Пікірлер
@TATUMSUMSA
@TATUMSUMSA Сағат бұрын
Watanzania wana akili kubwa kuliko nyie mnavyosema nyie subirini uchaguzi
@joscamkulalinda6340
@joscamkulalinda6340 2 сағат бұрын
Asante mungu awabaliki
@RodaSteven-ci6ne
@RodaSteven-ci6ne 4 сағат бұрын
MUNGU simama na machozi ya Hawa wamama,yasilete laana katika Nchi
@healingclinic698
@healingclinic698 6 сағат бұрын
Magembe ungefungua huduma yako tu ungelea kizazi chenye kubeba chapa za kristo kama ulivyozibeba sasa changamoto unapigana vita ndani ya sehemu ya nyumba iliyobomoka
@GodfreySilvesta
@GodfreySilvesta 7 сағат бұрын
Jamani hizi siki za mwisho ni hatariiii tutubu yesu yupo mlangoni....watu wamegeuza injili ....
@estafuraha
@estafuraha 9 сағат бұрын
Ameeen sana
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 9 сағат бұрын
Amen mtumishi wa Mungu tunashukuru kwa mafundisho haya.
@user-nm4vp2tn7y
@user-nm4vp2tn7y 10 сағат бұрын
Amina Mtumishi umeeleweka sana 🙏🙏🙏👍
@user-uv6km8dg1z
@user-uv6km8dg1z 14 сағат бұрын
Aminaaaaa
@PauloPakasi
@PauloPakasi 15 сағат бұрын
Mungu akubariki piya akukulinde na maadui
@user-xq5os3pn9d
@user-xq5os3pn9d Күн бұрын
Ubarikiwe mpendwa upendwaye na bwana
@Elishamollel-p9x
@Elishamollel-p9x Күн бұрын
One point umenena Sana 😢😢😢 rais katili Sana hana utu na watu
@user-jj3os9bx6m
@user-jj3os9bx6m Күн бұрын
Kwahiyo unamtuhumu mwamposa mzee unakosea
@user-jj3os9bx6m
@user-jj3os9bx6m Күн бұрын
Kwa tuambie maoni yako
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky Күн бұрын
Mungu uwakumbuke hawa ndugu zetu Wamasai
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn Күн бұрын
NGORONGORO watabaki tu nyumbani kwao NGORONGORO.
@allimatwiga4809
@allimatwiga4809 2 күн бұрын
Amen
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 2 күн бұрын
Huyu ndo wale wale tu hana jipya.
@gililwise
@gililwise 2 күн бұрын
Watanganyika ni wanafiki.mbona haya hayatokei zanzibar?tanganyika bado sanaaa
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 күн бұрын
WAMASAI WA NGORONGORO BAKINI HAPO HAPO NGORONGORO NDO NYUMBANI KWENU.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 күн бұрын
NGORONGORO BAKINI HAPO HAPO NDO NYUMBANI KWENU TANGANYIKA.
@karolshirima8935
@karolshirima8935 2 күн бұрын
Kwa umri wake huyu Mzee hawezi kuongelea taasisi bali ana mamlaka ya kuongelea kanisa kwa ujumla...
@Stephano-sy4ou
@Stephano-sy4ou 2 күн бұрын
Acha abebe hiyo laana
@msafiriomary893
@msafiriomary893 2 күн бұрын
Ondokeni inchi sisi tumeuza nyinyi ondokeni kwenu ithiopia
@user-uv6km8dg1z
@user-uv6km8dg1z 2 күн бұрын
Amina baba, aovijana wameshalaaniwa bila wao kujijua.
@MudymubengaMudy
@MudymubengaMudy 2 күн бұрын
Namini ushapigia kalurlete maisha yako
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 2 күн бұрын
Hata wewe utakufa tu, kufa ni uhakika
@majigeedward955
@majigeedward955 3 күн бұрын
Nani atuokoe Jamani vijana cc nani wakisimama km hawa babazetu nawezaje kuanza nikawa kama baba huyu
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 3 күн бұрын
Tukutane 2025 mwezi wa kumi
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 3 күн бұрын
Tatizo hatukumchagua namna hii je tukimchagua atatumariza
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 3 күн бұрын
Tunafurahisha wageni tunanyanyasa watu wetu ni ujinga wakupitiliza
@barakahhawu2324
@barakahhawu2324 3 күн бұрын
Mungu utuhurumie watoto wako.
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 3 күн бұрын
Baba uko vzur Kwa kulia au unachembechembe za utoto Bado
@ezekielndaga2756
@ezekielndaga2756 3 күн бұрын
Upo sahihi mchungaji,matengenezo yanatakiwa kuanzia ndani,Mungu akubariki sana na aendelee kukupa nguvu kwa ajili ya wake wa Mungu
@isayamhumba3352
@isayamhumba3352 3 күн бұрын
Wewe sio TAG hayo yanakuhusu nini?
@KsaC711
@KsaC711 3 күн бұрын
Kwa hiyo Isaya unafurahia watu walioumia?
@DaJemimah62
@DaJemimah62 3 күн бұрын
Ni kweli Pentekoste ya leo sio ile ya zamani.. Hakika Imekufa. Imekwisha, Lakini asifiwe Mungu aliyelijua hili akatupa ahadi katika siku hizi za mwisho ya kuturejesha katika Imani ya Pentekoste ya Asili(Malaki 4:5-6) Hallelujah.
@Mzitomatelephone
@Mzitomatelephone 4 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi napenda nondo zako
@charlesmiringu6810
@charlesmiringu6810 4 күн бұрын
2:57 😊
@REBEKAMBONGE
@REBEKAMBONGE 4 күн бұрын
Ooooooooo baba pasta mungu atusaidie tulipo panatisha jamani😢😢😢😢
@Mzitomatelephone
@Mzitomatelephone 4 күн бұрын
Ako kananinginia ni ka nini?
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 4 күн бұрын
Hapo nilikuwa chini ya MHARADALI (mti wa kivuli wa garden). Hilo kopo linashusha matawi yatengeneze kivuli kizuri.
@user-gv7sd4oi6q
@user-gv7sd4oi6q 4 күн бұрын
Laana jamani
@Mzitomatelephone
@Mzitomatelephone 4 күн бұрын
Magembe ndo angefaa kuwa Rais wa TAG
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 4 күн бұрын
Nch ipo kweny mpasuko wa kutisha. Mungu tuokoe tunaangamia
@YiGalula
@YiGalula 4 күн бұрын
MUNGU wa MBINGUNI angalia kilii Cha watu wako, sema neno Bwana
@EliaMhile
@EliaMhile 4 күн бұрын
Msimlazimishe Mwakasege kuhubiri mnachokitaka nyie...
@MsafiriMwamahonje-i8r
@MsafiriMwamahonje-i8r 4 күн бұрын
Injili ya kulola
@EliaMhile
@EliaMhile 4 күн бұрын
Kwani Mwakasege anatumia Qur-an? Na ni lini Mwakasege kasema yeye ni Mungu? Wapuuzi nyie, mnaongea pumba tu.
@georgedamas7097
@georgedamas7097 5 күн бұрын
Kanisa halijafa,kanisa ni kristo....
@ShadrackMwita-q3d
@ShadrackMwita-q3d 5 күн бұрын
Wewe kua kwanza dogo ungejua hao watu, wewe na magembe nani anauchungu na kanisa,wewe umetumiwa
@mwawaw9899
@mwawaw9899 5 күн бұрын
Very true.
@user-nm4vp2tn7y
@user-nm4vp2tn7y 5 күн бұрын
Amina kamanda kweli kafanya jambao la kishujaa sana