Huyu Mchungaji huwezi kuchoka kumsikiliza ana kipawa hasa
@jan67032 жыл бұрын
Hongera
@eliudamini2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Interview hii kwakweli! Pongezi Sana!
@victorymediatz2 жыл бұрын
Asante sana,Umebarikiwa.
@mkatungu7457 Жыл бұрын
Kwa kweli yaani mimi nakuelewa sana. Yaani nacheka saana huku unanifundisha.
@soberkaleya51482 жыл бұрын
Zaburi 50: 3 Mungu wetu atakuja wala hatanyamaza, Moto utakula mbele zake, na tufani yavuma sana ikimzunguka pande zote. *MUNGU HATANYAMAZA! KWENYE CHANGAMOTO TUNAZOPITIA ATALETA CHANGAMKO! HATAKAA KIMYA BALI ATATUJIBU KUHUSU HALI TUNAZOPITIA KWENYE AFYA, UCHUMI, MAHUSIANO, NDOA NA MIKANDAMIZO YOTE YA NGUVU ZA GIZA! JINA LAKE LITATHIBITIKA JUU YETU SASA, HALELUYA!!!*
@partnersah88022 жыл бұрын
Amen
@lilianmbangwa54792 жыл бұрын
Daaaa
@godefroidm741 Жыл бұрын
Huyu mzee,namukubali USA
@godefroidm741 Жыл бұрын
Safi sana
@user-mf6dt6vz1r4 ай бұрын
Amina
@joshuamwayonga27242 жыл бұрын
🤣🤣Mchungaji dah
@associatedproductionpress28712 жыл бұрын
Tupatie namba ya huyu Mchungaji
@majaysjrmtitu53002 жыл бұрын
Asante
@heronimomsefya31905 ай бұрын
Dah nimecheka sn Leo 😂😂, pamoja na yote unaijua biblia
@sauud2some471 Жыл бұрын
Maonimazuri Sana 🙏🙏🙏🙏🤔🤔🤔🤔🤔
@lovenessalex75952 жыл бұрын
Mtoto wake ni otty ananja jaman dahh abarikiwe sana
@godfreysanziki146111 ай бұрын
Anaweza kupasua bandama uyu🤣😂🤣Huwa ananichekesha muda mwingine.
@nisilas741110 ай бұрын
Hilo ndilo swali nilitarajia ,ni vipi Mchungaji mkwasi wa biblia takatifu😮😮
@kimfernandes16782 жыл бұрын
aisee😂😂
@lizzybahati37392 жыл бұрын
Mungu awabarki 🤣🤣🤣🤣🤣
@solangedhesi7813 Жыл бұрын
🙏 💙💙💚💚
@JoshuaKilale-kh2um9 ай бұрын
Rich hananja
@lovenessalex75952 жыл бұрын
Jamani amenibariki kwenye kanisa lake ubungo kibangu kanisa kkkt kibangu ANANJA jaman
@jackobgalish57422 жыл бұрын
Huyu jamaa binafsi huwa ninamwelewa sana
@hosianamosha3892 жыл бұрын
😄😄😃😃😃😃
@emmanuelmsangi7793 Жыл бұрын
UZOEFU NI ELIMU Mch. Bilionea Hananja, tumekusoma
@zidanejunior7160 Жыл бұрын
Daah 😂😂
@dororosakapinga9902 Жыл бұрын
😂😂😂😂Amen🙏
@mcfuteedger82502 жыл бұрын
Hakikaa
@bosslilyg43902 жыл бұрын
Nampenda mchungaji Hananja, kila anachoongea anasema na maandiko ya biblia
@evodimedadi74382 жыл бұрын
Kuku wa mazinga ubwe 🤣
@harrywarren617 ай бұрын
kweri wachawi wanauza madawa lazima tuwakatae hilo nimelikubali
@emmanuelenock63102 жыл бұрын
Inabidi mtu akijiita mchungaji amsikilize mch.hananja na ajipime kama anatosha humo
@bettykageza19642 жыл бұрын
Kabisa yani
@elishakayagwa93712 жыл бұрын
Kila mmoja ana neema yake ya pekee na haina maana kila mchunguja awe kama yeye, kuna mahali huyu mchungaji hawezi vitu fulani na mwingine anaviweza so All in all tumpe Mungu utukufu
@emmanuelmasanja47902 жыл бұрын
@@elishakayagwa9371 Huyu mchungaji ni hatari mzee
@izobinyoizobinyo7 ай бұрын
Kabisaa
@mtanzaniahalisi1213 Жыл бұрын
Ugonjwa wa roba 😂😂😂
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Ameen
@philipo792911 ай бұрын
HIKI NI KICHWA KHA😂
@jennipeter5078 Жыл бұрын
Mtangazaji ana mbavu jaman🤣🤣🤣
@elimidakashumba2422 Жыл бұрын
Hana mbavu.
@lizzynkifu41792 жыл бұрын
😂😂😂😂
@user-ui1qs9yl1n2 ай бұрын
WALE MAPASTA FEKI WA KULE KENYA WANAOWAFANYA WAUMINI WAO MAZOMBI WAMSIKILIZE HUYU BABA