@MaryLyinga 3 ай бұрын
Anayo kama hilo manne na mengine mengi ajali ni ajali
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 219 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Senator Richard Onyonka mocks Sossion and MP Ruku over Ruto's failures
5:25
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН