Huwezi kumuelewa sheikh Muhammad Bachu Hafidhwahu Allah mpaka upate rehema za Allah. Bila ya hivyo utaona ana bwabwaja, lakini ukweli yuko kwenye fact kwenye maelezo yake. Allah amjaalie elimu zaidi na yenye ucha Mungu
@HashimSalim-qj7znАй бұрын
Umesema kweli ila ttzo watu hua hawasikilizi na wanacoment bila hata ya kumsikiliza ni kwa sbbb ya chuki zao tu ila anachokiongea kiko ktk mstari
@BADAWY575 Жыл бұрын
Inasilitisha sana tena hawa ni ma ostadth wenye kidundisha dini na dini inatufundisha kusitiriana ukiona mwezio anafanya makosa mfate umwambie ana kwa ana huo ndio uislamu sasa hawa wanagombana huu sio uislamu .Allah awasamehe na awape ufahamu kwa wanalolifanya na wajielewe wanacho kifanya .
@BADAWY575 Жыл бұрын
Kabisa shekh wangu hizi zama zinatisha .kuna aya katika Qur'an tukufu inasema hakika mashekh wenu ndio watakua ni fitna kubwa.sasa hawa wakifundisha watoto ile hadith kua muislamu hafai kumkosoa mwenzie hazarani ni kusitiriana.unaona hapo kua hawa ni fitna.media ni Dajal mfano huuu ni mkubwa hawa yamepoteza imani kwajili ya viwes pesa yani unawacha dini unataka pesa kama sio Dajal ni nn hizi media.
@fatmasalim71322 ай бұрын
Aamin yaarabby
@mudiali4506Ай бұрын
Yaskitisha, saana. Na sheikh hawa nikukusowana tu. Huyu hajui huyu mrongo. Sass hapa uma una jifunza nini kwenu. Mara, Sheikh izudini. Tafsiri kiarabu. Mara mtume Roho yatokka, Mara, malaika wagombeya, Sjui watoto wetu madras watafata lini. Mgekutana, kabla ya kurusha clip. Kwa lugha lakini. Mka fundishana vzuri. Bila, chuki. Hapa sasa wasio kuwa, Waislam watawaelewa vip ikiwa twarumbana, Sisiwa Islam. Samahan.mtufundishe kwanza Qouran tukufu.
@ibrahimameir8063 Жыл бұрын
Wewe ni SHEIKH miongoni mwa Masheikh Allah akujaalie pepo InshAllah
@baalawibaalawi5702 Жыл бұрын
Assalamualaikum, kwako shk, Muhammad bach,Alhamdulillah unajitahidi k.t.k. d'aawa tunamumba Allah akulipe ujidra mkubwa, Yaa shk, Kitukidooogo tu jitahidi uwe nacho nacho ni hekma katika kutangaza elimu, Usiwaite baadhi ya mashk waongo tena kwa dharau, itapelekea upinza nani, chuki, na uwadi baina yetu.
@GoodluckPaul-wf9gn5 ай бұрын
Sheikh endelea kutoa elmu ya haki na Mwenyezi MUNGU atazidi kukujaalia afya,kheri dunian na Akhera. InshaAllah.
@jumanjenga7682 Жыл бұрын
Tafadhali mashekhe tumieni lugha nzuri kukosoa au penye tofauti.Hasa wadogo Kwa wakubwa.Maimamu wakubwa walitofautiana na walitumia lugha nzuri.
@الشيخخسين Жыл бұрын
Yarabi nakuomba muhifadhi sheikh wetu Muhamed Bachu. Mengi nimejifunza kutoka kwake.nilikuwa ni mtu wa maulidi baada ya kujua ya kwamba haya hayamo kwenye quran na Suna. walahi nilishtuka kama nimetoka usingizini. Mimi niseme tu sheikh umetuzindua kwa wale ambao hatujui chochote Mungu akulipe kila la heri. Pambania haki usiogope viumbe hawatoku saidia chochote mbele ya Mungu.
@yussuphsaleh2165 Жыл бұрын
Shekh Muhammad bachu tunakutakia KILA la kheri katika kuweka Sawa pale penye makosa , tunamuomba mungu akuephshie KILA la shari,, Amin
@Yanga_sc_30 Жыл бұрын
Daaaah we jamaa unaakili kiduchu kweli aysee Allah Akuongoze unahoja nyepesi alaf unazitngia maneno ili ziwe nzito daaaah innalillah
@fatmamusa4552 Жыл бұрын
Yaa Allah. Allah akuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu, Allah akujaalie umri mrefu wenye kheir tuzidi kupata tanabahi. Afu huyu sheikh mwengine Allah amuongoze yaa Rabb maana daaah
@abuuabuurashid2754 Жыл бұрын
Mashaalah ALLAH akupe uhai na afya njema uzidi kutuelimisha sisi tuofuata tu kila tunayoambiwa na mashekh
@YusufuYusufujuma Жыл бұрын
Sheikh Muhammad bachu Allha akuzishie ilmu Hawajamaa ukweli washaufahamu ilatu kwakutaka kutetea ukubwawao kwa wanao wafata ndo unakutawanatoa maneno ya kebehi jeur nazaraukwako Ila ukweliwoote washaufahamu
@seinabelimi2296 Жыл бұрын
mashaa Allah yani umemueza kwa kusema malaika wote wakaacha kaz zao majukumu yao wakaacha wakaja kupanga line yani ulistaili kumwambia muongo kaka mola akuhifadhi zaid na zaid tupate ilmu zaid Ammyn🤲🤲
@abubakarabdulrahman286 Жыл бұрын
ALLAH AKUPE UMRI TWAWIIL WENYE MANFAA HABIIB
@jumamuhammed7421 Жыл бұрын
Nyote ni mashekhe wazur nawapenda kwa ajilo ya Allah, ila nahisi mungetafuta njia nzuri na sahih yakurekebishana ktk njia sahihi sio malumbano mitandaoni.
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Umekuwa kero kwa wazushi. Mungu akulinde na vitimbi vyao
@abuuamourmuhamed1934 Жыл бұрын
Hahahaaaa uko sahihi
@mrdayssaidnahrrel6773 Жыл бұрын
Sheikh al khatimiy akubali tu hapa mana hana point uwo ni uzushi alioongea yeye mana anahadithia kama alikuepo au ameona movie sheikh bachu mashallah upo sahihi ✊
@fatmasuleiman2710 Жыл бұрын
Tunapata ilmu ya kutosha Alhamdulillah sheikh Allah amuhifadhi kigogo wetu.
@seifkifundi904 Жыл бұрын
ELIMU GANI MBAYOPATA YA.KUPIGANA RADDI WAISLAMU KILA SIKU NDIO ELIMU MNAYOPATA...MNAUWA NGUVU YA KIISLAMU THEN MNAFURAHIYA
@saadiramadhani4190 Жыл бұрын
Mwana wa bachu yaonyesha bado ni mchanga sana katika ilmu japo wasiojua ambao ni washabiki2 hawana wajualo ndio wamuungao mkono
@saadiramadhani4190 Жыл бұрын
Tuacheni ushabiki katika dini jamaniiiii. Akhera tutamjibu nini ALLAAH???
@@saadiramadhani4190LAU WATU WATAACHIWA WAIVURUGE DINI KWA KUPACHIKA MAMBO AMBAYO HAYAMO KTK DINI KHATAR YAKE INAKUA KUBWA ZAIDI KULIKONI HILO UNALO LISEMA
@mawaidha386 Жыл бұрын
Yani wakitokea watano tu halafu wakiwa na msimamo Kam wa Muhammad bachu .... Bidaa na uongo umekwisha
@omaryomaryally7420 Жыл бұрын
Mashaallah tunajivuniasana kua na watukama nyinyi mungu akupe afya njema na mwisho mwema Muhammad bachu
@mawaidha386 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Muhammad bachu ... Hawa jamaa ni wapungufu wa kumbukumbu hii mijadala ilishapita jamaa wao kaja kuamsha juz.. mlango wameufungua wenyewe lkn kuufunga Sasa ndio kishindo... halafu wengine nao Ati umaarufu dah wamekubwaa na fikra za kijaahili kwaiyo mtu ndio akiwa marufu akikosea ndio asikosolewe na akitokea mtu kumkosoa ndio anatafuta umarufu ?? Subuhana llah alikosolewa firaini na alikua akijulikanwa sana Sasa ww nani mtu wa kawaida tu asikoselewe .... Kisa maarufu mbele ya Allah hakuna mtu maarufu... We pitisha jitihada Allah anaona kwamba umefikisha .. shukran
@barakahoma2956 Жыл бұрын
Mimi nampenda kwa ajili ya Allah Allah hamsafishie njia ya sawa sawa na hawaongoe walipotea na kuupotosha umma kwa ajili ya maslah ya kidunia Allah ampe Nuru na uwongofu wa sawa sawa na hatufundishe kupita yy Muhammad bachu Yale Allah na mtume Yale ya sawasaw
@abdulazizabdallahsalim8392 Жыл бұрын
Allah akupe hikma na afya na elmu zaidi Sheikh Muhammad bachu,, nakupenda Kwa ajili ya Allah
@salehaljadidi8206 Жыл бұрын
Mungu amlaani huyu Mbulushi koko Bachuu arudi kwao Gawadar Pakistan
@abdulazizabdallahsalim8392 Жыл бұрын
@@salehaljadidi8206 ulaaniwe ww unaetukana mashekhe, hujajua daraja zao na kazi kubwa anayoifanya, ww usiwe kama wale summum bukmun umyun fahum laa yarjiun
@salehaljadidi8206 Жыл бұрын
Kelb naar wewe abidi mmoja wewe, kazi kutukana madhehebu ya watu wengine, nenda ukafirwe mbali huko wewe kenge mmoja
@salehaljadidi8206 Жыл бұрын
@@abdulazizabdallahsalim8392Labda wewe na huyo Bachu wako mnafirana ndio maana unamtetea huyo Mbulushi koko
@abdulazizabdallahsalim8392 Жыл бұрын
Allah akusameh
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Maremba maremba kanasa kalitafuta kusudi.haqi itabaki kua haqi tuu.sheikh muhamed bachu tunaomba darasa ya vitabu iendelee.
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Sheikh Muhammad bachu we noma!!... namuomba M'mungu akujaalie mwisho mwema na elimu itakayotunufaisha,unajua kutengeneza hoja,nipo na ww na maulidi siendi
@yunusali5728 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@cishahayoali1136 Жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullahi Wabarakatuh! Tunashukuru sana sheikh Muhammad nasor bachu kwa kusahihisha mada muhimu sana kwa waislam, twaomba waislamu wote popote pale walipo duniani tuwe makini sana na tuchukuwe tahadhari na maneno yasiyo kuwa na ushahidi kutoka katika qur’an na sunah!
@ayubosman129 Жыл бұрын
kusahihisha kwa mtandaoni hio sio sunna ya mtumme s,a,w
@asraoman735 Жыл бұрын
@@ayubosman129 bora hivi mana hata yy alipoteza wengi mitandaoni
Na yule mwengine pia umemwambia coz nae amemuuliza uko sawa kweli??
@Salmaomary-o8t Жыл бұрын
Maashaallah! Allah amrehemu sheikh Nassoro Bacho hakika ameacha alama nzuri ya kuigwa katika dini. Wenye elimu wanajua madhara na hatari ya kuongeza kitu chochote katika dini hata kama utakiona ni kidogo sana mithiri ya mdudu chungu. Allah amlipe kila muislamu kwenye kuuhami uislamu kwa mujibu wa Qur'anj na Sunnah na pia Allah amlipe malipo makubwa zaidi kila muislamu mwenye uchungu wa dhati na dini ya Allah anakubali kurekebishwa pale anapoteleza ili umma wa kiislamu unufaike. Sheikh Muhammad Bacho Allah akuzidishie ufahamu zaidi katika dini.
@abiabi9353 Жыл бұрын
Sheikh wako hajajibu kitu.tatizo la mawahabi hawajui kutumia nyenzo za lugha.ndiyo maana wameingia kwenye mtego wa mujasima. Hapo sheikh Hatimi alichokusudia siyo malaika wote kwa maana ya wote.hapo alichokusudia ni malaika wengi.sasa msomi gani anatoa misuli yote kwa kitu kidogo hicho
@ibn_maleeqqeibraheem_188 Жыл бұрын
Sheikh muhammad bachu uko juu mpe ilmu uyo khurafi awache mawlidi kwanzo na mabarzanji yao ya shirk
@yussufsaid8223 Жыл бұрын
Shekh Muhammad kaka angu Allah akuhifadh na husda akupe istqama katika dini,
@Haruna-kz1qk Жыл бұрын
Duh mungu amuongze huyu shekh
@salmaabubakar1686 Жыл бұрын
Assalamu alaykum hongera kwa kuufafanulia ummah haki na Allah azidi kukuhifadhi ila naomba jambo moja shekh mwisho wa ujumbe huu na baadhi nyengine kuna ala za muziki ziondowe .....Allah akuzidishie elimu inashaAllah
@Hamidhamid-xe8dz Жыл бұрын
MashaAllah umemyoroshs kiilmu,Allah akuhifashi shekh wangu, watu wa maulidi wana tabu kweli
@msafiridiary Жыл бұрын
Wallahi Bachu nakupenda kwaajili ya Allah mpaka basi, hao waliotumwa kutoka bara na znz ni maboya tuu hawana hoja kwa Qur'an na hadith sasa wanataka kukufanyia fitna tuu, ila wewe andelea kutupa elymu sisi waislam wa kawaida tunusuru
@tushuhassan3809 Жыл бұрын
Allah akupe umri Mohammed bachu uzidi kuwanyosha hii dini ina mipaka wasionge kwa matamanio yao
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Kwakeli na kubali ufahamu wa hiyu muhamadi bachi ina kili abaso hazina fahamu
@masoudamour Жыл бұрын
MINAIC APO NIKUGHAFILIKA KM NINADAMU WAKAWAID MUSAMEHEANE YU KWAN WAIS LAMA NIWATU WENY KUPENDANA PIA TUNAPO FAHAMISHA TUTU MIE HEKMA KM ALIVO MYUME ILI HATA YULE UNAEMKOSOA ACPATE JAZBA KIKUBWA APO NYOTE MUNAONGEA VZR MASHALLAH ILA TUJITAID KUA NAHEKMA APO NDO INAYO SABABISHA MBUTANO
@walidrashid9787 Жыл бұрын
Maashaallah yunamuomba allah akupe umri wenye manfaaa
@jamaldineali3228 Жыл бұрын
Barakallahu fiika sheikh wango mpendwa natamani siku moja niwe mwanafunzi wako, Na usiku wa jana kuamkia leo nimeota wakati umekuja inchi yetu ki daawah alafu ukawa unatusomesha kwenye msikiti flani
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Maashaallah
@mohdslim8278 Жыл бұрын
Je Elimu yako imekamilika . Kuwa na Hekima na maneno mazuri sio kuzalilishana . Huu sio uislamu unadhalilisha Uislamu. Allah akusaidie.
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
Wallshi shekh mie nakufatilia sana na tunakupenda kwa ajili ya Allah huyu kazowea ndio kawaida yake anakupnea wivu na hakuwezi na pia hana adabu kwa ufupi hakuwezi Allah akupe umri mrefu allah humma amin yarabil alamin🤲🤲
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
Shekh Mohamed nasor bachu mungu azidi kukupa subra
@fahmymasoud1205 Жыл бұрын
Sio kumpa subra...awe na adabu na masheikh wenzake...yy atoe mawaidha km masheikh wenzake sio kuparamia wenzake...nikutaka umaarufu tuu mbona wenzake wala baba yake hakua hivyo...tunawapa faida gani wasiokua waislamu
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
@@fahmymasoud1205 ndungu kwani huyo alhatmy alimjibu Tena alimtaja jina ama huoni kwamba huko nikukosa adabu pia
@anwarsaid7627 Жыл бұрын
Tusipende mizozo mashekhe wetu mwatupoteza maana hulinganii humjubu Flani na fulani humjimbu ama mwatafuta umaarufu likes muna elimu tumieni hiqma katika kukumbushana sioni haja ya hayo tusio soma mwatupeleka wapi
@johariabdalla3319 Жыл бұрын
Daaah!Ustadh Muhammad Bachu..M Mungu akuhifadhi,tunasoma mengi kupitia wewe,endelea kuwafunuwa watu vichwa.Watu wanaharibu sana diniii
@omarally6819 Жыл бұрын
Allaah akupe nguvu na qabuul ktk kusafisha yasiofaa ktk Dini yetu, wewe na Mashaayikh wa Sunnah walio baki
@omarally6819 Жыл бұрын
Nakuombea maisha marefu na afya njema na muda wa kutosha wa kufanya ba'hthi Shekh Muhammad
@safiakhamis6749 Жыл бұрын
Amin
@abdillahally872 Жыл бұрын
Adabu huna mtoto wa Bachu kama hujamuelewa sheikh Alhatimy huwezi kuelewa tena umepewa ushahidi bado tu huelewi
@abdillahally872 Жыл бұрын
Wewe ndio wahamahama
@mohammedshikanda7706 Жыл бұрын
Assalaam aleikum sheikh Muhammad , wallahi Allah akuhifadhi. Nina uhakika hii haezi jibu...tunafaidika sana na ufafanuzi wako.
@AbdulkarimPhiri Жыл бұрын
Allah akubariki sheikh wangu nakupenda Kwa ajili ya Allah
@nercyb7619 Жыл бұрын
Mola Akujaze Kheir Na Ilmu Na Akuhifadhi Utuelimishe Zaidi Akhui
@omarally6819 Жыл бұрын
Mimi daaiman wa abadan namuomba Mola Mlezi wetu Allaah Azza Wajalla akulinde na akuhifadhi na shari za watu waovu na watu wazushi-watu wa bid'ah. Ila elimu unayo itowa kuelimisha na kurekebisha ufahamu ulio kwenda upande ni Elimu kubwa sana kwakweli, yalaiti watu wange zingatia kisemwacho na wasiangalie aliesema basi Ummah wa Kiislamu unge piga hatua kubwa sana.
@kasimukiduba4484 Жыл бұрын
Mashalaah kweli kbs sheikh wetu
@salumsimai642 Жыл бұрын
Kweli ikija haqi batili hupotea MashaaAllah
@ibrahimomar1073 Жыл бұрын
Al akhi Muhamad Bachu,Kwanza kabisa Namuomba Allah msamaha juu ya HILI nililolifanya kisha Nakuomba msamaha kuwa nakutaja sana KWA ubaya,na juzi pia niliweka status kukudhalilisha KWA kuandika.
@yussufali8883 Жыл бұрын
Subhanallahh yaani maiti imeshuka wenyewe hii kweli ilokuaa haijawahi tokea
@YuzzoJamal-qd3dd Жыл бұрын
Je mtume S.A.W alifanya ivi dini mnaifanya km tarabuuu sio sawa hakuna mwenye kujuwa zaidi ya Mungu
@saudahassan6667 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah sheikh wetu allah akuongoze
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
WEWE BACHU ULISEMA HAKUNA ANOJUA GHAIBU ILA ALLAH SW, LEO UNASEMA KUWA MTUME SAW AMEFUNGULIWA GHAIBU. UWAHABIA NI KAZI. KILA SAA FATWA ZINABADILIKA. UTAFAHAMU TU KAMA MPAKA MAWALII PIA WAMEFUNGULIWA GHAIBU
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
NASHKURU PIA BACHU KUWAMINI KUWA MALAIKA WANAOKOA MTOTO MELI IKIZAMA. KUWA KUNA UOKOVU MWENGINE ALLAH SW KAWAPA WAJA WAKE WAWEZE . UNAJITAHIDI UTAELEWA TU INSHAALLAH KIDOGO DOGO. NAONA UMEKUWA UNAFAHAMU KIDOGO SKUIZI UNATIA MOYO
@AW-vt9pw Жыл бұрын
MashaAllah, Sheikh Allah akuzidishie fahamu zaidi na zaidi tufaidike na mengi mengineyo. الحمدالله
@kaykastro9302 Жыл бұрын
ALLAH AKUHIFADHI , USTADH MUHAMMAD BACHU ..... AMEEN
Mtu akisema maneno ya haki ashapewa majina na aenda sijui wapi, thats racial bruh ..... wacha watu wapime maneno ya sehemu zote na wafuate haki iko wapi. Kila mukiponda mtu, watu wanazaidi kumskiza anapondewa nn ! Hakki will always prevail.
@salehaljadidi8206 Жыл бұрын
Bachu arudi kwao Gawadar au Mekran akawasaidie ndugu zake wanakufa na njaa. Kang'ang'ania Zanzibar kama kwao. Babu zake waliletwa na Sultan wa Oman kama askari, Sasa Sultan hayupo tena nini anachongojea asirudi kwao Baluchistan
@muhamadsuleiman1719 Жыл бұрын
Pole sn shekh Muhammad banchu kwa elimu yk ndogo jitahidi sana kuelewa na kusoma maana ww kwel haupo sawa samahan lkn hapa ndonimejua kuwa elim yk ndog hilo swali lako ni laki toto
@omaryissa2562 Жыл бұрын
We unaelimu ya kuongea na Mohammad bach au wataka kiki
@kibakombe1020 Жыл бұрын
Kuzungumza kwa ukali sio kwamba una elimu sana, kwanza jifunze adabu za kujadiliana na wengine hasa wenye elimu, nakushauri ukasome tena lakini mara hii usiende madina kule madina wanafundisha taasubi kwa madhehebu mengine kama ulivyo wewe MUHAMMAD BACHUUUUU. KWAJIFUNZE TENAA
@abuusalim158 Жыл бұрын
A.akm. Mashekhe wanapoteza nguvu katika ubishi usiokuwa Na faida. Umma unapotea ,ushoga umekithiri,waislamu wanaritadi vijijini. Wao wanahubiri madhehebu Yao. Hawa niwakutiwa bakora wote.
@suleimankindy6465 Жыл бұрын
Mashaa Allah... hii nimependa na inapendeza... Baarakallahu fiyk
@salimuawadhi8043 Жыл бұрын
Shekh Muhammad mungu akulinde na Shari za kilakitu na akuhifadhi na yote mabaya tumestafid sana na elimu.uliotoa Sisi hatuna Cha kukulipa Ila kukuombea dua Kwa Allah TU baasi huyu shekh Al hatimy mungu amuongoze na Mimi napenda kumkumbusha TU kua HII ni DINI na inafuatiliwa na wengi so achunge maneno ya kuongea ahakikishe kayapokea wapi asione anajilemba kubwa akaona kila atakachosema tutakiamini bila dalili shukran
@mkude Жыл бұрын
MAASHA ALLAH, ALLAH A KULIPE KILA LA KHEIR UPO SAHIHI AKHUY,ALLAH AKULINDE NA AKUPE UMRI MREFU.
@kassimali2273 Жыл бұрын
Nimekuelewa Shekh Bachu
@hakizimanaomar8055 Жыл бұрын
Allah atuhifadh hamwezi kukosoana kihishima Bira kuaibiana nakubomowana
@mubarakhemed2414 Жыл бұрын
Sh. Muhammad bachu Allah akuzidishie elimu ya hakki na kupe subra na hekma na nguvu na wepesi insha'Allah ili uweze kutuelimisha sisi na hao wanaotaka kukufedhehi kwa chuki zao lakini kwa idhni ya Allah watanyooka tuu, ipo siku wataielewa haki na kwa uwezo wa Allah wataifuata, na sisi tunamumba Allah atudumishe kakika haki, tuko pamoja insha'Allah
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Sheikh bachu hana pupa anaeleza, kwaumakini.
@seinabelimi2296 Жыл бұрын
hakika uko sahihi na ww ndo unatuzindua wengi Allah akulipe ujira mkubwa ndani yke akuweke na kizaz chako Thuma Ammyn🤲🤲
@arafatsaid920 Жыл бұрын
sema ni kama munatumia dini kujionesha nani anajua nani mwamba zaidi kuliko kutaka kuelimisha watu. Ila mashallah kwa elimu muhamad bachu anahatari ila ongezeni umakini
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Allaah akulide kwauwezo wake. Hawa mashehe wa Madufu na wakuomba watuwa makaburini ni. Mtihani sana Allah atujaaliemwishomwema🤲
@abiabi9353 Жыл бұрын
Hapi sheikh wako hajajibu kitu .nikwamba mawahabi hawaeliwi kutumia nyenzo za kilugha.ndiyo maana wameingia kwenye mtego wa mujasima. Yani kumpa mungu viungo.ambao ni ukafiri
@imamuhamisi4421 Жыл бұрын
برك الله يا شيخنا، الله يعطيك عمر طويل، اللهم آمين
@shafisaggaf1889 Жыл бұрын
Muhammad kelele walishindwa wazee wako utaweza wew kelele nyingi na matusi na dharau
@NMJAsaid Жыл бұрын
Assalaamu alaikum warahmatullah wabarakaatuh. Jamaa kachafua tena, kadhihirisha ukosefu wa elimu. Tuweke sawa sheikh ingawaje ukweli uko wazi. Hawa wazushi hawaogopi shirk sheikh wangu
@shelalialishelali958 Жыл бұрын
Mashaa Allah jazakaAllah kheir kwaufunuo wako sheikhi
@issahabdallah9018 Жыл бұрын
Wajua shekh bachu mpaka Leo naiona hii clip na nacheka pekeangu lakini sijui nacheka nini,
@omarally6819 Жыл бұрын
Na kwakweli hao waliopanga mipango ya kuja kukuchafua wata chafuka wao Kwa uwezo wa Allaah, Na tunashangaa Uislamu na Imani za watu hawa, wanajifanya na elimu ya Dini lkn kazi yao ni kupindisha maandiko na kuwafanyia uaduwi Mashekhe wa Haqqi. Hii ni dhahiri kua watu hawako kwa ajili ya Dini, bali kuna mambo yako mbele yao hayo ndio wanayo yaangalia ndiomana wana kua na uaduwi usiopimika. Allaah akulinde na shari zao
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Kwa kweli kupitia Media hizi tunapata kuwajuwa Masheikh waongo na uzushi mkubwa katika dini. Allah tujaalie kuona haki haki tupate kuifuata, na tuoneshe baatili baatili tupate kuiepuka(Amin)
@maharusiMedia Жыл бұрын
Haifai mashekhe kulumbana hadharani na kuitana waongo na kusutana Mtasababisha uislam uonekane hauna mana. 😭 Ni bora mkakutana kwa wema mkafahamishana yakaisha kwa salama.
@khalmudodoma6271 Жыл бұрын
Hawalumbani bali watupe eliminate ya kweli sio kuifanya dini kuwa ngumu aliyakuwa wanaongea kwa kubahatisha na kusoma hadithi wasijuwe maana
@msarama5406 Жыл бұрын
Wakilutana wao sisi wa mbali tutapataje ilmu hizi
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Humu katika Media za kijamii tunapata kujuwa Haki na Batwili. Maana Mungu amesema Haki IPO wazi na Batwili IPO wazi
@msarama5406 Жыл бұрын
@@abdallahmgaya7521 hakika ni kujitahidi kutumia kwa faida mitandao hii miongoni mwa faida ni kama hizi elimu
@msarama5406 Жыл бұрын
@@abdallahmgaya7521 hakika ni kujitahidi kutumia kwa faida mitandao hii miongoni mwa faida ni kama hizi elimu
@abuibra Жыл бұрын
Sheikh MUHAMMAD Sawa kabisa Usemayo, ALLAH Akuhifadhi tafadhali sana usirudi nyuma kuwakosoa maana wamezidi Dini yetu imekamilika haihitaji kuzidisha wala kupunguza,wengi wanajitia kuhubiri dini lakini elimu zao ndogo sana alafu wakikosolewa wanachukia.hadithi nyingi zilikua zinatolewa na bibi zetu kabla ya kulala usiku nawatu wamezichukulia kweli.
@abdullahihirbo1677 Жыл бұрын
Hakuna haja ya kubishana kwa media kama kweli wanapendana kwa ajili ya Allah wangetafutana wakae mahali waonyeshane ndio watupe habari ya ukweli...
@abuibra Жыл бұрын
@@abdullahihirbo1677 hiyo ni kwako wewe kutaka kujua ukweli lakini mimi nafahamu ukweli na ukweli wenyewe ndio anao usema Shaikh Mohammad Bachu.
@hiuchionekwa9122 Жыл бұрын
Umetisha shekh🏃♂️🏃♂️🏃♂️Akijibu nishtueni
@dengepandu9734 Жыл бұрын
Tatizoletu waislam kilamtu anajuwayeye inalilah
@MattarOnlineTV Жыл бұрын
Hapa ni mwendo wa maandiko tu
@mawaidha386 Жыл бұрын
Watu wamechotwa katika usingizi mzito Sasa mtu achafue akitokea mwnginne wa kueka sawa eti anaambiwa anatafuta umarufu kwaiyo subuhana llah imebakia watu wamwabie Mtume alikua anatafuta umarufu mana aliwakosoa majaahili wakubwa tena walikua maarufu kuliko hata huyu Al hatimy ... Na watu tuchunge kauli zetu tusije kuingia katika madhambi ... Shukran
@suleiman5257 Жыл бұрын
Hapo umemshika vizuri sana Hatmy akubali tu amekosea Wala asiendelee ataiabisha
@khamisjuma7616 Жыл бұрын
Usitumie neno muongo sheikh wangu wala usitumie nguvu kubwa sisi tunakuelewa
@nercyb7619 Жыл бұрын
Haitokei Wala Haitotokea Kwa Akhi Al-Hatimi Kueka Mjadala Wa Ana Kwa Ana Sababu Hana Hoja Za Kimsingi Na Hilo Analijua Yeye Hatimi
@bahatihamissi1161 Жыл бұрын
Shekhe upo sahihi kabisa ALLAH akulipe kheri Inshallah
@ImranAbdallah-o7j Жыл бұрын
Na hata kama ni wote,,Kwa mungu sio kazi kubwa kujaalia hivo,,ama lashindikana Kwa mungu?bachu huna hoja Wallahi..hata usiendelee kujiaibisha
@abdulfattaahnassir8266 Жыл бұрын
اللهم ارزقني حسن الخاتمة وبارك الله فيك أخانا محمد باشو
@aminaliabdulle9428 Жыл бұрын
ا
@shifaayetu126 Жыл бұрын
Mayahud Munakaz kubwa Sana Kupinga maulid Daima Yatadumu Sasa Nyinyi na Mayahudi wenzenu Endeleen Kupinga
@abdulrahmanmussa4479 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh langu umefanya mtu aonge kimombo sio mchezo swadakta
@mbanomrage604 Жыл бұрын
Kaelewa huyo shekh wa kenya. Tunamsubir tuone atakauja na jambo gani lingine. Alikua hakujui vzr
@khelefomary4486 Жыл бұрын
We we huna hekma futa jina LA Bachu. Huwezi ukatumia muongo mkubwa sio neno zuri ulo tumia. Au alikuchukulia mkeo. Ndo ukawa na hasira hizo. Itakuwa we we huna adabu ya elimu.
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi akulinde na shari zao
@abdurahmanabdallah2403 Жыл бұрын
MUHAMMAD BACHU UBAYA WAKO WAKIMBILIA KUJIBU KABLA KUONANA USO KWA USO NA UNAE MPINGA.KISHA TATIZO LAKO NI UKOSEFU WA KUFAHAMU
@mawaidha386 Жыл бұрын
Ww ndio unafahm zaidi Kwa hio tufahamishe na ww hao malaika waliwezaje hayo mambo yaliwezknaje ....NYINYI ndio hamjafahm hadithi ... At malaika wote ... Apo nlicheka kidogo . Na maiti nae ... Kwa Leo masufi mumenchekesha kidogo
@HashimSalim-qj7znАй бұрын
ALLAH AKUHIFADHI TNAKUELEWA VIZUR
@oldmanmpitanjia2805 Жыл бұрын
Barak allah lakum
@swabiralii140 Жыл бұрын
Mwatuchanganya nyinyi maustadhi
@swabiralii140 Жыл бұрын
Wacha sifa bachu
@dengepandu9734 Жыл бұрын
Nyie mnayenu acheni habarizenu
@husseinmongolare34175 ай бұрын
Shukran ❤❤
@seifkifundi904 Жыл бұрын
HUZUNI KWA WAISLAMU WANAPIGANA MADONGO KAMA.WAIMBAJI TAARAB
@saidmadizi9152 Жыл бұрын
Watu wanachukua ilimu we unaskia malumbano badala uchukue uache kupotoshwa
@Sein169 Жыл бұрын
Natamani ningesoma
@yunusjulhum6066 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu ili uazindue umma wetu wa kiisalamu