ASKOFU EAGT AFAFANUA VURUGU ZILIZOTOKEA KANISANI "WAMEWEKA KABURI KWENYE MLANGO WA KANISANI"

  Рет қаралды 18,676

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 116
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 8 ай бұрын
Mwandishi wa habari tuletee familia ili nao tuwasikilize,. Maana si vyema kusikia upande mmoja tu... Tuletee familia ya marehemu ili tuujue ukweli harisi
@user-nv7sf2iu2v
@user-nv7sf2iu2v 7 ай бұрын
Bishop ameeleza vizuri tena kwa hekima ya hali ya juu sana,hizi familia za wachungaji zinahitaji maombi sana hata katika bible ziko familia za makuhuni zilikuwa na shida sana
@DonatusNyamizi
@DonatusNyamizi 8 ай бұрын
Tatizo la EAGT na migogoro yake ni katiba ya kanisa la EAGT
@ngendathomas6646
@ngendathomas6646 7 ай бұрын
Kwa huo utaratibu mliojiwekea,,, basi huyu mama atulie muendelee kumuabudu Mungu. Mpeni heshima yake huyo mama na stahiki hizo mlizojiwekea kama kanisa.
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 8 ай бұрын
Askofu Mungu akubariki umeeleweka🙏🙏🙏
@BatZion-kv6wm
@BatZion-kv6wm 6 ай бұрын
Kura za nini wakati anaanzisha kabisa uyo mama na mume wake nilikuwa wapi uo ni urafi Tu Amna kitu hapo
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 6 ай бұрын
Kanisa la mtu???
@merchadesmbeihwa5718
@merchadesmbeihwa5718 8 ай бұрын
Shida ya makanisa waanzishaji wengi wanatumia rasmali zao nyingi na familia Huwa zinaumizwa
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 8 ай бұрын
Uko sahihi kabisa ndg.... Hapa akija mama mchungaji huyo naye aeleze, tuka ballanc story tutashangaa sana madudu ya hao viongozi... Ni shiiiiiida kubwa
@adkajisi4536
@adkajisi4536 8 ай бұрын
Kama baba kulola, hadi watoto wamekacha eagt.
@happyalbert5089
@happyalbert5089 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa wasiojua wanaweza kumlaumu mama lakini shida ipo,wachungaji wanawekeza sana halafu makanisa yanapokua wanawadharau na kiangalia pesa
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 6 ай бұрын
Asante Askofu wetu wa TAG,kuruhusu wamama wachungaji wajiongeze Kwa kwenda kusoma Ili wawe wachungaji wasaidizi,Ili kuzuia haya. Watu wametoa pesa za familia kujenga kanisa,wengine wanakuja kuchukua tu zaka za Bure,doh! Kweli inauma sana.
@tuponisalile5984
@tuponisalile5984 8 ай бұрын
Sasa Police kufanya nini Si kuingia kwenye maombi ili ijulikane kweli.lkn naona hata unayeongea kama unaikandamiza sana familia.
@elleng5227
@elleng5227 5 ай бұрын
Watumishi na familia zenu hasa mnaoanza na huduma kuanzia ngazi ya chini na kwa hali ya ugumu sanaa, mkumbuke kuwa malipo yenu mtayapata mbinguni na si hapa duniani, mkijua hvyo hamtosumbuka kabisa kulilia malipo na kuenziwa hapa duniani
@johansenf.mrengimrengi7050
@johansenf.mrengimrengi7050 6 ай бұрын
Mungu tusamehe tuliowahi kusikiliza upande mmoja - Mama Mchungaji! Mungu lisaidie Kanisa lako ktk jina la Yesu.
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 6 ай бұрын
Mimi Hawa waumini na viongozi nawashangaa Nini. Kwa Nini wamtoe huyu mama mbele. Kwani akikaa mbele Kwa kumpa heshima wanapungukiwa nini. Mtunzeni mama sisi kumwandaa mtu hata mama amesema. Mnapofeli baba askofu mnamtoa mama mbele akae nyuma. Hebu meogopeni mungu. Na hati mnaitaka ya Nini. Na kwani muanze kuwawe kuwasweka watoto wake ndani. Meogopeni mungu. Mpeni mama heshima yake.
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 8 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu, hakika mbinguni kuingia sio rahisi
@julieluziga4773
@julieluziga4773 6 ай бұрын
Hapo umeongea point kwamba mtampa mjane asilimia Fulani. Hata hivyo huyo mama ananyanyaswa, kuwekwa viti vya nyuma kanisani wakati mume wake alikuwa kiongozi wa hilo kanisa, kupelekwa pelekwa polisi. Tumieni hekima ktk kaamua na huyo mama atendewe haki kweli kweli. Km mume ndio mwanzilishi wa kanisa apewe heshima yake .
@nazarethzephania3838
@nazarethzephania3838 5 ай бұрын
Samahani maana niliskiliza upande mmoja na itifaki izingatiwe maana kuingia mbingu si kazi rahisi
@dianasamson9311
@dianasamson9311 7 ай бұрын
Ni Busara kusikiliza pande zote mbili ili kanisa limpe heshima mwanzilishi wao. Suluhu ipo... tatizo Tamaa nayo ya sadaka... watu busara huwa inakosa. Mambo ya Mungu yanahitaji hekima ya rohoni na sio kuenda kimwili. Waumini watafika mbinguni wakiwq wamechoka kwakweli. Kanisa la Mungu tunamwaibisha Kristo. Hapo shida ni sadaka sio Utumishi.
@emmanuelathuman896
@emmanuelathuman896 5 ай бұрын
%40 za fungu na sadaka hazitoshi kwel au anataka Nini huyo mama
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 8 ай бұрын
Huyu mchungaji Dalaso nimesoma nae shule ya msingi, huyo kijana tokea tukiwa darasa la 3, alikuwa akiandikwa msumbufu darasani kwani alikuwa akikunja daftari kama kipaza sauti akisimama juu ya madawati akihubiri neno la mungu, na alikuwa akifanya hivyo mpaka darasa la 7. Tokea zamani ana Roho wa Mungu ndani yake.
@robertmoshi2113
@robertmoshi2113 8 ай бұрын
🎉😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Kanyawela
@Kanyawela 2 ай бұрын
Yani mama anagomba na mtoto hapo kanisa la Eagt basi ni kioski cha mtu sio taasisi
@gaetanomasalu7681
@gaetanomasalu7681 23 күн бұрын
Kuna nn apo meachen huyo mama
@blandinamatagi6723
@blandinamatagi6723 8 ай бұрын
Safii kabisaa
@BarakaWaya
@BarakaWaya 7 ай бұрын
Rekebisheni katiba.ingawa Askofu umeongea vyema .Naona hii shida ni ya Kiongozi na kikatiba .
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 8 ай бұрын
Askofu Mungu akubariki sana kwa hekima uliyopewa na utaratibu mzuri wa kanisa. Kanisa la Mungu halirithishwi kwa familia ikiwa hakuna mtu humo ambaye Mungu amemchagua kuwa mtumishi mrithi wa babaye. Kuchunga watu wa Mungu ni kuwalisha neno la Mungu. Sasa huyo mjane na mtoto wake wana kitu cha kuwalisha watu wa Mungu? Poleni sana wana wa EAGT Mungu awatangulie na kuwasaidia ili kanisa la Mungu lisinajisike na hao wanaodai kutaka kurithi kanisa.
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 7 ай бұрын
Umemsikia mjane naye akiongea? Baransi story ndo utajua utapeli wa hawa watumishi
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 8 ай бұрын
Tatz hamsidii familia za wachungaji baada ya kutumia nguvu kubwa za uchumi,familia zinakuja kuteseka sana
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 6 ай бұрын
Umesikia maelezo ya Askofu??Amesema mama anapewa 40% ya sadaka na 40% ya fungu la kumi ya sadaka
@muganyizijo
@muganyizijo 6 ай бұрын
Maelezo ya utambulisho sasa. Hadi raha mpaka idadi ya makanisa.
@user-tn4rz8dr6m
@user-tn4rz8dr6m 6 ай бұрын
Kama anavyosema Ask ni kweli ,bado huyo mama embu atulie aache kazi ya Mungu isonge mbele
@BatZion-kv6wm
@BatZion-kv6wm 6 ай бұрын
Kura yà Siri ya nini
@georgemwasyeba1891
@georgemwasyeba1891 8 ай бұрын
Askofu mi nashauri huyo Mama Mchungaji msimchanganye na matatizo ya Watoto, mhudumieni kama inavyopaswa na hao vijana muwashughulikie kivyao maana ni Watu wazima si vema unaposema asipowadhibiti Watoto wake nae mutawaadhibu itakua ni kumuona.
@cpctarushavillage5430
@cpctarushavillage5430 8 ай бұрын
Kila mwanazuoni anajua na anapaswa kujua kuwa kila taasisi yenye watu haikosi kuwa na changamoto, ni kwa sababu ni wanadamu ndio waliopo kwenye hizo taasisi. Mfano ni kwamba, RC iliwahi kupitia kwenye hali ya mgogoro ndo maana ikazaliwa Lutheran, Baadaye yakazaliwa Madhehebu mengine ya Kiprotestant mengi sana, mojawapo ya hao protestant ni Wapentekoste, kwa hapa TZ lilianza Kanisa la PHM au Pentekoste Holiness, Ikafuata kwa sasa ni FPCT, ikafuata Elim Pentekoste, Ikafuata PAG ikafuata TAG, ikafuata EAGT nk. Na katika hatua hizo zote, kila Kanisa lilipitia kwenye kipindi cha mpito wenye changamoto hasi. Lakini haimaanishi kwamba Kanisa likiwa na mgogoro ndo halina Mungu no, mpaka leo Lutheran wana migogoro, Waislamu wana migogoro nk.... Ila familia ikiwa bado ndogo sana, huwa vyombo havivunjiki sana.
@theodorannko9809
@theodorannko9809 7 ай бұрын
Hili ni tatizo mama wachungaji wawe akina mama.Uchungaji sio mali ya familia bali ni mali ya Roho Mtakatifu ndie anaewaweka watumishi kanisa sio mali ya familia.Kanisa kama la TAG wao wana katiba na management imara sana.Askofu upo vizuri .Tunaomba kuwa katiba iwe strait kuwa familia haina hati miliki ya wake na watoto wa mchungaji.Hili tatizo lipo kuna wengi wana hii roho chafu ya kimwili.Tuache Roho aweke watu kuwa wachungaji nk.
@tumainmwalupwepe6012
@tumainmwalupwepe6012 7 ай бұрын
Unachoongea kina ukweli but nadhani unahitaji kwenda kusioma vizuri historia ya Pentecostal churches in Tz!
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 5 ай бұрын
Ndugu,protestant ni kitu mbali kabisa na pentecost.uwe mwangalifu,usije aibika.
@shangwegissu5398
@shangwegissu5398 8 ай бұрын
Kumbe Kuna ngazi ukifika kusema uongo Ni kawaida sana. Mungu wa mbinguni amsamehe Sana ASKOFU kwa kaongea uongo kwenye jamii
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 7 ай бұрын
😂😂😢
@stephenkikoti9223
@stephenkikoti9223 7 ай бұрын
Ikiwa askofu amesema uongo na wewe SEMA ukweli tukusikie.
@stephenkikoti9223
@stephenkikoti9223 7 ай бұрын
Maelezo ya askofu yamekaa vinzuri sana.ili kuja ukweli zaidi tungemskia mjane na viongozi wa serikari. Huyo kijana wa marehemu Hana huduma anataman sadaka tu.
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 5 ай бұрын
Yaani, utadhani ulikuwa akilini mwangu,hao viongozi wanajua Sana jinsi ya kupanga maneno,tangu mwanzo,nilijaa daught juu yake,huyo dalaso aondoke akafungue kwingineko kama kweli ana hofu ya MUNGU,migogoro jinsi hii Katika EAGT,iko kila mahali,bugando,kahama na huko,ni hayohayo,na ni aibu sana.hata na Roho mtakatifu,aliwaacha siku nyingi.
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 8 ай бұрын
Mama ana tamaa. Sadaka zinamtesa. Na huyo kijana asaidiwe aende VETA akakifunze ufundi na afanye kazi Kama wenzake. Maokoto ya bure yanawatesa. Mama aheshimu msaada anaopewa aache ucochezi
@philipomrumbi-sl1qe
@philipomrumbi-sl1qe 8 ай бұрын
Ni kweli kabisa dada umenena vyema
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 7 ай бұрын
Mpaka wanangangania kua wachungaji au viongozi hapo hakuna Imani wanaongangania Kuna maslahi binafsi hapo. Ila Oskofu umeongea vema.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 8 ай бұрын
Tatz uchumi wachungaji wekeni uchumi vzr kiinua mgongo.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 8 ай бұрын
Shida inakuja hapa, mtu anajenga kanisa peke yake anaanzisha huduma waumini wanamfuata siku akifa familia kukubali Mali iende kwa mwingine inakuwa tabu mnoo
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 8 ай бұрын
Chunga tamaaa mbayaa
@FreeGod368
@FreeGod368 6 ай бұрын
KWELI UKIMTUMIKIA MUNGU UNAPATA HEKIMA😂😂😂UYU KIONGOZI ANAJUA KUNYOOOSHA MAELEZO SAFI SANAA BABAAAA❤❤❤❤
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 8 ай бұрын
Askofu samahani muachieni huyo mama kanisa,nawatoto wake,kutawa kunamigolo mbere,,wacheni waongoze wenyewe ,,shida hapo nisadaka, ndio maana huyo kijana anafrugu sana wachieni kanisa waongoze wenyewe.washilika,watagopa kusali ,washilika wakanzishe kanisa lao,wamchie mama na mtoto, huyu mama atapigwa akisambalatisha kanisa la Mungu..
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 8 ай бұрын
Huyo mama aende hukooo nani alimwambia kazi ya Mungu inarithishwa kimwili kama apendavyo tamaa zitawatandika. Kama kijana aliandaliwa na baba kwa nini marehemu hakuwaanika wajulikane kama huyo Michael Galasso.TAMAAAAA mbaya mama.
@barakanatus5676
@barakanatus5676 6 ай бұрын
Tamaaa
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 8 ай бұрын
Hao ni wapagani wanatumiwa kumwaibisha yesu kama watoto wa eli kuvuluga kanisa ondoeni hayo mambo ya wamama wch kuridhi makanisa
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 7 ай бұрын
Mama atulie awe mshauri wa kanisa ,yeye atatunzwa na kanisa na kuheshiwa,aje ajifunze kwa mama Bishop Ryoba wa kanisa LA CAG Morogoro
@ellyitete938
@ellyitete938 6 ай бұрын
Mbn kanda ya magharibu hatuko hivyo mke ni kichwa kam anahuduma na yuko tyr msikwepeshe mpeni kanisa
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 8 ай бұрын
😢
@feruzyjuma
@feruzyjuma 12 күн бұрын
Huyu mzee ni tapeli,,,hata sula yake tu ukimuangalia na anavyojielezea,,,inaonyesha kabisa,,,ni zuruma na anatetea ili yeye akusanye sadaka.....hataki kufanya kazi,,,anapigia debe sadaka,,,,huyu mzee ni tapeli wa fungu la kumi .. .. kifupi...huyu ni tapeli
@marthandiliwe4565
@marthandiliwe4565 8 ай бұрын
Maombi pekee ndio yataleta amani ya kweli roho mtakatifu atusaidie kuwa na macho ya rohoni, adui asipate nafasi, ikibidi kuachilia haki kwa ajili ya amani ya kweli, upendo na umoja aliotuagiza YESU,
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 8 ай бұрын
Hii familia imegeuza hilo kanisa kuwa gulio aibu kwa hiyo familia waache bangi.
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 7 ай бұрын
😂
@theodorannko9809
@theodorannko9809 7 ай бұрын
Pitieni kila kanisa muangalie kama mko vizuri.toweni elimu ya kutosha EAGT Aidha hio 40 asilimia kumtunza mjane ni tosha kabisa.Hizi familia za wachungaji ni za kuombea ,kuna roho ya mali zaidi ya Ufalme wa Mungu,Familia za wachungaji wote sio EAGT tu wote wachunguzwe kama ni vinganganizi wa mali za kanisa.
@hemalamsalabaduniani.3653
@hemalamsalabaduniani.3653 7 ай бұрын
Dawa yake ,huyu mchungaji kijana ,aondoke hapo,akafungue kwingine,aiache familia ,maana mnawasahau waliosota
@erentjohn8793
@erentjohn8793 7 ай бұрын
Mimi nashauri huyo mchungaji anaekubalika na waumini watafute eneo jingine la kuabudia kwani kwa umoja wao watafanikiwa, na huyo mama abaki hapo ili nae aonyeshe anachoweza kufanya, ilimradi wote watabaki kuwa kanisa moja, migogoro wakati mwingine inaweza kupanua kazi.
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 6 ай бұрын
Haya makanisa ya kilokole ni shida tupu
@perscomiangazitoweweunajua9326
@perscomiangazitoweweunajua9326 8 ай бұрын
Hekima kama unavyoisema ni kuwaachia kanisa familia kama wana huduma ndani yao
@adkajisi4536
@adkajisi4536 8 ай бұрын
Kimsingi eagt limekuwa kanisa kubwa, hii tabia ya kanisa kujengwa kwenye misingi ya mtu iachwe. Mtu akistaafu au kufariki kanisa lifanye utaratibu Wa kumleta kuhani mwingine.
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 6 ай бұрын
Pia utaratibu wa kutohamisha wachungaji unawagharimu.
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 6 ай бұрын
Naomba tuu muwasaidie family kisaikolojia maana mama kachanganyikiwa kabisa
@jameshagwe3063
@jameshagwe3063 6 ай бұрын
Hapo kulikuwa na migogoro hata kabla ya mchungaji kufariki, ndo maana migogoro ilianza kabla ya mchungaji kuzikwa, tatizo ni moja tu uchungaji umekua kazi na sio utumishi ndo maana mchungaji akifa familia inataka kuendelea kubaki kazini kwa baba
@paulkamete2947
@paulkamete2947 6 ай бұрын
Family ilisha sikilizwa mpendwa
@DonatusNyamizi
@DonatusNyamizi 8 ай бұрын
Migogoro si hapo Arusha tu na sehemu nyingine pia pana migogoro
@margarethmwaibasa3697
@margarethmwaibasa3697 8 ай бұрын
Hao wanataka sadaka .anaeandaa kiongozi ni Mungu huyu mama na mtoto wanauchu na sadaka
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 8 ай бұрын
Watapigwa hawamjui Mungu hao wakasome biblia vzuri kuhusu nyumba ya eli ilipigwa kwa ajili ya kucheza na madhabahu
@maikonyondo-gr7gd
@maikonyondo-gr7gd 7 ай бұрын
Yaani yotehayo ni kwasabu ya kito hamishwa wachungaji
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 8 ай бұрын
Msipogundua hila za kuzimu na mitego yk
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 7 ай бұрын
Badilisheni mfumo wa uendeshaji wa makanisa yenu maana yanamilikiwa kibinafsi sana
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 8 ай бұрын
Mh haya Mambo ya EAGT ni shida pia tunaomba family nayo ihojiwe tusikie wanasema nini? na siyo tusikilize upande mmoja tu wa viongozi wa EAGT coz haya mambo yamekuwa mengi sana EAGT.
@JoshuaMatagane-cb2cj
@JoshuaMatagane-cb2cj 8 ай бұрын
Natamani niione HATI
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 6 ай бұрын
Tatzonimfumowenu ndoshidaa eagt kilakonanishidahizohizo
@adkajisi4536
@adkajisi4536 8 ай бұрын
Tatizo makanisa ya kipentekosti misingi ya kanisa iko juu ya kuhani hivo kanisa linakuwa kama Mali yake.
@wanguwangu34
@wanguwangu34 6 ай бұрын
Shida ni mali tu, please muwe na amani na watu wote.
@elshadaikanuti2767
@elshadaikanuti2767 7 ай бұрын
Mnajua hiyo familia shida iliyopata wakati baba yao akipambana na huduma changa nyie unadhubutu kusema mke hakuhusika? Ninyi mnawafungia watu ndoa za Nini? Mnasema uongo mpaka madhabahu mliwatangazia mwili mmoja!! Kwani mkimpa huo mwili wa Gisu mtapungukiwa Nini?
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 7 ай бұрын
Shetani ushindwe kwa jina laYesu,hapa ni kabisa
@adolphmshiu7410
@adolphmshiu7410 8 ай бұрын
Toka mwanzo migogoro matutuzi alikuwa Bwana?
@ebenezerlawuo6667
@ebenezerlawuo6667 8 ай бұрын
Kanisa halina katiba?
@lawmarcusmwakagenda355
@lawmarcusmwakagenda355 8 ай бұрын
MTUMISHI MUNGU AWABARIKI KWA KAZI KUBWA MNAYOIFANYA HASA KWA JINSI MNAVYOSHUGHULIKIA HUO MGOGORO BWANA AWE PAMOJA NANYI
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 8 ай бұрын
Askofu, ninyi mlikuwepo msibani? Ilitokeaje mkakuta kaburi kesho? Mlikuwa wapi? Sawa imeshatokea. Hapo penye kaburi, aitwe Architect mzuri, a-design jengo, ili kuondoa sura ya UPESI ya kaburi.
@adolphmshiu7410
@adolphmshiu7410 8 ай бұрын
Siokondo wanatafuta mchungaji na kondoo sio mali ya mchungaji mtafuteni aliesema lisha kondoo zangu
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 7 ай бұрын
Bora utaratibu wa mapadre, kumbe wenzetu makanisa ni ya Familia zao.
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 6 ай бұрын
Utaratibu wa mapadre???
@BatZion-kv6wm
@BatZion-kv6wm 6 ай бұрын
Wezi tu nyie na wewe utakufa Tu malipo ni hapa hapa duniani
@anithasemwano8276
@anithasemwano8276 7 ай бұрын
KUCHUNGA KONDOO UKIWA NA ATTACHMENT NI NGUMU SANA
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 8 ай бұрын
OOOH MY GOD, KUMBE GISSU NI MAREHEMU, NI MSTAAFU , ALIIPENDA INJILI. RIP. SASA NAWAZA KWA NINI MIGOGORO IPOGO TU HATA ENZI YA KULOLA NA EMANUEL LAZARO?
@elshadaikanuti2767
@elshadaikanuti2767 7 ай бұрын
EAGT mmezidi uporaji mnapora mpaka wajane na yatima!!! Hamtosheki? Mnasoma biblia gani? Mnachosha serikali dah
@uwezohekima-qk8ss
@uwezohekima-qk8ss 8 ай бұрын
E.A.G.T ni kanIsa lenye migogoro sana yan ukitaka uharibikiwe we okoka kwenye EAGT
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 8 ай бұрын
Kabisa lenye nguvu ya Mungu halikosi vita,wewe hujitambui,hii ni kazi ya YESU,km mitume waliteseka sembuse wa leo.
@priscadaud7458
@priscadaud7458 7 ай бұрын
Nimeokoka na nipo EAGT miaka mingi sana na sijaharibikiwa zaidi nimebarikiwa sana
@peternganila4693
@peternganila4693 6 ай бұрын
Kiukwr kwamaelezo yako,nijanjajanja binguni huendi wewe
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 5 ай бұрын
Peter nganila,Safi kabisa comment yako.hao viongozi ni watu wa hila nyingi, afadhari na wewe umeligindua hilo,kwa habari ya mbingu,labda bingo.ogopa Sana hao watu.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 ай бұрын
Mumeacha kuendana na falsafa ya mosses kulola, mmpenda PESA SAAANA KULIKO MASIKINI hamuwasaidiii tena wenye UHITAJI MNAJILIPA MISHAHARA MIKUBWA kwa nini kusiwe na mtafaruku?
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 8 ай бұрын
Tuoneshe hyo mishahara mikubwa
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 8 ай бұрын
Kumbe sadaka na zaka haziendi kwa Mungu?
@hesabugabo
@hesabugabo 8 ай бұрын
Ahahaa.
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 8 ай бұрын
Shekhe anakula msikitini mchungaji anakula.kanisani we vipiiiii.?
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 8 ай бұрын
Ushawahi kumuona umpe? wewe nurdin nakuuliza
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 8 ай бұрын
Kwa Mungu ni wapi?
@celinefrancis3651
@celinefrancis3651 8 ай бұрын
Kanisa la Mungu ni waumini nao wamekiri kua nani atawalisha chakula ch Rohoni, AMANI YA MUNGU IPITAYO AKILI ZA WANADAMU IKAWAHIFADHI NA KUWATUNZA NYOTE
@marionoti5760
@marionoti5760 7 ай бұрын
Mimi nashangaa, Hivi kujibagua kutoka kwa wakristo wengine na kujiita mumeokoka, kwa maana kuwa, mumemshinda shetani ni uwongo, bado shetani anawatesa tu. kumbe kujitenga kutoka kwa makanisa mengine, nia ni kupiga hela na sio ufalme wa mungu.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 8 ай бұрын
Looh!wanaabudu kwanza kaburini????hiyo spirit ya hatari
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 8 ай бұрын
Tayari hao wanaoabudu kaburi la huyo mch ni ushirikina kbs
@simongwandu7392
@simongwandu7392 8 ай бұрын
Hiyo ni laana ya Emanuel Lazaro na Moses kulola maamuzi yalitolewa na Serikali.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 8 ай бұрын
Msimpe chochote huyo mama na watoto wake wapagani huyo ni fisadi hastahili kula zaka
@juliusmbuba5029
@juliusmbuba5029 8 ай бұрын
Kila mpandacho mtavuna galatia 6 msitali wa 7 Mungu hadhihaki
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 14 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 11 SEPTEMBA 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,6 М.
Part 1: Mungu ameamua kuviringisha aibu yako mbali .....
12:25
EAGT CHEMCHEM TV
Рет қаралды 6 М.
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН