HapaWazimu tu sioni Neno la Mungu, Je Yesu angehubiri haya? Maana Yesu ni kipimo
@robertmalima31112 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji hananja
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Pasta uku vizuri ila una ongea bila stop 🛑 swali moja una Unataka uongeye mwenyewe
@alphoncefedrick74382 жыл бұрын
Nimemuelewa sana Kwa alicho kisema
@tingbatuuka72782 жыл бұрын
Wisdom
@pyzzocatto18292 жыл бұрын
Muhuni kazeeka kaamua kutubu kubadilisha njia na wa2 wanamuamini Patamu hapo,mtu hata amezi mate duuuh Beach boy anaongea huyuu duuu h cjuikma siomzaramo huyu jamaaa
@sheckycobb52402 жыл бұрын
Acha dharau kijana, amemtumikia Mungu mianga mingi mpaka kazeeka,
@mussakajela34332 жыл бұрын
Ewe wenyeji Mungu tusaidie ,
@leonardmasalu3576 Жыл бұрын
Ukweli kabisaaa
@theophilwhiteheart19972 жыл бұрын
Hatari kwelikweli😅😅😅
@mkatungu745711 ай бұрын
Nimecheka saana.
@kumalijakumalija2246 Жыл бұрын
Mtumishi
@jamesjackson23822 жыл бұрын
Mzeee mini uyu 😄 🤣 😂
@peehmuki7271 Жыл бұрын
Kweli kabisaaa 😂😂😂
@jamesjackson23822 жыл бұрын
Sem mzee anaongeag wazi hanag nom
@Tunu2902 жыл бұрын
Ukweli wa mambo
@moseshaule5862 жыл бұрын
Mchungaji unazingua 🤣🤣🤣
@akiliiddtuliza4182 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@chrismassawe29392 жыл бұрын
Luga za zinaa tabia za zinaa maisha ya zinaa watu hawataki tena kuishi sawa NENO wanataka maisha ya zinaa zinaa ...
@kenedrocky59642 жыл бұрын
Mchungaji Hananja umenishinda tabia mzee wangu.
@expert5898 Жыл бұрын
Hahaha! Ukimsikiliza Hananja hauwez ishia njiani
@tshishimohamed90862 жыл бұрын
💝🥰🙏
@osurikosuri6212 жыл бұрын
Hahahahahahaha hya bna
@FundiwaTikTok2 жыл бұрын
kwamba kuna viungo haviokoki
@thehunter59202 жыл бұрын
Ceteris certe
@__thereal_unclechibo_79532 жыл бұрын
Ceteris peribus
@Zungu_Mwamba2 жыл бұрын
Aaaah Aaaah Aaaah Aaaah
@aishampondi1684 Жыл бұрын
namkubali huyu mzee maneno yake
@stevenassenga9902 жыл бұрын
😃😃
@sulimemsigwa90482 жыл бұрын
Unaeleka sana mchungaji
@selinanestory3667 Жыл бұрын
Naomba namba za huyo mtumishi nina shida
@pascalsamson47212 жыл бұрын
❤❤❤❤❤💋💋🙏🙏🙏🙏💯💯💯
@rachelmollel54602 жыл бұрын
Eti demu wako😂
@abubakarikisuju802 жыл бұрын
Huyu anafaa kuwa mchekeshaji wa commedy
@lipembejames93872 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nyemombogoni37552 жыл бұрын
Huyu ni mchungaji siyo askofu
@tingbatuuka72782 жыл бұрын
Wiseman above all
@laizeryvalentine24642 жыл бұрын
Sure mchungaji, ukweli uwooo kina mama mpooo
@fanuelmulumba9976 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@emes602 Жыл бұрын
Mchungaji mwenye vichambo vyake mjini
@safiam53382 жыл бұрын
Jamani baba huyu 😂😂🤣🤣🤣
@emillianshee72052 жыл бұрын
Malaya mtumishi
@groveyagroya1280 Жыл бұрын
Mh
@ephraimmahambo85162 жыл бұрын
Hahahahahaha
@luganonipokee79322 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@celinanalice54612 жыл бұрын
Huyu ni comed siyo muchungaji
@davidlaizerleyan52592 жыл бұрын
Neno mademu umelitumia Sana na limeleta ukakasi katika kukusikiliza zaidi
@desolz38092 жыл бұрын
Huyu pastor anakaa sana na mateja hasa wale waliokataliwa sober House
@mkaapwekekariakoo64172 жыл бұрын
Limekuletea ukakasi kwa sababu haikuwa kwa ajili yako... Pole usijali naamini kuna ambao aliwarenga zaidi... Ila naamini pahali pengi haujakwazika ety eeh
@tingbatuuka72782 жыл бұрын
Reality
@chrismassawe29392 жыл бұрын
Na wanaoshabikia ni kizazi cha zinaa
@mkaapwekekariakoo64172 жыл бұрын
@@chrismassawe2939 taja na wenzako ili mjuane
@benardmasebu90262 жыл бұрын
Fanya comed tu inakufaa
@shaddybmc83422 жыл бұрын
TAZAMA: MUUJIZA HUSIO WAKAWAIDA, NA MAAJABU YA MUNGU YA KUSHANGAZA KWA , MCHUNGAJI AMBAE HANA MIKONO WALA MIGUU, MAISHA YAKE KWA UJUMLA., NA. BADO ANAHUDUMIA WATU WA MUNGU KANISANI Bonyeza Link hii Hapa chin kutazama, USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KUSAMBAZA LINK HII.👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/haTRYaZqbZlji6M