Kuna watu wana Mapenzi na nchi yao.!! MABWEGE watamuona Fala. Ningekuwa tajiri ningemuongezea Zawadi.
@nsiamassawe30754 жыл бұрын
Aloyce Kiwia Hajapata hasara, uzalendo una heshima na amepanda cheo pia amejenga uaminifu mkubwa. alichotengeneza hapo ni zaidi ya milioni 10
@iffahbahet14994 жыл бұрын
Hayajakukuta Wewe usiongee😂😂
@alisenipeter43074 жыл бұрын
Safi Sana hii ndio heshima Mungu akupe moyo wauzalendo Kama huo balikiwa Sana
@aginesisayakomba56854 жыл бұрын
Chanda chema huvikwa Pete hongera sana afande
@saidmsuya94204 жыл бұрын
Dahh nimekumbuka kambi ya new line miaka hiyo tulikikua tukiishi kweli maisha yana songa umeme ulikua bure maji bure nyumba bure huku mtaani sasa
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Yaani hongera sana kwa nidhamu uliyofanya ila ingekuwa ni mimi ningeipokea na kazi nafanya vinzuri tuu naangalia haki iko wapi maana sijamwomba mtu anipe hela
@weremawangwe69224 жыл бұрын
Huyu kwa uwadilifu wake mungu kamketisha pamoja na wakuu da ni fulaha sana make hata mshahara utapanda
@mohamedbushoberwa94184 жыл бұрын
milion moja ya kupewa kwa heshima ni bora kuliko milioni kumi
@musajanlamusajanla46174 жыл бұрын
Kabix
@justooluoch24684 жыл бұрын
@@musajanlamusajanla4617 hiyo in kweli kabisa, hela ambazo hazina laana ni bora hatakama ni kidogo,Mimi ni Mkenya na tazama nikiwa Niarobi
@yusufkechbow81534 жыл бұрын
Acha ujinga wewe... Ela ela tu.... Ela ya heshima ndio hela gani?.. Hio million 1 anaweza Asipate hata boda boda mbovu, hizo Milion 10 angepata Carina yake Au Rav 4 Yake safi Bora hio million 10 wangefumba macho wakampa tu kamanda, sidhan kama atarudia hilo kosa
@emmanuelbonifase11144 жыл бұрын
Inakuja milioni moja na cheoo
@bennychawala27764 жыл бұрын
Hongera sn
@whitesolwa51334 жыл бұрын
Safi Sana amempendeza mungu nawanadamu pia mwaminifu safi
@salymkitumbika86444 жыл бұрын
WaTanzania ni wagumu kuelewa angepokea million 10 wangegawana na mwenzie mil5 tano kila mmoja kaikacha million 4 kapanda cheo pia mshahara umeongezeka kubwazaid Imani imezidi kuongezeka jeshini ambayo ni kitu kikubwa mno zaid ya million 10 kupanga ni kuchaguaa
@jawaziissa82134 жыл бұрын
Kitu kibaya ni kuwa Imani hailiwi.
@hemedhamis16524 жыл бұрын
Hahahaaa
@eriqemarson23624 жыл бұрын
Inahitaji IQ kubwa sana kulielewa hili jambo hapa ulilolizungumza....
@salymkitumbika86444 жыл бұрын
@@jawaziissa8213 kweli kabisa ila inaleta ugali maharage ukitaka ikiongezeka sana huleta wali kukuu #kupanga_ni_kuchaguaaa
@salymkitumbika86444 жыл бұрын
@@eriqemarson2362 kabisa wenye fikra za kula kulala hawawezi elewaaa
@lusajovilindila86804 жыл бұрын
Asante sana
@maximillianmayani51192 жыл бұрын
Hongera kamanda ila afande RPC mhhh kitambi hicho
@kelvinbamuhiga20274 жыл бұрын
Hongera we ni mfano wa kuigwa
@georgeisdoryisdory69894 жыл бұрын
Wazarendo bado wapo wenye spirit ya viapo na nchi bado wapo Safi Sana huyu ndie alie timiza ahadi ya kiapo Chake😀🙏🙏🙏
@aginesisayakomba56854 жыл бұрын
Amekunywa maji ya bendera afande inahitaji ujasiri sana binafsi namppngeza sana
@delorisdaniel1944 жыл бұрын
Hongera sana, pesa umepewa na cheo umepandiahwa . Hata kama ni kidogo lakini saa hii watajua cheo ni dhamana. Sitapokea wala kutoa rushwa. Je mumesahau kanuni?
@valerianmakanda42694 жыл бұрын
Kapandishwa cheo uyoo m.mungu aendelee kuwafany waepukane na majalibu amen
@erad-tv50014 жыл бұрын
Heli M.1 ya Harali na heshima kuliko M.10 za Udhalimu
@imansaid80204 жыл бұрын
Naam, na cheo kupandishwa
@daudijohn6094 жыл бұрын
Hapo na cheo juu na cheo kikipanda na mkwanja unapanda
@jasonbahath65704 жыл бұрын
Kapata faida Sana Kwan alikuwa sugent,,kapandishwa mpaka staff station sugent mshahara mkubwa
@mageuzimwampamba28554 жыл бұрын
Naipongeza serikali kwa ilichokifanya... Ni vizuri sana kuwapa pongezi wale wanaofanya mambo yenye tija ktk taifa hii Inaleta Motisha
@nusurakajubu87854 жыл бұрын
Million 1 inazidi mshahara wake 😎au nimesikia vibaya
@ramadhanyusuph23244 жыл бұрын
Ndio inazidi mshahala wake
@kibajr97674 жыл бұрын
@@ramadhanyusuph2324 how
@rajabundonyi324 жыл бұрын
Nusura Kajubu 1
@leticiandiyo13844 жыл бұрын
Hajapoteza bahati kama alivyokataa na akajulikani na je angekubali si angekua hana kazi kabisa kapandishwa cheo na zawadi juu
@halimasaleh57054 жыл бұрын
Leticia Ndiyo 😗
@lucasshilagwa13424 жыл бұрын
Safi sana .
@charlesmataba83444 жыл бұрын
NAKUMBUKA 824KJ ,.....HUO NDYO UZALENDO....LAZIMA HESHIMA NA NIDHAMU IWE JUUU,THIS IS A NEW TANZANIA WE CAN, WE WILL, WE MUST!!
Huyu afande hakutarajia kupewa hela kama zawadi, kwahivyo mil. 1 si hasara kwake, Mimi nime furahishwa sana na tendo lake LA kukataa rushwa, kizazi chake kitabarikiwa zaidi maana rushwa kati ya watu wawili huaathiri wanainchi kadhaa. Love from Nairobi.
@mathiasmsese61284 жыл бұрын
kudos
@mako3314 жыл бұрын
Kapanda cheo pamoja na milioni moja tu, big up
@jasoniplan25214 жыл бұрын
Dah kwl watu wananguvu kakataaa milion 10 kapewa 1
@saidomar68064 жыл бұрын
Safi Costebo
@jimmymberesero73504 жыл бұрын
Kisaikolojia Hizi Msg Ndio Kipimo cha Kujua Watanzania Wanaopenda Rushwa Tunashauri Watu Wapewe Elimu ya Athari za Rushwa ili Watu Wasiendelee Kuteseka Jela Japo Wanapata Misamaha ya Raisi ila Watoa Rushwa Jmn Hadi Mapolisi Wanashiriki Tz Hii Nchi MUNGU Atusaidie...
@tanzanianchiyangutaifalang83764 жыл бұрын
Bora kipi! Million 10 ufukuzwe kazi, na ufungwe! Au million 1 , uendelee kubaki kazini na upandishwe cheo na mshahara? Mwenzie aliyetaka hizo million 10 tayari ameshafukuzwa kazi, sijui alipokea au hakupokea hiyo million 10, atajua yeye mwenyewe.
@jacksonshilanga59014 жыл бұрын
Kama walikuwa wawili aliepata cheo alichoma utambi kwa kiongozi wao .
@evaomarymasinde2624 жыл бұрын
Uyo aliefukuzwa alikuwa anamshawishi uyu alipandishwa cheo achukuwe iyo ela wagawane amekataa ndiyo maana kapewa zawad.
@africanmandetraveler28474 жыл бұрын
Kachomewa Na mwenzake
@tanzanianchiyangutaifalang83764 жыл бұрын
@@africanmandetraveler2847 Ndio vizuri maana walizoea enzi zile za JK.
@africanmandetraveler28474 жыл бұрын
Duh!polisi mshahara wao hauzidi million ,Noma Sana basi hapo Rushwa kuisha ni tabu Sana .
@jacobmakono3894 жыл бұрын
..hiyo ni motisha tu..siyo compensation,.. Tunafurahi amekataa rushwa
@johnmwaluko8514 жыл бұрын
Wekeni picha ya paulo
@kuryaboytv34264 жыл бұрын
Kapata hasara kubwa......!! Mpaka na Dhambi kapata
@jrm94484 жыл бұрын
Opportunity Cost.......
@moshialois54994 жыл бұрын
Milion zinazidi mshaharaaaaaaaaahhhh mamaaaaaaaaahhhh tena sn kasema means mbali
@bjzee19814 жыл бұрын
Uchukue m10 kwa ajili ya kudhulumu bado hizo fedha hazinge msaidia chochote zinge ishia tu njiani. Na bado kwa Mungu moto unakusubiri. Kula vya halali na Mungu atakuzidishia. Sasa hivi huyu afande atapata hizo 10m kupitia cheo chake kwa jasho lake. Kweli Magu husema mtangulize Mungu
@snawtasnota67084 жыл бұрын
Hiyo afande alijua ni setup ndomana kakataa hakuna anaekataa hela kwa mshahara wa kiTanzania
@ladsonmshana99204 жыл бұрын
Hasar ya kujitakia
@bepalilogathbepali95474 жыл бұрын
Nzur hio uzarendo kwanza
@farajirashidi81864 жыл бұрын
afande n mm nimeacha rusha ya ahilling milion mia kwaio nileteee millin mbili zaangu
@Ba638284 жыл бұрын
HONGERA SANA KIJANA ILA CHEO AONGEZEWE
@edsoniminani70614 жыл бұрын
Duuuuhhh kwahiyo hawo wote hajafanya Vizuri maana yakee
@bjzee19814 жыл бұрын
Comments zingine ni za kijinga. Eti kapata hasara ya 9m
Ni jambo la kijasiri sana kwa huyu askari, unajua maana ya zawadi! Zawadi sio mafao, kukataa kupokea rushwa ni moja viapo anavyoapa askari ama mtumishi yoyote wa umma, kwa hiyo askari huyo alitimiza kiapo chake kwa vitendo. Pamoja na kudhani kuwa amepewa kiasi kidogo sana, askari huyo amejijengea imani kubwa katika jamii, pia rank aliyopandishwa kwake ina manufaa ya muda mrefu katika maisha yake. Kwa hiyo binafsi nampongeza sana cha kukataa rushwa na pia nampongeza afande IGP kwa kutambua mchango na ujasiri mkubwa wa huyo askari kisha kumpongeza na kumzawadia zawadi mbalimbali pia kumpandisha cheo. Kama angechukua hiyo rushwa haki za wengine zingeishia hapo.
@evaristjohn24394 жыл бұрын
Waziri Makua.... umesema vema sana ndugu!
@marymfugwa8474 жыл бұрын
Ndo maana rushwa haiishi kama msharaha haufiki 1ml jamani kazi wanafanya kubwa wapewe mishahara mikubwa.
@silaszayumba76084 жыл бұрын
Hayo ni maigizo tu,aliyetoa mbona sina taarifa yake?ye simkosaji hukumu ya kutoa rushwa inasemaje,na angesema amekula ngapi ili atubu na makosa mengine yoote au mnaonaje jamani
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Sasa ndugu yang wewe ni TAKUKURU mpaka wakuelee taarifa 😂
@noelbryson78404 жыл бұрын
Aliyefukuzwa nampa pole sana!! Aje kilombero sokoni huku tupige kazi!! Huku tunakula kwa jasho tena lile la chumvi....
@cassyaugust45854 жыл бұрын
Kazi gani huko mkuu ..tuambiane fursa
@noelbryson78404 жыл бұрын
Cassy August Mambo ya mavibega mkuu 😢
@yusuphhb76944 жыл бұрын
Huu ni ujinga sasa. Mil10 unakataa afu unakubali mil1 .niugonjwa wa akili au kujikomba
@barakamwabukusi20464 жыл бұрын
Vipi angekubali ikajulikana nabla hata ajachukua
@leticiandiyo13844 жыл бұрын
Unaonekana unapenda sana rushwa wewe
@marymfugwa8474 жыл бұрын
Bado barabarani mhuu!.
@mwambietv76144 жыл бұрын
haahahaahaaaa si angechukua hyo 10 ona sasa apewa moja khaa
@yasinmasanja59124 жыл бұрын
Mke wake kweli atampokea vzuti maana amepiga za kutoa sio kujumlisha.labda
@jeannetteholbrook69584 жыл бұрын
Milioni 1 ndio nini
@mbarakmuhidin70234 жыл бұрын
Zinazidi mshahara wake dah!
@nisilesanga36024 жыл бұрын
Nakupongeza afande kwa uzalendo kama wa raisi magufuli
@wemapaschal23254 жыл бұрын
Jpm huyo ndio anafaa kuwa bosi wa takukuru
@bakarimashi87114 жыл бұрын
Daaah kwahiyo kapata hasara milion 9...😂
@mohammedsalum63764 жыл бұрын
Bola milioni 1 yahalali kuliko milioni 10 yalawama
@luciuskibaasa284 жыл бұрын
Seriously..... 1m only????
@mamachris68114 жыл бұрын
Kupanda cheo ni zaidi ya 1 M
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Alichotengeneza ni kikubwa kuliko hiyo milioni 10, ikumbukwe angepokea huenda angeachishwa kazi hivyo angekosa penseni yake ambayo ni pesa nyingi sana kwa cheo chake hivo hakuna shida hapo
@hashimumkunda65014 жыл бұрын
Polishi, rusha.
@africa74794 жыл бұрын
Nawew meshaki saiv itaitwa afande hahahaha
@neemapascal28524 жыл бұрын
Hivi askari anakuwaje na kitambi?
@petermanda59104 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@chauchauakter94284 жыл бұрын
😂😂😂
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Huyo ashakuwa mzee ni sawa tuu awe na kitambi sababu hakuna kazi ngumu itakayomshughulisha huwezi kumuona akikimbizana na mwizi hizo zote ni kazi za askari wadogo. Ndio maana unaona wazee wengi ndio wenye vitambi ashakuwa boss huyo hana shida
@chauchauakter94284 жыл бұрын
@@rusakanyohenry6932 r
@elishaworkout61164 жыл бұрын
Si analala kwake
@islampodoski86924 жыл бұрын
Boya kweli huyu
@tanzanianchiyangutaifalang83764 жыл бұрын
Bora kipi! Million 10 ufukuzwe kazi, na ufungwe! Au million 1 , uendelee kubaki kazini na upandishwe cheo na mshahara? Mwenzie aliyetaka hizo million 10 tayari ameshafukuzwa kazi, sijui alipokea au hakupokea hiyo million 10, atajua yeye mwenyewe.
@radhiaoman24544 жыл бұрын
Bora kidogo cha halali kuliko kikubwa cha haramu
@ellenatilio56664 жыл бұрын
😂😂😂😂 weeeee
@aloycekiwia86134 жыл бұрын
Alafu eti jina lako ni Islam. Dah.!!??🤔
@stephanomoses76942 жыл бұрын
Ameongezewa ugali . Mbavu iyo. Ni
@Cryptocurrency_Tanzania4 жыл бұрын
Huyo ni bwege.....Unakataa almas unapewa chuma...
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Alichotengeneza ni kikubwa kuliko hiyo milioni 10, ikumbukwe angepokea huenda angeachishwa kazi hivyo angekosa penseni yake ambayo ni pesa nyingi sana kwa cheo chake hivo hakuna shida hapo
@Cryptocurrency_Tanzania4 жыл бұрын
@@rusakanyohenry6932 shukhurani ndugu yangu kwa logic kubwa iliyofnya nione nimeandika ujinga....
@zenj19864 жыл бұрын
Si bora angelipewa hizo mil 10 Ambazo alikataa.!!!
@tanzanianchiyangutaifalang83764 жыл бұрын
Bora kipi! Million 10 ufukuzwe kazi, na ufungwe! Au million 1 , uendelee kubaki kazini na upandishwe cheo na mshahara? Mwenzie aliyetaka hizo million 10 tayari ameshafukuzwa kazi, sijui alipokea au hakupokea hiyo million 10, atajua yeye mwenyewe.
@ramadhanyusuph23244 жыл бұрын
Hahahaha kweli
@rahelmasiga15034 жыл бұрын
Usiipangie serikali kapandishwa cheo na mshahara umepanda hiyo ml kumi inakwisha ndani ya siku mbili tu hicho walichokifanya ni zaidi ya ml kumi
Pumbavu mkubwa huyu afande, nchi yenyewe iyi anakataa milioni 10... Subutu..
@martinjoseph73874 жыл бұрын
Mm mgeni
@alihijiiddi89774 жыл бұрын
NA WEWE MWENYEWE UMESHIBA MAPESA MBONA KWA RUSHWA NYINGI DUU MILIONI MOJA NI NINI KWA ATASAMAKI HUMPATI
@alumonkisinda45744 жыл бұрын
Yaani mi mtu anayeitwa police simkubali hata kidogo wamejaa tamaa na uonevu
@kibabuinsta73084 жыл бұрын
Kwendraaaaa! Uonevu tu kwa huyo mliemfukuza kazi! Hakuna askari asiyekula rushwa ila mmemuonea tu ila ......time will tell! Halafu na huyo kamanda simpendi jamani acheni tuu! Aachane na polisi aende kwenye siasa
@ernestmateo69674 жыл бұрын
Aisee mbona hana uchang'amfu alijua atapewa zaidi au
@aronathanas49974 жыл бұрын
Big up afande wetu. Umetisha saana
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Ulivyoandika tuu ilionyesha wazi unachuki binafsi. Unazungumzia uonevu kama vile wewe muhisika😂😂😂😂
@samweli16334 жыл бұрын
Kibabu Insta a
@samweli16334 жыл бұрын
Kibabu Insta mambo
@mesharcktinega86244 жыл бұрын
irony anastahili hatutembeleee kenya ili hajue kuchukua hongo .kwanza millioni kumi unakataaa aje alafu kisha baadaye anapewa millioni moja si hyo n hasara wadau