Masalafi wa kweli na masalafi feki||Muhammad Bachu

  Рет қаралды 44,753

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 452
@user-nx3xi9hb3t
@user-nx3xi9hb3t 3 жыл бұрын
Namuomba ALLAH akuongoze ewe mtoto WA Sheikh Bachu
@yahyasix9025
@yahyasix9025 3 жыл бұрын
Allah akupe barka zote. Hakika chema huzaa chema. Huo ndo ukweli kilichobakia labda mtu ajitoe mshipa w fahamu tu kubez kwnye kundi lake. Nawanasih waumini tuachane n makundi tuelekee mstari mmoja tu kw ajili y kupeleka mbele uislamu.
@zuhrasherally2824
@zuhrasherally2824 3 жыл бұрын
Crystal clear..ALLAHUMMA baarik..like father like son
@just_this_way
@just_this_way 3 жыл бұрын
Ma Shaa Allah. Ustadhi umechangamka na kusema kweli kama mimi kipindi hicho nikiwa chuo kikuu.
@mohammedmatumla538
@mohammedmatumla538 3 жыл бұрын
Jazaakallah khayraa Mu'allim, Na Allah akuhifadhi, mana isijekufikia hatua mtu akitwa kwa jina la kundi lake akajiona ni fakhaari na mwenye kujitukuza.
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 3 жыл бұрын
Shukran shaykh Allah akuhifadhil Ila nasaha zangu Kwak kama muislam Baadhi ya misamiati unayo itumia haiko Salama na Ina vunja Moyo Kwa namna moja au nyengine
@wachinendachionlinetv4338
@wachinendachionlinetv4338 3 жыл бұрын
Hakun cha kuvunja moyo kk. Huo ndio ukeli anaousem shekhe
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Zama hiz ukiweza kurekod tu bac unatupia wafuac utakutana nao uko uko
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
@@wachinendachionlinetv4338 Sasa kusoma ukubwani ni aibu kwanini asikosoe kosa aloliona ?? Je hawa tunowaambia waje misikitini waje kusoma ni vip ?? Je mtume kasoma elim yake akiwa mtoto ?? Abu bakri je ? Omari je alikua mtoto ?? Abu hurayra je alikua mtoto ?? Je yeye bachu hana Darsa za wakubwa wanachukuliaje ?? Ni maneno ya kijahili si ya kielim kabisa jazba nyingi elim kidogo.
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 3 жыл бұрын
@@wachinendachionlinetv4338 Ina maana kusema "huku kusoma ukubwani ni ulimbukeni" ww unasapoti hii ibara?? Iv ni maswahaba wangap wamejiliwa na uislamu nao ni watu wazima na wakawa ni katk maulamaa??
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 3 жыл бұрын
@@wachinendachionlinetv4338 Kupenda sana na kuchukia sana ni ktk sababu zinazo mfanya mtu kuzuilika kuiyona haki na hata akiiona anashindwa kuifuata hivyo kama tunaon na kwamb shykh hapa kapitikiwa haina haja ya kukaa kimya Kwa sababu Dini ni nasaha nae pia ni binaadamu anahitaji kufundishwa na kukumbushwa pia
@MikidadiShaban
@MikidadiShaban 2 ай бұрын
Yaan ww nifala kikubwa nikuombee duaa allah akuongoze
@hamisisaidi9525
@hamisisaidi9525 6 ай бұрын
Nachokupendea tu huwa hutumii akili yako huwa una toa dalili, shukrani kwa ilo
@zuhrasherally2824
@zuhrasherally2824 3 жыл бұрын
Sikiliza kuanzia dk 11..yaani very well said mash ALLAH
@alwiahmed4779
@alwiahmed4779 3 жыл бұрын
Wallah sheikh ww kila video Zako nikiangalia nikukosowa watu nakukusowa mambo ya watu basi MASHALLAH ww watu onyesha ni msomi Sana TOO MUCH KNOW
@ulfatis-haq6009
@ulfatis-haq6009 3 жыл бұрын
allah akuepushe na husda na akupe moyo wa kijasiri kuutetea uislam
@saidrubeya6415
@saidrubeya6415 3 жыл бұрын
Mashallah baba yako mtupu..allah arehem nassour bach.amen wanyooshee kwenye mjia ya mtume na allah..
@zubedasuleiman4322
@zubedasuleiman4322 3 жыл бұрын
Alhamdulillah leo nimejifunza Allah akuhifadhi shukran jazakallah khayran
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 3 жыл бұрын
Alhaahu akbar Alhwaa Akihifadhi Mwalim wangu .
@babawawili3139
@babawawili3139 3 жыл бұрын
ALLAHU AQBAR SHUKRANI ALLAH AKUPE AFYA NASIHA UZIDI KUTUPA ELMU
@mariammohd3515
@mariammohd3515 3 жыл бұрын
Subhana Allah wewe mtoto sema kweli mungu akubarik uko sahihi hawa salary wa leo wanamashaka kusoma ukubwani kazi kweli kweli sheikh nakubali wanasumbua watu
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Marima unaunga mkono matusi kwa maswahaba maana wao walisoma ukubwani kama mnakosoa kosoeni ilo mnalilokosoa kwa hoja si kwa jazba na kuwakatisha watu tamaa hivi wapi imeandikwa kua kusoma ukubwani ni ila kielim ?? Unaunga mkono jazba Dada ?? Abu hurayra kasoma mtoto? mtume wako kasoma mtoto? Omar kasoma mtoto ?je hawa wazee wetu wa leo mama zetu wa leo tunowaambia waje misikitini wasome ni kazi bure nhe ?? Kweli nyie wahuni watupu mmekutana.
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Mtume صلى الله عليه وسلم Amesema kweli haiondoi elim kwa kuivua kwa watu lkn anaiondoa elim kwa kuwafisha wanazuoni had asipokua mwenye elim watu huwachukua viongozi wajinga kuwafanya ndio maulamaa wao. Mzee bachu kafariki Rahimahu llahu watu wanaokota okota matap tap eti mtu anapongeza maneno ya ujinga hayana mizani ya kielim yamebeba jazba anasema sema kweli sema kweli hajui zuri wala baya huyo anaepongeza . Allah lmustaan.
@mohammedkimanga8960
@mohammedkimanga8960 3 жыл бұрын
Shukrni sna sheikh tuko pamja kutoka Kenya 🇰🇪
@my-vb2to
@my-vb2to 3 жыл бұрын
Mashaallah sauti kama sheh nasoro bachu Allah amrehemu kweli ww ndie mrithi wake Allah akuongoze maisha yako yote
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 3 жыл бұрын
Daaah yaan mtihani kweli kweli wallah ila tutabakia kukudhania kheri tu
@abuusalafy7956
@abuusalafy7956 3 жыл бұрын
Kubali kuwa wew nimtu wabidaah sugu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 жыл бұрын
Safi sana shekhe wetu. Kichwa maji tu ndio hataelewa ulozumgumza
@herimbarushimana9328
@herimbarushimana9328 3 ай бұрын
Masha Allah. Allah azidi kukupanulia kifuwa chako ili elimu unao iongezeke. Naomba mwenye yuko na number za sheikh anipe please.
@yustoedward2224
@yustoedward2224 Жыл бұрын
Mashallah allah akuhifadhie
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 2 жыл бұрын
auwez kuwa muislam wa sawa ukiwa unapenda dunia na unachukia kufa
@ibnuomar1770
@ibnuomar1770 3 жыл бұрын
Well said. Mashaa Allah
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 7 ай бұрын
Ndo Kwanza Leo uongee ukweli huku kwetu chwaka mpaka watu wamegawana miskiti
@hamadali5062
@hamadali5062 2 жыл бұрын
Mashallah Allah sheikh. Hivjo umesoma hadithi za mtume katika vitabu vja maibadhi? Jee umesoma tafsiri ya qoraan kutoka kwe masheikh wa kiibadhi? Soma kwanza kwa kutaka kujuwa na kutaka ukweli Kisha wahukumu. Nakuomba sana sheikh usifanye haraka wala hasira. Soma kwanza vitabu vjao ni katika kutaka ukweli. Usiyahukumu madhehebu bila kuyajuwa unaweza Kuja kukosea. Allah atuongoze wote waislamu.
@Stanbul.Y
@Stanbul.Y 3 жыл бұрын
MashaAllah tumekuelewa
@shukranathman4051
@shukranathman4051 3 жыл бұрын
Safi sana Maa shaa Allah, well said. Hafahamu asotaka kufahamu...
@omaraliy6144
@omaraliy6144 3 жыл бұрын
hili jamaa lina mattzo sana
@abbyknj9992
@abbyknj9992 3 жыл бұрын
Vizur shekh dawa imeingia hiyo wapewape hii iwe dozi kunawengine wamesha anza kukejeli huku kwenye comment
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 3 жыл бұрын
huwezi kujifunga kwa sheikh moja kisha ukatoa msimamo wako kama kweli we ni mtu wa elm
@salhacker7728
@salhacker7728 3 жыл бұрын
Ndugu yangu achana na hyo mada inakushusha hadhi. Pambana na maswala mengine UNAYO YAWEZA unao wakusudia wakikurudishia tutakupoteza kabisa. Endelea kusoma Akhy shaur zako kama huta fata ushauri wangu
@abdulkarimkaniki8800
@abdulkarimkaniki8800 3 жыл бұрын
Kunakujua kusoma na kuna kuelewa kilicho kusudiwa kwenye maudhui ,Hivi dogo umeelewa hiyo karatasi ulioshika ? Umenipashaka ulipo jiapiza kuwa kamasio hivyo ulivyoelewa utaacha kusoma ! Ushauri Elimu haipohivyo ndiosababu wanachuoni na masalaf humalizia na taamko WALLAHU A'ALAM Allah akuongoze
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 3 жыл бұрын
masha Allaha
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 3 жыл бұрын
hata mujitahida hawakuwahi kujiapiza juu ya kutoa fatawa BALI walisema Allah ndio mjuzi na MILANGO ya kuwafanyia usurubu ipo wazi maana wao si wakamilifu
@AbasijumaKuzacha-zw3lz
@AbasijumaKuzacha-zw3lz 2 ай бұрын
Acha ujuaji ww panda mimbari na ww tuone
@mireztv2217
@mireztv2217 3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh dah hii imenizindua sheikh kuwa vikundi havifai katk dini lkn kufuata misingi ya walio tangulia ambao salaf saleh inafaa nimekupata vizur
@salehshaaban1170
@salehshaaban1170 3 жыл бұрын
MASHAA.ALLAH!!!!Wewe kweli umemfahamu na umemkubali..kuna waliomfahamu lakini hawataki kumkubali bado wameshikilia na mgawanyiko katika uislamu. ...Allah s.w atunusuru na migawanyiko katika uislamu 🙏
@ibnuomar1770
@ibnuomar1770 3 жыл бұрын
amevtaja vikundi vng hpo maalim, ibadh, sunni, salafi... sasa hiii salafi sio kikund kwnn ufuate hki tu? Na sheikh tyr kashasema tusifuate vkundi?
@iddyayoub4318
@iddyayoub4318 3 жыл бұрын
Mashallah tunashkuru ahk
@abutafawa
@abutafawa 3 жыл бұрын
Jazzak Allâhu Khayran akhui
@yusuphabdullah8790
@yusuphabdullah8790 3 жыл бұрын
Mashaallah umesema ukweli Allah akulipe
@alidochi2889
@alidochi2889 3 жыл бұрын
Kidogo kidogo tutafahamiana insha'Allah
@seifmwafumo1418
@seifmwafumo1418 3 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha ha
@AbuuKhayraat
@AbuuKhayraat 3 жыл бұрын
خالف .... تعرف.... Nenda Kinyume... Ujulikanwe
@ahmedjuma2674
@ahmedjuma2674 3 жыл бұрын
Mm najua kuwa alietengeneza kikundi cha kisalaf ila kuna wanao futa uislmu kwa njia ya usalafi
@abubakarihussen8852
@abubakarihussen8852 2 жыл бұрын
Dah kweli ww shekhe nimdogo kiumli lkn upoe wako ni mkubwa pia elimu ya malehe babaako bado tunaiyona inasogea hakika upo sawa sawa atakae pinga niwale wenye vikundi inshaallah allaha akuripe heri zaid
@fahmisaid7364
@fahmisaid7364 Жыл бұрын
Waamshe wamezidiiiiiiiiiiiiii
@sultanismaili
@sultanismaili 3 жыл бұрын
Allah anataka tuishike kamba yake(Quraan) na tusizozane.
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
Kwa maoni yangu makundi mengi yanakua na misingi yao ambae wanakua wameamini ni sahihi, sasa kundi na kundi likishatofautiana msimamo ndo tabu inapoanzia!! Tukubaliane khitilafu zipo katika dini na elimu ipo kwa Allah na wala hatuna ruhusa ya kufarikiana!!.Kujiegemeza moja kwa moja katika kikundi flani kinaeza kikakutia ugumu kuikubali haki kutoka upande mwingne ikikudhihirikia na hakika tunakubaliana kwamba asiekosea na mkamilifu ni Allah pekee.
@nassrajuma8140
@nassrajuma8140 3 жыл бұрын
Duh umesema kweli kma. ni uongo masheikh ztu wakisalafy wengalikuradd kma othaman maali ila wamepoaaaa
@ahmedlao7273
@ahmedlao7273 3 жыл бұрын
Mtukufu sheikh mohamed bachu : nnavyo fahamu mimi ni kwamba TABLIGH ni harakati sio kikundi na pia TABLIGH haina msikiti maalum miskit mingi hufanywa tabligh.
@jiongezeemaarifa1496
@jiongezeemaarifa1496 Жыл бұрын
صدقت
@salumusule8602
@salumusule8602 3 жыл бұрын
Mashaallah, vizury mwalim
@قناةأبيقتيبةالشيرازي
@قناةأبيقتيبةالشيرازي 3 жыл бұрын
ولا شك أن التسمية الواضحة الجلية المميزة البينة هي أن نقول : أنا مسلم على الكتاب والسنة وعلى منهج سلفنا الصالح ، وهي أن تقول باختصار : (أنا سلفي) " .[مجلة الأصالة العدد التاسع شعبان/1416هـ ص 86 ـ90 ] شيخ الألباني رحمه الله
@nassrajuma8140
@nassrajuma8140 3 жыл бұрын
mwambie mafuta ajibu kma kakosea huyu kma othmani alivyjibiwa
@قناةأبيقتيبةالشيرازي
@قناةأبيقتيبةالشيرازي 3 жыл бұрын
@@nassrajuma8140 eeeeeeee dadaweee ushamaliza kumhudumia mumeo au upo2 waongea na wanaume ela unajwa wajibu wako ww half mafuta hawez kumjibu mtu wa thanawiy maana mtoto Sanna hajawa bad uyo kielim Wal kiakili Wala kifikra
@قناةأبيقتيبةالشيرازي
@قناةأبيقتيبةالشيرازي 2 жыл бұрын
@@nassrajuma8140 huyo mpumbav2 hawez akajibw
@abdulqadirmasuo1550
@abdulqadirmasuo1550 2 жыл бұрын
@@قناةأبيقتيبةالشيرازي Kumtukana mwenzako ndio sifa waliokuwa nayo سلفنا الصالح ama?
@mubarakaibrahim5715
@mubarakaibrahim5715 Жыл бұрын
Mashaa Allah. hawa masalafi wa Tanzania badhi yao wengi sana viongozi wakubwa ni mtihani .ALLAH awaongoze pia awafamishe khaqi maana ni wajanja ktk din wamebaki na maneno tu na sio vitendo
@قناةأبيقتيبةالشيرازي
@قناةأبيقتيبةالشيرازي 3 жыл бұрын
وسئل- رحمه الله - : ما تقول فيمن تسمى بالسلفي والأثري ، هل هي تزكية؟ فأجاب سماحته : (إذا كان صادقا أنه أثري أو أنه سلفي لا بأس، مثل ما كان السلف يقول: فلان سلفي، فلان أثري، تزكية لا بد منها، تزكية واجبة).( التحفة المهدية لمن سأل عن معنى السلفية ص 35) وهي من محاضرة مسجلة بعنوان: "حق المسلم"، في 16/1/1413 بالطائف.) قاله ابن باز
@kosemraul3419
@kosemraul3419 3 жыл бұрын
Aameen. Maasha Allah. Kijana amesoma kisawasawa. Mungu akuhifadhi sheikh Muhammad.
@abdulhaleemsalim1059
@abdulhaleemsalim1059 3 жыл бұрын
Amesoma nn kutukana mashekh
@kosemraul3419
@kosemraul3419 3 жыл бұрын
Matusi yako wapi hapa? Kuna tafauti baina ya elimu na matusi. So elewa kutafautisha.
@alihamisi1280
@alihamisi1280 3 жыл бұрын
زادك الله علما وهدى وحرصا عليهما
@Vapes_zanzibar
@Vapes_zanzibar 2 жыл бұрын
Bitiii
@abbassaleh9549
@abbassaleh9549 3 жыл бұрын
Naona anajizonga tu ah tofautisha usalaf na wasalaf
@musseleng.2124
@musseleng.2124 3 жыл бұрын
Haahahahaa...wewe nae unajizonga.
@fahmisaid7364
@fahmisaid7364 Жыл бұрын
Waambie babaa watowe maskio taka
@hudhaifamsafiri8731
@hudhaifamsafiri8731 4 ай бұрын
SWADAKTA❤❤
@kuambianakassimu4993
@kuambianakassimu4993 3 жыл бұрын
Vizuri sana hii ndio haki wambie hata kama inachomachoma
@abdulkadirshekhuna4708
@abdulkadirshekhuna4708 3 жыл бұрын
Hamna kikundi kinacho itwa kikundi Cha tabliikh mama ya tabliiq shee unfahamu mengine Allah atufahamishe
@allymnimbo4304
@allymnimbo4304 3 жыл бұрын
Uzuri wa jina sio kigezo cha kupatia kwa yale yanayofanyika
@hashimiddi4789
@hashimiddi4789 3 жыл бұрын
Allah akubariki
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 жыл бұрын
Umejeruhiwa kijana
@قناةأبيقتيبةالشيرازي
@قناةأبيقتيبةالشيرازي 3 жыл бұрын
يقول شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله : : ( ولا عيب على من أظهر مذهب السلف وانتسب إليه واعتزى إليه، بل يجب قبول ذلك منه بالاتفاق؛ ما تقول يا جاهل فإن مذهب السلف لا يكون إلا حقاً،
@jacksonswai8090
@jacksonswai8090 3 жыл бұрын
Wallah nimependa hoja yake kuwa kikundu chao kipo karibu na haki, n kwel kabisa kila mmoja hakosi changamoto
@aliy3303
@aliy3303 2 жыл бұрын
Naomba hapa ni masjed Mahfoudh or wapi
@ebrahimadan3630
@ebrahimadan3630 3 жыл бұрын
MashaAllah Jazaakallahu khayran
@criminal03mostwanted71
@criminal03mostwanted71 3 жыл бұрын
Ustadh wangu ni 🔥🔥🔥
@yahyaally9876
@yahyaally9876 3 жыл бұрын
Kabisa kabisa, Sheikh tumeeewa zaidi ya kuelewa Allah atuongoze njia sahihi.
@yahyaally9876
@yahyaally9876 3 жыл бұрын
Kabisa kabisa, Sheikh tumeeewa zaidi ya kuelewa Allah atuongoze njia sahihi.
@saidikhalifa8592
@saidikhalifa8592 3 жыл бұрын
Alla hapendi huwezijuawewe upokwenye kundi gani🙏Alla ndiyemjuzi
@harithzulfikar1575
@harithzulfikar1575 3 жыл бұрын
Sheikh ALLHAMDULILLAH jee ulishawahi kwenda tabligh Mimi naomba number zaako sheikh manaa tabligh inakufundiaha sunna na maamrisho ya ALLAH hakuna zaidi nakuwakumbusha ndugu waislamu hakuna ziada sheikh Wala Hawa kuingili
@salhacker7728
@salhacker7728 3 жыл бұрын
Sub hana llah. Akhy nilikua nakusikiliza sana ila kwa hili bora hata ungesema nikushauri kuliko haya unayo yasema.
@ABUUALLY-b3t
@ABUUALLY-b3t Жыл бұрын
Mbona sasa kitugani kilichokufanya kubadilikaa?
@HoodAnu
@HoodAnu Жыл бұрын
Na wewe kikundi chako cha jadida
@قناةأبيقتيبةالشيرازي
@قناةأبيقتيبةالشيرازي 3 жыл бұрын
طالب الحق يكفيه دليل، وصاحب الهوى لا يكفيه ألف دليل، الجاهل يُعلّم وصاحب الهوى ليس لنا عليه سبيل. محمد ناصر الدين الألباني محمد ناصر tusha yako kauli mbovuuu umesoma wapi wew mpak unasem maneno kam hayo hata mashwahaba huoni ubora wao mpaka unafikia hatuwa yakusem hiii mijitu iliyo soma ukubwani
@khamismwadini2169
@khamismwadini2169 3 жыл бұрын
sheikh hueleweki kaulizako zinajigonga gonga halafu uzungumzaji wako inaonesha unachuki nawatu fulani ,juuyako kusema kheir au nyamaza,usipo nyamaza maneno yatakupoza
@zahormbwana690
@zahormbwana690 3 жыл бұрын
Allah akibar
@mustayoo
@mustayoo 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh.
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 2 жыл бұрын
Jazakallah
@abuujuhaima5588
@abuujuhaima5588 3 жыл бұрын
Tuambie ww uko upande gani akhiy tuambie
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 жыл бұрын
Yale majibu uliyojibiwaga ukakimbia nahisi now umeengeza elimu uwezo unao utaweza kuzuia moto
@قلبسليم-ي1خ
@قلبسليم-ي1خ 3 жыл бұрын
ww Muhammad bado sana, binafsi yangu siikujui hata upo ktk aqida gani, nakuona mropokwaji tu, kila mtu wa mradi wewe. ALLAH akuongowe ktk aqida iliyo sahihi
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 3 жыл бұрын
Naskia ikiwa wewe hujui mtu ana aqida gani haendi peponi...ungeijuwa aqida yako usingepata tabu...
@saidimadzumba2266
@saidimadzumba2266 Жыл бұрын
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_. sheikh wetu usithubutu kujibizana na walioganda! Watakuvunjia Heshima!
@mohammedsalim974
@mohammedsalim974 3 жыл бұрын
Akhi upo sahihi na haya maneno ni ya ukweli mtupu na yoyote yaliomgusa bax moyo wke lazma utajirudi na kubadilika.. Ila mtu akiweka mapenzi ya sheikh zao bc wataumia kisha wtatoa maneno machafu kam wlivo zoea kutoka kwa masheikh zao
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 3 жыл бұрын
Hapo nakupongeza
@salumnuhu9066
@salumnuhu9066 2 жыл бұрын
Kwani kujinasibisha ndio kutengeneza kundi?
@قناةأبيقتيبةالشيرازي
@قناةأبيقتيبةالشيرازي 3 жыл бұрын
سئل الشيخ مقبل بن هادي الوادعي رحمه الله تعالى :- عن حكم الانتساب إلى السلفية والتسمي بها ؟ فأجاب بقوله : ( أمر طيب سواء انتسبت إلى السلفية أم السنة ..وهذه النسبة ليست كنسبة الحزبيين ..
@myonlineteacheracademy8207
@myonlineteacheracademy8207 Жыл бұрын
Naaam madhhabu ya sawa ni Assalaf
@abdillahismail8287
@abdillahismail8287 3 жыл бұрын
Hapo kweli kija.a migogoro.imezid kwa vikundi ila juwa raddi inakuja huko wenzio weshapat sas na ww utaipat ila jitahid ukweli hubaki ukweli
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Aaa walijaribu kumraddi lkn washakimbia wenyewe
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 3 жыл бұрын
Maswahaba walisoma ukubwani shekhe. Kauli yako kusema kusoma ukubwani ni ulimbukeni ifute unawavunja moyo na wengine.
@mariammohd3515
@mariammohd3515 3 жыл бұрын
Wewe umesoma wapi huyu mungu alosema wasomesheni watoto kakosea umesoma wapi sisi hatuwezi kua sawa sawa naswahaba huyu kazungumza kwa maisha yetu acha kibri cha nafsi hii dini ukweli usemwe tu hats ukinuna kaka
@sleimanwtwaha9983
@sleimanwtwaha9983 3 жыл бұрын
@@mariammohd3515 dada mariyamu unakosea kusema hivyo kuna baadhi ya maulamaa wamesoma ukubwani
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 3 жыл бұрын
Nimesima baharini@ Mariam
@ashrafuissa2492
@ashrafuissa2492 3 жыл бұрын
Sheikh Bila ya shaka ujahili ndio unao kufanya hivyo Allah akuongoze kwenye njia ya sawa Sina kabla ya kusimama kwenye membal
@omaratik1839
@omaratik1839 2 жыл бұрын
Wallaah sioni kwamba Kuna Tafauti kubwa Wewe sheikh's Mohammed au akina Abdallah Humeid na sheikh Qassim Mafuta Ni Vitu vidogo Sana Alhamdulilah Nyote na sote Hakuna Mkamilifu ni Mngu Lakini Wallaah Tuko njia ya Haki .
@heyysean8661
@heyysean8661 3 жыл бұрын
mashaallah amiin
@intisarmohamed8026
@intisarmohamed8026 3 жыл бұрын
Kwaiyo sheikh watu wazima wasisome
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 3 жыл бұрын
Umemfahamu vzr lkn duh!!!
@أبومعاذاللّمكي
@أبومعاذاللّمكي 3 жыл бұрын
إنا لله وإنا إليه راجعون إذا أسند الأمر إلى غير أهله فانتظروا الساعة
@قناةأبيقتيبةالشيرازي
@قناةأبيقتيبةالشيرازي 3 жыл бұрын
معك حقاً
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 3 жыл бұрын
هؤلاء هم الرويبضة الذين يتحدثون في شأن العام
@ahmadsaid5845
@ahmadsaid5845 3 жыл бұрын
M najua abu fulani kama hajasema abu mwenzake hakubali ataa ...ukweli ni ukweli tuh clazima utoke kwa abu fulani.....
@nassrajuma8140
@nassrajuma8140 3 жыл бұрын
@@hassan4k7 jite salafy halafu hna amali ta moja ukaone kasheshe
@nassrajuma8140
@nassrajuma8140 3 жыл бұрын
@@hassan4k7 ww akhy hujafaham uthaymin kasema fuata njia ya salafy na ucjiite salafy...au hujui kiarabu akhy
@salummajigamajiga2870
@salummajigamajiga2870 3 жыл бұрын
Mashaalla
@Ibratz255
@Ibratz255 2 жыл бұрын
Swali langu ni moja tu mtume alivosema vitatokea vikundi 74 katika umma wangu na kikundi kimoja ndio kitaenda peponi alimaanisha nini kama wew unasema ni haram kutengeneza vikundi ?
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Kikundi hiko kimetajwa ndani ya kur an ni kikundi cha mtume na maswahaba zake na kila moja atakae fuata hao(mtume na maswahaba)kwaio ukishakua unamfuata mtume na wema waliotangulia basi unaingia apo
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Nifahamishe wapi mtume kasema khulafau Rashidun ni Abubakar, Omar au Othman
@uledihassan6065
@uledihassan6065 2 жыл бұрын
صدفت ما قلت أنك عالم هذه الأمة
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 3 жыл бұрын
MashaAllah zakaAllah kheir
@haroubsalim779
@haroubsalim779 3 жыл бұрын
Huwezi kuwa nje kikundi, Huwezi kubeba Uislamu nje ya kikundi, Mtume saw hakuweza kubeba Uislamu peke yake Bali alitengeneza kikundi na akakipa ufahamu wake wasaidiane kazi, Kufuata wema waliotangulia ndio kundi lenyewe la waislamu hilo, kundi ndio mpango mzima wa kupeleka Uislamu, huwezi kukataa kundi ukafanikisha kusimamisha Uislamu kama mfumo, Elimu ni pana usifahamu vyako ukadharau rai za wengine kwenye Aya mutashabiha.
@masouddaud4075
@masouddaud4075 3 жыл бұрын
Yap ni kwelil
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
Je yafaa kutengeneza vikundi vikundi katika dini? Nifundishe kutoka kwenye quran na sunnah
@abubakarihussen8852
@abubakarihussen8852 2 жыл бұрын
Haroub salim huja elewa mana ya vikundi alivyo zungumzia hapa kuna watu kama sio salaf hata salam hawakup kuna watu kama sio salaf hata ukitaka mke kwao hawakup kuna mtu kama sio salaf ukiwa na shida hawakusaidi na kuna misikiti yao ndo wanaswali ss huyu muhamadi Bachu ameelezee kua huisilam hauendi ivyo hata siku moja unambiwa usile chakula cha watu wabidah upo mi njia yangu ni kufata waja wema walio tanguria ila sio vikundi
@ahmadifakimjaka1433
@ahmadifakimjaka1433 2 жыл бұрын
@@Yu-jr9uf Lazima kuwe na kikundi cha watu ambao wakeshikamana na haki.
@cadabragenius1751
@cadabragenius1751 2 жыл бұрын
Hiki kikund kiliiitwaje
@adambandari8908
@adambandari8908 3 жыл бұрын
Kwani wanaojiita Masalafii hawafuati maswahaba? Makundi yote yatapotea Ila moja tu!!!Sasa wewe mbona unakataza makundi na Hali Mtume SAW amesema yatakuwepo?jipange dogo!
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 3 жыл бұрын
Kayakanyaga uyo kakurupuka sijuwi katoka usingizini.
@kalifkhalifa106
@kalifkhalifa106 3 жыл бұрын
Mtume (SAW) alisema yatatokea makundi tofauti ila moja ndilo litaingia peponi , na hakusema mufate makundi.
@kalifkhalifa106
@kalifkhalifa106 3 жыл бұрын
Nilivyomfaham mim sheikh apo anaelezea kuwa haifai kujinajisibisha n kuni kujita ww sunni au salaf , inafaa tujue wanaojiita sunni au salafi wanafanya mamb yepi kwenye dini mpaka wao wanajiita hivyo.
@kalifkhalifa106
@kalifkhalifa106 3 жыл бұрын
Au ibadhi
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 3 жыл бұрын
@@kalifkhalifa106 yeye kakosea .mtume katuambia Ni kundi moja tu ndo tukifate baada ya makundi 72 Sasa nilile liitakalo kwenda na mwenendo wake .na wanazuoni wakalitafsiri nilile liitakalo fuata quran na sunna kwa ufahamu wa maswahaba kwa iyo wewe ukifuata huo mfumo ndo utakua ktk Hilo kundi nalo Ni la wema wote waliotangulia na ndio ikapatikana salafy swaleh .yani wema waliotangulia ..Sasa Kuna kosa wewe kusema mm sitafuata isipokua Cha wema waliotangulia na wewe ukawa ktk hao
@abuuirfan9523
@abuuirfan9523 3 жыл бұрын
Mijisalafi ndio nini tumia lugha nzuri shekhe
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 3 жыл бұрын
Watu wa maandamano mbona hujawataja mashekh zako wa uamsho walo kueka msikitini. Au wao sio watu wa maandamano.
@alonealvin4534
@alonealvin4534 3 жыл бұрын
Ukifwatilia video zake aliwahi kumwambia sheikh farid kuwa alkuwa hawakubal mambo waliokuwa wanayafanya
@salimmgangq6425
@salimmgangq6425 3 жыл бұрын
Nikweli shekhe bachu kikundi hicho kipo kina Kufurisha kilashekhe asie endana na upande wao Wana dharau na kukuona kua wao ndio watu wa peponi na wengine wote ni watu wa bidaa washirina Yaani wanadharau Sana hawa jamaa
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 жыл бұрын
Acha ushabiki unajua maana ya kukufurahisha Mcheni Allah na huyo shekh yuwaona comment zenu amche Allah
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 3 жыл бұрын
@@abrahamansaidi8631 ushabiki gani wakati anazungumza ukweli jamaa Wana matatizo sana kila shekhe kwao wao sie wala asisikilizwe huu mbn mthn dah!!
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 жыл бұрын
@@mahamoudduchi3318 ndio hakuna kuwasikiliza ahlulbidaa Unawasikiliza wa nini na ushabainikiwa na haq na watu wake Hako kajamaa ni mahzbi wazi wazi na wanaomsapoti wamo humo humo na ahlulbidaa sufiya wafata bendera wamo humo
@neemafatu7885
@neemafatu7885 3 жыл бұрын
Yaani inashangaza sana. Mtu kama unafuata qur an na SUNNA za mtume na mtu aogope kufanya bid aa basi..sasa utakuta watu wa SUNNA pia wanajigawa ooh mara salafi mara vile . Akerekwaaaa!
Muhammad Bachu||MANENO MABAYA YA QASSIM MAFUTA NA ABDALLAH HUMEID
52:59
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 99 М.
Majawabu kwa Abu iddi juu ya hoja za utata kuhusu funga ya Arafa|Muhammad Bachu.
34:10
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 35 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Majibu kwa Izuddin||Umeipata wapi Tafsiri hii||Muhammad Bachu.
31:35
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 58 М.
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
Рет қаралды 26 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 23 OKTOBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,5 М.
🔴LIVE: SPORTS COURT NDANI YA WASAFI FM  I 23-10-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 157
ASILAUMIWE  RUSAGANYA ALISEMA KWELI//INAFAA KUFANYA JIMAI MCHANA WA FUNGA.
16:00
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 106 М.
Muhammad Bachu KAMA HII SIO SHIRKI BASI TURUDINI TENA TUKASOME.
21:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 65 М.
Majibu ya kielimu kwa Yussuf Diwani na Al hadi Mussa||Muhammad Bachu.002
34:32
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 37 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 35 МЛН