ASILAUMIWE RUSAGANYA ALISEMA KWELI//INAFAA KUFANYA JIMAI MCHANA WA FUNGA.

  Рет қаралды 105,123

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 188
@SUBU-SCRIBE
@SUBU-SCRIBE 2 жыл бұрын
Shukran sheikhe Muhammed kwakutujuza tusioyajuwa Allah atuongoze ktk kheri inshaallah
@nassormbarouk6824
@nassormbarouk6824 2 жыл бұрын
Amiin
@abdullahimwasaria6124
@abdullahimwasaria6124 2 жыл бұрын
Aamiin
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 2 жыл бұрын
Barakh Allah Khair sheikh,
@saidsalum523
@saidsalum523 Жыл бұрын
Mimi siachi kuchukua faida kwa huyu mtoto eti kwa kuangalia makosa na mapungufu yake ,,najua hamna shehe asiekosea.
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u Жыл бұрын
UKATAFUTE MWALIMU AKUSOMESHE DINI HAITABAKI KWA MAWAIDHA
@abdimsagati9667
@abdimsagati9667 Жыл бұрын
Muogope mungu usiwadanganye watu shida yako unajifanya unajua sana nandio unapotea
@alhajkhatib5597
@alhajkhatib5597 Жыл бұрын
Sikulaumu ila haukumuelwa huyu sheikhe mbona kaongea sawasawatu !
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 Жыл бұрын
Acheni chuki zenu binafsi
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallaah jazakumullah kheir amiin mola atuafkixh inshaallah
@herbeebswaleh8428
@herbeebswaleh8428 2 жыл бұрын
Shukran sheikh wa jazaakallahu khayran
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 жыл бұрын
Umeeleweka sana Sheykh Muhammad
@ibrahimomar1073
@ibrahimomar1073 2 жыл бұрын
Asilaumie Rusaganya fanya adabu sema Sheikh Rusaganya
@medimisi6930
@medimisi6930 2 жыл бұрын
Mh,sio lazima kama mungu tuna mwita kwa jina lake ALLAH seuze mtu.haina dalili chukua aliosema au ndo chuki
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 2 жыл бұрын
Hata Mtume wetu tunaweza kusema Muhammad ni mtume ila inapendeza zaid kumwita Muhammad SAW.... haikukatazwa
@RashidM9hamed
@RashidM9hamed 5 ай бұрын
Asl aleykum nyinyi nyote mnaopinga hamna elimu kasomeni ili mjue ndio Allah alivo sema mna choyo na sheikh acheni fitna tuelekezeni nyinyi wenye elimu basi kama munafaha zaid Allah hu aalam
@iddyhussein7282
@iddyhussein7282 5 ай бұрын
Huyu jamaaa sio mzima kidogo ana matatizo duuuh mtihani. Mifano mibovu kabisa sio lazima kila kitu utie neno.
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 2 жыл бұрын
Shukran Wajazaukum llahu khayra
@saidmakame
@saidmakame Жыл бұрын
Pia aangalie tafauti ya wanachuoni na madhhabi tofauti. Asijifanye kua analosema yeye ndio sahihi. Kama anavosema kuna fatwa za wanachuoni basi angezitaja hizo fatwa za wanachuoni.
@alajamiyonlinetv3526
@alajamiyonlinetv3526 Жыл бұрын
Kweli
@fidahmahdi4507
@fidahmahdi4507 2 жыл бұрын
Sote tunatakiwa tusome zaidi inshallah shk.Rusaganya si mufti huyu kijana bachu si mufti bado si kama baba yake so wasishadidie nao kuwa tupo top
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 2 жыл бұрын
Unaongea ujinga, yaani mpaka muft akwambie hata Kama ni Jambo la kisheria mpaka aseme muft tu huna dini wewe
@cholosadi4352
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Kweli hili jamaa linalosubiri Mufti halina Dini
@khadijaali6
@khadijaali6 Жыл бұрын
Jamani msitoe fatwa bila kuzingatia Allah awasubiri
@shuaibalula9003
@shuaibalula9003 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie elimu yenye manufaa
@alajamiyonlinetv3526
@alajamiyonlinetv3526 Жыл бұрын
Elimu gani alio nayo huyu mpuzi usiwe mjinga wewe 🤣🤣🤣
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 Жыл бұрын
jazaakallaah khayr
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Жыл бұрын
Ruhsa ya kula mchana wa Ramadhani imetolewa kwa mwanamke mwenye kunyonyesha na mwenye mimba na msafiri lakin kufanya ngono mchana haija kubaliwa ruhusa hio musipotewze wenzangu
@husseinally3350
@husseinally3350 Жыл бұрын
Iyo yakuzuiliwa wew umeitoa kitabugani
@Is-hakaAbass
@Is-hakaAbass Жыл бұрын
ngono?!!!!!!!! tendo la ndoa
@cholosadi4352
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Eti ngono ww unaskiliza wapi ngono unafanya ww huyo hakusema ngono amesema tendo landoa ambapo mtuna mwanandoa wake
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 9 ай бұрын
Maashaa Allah darsa nzur inafundisha na kurahisha sheikh Albany apunguze kdg hhhhh awe ni wakati na kati
@saidsalum523
@saidsalum523 Жыл бұрын
Anaeleweka tena sana sana sana,,na hoja zake ziko imara.,na anajua kuzisomesha.
@sahimtourstravel2156
@sahimtourstravel2156 Жыл бұрын
mtafat nyinyi msojitambua kama yeye
@alajamiyonlinetv3526
@alajamiyonlinetv3526 Жыл бұрын
Ww wafaa kwenda madrasa ukasome sana mana huna ujualo
@abdinice6756
@abdinice6756 Жыл бұрын
She hatujasoma ila tendo la ndoa mchana ndani ya ramadhani ni halali kiviipi😮😮
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Жыл бұрын
Ataka someshwa sawa sawa huyo hana ajualo
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina Жыл бұрын
Sasa mchana unakula na mkeo anakula hamjafunga kutokana na udhuru unao ruhusiwa kisheria mnakula mkashiba je kwanini isiwe halali kufanya tendo la ndoaa ebu funguka mbona kitu kipo wazi kama usiku wa ramadan nafanya iweje mchana sijafunga na ni wahalali kwangu
@HamadZito
@HamadZito 2 ай бұрын
Hapa kwa hawa vizee kuingiliana mchana shekhe panipa wasiwasi pafanyie uchunguzi
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 2 жыл бұрын
Ni kweli yafaa
@idrissdalu3459
@idrissdalu3459 Жыл бұрын
Ndio wote Wana Dharura ya kisheria lkn mtume katufundisha kufanya usiku na sio mchna usijaribu kupinga mafundisha ya mtume sheikh wangu
@mausubrah6153
@mausubrah6153 Жыл бұрын
Asalam aleykum warhma tullah wabarakatu akhy mm nauliza . (Ikiwa ao wazee awaja funga na uwezo wa kifedhwa awana ata lipa na nn ? Ikiwa sheria ya Allah subhanahu wallah anasema nilazima mtu afidie? Naomba jibu ukiona hii . Wa billah taufiq
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 Жыл бұрын
Hana Jamaa wanaoweza kuwalipia?
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 Жыл бұрын
Inshaallah kheirr!!!!!
@nafisatwahir
@nafisatwahir 5 ай бұрын
Sasa shekhe safari niza urahisi sio za wanyama mahali pa kuchukua masiku tunachukua madakika jee ni vipi??
@AbdallahAlkindiy-vi2yh
@AbdallahAlkindiy-vi2yh Жыл бұрын
Apa kiukweli bad nina mashaka
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
Yani huyo kizee awe na nguvu zingine jamani yaku funga wakose kweli
@hashimsaid5546
@hashimsaid5546 Жыл бұрын
Unatumia akili kwenye dini badala ya kitabu
@awadhally1052
@awadhally1052 Жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣kwel mtihan
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 Жыл бұрын
Hhhhh
@godfreywasike1687
@godfreywasike1687 2 жыл бұрын
Tuulize sisi wakenya ndio twamjuwa Huyo Ruto ameungana na waislam ju anataka kura zao lakin mwenyew anasema akiwa Rais Kenya itaitwa Christian state alafu ana chuk nawaislam
@Abdulirazakmohd
@Abdulirazakmohd 5 ай бұрын
Naaam hakika umezungumza ukweli upo xahiihii xhekhe
@RashidM9hamed
@RashidM9hamed 5 ай бұрын
Sadakta wafahamishe hao wanachoyo na sheikh hawana zaidi ya fitna
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@ostazhemedi4416
@ostazhemedi4416 Жыл бұрын
Alhamdulillah
@Al-kindyAbubakar
@Al-kindyAbubakar 16 күн бұрын
Aslm km warahmatullahi wabarakatuh, ustazi wangu naomba namba yako ya watsapp kwamaana jambo unayo ongea ni haqi, sasa ili nipate faida kubwa na kupata fursa ya kuuliza maswali basi naomba namba yako ya watsapp insha'allah
@gallacherjnr352
@gallacherjnr352 Жыл бұрын
Wallah wewe ilmu huna kama hikma ndogo kama hii ime kushinda huna ilmu
@shabanimussa4269
@shabanimussa4269 5 ай бұрын
hivi ww mkulima unamjua hashimu rusaganya? au unaropoka tu
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 жыл бұрын
Maashaa Allaah
@allymtungunyu2425
@allymtungunyu2425 2 жыл бұрын
Hawawezi kufunga na uwezo wa kutoa kafara hawana inakuwaje hapo
@irtshisekedikhamis5648
@irtshisekedikhamis5648 Жыл бұрын
Uharamu WA kula na tendo la ni mambo Tofauti, Msafiri Na mgonjwa wanaruhusiwa kula sababu ya uchofu wa mwili Sasa tendo la ndowa nao ?
@saidrashid2701
@saidrashid2701 Жыл бұрын
Hunarahishi rahishisha tu, utakuja kujibu dhima, ndiyo maana tumeambiwa tuwe na subira, na subira malipo yake ni makubwa.
@hafanabdallah3112
@hafanabdallah3112 2 жыл бұрын
Bwana bachu maneno hayo hayapo mbona wasema maneno makavu ni kitabu gn hicho cha mwanachuoni alie futu mas ala hayo usipotoshe watu kwa fikra za kitwa chako
@ussiothman5569
@ussiothman5569 Жыл бұрын
Anapotosha vp?...
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 Жыл бұрын
Haifai
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Жыл бұрын
Ikiwa wote wanadharura basi abadu ya mwezi wa ramadhana iwe pale pale wacha kujifanya unajua sna wakati bado sna na wakifanya tendo la ndoa kwanza walipa swaumu pili watafunga miez2 mfulululizo bila kuacha au watalisha maskini 60 kila cku sasa wewe endelea kuatia changa la macho
@medimisi6930
@medimisi6930 2 жыл бұрын
Kama ilivokua kwa aliefuka haruhusiki kula wala kunywachana wa ramadhani ila ikiwa hakufunga kula na kunywa mchana anaweza Wala sio tatzo na hivyo hivyo suala la JIMAI.wala haitaki elimu kubwa
@NADUAonlineTV
@NADUAonlineTV Жыл бұрын
Ndio wwe ninaekujua
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 жыл бұрын
kula mzigo km kawaida
@mustafaabass2810
@mustafaabass2810 2 жыл бұрын
A.alykum sheikh Muhammad mm nachangia hapa kdg kwawale ambao wameruhusiwa kula mchana waramadhan kutokana nadharura zao zamsingi nisawa ila suala lakuingiliana mke na mume mchana waramadhan nisawa ila ihtiraaman kutokufanya tendo landoa kwa kutokana nautukufu wahuo mwenzi waramadhan nivyema wasifanye
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 жыл бұрын
Imeruhusiwa ikiwa wana dharura za kisheria
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 жыл бұрын
SOMENI DINI MUIJUE
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 жыл бұрын
Kharam kuingiliana mchana hata kama ni mkewe. Weka staha kwa ramadjani
@medimisi6930
@medimisi6930 2 жыл бұрын
@@fathiyasalim3946 dini haiendi kwa rai ya kichwa toa ushahidi, halafu jimai na kula mchana vyote ni sawa huviruhusiki kwa aliye funga ila Kama hakufunga kwa dharura Kama alivoruhusika kula na kunywa ni hivyo hivyo jimai Allah ndo ajuae zaid.huo ndo ushahidi na ww toa wa kwako tuende pamoja NINI haiendi kwa rai hata hivyo jimai nayo ni ibada isionekane ni starehe tu.
@saidisalim7326
@saidisalim7326 2 жыл бұрын
@@medimisi6930 nauliza tuu, ivi jimai hukmu yake ni sawa na kula? Kwann ukila hakula fidia lakni ukijamiiana kuna fidia? Hii ni kuonesha hivi vitu vyote ni halali usiku na ni haramu mchana ila vinatofautiana uzito wake. Hili ni la kwanza Lakini la pili kama kuingiliana kwa mtu anaelipa funga nje ya mwezi wa ramadhani atalipa tu hiyo funga na si kutoa fidia kutokana ni nje ya mwezi wa ramadhani basi ni wazi mwez wa ramadhani una stara yake zaidi. Allah Anajuwa zaid
@hamisjuma4505
@hamisjuma4505 Жыл бұрын
Tunarahisisha Sana ibada huu ni msiba
@abasmaalim5423
@abasmaalim5423 Жыл бұрын
Muna rahisisha we na nani?
@abdallamohammed6069
@abdallamohammed6069 Жыл бұрын
umekuwa mwalimu baba
@Abdul-rahman16
@Abdul-rahman16 2 жыл бұрын
As salaam aleykum warahmatullah wabarakatuh.Allah akuongoze na akuchunge Muhammad. Haya mas'ala yaangalie tena upya na kwa uzuri zaidi.Aliyejitoharisha kutokana na hedhi ajizuie kwanini? Kama kuna dalili ya wazi ingekuwa vizur utubainishie.Na suala la kafara kwa mwanamke tunaomba dalili vile vile.Baraakallahu fiyk.
@alyjaru5923
@alyjaru5923 2 жыл бұрын
Je? Kwasikuile aliojizuia funga itakua ipo au haipo? mana hapo mm sijaelewa
@Abdul-rahman16
@Abdul-rahman16 2 жыл бұрын
Dalili ya kujizuilia ndio tunaihitaji
@saidali9379
@saidali9379 Жыл бұрын
Shukran ustadh! Upo vizuri hapo
@saidmakame
@saidmakame Жыл бұрын
Taja fatwa za wanachuoni wengine using'ang'anie ya Albani tu. Twambie maimamu wamefutu vipi kila mmoja na njia yake.
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Kama hufungi unapiga mzigo tu sheikh nimekuelewa
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 2 жыл бұрын
Hahahahahaa
@fahadhilal1611
@fahadhilal1611 Жыл бұрын
Mayb una point ila ujeuri Wako Nimeona Huna heshma tofauti na marehemu babako
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Yanini kumtaja marehem sio vzr
@fahadhilal1611
@fahadhilal1611 Жыл бұрын
@@muhammedwakif6216 Sababu babake Alikua na hekma
@mustafahakim-iq7dj
@mustafahakim-iq7dj Жыл бұрын
We unaebisha kama sh muhammad kapotosha unaelimu nalo unaweza kutoa dalili ya kupiga iv unajua haifai kupiga kitu usichokua na elimu nacho ushabiki kweny dini sio mzuri na kueka chuki ebu tusomeni kama ni batwil tutajua kwa uhakika ,tusibishane jamaniii
@sahimtourstravel2156
@sahimtourstravel2156 Жыл бұрын
Nothing else mudy usijifanye unaelim kuliko wenye elimu. Kuna watu wana elim zaid yako na hakuna walokosoa vitabu vya wasomi wew ndo wakwanza kushangaza umma kua makin na fatua zako mudy
@dullahmihuri
@dullahmihuri Жыл бұрын
MAJUNGU SIO MTAJI
@saidsalum523
@saidsalum523 Жыл бұрын
Hapo ndio tunapokosea waislamu wa leo,,,tusijidanganye hakuna shehe asiekosea,,tuuseme ukweli,huyu mtoto haki yake apewe,,ajua kufundisha,,japo ana makosa mengi lakin anajitahidi, maashaaAllah
@allyhumoud
@allyhumoud Жыл бұрын
Umesikiliza vizuri????
@abdalahselemani-zk5or
@abdalahselemani-zk5or Жыл бұрын
Ue mtihn
@mtukwaomedia
@mtukwaomedia Жыл бұрын
Umeshangaa peke yako sisi hatujashangaa
@hafidhirajabu7803
@hafidhirajabu7803 Жыл бұрын
Alimundulillah
@FahadAli-gt7qd
@FahadAli-gt7qd 2 жыл бұрын
hapana shkh ap
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Huyo bachu anazinguwa atagombana na kila mtu kwa kujitia ujuaji mbona baba yake alikuwa hana tabia hizi
@footballgaming7104
@footballgaming7104 Жыл бұрын
WACHENI jeoulosy
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@footballgaming7104 haileti picha nzuri viongozi wa dini kutowana makosa hadharani waitane wazungumze waelimishane
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Sasa ikiwa huku ni swaumu..mtu anaeza kufanya kwasa babu ulizo sema inzie ya ramadhani ina kuje asilipe na huku mu ume ishukuwa kwa swaum ala huku chikuwa kwamwezi?hm mahabiiiii mnatabu
@alihamad8959
@alihamad8959 2 жыл бұрын
Kiukwel tusitoeni fatua kwa akili, zetu durudini katika Quran na suna za mtume wetu
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
Toa
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 2 жыл бұрын
Wewe na Shaykh Rusaganya mupo sahihi kabisa
@issahassan8361
@issahassan8361 Жыл бұрын
Nje ya ramadhani mzee hakuna dhambi
@abdullahiddykawambwa-lq2in
@abdullahiddykawambwa-lq2in Жыл бұрын
Wewe mjinga mbona hiyo IKO WAZ JIMAI NIHARAMU KWA WAFUNGAJ I
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina Жыл бұрын
Kwa wasio funga je..??
@starboy-vu8iq
@starboy-vu8iq Жыл бұрын
Huyu juha hutafuta kiki 2 mbele za watu
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 жыл бұрын
Maelezo mazuri mnoooo
@ismailgumbo289
@ismailgumbo289 2 жыл бұрын
Shekh apana kwahilo siwez kuunga hoja yako
@mchajuma4271
@mchajuma4271 2 жыл бұрын
Vizir ila na ww lete hoja bac itapendeza zaid Kwan elimu ni pana yy kafika hapo Kama ww unahoja Zaid come on
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 2 жыл бұрын
@@mchajuma4271 yafaa kuheshimu mwezi wa ramadhan mwenyezimungu ametoa kafara kwa anaefanya tendo la ndoa mchana wa ramadhan angalieni salafi watawapeleka bondeni (kama walivyo wapeleka puta kwenye kuonekana mwezi ,
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 2 жыл бұрын
@@ismailgumbo289 hao ni salafi waangalie sana
@cholosadi4352
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Yeye Salafy wewe ninani
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 Жыл бұрын
Wee bachu msafiri awe hajafunga usiwapoteze watu mke awe hana swum pia msafiri awe hana funga
@cholosadi4352
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Sasa ushaambiwa msafir sasa snafunganini! Acha upungufu wauelewa wewe
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Fatwa Kavu Kavu Bila dalili
@abasmaalim5423
@abasmaalim5423 Жыл бұрын
Ila kapatia ni vile tuu hajatoa nukuu.
@somoematumbo2764
@somoematumbo2764 2 жыл бұрын
Kwa hao wenye dharura sawa lkn wengine wanajipangia safari ili tu waruke chura jamani kuvumilia tu mchana wengine mnashindwa? Nyie mnajiendekeza tu
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 2 жыл бұрын
Sheria iko palepale atalipa hiyo siku
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Ivi Akunaga Story Zingine Kila Siku Mapenzi Zina Zina Zina Yani Viongozi Ebu Someni Mtupe Hadithi Zingine Kila Siku Zina Zina Zina Tendo Tendo Tendo Kwani Ndivo Ivo2
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
Wewe Tu hufuatilii mawaidha mawaidha ya Aina zote YAPO. Inaonesha wewe hupendi kufanya mapenzi.umeathirika kisakologia mpaka unaona NI kitu cha kipumbavu. ELIMU KUBWA KWA SISI AMBAO NDOGONDOGO TUSHAZIPITA
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
@@saidissa8273 Niko Na Mke Watoto Watano Napenda Sana Kufuatilia Maisha Ya Mtume Alikozaliwa Alikopta Mambo Aliyokutana Nayo Maajabu Yaliokuwa Kwake Sasa Mapenzi C Kitu Kidogo Sana Unamwambia Mtu Kufanya Zinaa Ni Alamu Kumeandikwa Wapi Na Wapi Muambiwa C Binadamu Atachagua Yeye Moto Au Pepo Kwasababu Kama Mme Enae Mke Enae Tatizo Nini Tunapenda Kumjua Zaidi Mtume Kupitia Waliosoma Zaidi Yetu Sasa Ukikuta Yuko Shee Anamzungumzia Mtume Mambo Ambayo Unatakiwa Uyasikie Kwa Baazi Ya Mashee Wetu Lazima Tuulize Kwanini Kila Siku Mapenzi2 Wako Mashee Tanzania Wanajua Kumchambua Mtume Vizuli Sana Tatizo Utokea Kipindi Icho Icho Cha Kwenye Tv Anakuja Mwingine Yeye Ni Mapenzi Mapenzi Mapenzi Alamu Alamu Alamu Kwani Akuna Mtu Asiejua Kama Mtoto Wa Kike Uzaliwa Na Bikla Na Bikla Inatakiwa Itolewe Ndani Ya Ndoa Sasa Akitolewa Inje Ya Ndoa Uyo Kachagua Moto Napia Hata Ukisema Awezi Badili Chochote Kwasababu Kama Kujua Zinaa Mbaya Alijua Angali Mtoto Kabla Ya Kufanya Yake Kachagua Moto Mwenyewe Hata Ukisema Vipi Akuna Cha Kuludisha Pale Kwenye Zipu Yake Iliyosalitiwa Nayeye Mwenyewe Tuambieni Hadisi Za Mtume Bila Kuchoka Bila Kuchanganya Na Ya Wazungu Ushetani Wao Usizungumzwe Na Mashee Wabaki Nao Wao2 Wenyewe
@MwalimuAbdallah-qy6jj
@MwalimuAbdallah-qy6jj Жыл бұрын
Haman kitu wew
@hamischuga6320
@hamischuga6320 Жыл бұрын
Hakuna shekhe mjinga kama ww unapenda kuigawa dini kwa masilahi yako binafsi
@ussiothman5569
@ussiothman5569 Жыл бұрын
Acha matuc....
@bebysheni-gf1zf
@bebysheni-gf1zf Жыл бұрын
Afu we shekhe Huwa inanikera
@salimkasim606
@salimkasim606 Жыл бұрын
Anakukera na kitu gani uyu shekhe
@cholosadi4352
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Anamimba huyo anaekereka kwa shekh
@bebysheni-gf1zf
@bebysheni-gf1zf Жыл бұрын
@@cholosadi4352 ee bachu ananiudhi anakelele ananikera hasbialahu wa neema liwakil
@omarybenga9860
@omarybenga9860 Жыл бұрын
Rudi ukasome vizur
@ussiothman5569
@ussiothman5569 Жыл бұрын
Ww kwani una elimu?
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Alisema kweli au quraan ndio msema kweli? Acha kuchanganya maada
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 2 жыл бұрын
Yinyi MAWAHABI nyinyi.... Mungu anawaona.....
@saidnaggy5209
@saidnaggy5209 Жыл бұрын
Kweli
@mzeemtopa1086
@mzeemtopa1086 2 жыл бұрын
Na kuna uaharaka gani wa kufanya hayo mamabo mchana?
@zahorsuleyman3429
@zahorsuleyman3429 2 жыл бұрын
Ikiwa inakujuzu kufanya hivo hayo maneno yke hayana mashiko muhim iwe halali kufanya kw hao wenye udhuru
@Alkaburu
@Alkaburu 2 жыл бұрын
Hujaambiwa lazima ufanye ila inaruhusiwa kufanya
@hassancharo1496
@hassancharo1496 Жыл бұрын
Niamri ya MUNGU Dini c kwako
@iddiali8057
@iddiali8057 2 жыл бұрын
Sheikh. Unafeli. Ramadhan sio mwezi wa kufanya mzaha.
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 2 жыл бұрын
Njoo na hojan
@saidali9379
@saidali9379 Жыл бұрын
Anafeli vipi?
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
Kasome.tendo la NDOA ni ibada
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
wewe kijana wewe wataka uitwe shk na utambulike kuwa ww nu shk,basi kuwa na adabu na masheikh wengine kwani ww huwa unawaita kwa majina yao makavu bila kutanguiza neno shk, أنزلوا الناس منازلهم
@muktazimbuyu6569
@muktazimbuyu6569 Жыл бұрын
Hata wewe huna adabu huyo pia ni Shekh we wamwita kijana
@muktazimbuyu6569
@muktazimbuyu6569 Жыл бұрын
((انزلوا الناس منازلهم))لكن خالفت القاعدة اذ لم تنزله منزله
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
@@muktazimbuyu6569 الجزاء من جنس العمل yeye atapokuwa tayar kuwpa wenzake heshima zao nami nitampa heshima yake
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
Hiyo headline ili nishtua .
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 2 жыл бұрын
Ni wizi (ili wakate m b zako
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 Жыл бұрын
Unaona eee
@saidmakame
@saidmakame Жыл бұрын
Msiba mkubwa sana huu. Kula na kujimai ni vitu viwili tofauti. Hata fidia na kafara zao ni tofauti. Kilichoharamishwa ni mwezi mtukufu wa Ramadhani.
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Жыл бұрын
Halafi hawa
@cholosadi4352
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Halafi ndionini ww
@dumatv2872
@dumatv2872 2 жыл бұрын
HAYA MENONO UMEYATOA WAPI KUWA MSAFIRI AKIFIKA ANAHESABIKA BADO ANAHESABIKANI MSAFIRI?
@musatangajunior5699
@musatangajunior5699 2 жыл бұрын
Tuambie nawewe shehke tupate faida zaidi mana mashehk wengi
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 2 жыл бұрын
😆😆
@medimisi6930
@medimisi6930 2 жыл бұрын
inaonekana elimu yako ni ndogo sana THAKILATUKA UMUKA iv na ww ni wakuuliza hilo
@jasminedamian6032
@jasminedamian6032 2 жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. punguzeni mizozo ndung
@mohamedvuaa1579
@mohamedvuaa1579 Жыл бұрын
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. shekh timiza wajib wako watu wajifunze unapoulizwa jibu sio kukwepa jawabu tambua wewe ni massuul na hata wanaojifunza ni massul tuambie umetoa wapi tuelimishe wengine kwa dalili zilothibiti sio kuungaungatu tukawa hatuna uhakika wa kupotezana njia au kuongozana njia😊😮😢🎉❤
@mdoekibai5063
@mdoekibai5063 Жыл бұрын
wee inaezekana ni1 kati yawale askari
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Ivi Akunaga Story Zingine Kila Siku Mapenzi Zina Zina Zina Yani Viongozi Ebu Someni Mtupe Hadithi Zingine Kila Siku Zina Zina Zina Tendo Tendo Tendo Kwani Ndivo Ivo2
@omarmakame3027
@omarmakame3027 Жыл бұрын
Muogope Allah
@mubirumustafa6679
@mubirumustafa6679 Жыл бұрын
Tatizo hatutaki kusoma tunaposomewa tunalalamika someni dini nikusoma pia na imani iwepo hatueshi kidhana dalili ndo muhimu
@mubirumustafa6679
@mubirumustafa6679 Жыл бұрын
Hata sim zitakusaidia ila ujue lugha ya kiarabu utapata ilim zaidi ewendugu yangu
ARAFAH NI LEO, HAKUNA ARAFAH BAADA YA LEO || SHEIKH MUHAMMAD BACHU
22:39
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 1,5 М.
HIZI NI LAANA HAKUTAKIWA KUMUOMBA RAISI JAMBO HILI ||Muhammad Bachu
15:03
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 44 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН
MAJIBU YENYE NGUVU KWA ABUU IDDI NA OTHMAN MAALLIM_MUHAMMAD N BACHOO
41:46
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 160 М.
ATHARI ZA LGBTQ
5:31
IQRAAMA Online Tv
Рет қаралды 1,7 М.
Masalafi wa kweli na masalafi feki||Muhammad Bachu
13:53
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 44 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA NNE |Muhammad Bachu
49:45
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 63 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН