Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania

  Рет қаралды 3,185,023

Mashariki TV

Mashariki TV

Күн бұрын

Jeshi la Polisi la Burundi kwa ushirikiano na Jeshi la Polisi la Tanzania wamewakamata majambazi sugu ambao wamekuwa wakiendesha vitendo vya ujambazi na mauwaji katika nchi hizo mbili. Wasemaji wa majeshi hayo wameahidi kuendelea kushirikiana ili kukomesha uhali kwenye mipaka ya nchi hizo

Пікірлер: 480
@MajaliwaBitomwa-qu7mc
@MajaliwaBitomwa-qu7mc 2 ай бұрын
Hongera sana sheji zetu kwakazi kubwa mlio ifanya Hao wafanyie serekali kazi mpaka kufa
@catherineernest-y2z
@catherineernest-y2z 2 ай бұрын
Asante sana kazi nzuri❤
@OmarSaidsaulSaid
@OmarSaidsaulSaid 7 ай бұрын
Asante ni sana jeshi la Tanzanie kwa hicho kitendo chenye muridufanyizia mwendelee n'a kazi kenye mulikabiziw n'a mungu verry good
@JamesTommas-p3y
@JamesTommas-p3y 3 күн бұрын
Asante.san Kwa kazi nzur
@mwajumalugenja3895
@mwajumalugenja3895 4 жыл бұрын
Hongereni sana ushirikiano no jambo nzuri bgp kwenu
@mamadoukamate3384
@mamadoukamate3384 4 жыл бұрын
Azzvilañ
@TedyDaudy-c8t
@TedyDaudy-c8t 2 ай бұрын
Hongelen sana jeshi lapolisi mnafanya kaz nzuri sana mungu awalinde🙏🙏🙏🙏🙏
@RAMPA_Dee
@RAMPA_Dee 7 күн бұрын
Haaa kama wamefungwa na serikali ya Burundi 🇧🇮 basi hao wamesha faliki. Hongera sana jeshi la Burundi na Tanzania Rwanda ni nduguzetu lakini tutawa shugulikia
@jamesoduororawo8379
@jamesoduororawo8379 4 жыл бұрын
Hongera Sana Mr. Otieno tiji ler.
@tysonphilip2094
@tysonphilip2094 4 жыл бұрын
Kazi nzuri pande zote mbili
@mosesimsalaba7050
@mosesimsalaba7050 4 жыл бұрын
Shirikianeni kurinda nchi zetu bwana awe nayi
@ashukuliwe
@ashukuliwe 11 күн бұрын
Kazi yenu nzuri tuendelee kuimalisha ulinz
@Mojabo-qi7sv
@Mojabo-qi7sv 24 күн бұрын
Kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉mungu awabariki
@ibrahimumatunda4449
@ibrahimumatunda4449 4 жыл бұрын
hongera pia jeshi letu la Tanzania na la jeshi la Burundi kwa ushirikiano
@zachaamasta3298
@zachaamasta3298 4 жыл бұрын
#nakubali jexh
@AyubuJuma200o
@AyubuJuma200o 3 ай бұрын
kazi nzuri sana Mungu azd kuwapa maarifa
@mikemukwana-zk4ye
@mikemukwana-zk4ye Жыл бұрын
Kazi nzuri our security mungu awape nguvu
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q Ай бұрын
Hongereni sana na wanasura za kijambazi hatari
@johnmlaya
@johnmlaya Жыл бұрын
Safi sana jeshi kaz nzuri,
@hekimasuleiman895
@hekimasuleiman895 6 күн бұрын
Namshukuru Mungu, kwa Mimi kuzaliwa Tanzania
@aftapat5365
@aftapat5365 4 жыл бұрын
Mzee wetu umeongea kiswahili kizuri 🤣🤣😳🙏🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️
@TijoTiger
@TijoTiger 3 ай бұрын
Amejitaidi😂😂
@ShadiaSwaibu
@ShadiaSwaibu 16 күн бұрын
Hongeren sana jesh lapolis kwakanzinzr mliyofanya
@faridarashidi8907
@faridarashidi8907 4 жыл бұрын
Msemaji wa police Burundi umechemsha huwezi kuiongelea Rwanda huo ni uchonganishi kama mnashirikiana na Tanzania hongera sana lkn uctaje nchi nyingine ugomvi wenu Burundi na Rwanda cc Tanzania hautuhusu umechanganya mada
@munyemanavianney9454
@munyemanavianney9454 4 жыл бұрын
Kiswahili sio sana .mzhe watu . lakini bravo mumefanya kazi nzuri
@JonathanSamson-xf3oc
@JonathanSamson-xf3oc 3 ай бұрын
Hongereni San jeshi la ulinzi na usalama kwa kutimiza majukum yenu
@thieriniyorukundo2365
@thieriniyorukundo2365 3 жыл бұрын
Ongera sana kwa ushirikiyano na undugu wema kati y'a serkali y'a Tanzaniya na Burundi kwa kuwanasa ayo majangiri,endeliyeni na musi-mamo uyo uyo
@GabrielKusongwa
@GabrielKusongwa Жыл бұрын
Hamonahz
@raisaafrica0255
@raisaafrica0255 4 жыл бұрын
MUNG AWABARIK SANA KWA KAZ NZUR TANZANIA N BURUNDI MUKIWA HIVO AMAN ITAKUEPO
@anyagenyekalangali-zt1xo
@anyagenyekalangali-zt1xo Жыл бұрын
Jeshi la polisi wanapaswa kupongezwa Kwa kazi nzuri wanayofanya
@lazizerujanabose8802
@lazizerujanabose8802 5 жыл бұрын
Ongera Musemeaji wa police yetu Burundi kuyiongelea police na nina kupa 20/20 kwa kiswahili fresh umeongea
@fredricksakagabo5198
@fredricksakagabo5198 4 жыл бұрын
Umesikia kiswahili ndugu yangu nihatari kabisa
@mondelypok3921
@mondelypok3921 4 жыл бұрын
Haxymester
@joseyela7523
@joseyela7523 3 жыл бұрын
@@fredricksakagabo5198 v
@joseyela7523
@joseyela7523 3 жыл бұрын
@@fredricksakagabo5198 w
@joseyela7523
@joseyela7523 3 жыл бұрын
@@fredricksakagabo5198 soka
@jamesmarwa-ch8vw
@jamesmarwa-ch8vw Жыл бұрын
Many thanks from people's of Tanzania and Burundi.
@GraceMwanakatwe-c7q
@GraceMwanakatwe-c7q 10 күн бұрын
Mam no
@lamecknelson8380
@lamecknelson8380 3 жыл бұрын
Asante sana na wakomeshe ili siku nyingine wasirudie tena
@JhumarMungala-ey3sg
@JhumarMungala-ey3sg Жыл бұрын
Congretulations, burundi kiswahili limewapiga chenga ila no matter ndo ujirani mwema uo.
@JailosuwezoDavid
@JailosuwezoDavid 4 ай бұрын
Mbalikiwe saana kwa kuilinda apya yetu❤ naushilikiano mzuri❤
@MoussaComedian
@MoussaComedian 7 ай бұрын
Asanteni sana watanzania, ndoa sasa ujirani mwema!!!
@andrewkimambo1581
@andrewkimambo1581 4 жыл бұрын
Viva Africa .. Thank you inspector.
@erickmwaihoba2464
@erickmwaihoba2464 4 жыл бұрын
Joseph nivizuli kuwakamata na kuwafikisha vyombo vya habar
@francinendihokubwayo7822
@francinendihokubwayo7822 4 жыл бұрын
You people should know that Swahili is not his first language. He tried.
@kapayaomarry7783
@kapayaomarry7783 4 жыл бұрын
Kazi nzuri makamanda
@miamujohn6535
@miamujohn6535 3 жыл бұрын
Vzr
@lutenganokajeti937
@lutenganokajeti937 4 жыл бұрын
Jamani polisi waoongezwe maana majambazi ni wauwaji! 👐 🖐
@miamujohn6535
@miamujohn6535 3 жыл бұрын
Hongelen Askari kwa Kaz yenu nzuri
@thieriniyorukundo2365
@thieriniyorukundo2365 3 жыл бұрын
Ukiteteya,ukisema kama si wajambazi,wameshikwa na silaha nyingi ,masase na boom 2,wewe unaonesha ni wandugu zako majambazi
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 4 жыл бұрын
Hawa waliwahi kututeka mliwa wa simba biharamlo walikua wanaongea kurundi walinipiga sana fimbo nashkuru mungu nilisalimika ila wametesa sana watu tanzania hata kuua tena sisahau ilikua siku ya kwanza ramadhani nimefunga na huku nafanyiwa unyama nilimlilia sana mungu kabla sijafika nilipokua naelekea niliskia baadhi yao wamekamatwa na kuuliwa asante mungu
@hankyi9884
@hankyi9884 Жыл бұрын
Pppppqpqqà Pp P
@hankyi9884
@hankyi9884 Жыл бұрын
Pppppp. p
@adnanjuma4657
@adnanjuma4657 Жыл бұрын
Mkubwa hovyo,huezi ongea bila kuyitolea mfano Rwanda that's not professional
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 жыл бұрын
Safi makamanda wote wawili, ila Burundi wana Kiswahili kizuri saana, angekuwa kamanda wa kule angeongea Kimarekani huku yeye Ni Mkisii😎😎😎
@clivernapeyok8988
@clivernapeyok8988 3 жыл бұрын
😂😂
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 3 жыл бұрын
Kiswahili Tanzania sasa Burundi kiswahili kawaida sana
@zainabumilanzi2909
@zainabumilanzi2909 2 ай бұрын
Mungu awasimamie asikari wetu nawaomba muwakate mkono mmojammoja kwa Kila jambazi wasiweze kushika bunduki
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 4 жыл бұрын
Rwanda wanapokea wezi polis Burundi kathibitisha
@ndayikengurukiyealfred1959
@ndayikengurukiyealfred1959 3 жыл бұрын
Inkuru zumu police
@EgidiMuando-mq3sn
@EgidiMuando-mq3sn 6 ай бұрын
Mungu awabaliki
@BekaBoystudio-wl2wn
@BekaBoystudio-wl2wn 2 ай бұрын
Asanteni sana jeshi la polisi
@stelabenitho2315
@stelabenitho2315 4 жыл бұрын
Hongera sana
@SetuPius
@SetuPius Ай бұрын
Kazi nzur
@nduwayoClaude-t7e
@nduwayoClaude-t7e 3 ай бұрын
Fanya kazi
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 4 жыл бұрын
Alhamdulillah kweli penye awakuwauwa mana warundi kwakuuwa wanajitaidi😔😔afu izoninjatu zinawasumbua jamani nkurunziza shenzi kbs 😏 😏 samekata kutoka kuutawala
@tatiya6883
@tatiya6883 4 жыл бұрын
urishudia wangapi mushenzi mbwa weee nyoko
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 4 жыл бұрын
@@tatiya6883 🤣🤣mbwa mamako babako adiukomzima mxiuu wauwaji wakubwa nyie mburu kengewe
@zabibuilovemycountryofburu9156
@zabibuilovemycountryofburu9156 3 жыл бұрын
Wewewewewewewewewewe Ashura komanaukomazike pumu pumuliachooni mende nainzi zikwigie mdomoni koma kuzungumzia ichiyetu vibaya Ashura Kwani warundi niwauanji kuliko zingine INCi Ashura yani uko tz hakunawauanji Ashura kwanini hua mnazungumzia lNCiyètuvibaya
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
@@zabibuilovemycountryofburu9156 🇫🇷👈
@zabibuilovemycountryofburu9156
@zabibuilovemycountryofburu9156 3 жыл бұрын
@@ashuraussein7582 nanyipia mkowauanji wakubwa nyie usitakikuzungumzia inci yetu vibaya ashura
@sakinahyela545
@sakinahyela545 Ай бұрын
Hongera
@lifemateus5283
@lifemateus5283 3 жыл бұрын
Lamentável isso
@SupraBoy1994
@SupraBoy1994 6 ай бұрын
Wow!
@amismuhitira507
@amismuhitira507 3 жыл бұрын
Ongeraa Sana Burundi natanzaniii tukopamoja
@obisikeclintonisraelamaoyo9696
@obisikeclintonisraelamaoyo9696 4 жыл бұрын
Mbaka is Right
@AmisoMuyohira
@AmisoMuyohira 8 ай бұрын
Ongera sana jeshiila burundii na tanzania
@MariaLyson-y7d
@MariaLyson-y7d 2 ай бұрын
Mungu awaponye
@TokyobuckettsLive
@TokyobuckettsLive 2 ай бұрын
Tz pia iko na Otieno all the way from kenya
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 2 ай бұрын
Wapo wajaruo tanzania
@omarramadhani3054
@omarramadhani3054 5 жыл бұрын
Kibao cha mpaka nimeona kipo.chini ufanyike utarstibu kiwe juu kionekane vizuri
@josesaenemafindamafinda1431
@josesaenemafindamafinda1431 4 жыл бұрын
Omar Ramadhani
@chazvicent7299
@chazvicent7299 4 жыл бұрын
Omar Ramadhani pw
@evelynejohn710
@evelynejohn710 4 жыл бұрын
Kweli kabisa halafu kichafu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣weumenichesha.EtiKichafu..nipo.Oman.hapaNawapataVizuri.​@@evelynejohn710
@barakasaiboku9986
@barakasaiboku9986 3 жыл бұрын
Safi sana makanda
@abelsuleimanshiliwa2150
@abelsuleimanshiliwa2150 4 жыл бұрын
Hivyo ndivyo inavyotakiwa, siyo kuwaua, mnawakamata na kuwafikisha mbele ya Vyombo vya SHERIA.
@luciaalfred6213
@luciaalfred6213 4 жыл бұрын
Wewe moja wapo nini? Au wenzako Bora wauawe2
@damianlugendo9161
@damianlugendo9161 4 жыл бұрын
Na wewe ni jambaz ndo maana unawatetea
@magarindombe2304
@magarindombe2304 Жыл бұрын
Hongeren policy kwa kuilisha usalama huko burund
@GetrudajamesJijanda
@GetrudajamesJijanda 19 күн бұрын
Wapewe chaowajue umhim wakuwjibika hao😅
@LukascAmri
@LukascAmri 2 ай бұрын
Naipongeza sana jeshiraporisi kwakazinzry wanayoifanya
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 4 жыл бұрын
Amen Amen. Barikiwa nyote. Amen.
@kwatribitrus2334
@kwatribitrus2334 4 жыл бұрын
Amani na Upendo. Botrus
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Vunjeni hiyo miguu mkifanya hivyo hayatakuja tena tanzania mnawachelewesha ondokeni na miguu mkiwaacha hawataacha wizi ndo kazi waliochagua
@shemahabonayo1287
@shemahabonayo1287 8 ай бұрын
Towa Rwanda kinywani mwako we shenzi. Iyo ni mchezo wakubomowa kambi za watu wenye mulikimbiza nyie wawuwaji. Mutaka kuingiza roho mbaya TZ. Inchi imewashinda kuongoza kazi kutesa warundi na kutukana rwanda. Asie juwa ya kesho tesa binadamu mwenzie. Awo watu ni ma baba wa familia munawakamata tu juu mutengeneze mambo yakufuza wa kimbizi. Ila kuna mungu anawaona.
@jeaninewalda493
@jeaninewalda493 5 жыл бұрын
Hawo majambanzi wataona mot watanzania
@FRANKO-wj7zv
@FRANKO-wj7zv 4 жыл бұрын
Desire Nshimirimana k
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 4 жыл бұрын
Hongereni sana jesh la police.
@jiphonmbwale8138
@jiphonmbwale8138 4 жыл бұрын
P
@manirambonanorbert2689
@manirambonanorbert2689 4 жыл бұрын
Swali ninayo Wale watu munakamata kweny Camp yawakimbizi nimajambazi??? Police mufanyekaz Alakini Pia musije mukavuluge wusalama waba kimbizi plz Tanzania na Burundi so vizulu kuvulug wakimbizi! !!
@troubleboy2590
@troubleboy2590 4 жыл бұрын
Nimubarekure ntimwibagire Ko KIGOMA kariyuBURUNDI barundi barundikazi ntimwibagire
@simonkasato7617
@simonkasato7617 4 жыл бұрын
Hongereni
@dicksonchihumbhu1475
@dicksonchihumbhu1475 4 жыл бұрын
Ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga wauwen hao
@symonwanjohi3294
@symonwanjohi3294 Жыл бұрын
Hapa Kenya majambazi kama hawa huwa polisi wanawapiga risasi na hiyo file inafungwa tunaenda kazi ya kusaka wengine.
@OkwanySusan
@OkwanySusan 14 күн бұрын
Walikamatwa wapi😊
@BestiinaKigomq-iz1uk
@BestiinaKigomq-iz1uk Ай бұрын
Good job 👍👍
@HadijaMohamed-x5h
@HadijaMohamed-x5h 2 ай бұрын
Shukuran Sana kwaushilikiano wen
@cyondocomedicyondocomedi6290
@cyondocomedicyondocomedi6290 3 жыл бұрын
Kwizera Jean.Bosco
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Wauliwe hao wabaya sana wakikukuta ndani wallah wanauwa watu majambazi sio watu bora ukutane nasimba kuliko hao
@BenardAgwa
@BenardAgwa 8 ай бұрын
Good work
@PauloMichaert
@PauloMichaert Жыл бұрын
Duu hongereni kwakazi munanao Fanya
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 жыл бұрын
Hofu yangu isije kuwa Wapinzani huko Burundi
@brighton_pbeat5851
@brighton_pbeat5851 5 жыл бұрын
Asante Tanzania
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Mungu wangu
@benalex4960
@benalex4960 4 жыл бұрын
Uniform ya polisi ya bulundi inafanana na ya Kenya polisi
@piusnkwale
@piusnkwale 4 жыл бұрын
Hongereni sana
@davidmwangaza9811
@davidmwangaza9811 Жыл бұрын
Polepole
@joaquimcastrocastro5907
@joaquimcastrocastro5907 Жыл бұрын
Vizury sana
@allysospiter5073
@allysospiter5073 4 жыл бұрын
Pongezi Sana endeleeni ivo ivo
@prophetprophesy7415
@prophetprophesy7415 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name
@tachovenamembe9398
@tachovenamembe9398 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa usilikiano
@danielkoisulye3874
@danielkoisulye3874 3 жыл бұрын
Hongeren xan
@victajuliusimshong9469
@victajuliusimshong9469 3 жыл бұрын
Mm kama mm ao watu waajibishwe iwe fundisho kwawatu wote tanzania pamoja na Burundi
@OsseasJulius-wm5sc
@OsseasJulius-wm5sc Жыл бұрын
Hao sio wa kuwaacha wapate hukumu inayowasitahili kisheria najua jeshi ra porisi navyombo vyote vya urinzi na usarama viko macho pande zote Tanzania na burundi shikamaneni kutokomeza uhalifu huu amani ienderee kuonekana hongereni Sana mungu awasimamie ktk majukumu yenu
@cyondocomedicyondocomedi6290
@cyondocomedicyondocomedi6290 3 жыл бұрын
Kwizera Jean Bosco
@bedomanjohnson8026
@bedomanjohnson8026 3 жыл бұрын
Sm keep it up
@AlphanceNdomba-q8e
@AlphanceNdomba-q8e Ай бұрын
Zuchu wangu wewewewwwwww❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@failunaimba9774
@failunaimba9774 4 жыл бұрын
Anaongea vizuri nimependa
@zachaamaster2975
@zachaamaster2975 3 жыл бұрын
#nakubari jexhi jexhi
@FabianoSinghania
@FabianoSinghania 7 ай бұрын
Hao wameibia watu wengi mpakani so mimi niliona kuna kingine hao Madeleva wanatoka Tanzania hawana vitamburisho vya babarabalani mpaka wanauza wasafili kwa ma polici watanzania kwakua hawana kalatasi zagutosha wakati wagutoa Rushwa wenyewe kesi inasingizia wasafili. Mimi niliyibiwa mpaka wakanipitisha njia mbaya kuvukaa mpakaa
@ntawugachirajoseph4239
@ntawugachirajoseph4239 3 жыл бұрын
Burundi muachee kuonea Rwanda banaaaaa
@vincentalad-vw8gw
@vincentalad-vw8gw Жыл бұрын
Very unic
@MagrethChalamila-d8x
@MagrethChalamila-d8x Жыл бұрын
Doh wizi umekithir sasa?msiwauwe isipokuwa kila jambazi moja apewe grass 3 za uice ya cement alfu waachilieni.hii itapunguza wizi.
@JudithKaembe
@JudithKaembe 2 ай бұрын
😭😭wapewe adhabu ya kulingana na makosayao
@AyubuSadiki
@AyubuSadiki Жыл бұрын
Happy majambanz wauwawe
@allysospiter5073
@allysospiter5073 4 жыл бұрын
Nendeni na kure buhigwe wana sumbua sana
@nestorychunguye6213
@nestorychunguye6213 4 жыл бұрын
Mgox
@NiyibiziEnock-vz7os
@NiyibiziEnock-vz7os Жыл бұрын
Hao majambazi sugu wachukuliwe hatua kal ili liwe fundish hat kwa majambaz wengine
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Жыл бұрын
Ukikutana nao mchana huwezi kuwadhania
@ShambaBoy-h6d
@ShambaBoy-h6d 8 ай бұрын
Ushirikiano wa kulinda usalama ndo kitu muhimu zaidi ili raia waishi bila ya hofu
@frankmalimba5539
@frankmalimba5539 4 жыл бұрын
Uweni hao maana wao wameua sa2 sio watu wazuri
@allykazoa8324
@allykazoa8324 4 жыл бұрын
Kabixa
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 11 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН
High Alert! US B-52 Bomber Makes Emergency Takeoff at full speed
8:12
UPDATE MILITER
Рет қаралды 8 МЛН
Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswali
8:19
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 6 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
8 found alive after flooding of Zimbabwe mine
1:02
Global News
Рет қаралды 17 МЛН