Semina Ya Neno La Mungu Kahama || Day 5 || 2024 "MPE MUNGU MOYO WAKO AUANDAE KWA YALE YANAYOKUJA"
Пікірлер: 57
@apostlegervasmwanyila3556Ай бұрын
Hakika nimeelewa Barikiwa sana
@anuarymyekakimolo47852 ай бұрын
Professor MWAKASEGE
@vickytairo18042 ай бұрын
Asante sana mwalimu kwa ajili ya hiki kipande...naamini Mungu ana kusudi na maisha yangu
@MariamSenga-xn2dcАй бұрын
Asante Kwa neno la uchumi nimebarikiwa🙏
@musakasingo5942 ай бұрын
Asante Yesu kwa mtumishi wako Mwakasege Tanzania
@emmanuelkateba35452 ай бұрын
Amen baba 🙏
@giftkombe642315 күн бұрын
Amen
@naigeorge77652 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@user-mz9nx3pw3zАй бұрын
Penda sana mwalim mwakasege♥️🙏 MUNGU azidi kuku linda
@ChazyCharles15 күн бұрын
Amena
@Dmsiris52 ай бұрын
God Bless You Abundantly Mwalimu
@amanikisanga2 ай бұрын
Mtumishi mungu akubariki naomba mtumishi utuombee kwa jili ya ndoa yetu ijayo
@blessedtumaini5162 ай бұрын
Asante Mungu kunijilia nyakati hizi katika jina la Yesu Kristo Amina.
@naomiedward62932 ай бұрын
Tunakupa baba ubarikiwe sana
@RenaldAloyce2 ай бұрын
Ee Mungu nirudishie miaka yangu kumi iliyoliwa na nzige. Amen.
@gloriamwasote16732 ай бұрын
Amen
@user-db8ou3tz2bАй бұрын
Mungu akuhifadhi siku zote baba angu😅
@cadiaOnesmo-hd5lr2 ай бұрын
Mungu nilidishie miaka yangu 14 ya ndoa ilitoliwa na nzige
@anethgodson37572 ай бұрын
Asante Kwa Ujumbe huu ,Mungu uishie Milele. Abarikiwe Mtumishi wako huyu milele yote
@jessicamasepo8320Ай бұрын
Amina, ubarikiwe Baba.
@williammushi46742 ай бұрын
Amina barikiwa mwalimu
@Emma_SND2 ай бұрын
God bless you Man of God 🙏
@ReubenGivasonMkuyu-lx4ck2 ай бұрын
NAKUELEWA SANA BABA
@ministerfilbertsangule2799Күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@alex_vincent2 ай бұрын
Hallelujah
@MabelKaaya-hl2je2 ай бұрын
Amina Amina Amina
@happinessakim26792 ай бұрын
BE BLESSED MY DADY🙏🙏🙏
@marymfoi9349Ай бұрын
I'm blessed
@joelkipilipili79762 ай бұрын
Amina
@augustingospelsongofficiel72222 ай бұрын
Courage l'homme de Dieu
@waithirahnaomy15732 ай бұрын
Ni baraka kubwa kusikia neno hili
@ImeldaMyingaАй бұрын
Ninajifunza
@MamaLio4752 ай бұрын
Ameniiii
@josephkamwela7046Ай бұрын
Aminaa
@ayubuthomas73432 ай бұрын
AMEN
@KulwaMayeka-sc7pk2 ай бұрын
❤❤❤❤
@Majembe122 ай бұрын
🙏🙏🙏
@monicamichael-sr4kx24 күн бұрын
Ee bwana nirejeshee
@daudimhoha3202 ай бұрын
Haleluyaa.🙏
@daudimhoha3202 ай бұрын
Kazi.nzuri.mwalimu.mungu.akutunze.milele.yote
@Yogoseministry2 ай бұрын
Amen amen amen 🙏🙏🙏
@kimpalambapjАй бұрын
Mana.
@loserianaugustino67172 ай бұрын
Jamani naomba naomba naomba, nipate namba ya mtumishi wa BWANA yeyote ambaye anayo Roho yangu inaenda kuangamia, yeyote atakayefanya hiv ameiokoa nafsi yangu
@MamaLio4752 ай бұрын
Hili somo zuri cjui full nalipataje?
@EmmyPhilimon2 ай бұрын
Emen
@neymseluka20772 ай бұрын
Semina inayofuata baada ya kahama ni wapi?sion matangazo
@SadakaAman2 ай бұрын
mwalim Mimi nakuombea uzidi kutulisha neno ila nimeludi nyuma saivi Mimi ni alexzanda Nairobi ninaitaji maombi yako
@patrickbasil9412Ай бұрын
Mungu WA MBINGUNI akutie Moto tena,wokovu ni wako daima,kushindwa kwako siyo kushindwa kwake,hakuokoi au hakukuokoa Kwa kuwa unastahili Bali ni Kwa kuw yeye ndiye anayestahili na yeye ndiye MSTAHILI WAKO HAKUNA KINACHOWEZA KUKUTENGA NA UPENDO WAKE MILELE,Kama ni dhambi alikulipia,Kama NI kifo amekufa na kufufuka Kwa ajili yako,Mungu akutie nguvu mtoto wake
@patrickbasil9412Ай бұрын
Warumi 8: 37. Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda. 38. Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo, 39. wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na UPENDO WA MUNGU ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu.
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm2 ай бұрын
Mwalimu Mwakseg unafundish vizr lkn sio mtumish unaefuatilia comments za watu na hat sim yako haipokelewagi
@user-gh3zf4ow4cАй бұрын
🦾Hili Neno la Mungu linatosha kujenga msulii wa Imani