Askofu GWAJIMA akielezea ushujaa wa KAKOBE. Ndio maana Mbarikiwa aliuliza "YUPO WAPI KAKOBE"?

  Рет қаралды 17,909

Helbeth Mlelwa 🎖️

Helbeth Mlelwa 🎖️

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@hajimnzava1972
@hajimnzava1972 Ай бұрын
Hongera gwajima,kwakutambua,samani ya watu wamungu
@jimmundakega9480
@jimmundakega9480 Ай бұрын
Mungu akubariki Kwa elimu hiyo juu ya Mungu.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn Ай бұрын
Kazi ya MUNGU iendeleee mbele kwa wote kuwa mstari wa mbele kutetea wanao onewa na Udhalimu, Dhuluma, na kulia Pamoja na wanao lia, kupinga na kuukataa Ufisadi wa kila Namna.
@sumembena1667
@sumembena1667 Ай бұрын
Nimekuelews Bishop Gwajima!
@davidtarimo8415
@davidtarimo8415 Ай бұрын
Nakuelewa
@omariabeid3291
@omariabeid3291 26 күн бұрын
Ila mwamba bado tunakusubiri Umfufue baba yetu kipenzi
@johnvenus7507
@johnvenus7507 27 күн бұрын
Bashite yumo?
@piussimtala5111
@piussimtala5111 Ай бұрын
Mh.Makonda nakuona
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp Ай бұрын
Sasa hapo mbarikiwa wenu anakuja je? Yaani mtu wenu mnamfanya mungu wenu kabisaaaaa, kila kitu kikiongelewa na watumishi wa Mungu , mnamwingiza chizi wenu kana kwamba yeye ndo aliwapa hiyo kazi.?
@pastormoses8411
@pastormoses8411 Ай бұрын
Kakombe kaanza 1989 kulola kaanza EAGT 1990
@healingclinic698
@healingclinic698 Ай бұрын
Kulola 1992 ndio kanisa lilizaliwa ila harakati zilianza 1990
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Ай бұрын
Huo Ni uongo Kulola 1974 alikuja kigoma akitangaza injiki yakee...wakati huo Kskobe alikuwa hajukikani.. kumbuka mwanzo kulikuwa na TAG KABLA YA KUVURUGANA.,Ndio Kulola akaanzisha EAGT. msiwe mbasema vitu vya uongo.
@ericfelician7996
@ericfelician7996 Ай бұрын
Aisee ngwajima yuko bright kinyama
@emmanuelmwakibolwa735
@emmanuelmwakibolwa735 Ай бұрын
Huyo anayeuliza Kakobe yuko wapi, hakumwita yeye kwenye utumishi wala hajui maagizo aliyopewa na Mungu.
@user-ic4cg5fx2f
@user-ic4cg5fx2f Ай бұрын
Hadi Raha Yani kwa upendo huu kama tuko mbinguni.
@AnnaMbossa
@AnnaMbossa Ай бұрын
Jamni acheni kulaumu unajua anapitia wapi,
@cosmasnghanga7107
@cosmasnghanga7107 Ай бұрын
Uliyeposti hii Naomba ukiiona hii unijibu, Mungu ni mmoja, Yesu, Biblia ni moja, Kwann hawa maaskofu walitofaututiana kwenye kipindi cha Korona, Leo hii wako pamoja tena? Au Roho mtakatifu au Roho mtakatifu aliwafunulia tofauti kila mmoja 😀
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa Ай бұрын
Hiyo ni ya 2019. Pili, uhubiri wa kweli ni kifo. Mtu akiona hayupo tayari kufa anachepusha kidogo injili ili aendelee kupiga ugali kidogo siku zisogee.
@JacksonMbites
@JacksonMbites Ай бұрын
NINATAMBUA HUDUMA YA BISHOP KAKOBE NA DR GWAJIMA HAWA NDIO WATUMISHI WA MUNGU WA UKWELI TANZANIA
@alphonceassenga4596
@alphonceassenga4596 Ай бұрын
Acha UONGO Gwajima. King Henry hakuwa askofu Bali alikuwa mfalme wa wiingereza na alianzisha anglicana Kwa kuwa alikuwa anataka kuoa mke wa pili Kwa kuwa mke wake wa kwanza hakumpatia mtoto wa kiume. Kabla hujaongea tafuta ukweli. Unadanganya maelfu ya watu
@stephenkalidush5446
@stephenkalidush5446 Ай бұрын
elewa concept
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp Ай бұрын
Ulikuwa unakaa kwake? Yaani umepitia pitiable3hako ka historia unaanza kukosoa watu na kuwaona waongo 😂😂😂😂😂😂 na yeye akija na historia yake inayoaminisha hayo anayosema niya kweli utafanyaje?
@Prosperitytales
@Prosperitytales Ай бұрын
Hii ya lini hii😅
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Ай бұрын
Kama wewe ni mpentekoste ukashindwa kumjua na kimtaja Kulola..nina wasiwasi na wikovu wakoo
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Ай бұрын
Kulola ndio Nani?
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Ай бұрын
@@mwigarleysaid5406 hata wewe humjuwi Askofu Mozes Kulola?huyo ndie mpetemtekoste wa Kwanza kabla ya Kakobe. Yeye Gwajima anampamba tuu Kakobe.aache kudanganya waumini
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Ай бұрын
Kakobe alikuwa mtanzania wa kwanza kuanzisha kanisa, kumbuka kulola alikuwa TAG ambayo imeanzishwa marekani,badae kulola nae akasajili kanisa la EAGT​@@eliakazilo6078
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym Ай бұрын
Kabisa,MOSES KULOLA ni baba wa kiroho wa Kakobe,na ndio maana kwa heshima Kakobe alimualika kanisani kwake KULOLA na Mkewe na kukiri kuwa ni mtu aliyejifunza mengi sana toka kwake.
@CheerfulHighway-op8tf
@CheerfulHighway-op8tf Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Halafu napenda nikujulishe kuwa Freemason wamekuwepo nchini Tanzania tangu mwaka 1952 nenda posta kuna jengo lao jeupe utaona limejengwa mwaka gani usikurupuke kutukana watu kwa jambo usililijua kama una chuki zako binafsi na Gwajima hili usituletee kwenye mitandao
@stephenkalidush5446
@stephenkalidush5446 Ай бұрын
una ushirika nao
@dicksoncyprian9511
@dicksoncyprian9511 Ай бұрын
MBONA WATU WANAMTAJA KULOLA NA HAWAMTAJI MWENZAKE WALIETENGANA NAE TAG
@adrianmgode6409
@adrianmgode6409 Ай бұрын
Martin Luther akaona mambo hayako sawa akahama wakaja pentecostal baada ya kuona Lutheran kuna makosa ,baadae watokea babtist baada ya kuoana makosa,sahv kuna mitume na manabii baada ya kuona pentekoste kuna ujinga mwingi😂😂😂😂 akili za mbuzi ukiwa mtu wa mazabauni jitahidi kunyoosha ukweli wa mambo sio chuki dhidi ya imani fulani
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Ай бұрын
Uongo huyu jamaa muongo mpuzeni, freemason miaka 1964 haikujulikana. Na moses kulola na kakobe wamejitenga na makanisa yao miaka ya 64-70 walikuwa wameimalika. Huyu jamaa mpuzen.kwanza kakobe ametanguliwa na kulola
@richardrobert2203
@richardrobert2203 Ай бұрын
Hujaelewa, Kulola alianzisha kabisa! Au dhehebu??
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Wewe hujui historia ya kanisa ndio maana maana unaanza na matusi badala ya kuanza na Neno la kubariki Bahati mbaya nadhani hata darasani Mwalimu alikuwa akifundisha unatoka kapa:Moses kulola alikuwa mu AIC alijiondoa miaka 70 iliyopita akajiunga na TAG mwaka wa 90 Akaanzisha huduma yake ya EATG sasa Kakobe tayari alikuwa ametangulia hiyo EATG
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Ай бұрын
@@samsonhamery3809 hyo huduma ya EAGT Ailianzishwa na watu wawili? Hv mkoje nyie watu, umesema akaanzisha huduma huku umesema kakobe tayari alikuwa ameanzisha nn fact poit yako? Founder ndo nan wa EAGT?
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Ай бұрын
Kulola ndio Nani hapo tunaongelea ministry hatujadili Mambo yenu ya dini za TAG ,EAGT Ni dini za wazungu. Hazikuanzia nchini Tanzania uwe unaelewa maada😂😂😂pimbi wewe
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Ай бұрын
Licha ya hivyo TAG hazikuanzia Tanzania Hapo kinachosemwa Ni kilichozaliwa Tanzania siyo kolola aliyeanzia na dini za wazungu. Assemblies of God haikuanzishwa kwetu
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 Ай бұрын
Hii ni video ya zamani ao
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo Ай бұрын
Kwa kuona hiyo najifunza kwamba imani ni sawa na mbio za marason, tunahitaji kufunga mkanda sawasawa, maana kakobe alikuwa fire usipime.
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn Ай бұрын
UNA KIPIMO CHA KIROHO KWAAJILI YA WATU WA MUNGU!? NA UJASIRI HUO WA KUWAPIMA WATU WA MUNGU UMEUPATA WAPI!?
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo Ай бұрын
@@CharlesMbunda-og5tn Mengine hauwezi kuyajua mpaka utakapokuwa, cha kufanya endelea kukua.
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn Ай бұрын
@@Hapomwanzo Mwenye kipimo cha hali zetu ni Yesu peke yake. Yeye mwenyewe kwa maneno yake anasema: "....NA MAKANISA YOTE WATAJUA YA KUWA MIMI NDIYE ACHUNGUZAYE VIUNO NA MIOYO...." (Ufu 2:23). Kwa maana potofu yako wewe na wenzio, mnadhani mko daraja sawa na Yesu. Haya! Nyie ndio mnakaa kwenye kiti cha hukumu kumlipa kila mtu kwa kadri ya matendo yake!? Huko siyo kukukua kiroho. Ni kiburi ambacho mwisho wake ni mbaya sana!
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo Ай бұрын
@@CharlesMbunda-og5tn Ndugu usikifanye kiroho kuwa kama kitu cha kijinga kama unavyofikiri, hivi mtu anapoanguka dhambi(pengine amezini bila nyie kujua), huwa mnajuaje? hapo ni macho na akili ya kawaida huwa inatumika, acha ujinga kwa kubeba imani usiyoifuata Haya hebu sasa niambie paulo alipowaambia wagalatia mlianza katika roho na sasa mnamaliza katika mwili, hapo alipata ufunuo?? ni yesu alichunguza viuno vya wagalatia???
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo Ай бұрын
@@CharlesMbunda-og5tn Nimekwambia ukikua utaanza kuelewa, acha huu ujinga uliobebeshwa na kuambiwa ni imani kumbe wendawazimu tu!. Paulo anawaambia wagalatia, mlianza katika roho na sasa mnamaliza katika mwili GALATIA 3:1........, haya sema kwa hapo paulo alifunuliwa au yesu alichunguza viuno vya wagalatia?.
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Ай бұрын
Moses Kulola na Kakobe nani alianza kuanzisha upentekoste? Tanzania?
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo Ай бұрын
@@eliakazilo6078 Cha kukusaidia, fuatilia historia ya kakobe ya kuokoka kwake aliokokaje, hapo majibu utayakuta.
@sautikuu212
@sautikuu212 Ай бұрын
Hujaelewa vizuri
@sautikuu212
@sautikuu212 Ай бұрын
Alianza Kakobe
@anthonyjoseph1675
@anthonyjoseph1675 Ай бұрын
Kulola
@sautikuu212
@sautikuu212 Ай бұрын
@@anthonyjoseph1675 kulola ni zao la TAG baada ya mgogoro kutokea. Kakobe alianza mwenyewe bila kugombana wala kugawana washirika
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 Ай бұрын
Wewe ni kigeugeu. Wewe ni wakumkandamiza mpina kweli? Mnafiki mkubwa
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi Ай бұрын
Nakubaliana na wewe ,Yani huyu na Msukuma ovyo kabasa
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 Ай бұрын
Aiseeee Kakobe kwa sifa hizi kweli ameamua kukaa kimya kabisa,shida sio unavyoanza ni shida ni vile unavyoamaliza je, unamalizaje? hapa ni kukaza sana mpaka mwisho kwa namna yoyote.
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn Ай бұрын
KWA HIYO AMEMALIZA SAFAFARI?!
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 Ай бұрын
Unafahamu maono ya Bishop kakobe Zachary kwa sasa?.
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn Ай бұрын
​@juliusjohnii7823 YUKO KWENYE MAANDALIZI NA UTUNGAJI WA VITABU VINGI MBALIMBALI VYA KIROHO, KAZI AMBAYO INGECHUKUA MUDA MREFU. NA HILO SISI KAMA WASHIRIKA WAKE ALITUAMBIA!! HII IMEKUWA KAWAIDA YAKE, KILA ANAPOPATA UFUNUO MKUBWA, HUJITENGA FARAGHANI KAMA ILIVYO KWA MANABII WENGINE WALIOMTANGULIA. AKIIBUKA HUJA NA JIPYA. USIMLINGANISHE NA KIJANA MBARIKIWA, WALA KUWALAZIMISHA WATUMISHI WENGINE WOTE, WAROPOKE HOVYO HOVYO, KAMA WATOTO WENZENU! MKIKUA, MTAACHA. VINGINEVYO UTOTO HUO, UTAZAA KIBURI CHA KIJINGA, AMBACHO MWISHO WAKE NI UANGAMIVU!
@emmanuelmwakibolwa735
@emmanuelmwakibolwa735 Ай бұрын
Kumalizia kazi mtumishi wa Mungu, kunategemea wito gani amepewa na Mungu. Hakutegemei vile tunavyotaka wanadamu. Anayewatuma hawa watumishi ni Mungu, anawapa cha kwenda kufanya. Tukitaka wafanye vile tuonavyo sisi, ni sawa na kusema sisi ndio tuliowatuma.
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn Ай бұрын
@@juliusjohnii7823 KWA TAARIFA YAKO, MAONO YA BABA ASKOFU KAKOBE KWA SASA NI KUANDAA NA KUTUNGA VITABU MBALIMBALI VYA KIROHO. HUO NDIO UFUNUO AMBAO SISI WASHIRIKA WAKE ALISHATUAMBIA. KWA TAARIFA ZAIDI, FUATILIA UKURASA WAKE FACEBOOK; AMA INSTAGRAM; NA ZAIDI SANA UKURASA WA KANISA LA FGBF. KUJITENGA FARAGHANI NA BWANA, NI KAWAIDA KWA WATUMISHI WANAOONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU, TANGU ENZI NA ENZI; HASA PALE WANAPOONGOZWA NA ROHO KUFANYA HIVYO. YESU, HATA BAADA YA KUKUA, HAKUKURUPUKA KIHUDUMA, ATI KWAKUWA YOHANA MBATIZAJI- SAUTI YA MTU ALIAYE NYIKANI YUKO KAZINI! HUKO NI KUFUATA MKUMBO; AMA KUTOTAMBUA MAJIRA. ALIANZA HUDUMA MIAKA 30 YA UMRI WAKE! KUTULAZIMISHA SISI KUONGEA-ONGEA KAMA NYIE MNAVYOTAKA, NI KUINGILIA MWITO BINAFSI WA MTUMISHI MWENZAKO; NA NI UTOTO WA KIROHO.
@Incredibleone7426
@Incredibleone7426 Ай бұрын
Jasusi L.A. mbinguni
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e Ай бұрын
Mm nakupuuza ww maana ulaya ndo aliishi yesu na ukoo wake hvyo tunapaswa kufaata wazungu maana kwao ndo kuna makumbusho ya mungu
@brianshomi722
@brianshomi722 Ай бұрын
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Ай бұрын
Unesahau YESU ndie alitoa kibali kwa wale thenashara, ,nendeni ulimwenguni ,mkaisambaze injili..uwe UNASOMA Bibilia..Ile kusema kwa jina la YESU. Ni neno zito Sana katka maombi
@pascalthoya1594
@pascalthoya1594 Ай бұрын
You're very wrong
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Ай бұрын
Hata Kama YESU alizaliwa ulaya..haimaanishi wote Ni wazuri..Ndio maana MuNGU katuwezesha tumejua mbichi na za kuiva..MuNGU Ni wotee haijalishi Ni wa Kanika gani..kinachotakiwa umpokee na unakubali.tena kwa Sala ya Toba na kubatizwa na maji mengi..utaona maajabu kwenye maisha yakoo..aliesemaga MuNGU sio athumani hakukoseaga
SIRI KUBWA iliyofichwa nyuma ya UTAJIRI wa MFALME SULEIMAN | ASKOFU GWAJIMA
15:54
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 9 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 101 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 6 МЛН
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 6 МЛН
Mbarikiwa amwangukia MAKONDA. Nimetumwa nikuletee ujumbe huu wewe na serikali kwa ujumla
44:32
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 19 М.
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 5 М.
HIKI NDICHO KINATOKEA UNAPOSIKIA NENO LA MUNGU | ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA
12:34
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 9 М.
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 56 М.
Huwezi kumiliki bila kupitia aina fulani ya vita | Bishop Gwajima
8:27
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 48 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00