ASKOFU GWAJIMA ALIPOTEMBEA KWENYE WHEELCHAIR Ep. 4/5 | Bonyeza SUBSCRIBE

  Рет қаралды 65,947

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

Күн бұрын

Tembelea Facebook page www. jgwajima

Пікірлер: 24
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 7 жыл бұрын
Yesu ni bwana.hakuna aliyeshindana na kanisa akashinda
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 7 жыл бұрын
GLORY GLORY GLORY TO GOD 1000 billions times. Mungu umetukuka hauwaachi watu wako kwenye fedheha
@nonenone9281
@nonenone9281 8 жыл бұрын
Dad Gwajima this clip made me cry so hard.kama Mungu aishivyo.there is a hope in everything
@reginarhina6837
@reginarhina6837 8 жыл бұрын
Amen nime barikiwa sana hapa baba Mungu yupo katika jina la Yesu
@reginarhina6837
@reginarhina6837 8 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen yu mwema Jesus
@jealovetteluhabanya7922
@jealovetteluhabanya7922 8 жыл бұрын
eh YESU uliye fia msalabani kwa ajili ya wanao twaomba umkumbuke mwanao anaye jitolea kukutumikia ktk hali ya matatizo. Mungu muongoze mtumishi wako Amen.
@maryadega1463
@maryadega1463 7 жыл бұрын
Wewe wastahili Bwana wewe wastahili.....Wewe unaweza Bwana wewe unaweza.... Wastahili Mungu wetu Kupokea sifa ...
@jacksonfaby9577
@jacksonfaby9577 7 жыл бұрын
@adamkenedy1444
@adamkenedy1444 8 жыл бұрын
God be with this pastor 4reva
@haleemastephen5778
@haleemastephen5778 8 жыл бұрын
God is with you pastor. na anaenda kufanya jambo .jiwe walilo likataa wa ashi sasa limekua jiwe la pembeni .mtu akianguka kwa jiwe hilo litampondaponda na kumsaga kabisa.yeyote aliyesimama kwa ajili ya kukuangamiza atapondeka pondeka na kusagikasagika kwa jina la Yesu.pokea uponyaji .
@nonenone9281
@nonenone9281 8 жыл бұрын
Akuna alieshindana na Mungu akashinda.
@goldmansun8983
@goldmansun8983 8 жыл бұрын
NISAMEHEN, NLIKUWA NATUKANA MNO BFORE JESUS CALLED ME ,BUT NIMEPUNGUZA KWA ASILIMIA 80,THIS MONTH NAACHA KABISA
@rosemaryadriano5056
@rosemaryadriano5056 8 жыл бұрын
jina la bwana lipewe sifa aleluyaaaa
@goldmansun8983
@goldmansun8983 8 жыл бұрын
NILIKUWA NATUKANA SANA MNO BEFORE JESUS CALLED ME, NOW LM GOING OK ,KIDOGO KIDOGO, ILA NIMEEKA NADHIR HUU MWEZ MWISHO
@ebenezerrobert7772
@ebenezerrobert7772 8 жыл бұрын
mtumishi mungu yupo pamoja nawee, tumeni na 5/5
@princessedeleternel2836
@princessedeleternel2836 8 жыл бұрын
Sifa zimurudiliye MUNGU Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@hadassahjohnty6816
@hadassahjohnty6816 7 жыл бұрын
mungu ni mwema kila wakati.na hawezi muachilia anayemuabudu ateseke.sasa umejipeleka na miguu yako dio maadui wako wahaibike.labda walikua wanasema yakwamba unawaponya wengine si unjiponye mwenyewe.lakini kumbuka pia yesu aliambia hivyo hivyo,aliposulumbishwa pale msalabani walimwambia kama alikua akiwaokoa wengine sinaajiokoe yeye mwenyewe.lakini siku ya kufufuka kwake hakuna aliyepinga afufuke.jipe moyo askofu gwajima mungu amekutuma umalizie kazi iliyo achwa na yesu kristo.haijalishi umetoka kwa misingi gani.hata paul alikua muuwaji na mwishowe akamtumikia mungu.haijalishi watasema vipy juu yako.mungu atakupigania na utawaokoa wengi katika jina lake yesu kristo.naomba ukunje hapa kwetu kenya siku moja na utabalikiwa.
@princessedeleternel2836
@princessedeleternel2836 8 жыл бұрын
MUNGU yuko nawe mcungani songa mbele
@goldmansun8983
@goldmansun8983 8 жыл бұрын
NLIKUWA NATUKANA MPAKA MAPROFESSOR WANGU CHUON WALIANZA KUNTAFUTIA SABABU KUNTIMUA CHUO, ILIKUWA ADDICTED, SO PLEASE SRY FOR THE WAY I REACTED, LM ANGRY FOR THOSE WANAMDHARAU MWAMBA WANGU, WASIMFANANISHE MIGHTY JESUS NA HADITH ZAO OR DORMANT JESUS THEY CREATED IN THEIR RELIGIONS, WE WORSHIP GOD, WE BELONG TO ABLE JESUS, THE LIVING MIGHTY SAVIOR,XO RESPECT PLEASE
@reginarhina6837
@reginarhina6837 8 жыл бұрын
Amen Daddy God bless you all.
@cjjg4731
@cjjg4731 7 жыл бұрын
I believe our unknown God is always Faith. .....AMEN and AMEN pastor. ......U have so encourage me from not fairing human being........barikiwa sana pastor....God n heaven continue covering u by blood of God
@juhudimbogela2622
@juhudimbogela2622 7 жыл бұрын
yumwema mungu kwako gwajima msimuache mungu
@cjjg4731
@cjjg4731 7 жыл бұрын
watching from Jordan. ....b blessed pastor
@RDVConnectn
@RDVConnectn 8 жыл бұрын
naomba mtume ya 5/5
SABABU ZA KIFO CHA GHAFLA Ep 2/5 - Bishop Dr Gwajima
57:43
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 71 М.
KILIO CHA ASKOFU GWAJIMA HADHARANI KWENYE WHEELCHAIR Ep. 3/5 | Bonyeza SUBSCRIBE
33:28
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 1,6 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 39 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 20 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
KUNA MTU ANATUMIA NYOTA YAKO PART 1
32:16
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 128 М.
KILIO CHA ASKOFU GWAJIMA HADHARANI KWENYE WHEELCHAIR Ep. 1/5 | Bonyeza SUBSCRIBE
33:31
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 67 М.
kimbia mbio ya kumpendeza Bwana Bishop Gwajima
3:30
UZIMA TV
Рет қаралды 4,6 М.
Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni
9:30
Daily News Digital
Рет қаралды 499 М.
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO VYA KISHETANI Ep 3/5 - Bishop Dr Gwajima
1:01:20
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 41 М.
Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda
8:45
Millard Ayo
Рет қаралды 258 М.
Kuwarudisha Walioibiwa 3/5 - Bishop Dr Gwajima | Bonyeza SUBSCRIBE
47:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 44 М.
ASKOFU GWAJIMA ALIPOTEMBEA KUTOKA KWENYE WHEELCHAIR Ep 2/5
33:31
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 80 М.
SABABU ZA KIFO CHA GHAFLA Ep 3/5 - Bishop Dr Gwajima
57:43
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 35 М.
Kafara ya Damu - Askofu Dr Gwajima
3:07:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 34 М.