No video

Askofu Kilaini aweka wazi, Kunena kwa lugha ndani ya kanisa katoliki azima iwe hivi siyo vinginevyo.

  Рет қаралды 6,741

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Жыл бұрын

#MaswalinaMajibu #HistoriayaKanisa #kanisakatoliki

Пікірлер: 22
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Umesema vyema watu wananena lugha moja miaka nenda rudi mahana yake atuhelew au yeye ukimuhuliza awezi sema Nini
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 Жыл бұрын
Iyo kunena kwa lugha uko sahihi kbs lazima iyo Luga ijulikane na ikiwezekana pawe na mt wa kutafsiri lakini hii ya kelele ni upagani
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
MNAONENA KWA LUGHA HIVI HUWA MNAELEWANA AU😁😁. KWANINI KAMA NI ROHO MTAKATIFU MSIKAE NAE MMAWA MNAITUMIA KAMA LUGHA YA KUELEWEKA, WAONGOOO SANA HAO. ASKOFU WANGU YUPO SAHIHI
@JJ-vf1ul
@JJ-vf1ul Жыл бұрын
Ivi wakinena wanaongea na wewe? Washasema wanaongea na RM mwacheni Roho Mtakatifu mwenyewe aseme kama anawaskia au hawaskii
@agnessima5032
@agnessima5032 7 ай бұрын
Kuhusu kunena kwa lugha siyo lazima wengine wajue maana yake...
@elizabethmdee8154
@elizabethmdee8154 Жыл бұрын
Naamini wanenao kwa lugha no Roho Mt anayewaongoza
@samsonpopat1474
@samsonpopat1474 Жыл бұрын
Kwa maana hiyo Mungu ana mama ? Na Baba yake ni nani?
@georgematiko1732
@georgematiko1732 Жыл бұрын
Huyo padri yale ambayo hana uhakika nayo asijilazishe kayajibu maana mengi anayoulizwa yanahusiana neno la Mungu akiyajibu isivyo atapotosha watu! atofautishe anayenena kwa lugha anayehutubu kwa lugha!
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
Kwenda zako na ww,kwa Wkatoliki unafanya nn kama hutak kwend kuanzish kanisa
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
Muache atupotoshee!!!! Kwenda zako huko Musoma na ww
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
Hii maalumu kwa Wakatoliki sio nyiee
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
Huyu ndo mwambaaaa, akili nyingi
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Hapo padri ameteleza kwenye kutoa tafsiri sahihi ya matumizi ya kunena kwa lugha maana kunena kwa lugha ni lugha ambayo Mungu wa mtu anenaye ndiye anastahili kuielewa na siyo kwamba unene hafu mwanadamu aelewe
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Kwani kunena kwa lugha ilianzia wapi?
@liberatuskamugisha9775
@liberatuskamugisha9775 Жыл бұрын
Rejea walivyo Nena kwa lugha siku ya Pentecost utaelewa askofu kamaanisha nn
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Жыл бұрын
Basi kama anaye nena kwalugha ndiye anaye elewa, waulize wanao nena wakwambie wakweleze Mungu kawambia nini. Utawajua waongo na wa kweli. Lakini Paulo anasema kunena kwa lugha na kuongea lugha nyingi hata za Malaika kama hauna upendo ni Bure.
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
SASA MNANENA HALAFU HAMUELEWI😀😀😀DAH HUWA MNACHSKESHA AISEEE. PENTEKOSTE WALINENA KWA LUGHA LKN WAKAELEWANA, NYIE MAKELE TUU
@gilbertrutayuga4676
@gilbertrutayuga4676 Жыл бұрын
Anachosema baba askofu kuhusu kunena kwa lugha ni wazi kwamba kunena kwa lugha ni lazima lugha inayonenwa ijulikane. Hata mitume kunena kwa lugha ni kwamba baada ya kumpokea roho mtakatifu waliongea lugha mbalimbali katika kutangaza habari njema. Kwa hiyo waliowasikiliza kila mmoja aliwasikia kwa lugha yake ndiyo chimbuko la kunena kwa lugha.
@eliyasizya1258
@eliyasizya1258 Жыл бұрын
Swala la maria Kwa Wakatoriki wanavyo fanya ni Kuabudu sanamu.maana ni kinyume Cha biblia
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
Sawa tutaendelea kuabuduuu, ww endelea na dini yako kaka
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
Kumbe na dini nyingne wamo humu😁😁
@iddyjumanne
@iddyjumanne Жыл бұрын
Achakupoyosha wewe acha kufunika bibilia
Sikiliza kwa makini alichosema Askofu Mkuu Nkwande mbele ya Mahujaji Kawekamo.
19:59
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 43 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 14 МЛН
UCHUMI HAUKO KWENYE VITU, UCHUMI UKO KWENYE NYAKATI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
11:06
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 64 М.
SPIKA TULIA ALISHUKURU KANISA KATOLIKI KWA HUDUMA ZA KIROHO NA KIMWILI MBEYA
10:33
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 5 М.
KUNENA KWA LUGHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
14:20
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 18 М.
MFAHAMU ASKOFU MTEULE MWASEKAGA WA JIMBO KUU MBEYA ATAKAYEWEKWA WAKFU MEI 25
15:36
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 15 М.
MAJIBU YA MASWALI KUHUSU KUNENA KWA LUGHA YA ROHO MTAKATIFU
11:36
Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa
Рет қаралды 1,7 М.