KUNENA KWA LUGHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 19,138

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

Күн бұрын

Пікірлер: 119
@dralexmakalla3871
@dralexmakalla3871 4 күн бұрын
Wakati unaomba mchungaji na mimi nilikua naendelea kuomba ghafla kinywa changu kilikua kinashindwa kutamka sawasawa mithili ya kigugumizi. This was a new experience in my prayers. Praise the lord
@victorymwasa5356
@victorymwasa5356 2 жыл бұрын
Namshukuru Mungu Sana kupitia kukusikiliza mtumishi kwa ya kwanza nikajazwa na nguvu za Mungu nikanena Zaid ya SAA moja na nilikua najaribu siku za nyuma sifanikiwi Ila sikukata tamaa hatimae Yesu Nami amenikumbuka imekua siku ya furaha Sana kwa kwangu
@catherinekisandu1492
@catherinekisandu1492 2 жыл бұрын
Nilkuwa nikipat msukumo wa kuomba sana usiku lakin naishiw maneno ...moyo wangu haukuwah kuwa na confortability hat siku moja, siku niliposkia hili somo kwa mara ya kwanza nilinena kwa lugha lakin nikaogop sana ad nkatoka kwenye uwep..😔....baad ya hapo nilisikia mzigo mzito san ndani yangu kias cha kushindwa at kulala,ilipofik kesho yake usiku nilisikiliza tna na nkanena tena kwa bubujiko kubwa san ndani yangu... namshukuru Mungu kwa ajili yako mtumishi, Ubarikiwe na uongezeke san,umenifundsh kitu kikubwa kuwa huwez kumtumikia Mungu nje ya kiwango unachomjua...Mungu akuinue sana.
@neckikikoti6256
@neckikikoti6256 Жыл бұрын
Hakika Mungu wa mbinguni akubariki sana Mtumishi Nimeongea kwa lugha mpya na ilikuwa shauku yangu ya muda mrefu. Hatimae leo nimejazwa na roho mwema. Mungu akubariki sanaaa. Siku moja nitasimama Juu ya taifa hili. Kila mmoja atajua ukuu wa Mungu
@NeemaElly
@NeemaElly Жыл бұрын
Utukufu Kwa yesu....sijawahi kunena Kwa lugha mpyaaa lakini Leo nimesikia nguvu yaajabu nikaanza kunena....ubarikiwe mtumishiii wa mungu
@hannamichael8499
@hannamichael8499 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Pastor Sunbella Kyando, nmeshiriki maombi n somo hili la kunena kwa lugha, ninashukuru kwamba nmejazwa upya na roho mtakatifu na baada ya hapo nikaanza kunena kwa lugha mpya, sifa na utukufu ni kwa Mungu pekee
@lovethildah7340
@lovethildah7340 2 жыл бұрын
🗣He did iiiiiit,, oh gracious Lord,, thank you,, I'm literally shading tears,,, I mean this is something I've been yearning for for years😭 I did the 21 day Daniel fast for it in January, finished, didn't receive him but I still kept the Faith,, who knew he will visit me today?😥 I'm genuinely happy and I can't contain myself,, to be sincere Moyo ulikuwa umeinamaa,, nilikuwa hata Maombi yangu ya saa 6 na 9 yameanza kufifia manake nilikuwa naishiwa maneno ya kusema namaliza,, Asante Mungu kwa huu usaidizi,,, I love you and I'm gonna serve you wholeheartedly 🙇‍♀️🙏. Thanks too Daddy Bella,,yani sijui furaha yangu niieleze vipi,, siamini, yani hii ni kama ndoto😥,, asante sana Baba,, More grace
@catherinemutasi8340
@catherinemutasi8340 Жыл бұрын
Amen amen Barikiwa sana ndugu
@mildredmunyekenye5607
@mildredmunyekenye5607 2 жыл бұрын
Asante kwamaombi mtumishi nimejashwa na Roho mtakatifu wakati wa maombi mtumishi alipotamka pokea sasa na mwili wangu ukaanza kutetemeka asante baba mungu akupe maisha marefu katika jina la yesu
@mapishirahisiyavyakulavyak8406
@mapishirahisiyavyakulavyak8406 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atubariki sote na hata sisi ambao bado hatujajazwa tusikate tamaa roho Mtakatifu atatujaza mda wowote na tutanena kwa lugha tutaongea na baba yetu wa mbinguni tutatua mizigo yetu mioyoni mwetu hallelujah 🙏
@euniceurio7680
@euniceurio7680 10 ай бұрын
Niliposikiliza neno na Mtumishi tulivyoanza kusema napokea sasa Roho Mtakatifu maneno yalianza kubadilika na kuwa tatata,sasasa,tititi asante Roho Mtakatifu kwa kunikumbuka.
@AminaKassim-t9y
@AminaKassim-t9y Ай бұрын
nimejikuta midomo inacheza bila kunyamaza na siwezi kuzuia asante nilikuiwa natamani sana kunena kwa luga
@epifaniaamasi486
@epifaniaamasi486 2 жыл бұрын
Asante YESU hakika nime experience uwepo wa mungu wakati unaomba pastor kujazwa na Roho Mtakatifu nimeskia baridi hasa kwenye mikono na uliposema tujazwe , nikaanza kucheka(holy laughter) katika uwepo na hakika naamini nimejazwa tena na Roho mtakatifu Asante mtumishi kwa neno na maombi haya
@mr.philipo
@mr.philipo Ай бұрын
Ahsante YESU kwa kumuinua Mtumishi Wako Pastor Kyando hakika ninejazwa na roho Mtakatifu
@magrethmchome2503
@magrethmchome2503 Жыл бұрын
Ahsante MUNGU kwa kumtumia mtumishi wako nimeokoka na nimepokea roho mtakatifu...glory to GOD hakika huyu MUNGU ni mzuri❤
@rosemsilu5135
@rosemsilu5135 2 жыл бұрын
Nimempokea roho mtakatifu nimesikia baridi kwenye mgongo wangu. Barikiwa mtumishi wa Mungu.
@epifaniaamasi486
@epifaniaamasi486 2 жыл бұрын
Mm pia kwenye mikono nmeskia baridii
@abuubeleko
@abuubeleko Жыл бұрын
Asante yesu kwa kunijaza ROHO MTAKATIFU 🙏🙏
@francefabian9369
@francefabian9369 Жыл бұрын
12/2/2023 siku ya ijumamosi Yaleo Nimejazwa NAROHO MUTAKATIFU Asante Bishop Kwamafunuo haya yakwenye mtandao Mungu Wambinguni Akupe Maisha malefu 💯💯💯 Na utuwekee Namba zako Mimi Niko kigoma sijui wewe unapatikana wapi linguine Nimenena kwamasaa mingi Asante
@Schadrackmbuto
@Schadrackmbuto 3 ай бұрын
I Thank Jesus for real i wes to speak kwa ruga
@nurukomba9803
@nurukomba9803 2 жыл бұрын
Asante mtumishi nimepokea nguvu za Roho mtakatifu
@LovenessUlomi
@LovenessUlomi 5 ай бұрын
Jaman jaman , That is real Yan hii video niliisave Sasa nikawa Sina bando nikaja KZbin nikaikuta nikaisikiliza ilikua jion ya saa 1 nikaanza kuomba na mtumishi na nikajazwa kabisa na mpaka leo mwenzenu nanena Kwa lugha nasikia kabisa ndani kuanza kunena ata Kama Niko nimenyamaza bas Namshukuru Mungu na mtumishi aliposema tushuhudie hapa chin nikasema nitashuhudia tu nikiweka bando ,bas Mungu ni mzuri , Ubarikiwe mtumishi wa Mungu .
@LovenessUlomi
@LovenessUlomi 5 ай бұрын
Na nilikua namuomba Mungu anijaze Sasa Nimejazwa Nakushukuru Bwana Yesu .
@positivemindset8604
@positivemindset8604 7 ай бұрын
Sifa na Utukufu ni kwake Mungu nimepokea nguvu ya Roho Mtakatifu nimeanza kuomba kwa lugha nikatoka makamasi na mate mfululizo hakika nimesikia nguvu yake ikiniingia Atukuzwe sana Mungu Baba Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu sijawahi kuona nguvu kubwa kama hii natamani sana watu wengi wapate hili neno lina nguvu kubwa ya Mungu Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu na Kanisa la Bwana Amen!
@rensonpatrick5869
@rensonpatrick5869 Жыл бұрын
I have been admiring to speak in tongues, i want to say thank you pastor to have ushered the holy spirit in me, mwili wangu umetoa jasho kama maji wakati wa maombi. Pray for me pastor
@touma.__.7368
@touma.__.7368 Жыл бұрын
This video is timeless. Asante pastor nimejazwa na roho mtakatifu
@doristindamanyile5612
@doristindamanyile5612 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu wakati nasilikiliza somo lako la kunena kwa lugha niltamani sana nijazwe na roho mtakatifu. Gafla uliponza kusema pokea nifunikwa na giza maana nikuwa nimefunga macho ulimi ukawa mzito nikaanza kunenena kwa lugha nisiyo ijua. Watoto wangu wakaogopa wakanikatisha. Lakini nilpoendea kukusikiliza mwili ukaanza kutetemeka nikanza kunena kwa lugha tena. Asante sana mtumishi nikuwa natamani sana kujazwa na roho mtakatifu na nimempokea. Ubarikiwe sana kwani mafundisho yako yameniweka kariba sana na mungu. Doris Tindamanyile UK.
@leusianton9536
@leusianton9536 Жыл бұрын
Ahsante sana sana mtumishi nimemupokea roho mtakatifu, nimeenda sana kwa sababu nilikuwa nikitamani Kumpokea🙏🙏🙏
@lidamudy2842
@lidamudy2842 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi
@NeemaNyota
@NeemaNyota 3 ай бұрын
Namshukuru Mungu kuwa kwenye maombi najikuta naogea naneno yasiyo yajuwa namshukuru Mungu.
@LizzieMajf-os9sz
@LizzieMajf-os9sz 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi..kwa kweli tangia unasali na piga miayo..na hisi kutetemeka .na mkono kama kutetemeka kidogo ..Naaminia nimepokea
@sharletnduku4338
@sharletnduku4338 Ай бұрын
Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji ndivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku ee mungu, nafsi yangu inakuonea shauku mungu uliye hai.mtumishi wa mungu mungu akupe mafuta zaidi nimekua nikimuomba mungu anijaze kwa roho wake miaka mingi lakini leo nimejazwa nguvu kubwa kwa kishindo imeniingia nikashndwa kujizuia nikakimbilia chooni nikaomba huko mda mrefu bila kujua naongea nni lakini nilihisi uwepo wa mungu umenifunika ahsante na mungu akubariki,
@graciousmedia8235
@graciousmedia8235 2 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu Nimepokea Nguvu mpya ya Roho mtakatifu. Mungu naomba uniimarishe zaidi na zaidi
@truthforthelastgenerationt6920
@truthforthelastgenerationt6920 2 жыл бұрын
Nimepokea lugha mpya kwa Jina la Yesu...asante bwana
@jacklinedeus6068
@jacklinedeus6068 2 жыл бұрын
Mungu ni mkuu.nmeingia uwepo na mengi akanifunulia majira haya.Mungu ni mwema.ubarikiwe mtumishi.
@mercylinecharo991
@mercylinecharo991 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, nmetetemeka tetemeko la ajabu Sana nkashindwa nakujizua gafla nikaongea luga nisioijua.nashukuru
@ayubuthomas7343
@ayubuthomas7343 Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor nimepokea lugha mpya, AMEN
@bahatinyandula6425
@bahatinyandula6425 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu asante kwa kuniongoza sala ya toba niliokoka nikarudi nyuma ila usiku wa leo tarehe 2/8/2023 nimempokea kristo upya naomba msaada wako wa maombi nisirudi nyuma pia naomba unilee kiroho Amen.
@positivemindset8604
@positivemindset8604 7 ай бұрын
Ukiandika Mungu weka M kubwa hili jina lina heshima kubwa sana ikibidi andika kabisa MUNGU kwa herufi kubwa zote...Ubarikiwe
@alvinmoses7379
@alvinmoses7379 Жыл бұрын
I have received immediately after the start of prayer . Glory Be your Name o Lord
@heppy-rk7un
@heppy-rk7un 3 ай бұрын
Sijui kuomnba nifundishe kujazwa na roho mtakatifu
@BulamboEster
@BulamboEster 3 ай бұрын
Asante yesu
@eveotiato2210
@eveotiato2210 2 жыл бұрын
Thank you Holy spirit of the Lord, today I've seen you manifest in my life
@bahatinyandula6425
@bahatinyandula6425 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe
@norveenpharmacy209
@norveenpharmacy209 2 жыл бұрын
I receive it ubaridi siyo ubaridi kun muda naona kama di kutetemeka kama ganzi na joto, I receive it a man of God our God is greatly
@SerenoJoel
@SerenoJoel Жыл бұрын
Ndio nimepokea roho mtakatifu, nashukuru sana pastor
@emmanuelwith1812
@emmanuelwith1812 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish nimejazwa nguvu Za Roho mtakatifu
@ivyangelosborn
@ivyangelosborn 2 жыл бұрын
I thank Almight for the golden gift actually i have received immediatelly after the start of the prayer Glory be to God . Amen
@alfredmugisa6051
@alfredmugisa6051 4 ай бұрын
Asante yesu asante yesu kwakuni jaza roho mtaka tifuu
@anithatairo75
@anithatairo75 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu napokea roho mtakatifu amen
@vivianngoma925
@vivianngoma925 Жыл бұрын
God bless you… nmepokea roho mtakatifu. I fell down and spoke in tongues
@philibertjosephtv4414
@philibertjosephtv4414 2 жыл бұрын
Mungu akubaliki mchungaji nimepokea
@INOCENTPHALES
@INOCENTPHALES 3 ай бұрын
Speaking in tone is the gift from the Holly spirit
@sheillahkilangunya8825
@sheillahkilangunya8825 Жыл бұрын
Nimepokea roho mtakatifu Na nimenena Kwa luggage mpya asante sana mtumishi was mungu
@epifaniaamasi486
@epifaniaamasi486 2 жыл бұрын
Na naamini nmepokea lugha mpya asante Roho Mtakatifu
@MohamediRajabLikunja
@MohamediRajabLikunja 11 ай бұрын
Nimepokea roho mtakatifu ubarikiwe mtumishi
@alfredmugisa6051
@alfredmugisa6051 4 ай бұрын
Asate sana papa nemesema kwa luga asate mungu asate kwa roho ya bwanaa
@gilbertrutasingwa2384
@gilbertrutasingwa2384 Жыл бұрын
Hii video nmeiona Leo nikafatria maelekekezo ya pastor kwanza nmesikia nguvu ya kulia lakn baada ya maombi yake nmenena kwa lugha zaidi ya saa Moja kwa kwel MUNGU akubariki sana Pastor
@dismasjoseph5961
@dismasjoseph5961 2 жыл бұрын
Amen nimepokea Hali isiyo ya kawaida🙏🙏🙏
@veronicashanel905
@veronicashanel905 2 жыл бұрын
asante pastor nmeic mwil kusisimka gafla nkaanza kunena kwa lugha ashukuliwe mungu wa mbinguni
@roseabuyah2366
@roseabuyah2366 3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana maneno yako kwa KZbin yanafanya kazi nilikua na kiu ya kunena kwa lugha nipotazama clip yako na nikazikiliza vizuri nikapokea roho mtakatifu na nikaanza kunena kwa lugha ambayo ni tititi tatata ubarikiwe sana Pastor Mungu anakutumia kuinua wengine be blessed alot.
@graciousmedia8235
@graciousmedia8235 2 жыл бұрын
Najiunganisha na madhabahu hii na Mungu naomba unijaze roho Mtakatifu
@faridasaid8959
@faridasaid8959 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi nimepokea roho mtakatifu .ubarikiwe Sana.
@julesbangala9689
@julesbangala9689 3 ай бұрын
Asante 🙏 🙏 sana jina la bwana lipewe sifa 😢mimi nimejisikia mutetemeko ndani mwangu
@marsianamsunza8172
@marsianamsunza8172 2 жыл бұрын
Amen nimejazwa na Roho mtakatifu tumbo limetetemeka ni kama ndani kuna mawimbi
@sootb8470
@sootb8470 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji na kizazi chako
@BoniPhacee
@BoniPhacee 6 ай бұрын
Mungu ni mwema nimempokea roho mtakatifu
@marsianamsunza8172
@marsianamsunza8172 2 жыл бұрын
Ubarikwe sana mtumishi
@jameszawadi8642
@jameszawadi8642 2 жыл бұрын
Amen, nimepokea na kujazwa roho Mtakatifu
@angeange4342
@angeange4342 2 жыл бұрын
Miminiko Saudia nimejazwa asante yesu
@alfredmugisa6051
@alfredmugisa6051 4 ай бұрын
Papa mungu aku barikii sanaa tena sanaa
@rehemakilibwa714
@rehemakilibwa714 3 жыл бұрын
Asante Roho mtakatifu kwa kunena ndani yangu
@joekaseka9224
@joekaseka9224 Жыл бұрын
Thanks Pastor I received the Holly spirit
@NeemaNjile9
@NeemaNjile9 2 ай бұрын
Amen
@ayubuthomas7343
@ayubuthomas7343 Жыл бұрын
Shalom, mimi naitwa Ayubu Thomas niko Arusha namshukuru Mungu nimejazwa Roho mtakatifu baada ya kufatisha sala hii
@clementinerrwekiti5147
@clementinerrwekiti5147 5 ай бұрын
Nilmewekewa ulimi mwingine wa kunena kimbingu asante Yesu kwa upendo wako maana hata mimi nilikuwa na kiu ya kunena kwa lugha
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 3 жыл бұрын
Amen nimepokea Lugha ya Ziada
@وليدالشمري-ح7ب
@وليدالشمري-ح7ب Жыл бұрын
I received it 🤲 thanks holy spirit
@hekimamelelegoodlucktoyour955
@hekimamelelegoodlucktoyour955 10 ай бұрын
Nashukuru mungu nimeona nguv zake
@kelvinpeter5666
@kelvinpeter5666 3 ай бұрын
Oooh nimejazwa kikamilifu Roho mtakatifu
@revocatusbusongo-bm2fd
@revocatusbusongo-bm2fd 8 ай бұрын
I received, thanks Jesus'
@Miss_Kaaya
@Miss_Kaaya 2 жыл бұрын
I received 🙌 God Jesus Christ thank you
@maidamwangunda8445
@maidamwangunda8445 10 ай бұрын
Asante yesu nimepata uponyaji
@graciousmedia8235
@graciousmedia8235 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi na maombi
@nijulishenijue1168
@nijulishenijue1168 3 жыл бұрын
Amina mi naitaji kuonana na wewe Pastor
@leahmbinile2542
@leahmbinile2542 2 жыл бұрын
Asante Yesu, nimejazwa
@majaliwajoackimu2700
@majaliwajoackimu2700 3 ай бұрын
Nimesikia uwepo wa mungu ndani yangu
@kelvinpeter5666
@kelvinpeter5666 Жыл бұрын
Nimejazwa Roho mtakatifu 😊
@irenepoul8961
@irenepoul8961 2 жыл бұрын
Amen pastor ubarikiwe
@jackbachwa2286
@jackbachwa2286 3 жыл бұрын
Niguse Eh Roho mtakatifu
@AlimaAmissi-g2b
@AlimaAmissi-g2b 11 ай бұрын
Amen! Tunapokeya🙏
@milley7185
@milley7185 Жыл бұрын
Roho mtakatifu unanena kwa lugha hlf baadae unambiwa na.mapepo
@denisemafebo7871
@denisemafebo7871 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen nimepokea
@esaiehakizimana5783
@esaiehakizimana5783 2 жыл бұрын
Neno la Mungu ni Ukweli
@AlimaAmissi-g2b
@AlimaAmissi-g2b 11 ай бұрын
Naitaji aokow ndugu zangu waokoke wote
@nicodemasramadhani
@nicodemasramadhani Жыл бұрын
Roho wa MUNGU ni mwaminifu nimejikuta natoa mate mdomoni, na ishara ya kutikisika mwili
@sidithoyah8886
@sidithoyah8886 2 жыл бұрын
nashukuru nimepokea 🙏
@danielkyalo5666
@danielkyalo5666 2 жыл бұрын
Napokea roho mtakatifu
@wilbard3692
@wilbard3692 3 жыл бұрын
I connect my self..n my family
@muriirajacob6560
@muriirajacob6560 2 жыл бұрын
Able to speak immediately.Glory be to God
@priscajonas1978
@priscajonas1978 3 жыл бұрын
Amen Amen pastor 🙏
@emmanuelbenedict9513
@emmanuelbenedict9513 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@MJSTV-up7xd
@MJSTV-up7xd 2 жыл бұрын
Asanti sana pastor
@alec2893
@alec2893 Жыл бұрын
Barikiwa pastor
@udimisemunga310
@udimisemunga310 6 ай бұрын
Nmekutana nayo leo nmeisikiliza nmejikuta Nikilia sana na mikono kutetemeka sana
ROHO MTAKATIFU NDANI YETU
34:07
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 15 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  YESU NI MEZA YA BWANA INAYOTEMBEA ILIYOBEBA UPONYAJI KAMA CHAKULA. [ 1 ]
16:42
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 18 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 271 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
MATESO YATOKANAYO NA VIFUNGO VYA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 43 М.
ULIMWENGU WA ROHO NA UKWELI WAKE 1 - BIENVENU WANZIRE (Day16 prayer)
23:42
Bienve Ministries online
Рет қаралды 2,7 М.
MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:13
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 8 М.
NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
28:59
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 15 М.
JINSI YA KUSHINDA HILA ZA SHETANI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:41
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 13 М.
Nyota Yako Ina Thamani | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn
21:11
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 148 М.
UNAWEZAJE KUSTAWI KATIKATI YA MATATIZO
24:47
FRANCIS MWASHAMBWA
Рет қаралды 118 М.
MKONO WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
10:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 11 М.
KANUNI ZA KUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:25
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 31 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 271 МЛН