No video

Askofu Gwajima atoa ya moyoni kuhusu Mama Samia Suluhu | Atoa ushauri kwa serikali

  Рет қаралды 236,811

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

Күн бұрын

Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

Пікірлер: 517
@timotheeciza1592
@timotheeciza1592 3 жыл бұрын
Tu me fortifie Frere Gwajima. Je suis pas Tanzanie suis burundais mais un burundais qui suivait de près les œuvre de notre Héros d afrique John Pomb Magufuli. Il etait un homme incroyable un Panafricaniste. Que le Seigneur exauce tes prières et que Maman Samia accomplisse ce que Magufuli a commence. Ninawapenda sana ndugu wa tanzania pigo hili msiba huyu sisi wote umedufikia. Poleni sa
@candydolly7726
@candydolly7726 3 жыл бұрын
Bishop Gwanjima is very very correct,i love this man of GOD?ANASEMANGA UKWELI HATA IWE NINI!!!
@violethcalyst3496
@violethcalyst3496 3 жыл бұрын
Kabisaaaa
@aishambise6529
@aishambise6529 3 жыл бұрын
Asante kwa kutufariji najua kunawatu awataki kusikiliza ukitupa mistar y mambo y siasa wanaumia mbona unaogea inawauma
@fannybuunda773
@fannybuunda773 3 жыл бұрын
Ninamushuru Mungu kwakututiya moyo baba nakutupa tumaini lakusonga mbele. Mimi si mu Tanzania lakini nilimepnda sana Magufuli baba ya wa nyonge
@yusuframadhan4744
@yusuframadhan4744 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa upendo wako!
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 3 жыл бұрын
Amina kwa maneno mema saana hayaa
@nixonmaduhu3594
@nixonmaduhu3594 3 жыл бұрын
Bishop Dr. Gwajima unafaa sana kuwa makamu wa Rais na Mungu akalithibitishe neno hili.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Yeah makamo wa rais anatakiwa kuwa mkali
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Kama kawe mpaka sasa hatuoni reaction yoyote itakuwa makamu wa raisi
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Kama kawe mpaka sasa hatuoni reaction yoyote itakuwa makamu wa raisi
@editornkonge7561
@editornkonge7561 3 жыл бұрын
From Kenya, may God bless Tz, May lord protect u
@billioneagervase8958
@billioneagervase8958 3 жыл бұрын
Ameeeeeeen.
@pamellahmark4822
@pamellahmark4822 3 жыл бұрын
MORE GRACE MAN OF GOD🔥🔥🔥🔥🔥❤
@masoyamanyasi8638
@masoyamanyasi8638 3 жыл бұрын
Bwana ni mwema hakika atatenda miujiza katika inch yetu ya Tanzania R,I,P. JPM. 🙏 asante askof gwajima Kwa uzalendo Wa kweli AMANI! 🕊🕊🕊🕊
@lindashadrack7470
@lindashadrack7470 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi, watanzania mjichunge sana na hawa watu wanajifanya marafiki wanafiki sana, wanataka kuwapotosha na vibarakoa vyao, Mungu ailinde nchi nzuri ya Tanzania, muwe na msimamo kama baba yetu Magufuli..maana Mungu ameichangua Tanzania kuwa kama rescue ya watu duniani...our new president of Tanzania you're the Joshua of our generation, do not fear be courageous God is with you.
@yusuframadhan4744
@yusuframadhan4744 3 жыл бұрын
Amen ndugu! Ubarikiwe sana kwa maneno yako mazuri na yenye ujumbe mzuri kwakila mmoja wetu anaethamini maslahi ya nchi yetu Tanzania
@mwaumark4372
@mwaumark4372 3 жыл бұрын
Kusema kweli Gwajima umebarikiwa sana
@neemalambo9790
@neemalambo9790 3 жыл бұрын
Nampenda sana anajua kufariji na kutia moyo
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 жыл бұрын
Ila asitudanganye tena kama anafufua watu
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 3 жыл бұрын
@@machintangachibwena5922 Hahahaaa tushajua janja yao
@alisaid4380
@alisaid4380 3 жыл бұрын
Piya ana uweezo wa kufufua lakini sijuii kwanini hakufanya hivyo pls niuliziye broo
@mwaumark4372
@mwaumark4372 3 жыл бұрын
Je wakati Yesu alikua duniani alifufua kila mtu!!!!?. Only few were resurrected. So stop this nonsense of trying to undermine God's power
@bidayo1058
@bidayo1058 3 жыл бұрын
Kitaeleweka tu, hili taifa limewekwa na Mungu ili mataifa mengine wajifunze. Asante baba askofu kwa kulitia moyo taifa.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Umeonaeee 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Mataifa yote ni ya Mungu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Hakuna taifa lisilo la Mungu usikashifu wengine kwasababu ya Magufuli
@angelinaomare3055
@angelinaomare3055 3 жыл бұрын
AMEN 🙏 ni vivyo hivyo kazi ya Magufuli Duniani imekwisha sasa nikusonga mbele na tuvipigane vita Vizuri....tumpe Support na LOVE❤️ MAMA . Habari Tamu sana ya Kufariji na Kip’s Matumaini...Asante sana YESU KRISTO NI YULE YULE ASIYEBADILIKA JANA LEO NA MILELE.
@petermkongo3079
@petermkongo3079 3 жыл бұрын
Unanibariki Sana mtumixhi natamani uwe Joshua wa badae
@gerardkeleba3218
@gerardkeleba3218 3 жыл бұрын
Tunatamani Joshua wasasa pia ajikite kuwatetea wanyonge piamwenye moyo wakuthubutu Kama magufuli
@japhethojiambo6449
@japhethojiambo6449 3 жыл бұрын
Nayo yatende vivyo hivyo katika jina la yesu
@aishambise6529
@aishambise6529 3 жыл бұрын
Namshukur mungu ulichaguliwa n Rais pia ww mungu alikuwa n mpango kamili n we ivyo nyie shikaneni mikono viongoz sisi tuko nyuma yenu
@costavalenci7699
@costavalenci7699 3 жыл бұрын
Amina baba nipo kenya nawaona vizuriii saana barikiwa mpaka ushangae
@estasage5506
@estasage5506 3 жыл бұрын
I was waiting to hear from you Baba.
@edwardmsongelwa5455
@edwardmsongelwa5455 3 жыл бұрын
Kumbukeni huyu MAMA ALIFANYA KAZI KWA KARIBU. SANA NA JPM Sasa mengi wamekuwa wakiyafanya PAMOJA Sina Shaka Na Mama Samia huyo Ni JPM KWENYE MWILI WA MAMA bila Shaka MSI hadaike Na Urembo wake MAMA JPM YUPO KIUTENDAJI NA UFANISI MKUBWA KWANI MAMA YEYE NI MWEPESI KUONA KAMA MAMA TUSIWE NA SHAKA
@edwardmsongelwa5455
@edwardmsongelwa5455 3 жыл бұрын
Ni Kweli lakini nimepigwa Na butwaa kutokana na jemedari wetu kututoka hata hivyo bado tupo kwenye mikono Salama ya MAMA SAMIA kwani Ni mwanafunzi mzuri sana hata ukifatilia jinsi ALIVYO fika hapo alipo utaona kwamba huyu mama Ni Chuma cha Pua kama sio JPM mwenyewe Atafanikisha Kila unacho kifaham tusiwe Na Shaka kwani usitegemee Approach to be the same but you will see the movement
@mordally
@mordally 3 жыл бұрын
Kwa hili mm nakupongeza sana Askofu Gwajima, utumishi unatakiwa hivi sio kuwatenganisha watu
@erickdidas9088
@erickdidas9088 3 жыл бұрын
Nice preaching profit gwajima.
@niwawilson4477
@niwawilson4477 3 жыл бұрын
sio profit ni profet
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Nakukubali xana Mzalendo mwenzangu 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@amissemwenetombwe3236
@amissemwenetombwe3236 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe!!!
@journeywithjesus
@journeywithjesus 3 жыл бұрын
This man is anointed!!!!
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 3 жыл бұрын
No No No
@magejuliani5293
@magejuliani5293 3 жыл бұрын
Amina mtumishi kwa kumbariki Rais wetu Samia na kutupa faraja! Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai wa Magufuli apumzike kwa amani
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 жыл бұрын
Ameeeeen Joshua.Samia Suluhu Hasani tupeleke nchi ya ahadi Mungu alipo tukusudia Mungu akupe Afya njema 🙏🙏
@eliakimchaiikobellah358
@eliakimchaiikobellah358 3 жыл бұрын
Ameen Askof Ila ulikuwa kimya Sana'a Mungu ni mwema
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana askofu viongozi wetu wanatakiwa wawe makini sana maana inaonekana vibaraka wa hao mabeberu tunao umu umu nchini inatakiwa tuzidishe sana kumuomba Mungu ili atushindie vita hii tuwaunge mkono viongozi wetu na wao km kunatokea tatizo lolote LA nchi wawaite viongozi wa dini ili tuliombee tatizo litaondoka kwa uwezo wa mungu watanzania tushikamane tuliombee taifa letu na Africa yetu
@jayzeem14
@jayzeem14 3 жыл бұрын
Dawa ni kusali na kuomba kwa Imani ili Mungu atuepushe na mabaya yote yanayopangwa na afui wetu wanaoonekana na wasioonekana! Kila mmoja akae kiroho. Tusamehe na kuwaachilia wote waliotuumiza.
@meryololo5410
@meryololo5410 3 жыл бұрын
Asante baba tuungane kama wana wa MUNGU
@joycekaje8755
@joycekaje8755 3 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah Glory to God.Jehovah Nisi bendera yetu ya Ushindi
@plasinapius5421
@plasinapius5421 3 жыл бұрын
Ooh yes!am happy 4this and this will happen in the name ov Jesus
@edithambetsa5696
@edithambetsa5696 3 жыл бұрын
Good advice indeed.
@evelynkunga5402
@evelynkunga5402 3 жыл бұрын
Holy Spirit speaking through you MOG, more grace so powerful
@wilsonmkumbo7199
@wilsonmkumbo7199 3 жыл бұрын
Mussa,Joshua umenikubusha!
@johnsimon1280
@johnsimon1280 3 жыл бұрын
Kweli kabisa mungu huwajuza watumishi habari ili kutujuza bwana wa majeshi akubariki bishop gwajima nimekuelewa
@baaliyanuun416
@baaliyanuun416 3 жыл бұрын
Ww unataka sadaka tu huna uwezo wakumsimamisha mtu wala kumlaza mtu MUNGU pekeee ndo anaejua maisha yetu sio ww na kelele zako hizo
@lucasharison2441
@lucasharison2441 3 жыл бұрын
Mungu akuangazie akuna shaka kwa hili usemalo mtumishi
@rhodaademba4451
@rhodaademba4451 3 жыл бұрын
Asante MUNGU MKUU kwaajili ya mtumishi wako.
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 3 жыл бұрын
Asante sana mpakwa mafuta Haleluyah,Amina Amina..
@obadiasanare8338
@obadiasanare8338 3 жыл бұрын
Ameizing message
@pastornongoli4388
@pastornongoli4388 3 жыл бұрын
Like this nchi ya BWANA YESU, nchi ya MUNGU
@elizasephania4374
@elizasephania4374 3 жыл бұрын
AappP
@innoboy6768
@innoboy6768 3 жыл бұрын
Godbless you paster Tuangazie nuru aliyo kuwezesha Mungu kuiona,,maana kuna Watu hawana Uzalendo wa hofu ya Mungu ktk nafsi za
@user-ws2sg7un7z
@user-ws2sg7un7z 3 жыл бұрын
Amen daddy God bless u pastor
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 3 жыл бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿
@blessedone5834
@blessedone5834 3 жыл бұрын
Your anointing is in another level, I'm blessed so much with this sermon,may Almighty God uplift you from glory to glory
@salminasalim5630
@salminasalim5630 3 жыл бұрын
Asante baba Askof kwa maneno yako ya faraja. Tunakutegemea wewe baba kupitia kwa MMungu In Shaa Allah
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 3 жыл бұрын
Amiin
@aminalimu5150
@aminalimu5150 3 жыл бұрын
Amina amen Amen 🙏
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 жыл бұрын
Do not fight what you cannot change,,Gwajima anaweza sana sana..anaonaga mbali mapema sana.
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 3 жыл бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@allanothuman2941
@allanothuman2941 3 жыл бұрын
Siasa na dini ni vit tofauti usituletee usengeeee
@donkorosso1302
@donkorosso1302 3 жыл бұрын
Ameeen So powefully surmon
@mussamchena9595
@mussamchena9595 3 жыл бұрын
Amen
@jescarwegoshola7231
@jescarwegoshola7231 3 жыл бұрын
Amen kubwa ,kamanda wa Yesu,💪 Mungu wetu yuko hai tuko pamoja🙏
@gracemunyana7804
@gracemunyana7804 3 жыл бұрын
Amen tumesha fanya maombi kuusu mama samia Mungu wetu atamuongoza vzuri
@editornkonge7561
@editornkonge7561 3 жыл бұрын
Amen, they is hope , hallelujah hallelujah hallelujah ❤️
@makambatvshow
@makambatvshow 3 жыл бұрын
Burundi tunawasikiriza sana wapendwa wabwana Tanzania ibalikiwe sana mlitusaidia Na mpaka Sasa mnatu support mungu azidi kuwaongoza namuungane Kwa Vita hii hakika mtashinda Na Sisi tupo nyuma yenu
@antoinetteuwanyiugira34
@antoinetteuwanyiugira34 3 жыл бұрын
God bless you watching from Salt Lake City ,Utah 🇺🇸 Amina❤️🙏🏽
@yusuphandrew9389
@yusuphandrew9389 3 жыл бұрын
Blessed 🙏
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 3 жыл бұрын
Amina Amina tunayashika kwa Jina la YESU ALIYEHAI
@aiysharamdhan899
@aiysharamdhan899 3 жыл бұрын
Waaooo askofu mbunge umenena
@jameshamistakadin5159
@jameshamistakadin5159 3 жыл бұрын
Mungu na akubariki kwa kutiamoyo taifa.
@whitewolfmedia6761
@whitewolfmedia6761 3 жыл бұрын
Greaty
@edinasosteness3182
@edinasosteness3182 3 жыл бұрын
Ahsante Mtumishi wa Mungu
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 3 жыл бұрын
Inna lilah wainna lilah rajiun Jpm alale salama. Tuliobaki tumshukuru mungu kwa yote tusonge mbele watanzania amin
@lucianodeo4103
@lucianodeo4103 3 жыл бұрын
Jael wetu
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 жыл бұрын
Amin 🙏
@evabiyela8554
@evabiyela8554 3 жыл бұрын
Amen we believe in Jesus Christ name.
@johncondrad6258
@johncondrad6258 3 жыл бұрын
Amina Mh Gwajima tunashukuru kwa maneno mazuri ya kututia Moyo na kutufariji hasa sisi wenye mawazo mengi Mara baada ya kuktutoka baba yetu Kipenzi Magufuli wetu
@binyamina8850
@binyamina8850 3 жыл бұрын
Gwajima anaweza kufufua watu, amfufue raisi
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@binyamina8850 HATA KUKU HAWEZI.
@eradiushenry7766
@eradiushenry7766 3 жыл бұрын
Maneno ya madhabau tuliyangoja na tulitegemea maelekezo kutoka mbinguni we love you Daddy
@glorianshimanyi1545
@glorianshimanyi1545 3 жыл бұрын
Haleluya. Mtumishi umenena vema sana. Wakati wa Musa wetu umeishia hapa sasa tunaongozwa na Joshua yani Mh. Samia. Kweli Mungu amewasuka kila moja kwa namna yake. Tutafika tuendako kwa jina la Yesu. amen
@zainabwickam7857
@zainabwickam7857 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki ndugu kwa kuleta uwiano na undugu TZ
@joshuaemanuel2577
@joshuaemanuel2577 3 жыл бұрын
Ameni Baba mkono wa Mungu Uko juu yetu
@vicentndole3805
@vicentndole3805 3 жыл бұрын
Tumuenzi J.P. M kwa kuongeza muda zaidi wa kuchapa kazi zaidi.
@LRocks
@LRocks 3 жыл бұрын
Tafadhali msimame na mama na mumuunge mkono.
@naomichambo458
@naomichambo458 3 жыл бұрын
Gwajima wewe ni mtumishi wa Mungu
@ns9940
@ns9940 3 жыл бұрын
Askofu gwajima magufuli his pacemaker was hacked by lisu to switch his devise if you know his hospital data you can kill some one lisu is a person who killed by lisu and his friend
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
MTUMISHI WA KAWE.
@gracembaka5689
@gracembaka5689 3 жыл бұрын
Sasa mtumishi wa mungu ninaomba mungu akupe maono ya kugombea urais kwa uchaguzi ujao..
@boniphasfesto4325
@boniphasfesto4325 3 жыл бұрын
Zidi kumuombea Maana Mungu ashindwi
@sherryshazala7123
@sherryshazala7123 3 жыл бұрын
AMEN ..AMEN
@dikisonikisau5239
@dikisonikisau5239 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@monicanelisha1299
@monicanelisha1299 3 жыл бұрын
AMEN
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 жыл бұрын
AMENI
@harunimwanawima7851
@harunimwanawima7851 3 жыл бұрын
Amen
@ausonjustinian5494
@ausonjustinian5494 3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu unarofanya ni zuri kumwombea raisi. Ila sasa una maadui wengine wanaukua against na ww na wanajiita watumishi w Mungu. Hawataki kusamee wala kuwa na upendo wa Yesu. Ila Mungu yupo.
@frankmathayo8685
@frankmathayo8685 3 жыл бұрын
Nguvu ya Mungu inazidi kuonekana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 жыл бұрын
Baba kwa kweli ww Ni faraja hafu nikiona we nahisi namwona magufuli barikiwa Sana baba
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 жыл бұрын
Amekufa na ametuahidi kwamba tusiogope korona ameniachia iman kubwa Sana siogop korona, ww na baba magufuli mmenifanya nisiogope korona asante
@ngoyatvonline1181
@ngoyatvonline1181 3 жыл бұрын
Safi Sana mchungaji gwajima
@japhetmichael7608
@japhetmichael7608 3 жыл бұрын
Nilikuwa nangoja Neno kutoka kwako mzee
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 3 жыл бұрын
Hakika
@getrudagabriel6370
@getrudagabriel6370 3 жыл бұрын
Getrud Gabriel,,Asante San mchungaji kwa maubiri yako mzr,,,kiukwe umetupa Faraja
@ntambalalubangila2774
@ntambalalubangila2774 3 жыл бұрын
Umeongea ya busara sana,una muono Kama wa kwangu nami ndivyo nilivyo hongera sana Mungu akubariki,
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 жыл бұрын
Aleluyaaa. Babaa
@joycekaje8755
@joycekaje8755 3 жыл бұрын
Barikiwa Dr Bishop Ngwajima
@PatronLulihoshiShangalume
@PatronLulihoshiShangalume 3 жыл бұрын
Mungu aibariki Afrika na Tanzania na jirani zake wote
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 3 жыл бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe
@emmamwakagile473
@emmamwakagile473 3 жыл бұрын
Thanks dady
@Apostlebarakanyagawa
@Apostlebarakanyagawa 3 жыл бұрын
Tunanguvu katika Mungu, vita ni kubwa lakini Mungu ni mkubwa kuliko mambo yote. Tuko na Mungu.
@jelemiakalekezi7334
@jelemiakalekezi7334 3 жыл бұрын
Ningekuwa na mda wa kuongea na Gwajima ningemshauli asihubri siasa sana kwani hapo kunawengeni hawapendi siasa
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Siasa Ni sehemu yamaisha haiepukiki Samia Ni msimamizi wa ardhi hi tunayoikanyaga na hakuna ubaya kumuombea kiongozi
@vumiliamwaisaka5073
@vumiliamwaisaka5073 3 жыл бұрын
Amina
@edinasosteness3182
@edinasosteness3182 3 жыл бұрын
Amina baba Mungu akubariki
@miangijunior4358
@miangijunior4358 3 жыл бұрын
Mm ni mtanzania kwasasa nipo Comoros kikazi nimekusikiliza na nimekuelewa mchungaji na mm sio christian Ni Muislamu ila nimeungana nawewe mchungaji katika hilo kwanza Nchiyetu haina udini haswa linapotokea jambo ama tunapo taka kufanya jambo lolote tunaungana pamoja. Hivyo tupo pamoja tunaomboleza kisha tutamsupport Muheshimiwa Rais mpya Samia Hassan kwa moyo kwa kila jambo na tutashinda Amiin.
@emmanuelmaembe2486
@emmanuelmaembe2486 3 жыл бұрын
Amen🙏
@mrpasua5708
@mrpasua5708 3 жыл бұрын
Amen
@mrpasua5708
@mrpasua5708 3 жыл бұрын
Ffola gogo amen
@francislovemore3858
@francislovemore3858 3 жыл бұрын
Aminaa
@paulomndeme4145
@paulomndeme4145 3 жыл бұрын
Ameeeen
@magrethpius8566
@magrethpius8566 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@dinnamanga1741
@dinnamanga1741 3 жыл бұрын
Aminaaaaa
@sadickjumaaismail1772
@sadickjumaaismail1772 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mchungaji, neno lako na liwatie moyo na faraja TANZANIA
@saraphinampoma5945
@saraphinampoma5945 3 жыл бұрын
Aminaaaa
@stevenmatheo7134
@stevenmatheo7134 3 жыл бұрын
Unatia moyo Baba
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
🙏JESUS ❤️
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 3 жыл бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 жыл бұрын
Safi sana kaka mchungaji gwaj boys
@saraphinampoma5945
@saraphinampoma5945 3 жыл бұрын
Amina baba
@christinaelius4497
@christinaelius4497 3 жыл бұрын
Amina kubwa mchungaj
@abrahammolla8188
@abrahammolla8188 3 жыл бұрын
Amen amen
@cocoburundingozi41
@cocoburundingozi41 3 жыл бұрын
amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Byeragordian3572
@Byeragordian3572 3 жыл бұрын
Spoken well man of God
Askofu Gwajima alipua moto tena | Atokeza mbele tena kwenye vita
28:27
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 434 М.
Siri ya kuwepo mafuta mashariki ya kati hii hapa |Mwili wa mtu unatengeneza Diseli
12:15
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 57 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 6 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 14 МЛН
Huu ndio ukweli kuhusu chanjo zinazopigwa nchini | Maswali magumu yaliyokosa majibu
9:24
Ibada ya Jumapili-Kilele cha Wiki ya Vijana | Ufufuo na Uzima Cathedral | 18.08.2024
3:52:51
Hotuba ya MWALIMU Nyerere iliyosisimua zaidi ilivyo mtabiri Rais JPM
14:08
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 1,1 МЛН
Viongozi vigeugeu | Huwezi kuwa na kauli mbili tofauti  ndani ya miezi sita
3:15
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 349 М.
SUNDAY SERVICE - LIVE BROADCAST - 25th AUGUST 2024
4:10:30
EFATHA CHURCH
Рет қаралды 3,9 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН