ALIPOCHINJIWA MTOTO ARUSHA ZAKUTWA RISITI ZAIDI YA 50 ZA DAIWA NI ZA VIFO WANANCHI WAELEZA WALIPO ..

  Рет қаралды 151,010

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

ALIPOCHINJIWA MTOTO ARUSHA ZAKUTWA RISITI ZAIDI YA 50 ZA DAIWA NI ZA VIFO WANANCHI WAELEZA WALIPO ..
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 534
@janethmhalu7699
@janethmhalu7699 3 ай бұрын
MUNGU tunashukuru Kwa kutufunulia tusiyoyajua, tuhurumie na utuepushe na majanga haya, mioyo inauma sana hatujui tunaenda wapi wanadamu tumekosa Imani. Tusaidie ee Baba.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 ай бұрын
Amina
@DionisiaBaynit
@DionisiaBaynit 3 ай бұрын
Hakika nimeogopa Sana jamani, Mwenyezi Mungu wafichue kabisa,we Mungu ee Mungu hawa washirikina wafe wenyewe
@MarthaZabron-v9b
@MarthaZabron-v9b 3 ай бұрын
Kweli jamani
@eddymaphy
@eddymaphy 3 ай бұрын
Aamin
@MariamNdossy
@MariamNdossy 3 ай бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun mwenyenzi Mungu tusaidie sisi wenyewe hatuwezi
@EsterMeiludie
@EsterMeiludie 3 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu usinyamaze kwa wakatili wauaji Hawa na wengine wanaofanya mambo kama haya
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 3 ай бұрын
Hakuna ubaya usio na mwisho hakika lazima ushirikina wote uumbuke. Arusha yupo nabii mkuu anayetamka baraka na amani katika jiji la arusha ushirikina hautaendelea hapa arusha kwa jina la Yesu.Wataumbuka wote hakika
@mamita336
@mamita336 3 ай бұрын
Mmmmh
@khalinaJuma
@khalinaJuma 3 ай бұрын
Hakuna.nabiihapo.nitapeli mkubwa
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 3 ай бұрын
Mwenyenzi Mungu Halali..., huo ni mwisho wao..., Asante Mungu katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth kutufunulia haya. Hawa wabaya wanauchafua mkoa wetu lakini Mungu Amewafichua. Naomba hasira ya Mungu Ikawe juu yao katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai!!!
@mamakele7875
@mamakele7875 3 ай бұрын
Amina
@christaoman8890
@christaoman8890 3 ай бұрын
Duuuh mpaka nimeogopa ndugu zetu wanapotea tu hawaonekani kumbe wanakufa vibaya kwa kuchinjwa km mbuzi ewe Mwenyezi Mungu shuhulika nao wale wote wauwaji waumbue hadharani imefika mwisho wao sasa😢😢
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 3 ай бұрын
@@christaoman8890 tena na jirani
@allymsafi1716
@allymsafi1716 3 ай бұрын
Mm mdogo wangu mpaka leo hatujui yupo wapi
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 3 ай бұрын
Innalilahi wainna ilaihi rajiun
@VeronicaPaul-l8m
@VeronicaPaul-l8m 3 ай бұрын
Yaani mm naona waliopotea wameshateketea
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 3 ай бұрын
​@@allymsafi1716pole ndugu yangu
@lestutamagaiga1463
@lestutamagaiga1463 3 ай бұрын
Kila kilichojificha kitawekwa wazi katika Jina kuu lenye nguvu ,jina la Yesu kristo
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 3 ай бұрын
Nikweli
@Jxmilbabe
@Jxmilbabe 3 ай бұрын
Inna lilah wa inna illah rajiuun...siamin😭😭😭😭mdogo wang mariam.....kwanin iwe wewe kwanini kisiwe kiumbe cha ajabu tofauti na binadamu😭😭....ewe mola msamehe na umrehemu
@evalinemalole6709
@evalinemalole6709 3 ай бұрын
Ni wapi tunaenda? Dunia imekua chungu sana, msiba huwezi uelewa usipokukuta.. Mungu awape faraja wafiwa, na atusaidie sote, hatuwezi bila yeye😢
@TumainiAlemejio
@TumainiAlemejio 3 ай бұрын
Jmn!! Nyiee unajikuta unaogopa sana ukiifikilia binadamu sasa hivi.Tatizo ni mioyo vichaka saana
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 3 ай бұрын
Hakunagaa lililo na Mwanzo ambalo hakuna mwisho.hy 40 Yao . Asante Mungu yamefichuliwa wazi leo
@GiftAbduly
@GiftAbduly 3 ай бұрын
Aiseeeee hii nihatat jmn hizi n dalili za mwisho kabisa yaraab tujaalie mwisho mwema ....af unaambiwa huyo mama ni mpole hatar na huez kumzania🙌🏾 mungu kamuumbua huyu mchawi anae katisha uhai wa wenzie ......
@EvodiaDominic
@EvodiaDominic 3 ай бұрын
Watu tutaishije sasa mara utekaji, mara mauaji, mara uchawi Ee Mungu simama nasi waja wako, turehemu tu wakosefu Tunusuru Mungu wewe ni jemedari hujawahi kushindwa, tena huchelewi wala,, tuokoe tunaangamia😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@LilianiMeena
@LilianiMeena 3 ай бұрын
Mungu tusaidie
@zawadmangi9964
@zawadmangi9964 3 ай бұрын
Jirani zangu hawa kabisa mtendewa na mtenda ee Mwenyezi Mungu tunusuru
@MariamThomas-bg4rc
@MariamThomas-bg4rc 3 ай бұрын
Poleni aisee
@zawadmangi9964
@zawadmangi9964 3 ай бұрын
@@MariamThomas-bg4rc Ahsante sana
@naomigodwin1001
@naomigodwin1001 3 ай бұрын
Poleni sana wapendwa
@MwasitiOmmary
@MwasitiOmmary 3 ай бұрын
Aiseee ni aibu na mtihan mzito
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 3 ай бұрын
Jamani hadi wanachama kabisa na risiti wanatoleana kanakwamba wanatoa mpk kodi😢😢😢😢,heeeh Mungu Baba tulinde😢😢
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 3 ай бұрын
Nahisi wanatoa hizi risiti kwasababu hizo nyama za watu wanauza butchery 🤮🤮😭😭
@MwasitiOmmary
@MwasitiOmmary 3 ай бұрын
@@theresaelizabethelijah117😂😂😂😂😂😂
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 3 ай бұрын
ALLAH MUWEZA Hakuna kinacho jificha mbele ya ALLAH,huu ndo Wakati Sahihi Wa ALLAH,Utakuwa utatoka watu utatesa Waja wa Mungu,Mungu akuchoka hata ujifiche angani utadhalilishwa na Mungu TU,🙏
@MARIAMAGEMBE-g2e
@MARIAMAGEMBE-g2e 3 ай бұрын
Poleni sana haki ipatikane jamani inauma sana
@annachristersimon
@annachristersimon 3 ай бұрын
Jidhihilishe Mungu wetu juu ya Taifa lako. Tufunulie baba
@RehemaMagoire
@RehemaMagoire 3 ай бұрын
Dah
@MusaKiumbo
@MusaKiumbo 3 ай бұрын
Sema hapo wadudu wamezingua piga kwanza nyumba moto yote halafu ndo munasikiliza kesi vizuli inauma Sana yani daa😢😢😢😢😢😢
@RehemaselemanMazwil
@RehemaselemanMazwil 2 ай бұрын
Ee Mungu iposiku utatufunilia nawatoto wetu walio poteaga tukiwa kambini butimba mwanza hadi leo ni miaka mitatu hatujawapata
@azizamohamed9458
@azizamohamed9458 3 ай бұрын
Ushirikina mpka unakua na risit subhanallahh mpka naogopa tunaishije binadam sisi
@RachelElias-j3g
@RachelElias-j3g 3 ай бұрын
Hee mungu naomba utusaidie watu wanauwawa kama kuku jaman.. tutetee mungu..
@JenethFrank
@JenethFrank 3 ай бұрын
Mungu wangu eeeeeh. Tusaidie kuondoa Kila ubaya uliopo Arusha. Tunashukuru Kwa ujio wa mkuu wa mkoa muheshimiwa makonda sababu alianza kazi vzr naona shetani ameingia kazin kuzuia lakin Mungu mkubwa atatusaidia kufichua mengi na kutokomeza kabisa. Tuendelee kuomba. Mungu anao mpango mzuri mno na kukomboa Arusha. Tusikate tamaa. Unaeomba omba kadri ya uwezo wako Mungu atatenda
@Miriam-m2b
@Miriam-m2b 3 ай бұрын
Wachawi watu wabaya jamani Wala nyama za watu😢😢😢😢😢
@modricseif1018
@modricseif1018 3 ай бұрын
Washirikina wote hawana maendeleo, sijui wanafaidika na nini😢
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 ай бұрын
Wale maendeleo yao sio ya macho ya kibinadamu wao ni ulimwengu wa giza ndo maendeleo yao wana yaona na ndio maana hawawezi kuacha kwa ajili ya huo ulimwengu wanao ufanyia kazi
@JoyceWilson-r3r
@JoyceWilson-r3r 3 ай бұрын
Jmn Munguuu tusaidieee
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 ай бұрын
Subhanna Allah 😭😭😭😭 Arusha jamaniii
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 3 ай бұрын
Bwana Yesu asantee umetenda Baba..
@allyabdi4345
@allyabdi4345 3 ай бұрын
سبحان الله. الله أكبر.risiti ya kutoa uhai wa mwanadamu mwenzako tumuogopeni mwenyezimungu ambae halifichiki kwake lolote.
@claudiajosephmselle5091
@claudiajosephmselle5091 3 ай бұрын
Mungu ni mmoja tu
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i 3 ай бұрын
Hapa ndo mtaona umuhimu wa kuweka sheria za kiislamu {Mchawi Auwawe}
@angelitapaulo
@angelitapaulo 3 ай бұрын
Wachawi wenyewe ni waislam
@ShabaniFadhili-v8n
@ShabaniFadhili-v8n 3 ай бұрын
Ndio kama niwaislam wauwawe tu atuangalii dini
@JacklineMoti
@JacklineMoti 3 ай бұрын
Mbona hiyo majina ilisomwa hapo ni ya kiislam tu🤔🤔 ya Mungu haipanguki ikipangwa inatimia
@mamita336
@mamita336 3 ай бұрын
Hata biblia imesema wazi kwenye kitabu cha samweli,usimwache mwanamke mchawi kuishi
@hadijamsati8813
@hadijamsati8813 3 ай бұрын
Samuel ni muislam???​@@JacklineMoti
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 3 ай бұрын
Inalilah wainnailaih rajiun Allah tunusulu waja wako uku wapi tena tunapofikiya tunauliwa kwa tamaa zawatu
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f 3 ай бұрын
Subhannallah. Unauwa hunahuruma
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 3 ай бұрын
Subhanallah subhanallah subhanallah
@AwaziRajab
@AwaziRajab 3 ай бұрын
Ingekua Asikali Wa Kimarekani Apo Wangechunguza Atua Kwa Atua Mpaka Kujua Ukweli Wote Kama Niwatu Wa Kuzimu Au La Lakini Asikali Wetu Wengi Niwaoga Wakisikia Uchawi Mbona Watajikuta Wanaludisha Lawama Kwa Jamii Apo Na Wakosaji Utasikia Wanainjoi2
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 3 ай бұрын
Mungu wangu namimi nilikuja Arusha 2016 na ndugu zangu Holiday kutoka kenya 😢 Kumbe kuna wauwaji toka 1992 waah mda wa miaka 31 ni watu wengi mno wameuliwa 😭
@rizikimtui8992
@rizikimtui8992 3 ай бұрын
Wanaomtukama Rais kwa matukio haya 😢. Tatizo lipo ndani ya jamiii zetu lazima turudi kwa Mungu ili kujali utu
@abdulisike8320
@abdulisike8320 3 ай бұрын
Hawa waganga wakienyeji niwashenz sana Imani Gani hii unamtuma mtu alete vifo Hawa wapewe hukum nao ikiwezekana hata kifungu Cha kuwanyonga mpaka kufa nao
@Miriam-m2b
@Miriam-m2b 3 ай бұрын
Hao ni wachawi ndugu yangu wanaokula kula nyama za watu na ukila lazima ulipe😢😢😢😢😢
@muniramajid1897
@muniramajid1897 3 ай бұрын
Subhana Allah
@NeemaKomba-l2z
@NeemaKomba-l2z 3 ай бұрын
😭😭😭 wale wote ambao ndugu zao hawapo wamepote kwa mazingira ya kutatanisha basi serikali iwasaidie kukutana na huyo mama huenda anamajibu tunaumia sana
@PhidesTairo
@PhidesTairo 3 ай бұрын
Ee mwenyez MUNGU fumbua wote wanaofany vitendo Kam hv inauma sanaaa
@AishaHamad-e9s
@AishaHamad-e9s 3 ай бұрын
He iyo kazi B's kaanza zamaani dah subhanaalah 😢
@RukiaLaizer
@RukiaLaizer 3 ай бұрын
Hizoo risiti ni za viffo vywa waliouwawa eeeh jaman kweli ALLAH MTUKUFFU ni mjuzi wa yotee anafichuwa viliojificha
@babyscosh
@babyscosh 3 ай бұрын
Mungu wangu naomba utulinde binadamu wamekuwa wakatili
@izoohjack6687
@izoohjack6687 3 ай бұрын
Mungu yupo akawaongoza watu kubomoa na nyumba risiti zikapatikana
@mariej6962
@mariej6962 3 ай бұрын
Polisi wakaingia wakatoka empty, vijana hodari kama hawa wakaona isiwe shida ngoja tufuatilie wenyewe.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 3 ай бұрын
Mungu atawaumbua wote
@jinnahsameer
@jinnahsameer 3 ай бұрын
😢😢😢😢 daaaaaaaa inauma sana ni nini hiki
@salomecaroly5534
@salomecaroly5534 3 ай бұрын
Proud to be mjee jamani
@rahmarama5669
@rahmarama5669 3 ай бұрын
Mungu atawaumbua woteee
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 3 ай бұрын
Amen 🙏 😢
@LucyMichael-s4u
@LucyMichael-s4u 3 ай бұрын
Poleni jamani,Waingiapo mikononi mwa sheria nao wauwawe.
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 ай бұрын
Wananchi mmefanya la maana kubomoa nyumba na kubeba kila kitu. Hao inaonyesha washirikina wamepewa idadi ya kuua watoto kadhaa 😢😢. Subhallah
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 3 ай бұрын
Hatari sana, nyakati za karibu na chaguzi matukio haya ya kikatili na kishirikina huzidi tunaomba ile intelijensia ya kuzuia maandamano iweke nguvu kuzuia na kukamata hawa wahalifu makatili wa nafsi😢
@sesiliasalleko2013
@sesiliasalleko2013 3 ай бұрын
Bado wanaendelea kuwabeba waganga
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 ай бұрын
@@saltechnologiesco.ltd.2377 Haya matukio mimi naweza Sema huyo mama mwenye nyumba nimshirikina anaidadi ya toka 1991 ya watu aliwaua fikiria hii mara mbili. 😭😭Kweli anaua watoto wa wenzie nakuwa Katakata vipande! Huyu mama anagenge kubwa ambalo anashirikiana nalo
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 3 ай бұрын
Sasa izo lisiti anapewa na nan na kama washirikina iyo lisiti ili msaidie nn jaman 😢
@maryammo-gd3me
@maryammo-gd3me 3 ай бұрын
Subhanallah Yani unachinja kama unachinja kuku hii Dunia sjui tunaelekea wapi
@AsiaAroun
@AsiaAroun 3 ай бұрын
Allah azid kuwa fichua hawa watu wabaya wanaua afu Wana MUHUKUMU raisi Samia simama na mungu wazd kuzalilika wabaya
@carolinetandaika8273
@carolinetandaika8273 3 ай бұрын
Mungu turehem, dunia dunia 😢😢😢😢
@saumuseleman-r1d
@saumuseleman-r1d 3 ай бұрын
Yaarab tunusur sis waja wako
@zamdakimaro8040
@zamdakimaro8040 3 ай бұрын
HAKIKA HUWEZI ONDOKA HAPA DUNIANI BILA KULIPWA ULICHOFANYA MUNGU WETU HALALI HAKI
@SaidAkili
@SaidAkili 3 ай бұрын
Hatari Tanzania
@OLIVAMSAFIRI-nj4ib
@OLIVAMSAFIRI-nj4ib 3 ай бұрын
Jamani jamani nimeamini Mungu yupo mwisho wa ubaya ni aibu😮😮😮😮😮😮😮😮
@tinakiyao
@tinakiyao 3 ай бұрын
Yaan hao watuhumiwa ilibidi wakatwe kiungo kimoja kimoja uku wakisikilizia maumivu mpaka wanakate moto yaan sio kwa unyama huo waliowafanyia watoto wawenzao😭😭😭
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 3 ай бұрын
Subhana Allah yarabi utusimamie waja wako peke etu atuwezi daah kweli sk za mwizi 40 inauma sana pole kwa familia
@IddyKristopha-c7z
@IddyKristopha-c7z 3 ай бұрын
Safiii mungu amejibu Tena kwawakati
@ClaraCecil-rq4xf
@ClaraCecil-rq4xf 3 ай бұрын
E mwenyezi Mungu utusaidie
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 3 ай бұрын
Mungu wangu 😭😭😭 mungu wangu 😭😭😭
@kilogreek4050
@kilogreek4050 3 ай бұрын
HUYO MAMA KUNA MATAJILI WAKUBWA ANASHILIKIANA NAO TANZANIA MTAONA MATAJILI WENGI WANAFILISIKA ARUSHA NA TANZANIA 🇹🇿 😢
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 ай бұрын
Yaani hawa washirikina wanatoa mpaka risit jamani?Mungu wa mbinguni usilale huu na uwe mwaka wa kuumbuliwa kwao.😢😢
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 3 ай бұрын
Eee ikiwa mungu wa mbinguni analala mpaka umwambiye wewe aamke basi watu watamalizwa
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 3 ай бұрын
Astaghafiruwallah astaghafiruwallah tokea lini mungu akalala .
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 3 ай бұрын
@@RitbayRitbay hahahaaaa si mungu wake analala
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 3 ай бұрын
Mtihani 😢​@@SabihaibrahimRajabu
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 3 ай бұрын
😂😂😂 na wanalipa pia Kodi Kwa serikali
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 3 ай бұрын
Natetemeka hapa nilipo dunia hii ikoje jamani mungu tusaidie tu
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 3 ай бұрын
Amen 🙏 😢
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 3 ай бұрын
Eee Subhanallah mtihani mkubwa yani wanadanganywa wawe watu ili wapate mali?dah mbon maisha haya ni mafupi mno Allah alinde nafsi za waja wake
@NeemaMatias-dh8ge
@NeemaMatias-dh8ge 3 ай бұрын
😭😭😭😭 Eee mungu baba tulind
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 3 ай бұрын
Inna lilaahi waina ilayhi rajiuun Msiba mkubwa ee mungu tunakuomba tuongoze ktk haqqi watu wamekuwa makatili Eemungu hao wslimdhurumu huyo mtt mungu ajikimu kuanxia hapa hapa duniani
@MayasaYousif
@MayasaYousif 3 ай бұрын
Subhaannallah 😢 yani bola ukutane na simba kuliko binadam mwenye roho ya kikatili
@MwasitiOmmary
@MwasitiOmmary 3 ай бұрын
Mtihan mzitoooo😢😢😢😢😢😭
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 3 ай бұрын
ALLAH TUKUOMBA UONESHE UOVU WA WATU WOTE WANAOISHI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA😢😢
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 3 ай бұрын
Allahuma Amen
@AishaHamad-e9s
@AishaHamad-e9s 3 ай бұрын
Ushirikinaa😢😢
@JosephinaNyoni-l3b
@JosephinaNyoni-l3b 3 ай бұрын
Ee mwenyezi mungu zitetee roho za watu wako zinazodhulumiwa kuuwawa kikati sasa iwe mwisho nao waonje mauti. Na jehanamu ya moto.
@abdullahmanmiyanjamo1796
@abdullahmanmiyanjamo1796 3 ай бұрын
Hii dunia ina viumbe wa ajabu sana,ila nimejifunza kitu,kama wachawi wanatoa risiti,basi na sisi tulipe kodi tu TRA tupate risiti.
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 3 ай бұрын
Mungu amewaumbua
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 3 ай бұрын
Serikali huwa inatupiwa lawama kubwa sna,lakini nyuma yake kuna maovu makubwa sna,watu wanapotea kimya kimya,bila kujua haya yote ni Mungu tu😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sesiliasalleko2013
@sesiliasalleko2013 3 ай бұрын
Serikali inatupiwa lawama kwa kuteka na kuua usichanganye mambo wanasiasa na wanaharakati wanatekwa na kuuwawa
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 3 ай бұрын
Uyo mwanae uyo aliyefanya tukio ilo ametumika kama malaika kufichua makosa ya mama ake .damu ya mtu ainyamazagi ila yote tupende kumshukuru MUNGU 🙏 kwa yote tunawapa pore ndugu ,jamaa,marafiki kwa kufiwa na mpendwa wao😢so painful rest in peace 💔🌹🌹
@mariej6962
@mariej6962 3 ай бұрын
Mjukuu. Ila binti atakuwa anajua kwa kiasi fulani maisha ya familia yanayoweza kutolea maelezo hizo risiti kwa mfano, hata kama hajawahi kushiriki tukio lolote, maana kazaliwa na kukuzwa na familia inayofanya mauaji.
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 3 ай бұрын
Mungu mkubwa Amewaumbua kwa ukatili na dhuruma wanazowafanyia binaadam wenzao Anafanya ukatili huo wee tunaishi ktk hii dunia milele
@channyanjen9047
@channyanjen9047 3 ай бұрын
Alafu kila siku munamshutumu Rais samiya nawaza umepata ushahidi
@ConsolathaKicheleri
@ConsolathaKicheleri 3 ай бұрын
YESU ATAWAFICHUA WOTE .WACHAWI MFE KWA JINA LA YESU .NURU YA YESU INAANGAZA SASA TANZANIA YOTE
@LilianiMeena
@LilianiMeena 3 ай бұрын
Wenye ndugu zetu tukae tusikilize tusishangae kusikia na ndugu zetu wapo aki Mungu tusaidie
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 ай бұрын
Subhanallah Inna lillah wainna ilaihi rajiun
@BtiricTesha
@BtiricTesha 3 ай бұрын
Jamani unauma sana
@FideaJulius
@FideaJulius 3 ай бұрын
5:20 mh-hhh na hizo risti zichunguzwe kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia
@mytharsalum5964
@mytharsalum5964 3 ай бұрын
Subhanallah
@luciasteven3314
@luciasteven3314 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 dah sna hata nguvu yakuandika ujumbe mrefu😢😢😢😢Mungu kwann lakn umenyamaza😢😢😢😢😢😢😢😢😢inauma et Mungu usnyamaze
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 3 ай бұрын
Angenyamaza tusingeyajua haya. Ni Mungu kawaumbua. Katutetea tumshukuru kwa hili..maana alimuongoza yule mjukuu kuinama kutafuta kiatu ili kuwafichua hao wauwaji. Watoto ni malaika. Watu wazima wameshindwa. Mtoto ndo kaweza kuona. Hakika Mungu ni mkubwa na sifa utukufu heshima ni zake milele na milele
@maryamsaleh4787
@maryamsaleh4787 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢naumia sana jaman 😢😢😢😢kwanin lakini mungu tuone bas tunazama 😢😢
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 3 ай бұрын
Subhahanallah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np 3 ай бұрын
Majina alio tajwa. Mbona. Niyawenzetu. Tu ....
@eliamanimfinanga3957
@eliamanimfinanga3957 3 ай бұрын
Uchawi sio powa ndio maana kiboko ya wachawi alikua anaishi waua 'na bibilia umeandika usimuache mwanamke mchawi aishi😊
@GracieTyno
@GracieTyno 3 ай бұрын
Kumbe uchawi upo kweli jamani 😢
@TheresiaMwacha
@TheresiaMwacha 3 ай бұрын
Yaani uyu mama popote alipo akamatwe mbwa uyu mbona asichinje wakwake
@monicakimati4619
@monicakimati4619 3 ай бұрын
Mathayo 10:26-27
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 ай бұрын
hivi vitu ni kuomba Mungu tu aingilie kati maana ndo msaada mkubwa hata viongozi wenyewe sio wa kuwaamini so Mungu ww ndo msaada wetu
@AirinSumeno
@AirinSumeno 3 ай бұрын
TANZANIA AAA TANZANIA AA NAKUPENDA KWA MOYO WOTEEEEE NCHI YANGU TANZANIA JINA LAKO NI TAMU SANAAAAA MBONA SASA UMEBADILIKAAAAAAAAA UMEKUWAAAA KATILISANAEEEEEEE TANZANIA TANZANIA NAOMBA USIFANTE HIVIIIIIIIII😢😢😢
@KautharaSalimu-s4g
@KautharaSalimu-s4g 3 ай бұрын
Huyo. Anastahik. Kifo. Maana.
@JemimahJulius-v2g
@JemimahJulius-v2g 3 ай бұрын
Duuh Mungu amlaani muuaji inauma mnoo😭😭
@polycarpykavishe9001
@polycarpykavishe9001 3 ай бұрын
Ila hizo risiti kama ni zamiaka mingi hivyo kwann wino umekolea kama vile zimeandikwa karibuni au ndio mhalifu anawachezesha watu....au mimi ndio sielewi
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 3 ай бұрын
Loh hii hali noma sana
@GracieTyno
@GracieTyno 3 ай бұрын
Jamani hilo sanduku la posta mbona ni la Meru peak primary school 😢
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Кем был убитый в Москве Армен Саркисян
16:59
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 98 М.
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН