#SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079
Пікірлер: 22
@MwebraniakanuLumona-vd1tp8 ай бұрын
Injili ya kweli kabisa inadumu Na inahendeleya mbeleni Mzee aliubiri kweli siku zote Akuna haja ya kuuhubiri abari ya mwanadamu yamkini alizibitisha neno la KRISTO kila mahali kweli YESU KRISTO ni Mungu
@dassustephen53912 жыл бұрын
Mungu akupe Raha ya milele mzee wetu Moses Kulola.Amen
@abrahamsichalwe67642 жыл бұрын
Nafarijika na mahubiri yako mtumishi wa mungu Moses kulola Roho yako ipokelewe na mungu mokozi
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Hapa sawa Ni YESU NA NGUVU ZAKE TU HAKUNA MAFUTA WALA NN NI YESU TU YY NDO KILA KITU