This is one of the servants of God I respect and listen to.More grace!
@silajulius34672 жыл бұрын
kabisa. muujiza mkuu Ni Mtu kuokoka na kumpokea Yesu Kristo
@fidelialucassamkhumbi24764 жыл бұрын
I love the bishop, umaskini haupo mbinguni, ndio negative yenyewe
@StewartUkasonАй бұрын
This man of God is so smart. I just like him
@OyengelaMariam-wk6qm Жыл бұрын
I love my Dad gwajima may God bless him
@margaretkarambu936 Жыл бұрын
A brilliant Man of God.
@TimothYamunda10 ай бұрын
Unahekima ya kristo ndani yako mzee ❤❤❤
@witneskilinda50344 жыл бұрын
Uwatakase kwa ile kweli neno lako (Mungu) ndiyo kweli. Yohana 17:17
@sindabahabwoyaanacret6604 жыл бұрын
Sure
@jerryjuma13393 жыл бұрын
ndugu gwajima anajibu kwa hekima may GOD bless him
@mariarashid61402 жыл бұрын
Bishop wangu gwajima tunakupenda
@felixmwacha62164 жыл бұрын
Yesu alikufa kwa ajil yetu inatupasa kumwamwin il tuingie mbingun nimeielewa hiyo bishop
@miltonmugisha18054 жыл бұрын
Gwajima is very smart Hasa hapo kwenye muujiza mkubwa
@davidkihiga35314 жыл бұрын
my role model
@Patience.673 жыл бұрын
Nampenda Baba gwajima enyewe ana mafunzo mema
@faridumiraji99604 жыл бұрын
clouds Tunaomba mtuleteee video za Sam_Sasali akiwa anaperusi na kudadisi na wakina kipanya
@BarakaWaya4 жыл бұрын
Kwanini mko studio but mchukua local video sauti haiko well
@MiriamMeshack-k6z5 ай бұрын
Mawimbi mafuno🎉
@barackhuncho24324 жыл бұрын
Shikamooh gwajima
@azizaz16284 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 Barack! 🤔
@RaimundoZacariasJonas-jq1bg Жыл бұрын
Nimependa apo kwenhe muhujiza
@abahimbangerina3804 жыл бұрын
SIZYA hebu fanya upate mwenzio maana nimekuona leo kumbe umeisha kuwa mtu mzima. Napenda maongezi na maswali yenu...challenging questions.
@mr_kajombaremelo_og21344 жыл бұрын
Naipenda clouds
@thomasbukuru Жыл бұрын
Bishop GWAJIMA Chuma kabixa
@elinihakieliakunda99674 жыл бұрын
Majibu anayotoa kwangu bado sana
@trophywilson72118 ай бұрын
mfuate Kawe utapata majibu yoote na Kiu itaisha
@AbigaëlKatumbwe7 ай бұрын
Mchungaji tu me kuelewa.
@josej98884 жыл бұрын
Chuma hicho.
@gadsonndato29414 жыл бұрын
Acha aendelee kukusanya sadakkma za watu mungu anamuona
@queenjaneth8864 жыл бұрын
Huna Akili kabisa na unachokiongea hujui unaongea tu Bible inasema watu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndo wewe sasa
@eliassospeter4 жыл бұрын
Sasa unataka uajiliwe wewe ukakusanye?? Mbona akili kidogo unauliza nini sasa hapa?! Kazi ya sadaka ni nini? Hebu soma na maandiko ili uelewe.
@margaretkarambu936 Жыл бұрын
Ukienda kanisani ni lazima utoe sadaka.
@SaidChambi8 ай бұрын
Askofu Gwajima ichambue bible
@eliarichard92184 жыл бұрын
Amen.
@emmanuelbasu46723 жыл бұрын
nisaidie nmb yako askof Gwajima
@azizaz16284 жыл бұрын
Leteni zaka kamilighalani ili kiwemo chakula ktk nyumba yangumkanijaribu kwa njia hiyo asema Bwana wa majeshi. Malaki 3:10 Nataka kusema nn zaka na sadaka ni mali ya Bwana. Kwa hiyo hata gwajima ni lzm atoe zaka na sadaka tena kwa uaminifu na km hatoi bibilia inamuhesabu kuwa ni mwizi.
@magnusnkomola59504 жыл бұрын
Huwa najiuliza sana WATU WA mungu kuwa matajiri NA kushindwa kusaidia maskini NI SAHIHI kweli? Ndiyo mungu anasema HIVYO. Huwa sijasikia hapa kwetu Tz wachungaji wakisaidia WATU wanapopata majanga. NI toe mfano kwa NABII TB JOSHUA JINSI MUNGU ANAVYO MBARIKI NA KUWAPONYA WATU WAKE KWA HATUA HIYO NAONA UWEPO WA MWENYEZI MUNGU.
@mathewssilungwe76922 жыл бұрын
Hakuna mtumishi nabi kama TB Joshua hapa TZ.... Yule TB Joshua alitoka kwa Yesu na pia tutamuona wote tukifa Mbinguni.
@faridumiraji99604 жыл бұрын
Ila masoud naona umemuivisha ciza
@laurentmbakile93894 жыл бұрын
Leo cameraman yuko vizur!
@Goodmusic20174 жыл бұрын
Mwenye akili kashaelewa...!! No time to argue...!😃😃😃
@graceufufuo15024 жыл бұрын
👍👍💯
@denistimothy66504 жыл бұрын
Yan uyo lady presenter ana put much concentration ya kuhangaika na kisim chake kuchukua video wakat kuna camera zimefungwa apo 😅😷
@ovn-sportswear49834 жыл бұрын
Kabla ya yote watangazaji na waumi nendeni mkaisikilize nyimbo ya afande sele ft bele9 dini zililetwa tu kutoka mashariki ya mbali sasa inashangaza amzungumzii kabla ya hao watu weupe kuja africa sisi watu weusi tulikuwa hatu mungu wa mtume mweusi tiii kamimi au wewe leo hii unajifanya unaimani ya kuletewa
@azizaz16284 жыл бұрын
Ukitaka kusema hivo enzi hizo hata Hospital hazikuwepo viwanda mashule, umeme nk
@azizaz16284 жыл бұрын
Na kingine hata ww said hukuwa na dini hiyo kabla ya mwarabu
@bernardmwenda51864 жыл бұрын
Said Athmani, inaonesha hujui Mungu ni nini! Unafikiria kuwa Mungu unaweza kumtengeneza hata wewe akawa Mungu wako. Mungu ni muumba wa wote, ni Baba wa wote wenye mwili. Wazungu kama waliteta dini ambayo hukuielewa inaweza kuwa sawa kwa sababu kuna dini nyingi; zinazoitwa za Kikristo na zinazoitwa za Kiislam. Dini siyo Mungu, lakini Mungu bado yuko. Mungu anawafanya watu kuacha dhambi wakishamtambua na kujua madhara ya dhambi, kwamba ni moto wa Jehanam. Nikizungumza hilo bado utasema ni mafundisho ya kizungu au ya kigeni; ni kwa sababu hujampokea huyo Mungu. Nikikuelezea kwa maandiko katika biblia utasema zimeletwa na wageni, bado moyo wako utakuwa mbali. Jambo moja fahamu tu kuwa, sisi ni viumbe, hatutaishi milele hapa duniani, na aliyetuumba ni Mungu mwenye haki yote, anataka tuishi maisha ya kutokuwa na dhambi au maisha ya utakatifu, Zaburi 16:3. Mwanadamu kwa jitihada hawezi kuishi maisha hayo, ni mpaka ajitambui na ahitaji msaada wa kushinda dhambi kutoka kwa Mungu mweyewe. Ni suala geni kwako, lakini tu ni kwamba wenye dhambi wote , wakifa wanaenda jehanamu ya moto, kama huamini utakapokuwa umekufa utaamini maneno haya.
@abujuhaifah74614 жыл бұрын
Gwajima swali kuhusu utajiri umezungusha nakupa F kwa ulivojibu yaonesha munawaibia ao wananchi
@brigithadidas51284 жыл бұрын
Amna mtu anaeibiwa maana sadaka sio lazima
@azizaz16284 жыл бұрын
Kiukweli asemae wanaibiwa wananchi unakuta hasomi maandiko bibilia iko wazi hilo ni 1la pili kuhusu kutaja mali zake acheni kbs mm naona haina mantiki yoyote huwezi kuchukuwa mazingila ya ulaya ukaya leta Afrika hapo nikitu hakiwezekani hapo tu kuna watu walikuwa wanasubiri kwa hamu ataje halafu angeona ambacho kingefatia
@queenjaneth8864 жыл бұрын
Ongea machache Abu maana Mali zake wewe hazikuhusu hata kidogo
@sospeterkamala54814 жыл бұрын
Hao watangazazaji wamekutana na kichwa kinachowazidi akili na Mungu
@wekaputv94064 жыл бұрын
Kachemka
@abrahamyohana49534 жыл бұрын
Oya muachenihuyo gwajima! Mutamuumbua
@sunrishmussan79294 жыл бұрын
Maswali mengne mnayotakiwa kuwaulza hawa wachungaji nkwamba KWANINI WAMEKUWA HAWAWAXOMEI WAUMINI WAO BAADHI YA SURA KWENYE BIBLE bali wamekuwa wakifichafcha tu mambo na kuwaxomea xehmu wanazoona zitawanufaisha wao?
@bernardmwenda51864 жыл бұрын
Sura ipi kwa mfano ambayo haisomwi?
@danielchacha29734 жыл бұрын
Mfano wapi
@joycegeorge47124 жыл бұрын
Wewe ni mkristo ?¹
@akagast52254 жыл бұрын
@@joycegeorge4712 ww hokororo hujambo?
@raymondmelele19114 жыл бұрын
Uyo jamaa ana point sana
@orestonjalika6324 жыл бұрын
Maswali magumu sana aise
@idrisatv55403 жыл бұрын
Mali ya kanisa nani mwenye kanisa wakati wewe ndiyo mmiliki wa kanisa?
@yaletbweye55654 жыл бұрын
Uwezi kujilinganisha na Papa,sababu papa hanamali zake binafsi,malianazo tumia zinabaki kanisani
@pericykiko61984 жыл бұрын
Ameongea mfano tu kwani papa ni Nani si binadam tu na yy kuanza Kanisa lake ipo kisheria na hata kutoa sadaka hakuna kudhikiwa bunduki hata ukitaka usiende hushtakiwi sadaka sadaka Tena wasemaji wa sadaka wao wanatoa mia mbili
@marygregory75664 жыл бұрын
Baba angu Askofu akiongea natamani Kila mtu anyamaze nimsikie kwa Makini
@jaafarjacka33204 жыл бұрын
Masoud Kipanya........maswali magumu unauliza
@bethkatunx76773 жыл бұрын
Mali zake na utajili vina mahusiano gani mwacheni awatumikie tz
@mwaminiwivine28404 жыл бұрын
Diyounawapa ujumbe hawasikiye
@chitemakeha20674 жыл бұрын
Mlidhani gwajima kapataje utajiri? Nyie watu gwajima ni intelligent sana yan hamkujua?
@syriacussylivester45944 жыл бұрын
Kweli jamani iweni makin huyoo ni mtumishi mkubwa anaetumika kimungu so badili mawazo yenu ety mtaumbukaaa
@saidahamada77824 жыл бұрын
Mali za sadaka hizo
@aminamunezero4 жыл бұрын
Namkubalisana.sikuhizi simsikikuliamsha dude
@isaiahmichael42024 жыл бұрын
Hakuna aliejaribu kuchokoza
@aceotz25794 жыл бұрын
Maswali haya mh!🙆
@iamthefarmerceo23164 жыл бұрын
MasOUD Kipanya is the RADIO PRESENTER OF ANOTHER LEVELS!! Mwaswalii ya akili na yeye anazo akili pia.
@azadida8014 жыл бұрын
Mchungaji vipi kuhusu dawa ya corona, hapo ndio pa kusaidia, kama kweli unatembea na Yesu wapi dawa ya Corona
@pericykiko61984 жыл бұрын
Na baada ya kupona mbona sijaona ukirudisha shukrani kwa Mungu sio vizuri kudhihaki maana hata sisi tunapaswa kuomba sio baada ya tatizo ndio tuambie Watumishi km unahubiri nione na hili ukilifanya neno linasema ktk Ezra inuka maana shuhuli hii inakuhusu
@kabangoamini84314 жыл бұрын
Mwongo marizote zamakanisa haya yakireo huwa nimarizo na wanaandikisha kbs serekarini kama mariyao
@jerryjuma13393 жыл бұрын
nawewe fungua kanisa Kama unaona anafaidi mwenzio
@abelbest49844 жыл бұрын
Gwajima janja janja sana veve ,unajbu maswal kijanja janja sana
@balbcheng18154 жыл бұрын
Philosophy
@kibonahenry15214 жыл бұрын
Huyu jamaaan anapoint xana
@faridumiraji99604 жыл бұрын
maswali lit pekee hiii ndo clouds
@hamadshein82724 жыл бұрын
Ckuwatuma muende kuponya watu kwa jina langu.mimi nyie cwajui. Yesu huyo ndo anacma sasa cjui hpo pamekaaje.
@robathzingu16504 жыл бұрын
Una - refer toka wapi hiki unachokisema hapa? Biblia au Korani? Kama ni Biblia toka kitabu gani na aya ya ngapi ndugu?
@hamadshein82724 жыл бұрын
@@robathzingu1650 yesu kawakana hawa mitume feki hta kabla y cku y mwisho.sasa hta nikikwambia ukacme hta badilika.wewe komaa mpka cku ya mwisho.ukakataliwe live.
Tutajie hilo andiko linatoka kitabu gani Cha biblia na sura ya ngapi
@jumajaffary96984 жыл бұрын
Wewe mchungaji unasema ni mfuasi wa Yesu na Yesu anasema msimwite mtu baba kiimani hapa duniani... Mbona hueleweki... Mathayo 23:9 Mathayo 23:9 BHND Wala msimwite mtu yeyote ‘Baba’ hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu, aliye mbinguni. BHND: Biblia Habari Njema
@linnamlay36434 жыл бұрын
Hiyo tafsiri huwezi kuijua kama huijui biblia,hilo neno baba litakusumbua,usisome biblia kutafuta cha ku comment neno la Mungu kwa mkristo linaeleweka katika kufunuliwa kwa neema tuu,halina degree ya kwanza katika kusoma biblia,unaweza ukaisoma biblia hadi uzeeke usijue alichomaanisha Mungu,lakini anaweza akamfunulia mtoto mchanga,au hata asiyejua kusoma akaijua biblia, so unapotoa maoni jitafakari kwanza nia yako ni ya kimungu au ushabiki usokuw na tija kibiblia???Mungu akufunulie neno lake katika kweli ndugu yangu.
@leokadiakajuna80004 жыл бұрын
Ttzo hujui inamaana gn km haujui biblia hutoelewa kitu umo
@jumajaffary96984 жыл бұрын
@@linnamlay3643 wewe unae elewa toa ufafanuzi Yesu kakusudia nini?
@jumajaffary96984 жыл бұрын
@@leokadiakajuna8000 Nilifikiri ungetoa Andiko kua unaweza mwita Askofu baba hata kama hana mke au umemzidi umri umwite baba
@princepeter21104 жыл бұрын
Ndo ipo hivo ila mkiifata,biblia kichwa,kichwa,utakuwa unasoma riwaya,za bunuas
@johnmligo69664 жыл бұрын
Nanyie watangazaji muulizeni maswali ya msingi alisema corona HAITAINGIA sasa imeingia ajibu huyo Mungu kigeugeu akoje?
@jordanfromyt28614 жыл бұрын
john mligo labha ulisikia vibaya au?
@lechoaidan84163 жыл бұрын
Haijaingia kwake ,,Kama i meingia imekuja na wenyewe tu
@uhurusamora8604 жыл бұрын
Nabii wa shetani huyo tapeli! Yesu hakuwa tajiri wala Papa wa Vatikan sio tajiri ana mamlaka tu!! Kumbuka "Tajiri kuingia ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano" mungu anakuona!!
@bernardmwenda51864 жыл бұрын
Mamlaka ya Papa ni ya mbinguni au duniani? Papa kwa taarifa yako ni Rais, akiingia nchi yoyote anapigiwa mizinga kama Rais. Rais halafu kiongozi wa dini! Cha msingi nadhani ni utakatifu na uaminifu kwa Mungu, na pia kuhubiria watu kweli ili waende mbinguni.
@eh2construction5754 жыл бұрын
Ndo ulivyoelewa kumbe, endelea kuwa maskini. Ukiwmbiwa toa mchango wa kujenga kanisa unahama kanisa, toka kwenye umaskini. Yesu alikuwa maskini ili tuwe matajiri
@akagast52254 жыл бұрын
Kwan ww unapenda umasikini?
@silverman69304 жыл бұрын
Wajinga ndio wanaoliwa ...
@zulugeneral55634 жыл бұрын
kabisa
@saidabdul55864 жыл бұрын
Harry silver man kabisa
@papayatnzania10054 жыл бұрын
Daa hii interview ingekuwa kule WASAFI TV comments zingekuwa zaidi M1 ila hapa zipo 81 tu yaani chini ya 100 daa hii ni hatari ndugu zangu watanzania mgonjwa yupo ICU
@alexmasea8754 жыл бұрын
We inakuhusu nn mpuuz ww
@bidafumbuka8554 жыл бұрын
hawa ni wachungaji waongo tu wanaijua kweli hawataki kuifundisha.
@johnmligo69664 жыл бұрын
Come on.... wewe jamaa Baba mtakatifu sio tajiri kama usemavyoooo wala hana utajiri binafsi kama usemavyo.... usiwalaghai watu. Utajiri wa Papa ni wa kanisa na wewe ni wako binafsi.
@harrisonsamwel31124 жыл бұрын
we tako kweli inamaana hujui kwamba papa ni rais wa roma ?? unajua miongoni mwa watu matajiri duniani yupo papa emb kasome uskae kujibu jibu tu vitu hujui
@bernardmwenda51864 жыл бұрын
Katoliki ni taasisi Papa ni kiongozi Mkuu wa taasisi hiyo. Ufufuo na Uzima ni taasisi na Gwajima ni kiongozi Mkuu wa taasisi hiyo, tatizo liko wapi? Kama ni mali, taasisi ya Katoliki inayo, na pia Ufufuo na Uzima nao wanayo kidogo kutokana na ukubwa wa taasisi yao. Tatizo liko wapi? Nadhani tatizo ni ile hali ya kuzaliwa katika mazingira hayo, sasa unapoona mazingira mengine unaona kama si halali isipokuwa yale uliyoyazoea unaona ndiyo sawa. Ndiyo maana kutokana na watu kuwa na mazoea hayo, wanafikia hali ya kusema, mtu asipokuwa dini fulani basi hatamwona Mungu; wanadhani kwamba ile dini aliyozaliwa na kurithishwa na wazazi wake ndiyo dini ya kweli; hata mimi ndivyo nilivyokuwa.
@selemankishema57804 жыл бұрын
Mnajaribu kumtakasa muulizeni kondoo wa bwana kaacha kuwatafuna? Matapeli wajanjawajanja
@hamadhamza87644 жыл бұрын
Hamna kitu hapo sadaka tu za waumini hizo asiwalishe watu matango poli
@brigithadidas51284 жыл бұрын
Sasa ww ndo unamjua zaid ya anavojijua yy?
@harrisonsamwel31124 жыл бұрын
kwani akila sadaka ttzo nini siana wafundisha neno kuna kitu cha bure.
@jumajaffary96984 жыл бұрын
Hawa jamaa wana take advantage kutoka watu masikini.. Kwa uongo wao.. Wanafufua au wanaponya kwa jina la Yesu... Mchungaji sasa kuna wagonjwa wa Corona kwanini msiwaponye kwa jina la Yesu?
@jamesmlengela1564 жыл бұрын
Juma usiseme waongo swali ni je hao wagonjwa wanaamini Yesu anaponya?au Maana imani ndio uponya mtu
@jumajaffary96984 жыл бұрын
@@jamesmlengela156 wacha uongo wewe toa Andiko jina la Yesu linaponya, mwenyewe Yesu anasema mimi siwezi kufanya jambo lo lote kwa mamlaka yangu mwenyewe... Soma Yohana 5.30
@eliarichard92184 жыл бұрын
Juma Jaffary yesu anaponya watu kwakuwa Baba yake Mungu wa mbinguni amemluhusu kuponya ndiyo maana hata mtumishi yoyote wa Mungu hawezi kuponya kila mtu Bali mbaka ambiwe na Mungu wake kuwa mtu furani au Fanya jambo furani kwaajili ya nchii na Mungu atakuwa nae cku zote
@jumajaffary96984 жыл бұрын
@@eliarichard9218 Toa Andiko Mungu kasema Yesu ni mwanangu... Yesu amesema yeye ni mwanadamu
@jumajaffary96984 жыл бұрын
@@eliarichard9218 matayo 26 62 Kisha kuhani mkuu akasimama, akamwambia Yesu, “Huna jibu? Husikii huo ushahidi waliotoa watu hao?” 63 Lakini Yesu hakusema neno. Basi kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha kwa jina la Mungu aliye hai, tuambie kama wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu.” Mungu.” 64 Yesu akajibu, “Umetamka mwenyewe. Lakini nina waambieni nyote kwamba baada ya hapa, mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kulia wa Mungu mwenye uweza na akija juu ya mawingu ya mbin guni
@treyguydangote40344 жыл бұрын
Uyo mzee mla sadaka tuu hana lolote dini biashara tuuu
@NyumbaniHabariMedia4 жыл бұрын
Aisee! Ushahidi unao?
@aliciasuperius31014 жыл бұрын
Hujui chochote wewe,,,bora at ucngecomment
@treyguydangote40344 жыл бұрын
@@aliciasuperius3101 we unajua nn eb nambie
@harrisonsamwel31124 жыл бұрын
ssa ulitaka afundishe neno bure?
@selemankishema57804 жыл бұрын
Usiongelee uislam haukuhusu wala haujui.
@chripinecharl3s3024 жыл бұрын
MUNGU TUSAIDIE NA HAWA WATUMISHI WA SIKU HIZI!
@harrisonsamwel31124 жыл бұрын
kaongelea kibaya nin hapo we fala?
@frankanold98033 жыл бұрын
sikujui wewe ni nani lakini I guess anaujua uislamu kuliko wewe
@amosidjuma31463 жыл бұрын
@@frankanold9803 Nataka kuwahona anaye tikisa tazaniya mimi ni ir amosi Niko diyarasi