Baba sauti Bado inasaidia wengi Moja wao ni Mimi nikiwa Kenya tutakukumbuka milele pumzika kwa amani🕊️🕊️🙏🥀
@rubonezajeanclaude5910 Жыл бұрын
Asante sana kwa mahubiri munayo tupa ya Moses, anafundisha maneno ya uzima, Mungu amulaze mahari pema
@trusttheprocess6800 Жыл бұрын
Whoooooi ndiyo maana Kenya hatuna mteule ambaye anahubiri injili iliyo hai,ilishatabiriwa 😢😢😢😢😢Mungu tusamehe na uturehemu tuinulie injili ya kweli Kenya 🇰🇪 🤲🤲🤲🙏🙏
@user-ot9io1xu1z5 ай бұрын
Mungu ambariki anayeandaa na kurusha mafundisho ya babu nabarikiwa na yeye na hakuna mfano wake ktk dunia hii miongoni mwa wahubiri waliopo sasa.
@shadrackmaingi1882 Жыл бұрын
A life changing message, believe and you will be saved.
@user-yy6xh6tm2g3 ай бұрын
Amen 🙌🏻
@emmanuelmachira48832 жыл бұрын
Mahubiri yako ndio nayasikia kweli watu walio kua wanakusikiliza na kukuona walikufaidi sana. Roho yangu nafsi yangu akili yangu na mwili wangu watamani wokovu MUNGU NIJALIE WOKOVU WA KWELI. Hakika uu na MUNGU HUKO ULIKO. MUNGU YU MWEMA AMEN.
@SamwelKipenzi3 ай бұрын
Amina ndugu, nikisikiliza injili ya huyu mzee nabadilika sana yaani sioni km nimekamilika hata kdg naogopa san. MUNGU atusaidie.
@sarahyvonne45803 жыл бұрын
Eee mwenyezi mungu nisamee maudhi yangu kwako
@lightnessmsusa98832 жыл бұрын
Mafundisho yako ni msingi mkuu wa wokovu naamini umefika Mbinguni mtumishi mkuu wa Mungu
@hasanygodda9242Ай бұрын
Amen
@laluubajuta6213 Жыл бұрын
Mahubiri yako yanaishi milele baba 🙏🙏🙏
@kabujefrank9892 жыл бұрын
Barikiwa sana mzee
@christinamtega18882 жыл бұрын
Mungu nihurumie,
@nellydeborah9433 жыл бұрын
Nisamehe mungu
@deoelias8412 жыл бұрын
Mungu nisaidie...🙏🙏
@orisabwe74242 жыл бұрын
Amen 🙏
@agustinocharles26503 жыл бұрын
God is good
@cordunhylowassa53432 жыл бұрын
Thanks Jesus
@eunicebukokhe68052 жыл бұрын
Hallelujah
@nicksonimwakasendile94182 жыл бұрын
🙏🙏🙏thank you Jesus
@jacksonsungwana23442 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani mzee Kulola,nakumbuka mahubiri yake Temeke Assemblies of God sijawahi pata kuona mfano wake tena.
@victoriaaman59482 жыл бұрын
AMEN
@mariamapunda10252 жыл бұрын
I miss you baba, injili isiyo ghoshiwa
@michaelrweyemamu10683 жыл бұрын
Great
@georgekauma64323 жыл бұрын
Injili yenye mafundisho ya ujazo penye mapungufu ya Imani zaidi.
@MusaMwambene-ll6cf6 ай бұрын
Msiache kutupatia hayamafundisho namahu
@isacklazaro21072 жыл бұрын
silas jaribu kutoa milio sio mizur kwenye vdeo zako