Tumekuwa wapumbavu kwa kuacha mila na desturi zetu zenye nguvu. Mimi naamini mila zile zilikuwa na nguvu, ndiyo maana tulikuwa tukiomba mvua kwa Matambiko, mvua ilinyesha siku hiyo hiyo. Tulizipuuza dawa za asili, lakini leo ndizo zinazoonekana kuleta manufaa hasa katika janga hili la Corona. TURUDI TULIKOTOKA. YA KALE NI DHAHABU.
@oraphmbata88584 ай бұрын
Seen
@barakaadams88964 жыл бұрын
Asante kwa kunijuza
@suleimanali83174 жыл бұрын
Jese unapotesa muekeo
@anoldprosper39234 жыл бұрын
Sjui tunakwama wapi jamani his dini zilitutoa kwenye reli kabosa mtu ukijtambua turudi kwenye asili yetu
@fficialeliactz13894 жыл бұрын
Noma xn
@nabiimgongolwa87284 жыл бұрын
Tuko pamoja hawa wazungu wametuharibia sana, Afrika tujitambue.
@kasembebarakah44944 жыл бұрын
Kbsa mkuu
@jumaomary2392Ай бұрын
Sana mkuu sio wametuhsribia tu wameiua kabisa nguvu yetu yetu ya africa
@fasanitzfasanitz96314 жыл бұрын
Tricod media unafeli wap ulikua vzur apo mwanzo acha nahawa wachungaji story zako moto